Njia za Mungu hakika hazichunguziki! Asante Mungu kuhurumia uzao wetu Arusha kwa kumtumia mtumishi wako Paul Makonda! Utukuzwe daima na ukamzidishie baraka zote mtumishi wako🙌🙌🙌
Huyu makonda mm naona ikimpendeza mungu mwakani agombee ubunge mama ampe uwaziri awatumikie watanzania wote,,,hii ya kumpa nafasi ya mkoa bado watanzania wengi wanakosa utumishi wake kwa kweliii!!
Mungu azidi kukujalia maisha marefu,sioni wa kumlinganisha na Makonda,Ana upendo wa dhati kwa jamii anayoisimamia .Vijana wengi wanakatishwa tamaa na walio na nafasi zao, Mungu akubariki sana P, Makonda
Kuna wakati unapita pagumu mpaka watu wanakuona kichekesho wanachekaaaa halafu kuna siku moja tu MUNGU anazima kicheko anaamsha heshima wanakuheshimu jamani acha MUNGU afanye njia pasipo na njia
Vijana wetu watapona kupitia baba makonda Wana karama nyingi Sana Ila upendo ndo ulikuwa unasababisha wapoteee Vipawa ni vingi wakipendwa na kusaidiwa kufikia hatima zao
❤❤ nikiwaa arushaa sakinaa nawapataa vizuri mungu wa mbinguni akutunze makondaa akupe maisha marefu na familiaa yako tunatarajia mengi na mazuri zaidi malaikaa wa ulinzi akutunzee
Yaani, Yaani, Yaani ni kama Mungu alimpa makonda hili wazo kwa ajili ya huyu mwamba, Yaani fanya yoooote lkn Mungu alikuwa anamtafuta huyu, ona ona ona, THANKS GOD, THANKS PAPAA, ASANTE MAANA HATA HAPA NILIPO NI WEWE ULIYENIFANYA NIWE, THANK GOD
Njia za Mungu hakika hazichunguziki! Asante Mungu kuhurumia uzao wetu Arusha kwa kumtumia mtumishi wako Paul Makonda! Utukuzwe daima na ukamzidishie baraka zote mtumishi wako🙌🙌🙌
Safi kijan
Mungu ni yupo jmn tusikate tamaa Rc makonda mungu akulinde siku zote
ARUSHA CHANGAMKENI KUITUMIA NA KUITUNZA HII LULU INAYOITWA MAKONDA.❤❤❤
Kama unaamini gonga like hapo...
Mi nataman sana nikutane na Mh Makonda nisalimiane nae2,Maana huyu ni zaid ya Nabii❤❤❤ I love him so much❤❤❤
Walio rudia kuangalia zaid ya mara 2 like hapo
Uyu rasta aki ameuwa mkuuu, respect sana kaka
Huyu makonda mm naona ikimpendeza mungu mwakani agombee ubunge mama ampe uwaziri awatumikie watanzania wote,,,hii ya kumpa nafasi ya mkoa bado watanzania wengi wanakosa utumishi wake kwa kweliii!!
True!
Ahsante Mungu kumleta mtumishi wako Pau Makonda Allah muweza wa yote 🤲✅🇹🇿
Kila mtu anamapungufu yake lakini Mh.paul be blessed
Arusha imebarikiwaaa
Makonda baba yetu umebarikiwa
Mungu azidi kukujalia maisha marefu,sioni wa kumlinganisha na Makonda,Ana upendo wa dhati kwa jamii anayoisimamia .Vijana wengi wanakatishwa tamaa na walio na nafasi zao, Mungu akubariki sana P, Makonda
Mr Makonda,, your are HERO, arusha is GLOWING 🎉
Kuna wakati unapita pagumu mpaka watu wanakuona kichekesho wanachekaaaa halafu kuna siku moja tu MUNGU anazima kicheko anaamsha heshima wanakuheshimu jamani acha MUNGU afanye njia pasipo na njia
Amen kweli 🙌
Wakati wa mungu ni wakati sahihi sana
Makonda namwelewa sana Mungu akubariki mdogo wangu
The man is Talented, Sema alivotoka Meno na Familia Ikatoka.😂😂😂
Vijana wetu watapona kupitia baba makonda
Wana karama nyingi Sana Ila upendo ndo ulikuwa unasababisha wapoteee
Vipawa ni vingi wakipendwa na kusaidiwa kufikia hatima zao
Mnajuwa MUNGU bhana akiamua akuinue kutoka matopeni haichukui hata sekunde
Ni kweli ndugu yangu cha msingi tunyenyekee hatuwezi kujua mlango wa MUNGU sio ule tunaotarajia sisi
Wala haitaji ushauri wa yeyote
❤❤ nikiwaa arushaa sakinaa nawapataa vizuri mungu wa mbinguni akutunze makondaa akupe maisha marefu na familiaa yako tunatarajia mengi na mazuri zaidi malaikaa wa ulinzi akutunzee
Wakati wa bwanaa ukifikaa umefikaaa niwakati wako kaka kupataa hizo barakaa mungu awabariki makondaa na mtumishi waa mungu kazi nzuri
RC MAKONDA 🎉 many Africans need you buddy...🙌🏾, few icons like you are born 😢
Mungu ni mkuu nimejikuta nalia be blessed kwa waandaaji
Sasa hapo kinakuliza nn
Kijana yy anakipaji sema ni mlevi hana sumu
Mlevi mmoja on the stage
Tunaweza ku fix meno na kunyoa nywele
Napenda sana arusha nixingewa zanzibar ningekuja nawapenda sana wana arusha nakupenda sana kaka makonda
Ndoto za MTU hazitazimika hata kama atachelewa haijarishi atapita katika mazingira Gani God bless you my brother makonda
Nimeliaa sanaaa daaaa!! MUNGU ambarikiii na aendelee kumuinuaa juu zaidi
mbona makonda anafeel kuliaa...kama umeona weka like kubwaa sn
Makonda Mungu akutunze Siku Zote....Samia usituondolee Makonda wetu tafadhali
I like what RC is doing. Be blessed always
Kilichoko moyoni mwangu ni Shukrani tu..MUNGU akubariki Kaka Makonda
Big up Mh. Brother Paul Makonda Mungu Akulinde Huko Uliko..
Yaani, Yaani, Yaani ni kama Mungu alimpa makonda hili wazo kwa ajili ya huyu mwamba, Yaani fanya yoooote lkn Mungu alikuwa anamtafuta huyu, ona ona ona, THANKS GOD, THANKS PAPAA, ASANTE MAANA HATA HAPA NILIPO NI WEWE ULIYENIFANYA NIWE, THANK GOD
Mungu akupe maisha marefu Paulo Makonda
Muheshimiwa Paul Makonda Abarikiwe Huyu ni Rais NASEMA NIRAIS WA NCHI ❤❤
Nimeangalia zaidi ya Mara moja uyu jamaa anajua sana
Waooo huu ndo upendo wa Kristo❤️❤️ Mungu akubariki makonda wetu ...jamani hii sikusikia imenipita🙆
Ukristo umekujajeapo tena
Veeery encouraging for sure
Muheshimiwa Makonda Mwenyezi Mungu akutunze
So touching aisee......🙌🙌🙌🙌🙌
Made me shade tears 😢
Ohhhhhhh asante mtoto wangu..nimelia kbs jamaniiii.watoto vipawa vixuriiii❤
Love you merciful man, Sir Makonda.
More than many pastors.
Kweliiiiiiiii nimelia kwa furahaaa
safi Arusha tuna logo yetu when it comes to language swagger Iko poa mazee!!
Hongera sana makonda kwa maono yako makubwa mungu kurinde sana.
Makonda umetisha Mungu akulinde akupe maisha marefu udumu Arusha
Hivi huyu makonda siyo nabiii kweli maana kuna mda naona ni kama neema imeshuka
Yani makonda anamtegemea MUNGU nahisi ndo mana mambo yake na matendo yake yana make sense kuliko viongozi wengine wengi hapa Tanzania
Hata Mimi nikikaa chini uwa nawaza makonda nimtu alie tumwa na mungu Arusha
Hakika
Long live R C makonda
Ni kweli jamani ametumwa na MUNGU ukiona hivyo ujue analia na MUNGU sana huyu mtu haiwezekani kirahisi
Haaisee😂❤ God bless you akunyoshee njia zaidi
Mungu ni wa wote wenye mwili
Nakupenda sana kaka yangu mh makonda mungu akubariki saana nimehisi kulia watu wengi wanapotea kukosa mwelekeo
Mungu akuongezee kipaji kaka
Ni kweli Makonda kafanya kazi kubwa lakini tutambue pia mchango wa churchill jamani. Yeye ndo kasababisha hayo yote kwa huyo jamaa
mm namkubali mmakonda sana natamani sana sikumoja ata nionge nae
Nakuona juu mr presdent makondo
Upendo mkuu,❤❤❤
Tears of happiness
RC Makonda, wewe ni kiongozi special
Kiongozi wa kweli.
Makonda mungu akubaliki una kitu kikubwa kwa watanzania hongela sana.
Makonda ubarikiwe sana
Churchill anajua sana kuhoji ile namna ambayo anayehojiwa atajikuta anajibu tu bila kupanic BRAVO CHURCHILL 👏
Hata mimi nakiri Huyu Mungu ni kweree sana, hanaga maujuaji, anakuambia tu wewe pita huku
Upo vzr jamani achilia gospel hiyo jmn😂
Touched story🥲
Nimelia saaana ..
Hii ni baraka, barikiwa RC
Natamani mheshimiwa makonda siku Moja aje kuwa Rais wa nchi hii maana ni creative sana na mbeba maono.
Safi sana Makonda
Mbegu ya mungu haipotei
Makonda sio mshamba ni mtoto wa mjini hapendi uheshimiwa yy ni full vibe yan
Prophet makonda ❤❤
Whatever to be Said, Ila Makonda is a Talented Leader.
This is JPM in making, wa Tanzania mark this guy called Makonde. Akiingia uongozini atawasaidia
very nice indeed
Gods plan🙏🙏🙏🙏
Stay blessed RC Makonda
Amen 🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪
Wakati wa mungu ndio waķati sahihi
Huyo apo juu ni kwereee😂❤
PT big up...
Safi sanaa
RC MAKONDAAAAAAAA I LOVE UUUUUUU MKUUUU WEWE NI MTUMISHI WA Mungu baba....
Watoto wako wapatebraha maishani
Kukatishana tamaa ndio shidaaa ila kwa neno lako umesema na imekuwa baba in Jesus name
Amina
It is real touch me
Simple tubRudisha meno watarudi😂😂😂
Wakati wa Mungu ukifika umefika
Ubarikiwe sana
Arusha ngoma imepata mpigaj...Mh Makonda ni mzee mkubwa wa vijana wa Arusha.
mhesh miwa hongera sana hakuna kama ww
Aiseeeee Mungu yupo
😢😢 familia nilipotoka meno na yenyewe ikatoka
😊😊😊
Mh Makondo natamani uwe waziri mkuu... Jamani Mh Rais muone Mh Makondo anastahili kuwa waziri mkuu
🙏🙏♥️
KIGOMA kweli ni kwere kwerere mpaka mburu
Makonda 🎉
👏👏👏👏👏👏
Nice
Alleluya❤
Oyaaaa uyu mr kipaji anachoo
❤❤
Kumbe nmeulza wimbo kabla ya kumalza kusikilza mana nikwele
Hee huyu baba wa Churchill kumbe kaja huku tz ahahaha basi hii itaku
🆙️🆙️🆙️Arusha...🇹🇿
True