KILICHOTOKEA SIKU YA KUUWAWA RAIS ABEID KARUME/RISASI ZILIPIGWA BALAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 88

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 Год назад +1

    KUUWAWA KWA MUUWAJI WA WAZANZIBARI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 11 месяцев назад +1

    Mungu amlipe pepo Homoud Mohd Homoud yeye na wenziwe kwa wema mkubwa wa kumuuuwa kiumbe Karume.

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co Год назад

    Kumbe karume aliuliwa nilikua cjawahi kujua mtangazaji umefanya kazi nzuri 🎉🎉

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 9 месяцев назад

    M mungu akurehemu mzee wetu

  • @yudakassim1138
    @yudakassim1138 2 года назад +2

    Mungu ampunguzie adhabu yakabuli inshallah

  • @limbunyuguyu1573
    @limbunyuguyu1573 2 года назад +2

    Dada uko vzr umehoji na kutuonyesha mambo ya Msingi sana hongera

  • @idrisasimba8501
    @idrisasimba8501 2 года назад

    Hmmm memorandum of understanding.

  • @hamadysalum7032
    @hamadysalum7032 2 года назад +1

    Wasafi namkubari saanaa

  • @edwardmenawezkuzamakwadaki4825
    @edwardmenawezkuzamakwadaki4825 2 года назад

    Nimeipenda xana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 года назад

    Adela hongera kwa history

  • @Bam268
    @Bam268 2 года назад +2

    Nyerere ndie alie kuwa mtuhumiwa mkubwa wa kifo cha karume

    • @sephaniaizengo760
      @sephaniaizengo760 2 года назад

      Jna lako tuu linaonesha ufinyu wa fikra na kwanza unachafua jina la kiongoz ,tna baloz madhubuti malawi

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 2 года назад +2

    NYERERE ndie alie mumaliza MZEE KARUME acheni kuzungumza!!

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs 2 года назад +1

    Nimeipenda na nimesoma kuhusu jina la Eneo hilo kuitwa kisiwa ndui ambalo sikujua maana yake kabla 👏

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 года назад +1

    Zanzibari mpaka leo haijapata uhuru wake kutoka kwa ungereza NA waarbu ikaja ukoloni wa tanganika

  • @sulimanm6525
    @sulimanm6525 2 года назад +3

    Anafahamu kila kitu uyooo anaogopa kusema

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 2 года назад +3

    *Ukweli Upo Ila Tutajuwana TU kwamungu*

  • @frankmlowe7559
    @frankmlowe7559 2 года назад

    Duuh ilikuwa hatari mzee karume aliuliwa kikatili Sanaa

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Год назад

      Frank,jaribu kuulizia namna Kassim Hanga na Othman Sharif walivyo uliwa huko Zanzibar.Ukipata taarifa sahihi ndio utajua nini ukatili

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 года назад +1

    Piya uko vizuri dada

  • @nelsonjonathan7660
    @nelsonjonathan7660 2 года назад +1

    Safi dada umehoji vyema

  • @ahmadajafari7083
    @ahmadajafari7083 2 года назад +3

    Mie nafaham vizuri sababu ya huyo mwanajeshi alika na cheo luteni sio cpt alikua mwarabu amempiga risasi kwaajili ya kulipiza kisasi cha baba ake ambae inasemekana aliuawa kwa anri ya rais karume wakati wa mapinduzi mie nafaham vizuri historia ya jambo Hilo lengo ilikua kuipindua serikali Kiongozo mkuu alikua conalAli mahfudh mie nilikua mwanajeshi wakati huo nikiwa na cheo Cha sgt

    • @selemanimakau9026
      @selemanimakau9026 2 года назад

      Acha uongo mungu anakuona,na siku ya hukumu ukasimame useme ivoivo,unafikiri watu hatujui kuna siku maumivu ya watu yataisha,je angekuwepo mpaka leo zanziba ingekuwaje,acha kudanganya watu wanajua.

    • @jofreymsigwa85
      @jofreymsigwa85 2 года назад

      Sasa ukweli n upi

    • @alrabee01suleiman40
      @alrabee01suleiman40 Год назад

      Unafahamu kisasi hicho lakini ndio umewiva husein kitu cha kweli

    • @YussufAli-yt6dp
      @YussufAli-yt6dp Год назад

      ​@@selemanimakau9026 hug Thu by😊h

  • @bakarimtange570
    @bakarimtange570 2 года назад +1

    Uo ulikua mpango ambao Nyerere aliupanga

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 2 года назад +5

    Lazima iko au ziko sababu lakini hawataki kutangaza,wengi wanaohusika wanajua lakini wanaogopa kusema ukweli

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Год назад

      Lengo na sababu ya kuuliwa kwa Rais Abeid Karume ni Siri na Kitendawili.

  • @kelvinbernard5453
    @kelvinbernard5453 2 года назад

    Nimependa Sana Sana tu

  • @Bam268
    @Bam268 2 года назад +3

    Na ukimaliza hapo uende ukatutafutie historia ya tanganyika pia ni nnchi yenye history nyingi tu

  • @Jabal_Khiraa2017
    @Jabal_Khiraa2017 2 месяца назад +1

    Na nasheed ya Karume ni hii hapa👇👇
    ruclips.net/video/j6gJMGP-Qkg/видео.htmlsi=szdUrjfXBZqj-5d8

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby1710 2 года назад +1

    Hhhhhh hata Mimi siyafaham 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mchezo nini

  • @tamyomy8398
    @tamyomy8398 2 года назад

    Aliua wa arabu na akauliwa na humud muarabu

  • @allychale2885
    @allychale2885 2 года назад +1

    Usidanganye wazanzibari semeni ukweli nyerere alipoona muungano unakaribia kuvunjika nyerere akamuua karume ikawa hakuna kuvunjika muungano tena wanasahau kwamba karume alisema muungano mwisho chumbe

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад +1

    Yaani mwafrica bwana kweli hakuna kuaminiana

  • @Hassanali-sq2dm
    @Hassanali-sq2dm Год назад +1

    Alitumwa na nyerere lengo nikumua karume ili asivunje mungano karume alitaka kuvunja mungano badala kuona anapelekeshw na nyerere

  • @VedastoRushalizi
    @VedastoRushalizi 9 месяцев назад

    Kikubwa aliwadaidia wanyonge

  • @janerouhassanjanerou7933
    @janerouhassanjanerou7933 Год назад

    Duh mzanzibar gani huyo anaesema Afisi

  • @timotheosumba4293
    @timotheosumba4293 2 года назад +1

    🙏🙏

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 2 года назад +1

    Hao wengine hawakupigwa risasi zilikuwa zile risasi anazopigwa Mzee karume ndio zilikuwa zikimtoka zinawapiga wale wengine nikweli alikuwa mlengwa ni yeye na Marehemu humudi alikuwa na lengo lake

  • @michaelmkisi6999
    @michaelmkisi6999 2 года назад +1

    Hamtapata ukweli hata kidogo media ndogo sana . CCM wameshindwa kutoa habari hizo CCM Leo wasafi mpate habari hizo za miaka takribani miaka 31.

  • @hanihaji6217
    @hanihaji6217 2 года назад +1

    Historia ya khalifan

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 11 месяцев назад

    Mbona unamtaja Humoud tu huwataji na wengine .hakuwa humudi pekee walimuwa wengi wataje usifanye bias.

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 10 месяцев назад

    Ongea ukweli karume alimuuwa baba yake humud karume kutaka humudi asahau wkt huo humudi alikua kjn mwenye elimu karume akampatia veo vikunwa ili asahau machungu ya kuuliwa baba yake kumbe humudi alikua anamachungu na nyerere alipanga mipango amkimbize humud baada ya humud kuuwa na wenzake wakakimbilia shamba chwaka kupanda boat na boat haikuwepo

  • @bwittozmjomba7019
    @bwittozmjomba7019 2 года назад +4

    Leo ssa nimejifunza kitu ususan kifo cha karume, Nilikuaga sijui kam alikufa kwa bunduki. Lkn nimejua kumbe muuaji Alikua mwiongoni mwa walizi police

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 10 месяцев назад

    Sasa wale walio burutwa na gari ni kina nani

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 2 года назад

    Tukio limetokea cha msingi tujiulize wananchi tumejifunza nini na viongozi pia wajiulize wamejifunza nini? Halafu tuiombee dua zanzibar na Tanzania kwa ujumla ibarikiwe na amani na rizki za halali

  • @MaryamAmour-k7m
    @MaryamAmour-k7m 11 месяцев назад

    Mung amjalie wazee wetu wot waingie pepon llf wot alikua ateswe kwanz ndipo auliwe uyo mshenzi muuwaj😢

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 2 года назад

    Bibilia nikitabu kizuri kilichotafusiri mambomengi yaduniani hata yapeponi,kunamahali pameandikwa kwamba lisilowezekana kwetu kwamwenyezimungu lawezekana vilevile auwaekwaupanga atauawakwaupanga

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 2 года назад

    Nyie mbona hamtii nchi yenu mnawachia watanganyika wanaimaliza.

  • @b.3940
    @b.3940 2 года назад

    Mbona hamtaji Tito Okello katika historia ya Ungunja? Zanzibar haingekuwa huru bila huyo mganda.

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby1710 2 года назад +2

    Karume akifufuka leo akiiona znzbar ilivyo hii atalia sn

  • @mohammedbakar4142
    @mohammedbakar4142 2 года назад

    Wewe unajuwa humo ndani makao maku ya ASP kiswandui hakuna kaburi la mzee Abeid Amani Karume peke yake humo ndani kuna makaburi mawili moja la mzee Abeid Amani Karume na jengine limo ndani hukulitaja ?

  • @omarimpogo6895
    @omarimpogo6895 2 года назад +1

    We muandishi umeniboa... Unaacha kuuliza maswali ya msingi unauliza kuhusu bao

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 года назад

    Huyo muuwaji alijuwa ni shemeji yake alikuwa analipa kisasi cha kupinduliwa maana alikuwa mwaarabu na karume aliowa nwaarabu baada ya kuwapindua hao waarabu

    • @lutegochangarawe412
      @lutegochangarawe412 2 года назад

      Una uhakika

    • @binseifalsuleimaniy503
      @binseifalsuleimaniy503 2 года назад

      Duh kam hujui bora usicoment karume kao muarabu tena akaza kabla ya mapinduzi mapinduzi yanatokea yeye ameshaowa zamani san ,tena murabu ,pmoja na kina Aboud jumbe ,Ali hasan mwinyi na wengine wengi wameo waarabu tena kabla ya kufanya mapinduzi ,rudi shule kijana

    • @barwani890
      @barwani890 Год назад

      ​@@binseifalsuleimaniy503 tena kwa nguvu kuoa

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 2 года назад

    Nyie ccm mkowa mnajuwa Karume hakuwa na makuu na nyie kuwache makuu muwache wizi

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 2 года назад

    Mkuki ndani ya mkuki

  • @allychale2885
    @allychale2885 2 года назад

    Leo kilakitu CCM kanisa

  • @erenwesmgeni4837
    @erenwesmgeni4837 2 года назад

    Duuu aliyafanya

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 2 года назад

    Afisi kiswahili wacha ushamba

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 2 года назад

    Hiyo Miwani ya nini?.

  • @Jojo-princess-x1z
    @Jojo-princess-x1z 2 года назад +2

    Ukitenda dhulma n wewe itakukuta Dhulma ameuwa n yeye ameuliwa

  • @AliAli-rx6wu
    @AliAli-rx6wu 2 года назад

    Kwani hilo li miwani bayaaa kama la kipofu!!! La nini??? Au una makengeza!!!

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 2 года назад

    Muulize huyo jamaa alikuwepo hapo wakati wa tukio?
    Mie nishaelezewa na mzee aliyekuwepo hapo siku ya tukio.

    • @ZanzibarOrchestra
      @ZanzibarOrchestra 2 года назад

      tuelezee wewe bac huenda tukapata faida zaidi.

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 2 года назад

      @@ZanzibarOrchestra
      Muuaji alikuja na vikosi vya jeshi wakavamia makao makuu nje.
      Muhusika muuaji aliingia akaua na alipotoka nje na katika hao majeshi waliokuja nao walimuua.
      Hadithi hiyo niliipata makao makuu ccm kwa mzee mmoja ambaye alikuwa mzee wa chama na yeye siku ya mauaji alikuwepo nje ya jengo kwa alivyonihadithia.
      Na akanambia rover mbili ziliingii moja geti la mbele na moja nyuma
      Sasa hiyo hadithi nilipewa makao makuu

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 2 года назад

      @@ZanzibarOrchestra
      Hata hadithi ya mapinduzi ukiisikiliza kwa mama karume siku ya mwaka wa kwanza mwanawe kuwa rais alisema mumewe alikuwa kalala naye nje zogo watu wanauana tvz record ipo.

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 2 года назад +1

      @@ZanzibarOrchestra tizama nani aliyekuwa akiwauza watumwa ni muengereza au muarabu?
      Muarabu alikuwa ni transport tu.
      Mabaki wanaotembelea wazungu ambayo ni mafichio ya watumwa yapo wapi ?
      Misikitini au makanisani?

  • @theophilluskahigwa8128
    @theophilluskahigwa8128 2 года назад

    Watangazaji punguzeni au acheni kuvaa miwani ya jua mkiwa ndani ya majengo! Mnajificha nini? Mbona watangazaji wa vyombo vingine vya nchi za nje hawana tabia hiyo?

  • @stanleymsenga9444
    @stanleymsenga9444 2 года назад

    Duu

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 2 года назад

    Huyu baba anayajuwa yote maana anaeleza mambo yanayoonyesha kuwa katika shauri lililopangwa naye aliusika maana alitaja na viseemu walivyoikalia kana kwamba alikwenda kwanza kupeleleza nafasi karume ameketi ni wapi akapaona nakuelekea kumwambia muaji mbinu laana na mikosi waafrika azitawatoka maana usaliti umewajaa moyoni mtabaki kuwa watumwa wawazungu myaka nenda myaka rudi msipojikosowa dhambi zenu za kusalitiana

    • @akinzaathumani3870
      @akinzaathumani3870 2 года назад

      Huo mnafikiii anajuwa kabisaa muwajii nawewe atawawa tuu eleezaa tu ukwelii mzee

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 2 года назад

      Hee jamani,SI historia inatunzwa