Zanzibar imekuwa ya mwisho duniani maaana hao ccm wa zanzibar wanachekesha sana hawataki warabu lakini wanaowa warabu znz husseni mwinyi mke wake muarabu, Amani karume, Ali karume, balozi seif ali idi
Alhamdulillah sultan Jamshid karudi kwenye asili yake arudi zanzibar afanyeje nchi imegeuka up side down imebakia magofu, chuki na ubaguzi wametahayari walio fanya khiyana na roho zao zilivyo mbaya
Sasa kila mtu akitaka kuoa mwarabu hawa dada zetu wa kiswahili waolewe na nani? Nyinyi mnajiona mnawaibisha waarabu kumbe mnajiaibisha. Kwani lazma nyote muoe waarabu? Kwani waarabu wana kipi ambacho waswahili hawana? Naona mnalalamiika kuwa waarabu hawataki kukuozesheni watoto wao. Waarabu ni binaadamu tu kama waswahili, kwa hivyo wengine oweni waswahili ili muwastiri dada zetu. Muache kujenga chuki za kijinga. Hapa cha muhimu CCM iondoke tu madarakani, hizi pumba nyengine hatuzitaki kuziskia.
Waafrika watu wa AJABU sana...watu wametoka Oman,bila kukaribishwa lkn kwa mabavu walitawala waafrika wakiwafanya watumwa,hasi wanaume na kuwatumikisha maisha yao LAKINI leo wanamuongelea mvamizi huyu kama mtu wa Afrika...UONGO MTUPU NA UTUMWA WA AKILI....
Sema ukweli mulimgeukia sultan ndio ikabidi akimbilie uingereza..pia Oman walimzuia Jamshid kurudi sababu hakua na maskilizano mazuri na family yake ya Oman
The best interpretation of the politics of history of Zanzibar. It wasn't the Sultanate that was overthrown but rather the Govt of Ali Mohsin and others that was supposedly to protect it but abundantly failed to do so.
Kweli ikidhihiri uongo hijitenga, tumedanganywa sana kwa khofu ya Watawala lkn makala kama hizi na baadhi ya maoni vinatusaidia kutufunua macho. Sheikh Farid kitu umekuwa unakigusia sana kwa tahadhari "SIASA" Kweli siasa zetu uongo mwingi, mimi tangu nimeanza skuli 1966 tukiambiwa elimu ilikuwa ikilipiwa na wazee wetu hawakusoma kwa vile walikuwa maskini, kumbe nilikujakufahamu kwamba hao Marais wetu wengi walisoma wakati wa ukoloni bure skuli za serikali lkn hao hao wakisimama majukwaani wakisema vyenginevyo. Bob Marley kaimba "You can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time" Tunakwenda.
mimi mkenya maoni yangu kwa omani kua inamaendeleo mazuri wamelelewa ki dini , kua na kiongozi muadilifu ni maendeleo ya wanainchi pia roho safi inaleta mafanikio ❤
Hiyo lanaa ya uvamizi NA mauaji ingekua jamshid yupo ingekua zanzibari tajiri duniani kama dobai wa oman wa najua kutengeneza NA inayostajabu waliuliwa NA baado wanaleta misada nyingi sana kwa wazanzibari NA kujenga msikiti NA shule NA hivi sasa wazanzibari wameja tele oman wanafanya kazi subuhana allah
Unajua wanachipitia ndug zako lkn uko Oman hebu waulize wakupe majib vzur wallahi hawa watu walikuja Africa kuchuma Mali zetu japo atutaki kukubali maana
"Wazanzibar na Wapemba" mkiwa mnataka Mfalme Jamshid" arudi kua mfalme wenu, mnahaki!! Anzeni kukusanya sahihi za kubadilisha mkataba ulioleta Tanganyika na inchi yenu pamoja.Sheria ziko wazi,kila jamii ina haki ya kujitawala kisisa. kiuchumi,kielmu na hata kitamaduni.Itawahitaji muende kwenye kura ya maoni,na mfafanue ni nani anatakikana kuruhusiwa kupiga kura hiyo,ni mpemba na Mzanzibar tuu au hata wa Tanzania bara??!! Kuhusu Marehemu "Sultan Qaboos"yeye alikua msomi mkubwa sana wa elmu ya kisasa kutoka uingereza na alipomaliza ,akampendua babake na kuitoa inchi hiyo katika hali ya umasikini na kuifanya inchi tajiri ambayo inaheshimika sana duniani.Watu waomani ni matajiri na hawajapoteza muelekeo kama majirani zao, wameleta maendeleo na utamaduni wao pamoja.
Warabu wabaguzi hawaozeshi waswahili rabda uwe tajir au kiongoz ndo utapewa mtoto wao warabu yan tunaish nao2 machon wanacheka na sisi ila moyon wako tofaut

@@zeanamuhsin9005 hawa wapo na chuki zao tu binsfsi. Ndio maana nimewauliza swali kila mmoja akitaka kuoa mwarabu na hawa dada zetu wa kiswahili jee waolewe na nani? Au tuwapeleke makumbusho?
Jamani wazanzibar mmesahau biashara ya utumwa ilifanywa na Nani?, haohao Leo mnawatukuza kuwaita wafalme wenu,kwani sasahivi mnatumikishwa na Nani ? Warabu wa Oman hawawezi kuwatazama kwa hadhi moja na wao kwao nyie ni watumwa tu hata kama unarangi ya kiarabu.sasa kumbukeni kuwa nyinyi sasa ni watu huru hiyo inatosha kuwafanya mjiskie proud.
Watu kama wale hawauliwi eti wanamchango mkubwa kwa jamiii kisa waaaarab ila kinje alinyongwa na wazungu wazanzibar waarab mnawaona km ndio familia yamungu vile
Mi mzanzibar. waarabu nawajua vzur2 nakaa nao jiran yani hawatak watu weusi waowe wana wao. mtashirikiana tu baadhi ya mambo ila mambo mengne wanatubagua
Jemshid sio mfalme wa mwisho zanzibar na wala hajapinduliwa zanzibar alitowa uhuru 1963 chini ya serikali ya uingerza mfalme aliyepinduliwa 1964 ni mohamed shamte huyu jamaa hailewi historia
Samahani huyu jamaa 60% kaongea porojo..kwanza Nyerere hakumkaribisha Tanganyika..aliletwa na waingereza wakati huo Nyerere alikuwa hana lolote hata alipopinduliwa na jeshi akaenda mafichoni waingereza ndio walioleta jeshi na kumrejesha madarakani..pumba tupu! Bado akasome tena..
Sahihi nyerere alipinduliwa NA jeshi akawaita wangereza haraka sana NA wangereza wakaleta meli ya kivita NA ndege wakarudisha nyerere nyerere alikwa kibaraka wa wazungu wangereza historia hio watu wengi hawajui
MANENO YAKE YANAGONGANA ITAKUAJE SAID KHALIFA AMERITH UFALME KUTOKANA NA MKE WAKE APOPO BABUZAKE KHALIFA WALIKUA WAFALME KUTOKANA NA MANENO YAKE MWENYEWE KASEMA SAID BIN SULTAN ALIRITHISHA WATOTO WAKE MOJA OMAN MOJA ZANZIBAR KWAHIO URITHI UMEANZIA JU
RAMANI NI "IMMAGINARY LINE "NI MISTARI YA KUBUNI SO KILA MTU ANAWEZA KUCHORA WAKE THEN RAMANI ZILIZO PITA ZIKIICHANGANIJA POLAND&GERMAN,ENGLAND&DENMARK,HONGKONG ,CHINA SO LAKINI ALAAN NI TOFAUTI
Huyo mfalme ni mzanzibari amezaliwa pemba NA mama yake mwafrika ni mwanchi NA wala hakurudi oman NA wazanzibari baadaye waliruhusu kurudi kama mwananchi NA wazanzibari wanampenda basi tamaa ya madaraka ya karume NA nyerere wsmesababisha kupoteza mamlaka ya zanzibari NA mauaji ya zaidi elfu kumi tano wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma kwa jemedari okelo kutoka uganda
Farid unakosea ukisema si mzanzibari upande wa bibi yake mzababa tokeasayyid Said from 1870 na wazanzibari wengi asili zao bara India Comoro India sirazIran waasli wa hadimu wa tumbatu
Firaun na Ibilisi wametajwa katika maandiko......mtu mzuri na wabaya lazima wachangamane. Siasa sio kazi ndogo. Zanzibar wanajua hadhi yao hawababaishwi na wageni. Aliangushwa na fitina za organisation walikuwa hawajafahamika.
Nyinyi waomani mfungeni kamba huyo asije akatutawala huku Zanzibar hatukubali tutakuja huko huko Omani kuwamaliza maana mapinduzi hayajawapata vizuri tutatembeza mapanga huko huko tuwakatekate vipande sijui kwa nini tuliwabakisha kwa hiyo muwe makini tuko tayari na chochote tutawamaliza Tanzania mliyoiwacha sio ya leo mtajuta zuiyeni mtu wenu huyo ohoooo
Zanzibar was like best city in the world, but Africans didnt want to be best people un best land so they killed the people who developed east africa and became poor again 😔 we need omanis again in Zanzibar
Kiasi leo useme hivyo mshatufukuzia wataalamu wetu, lkn kwa taarifa yako tangu ukoloni mpaka leo walimiminika na wanaendelea kumiminika Zanzibar kutafuta Maisha pamoja na uhoi wetu.
Warabu wana nn laiti munge wajuwa hawa watu msinge wasifiya hawana lolote wenyewe wanawapenda waafarika waafarika tuko juu msisheshe ichi yetu kwanza ss ni wazuri sifa zote tunazo kiuno tunacho alafu warabu wenyewe wanatupenda hasa hawa wakiume wange weka sheriya yakuoa na kama ichi zingine warabu wangeowa ngozi nyeus wote wangeachika hawajiwezi
@@sirajimakame1972 dah kweli mpaka zanzibar ubaguzi upo ndugu yangu ww ni muislamu hata mtume alihama sehemu kuhamia sehem nyengine na maswahaba mengine kaituma nchi tofauti kutawala huko hio nikuchukua ibra na hata hao warabu walikuja wakatawala na nchi iliendelea hio ingekua unaijua historia ya uislamu hata usingesema kiliwaleta nn hapo maana warabu mchango wao una asilimia 90 ni wao jina lako zuri siraji lakn hujafaham ndugu yangu wacha unsuria siasa ni mambo machafu tusichukiane
Yaani jamaa ajiumauma kweli ili ahalalishe tu huyo mwarabu awe mzanzibari; ki-ufupi Oman ni nchi nyingine na iliitawala zanzibar na kuuzaa na masulia (vijakazi wao) na hivyo kuwepo hao wanaojifanya wazanzibar waarabu; ulisikia wapi ufalme unachaguliwa na wananchi ila ni kurithishana tu hivyo huyu Farid Himid ni kijukuu cha masulia wa waarabu!
Amazing history although controversial but still history. But what is odd is the topic " hakurusiwa kuingia Kenya "..... doh, yaani mpaka Kenya ingizwe......subliminal subjugation........Media can be a problem
Kenyatta alikuwa hataki shida, sababu Mombasa tayari ilikuwa si sehemu ya Kenya na Kenyatta alikuwa ashakiuka masharti mengi kwenye ule mkataba alikuwa nao na Jamshaid
@@mjm135 that maybe correct as not really documented ( a nice area to research) but my question was on heading, Kenya has currently being the "topic " "talk of town especially in TZ" while it only had one sentence in the whole story.... main, I believe, should have been TZ to bring back their history......
@@salimjkj nimekulia Mombasa and this story of the agreement between Kenyatta and Jamshaid keeps popping up whenever the people of coast feel marginalized, in fact in 2012 a movement known as "Pwani si Kenya" started and they wanted to breakaway and form their own country, which of course the Kenyan government didn't allow and came down hard on them. I've never bothered on that part of history how the Kenyan coastal strip was part of Zanzibar until I came across this, great history but controversial. Am Kenyan by the way
Yaani wewe Hamada huna matatizo?,killa binadamu anayo matatizo ambayo ni tofauti na mwenzake,pengine mwenzio ana madeni anadaiwa na hana kazi,utamkopesha?au ndio kwanza utamdai za kusomewa.
Mara nyingi mzazibari hatakataii warabu ila mijitu ya unguja ilio toka bara na wabara ndio wapingaji kumbe aduii yetu niwatu wabara ndio walio leta ukame
@@filamupictures9349 mhh kazi ipo wa aina hiyo tupo weengi, hatuna vitambulisho vyenu vya ukaazi, kisiasa ni hila za kifisadi tu kuendeleza libeneke Lao, Leo mimi niwe mgeni mmasai, mnakonde, myao, mpare, mchaga watu ambao sikwambii miaka ya 1960 lakini mpaka 1980 ni watu ambao zanzibar walikuwa hawajulikani kwa saana Leo unawakuta majumba ya michenzani, kiimani, kwa mchina wakishikilia nafasi za ajira na utawala wakuonekana wenyeji wanabaki kuwa maadui wa utawala kulikoni?
Thks Farid you are a good historian
Faridi Humid hongera sana kwa hii historia
Zanzibar imekuwa ya mwisho duniani maaana hao ccm wa zanzibar wanachekesha sana hawataki warabu lakini wanaowa warabu znz husseni mwinyi mke wake muarabu, Amani karume, Ali karume, balozi seif ali idi
Sasa hao wanawake wa kiarabu si wangekataa kuolewa na wamakonde hao?
@Said Al-hind: mke wa Hussein Mwinyi mwarabu🤔🤔??, ongea ulijualo😩
Acheni ujinga
Hawawataki kuwaongoza au kuwaowa na kuolewa nao🙄🙄🙄
Ujinganao unagalau utampaje muhogo mwenye sahani yapilau hao nivibaraka tu wawatanganyika
Kiswahili chako kwa kweli ni burudani hongera sanaaa. Wengine waige na utulivu ulio nao kama mtafiti.
Alhamdulillah sultan Jamshid karudi kwenye asili yake arudi zanzibar afanyeje nchi imegeuka up side down imebakia magofu, chuki na ubaguzi wametahayari walio fanya khiyana na roho zao zilivyo mbaya
Alhamdulilah karudi kwao na hana shida yuko juu na famili yake aje huko afate nini?
Acheni ujinga wazanzibar
Allah amrehemu. Ila ukimuona anasifa zote za zanzibar
Nyerere kapata amri kutoka England amrihusu akae Tanganyika ili aelekee England pamoja na raia wengine wa british waliokuwamo ndani ya meli hiyo
Ok
Ambae hajaelewa huyu mswahili anaongea nini kama mimi aje huku kwa Said saidy tupate urojo😹
Sasa kila mtu akitaka kuoa mwarabu hawa dada zetu wa kiswahili waolewe na nani? Nyinyi mnajiona mnawaibisha waarabu kumbe mnajiaibisha. Kwani lazma nyote muoe waarabu? Kwani waarabu wana kipi ambacho waswahili hawana? Naona mnalalamiika kuwa waarabu hawataki kukuozesheni watoto wao. Waarabu ni binaadamu tu kama waswahili, kwa hivyo wengine oweni waswahili ili muwastiri dada zetu. Muache kujenga chuki za kijinga. Hapa cha muhimu CCM iondoke tu madarakani, hizi pumba nyengine hatuzitaki kuziskia.
Wow 👍
@@salmasalim6055 👌👌
Mmmmmmh
Kabisa
Sasa ccm na muoa waaraba wapi na wapi?
D Swaga tukionana maskani lazima nikununulie Soda..umeiprove mshkaji wangu
Waafrika watu wa AJABU sana...watu wametoka Oman,bila kukaribishwa lkn kwa mabavu walitawala waafrika wakiwafanya watumwa,hasi wanaume na kuwatumikisha maisha yao LAKINI leo wanamuongelea mvamizi huyu kama mtu wa Afrika...UONGO MTUPU NA UTUMWA WA AKILI....
Sema ukweli mulimgeukia sultan ndio ikabidi akimbilie uingereza..pia Oman walimzuia Jamshid kurudi sababu hakua na maskilizano mazuri na family yake ya Oman
The best interpretation of the politics of history of Zanzibar. It wasn't the Sultanate that was overthrown but rather the Govt of Ali Mohsin and others that was supposedly to protect it but abundantly failed to do so.
Corruption srkali ya Marhum Mhamed Shamte.
@@sulimanmasoud9337 hiyo corruption ilipata muda gani katika kipindi cha mwezi mmoja?
@@mfyokoMmm ....Ndo hao ndugu yangu mradi waandike tu japo hawana wanachokijua.
Kweli ikidhihiri uongo hijitenga, tumedanganywa sana kwa khofu ya Watawala lkn makala kama hizi na baadhi ya maoni vinatusaidia kutufunua macho. Sheikh Farid kitu umekuwa unakigusia sana kwa tahadhari "SIASA" Kweli siasa zetu uongo mwingi, mimi tangu nimeanza skuli 1966 tukiambiwa elimu ilikuwa ikilipiwa na wazee wetu hawakusoma kwa vile walikuwa maskini, kumbe nilikujakufahamu kwamba hao Marais wetu wengi walisoma wakati wa ukoloni bure skuli za serikali lkn hao hao wakisimama majukwaani wakisema vyenginevyo. Bob Marley kaimba "You can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time" Tunakwenda.
mimi mkenya maoni yangu kwa omani kua inamaendeleo mazuri wamelelewa ki dini , kua na kiongozi muadilifu ni maendeleo ya wanainchi pia roho safi inaleta mafanikio ❤
Millard hawa ma presenter wako ni kiboko yani mashallah....umemakinika sana kwa kuchagua vibaji bro 👍👍👍
Tumeshachoka nahao wanaojidayi niwafalme kwenye nchi zetu wafalme wako kwao Sisi tulikuwa nawafalme wetu niwafrika sio warabu kwabahati mbaa hao warabu waliwauwa ili wachukuwe mamlaka
Zanzibar ishawah kuongozwa na mfalme mwafrika hujui hata historia
Wacha uwogo kumbe huna nalolijua
@@teamlovesquare3207 unamfaham Mwinyi mkuu
@@madetetv6576 mwinyi mkuu si mtu mwenye mishipa au?
@@teamlovesquare3207🤣🤣🤣🤣
Anayejua historia zaidi yake ajitokeze aandike ama ahojiwe ili ukweli upatikane. Kumshambulia na nikirudi na vijembe hakuikuzi historia.
Mtoaji maelezo hodari , Mungu ambariki
Hiyo lanaa ya uvamizi NA mauaji ingekua jamshid yupo ingekua zanzibari tajiri duniani kama dobai wa oman wa najua kutengeneza NA inayostajabu waliuliwa NA baado wanaleta misada nyingi sana kwa wazanzibari NA kujenga msikiti NA shule NA hivi sasa wazanzibari wameja tele oman wanafanya kazi subuhana allah
Unajua wanachipitia ndug zako lkn uko Oman hebu waulize wakupe majib vzur wallahi hawa watu walikuja Africa kuchuma Mali zetu japo atutaki kukubali maana
@@machetebogota4218 hutoelewa mpaka utaingia kaburini kwa ubishi wako
@@machetebogota4218Kutafuta uchumi duniani ni haki ya kila mwanadamu, tunawaona tele wanakuja hapa kutafuta uchumi kwa kila njia hakuna la ajabu.
Mfalme wetu. .karibu kwenu. Tunajuwa kila kitu.
Mashaallaah uko vizuri
SEMA kweli kuhusu mapinduzi Zanzibar hamna mapinduzi kunamauwaji mzeee SEMA kweli usifiche ccm
Haina haja, hilo kila mtu anajua, ya nini kukumbusha kilio msibani.
"Wazanzibar na Wapemba" mkiwa mnataka Mfalme Jamshid" arudi kua mfalme wenu, mnahaki!! Anzeni kukusanya sahihi za kubadilisha mkataba ulioleta Tanganyika na inchi yenu pamoja.Sheria ziko wazi,kila jamii ina haki ya kujitawala kisisa. kiuchumi,kielmu na hata kitamaduni.Itawahitaji muende kwenye kura ya maoni,na mfafanue ni nani anatakikana kuruhusiwa kupiga kura hiyo,ni mpemba na Mzanzibar tuu au hata wa Tanzania bara??!! Kuhusu Marehemu "Sultan Qaboos"yeye alikua msomi mkubwa sana wa elmu ya kisasa kutoka uingereza na alipomaliza ,akampendua babake na kuitoa inchi hiyo katika hali ya umasikini na kuifanya inchi tajiri ambayo inaheshimika sana duniani.Watu waomani ni matajiri na hawajapoteza muelekeo kama majirani zao, wameleta maendeleo na utamaduni wao pamoja.
Hatutaki mfalme
Sio lazima muwe na mfalme bali mtakuwa na kiongozi wenu lakini mtaomba himaya kutoka Oman,na uingereza,zanzibar itanawiri sana itainuka kiuchumi,
@@MohamedMohamed-fg1kh mkundu wako nyau weyee!!
Maana ya Zanzibar ni Unguja na Pemba
Nasikia waliompindua ni waingereza na baada ya kumpindua wakamchukua kwao
Hongera kwa kueleza ukweli juu ya Mwl Nyerere "mtu aliyejua siasa pdana". Kweli Mwl alikuwa mjuzi wa siasa sio siasa.
Jemshid hana haja ya kuja znz tena musiwe na wasi wasi
Muungu akuweke mahala pema ,all Zanzibarian we are together
Warabu wabaguzi hawaozeshi waswahili rabda uwe tajir au kiongoz ndo utapewa mtoto wao warabu yan tunaish nao2 machon wanacheka na sisi ila moyon wako tofaut
Sasa kila mtu akitaka kuoa mwarabu hawa dada zetu wa kiswahili waolewe na nani? Nyinyi mnajiona mnawaibisha waarabu kumbe mnajiaibisha. Kwani lazma nyote muoe waarabu? Kwani waarabu wana kipi ambacho waswahili hawana? Naona mnalalamiika kuwa waarabu hawataki kukuozesheni watoto wao. Waarabu ni binaadamu tu kama waswahili, kwa hivyo wengine oweni waswahili ili muwastiri dada zetu. Muache kujenga chuki za kijinga. Hapa cha muhimu CCM iondoke tu madarakani, hizi pumba nyengine hatuzitaki kuziskia.
Waarab wabaguzi sana
@@shaabanmasoud4827 umesoma comment yangu lakini?
Sio wote mimi muarabu khalis dada zng wawili wameolewa na wa swahili
@@zeanamuhsin9005 hawa wapo na chuki zao tu binsfsi. Ndio maana nimewauliza swali kila mmoja akitaka kuoa mwarabu na hawa dada zetu wa kiswahili jee waolewe na nani? Au tuwapeleke makumbusho?
Ni ubora kuwe na channel makhsusi ya historia ya zanzibar na wafalme waliotawala zanzibar pamoja na utamaduni wa Mzanzibari na visiwa vyote.
Year
Jamani wazanzibar mmesahau biashara ya utumwa ilifanywa na Nani?, haohao Leo mnawatukuza kuwaita wafalme wenu,kwani sasahivi mnatumikishwa na Nani ? Warabu wa Oman hawawezi kuwatazama kwa hadhi moja na wao kwao nyie ni watumwa tu hata kama unarangi ya kiarabu.sasa kumbukeni kuwa nyinyi sasa ni watu huru hiyo inatosha kuwafanya mjiskie proud.
wajuwaje wy
Sasa tuko ndani ya ukoloni wa watu weusi tena wapo jirani na znz.
Watu kama wale hawauliwi eti wanamchango mkubwa kwa jamiii kisa waaaarab ila kinje alinyongwa na wazungu wazanzibar waarab mnawaona km ndio familia yamungu vile
Mbona Waarabu mmewashika sana Waingereza mnawaacha na yana wahusu pande zote mbili. Chuki ya nini ?
Mi mzanzibar. waarabu nawajua vzur2 nakaa nao jiran yani hawatak watu weusi waowe wana wao. mtashirikiana tu baadhi ya mambo ila mambo mengne wanatubagua
Uwongo pumbavu zako
Mbona pemba unapata mke wa kiarabu tena kwa mafungu ukitaka, ila Unguja ni kweli
Weusi niwazuri nawapenda.warabu lazima muowe?
Achana.nao
Kwani lazma uoe mwarabu af hao waswahili waolewe na nani😂
Wacheni ujinga mnachukia warabu lakini Hadi Leo mnaombaomba kwao
Farid unamtaja Ali Muhsin Barwan unamuacha aliekua mkuu wa serikali ambae ni Waziri Mkuu Sheikh Mohammed Shamte ...
Historia hamuitaki sababu Inaonesha kutekwa kwa zanzibar ndo MANA historia ya zanzibar hamuipendi
Jemshid sio mfalme wa mwisho zanzibar na wala hajapinduliwa zanzibar alitowa uhuru 1963 chini ya serikali ya uingerza mfalme aliyepinduliwa 1964 ni mohamed shamte huyu jamaa hailewi historia
Mfalme mpya wa omani anatokana na Turk albusaid na jamshed anatokana na nasabu ya turk abusaid.
KAMA ni muungwana utaoa peyote KAMA ni mtwana hutapewa muungwana
Jamsheed kwa kiswahili tumeitohowa na kuwa ni mtu asiyejiweza kwa lolote anatafanyiwa kila kitu hata kula analishwa 😄😄😄😄😄
Na miye na wewe tunaelekea huko huko tumuombe Mungu asitupofue macho kama wengine wanavyomalizikia. Hayana uhodari hayo.
Samahani huyu jamaa 60% kaongea porojo..kwanza Nyerere hakumkaribisha Tanganyika..aliletwa na waingereza wakati huo Nyerere alikuwa hana lolote hata alipopinduliwa na jeshi akaenda mafichoni waingereza ndio walioleta jeshi na kumrejesha madarakani..pumba tupu! Bado akasome tena..
Hujui unasema nini ipo clip ya Jamshid mwenyewe akitoa shukrani kwa Nyerere kwa kumpa hifadhi
Sahihi nyerere alipinduliwa NA jeshi akawaita wangereza haraka sana NA wangereza wakaleta meli ya kivita NA ndege wakarudisha nyerere nyerere alikwa kibaraka wa wazungu wangereza historia hio watu wengi hawajui
Alhamdulilah sasa ivi tunajitawala wenyewe Dkt Mwinyi oyeeee
Hoiiii bin taabaan na mwaka huu MAALIM SEIF TUNAMUAPISHA INSHALLAH
Unajitawala mwenyewe au beberu tanganyika ndio anekutawala! Zinduka pumbav wewe.
@@yasiralkindi5332 maaaaaaaaawe!!!
@@namisgiggah1571 udini, ukabila na matusi ndio sera yenu so hujanishtua bado!
@@RioIpo nawe uchama ndio utakaukuua na Hao Hao Chama chako tawala
JAMSHEED HAJA KIMBIA ILA AMEONDOKA MWENYEWE ACHAKIPOTEZA WATU SISI HI WARABU TULIO BAKI ZANZIBAR FROM BAHLAI WEWE KUTOKA KIJIJI GANI CHA OMAN
MANENO YAKE YANAGONGANA ITAKUAJE SAID KHALIFA AMERITH UFALME KUTOKANA NA MKE WAKE APOPO BABUZAKE KHALIFA WALIKUA WAFALME KUTOKANA NA MANENO YAKE MWENYEWE KASEMA SAID BIN SULTAN ALIRITHISHA WATOTO WAKE MOJA OMAN MOJA ZANZIBAR KWAHIO URITHI UMEANZIA JU
Acha kutumbia Mambo hovyo
ZANZIBAR SIO VISIWA NI NCHI KAMILI
Kwenye ramani ya dunia hakuna nchi ya Zanzibar
RAMANI NI "IMMAGINARY LINE "NI MISTARI YA KUBUNI SO KILA MTU ANAWEZA KUCHORA WAKE THEN RAMANI ZILIZO PITA ZIKIICHANGANIJA POLAND&GERMAN,ENGLAND&DENMARK,HONGKONG ,CHINA SO LAKINI ALAAN NI TOFAUTI
A,ALEIKUM KUMBE MNALIJUA HILO MAFAHARI WAWILI HAWAKAI ZIZI MOJA" SASA MUONGANO WA NINI
Huyo mfalme ni mzanzibari amezaliwa pemba NA mama yake mwafrika ni mwanchi NA wala hakurudi oman NA wazanzibari baadaye waliruhusu kurudi kama mwananchi NA wazanzibari wanampenda basi tamaa ya madaraka ya karume NA nyerere wsmesababisha kupoteza mamlaka ya zanzibari NA mauaji ya zaidi elfu kumi tano wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma kwa jemedari okelo kutoka uganda
ilove zanzibar iko ck insha allah itajirudi zanzibar kwa uwezo wa allah
Watoke huko kwao koote kuja kutawala wa Africa kaeni hukohuko kwenu. Kwani kuna mtanzania anweza kuja kutawala huko
Ata hawasubut🤣
🤣🤣🤣
Usiwe na wasi wasi hamna mtu anaitaka Tz
@@crayonmaze9970 . Ni nafasi tu wame kosa .
@@bjzee1981 unawaogopa warabu wakati wanao kula nchi ni wazungu na sio kwamba hamjui mnajua sana tu, ila ni chuki ndio zinafunga akili
Farid unakosea ukisema si mzanzibari upande wa bibi yake mzababa tokeasayyid Said from 1870 na wazanzibari wengi asili zao bara India Comoro India sirazIran waasli wa hadimu wa tumbatu
Serikali iliyopinduliwa ni ya ZNP+ZPPP COALITION.
Zanzibar inahitaji uwongozi mwengine
Naam Tunamtumainia Hussein Mwinyi...uyo batwaani wenu Sefu Sharifu wala hawi Rais
Cwa kabsa
@@RioIpo Huo ndo yale yale ya ccm kwahio tunautaka uongozi mwengine
@@yasiralkindi5332 kama humtaki Hussein Mwinyi na Seif nae asiwee
@@RioIpo Bc tumueke baba yako sorry lkn km nimekuudhi ila ni km ushauri tu
ccm wameimaliza znz .Tanganyika aliipindua znz bila kumwaga damu.
Mashallaha
Haiko sawa hii
Nlikua namuona u.k kabla hajarud mwaka juzi km hakuwahi vile ufalme yupo simple kuliko hana mengi
Ndo culture yetu Wazanzibari hatuna makibwa.
Dunia inajigeuza na siasa hujigeuza. Hili ni neno kubwa sana.
CCM hajaimaliza znz acheni umbeya
Firaun na Ibilisi wametajwa katika maandiko......mtu mzuri na wabaya lazima wachangamane. Siasa sio kazi ndogo. Zanzibar wanajua hadhi yao hawababaishwi na wageni. Aliangushwa na fitina za organisation walikuwa hawajafahamika.
Nyinyi waomani mfungeni kamba huyo asije akatutawala huku Zanzibar hatukubali tutakuja huko huko Omani kuwamaliza maana mapinduzi hayajawapata vizuri tutatembeza mapanga huko huko tuwakatekate vipande sijui kwa nini tuliwabakisha kwa hiyo muwe makini tuko tayari na chochote tutawamaliza Tanzania mliyoiwacha sio ya leo mtajuta zuiyeni mtu wenu huyo ohoooo
Bora uo usultan urudi lkn kuliko kuishi na tangayika wanaotufisi na kutuangushia zanzibar yetu
JinA lako haliendani na matamshi yako.. mwanandani inakusubiri kaburini
Zuwena said una jina la kiarabu, 😉😉😉 tena hayo majina asli yake ni Oman
Dawa yenu ccm itawatawala mpaka mwisho midomo tu zanzibar yetu mkoa wa tanzania hamna lenu
Mpumbavu umkate nani mapanga ndio maana tulikupiga mtungo malaya wa michenzani unaejiuza wewe na mama yako kuma wee
Wazanzibari sie hatuna shobo za Kijinga
Naangalia hii video baada ya magufuli kufa napata maswali mengi Sana🧐🤔
Correction sarkali ya Mhamed Shamte na Wa Zanzibari 7
Huyu anaujua ukweli ila anaficha wacha history ya ccm izo
Mbona yuko sawa tu.....kama unataka zaidi katoa nambari za simu wasiliana naye, naamini atakusomesha.
Ile film tulio ona Google ni kweli elfu ishirini walikufa watoto wadogo NA wazee NA wanawake wanatolewa masiku ya manane NA kuuwa NA kuzikwa pamoja
Naona Jamshet naona anafanana na Malim Self Khamad !!!
Andika uzuri basi....!
Basi wazanzibar wanamuona jamaa shujaaa huyo😅😅😅
Naona kama unapata taaaaabu ya nafsi !
Zanzibar was like best city in the world, but Africans didnt want to be best people un best land so they killed the people who developed east africa and became poor again 😔 we need omanis again in Zanzibar
"Watu wa siasa wanayo maneno mengi" bora umewaambia ukweli
Mtu kwao jamani mtu asiwe mkimbizi milele.
Ni kweli fazach bora serkali ya znz ingemjengea rasmi na kumleta jemshid ingekua sana kiutalii lakini mhhhh sijui kwanini wamemuacha
Na aende uko ... Mapinduzi daima
Mwache afe ukouko huku c kwao kaja kimatembez tu
Wanaitikadi et watakujawarabu
@@ayoubmwalim1535 hana haja na huko kashastarehe huku oman akutakia nini huko tena
@@ayoubmwalim1535 hana haja na huko kastarehe huku oman kitu gani kimlete huko
KUTOKANA NA MANENO YAKE INAONEKANA KWELI ZANZIBAR HOI MASOMO HOI TATIZO SHULE
Kiasi leo useme hivyo mshatufukuzia wataalamu wetu, lkn kwa taarifa yako tangu ukoloni mpaka leo walimiminika na wanaendelea kumiminika Zanzibar kutafuta Maisha pamoja na uhoi wetu.
Huyu mtu ni mwanahistoria kweli.
Mfasaha katik kuzungumza
Hata Baba yake qaboos kazikwa uwengereza Vipi amuache Jamshid arudi Oman huyu nimfalme mpaya ndio kamrudisha
Sultan! No way. Tell it the birds.
Wenye tunajua kila kitu
Ww mpumbav nn sisi wote niwatanzania Acha Habari zaki baguz mm nimzanzibar em Acha upuuz wako
Shame on you vipi wewe unadai Jamshid siyo Mzanzibari kwanini usijiseme wewe mwenyewe sio Mzanzibari. Au na wewe chuki unazo za wa Arabu kama baraka
Aliangushwa kwa ujinga wake huyo mjinga mwache akafie huko watu wapate pesa kupitia kaburi lake.
Mwache aende zake uko akapotee hatutaki shobo zake sie
@@SalimAllySiye tunataka. Inakuuma ?
Haki ya mungu Millardayo mmekosa mwana historia ila huyu? Mbona anabolonga? Bado mna kazi ya ziada!
Ukweli unauma, utachukia sana. Millard endeleeni kutuelimisha.
Farid umenichekesha ..leo nitakutafuta
Hao warabu wa Zanzibar wabaguzi kishenz na ukitaka kujua Hilo kama ww mtu mweusi nenda kapose mwarabu unaangaliwa juu na chini
Ukiwa na ma billion TU mbona unapewa
Saleh nawala siwaarabu pekeyao nasie wapemba upoubaguzi huo ukijulikana mmbara tu hwakutaki kujitia uwarabu huo ubaguz tunao asaaaaa
@@didakassim8666 saaaaaanaaaaa ty ilo kweli wapemba lipo
@@ahmedalsalmi6327 umeonaee laukweli lisemwe kaka tukisema tugeke tijiangalie natujirekebishe
Warabu wana nn laiti munge wajuwa hawa watu msinge wasifiya hawana lolote wenyewe wanawapenda waafarika waafarika tuko juu msisheshe ichi yetu kwanza ss ni wazuri sifa zote tunazo kiuno tunacho alafu warabu wenyewe wanatupenda hasa hawa wakiume wange weka sheriya yakuoa na kama ichi zingine warabu wangeowa ngozi nyeus wote wangeachika hawajiwezi
Nani aliyekwambia🤣🤣🤣
Zanzibar ni ya waswahili.sio nchi ya waarabu.waarabu walikuja zanzibar kwa ajili ya biashara.
Bila ya hao warabu zanzibar palikua na nn kama sio ufukara tu acheni ubaguzi wala hamuwezi kuendesha nchi
@@imash04tv20 nawenyewe kilawaleta nn
@@sirajimakame1972 dah kweli mpaka zanzibar ubaguzi upo ndugu yangu ww ni muislamu hata mtume alihama sehemu kuhamia sehem nyengine na maswahaba mengine kaituma nchi tofauti kutawala huko hio nikuchukua ibra na hata hao warabu walikuja wakatawala na nchi iliendelea hio ingekua unaijua historia ya uislamu hata usingesema kiliwaleta nn hapo maana warabu mchango wao una asilimia 90 ni wao jina lako zuri siraji lakn hujafaham ndugu yangu wacha unsuria siasa ni mambo machafu tusichukiane
Mchngo wao ni asilimia 90 ya kunenea kwa uislamu hapo
@@imash04tv20 usimuelezee mla nguruwe..
Kilwa haikua chini ya utawala wa Zanzibar ila Zanzibar ilikua chino ya utawala wa kilwa rekebisha kauli yako na fundisha watu ukweli
Sio sahihi pia
Zanzibar ilikua na utawala wake
Na kilwa ilikua na utawala wake
@@rrrhhhsssal1617 Uko sahihi kbs
Walio tutesa hao ss wapi Afroshiraz tukaungana sasa huru
Miaka 60 hat maki hakunajini looh
Yaani jamaa ajiumauma kweli ili ahalalishe tu huyo mwarabu awe mzanzibari; ki-ufupi Oman ni nchi nyingine na iliitawala zanzibar na kuuzaa na masulia (vijakazi wao) na hivyo kuwepo hao wanaojifanya wazanzibar waarabu; ulisikia wapi ufalme unachaguliwa na wananchi ila ni kurithishana tu hivyo huyu Farid Himid ni kijukuu cha masulia wa waarabu!
Suria, suria watch lugha za kibara! Tanzania nimasikini kwa sababu uogozi mbaya!
Wewe unaipeda kujifanya majaji kumbe hana ulijualo. Kamauna unaijua historia nenda kwenye habari utuilimishe .ji stir usionekane bwege.
Huna ulijualo kigurue weye
Ujinga mtupu bado mnapenda utumwa na kutawaliwa
A waarbu ni watu wawema sana sasa ukoloni wa mtu mweusi
Waambie hao wana maradhi ya choyo waeleze wasiojijua kazi chuki tuu
Jina lolòte ni jina madam wazee wamelipenda
Wametunakamisha ccm wallahi
Bora utwala wa kiarbu urudi kuliko kuwa na hawa matanganyika mavhogo
Mkundu www waje wakutawale ww na familia yako
@teamlovesquare3207Hayo si maneno. Wanasrma wao ni ndugu zetu wa damu....!
Amazing history although controversial but still history. But what is odd is the topic " hakurusiwa kuingia Kenya "..... doh, yaani mpaka Kenya ingizwe......subliminal subjugation........Media can be a problem
Kenyatta alikuwa hataki shida, sababu Mombasa tayari ilikuwa si sehemu ya Kenya na Kenyatta alikuwa ashakiuka masharti mengi kwenye ule mkataba alikuwa nao na Jamshaid
@@mjm135 that maybe correct as not really documented ( a nice area to research) but my question was on heading, Kenya has currently being the "topic " "talk of town especially in TZ" while it only had one sentence in the whole story.... main, I believe, should have been TZ to bring back their history......
@@salimjkj nimekulia Mombasa and this story of the agreement between Kenyatta and Jamshaid keeps popping up whenever the people of coast feel marginalized, in fact in 2012 a movement known as "Pwani si Kenya" started and they wanted to breakaway and form their own country, which of course the Kenyan government didn't allow and came down hard on them. I've never bothered on that part of history how the Kenyan coastal strip was part of Zanzibar until I came across this, great history but controversial. Am Kenyan by the way
@@mjm135 lakini pwani ni Kenya...ila viongozi ndo bure...
نايس
Samahani shekh wewe historia huijui au wewe ni mwoga
Twambie weye unojua.
Oman haija yumba muogo wewe omani kila kitu vile vile
Kabisa 👍
Weye umezaliwa lini hata usojua historia ya Oman. Usikanushe jambo tu tafuta kwanza.
Ukipenda kuombewa dua kwa sababu ya matatizo yako,nitafute kwa namba 0772 299278. Nitakusaidia kwa kukufanyia kisomo kutokana na matatizo yako.
Tunalipa hela ngapi
Yaani wewe Hamada huna matatizo?,killa binadamu anayo matatizo ambayo ni tofauti na mwenzake,pengine mwenzio ana madeni anadaiwa na hana kazi,utamkopesha?au ndio kwanza utamdai za kusomewa.
Mara nyingi mzazibari hatakataii warabu ila mijitu ya unguja ilio toka bara na wabara ndio wapingaji kumbe aduii yetu niwatu wabara ndio walio leta ukame
Kweli utumwa kuna watu bado wanaupenda, waliuza watu weusi kama tungule sokoni lakini mnaendelea uwasifu na kuwapenda.
Akili zako ngapi wewe
Wewe mpumbavu kweli
N R Ahsante sana.
Mossas Said Ahsante na kunitukana.
hata wazungu waliuza waafrika magharibi katika trans atlantic trade , issue kubwa hapo ni historia and not otherwise
anadanganya tu huyu
Sema weye basi tuujue ukweli.
Kama jamshid si mzanzibar nani mzanzibar na kwa kigezo gani kuwa fasaha na mkweli katika history yako usiongee kwa kumkwepa hatia
Umeelewa alichosema?? Amesema kisiasa, anachukuliwa sio Mzanzibari ila kiuhalisia yeye ni Mzanzibari, mbona unamtilia maneno mdomoni