MAMA ELIUD ALIVOBEBA KIKAPU CHA HELA"WATAKUPA HELA NAWAJUA😀"UTACHEKA VIBAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024

Комментарии • 189

  • @clementbonifasi3515
    @clementbonifasi3515 16 дней назад +33

    The first and best comedian in Tanzania.. Kwanza hahusiahi matusi kwenye vichekesho vyake...

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 21 день назад +98

    Top talented jamaa hatumii matus ka wengine

  • @adamkisheta8439
    @adamkisheta8439 21 день назад +124

    Yaan mtambue katk cheka tu nzima uyu nd habar Yao atumii nguvu maneno bila jasho unacheka iyo nd original stand up comedy.. big up eliud

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 21 день назад +17

      Halafu yeye anatembea na chochote, nahisi anaweza panda amejipanga na jokes zake halafu mazingira yakamfanya asitumie joke hata moja😅😅, he is really talented

    • @catherinemwakasege1151
      @catherinemwakasege1151 15 дней назад

      ​@@noelmarapachi1808san

    • @Juli-ep9dn
      @Juli-ep9dn 14 дней назад +1

      Kuna mnyama Leonardo na ndaro

    • @RichardMabula-wr7io
      @RichardMabula-wr7io 14 дней назад +2

      Nampemda sana huyu jamaaaa

    • @haikawilson216
      @haikawilson216 11 дней назад +1

      Nawashangaa eti Leonardo...wkt eliud ndo kila kitu

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 20 дней назад +38

    Nnavomuona Eliud na mamake namuona kbs Alvin wangu ipo siku atanishangaza

  • @johnsilima1629
    @johnsilima1629 21 день назад +52

    Jamaa nampenda maana anaishi kwenye uhalisia

  • @enockbunyika1735
    @enockbunyika1735 19 дней назад +16

    Kwangu mimi Eliud Ni #1, mharifu mkubwa huyu 😂😂 top top comedian

  • @georgehajji9790
    @georgehajji9790 21 день назад +39

    Huyu jamaa anajua namna ya kuchekesha bila kutumia nguvu

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 21 день назад +41

    Eliudi Ni msanii Wa Vichekesho mwenye Mapinduzi makubwa

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 21 день назад +30

    My favourite comedian 😂😂😂😂

  • @changarawekitigani3430
    @changarawekitigani3430 14 дней назад +9

    Nyie watu mnaujua huu msemo UMMENYE MWAMPOSA
    PLEASE LIKE KWANGU KAMA MNAUJUA KWENYE BUNJI ❤

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 21 день назад +31

    RAHA SANA MAMA AKO AKIFURAHIA UNAVYOMTUNZA

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 20 дней назад +44

    ELLIUD UNAWEZA KUMTAZAMA VICHEKESHO VYAKE UKIWA NA WATOTO WAJUKUU WAKWE WAZAZI NA WACHUNGAJI...HAVINA MANENO MACHAFU KAMA YULE , cjui kalelewa na nani yule, hapana hajalelewa ametunzwa na nani yule?
    Kuna kumlea mtoto na kumtunza.

  • @lukasielibariki3181
    @lukasielibariki3181 21 день назад +22

    Eliudi anajuwa hatukani

  • @KenrogersEdwin
    @KenrogersEdwin 21 день назад +18

    Uyu jamaa ni talented Sanaa

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 20 дней назад +24

    Kitu nimejifunza wasanii asilimia kubwa wanawapenda sana mama zao...Diamond,mama yake anainjoy, anakula mema ya nchi😂 Harmonize kasababisha mama kushhikana mkono na mama Samia.,na kawajengea mjengo, leo tunamuona Eliud na kapu la mama😂😂😂😂
    Tusiwazuie watoto kuwa wasanii jamani😂

    • @kennyjohn3763
      @kennyjohn3763 20 дней назад +3

      Hiyo ni tafsiri halisi ya kwamba mpe nafasi mtoto afanye kitu anachopendezwa nacho hali ya kuwa ni halali na chema machoni pa watu na Mungu ataweka Mikono yake na si kulazimisha mtoto afanye vile Wazazi watakavyo.

    • @claralucy4230
      @claralucy4230 18 дней назад

      Ni kweli kabisa

  • @Cultandnuture
    @Cultandnuture 21 день назад +22

    Uyu jamaa ni level nyingine

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er 21 день назад +34

    Eliud kamwingiza mama kwenye nfumo tusubiri mzee wake 😂😂😂😂

    • @esterrupia8470
      @esterrupia8470 17 дней назад +1

      Na huyu inaonekana kabezi Kwa mama yake tuu

  • @salymomar8104
    @salymomar8104 21 день назад +21

    Kwaiyo mnacheka mama wa wawezenu

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 21 день назад +30

    Eliud umebalikiwa na kipaji cha ukweli ukweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 19 дней назад +8

    Eliudi!! Nakupenda! Nakukubali! Na ninakuombea sana!! Maana hakika unajuaaaa❤❤❤

  • @user-tw2du7bx8p
    @user-tw2du7bx8p 21 день назад +11

    Hongera eliud unamjali mama

  • @NageMsuya
    @NageMsuya 21 день назад +31

    Mungu akutunze Eliud na Mama jmn.

  • @yusuphaman3449
    @yusuphaman3449 21 день назад +13

    Mwenderezo jamaa namkubali sana😂

  • @gileskandege4950
    @gileskandege4950 21 день назад +13

    Kipaji cha kweli

  • @AleniNanyaro
    @AleniNanyaro 18 дней назад +7

    Kwa Yesu yote yanawezekana

  • @erickdeogratias7718
    @erickdeogratias7718 17 дней назад +5

    Eliudiiii bwanaa we ninomaaa❤❤❤❤

  • @charleskapala6875
    @charleskapala6875 8 дней назад

    Eliud unajua sana my best comedian😂😂😂

  • @MerisianaBatholomeo
    @MerisianaBatholomeo 21 день назад +9

    Uyu jamaa anajuaaaa❤

  • @kcrktv8255
    @kcrktv8255 21 день назад +18

    Ukiona 2000 ni ya Mnyakyusa mwenzio eliud 😅😅😅😅😅😅

  • @eliudezekiel8615
    @eliudezekiel8615 18 дней назад +3

    Yani wenye majina woteee ya ELIUD tuko vizuri Sanaa Yani kila kona

  • @jeedymasoud4269
    @jeedymasoud4269 20 дней назад +4

    Eliudi ulistahili ushindi wa kwanza Wallah

  • @user-nr7ne5tw3y
    @user-nr7ne5tw3y 19 дней назад +1

    Top talented 👏 👏 big up Eliud

  • @user-eu3ed2uy6b
    @user-eu3ed2uy6b 13 дней назад

    Aisee unakipawa kaka mungu aku bariki kwa kumuheshimisha mama 😢😅😊😊 😊 😊 ni furaha najua ulitamani kulia basi ni kazi ukajikaza hongera kaka hongeraaaaaaa

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 20 дней назад +1

    Jamaa ni mnoma sana..pure talent

  • @christineneema3008
    @christineneema3008 15 дней назад

    Hatumii nguvu nyingi hata hii nikipaji cha another level ❤

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 18 дней назад +2

    Ahsanteni kwa kumtunza mama🎉🎉🎉🎉

  • @MchagaUk
    @MchagaUk 20 дней назад

    Natural talent

  • @leilaahamad8989
    @leilaahamad8989 21 день назад +6

    Eliud atumii nguvu😂😂😂

  • @user-sn4zv1lp7t
    @user-sn4zv1lp7t 18 дней назад

    He's very talented

  • @user-dm7os4yj5q
    @user-dm7os4yj5q 20 дней назад

    On the top. Men keep on

  • @dramanishabani93
    @dramanishabani93 14 дней назад

    Kwakweli si kila kuchekesha lazima utumie matusi, Mungu akubariki kwa Atlanta hii

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 18 дней назад +1

    Hapo sawa Eliud. Nyanza za juu uchagani😂

  • @philipomichael8955
    @philipomichael8955 17 дней назад

    Appreciate you Broo unamtambua mama yako👏

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj 16 дней назад

    Hongera sana kwake, Eliud. Kipaji halisi 😅

  • @luluray2115
    @luluray2115 18 дней назад +3

    Kila neno linalotoka linachekesha dah

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 15 дней назад

    safi sana Mungu ampe maisha marefu mama

  • @fotunatusiMsongole
    @fotunatusiMsongole 19 дней назад +2

    Ukiionaaa 2000 ya mnyachusaa mwenzio😂😂😂

  • @user-qp4sm2ko1y
    @user-qp4sm2ko1y 21 день назад +6

    Alotoa ela nyungi nipeni namb zake manq nishaona mwanamme wa ndoto zangu yuko uku😂😂😂

    • @cathypaul3011
      @cathypaul3011 21 день назад

      Wew habu amka hapo utalibwanda😂😂😂

    • @user-tk8de2pl4j
      @user-tk8de2pl4j 17 дней назад

      Haki nimm nimemuona ndio mungu aliniandalia

    • @user-qp4sm2ko1y
      @user-qp4sm2ko1y 16 дней назад

      @@user-tk8de2pl4j hahahahhahhahahahaaaaq

  • @mariamkimati5857
    @mariamkimati5857 21 день назад +6

    😂😂😂😂😂😂Ila eliud

  • @phidolineprivatus9078
    @phidolineprivatus9078 21 день назад +4

    Eliud unajua sana bro

  • @ireneworden1023
    @ireneworden1023 21 день назад

    Yani nmecheka Eliud ni noma 😂🙌🏾

  • @glorytogod2806
    @glorytogod2806 19 дней назад

    Asante eliud nimecheka

  • @emmakipalula9097
    @emmakipalula9097 15 дней назад

    Nimecheka Kama chizi....dah he is the best

  • @mcgabby
    @mcgabby 12 дней назад

    Kumbe hakua namba Moja kwenye Cheka tu mlimuonea sana walahi😂😂😂

  • @mwarobaini3571
    @mwarobaini3571 15 дней назад

    Kupitia kipaji changu,ipo siku mama utafurahia maisha

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 6 дней назад

    😂😂😂😂😂Sukari eliud 😂

  • @gumzobilly7171
    @gumzobilly7171 19 дней назад +1

    mama👏👏👏👏🤝🙏

  • @user-uw4pu9nm1u
    @user-uw4pu9nm1u 19 дней назад +1

    Lamata Leo cyo wewe hahaha yaan eliud bonge la comedian kwel

  • @pendorobert3552
    @pendorobert3552 19 дней назад +1

    😂😂😂ila eriud

  • @PeterSarme
    @PeterSarme 11 дней назад

    Next level my bro

  • @joevang4685
    @joevang4685 16 дней назад +1

    nmecheka sana😂😂😂😂😂

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 18 дней назад

    Eliud salute mwaisa

  • @Flaviana-re4ts
    @Flaviana-re4ts 14 дней назад

    Ila eliudi msicheke mama wa wenzenu 😂😂😂

  • @patrickwanje6433
    @patrickwanje6433 18 дней назад +3

    Mama apa ndio ofisini bro uko vizuri😂❤

  • @racheljoshua3266
    @racheljoshua3266 21 день назад +1

    Elyud

  • @user-eu3ed2uy6b
    @user-eu3ed2uy6b 13 дней назад

    Nipo pekeangu ila nimepiga makofi aisee eliud et amelemaaaa

  • @user-ol7pe4rl4r
    @user-ol7pe4rl4r 16 дней назад

    Dah❤️❤️❤️

  • @bobandrewonline254
    @bobandrewonline254 14 дней назад

    Eliudi hatuna doubt naye kwa uwezo wake ila watu mnafanya editings mnazidisha hiyo sauti au watu wanaocheka mmezidisha hiyo siyo sauti za audience kuna wakati hata mtu akiguna wanacheka 😎 hey admin punguza weka uhalisia na editings kidogo siyo kwa eliudi pekee unazidisha napenda unachofanya lakin chukua ushauri

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 18 дней назад

    😂😂😂😂 Eliud ni kiboko

  • @furahalusapi9111
    @furahalusapi9111 20 дней назад

    Waoooo😍

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 20 дней назад

    Eti ukiona elfu mbili ya mnyakyusa mwenzio😂😂unampa mama wamwenzio mia tano!!?😂🤣🤣

  • @isaackbm1935
    @isaackbm1935 19 дней назад +1

    Focus kbao

  • @mariapeter9711
    @mariapeter9711 19 дней назад +3

    Nacheka lkn sjui mm ntampandisha ndege lini na akiwa anaenda wp😢

    • @True20137
      @True20137 15 дней назад +1

      Hakuna linaloshimdikana, ukifanya jitihada na kumtanguliza Mungu

  • @neemasalysaly4332
    @neemasalysaly4332 20 дней назад

    😂😂😂 Nimecheka hadi machiz

  • @bukurufreddy28
    @bukurufreddy28 21 день назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂WWE ndo Mmi mze

  • @kalolontungo8476
    @kalolontungo8476 20 дней назад

    ❤❤❤

  • @dennismusiba4836
    @dennismusiba4836 19 дней назад

    Ila Eliudi!!!

  • @berthkaswile4476
    @berthkaswile4476 12 дней назад

    Hongera sana

  • @juliasmanyama1485
    @juliasmanyama1485 21 день назад

    ❤❤❤❤

  • @AvelineWalubati
    @AvelineWalubati 7 дней назад

    Super star😊😊

  • @JosephMagnus-eh8tq
    @JosephMagnus-eh8tq 17 дней назад

    Utengweeeeee😂

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 21 день назад +8

    Mungu ni mwemaa 🎉🎉

  • @MariaThomas-wm9iq
    @MariaThomas-wm9iq 19 дней назад

    Huyu nakipaj atumii nguv kukuchekdha😅

  • @noraazan9124
    @noraazan9124 13 дней назад

    Hahaha ila Eliud Jaman duuuu

  • @neemakisaka4089
    @neemakisaka4089 16 дней назад

  • @NuruKonja
    @NuruKonja 16 дней назад

    Nakukubali sana

  • @zenahpaul423
    @zenahpaul423 19 дней назад

    Nauliza jeeee

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 16 дней назад

    Mnacheka Mama wa wenzenu

  • @JackobLaphael
    @JackobLaphael 20 дней назад

    Naenjoe sana na wwe kaka

  • @NeemaMsuya-kk6bs
    @NeemaMsuya-kk6bs 21 день назад

    Kilasa 😂😂

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 17 дней назад

    Kamera man akajifunze video hazielewek

  • @user-vv5pf4rj9w
    @user-vv5pf4rj9w 20 дней назад

    Kipajiiii😅😅😅

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 20 дней назад

    Saf sanaaaa🥰🥰🥰

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 17 дней назад

    Kijana anajua kuchekesha

  • @lusekelomasungwa5304
    @lusekelomasungwa5304 16 дней назад

    Hiiii video walikuwa wanarekodia kiswaswadu?

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 15 дней назад

    kitu nimependa eliud hua hatukani kwenye uchekeshaji wake.

  • @sumillohabdallah3259
    @sumillohabdallah3259 17 дней назад

    Hahahahaha ila Eliudi

  • @eliasmwakijebele9480
    @eliasmwakijebele9480 10 дней назад

    Ukiona elfu 2000 ujue ni mnyakyusa mwenzio

  • @Matimila-Boy
    @Matimila-Boy 20 дней назад

    Safiii

  • @Maycojr.
    @Maycojr. 9 дней назад

    😂😂😂😂😂 nomaaa