Madaraka Nyerere Hajasema KWELI - Mohammed Said

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 243

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 2 месяца назад +8

    Mheshimiwa Bwana Mohammed Said Ongera sana.
    MwenyeziMungu anazo sababu za kukuweka hai mpaka leo kwa hakika tunamshukuru.
    Kama siyo kitabu chako hii Leo tungedanganywa sana kuhusu historia ya kweli kuhusu tanganyika na sasa tanzania.wote wanaopotosha historia hii adhim ukweli wanaujua !
    Familia ya Mheshimiwa Bwana Abdulwahid Sykes ndiyo kinara wa mapambano ya kupigania uhuru wa tanganyika huo ndiyo ukweli wapende wasipende ukweli huo haufutiki.
    Siku zote uongo hauna mrefu na wazee walisema (Ukweli ukidhihiri uongo ujitenga ) Kwa hiyo Bwana Mohammed Said tuanakupongeza sana kwa kutuandikia historia ya kweli.
    Aksante sana.
    Na kingine wanachosahau wapotoshaji nikwamba WAJUKUU WA WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA BADO WAPO.
    SHUKRAN.

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 месяца назад +4

    Mashallah sheikh Mohammad naneno yako mazuri na ya ukweli kabisa❤❤❤❤

  • @abubakarismail6365
    @abubakarismail6365 2 месяца назад +9

    Allah akulipe kila heri mzee wetu

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Месяц назад +5

    WAISLAMU NDIO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA, NYERERE ALIIANDALIWA TUU ILI TANU ISIONEKANE CHAMA CHA DINI.

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 16 дней назад

      Waislam kila kitu wao, 😅😅

  • @OpenUniversityManyaraReg-ot6lk
    @OpenUniversityManyaraReg-ot6lk 2 месяца назад +9

    Sema mzee kabla hujaondoka kwenye uso wa dunia historia ya kweli tujue

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 Месяц назад +3

    Baadhi ya mikutano ya kudai uhuru ilifanyika misikitini. Historia inaonesha msikiti wa ahmadiyya uliopo mnazi mmoja ni moja ya misikiti iliyotumika chini ya uongozi wa sheikh mubaraka ahmad amabye alikuwa ni miongoni mwa washauri wa namna ya kupata uhuru. Pia nyumba ya marehemu sheikh amri abeid kaluta ilitumika zikiwemo na kina abdul sykes na wengine Na hata jina la tanzania lilitokana na mashindano ambapo muislam mmoja wa ki asia wa ahmadiyya alishinda na jina alilopendekeza Tanzania likapita. Hofu imewatawala kiasi cha kupotosha hata ya kidunia. Nchi ilikaliwa na kanisa isingekuwa rahisi kuupata uhuru na lazima kuunda mbinu nje ya kanisa na ikumbukwe uislamu ndio pekee unaofundisha uhuru na namna ya kuuishi. Viva islam

    • @AmanMediaTz
      @AmanMediaTz Месяц назад

      Hehehe nyie watu mnanongwa na chuki na kanisa ....siku zote kokote kuna mmoja anakuwa kichwa inawauma Sana kuhusu Nyerere, popote pale duniani awe revolutionary awe politician, awe Nani sijuwi kuna mmoja atashini zaidi ya wengine inakuwaga hivyo, Uhuru watu wengi waliupighania ila hii ni Tanzania sio Macca

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Месяц назад +2

      ​@@AmanMediaTzNenda kanisani jumapili mkafirane wenyewe kwa wenyewe Kanisani Magorila meusi yaliotoka Tanzania hujui chochote maviiiii kunuka Wewe

  • @xlmapunda7371
    @xlmapunda7371 2 месяца назад +10

    Huyu bb nampenda sana anavyoelezea historia ya nchi yetu napenda kumsikiliza hachoshi

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 2 месяца назад +2

      Historia ni sawa lakini udini unatoka wapi? Kama yanga haikuhusika si aseme tu, sasa kulalamikia kuwa uislamu hautajwi kwani ukristo umetajwa wapi kuwa ndio umehusika?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      ​@@comsmkemwa2671Sio uislam kutajwa au ukristo, kuna ubaguzi ktk dini za watu baada ya uhuru,huo ndo ukweli watu walio saidia uhuru wengi walikua ni Islam na baada ya uhuru walisahaulika nahata kutajwa hawa kutajwa,polepole wakasahauluka, kuandika historia huyu bwana amewatoa wengi gizani,historia zimebadilishwa kwa nia Ovu

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Месяц назад +1

      ​@@comsmkemwa2671Huna mpango wowote umasikini tu unakusumbua tumbili jeusiiiiii hilooo 😂😂

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 2 месяца назад +6

    Barikiwa mzee Mohammed Niko upande wako historia ya nchi yako haitakusahau na ukweli siku zote haupotei 😂😂 na mdundo uliouweka ndo unaniliza mzalendo 😂😂

  • @nuhumdota2108
    @nuhumdota2108 2 месяца назад +2

    Hongera mzee kwa kutuambia ukweli na tunaomba ututengenezee kitabu cha ukweli 💯. Mungu akubariki

  • @SwaleheLiyoba
    @SwaleheLiyoba 2 месяца назад +9

    Nyerere Ali ondowa istori ya kweli kila mahala alijiweka yeye mwenyewe

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 2 месяца назад

      #NONSENSE

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 2 месяца назад

      @@wadeelegbogun3015 ukweli haujifichi katu mutaumia sana baada ya kuona ukweli unazungumzwa, Nyerere ameficha mambo mengi, ameua sana waliompinga, na adui mkubwa wa waislam.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 месяца назад

      ​@@wadeelegbogun3015JIULIZE KUNA CHAMA KINACHOENDESHWA NA MTU MMOJA?! YANI MTU HUYO HANA NAIBU WALA KATIBU, MWEKAHAZINA NA KADHALIKA?!HAWA WOTE WAMEPIGWA BOMU AU VIPI NDIYO MAANA MAJINA YAO HAYAONEKANI KTK HISTORIA NA JINA LINALOONEKANA LA ALIYEILETEA TANGANYIKA UHURU NI JINA MOJA TU?! JIONGEZE BABA ACHA USHABIKI 😂😂😂

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      ​@@wadeelegbogun3015huo ndo ukweli,hata leo serikalini wanaamua wenyewe kujiendesha bila kuwashirikisha raia,na habari nyingi ndani zinabadilishwa na raia hawajui kitu

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Месяц назад +1

      ​@@wadeelegbogun3015nonsense Bibi yako mbwaaaa koko 🐄🐄🐄

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 2 месяца назад +8

    Mzee mohammed nakuelewa sana .andika kitabu cha historia halisi kuhusu jambo hili.tunaongopewa

    • @Mkonkotolyo
      @Mkonkotolyo 2 месяца назад +2

      Kitabu alikwisha andika siku nyingi na kipo madukani,tafuta kitabu kinaitwa "MAISHA YA ABDULWAHID SYKES,utapata histroria yoote.

  • @salehattas5166
    @salehattas5166 2 месяца назад +2

    Nyerere alivunja chama cha kiislamu Al jamiyatul islamiya akaanzisha bakwata kwa nn avunje chama cha kiislam halafu aanzishe chama cha kiislamu

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 месяца назад

      Alifanya vizuri sana kufuta chama cha udini bila hivyo tungekuwa tunachinjana kama wanyama.

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 месяца назад +1

      ​@@Joe-tr2vk mbona kulikuwa vyama vya kikristo pia mpaka leo zipo jumuiya za kikristo

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 месяца назад

      @@ahz6907 Vipi hivyo,unaweza kuvitaja kwa majina? Jumuiya ni sawa na vyama?

  • @hajilanga8181
    @hajilanga8181 2 месяца назад +4

    Allah akupe Umri Mrefu na haya yote unayosema Allah akujaalie uyaweke katika maandishi

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 месяца назад +3

    Mohamed yuko sawa shida iubwa waliondika historia ya uhuru wanamuonyesha Mwal Peke yake,haya ni makosa makubwa sana,hakuwa peke yake na pia ina onyesha uelewa mdogo sana

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      Nia yao Ovu kupoteza ukweli wa historia ya nchi

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 Месяц назад +1

    Nyerere hawezi kufutika Africa,Duniani.

  • @aginiwetandala2305
    @aginiwetandala2305 7 дней назад

    Na Abdul Sykes alikufa kwa tatizo Gani mwaka huo 1968

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 2 месяца назад +2

    Tatizo kubwa watu hawa wengi wengi wao hawapendi ukweli na ndio sababu watanzania wengi mbumbumbu wanaburuzwa na wanasiasa wanavyotaka.

  • @AmanMediaTz
    @AmanMediaTz Месяц назад +4

    Nyerere alikuwa na Maono ya taifa la Tanzania likae pamoja Bila Udini Bila ukabila, watu waishi kwa umoja na upendo ila wewe maono yako ni waislamu tuh..... Akili ndogo sanaa

    • @JohnBenedict123
      @JohnBenedict123 18 дней назад

      Ni kweli kabisa. Nimewasikiliza Mashehe wengi wakisimulia historia ya nchi hii wanakuwa wanalenga maono ya uislamu tuu. Ndo maana hata historia wanazotoa zinakuwa zinaegemea upande mmoja

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 16 дней назад

      Ndugu hawa waislamu ni wa kuwasamehe tu, na huyu mzee ni mamluki shetani anaemtumikia anamjua peke yake

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 2 месяца назад +3

    Hii nchi Ina shida sana history inapotoahwa

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 2 месяца назад

    Madaraka kweli UNAIPENDA YANGA POKEA🎉🎉🎉 YAKO KUPOTOSHA. DUUUUH

  • @AmanMediaTz
    @AmanMediaTz Месяц назад +3

    Ukitaka kujuwa Nyerere alikuwa kichwa we tafuta wapighania Uhuru wa mataifa ya Africa uone big role ya huyu jamaaa Nyerere. The guy was brilliant mkubali tuh kwa hilo aliwazidi maarifa watanzania wengi sanaa .. Pia tunakubali watu wengi walimsaidia au walijihusisha na harakati za uhuru wa Tanzania....Ila hii ni Tanzania sio Macca, Tanzania ni inchi ambayo ina watu wenye dini mbali mbali na makabila mbalimbali acheni kupotosha na kupandikiza shuki

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад +1

      Sio kweli, hakuna mtu ana nia ya kuifanya Tanzania kuwa macca,umepitiliza kifikra

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 Месяц назад +1

      🦍🦍🦍🐒🐒🐒🐄🐄🐄💯😂😂😂 hujui chochote maviiiii kunuka tumbili jeusiiiiii wewe na Wala hujui Asili Yako na History yako mbwaaaa koko 🐄🐄🐄 wewe

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 16 дней назад

    Ila waislamu Mungu awasamehe, huyu video zake ni kumbukumbu tosha, ayo anayoropoka ipo siku atawaliza wajukuu zake. Tanzania udini asahau, labda ahamie uarabuni kwa wakoloni wake.

  • @mtambogeof5648
    @mtambogeof5648 2 месяца назад +4

    Yote unayosema ni kweli kabisa, ni kweli kabisa kabisa lakin imetokea nyerere akaonekana

  • @chieflowasa7320
    @chieflowasa7320 2 месяца назад +4

    Waambie ukweli mzee , waongo sana hawa hakuna alilolifanya zaidi ya dhuluma ya wazazi wetu na mwenzie kawawa

  • @salame05-zc2wg
    @salame05-zc2wg 2 месяца назад +1

    Allah akulipe kheri mzee wetu

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 Месяц назад

    Mzee Mohamed smhn sana mengi umeyazungumza na ni ukweli ulofichwa mpk leo hii bado tunaona mwl Nyerere ndiye aliyeanzisha Tanu na kila kitu ni yeye tu.
    Kwa maana hiyo pia inaonesha wazi hata umoja wa Tanganyika bila kujali kabila na ukabila na utumiaji wa lugha ya kiswahili ulikuwepo na si mwl Nyerere aliwaunganisha

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 2 месяца назад +2

    Nyerere ndo baba yetu watanzania na kiongozi mashuhuri si tu Africa bali duniani wote sisi wakristo na waislamu tanzania tunaishi kindugu nyerere ndo baba wa Taifa hili imeshaandikwa

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 2 месяца назад

      Baba yako peke yako na kanisani kwenu.

    • @kidaumtumbwi1128
      @kidaumtumbwi1128 2 месяца назад +1

      Bado hujamuelewa Bwana Mohammed said. Inaonyesha Mwalimu wako wa shule alipata tabu sana kwa kichwa hicho.

  • @msemakweli...
    @msemakweli... Месяц назад

    Mzee achana na udini kwasababu uhuru wa Tanganyika haukuletwa na dini flani bali harakati za watanganyika wote walionuia kujikomboa kutoka kwa utawala wa wageni. Makundi ya kidini hasa wakristo na waislamu pamoja na vikundi mbalimbali vya michezo na utamaduni vina mchango mkubwa katika harakati za uhuru wa Tanganyika. Mwl. Nyerere mwenyewe aliwahi kukiri mara nyingi kusaidiwa na masheikh wa kiislamu na hata maaskofu katika harakati zake za kutafuta uhuru, vivyo hivyo kawahi kusema kuhusu michango ya makundi mbalimbali ya kijamii kwenye harakati za uhuru wa nchi hii. Badala ya kutoa povu msikilize vizuri Madaraka anaposema Mwl. Nyerere alifanya mikutano yake klabu ya Yanga na hata kwenye taarabu ilikua kipindi gani. Usipotoshe ukweli kwa kulilia sifa za udini kwasababu wanaharakati wa uhuru waliendesha kampeni zao kwa kificho na katika platforms tofauti tofauti ikiwemo mikusanyiko ya michezo na burudani ikiwemo klabu ya Yanga hasa kwasababu kipindi hicho mikusanyiko ya kisiasa ilipigwa marufuku. Hoja yako kwamba kuna hofu juu ya mchango wa uislamu kwenye harakati za uhuru ni hoja dhaifu ambayo ni aibu kutolewa na mtu kama wewe unayejinasibu kama mwanahistoria kwasababu historia inajulikana wazi kwamba miongoni mwa wanaharakati wa kwanza wenye mchango mkubwa katika uhuru wa Tanganyika walikua ni waislamu. Kingine unaonekana unaumia sana Mwl. Nyerere (Mkristo) kuongoza harakati hizo hasa pale unaposema endapo Sykes angemchagua mtu mwingine basi Mwl. Nyerere asingeenda UN. Kwa akili zako unahisi Mwl. Nyerere alichukuliwa tu barabarani akaambiwa nenda UN🤔. Hujiulizi kwanini alichaguliwa Mwl. Nyerere na sio mtu mwingine? Hutaki kukubali walichoona wanaharakati kutoka kwa Mwl. hadi wakamkabidhi jukumu la kwenda kudai uhuru kwa Mwingereza. Pole sana!

  • @JoeZeno-q1b
    @JoeZeno-q1b Месяц назад

    Acha udini Mzee

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 Месяц назад

    Je Mzee Mohamed ktk kufanya utafiti wako huo uliwahi kuihoji familia ya Mwalimu Nyerere na ukipata nini huko kuhusu historia ya Mwl Nyerere?

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Mwalimu nyerere anastahiki kuoewa heshima yake kwa sababu pamoja na kwamba alishikwa mkono na wazee wa kiisilamu lakini nae jitihada yake imesaidia kwa kisai kikubwa

  • @GoodluckMalya
    @GoodluckMalya Месяц назад

    Tatizo unaweka udini na ukabila,nyerere aliwaza taifa zima

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 2 месяца назад +5

    Huyu mtoto wa Nyerere Madaraka simuamini sana maana kama aliweza kukubali kuwa Sanamu la Baba wa Taifa MJK Nyerere liliojengwa ETHIOPIA kuwa sura ya mzee wake kbs wakati SI kweli halinanii kbs🙄🤔

    • @CC-yo4oq
      @CC-yo4oq 2 месяца назад

      Umuamini, usimuamini, yeye anatoka jikoni na anajuwa ukweli. Mohammed ni mwanaharakati. Siku zote huandika anayotaka yaaminike kuwa kweli. Yeye msimamo wake ni wa kidini na kila chochote kinachosemwa huandikwa tofauti. Hii misimamo yake ameisambaza kwenye mitandao mingi iliyo hai na iliyokufwa. Yeye ni wale wa itikadi kali wanaotaka kupindua historia ili isomeke wanavyotaka.

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 2 месяца назад

      @@CC-yo4oq Naona umekulupuka mdau soma comment mimi sina neno na mzee Mohammed juu ya uwandisho wale ila mtoto wa MJK Nyerere tokea aliposema lile Sanamu ni kweli amesababisha wananchi wengi wasinuamini sasa amekuwa Muongo muongo tu

    • @kidaumtumbwi1128
      @kidaumtumbwi1128 2 месяца назад

      ​@@CC-yo4oq wewe kweli bwege mwenzio anaonyesha mpaka proof huoni picha hizo .
      Huyo alotoka jikoni alternatively ushahidi sio maneno tu.

    • @emmanuelburchard3153
      @emmanuelburchard3153 2 месяца назад

      Ile sanamu ya Addis ata mtoto Mdogo anakuambia siyo Nyerere. Hataaminika tena baada ya kashifa hiyo. Madaraka ansema hii sanamu ya baba yangu kabisa. Nyie mnamjua kuliko Mimi. Du sikumwelewa.

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 2 месяца назад +5

    Masikini Mzee Mohammed Said, hadi namhurumia anavyowapambania kina Sykes 😂😂

    • @Magotimwteregina
      @Magotimwteregina Месяц назад +1

      Sio anawapambania ndio ukweli wewe kwenye picha zato za kudai uhuru wa nchi hii umeona wapi baba askofu

    • @alexlugembe4816
      @alexlugembe4816 Месяц назад

      acha ufala John rupia alikuwa sheikh ?​@@Magotimwteregina

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      ​@@alexlugembe4816Sio sheikh John rupia lkn ni mmoja wao kati ya wengi walio Islam masheikh

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 2 месяца назад +3

    Huyu madaraka sijawahi kumuelewa.kumbe yanga waongo sana

    • @gweahshoo5120
      @gweahshoo5120 2 месяца назад

      Sasa waongo yanga au historia tuliyosimuliwa ndio waongo?

    • @AmirMbuyu
      @AmirMbuyu 2 месяца назад

      ​@gweaukihshoo5120 ukisha kuwa mshabiki wa Yanga, ujue kuna tatizo

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 месяца назад +1

    Historia Afrika % kubwa ni mkusanyiko wa masimulizi na pia tusisahau binadamu ana hulka ya "biased" upendeleo upande fulani. Tunaposimuliwa jambo tuwe makini . Mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Hakuna binadamu 2 watakaofanana ktk masimulizi 100%. .

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 2 месяца назад +1

      Ww sasa ndo unatakataa historia ya kweli na fuvu lako limejaa udini basi yaan apo kichwa chako kinakutuma mzee anasema ukweli anavutia upande wa waislam ndo ulichonacho ktk kichwa chako hakuna lingine mzee hajavutia kwake mzee anaelezea bila kupendelea kokote anasema ilivyokuwepo sahihi na siyo kudanganya danganya watu

  • @kayumbamafish7
    @kayumbamafish7 2 месяца назад +1

    Inshu sio udini tunata historia ya kweli ya tanganyika

  • @richardmakafu4791
    @richardmakafu4791 2 месяца назад

    Story teller Blessed

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 16 дней назад

    Hii youtube channel yenu inayosambaza udini, ipo siku mtaijua vizuri serikali ya Tanzania. Subirini uongozi wa uyu mama upite, upotofu wenu hautoacha upite bure.

  • @AllyKondoKimeza
    @AllyKondoKimeza 2 месяца назад +3

    Hayo yote ni ya kweli kabisa lakini amemsahau kaka yangu Saadani Abdu Kandoro aliyekua katibu mwenezi wa TAA sijamsikia kumtaja na wala kukitaja kitabu chake kiitwacho Wito au Mwito wa UHURU

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 3 дня назад

    Tatizo kubwa la uislam ni sheria zao na misimamo yao huwezi kuwapeleka kama nguruwe.mbona tunaona na tunasikia wenzetu wa kwajina la baba wameambiwa ruksa kuoana wanaume kwa wanaume na wana manabii na mitume sasa kwa muislam upuuzi huo hakuna watu wanafuata mungu anavyotaka sio shetani anavyotaka kwahyo kwa haraka tu shetani ndio anaepinga uislam duniani sio tz na kwa uwezo wa allah inshallah tutakua juuu

  • @OmaryBarua
    @OmaryBarua 2 месяца назад +1

    Hata viongozi wenyewe hawajui kwa undani historia ya mwalimu na vugu vugu la uhuru

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 2 месяца назад +1

      Kwasababu asilimia kubwa ya hao viongozi hawaijui history ya uhuru kwakuwa wazazi wao hawakuona harakari za uhuru kwani walikuwa vijijini, na vijiji vya kipindi cha mkoloni vilikuwa vipo ki primitive.

  • @haidarimfinanga9755
    @haidarimfinanga9755 2 месяца назад +2

    Siku Zote uongo hauwezi kushinda. Iko siku ukweli utaibuka hadharani.

  • @tam5262
    @tam5262 Месяц назад

    Historia haitajulikana unless inaingizwa ipasavyo kwenye mitaala. Kwa hiyo Bwana Said unaweza kulaumu watu ukidhani wanafanya makusudi kupindisha historia, ila kiukweli ni kwamba hawaijui hiyo historia!!

  • @IssaQuimeza
    @IssaQuimeza 2 месяца назад +3

    Miziki,ya nn, ?

    • @mwemezirashid2858
      @mwemezirashid2858 2 месяца назад

      Asee hata mm inanishisha akili ya kusikiliza

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir 2 месяца назад

      Huu mzik ni wa huzun kwa haya anayozungumza hli nalo unaitaj ufahamishwe kichwa kikubwa ubongo mdogo .

  • @jimmymungai522
    @jimmymungai522 2 месяца назад

    Madaraka hakueleweka kihivyo na mheshimiwa huyu. Na labda Madaraka anashindwa kijieleza ipasavyo, lakini mimi nadhani hakueleweka au kutafsiriwa vema. Kuhusu kukutana kwenye uwanja wa mpira au taarabu mimi sijui ila najua kuna wakati fulani mikutano ilifanyika ofisi ya Yanga waliokodi mtaa wa Mafia na Sukuma. Ni mikutano mingapi sijui lakini nadhani ni michache. Na viongozi wengi wa Yanga walikuwa wanachangia.
    Hii haiondoi kabisa ushiriki mkubwa wa akina Sykes.
    Kuhusu TAA/TANU kuanzishwa Tosamaganga hiyo cijui lakini kuna wakati familia ya Nyerere walikaa Tosamaganga ila sikumbuki ni miaka gani.
    Mzee huyu anapointi nyingi sana sahihi na Madaraka pia anazo ambazo inawezekana hajaeleweka. Vyote ni vema tuu, historia yetu wenyewe.

  • @DaudiWakachu
    @DaudiWakachu 24 дня назад

    MANTINKI
    Kuna watanganyika walisahaulika katika historia ya uhuru wa nchi hii.
    Udini hauleti MANTINKI kwenye uwasilishaji.

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 2 месяца назад +1

    Haya mambo basi tu.

  • @simbillamachiyya
    @simbillamachiyya 2 месяца назад

    Mshume Kiate wanamjua hao?

  • @musabarnabas7628
    @musabarnabas7628 Месяц назад

    Mzee, napenda madini yako. Ila unatumia muda mrefu kulalamika na kulaume. Nashauri utumie muda mrefu kutoa hiyo historia sahihi.

  • @joachimmapunda4125
    @joachimmapunda4125 2 месяца назад +3

    Mwalimu aliona hatari kubwa sana. Na ashukuriwe kwa kuizuia. Hii ni Tanzania. Ya Watanzania. Udini, ukabila havina nafasi Tanzania.

    • @sports007tv4
      @sports007tv4 2 месяца назад +1

      Mbona nyie mwaleta udini kwenye nchi waislam tulii ww uliona wap waislam wakipingana na serekal ila nyie sasa kma nchi ni ya kwenu

    • @mohamedmakambi4412
      @mohamedmakambi4412 2 месяца назад

      Soma brother.

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 месяца назад

      Nonesense

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 Месяц назад +1

      Ashukurie na nani hakuwa nalolote alikuwa anatisha watu tuuu kama hitler ukizingua ndani na nafasi yake ya kuwa Rais ndio ilimfanya mpaka wazee wetu wamuogope, walikuwa wakitudanganya eti kirungu chake hata watu mia hawawezi kukiinua😂😂😂

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 Месяц назад

      ​@@machintangachibwena5922huo ndo ukweli,wakubali wasikubali, wazee wetu waliogopa sana serikali yao

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Месяц назад

    TANU, NIMJUKUU WA WAISLAMU NA TANGANYIKA NI MJUKUU WA WAISLAMU.Ndio maana hawataki kuielezea historia halisi ya TANU Nyerere aliipata TAA,na akawashauri waislamu wabadili jina waite TANU.

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 2 месяца назад +2

    Hivi leo Tanganyika tunagombana kujua ni kina nani wa dini gani walishiriki kutafuta uhuru?
    Nilidhani wote walikuwa Watanganyika.
    Tukimaliza kuangalia udini si tutaulizana makabila?
    Tukimaliza makabila tutarudi katika koo!
    Kubwa tuache kupotosha kuwa Nyerere alikuwa kila kitu katika kutafuta uhuru. Kazi ya kuongoza harakati hizo haikufanywa na Nyerere hata kwa robo ya namna inavyotafsiriwa ama tunavyoaminishwa sasa.

    • @sturmiusbs
      @sturmiusbs 2 месяца назад

      Hatari sana huyu

  • @tam5262
    @tam5262 Месяц назад

    Maana unauliza "nani asiyejua" hili na lile, wakati unayejua ni mwenyewe!! Machapisho unayotaja inabidi yaingizwe kwenye mitaala, la sivyo utaendelea kulaumu ukidhani watu wanafanya makusudi ila hawajui!!!

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 2 месяца назад

    Hapa kinatakiwa historia ya kweli ya nchi si udini

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 месяца назад

    Hajui kitu madaraka

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 месяца назад

    Tumuombe Mama Samai uandike kitabu cha historia ya nchi hii kitumike shule za msingi italeta maana zaidi hadi secondary wajifunze,ndio njia sahihi ya kufuta kuto elewa huku

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 месяца назад

    tuletee historia ya Cecil Matola hatumjui kabisa

  • @danielevangelismtv3795
    @danielevangelismtv3795 2 месяца назад +5

    Acha udini mjinga mmoja tuu.

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 2 месяца назад +2

      Ww ndo fuvu lako limejaa udini kenge ww!! yaan Nyerere akakae vikao na wachezaji wa Yanga ndo kutafuta uhuru acha upuuz

    • @danielevangelismtv3795
      @danielevangelismtv3795 2 месяца назад +2

      @@MuuYascohy-oc7os Usikurupuke,Yanga ni waume zako wewe na unawajua wewe. Tunapokuja kwenye swala la nchi mimi sidhani kama tumapaswa kuwe habari za Uislam na ukristo ama yanga na simba. Af naona kama hujielewi Mke wa kenge wewe.

    • @danielevangelismtv3795
      @danielevangelismtv3795 2 месяца назад +2

      Madaraka aliyezungumuzia yanga, na Huyo Mjinga anaezungumza habari ya u-shetani wa kiarabu pamoja na wewe mke wa kenge mnapashwa kuzungumza reel story bila kuweka itikadi zenu za kipumbavu wajinga ninyi

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 2 месяца назад

      @@danielevangelismtv3795 kuma la mamaako ujielewi ww na wazee wako kuma ww

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 2 месяца назад

      @@danielevangelismtv3795 Evangelism matako sana ww endelea kumtumikia Paulo alafu uendelee kuleta usenge wako apa matako bar ww na ukijibu tena kwa matusi shuhuli unayo choko wa Paulo ww

  • @SaadKoga
    @SaadKoga 13 дней назад

    Mzee mohamedi madaraka anapotosha ukweli kubwa mtoto wa Mzee Nyerere hakumpi nafasi ya kusema uwongo awadanganye watoto yanga na tanu wapi na wapi makuli wale hawangeweza kafanya mkutano ,Mzee sykess na wenzie ndio nembo ya uhuru ,nawajua majina wazee Hawa ukitaka nitakutajia madaraka aniambie yupi kati ya hao alikuwa kiongozi wa yanga

  • @MackameHassani
    @MackameHassani Месяц назад

    Ukweli nikwamba hawawezi kuuongelea ukweli kwakuwa wataoneakana waislaam ndo walishiriki kwa asilimia kubwa.

  • @sturmiusbs
    @sturmiusbs 2 месяца назад +1

    Nadhani huyu bwana anakosea kuislamisha jambo hilo badala ya kutambua kuwa walikuwa ni watu binfasi walioshirikiana katika kufanikisha hilo. Hao waanzilishi walitambua kuwa Nyerere ndiyo alikuwa na uwezo wa kuwaongoza wengine. Hivi hakuna wakristo walioshiriki? Mbona akina rupia na mbowe hawatajwi. Huyu mtu ni hatari sana

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps 2 месяца назад

    Shekhe mohamed said waeleze ukweli tu sasa twataka nchie hawatuelezi kitu nchie ya kwetu

  • @mohamedmakambi4412
    @mohamedmakambi4412 2 месяца назад

    Masha Allah Allah akuweke mzee wetu akulinde na hasad na chuki za wasiopenda ukweli hapana sio udini hapa tunaongelea uongo na dhuluma. Someni ndugu zetu msiokuwa waislam mohd said anatoa reference za vitabu wengine wameandika hata sio waislam. PROPAGANDA PROPAGANDA PROPAGANDA!!!!

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 месяца назад

    MZEE WANGU HESHIMA YAKO KWANZA:
    WALA USIHOFU JISTORIA YAKO YA UKWELI ITAKUJA KUSANYWA TU NA ITAKUWA WAZI ILIMRADI HAYO UMEYAANDIKA ASANTE SAAAANA KWA UKWELI HUO.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 16 дней назад

    Kweli uzee sio hekima, kuna wazee wengine ni wapumbavu na wapotoshaji. Uyu babu hana ata moja la kusifia juu serikali yake wala Mwalimu Nyerere aliemfanya leo anaropoka ujinga wote kutokana na nchi yake kuwa huru. Mpuuzi uyu mzee, Uislam pelekeni syria au iran sio Tanzania yetu. Dini na makabila hayana nafasi.

  • @GoodluckMalya
    @GoodluckMalya Месяц назад

    😂😂unapigania dini sio taifa

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 2 месяца назад

    Historia ya kwetu hapa inaonyesha tu kuwa Mkoloni(mwingereza) hawakuacha chochote,walikuwa wakatili,wanyonyaji na wauwaji tu. Kumbe waliacha shule za maana,barabara za lami mijini,walijenga majengo.

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 2 месяца назад

    Miziki ya maombolezo niyanini

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 2 месяца назад

      Fuvu lako akili zimeondoka na nguruwe udini umekujaa mtu anaelezea historia ya kale ww umebaki na ujinga wako wa Paulo tu

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 2 месяца назад +2

    Huyu bwana Mohammed ni msomi lakini ni kolo mengine yupo sawa lakini ni kolo

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 месяца назад +1

      Acha kubadili upepo wa historia kwa kutumbukiza habari za Deportivo de Utopolo. Wapigania uhuru wote walikuwa Simba ali Sykes Abbas Sykes na kaka yao wote hao simba sports Club achana na madaraka Nyerere na Deportivo deUtopolo yake..!😅😅😅

    • @w4058
      @w4058 2 месяца назад

      ​@@hassanmfaume4522achana nao huyo kolo yeye mwenyewe

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 2 месяца назад +1

    Hata Dini iko hivyo hivyo Vitabu vime andikwa lakini kuna Madheebu. Hizo ni Porojo za Saigon Club hizo una tuletea

  • @kandorohussein6890
    @kandorohussein6890 2 месяца назад +1

    Ukweli Historia nyingi sana hapa nchini zimepotoshwa kwa makusudi mazima ya kuwapamba wasiosyahili na kuwafunika waliostahili .Kuanzia Mapambano yabkuleta Uhuru,Mapunduzi ya Zanzibar,Vita vya Kagera n.k.Ni wakati muafaka sasa watu wanaojua Historia hizi kujitokeza kusema ukweli ili kuinusuru Historia halisi

    • @nevermind4789
      @nevermind4789 2 месяца назад

      Sio nchini sema duniani kwa sababu historia huandikwa na walioshika madaraka hata historia ya Hitler haina usahihi 100% pia

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 месяца назад

      ​@@nevermind4789hususan kuhusu mwisho wake wanasema alijiuwa ila mm naamini Hitler yu hai ujerumani anakula kuku kwani wajerumani wanampenda sana ila mayahudi na wafuasi wao ndio hawampendi..!

  • @shafiijaribuni9844
    @shafiijaribuni9844 2 месяца назад

    HAMIS MFARANYAKI HAKUA NYUMA

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Kwanza nyerere ni mdogo kimri wapo watu mpaka sasa wapo hai ambao walimuona nyerere wakati huo akiwa bado mdogo na chimbuko lake na kila kitu

  • @simbillamachiyya
    @simbillamachiyya 2 месяца назад +1

    Tuseme tu Kuwa, Qur'an imesema, "Lakini Watu wengi hawana shukrani," watu hawapendi ukweli, hata uwape kitu gani?

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy 2 месяца назад

    Alikuwa anafunga swaumu na waislam

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Месяц назад

    MTANZANIA MWENYE AKILI TIMAMU AJIULIZE TAA IMEUNDWA 1929 NA WAISLAMU NA MWALIMU NYERERE ALIZALIWA 1922,.HIVI MTOTO WA MIAKA SABA ANAWEZA KUUNDA CHAMA? NYERERE ALIINGIZWA NA WAISLAMU MIAKA YA 50,NA AKAFANYWA KIONGOZI WA TANU 1954 .

  • @AliIDDIJuma-cj9pl
    @AliIDDIJuma-cj9pl Месяц назад

    Ali iddi kutoka Zanzibar mm nasema maono ya Muhammed said kama ni ya kweli kuhusu history ya Tanganyika basi apewe kongole yake maana sio rahisi kuandika vitabu vingi vyenye ukweli. Uzuri wa bwana said Mohammed anatoa reference za waliomtangulia kwa kuwahojibyy mwenyewe anafatilia . Sasa anapoibua ukweli kwa juhudi zake watu wasikasirike.

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 2 месяца назад +17

    HOFU YA PILI YA MWALIM NI KUFUTWA KTK HISTORIA HALISI YA MAPAMBANO YA TANZANIA! KUNA WATU WALIFUTWA NA KUSIMAMISHWA JINA LAKE! MWALIM ATAPOTEA MRADI WATU WANAOIJUA BADO WAPO NA WAMEAMUA KUFUNGUKA JUU YA HISTORIA YA TANGANYIKA! NA BAADAYE TANZANIA. MWALIM ANAYO YA KUMPONGEZA ILA SI KILA KITU

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 2 месяца назад +1

      Kwani HISTORIA anaandlka Nyerere

    • @nevermind4789
      @nevermind4789 2 месяца назад +1

      @@edwardmkweleleHistory is written by the winner

    • @RamadhaniChakapu-f6x
      @RamadhaniChakapu-f6x 2 месяца назад +3

      Shindikizo la mamlaka unalijua? Msikilize vzur profesa Asad aliyekuwa mkaguzi mkuu ndo utajua mamlaka inanguvu kiasi gani kubadili ukweli na kiandikwe watakacho wenye mamlaka

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 2 месяца назад

      Kwani unaosema wamefutwa je wangetajwa. Wangerudisha ukoloni?, hoja za kijinga kabisa,

    • @AyubuKikoti-gu5mb
      @AyubuKikoti-gu5mb 2 месяца назад +1

      Mzee HUNA hoja,sio Kila kitu kingeandikwa kwenye historia,kuna muda ulifika wakagundua mahala wanapofanyia vikao wakaanza kuwawinda,ndio maana Kwa umahiri wa mwl na wenzake wakaamua kuanzisha vilabu Hivyo Ili kufanyia harakati zao huko,unabisha nn Mzee,?

  • @mutlack
    @mutlack 2 месяца назад

    Dini waislam wahanga na kabila wahaya wahanga wa historia ya nchi hii

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 месяца назад

    I meant Mhe,Dr Mama Samia aruhusu iandikwe upya, mvurugano wa historia ya nchi yetu inaonyesha hatupo organized.

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 2 месяца назад

    Halafu swala la kimsaidia Uhuru na Nyerere,waliofanya hawakufanya kutokana na uislamu wao. Walifanya kama watanganyika wakaaji wa Pwani ambao wengi walikuwa waislam. Hawakukaa msikitini wakawaitisha waislam wajitokeze kusaidia uhuru.

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 2 месяца назад

    Kusoma na kuelewa ni changamoto sana hasa kama mwandishi au msikilizaji amekumbwa na "Bias".

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 месяца назад +2

    Mzee mtukome nyerere

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 2 месяца назад +2

    Lakini Mz Mohamed,ukiandika historia ukafunga kitabu,siyo kweli kuwa hakuna jambo ambalo wewe lililokupita na hukuliandika. Sasa usiwashangae wanaofahamu usichokifahamu wewe

    • @rodneylamai2847
      @rodneylamai2847 2 месяца назад

      Shida huwa inakuja hapo, nimemfuatilia sana huyu Mzee...anaamini yeye tu ndio yupo sahihi na anajua vyote, pia hataki kurekebishwa 🤣🤣

  • @DamianCyprian
    @DamianCyprian 2 месяца назад

    Sawa

  • @focusmasunga1584
    @focusmasunga1584 2 месяца назад +1

    Uto watapinga na hili

  • @asherymwakilasi9863
    @asherymwakilasi9863 2 месяца назад

    Waislam watanzania lakin mzee said,waislam kama watanzania mi naona sawa iwekwe sawa tu hatuna haja ya kubishana jaman

  • @SaadKoga
    @SaadKoga 13 дней назад

    Acheni unafiki walioleta uhuru na kudai uhuru wanajulikana tafuta waanzilishi wa taa na tanu hao yanga watutajie viongozi wa yanga happ

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 2 месяца назад

    Inawezekana akifanya yote: Yaani kwenye mikusanyiko ya mpira na pia kwa kina Sykes. Kuna mikutano ya hadhara na ya siri, ya ndani.

  • @philchiputa2425
    @philchiputa2425 Месяц назад

    Kwa nini umeingiza uislam? Kwani haiwezekani kuwa kuhudhuria mechi za Yanga ilikuwa ni mmoja wa mkakati wa mawasiliano ikiwa ni pamoja na hayo unayoyaelezea? Nimesikitishwa na kuingiza uislam kwenye hayo mazuri unayoyaelezea

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 месяца назад

    huyu madaraka hajui chochote kuhusu historia ya wapigania uhuru wa tanganyika!!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 месяца назад

      Anajua ila anafanya kusudi tu kwani unafikiri hajuwi uongo uongo huu wamezoea wazanaki kuwaongopea watanganyika

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 месяца назад

    Wanaficha ukweli

  • @geofreylusungu805
    @geofreylusungu805 2 месяца назад +1

    Hii timu ya Yanga ilkuwainacheza na timu zipi mbona manasema Yanga tuu ilikuwa inacheza pekee yake?

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 2 месяца назад

    LEO NIMEELEWA KWAMBA DHIMA YA YAKO NI KUONESHA MCHANGO WA ISLAMIC KULETA MABADILIKO..ILA UPANDE MWINGINE WALIKUA POOZO! NI KITU KIZURI..

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 2 месяца назад

    Kama mitandao inavyo Sema Sema mambo ya mashoga hamyazuii ila ndo manayachochea tu. Mikemeo huwa inakemewa kwa Neno la Mungu nje ya hapo ni kuchochea tu

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 2 месяца назад +2

    Hao ndo wakina lukuvi na samweli sita waliogpa na jukhofisha watu kuhusu wazanzibar .sabab uislam.et watu million 46 ,waogopa wazanzibar million moja. Woga au chuki ya uislam?

  • @simbachui2281
    @simbachui2281 12 дней назад

    BRO-KWA WEWE KUANDIKA KITABU..HAINA MAANA NDIYO FACT,,,,HIZO NI STORY-TUNAJUA STORY YA NYERERE-ACHA MAMBO YAKO HAYO...

  • @JuliusMugyabuso
    @JuliusMugyabuso 2 месяца назад

    Madaraka mbona hapingi Hilo,maana yake kati ya sehemu ya hayo walikuwa wanaendesha mikutano hata club za starehe.ni kama campaign Haifanyiki sehemu Moja.

  • @salehattas5166
    @salehattas5166 2 месяца назад

    Mikutano haikufanyika kwenye club ya mpira wala taarabu ni uongo