@@machaliakulima76 Watu wanajua lakini wanaogopa kusema tu kuwa kifo kibaya cha Karume Mwalimu alihusika. Mwalimu alikuwa na wasiwasi kuwa hurnda siku moja karume akaitoa Zanzibar katika mungano.
@abdifaraji2883 nyerere alikua adui mbaya sana kwa jamii yawaislam mapinduzi yanzanzibar ndie Alie yapanga nakuuwa waislam wengi kwa kisingizio cakuwapindua eti watu weupe Masikitiko makubwa baadhi yawaislam wakashiriki kuwauwa waislam wenzao. Nyerere alikula njama na wakoloni waingereza nahivyo wakakubaliana kuleta wanajeshi wa Kenya kuja kufanya mauwaji na Zama hizo hizo ndio ikapacikwa Mombasa kwenye ardhi ya Kenya Mombasa sio Kenya . Lengo kuu ilikua kuangamiza uislam mwambao wa bahari Hindi. Nabada ya hapo ikaletwa hila ya vita vya kagera ili kumuondoa pia Id amin dada. Yote haya yalifanyika kwa sirikubwa namasikitiko Hadi Leo waislam wa Tanzania wapo bado tu kwenye ujinga hawataki kujua ukweli Bali wao nikukaririshwa tu
MV MAPINDUZI IHAIKUUNDWA CHINA NI JAPAN KTK KAMPUNI YA NIIGATA Engineering lkn umeme. Lift ya kwanza ILIKUA beiltjaib. Simu ikiwekwa pale Serena hotel.
John Okello ndio Ali ongeza Mapinduzi akisaidiwa na Tanganyika Karume alichomekwa na Tanganyika Ndio maana Tanganyika Tanganyika bado inaongoza na kuhakisha Jumbe Mwinyi waliwekwa kutawala
Haya hayakuwa Mapinduzi yalikuwa ni mauwaji yaliyopangwa Kwa makusudi kuwauwa Watu na akisaidiwa Na Laana tu Allah Mungu ampe adhabu Kali huko aliko kaburi limbane Sana Kafiri la Kitanganyika.
KWA PESA ZAKE 😂😂HAKUIBA NA MENGI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAONGO WANAFIKI TAMAA HAKI KAILETA NA ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
Kauliwa siku hiyo hiyo 07.04.1972 pale pale Makao Makuu ya ASP Ijumaa saa 11 jioni, Capt Ali Humoud ndo alomuua AA Karume. Humoud aliuliwa na dreva wa AA Karume
Haijui vizuri historia ya Zanzibar na Maponduzi yake. Vijana waliokuwa katika Police Mobile Force wanayajua vizuri, kwani walikwisha pata habari miezi 2 kabla hayajatokea, lakini walinyimwa silaha na maofisa Wazungu, na wengi wao wakapewa ruhusa ya kwenda kulala majumbani kwao siku ya mapinduzi, yaani late pass.
Ndugu nimekukubali, ingawa ni mbara lakini nilikuja Unguja nikiwa na miaka 13, 1969 Disemba 29, lakini nimeikuta Zanzibar iko bado na moto wa mapinduzi, Abeid A.Karume akisema CURFEW wote mnajifugia ndani siku kadhaa isipokuwa jeshi, polisi na mgambo wanatamba nchi nzima, ilikuwa raha kweli kweli.
Sheikh umesema mengi mazuri lakini mengi hukuyasema ya ubaya. Labda watu Unguja walikuwa na raha. Pemba tulisumbuka sana hasa 1969 - 1972. Njaa ilitupiga vibaya sana mpaka hata vilimo haviwi. Yakaja maduka ya ukoo tukiletewa sembe manjano mafunza watupu. Wapanga foleni ukifika mlangoni unaambiwa limekwisha. Karafuu ilikuwa haina faida mwisho wakaja serikali kuikata ili waPemba wazidi kufa njaa. Wakata mikarafuu kupanda raba na iliki. Iliki haikuwa. Tukaanza kufanya magendo ya kuuza karafuu Mombasa na Tanga ill tupate kula. Akaja Mh Rais Karume, Mtabwe Daya akasema nyie ndio munafanya magendo atakae kamatwa atapigwa risasi. Watu wakipigwa ovyo na watu walowekwa kwenye ubalozi wa nyumba kumi kumi. Ah inatosha Pemba tulipata adhabu sana mpaka leo. 😢😢
cha kushangaza yani nchi yetu hii kila mzee wa miaka hiyo ana sema maisha yalikuwa bora kenye uongozi wa zamani ila sio sasahivi basi tume logwa ama kweli
Zanzibar ni Tanzania 🇹🇿 hao watu unaowasema ni Waarabu,wahindi, wa Iran nk hao wote ni foreigners, Zanzibar, Pemba nk hii ni Tanzania 🇹🇿 hakuna kitu kinachoitwa wazanzibar, wapemba.
mzee wetu anajua mengi sana na mamenifungua mengi hongera kwako black and White
Hatuwezi kujivunia mapinduzi kwasababu yalikuwa mauwaji ya wazanzibar kama alivyosema mzee Hashil anaomba radhi walihadaiwa
Huyu mzee Mungu amuweke anaifahamu sana Zanzibar kuliko viongozi waliopo sasa hawa ndio watu tunaowataka ktk uongozi
😊
Nimeipenda hy hameni mabondeni na wanajibu kijeuri et mumejenga wenyewe kwenye mashamba ya mpunga
Mr x ndie aliemuuwa karume na ndie alieuwa wazanzibari 12/1/1964 akaweka ukoloni wa kitanganyika laana tullah Nyerere
Waliomuua AAKarume ni makomred chini ya uongozi wa Abdulrahman Babu si Nyerere
@@machaliakulima76 Watu wanajua lakini wanaogopa kusema tu kuwa kifo kibaya cha Karume Mwalimu alihusika. Mwalimu alikuwa na wasiwasi kuwa hurnda siku moja karume akaitoa Zanzibar katika mungano.
@abdifaraji2883 nyerere alikua adui mbaya sana kwa jamii yawaislam mapinduzi yanzanzibar ndie Alie yapanga nakuuwa waislam wengi kwa kisingizio cakuwapindua eti watu weupe
Masikitiko makubwa baadhi yawaislam wakashiriki kuwauwa waislam wenzao.
Nyerere alikula njama na wakoloni waingereza nahivyo wakakubaliana kuleta wanajeshi wa Kenya kuja kufanya mauwaji na Zama hizo hizo ndio ikapacikwa Mombasa kwenye ardhi ya Kenya Mombasa sio Kenya . Lengo kuu ilikua kuangamiza uislam mwambao wa bahari Hindi. Nabada ya hapo ikaletwa hila ya vita vya kagera ili kumuondoa pia Id amin dada.
Yote haya yalifanyika kwa sirikubwa namasikitiko Hadi Leo waislam wa Tanzania wapo bado tu kwenye ujinga hawataki kujua ukweli Bali wao nikukaririshwa tu
Mjinga mpe cheo, wewe ni kubwa jinga
@@machaliakulima76 wazanzibari si wajinga kama wewe msione tunanyamaza ila hakuna tusokijuwa nyerere ndio alowatuma na akapanga njama
MV MAPINDUZI IHAIKUUNDWA CHINA NI JAPAN KTK KAMPUNI YA NIIGATA Engineering lkn umeme. Lift ya kwanza ILIKUA beiltjaib. Simu ikiwekwa pale Serena hotel.
A nice interview, full information
John Okello ndio Ali ongeza Mapinduzi akisaidiwa na Tanganyika
Karume alichomekwa na Tanganyika
Ndio maana Tanganyika Tanganyika bado inaongoza na kuhakisha Jumbe
Mwinyi waliwekwa kutawala
Nimejifunza sana kuhusu zanzibar , mahojiano muhimu sana kwa vijana wa sasa
Aquarium kubwa Africa ilikua fisheries .abayo wa bara wameivunja.chuo cha uvuvi 😅
Wahadimu sio wakusini maana ya hadimu ni huduma wahudumu ni watu kutoka bara waliokua wanatumwa mashambani 11:07
Halaiki kwanza sisi tuliokuwa tunasoma Pemba tulifundishwa uwanja wa Ndugukitu anakumba Said 😂
Television ya rangi ya kwanza Afrika
Said Miraji ambae nilisoma nae pamoja mwishoni mwa 70s mpka 81 kule kisawani Pemba
darajani canal imefukiwa 1932 na treni ya znz ilianza 1905 na safari yake ilianzia ngome kongwe ama forodhani na kuishia bububu namueka sawa kidogo.
Maneno mengine anayosema ya uwongo
Kupata passport utawala wa karume ilikuwa kama unataka kwenda sayari ya mars
Haya hayakuwa Mapinduzi yalikuwa ni mauwaji yaliyopangwa Kwa makusudi kuwauwa Watu na akisaidiwa Na Laana tu Allah Mungu ampe adhabu Kali huko aliko kaburi limbane Sana Kafiri la Kitanganyika.
KWA PESA ZAKE 😂😂HAKUIBA NA MENGI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAONGO WANAFIKI TAMAA HAKI KAILETA NA ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
Aliyemuua Bado anaishi au keshatangulia mbere ya HAKI?
Kauliwa siku hiyo hiyo 07.04.1972 pale pale Makao Makuu ya ASP Ijumaa saa 11 jioni, Capt Ali Humoud ndo alomuua AA Karume. Humoud aliuliwa na dreva wa AA Karume
Waliomuuwa Karume hawakusoma Cuba.
Kwa taarifa yako kwa mfano Humudi alipata mafunzo ya kijeshi Urusi. Fanya utafiti wa kina tusipoteshe.
Kusoma Cuba na Russia si tofauti kwa kuwa nchi zote mbili hizo za kikomunist zilizalisha makomredi wenye mtazamo komavu na angavu😊
Ndugu unamrekebisha mtu aliyekuepo wakati ule
Sk,Said Miraj umeekeza historia nzr kwa faida ya vijana wetu.Mungu akubarili sn!!
Haijui vizuri historia ya Zanzibar na Maponduzi yake. Vijana waliokuwa katika Police Mobile Force wanayajua vizuri, kwani walikwisha pata habari miezi 2 kabla hayajatokea, lakini walinyimwa silaha na maofisa Wazungu, na wengi wao wakapewa ruhusa ya kwenda kulala majumbani kwao siku ya mapinduzi, yaani late pass.
Kenya hamna Bora kuna Batta. Bora ya Mwl JKN.
Ndugu nimekukubali, ingawa ni mbara lakini nilikuja Unguja nikiwa na miaka 13, 1969 Disemba 29, lakini nimeikuta Zanzibar iko bado na moto wa mapinduzi, Abeid A.Karume akisema CURFEW wote mnajifugia ndani siku kadhaa isipokuwa jeshi, polisi na mgambo wanatamba nchi nzima, ilikuwa raha kweli kweli.
Viatu vya raba Bora Tanzania na raba Bata na raba za China.
Nimecheza halaiki nyingi za mapinduzi Zanzibar tangu 1970
Nimemuelewa san mzee miraji ni mpinzani ila anaongea kweli
Si wengi waliofurahi na mauwaji ya kimbari yayofanywa na wakoloni weusi
Sheikh umesema mengi mazuri lakini mengi hukuyasema ya ubaya. Labda watu Unguja walikuwa na raha. Pemba tulisumbuka sana hasa 1969 - 1972. Njaa ilitupiga vibaya sana mpaka hata vilimo haviwi. Yakaja maduka ya ukoo tukiletewa sembe manjano mafunza watupu. Wapanga foleni ukifika mlangoni unaambiwa limekwisha. Karafuu ilikuwa haina faida mwisho wakaja serikali kuikata ili waPemba wazidi kufa njaa. Wakata mikarafuu kupanda raba na iliki. Iliki haikuwa. Tukaanza kufanya magendo ya kuuza karafuu Mombasa na Tanga ill tupate kula. Akaja Mh Rais Karume, Mtabwe Daya akasema nyie ndio munafanya magendo atakae kamatwa atapigwa risasi. Watu wakipigwa ovyo na watu walowekwa kwenye ubalozi wa nyumba kumi kumi. Ah inatosha Pemba tulipata adhabu sana mpaka leo. 😢😢
Mchanganyiko wa watu hao ulowataja ukasahau kutoka Iran
Ambao babu zetu ndio wametoka na kuingia Zanzibar tokea 1700
Nkuulize swali hivi muhammad Shamte sio mzawa na kazaliwa chambani Pemba.
"Alikuwa Baharia Original "
Na wewe Said wakati tunasoma ulikuwa kiongozi wetu
1976 halaiki iliyo shinda ni usalama ❤kutoka wete, ukombozi chake chake 😂
Halaiki ya usalama na ukombozi PIA zilikuwspo Zbar
Jamaa alitoka dar 24 au?
Tartan ilikuwa baadae sio wakati wa karume
Kwa kifupi kajitahidi kuelezea Zanzibar kuanzia mapinduzi, kaeleza kwa hamasa na fasihi
Gari za serikali
SMZ
Ni propaganda za kudanganya hasa wenzetu wa Tanganyika
Said ndugu yangu hapa nakuonga mkono kuwazibua viziwi
Viatu Bora sio kutoka Kenya ilikuwa kiwanda cha serikali ya Tanzania Bara Pugu Road
Karume alianzisha TV ya Rangi ya Zanzibar ya mwanzo Afrika.
MV Mapinduzi imeundwa Uchina au Japani ?
Japan
Well done Mr.Miraji 🫡 nimefurahi sana.
Lkn. Mimi mdogo mengine kakosea
cha kushangaza yani nchi yetu hii kila mzee wa miaka hiyo ana sema maisha yalikuwa bora kenye uongozi wa zamani ila sio sasahivi basi tume logwa ama kweli
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio ulioiharibu Zanzibar bro Muungano ndio kirusi cha Zanzibar kutokukuendelea
Aliyemuuwa rais KARUME ni mr X ambapo hadi leo haijawekwa wazi huyu mr X ni nani
BABA HUMUD ALIMUUA. MUGHERI KWA AJILI KUWATETEA WATU WEUSI YOTE UONGO NA HAKUPEWA ADHABU YOYOTE NA YEYE AKAPEWA HUKUMU YA KIFO
Mnona zanzibar isewe nchi kivyake
Wakati wa ujenzi wa Hoteli ya Bwawani Karume hushika Sururu asubuhi na wafanyakazi.
Hakika kunavitu ukisikia na kuambiwa kichwa kinakuuma sana. Zanzibar ilikuwa mbele sana sana Nadhan viungozi na siasa imekuwa changamoto ktk maendeleo
Yani Acha tuu 😢
😮😮
Viatu vya Kenya ni Bata,sio Bora,Bora ilikuja baada ya kutaifishwa Bata. Bora imekufa,Bata bado ipo na ubora wake upo palepale.
Naomba namba zake
😮😮
Sio wote wazanzibar
Yani hatokei kama karume kwa kweli 😢😢😢 mola amlaze pma peponi
Huyu mtu anaijua vema Zanzibar
Sana tu anajua sana lakini mengine kabania bania
Mtafute jusa...huyo msanii tu...
Treni imeanza Bububu SIO mwembe makumbi
Bububu mpaka shangani
Saidi miraji siasa vp umerud tna
NI MAVAMIZI NA SIO MAPINDUZI.
Ulikuepo?
Majina ya miraji tunakuwaga na akili sana
Kwa kweli inauma unasema kweli mzee kama nayaona uongeayo mana tulikuwa wadogo lakin tulishuhudiyq bibi zetu wakifanya kazi humo mote
Sasa imekuwa nyuma kama mkiya
OKELO KUTOKA UGANDA NDIE ALIYEONGOZA MAPINDUZI, KARUME ALIKUWA TANGANYIKA AKIPAKWA HINA ZA MIGUU NA MIKONO, ACHENI KUDANGANYA WATU!
Unaijuajeehistoria ya mapinduzi wewe kumbe ulikuwa atahaujazaliwa.
Siasa inatuvuruga
Huyu jamaa muongo anaongea nn kama anaogopa kusema ukweli
Huyu anatafuta mchongo
Wewe mzee ukweli bado hujasema kifo cha mzee karume.
Mzee huyu porojo tupu, hakuna jipya, haya yote anaongea yako wazi tu!
Hajui anachokisema
karume na nyerere ndio walikua viongozi kweli bwana saahivi hakuna viongozi
Nyerere alikuwa mtawala, Karume alikuwa Kiongozi baye Watawala walikuwa hawampendi, wakiogopa asije kuvunja Mungano aliolazmishwa kuingia.
Hata samia na hussein .
Ndio maendeleo yanafufuka sasa mola awaweke AMEEN
Zanzibar ni Tanzania 🇹🇿 hao watu unaowasema ni Waarabu,wahindi, wa Iran nk hao wote ni foreigners, Zanzibar, Pemba nk hii ni Tanzania 🇹🇿 hakuna kitu kinachoitwa wazanzibar, wapemba.
Zanzibar ipo na itakuwepo. wazanzibari wapo na wataendelea kuwepo. Kama hutaki rudi kwenu Tanganyika
,,,,,,,,
Karume kauliwa kwa sababu alitaka kuuvunja muungano
That's it
Si kweli