@kitaaofficial4119 Tanzania sio nchi maskini masha Allah tabaraka Rahman ina kila kitu madini ya kila aina, mazao ya kila aina mifugo wanyama wa porini, na hata kama hao wakoloni unao wasema wali tawala wali acha vitu vingi sana nchini ambavyo vili kuwa na manufaa kwa wa Tanzania, lakini kiongozi alie kuwa ame wekwa madarakani ndio alie leta umasikini
Hii simulizi imenisisimua sana wallah. Dah!! Kumbe history tuliyopewa ni uwongo mtupu.😢😢😢😢😢 Dah!! Nahitaji mawasiliano ya huyu na vitabu vyake niketi kusoma kabisa
Anavyohadithia huyu ndiyo wazee wengi wa Tabora walikuwa wanaihadithia tena mwaka 1972 hadi 77 TANU ilivyo badili na kuungana na ASP tulihadithiwa sana history ya Zanzibar na Tanganyika ambazo kuna mengi yalifunikwa na historia mpya
Jamani kwenye vikao yanayozingatiwa ni mahitimisho au makubaliano ya mwisho ya kikao husika. Sasa ndugu unataka historia iandikwe eti waligombana, wakapigana, wengine wakalia hii sio sawa. Na huyu mzee katika maelezo yake ametaja kuwa mwalimu aliwauliza kama maoni ya yule mzee wa bakora yalikuwa maoni ya wanakamati wote wakajibu "hapana" tatizo liko wapi? Wengi wape, yeye alikuwa mmoja na wenzake wachache
Aliwageuka vipi waliotakiwa kulalamika walipaswa kuwa wakristo ambao walitaofishiwa shule na taasisi nyingine ili waislamu wapare elimu Shida ya waislamu no kuwa na udini uliopitiliza ndiyo maana nchi karibu zote za kiislamu zima migogoro
Kweli kabisa maneno yako mzee, na walikuwa hawataki wa Islam wasome walikuwa wana wabaguwa. Hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim mpaka siku ya qiyama
Waislam walipigania uhuru wa waislam au uhuru wa watanganyika? Mbona mnaeleza kana kwamba ulikuwa unatafutwa uhuru wa waislam? Nafikiri hao wazee baadhi hawakuweza kutofautisha nchi na dini, ndo maana mnakuwa disappointed mpaka leo
Mm na aamini mwalimu Nyerere hakuanzisha chama cha TANU kwasababu haiwezekani chama cha TAA kilizaliwa mwaka 1929 na Nyerere amezaliwa 1922 haiwezikani mtoto wa miaka sita aanzishe chama . Nyerere aliikuta TAA na mwaka 1954 Tanu ilianzishwa akibadili jina kuto taa . Nyerere alikaribishwa tuu.
Mzee huyu haandiki au kuongea kitu bila kuonyesha chuki zake juu ya Ukristo...anajua Wazi Nyerere alimshinda Urais wa TANU ABDULWAHID SYKES ...anakuwaje kuwa Muasisi wa TANU?
Vyann hatuna haja ya kujua story za kishamba kama hzi eti oooh huyu akipata nchi atawakumbuka wakristo tu mbn baraza lake lilikua na waislam wengi tu na nchi alimwachia mwislam tena mzanzibar Mwalim hakuwai kupenda udini
Nyerere Nyereeee alikua Dhalim Alikua Aduiiii tuu ... .. Chuki tupu Maneno yake na Hapendi Waisilamu Jitu Mmoja la Porojo sa Kisiyasa ....!! Sasa Hivyi Ananyoshewa Fimbo ya Molla Dhalim Mmoja Yuleee Kwani Nani Yeye Asinoyoshwe Bakora ...!! Wacheni Ujinga Wenu .
Huna akili kaabisa hv mm nweusi na waambia wenzangu huyu atakumbuka ndugu zake? Kvp na wote lengo letu 1 huyo mzee alileta Udini ndomaana nyerere alilia lengo ni umoja kama mwl angeangalia udini Tz isingekua km unayoiona leo naamini hata ww kama unaweza ukawa kabila tofaut na mkeo ila kwasabab ya mwl waislam tunazika wakristo na jumuika nao kwa shughul zote za kijamii nawao hvo wanaoa waislam na kuja misiban ya waislam na kujumuika ktk shughuli zote za Kijamii bila mwl pengine hao mnaoona waasisi wasingeleta uhuru mwl ndan ya miaka 6 tu kua tanu uhuru ukapatikana vp hao waasisi tangu 1929 walileta nn nchini ogopa sana udini na Ukabila Wengine hata saut ya risas hatujawi kuisikia ni kwasabab ya mwl aman tunayo kubwa hilo jambo ni alama kubwa sana kwa taifa Chamwisho mwl haadhibiwi na yyt yule ajaadhibiwa dunian wala hatoadhibiwa akhera
Ukumbukwe. Enzi hizo waislaam hawakuwa na shule walizojenga wao. Wakristo waliku na Shule za makanisa. Ikumbukwe ,waislaam nao hawakupenda kwenda kusoma kwenye shule za misheni. Ikumbukwe kuwa ni Nyerere huyohuyo ndiye aliyelazimisha shule zote ziwe za umma,kusomesha wanafunzi wa dini yeyote. Hapo ndipo waislam wakaanza kuingia kwenye hizo shule kabla ya kuzigeuza hizo shule kuwa za umma. Hili nalo tuliseme hata kama halitakiwi kusemwa
Kwa hivyo waislam wakati huo walitaka kuipambania Tanganyika au kupambania waislam? Maana ni kama walitaka kupambania waislam ndani ya Tanganyika. Sidhani kama ingekuwa sawa
@@mzungu2012 Ikiwa Hujui Histotoria ya Nchii yenu Basi Huna Maana Sababu Tanganyika qabla ya Yote iliwapokea Watu Wa Maqabila Tafautti Na Mbali Ya yote Ilikua Hakuna Kabisaa Roho Chaffu la ya Uqabila dini wala Utamaduni ...Ukiwa ni mtoto wa Jana Nenda Ukanyo nyeshwe Maziwa Baba
Hujasema kwa nini Waislamu hawakuwa na elimu? Kwa sababu wakati wa ukoloni elimu ya juu, zaidi ya darasa la nne, ilibidi kwanza ubatizwe na kubadili dini. Pia ingawaje Waislamu walikuwa wa kwanza kuwa na elimu ya kusoma na kuandika Tanzania, ila kwa herufi za Kiarabu, Mjerumani alipiga marufuku na kutohesabu elimu yoyote isiyo ya herufi za Kilatini si elimu. Ghafla Maelfu ya Waislamu wakafanywa 'illiterate!' Unaona uonezi dhidi ya Waislamu tangu wakati huo hadi leo Tanzania, na duniani! Ona Samia ana watendaji wengi Wakristo zaidi ya 80%, lakini yule Warioba adai kuna Udini! Kauli hii huisikii ikiwa rais ni Mkristo hata ikiwa baraza la Mawaziri 90% ni Wakristo, kama wakati wote wa enzi za Nyerere, Magufuli, nk Nyerere alikuwa adai Waislamu hawana elim ya kidunia.Nini excuse ya Magufuli na wengine hivi sasa? Ndiyo maana kwa sababu ya woga, hata marais Waislamu wanawapendelea Wakristo katika madaraka ya juu. Rais pekee aliyekuwa haangalii mambo ya dini ni Mkapa, pekee!
WAZEE WETU SIJUWI NI KITU GANI KILICHO WASAHAULISHA HATA KUMFANYA NI RAFIKI WAO HATA KUMU AMINI KWA KIASI KIKUBWA SAANA HATA KUMUWEKA PAHALA ALIPOKUWA HAAYATI YULE,,!!!
@@SimbaHaji-jm7md uhuru upo kiongozi japo ni wakuforce sahizi kama tanganyika na zanzibar zikitaka kutengana ni mswaada unapelekwa bungeni mnajadili kwa hoja mnafikia makubaliano nahisi kwa sasa tukianza kujadili udini tutaludi nyuma sanaa
Aliyoyazungumza mwanahistoria huyu mahiri ni HAKIKA ZA KIHISTORIA (HISTORICAL FACTS), fanya utafiti ukiwa na akili huru utagundua kwamba yote hayo yamethibiti katika historia.ya nchi hii...Usihemkwe na UDINI WAKO. SOMA KITABU "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953 - 1985 CHA DR. SIVALON" na ndani yake utajua kwamba NYERERE HAKUWA MZALENDO WA NCHI BALI ALIKUWA (MMISIONARI) MZALENDO WA UKRISTO (ESP. UKATOLIKI) NA HATA UJAMAA WAKE ULITUMIKIA UKATOLIKI.....
Ukweli upi? Je ni Nyerere aliyewazuia waislamu kwenda shule? Mbona ni Nyerere huyo huyo alietaifisha shule za sekondari za wakristo ili watoto wa kiislamu wapate elimu? Je, mbona hata baada ya utawala wa Nyerere miaka 40 iliyopita wengi wa wahitimu wa elimu ya juu ni wakristo? Kuna tofaûti ya kimtazamo kuhusu umuhimu wa shule kati ya uislamu na Ukristo. Waislamu walikataza watoto wao kwenda shule kwa hofu ya kubadilishwa dini.
@@sylvestercameo6263 waislam wana akili nyingi,walifahamu hatari ya kuwasomesha watoto wao kwa makafiri ambao hatimaye wangewaritadisha,can you imagine that today a prominent people who received the so called circular education yet they believe non sense Kwangu mimi ninayejitambua ni bora mtoto wangu aishie std 7 kuliko kuwa kafiri
Mi naomba kufahamu zaidi, maneno ya Sheikh Takadiri yamesadifu? Kwani leo nchi imepewa watu ambao si watanzania? Au waislam walitaka kupambania Tanganyika au walitaka kupambania waislam? Kama ni kumbania Tanganyika, hofu ilikuwa nini?
Kwani sasa mmepata uhuru mnafanya kazi kwenye nyumba za nani? Si za haohao waarabu wandani ya nchi mpaka wa nje ya nchi, kwa roho zenu mbaya hata hamkijui mnachokisema na ukweli unaonekana
@@KHALIDKIRAMA-iq6enElimu mlinyimwa na mababu zenu waliojiaminisha kwamba wakiwapeleka watoto wao shule watabatizwa na kuwa wakristo. Je, miaka 40 tangu utawala wa Nyerere mbona idadi kubwa ya wahitimu wa elimu ya juu ni wakristo? Elimu kwa wakristo ni sehemu ya utamaduni wao.
Nyerere, ALLAAH akulaani na akuzidishie adhabu ya kaburi. Ameen
Subhanallah maneno ya sheikh Takadiri yamesadif kweli, Allah akuhifadhi baba kwa kututoa taka ama kweli historia ilifichwa subhannah
Mzee Mohammed Said Aksante sana kwa historia hii ya tanganyika.
MwenyeziMungu akuzidishie kila la heri inshaallah.
W2222jue 2
Huu Umaskini wa Tanzania hakika Umejengwa na Wakoloni😢😢 Asante sn Mzee kufunua Ukweli❤❤❤
Mimi kwa ufahamu wangu watanganyika wengi hawakuwa na elimu hiyo ya darasa la 10.
@kitaaofficial4119 Tanzania sio nchi maskini masha Allah tabaraka Rahman ina kila kitu madini ya kila aina, mazao ya kila aina mifugo wanyama wa porini, na hata kama hao wakoloni unao wasema wali tawala wali acha vitu vingi sana nchini ambavyo vili kuwa na manufaa kwa wa Tanzania, lakini kiongozi alie kuwa ame wekwa madarakani ndio alie leta umasikini
Mzee Mohamad Said Allah akuhifadhi
Wallah nina kiu ya kumsikiliza huyu bwana neno kwa neno.ananikumbusha shekhe wetu ilunga allah amrehemu huko alipo.
Allahuma Aameen 🤲
Allah andika kwa herufi kubwa Allah Shukran
Hii simulizi imenisisimua sana wallah. Dah!! Kumbe history tuliyopewa ni uwongo mtupu.😢😢😢😢😢
Dah!! Nahitaji mawasiliano ya huyu na vitabu vyake niketi kusoma kabisa
Una uhakika upi kama hii ni ya kweli?
@@yohanajoseph-w2u we mkundu nn, nn kinakwambia history uliyofundishwa ni ya ukweli?
Anavyohadithia huyu ndiyo wazee wengi wa Tabora walikuwa wanaihadithia tena mwaka 1972 hadi 77 TANU ilivyo badili na kuungana na ASP tulihadithiwa sana history ya Zanzibar na Tanganyika ambazo kuna mengi yalifunikwa na historia mpya
@@platotaurus2301Ni kweli huyu ni mkundu,namfahamu.
Historia nyingi huko nyuma imefumbwa
Daaaaaa kweli historia ya kusisimuwa.
Nyerere huko Kwa MUNGU ni kama namuona, eti baba wa taifa
Jamani kwenye vikao yanayozingatiwa ni mahitimisho au makubaliano ya mwisho ya kikao husika. Sasa ndugu unataka historia iandikwe eti waligombana, wakapigana, wengine wakalia hii sio sawa. Na huyu mzee katika maelezo yake ametaja kuwa mwalimu aliwauliza kama maoni ya yule mzee wa bakora yalikuwa maoni ya wanakamati wote wakajibu "hapana" tatizo liko wapi? Wengi wape, yeye alikuwa mmoja na wenzake wachache
Nguli wa Historia ya Nchi yetu.Asante Mzee.
Ndugu zangu Watanzania mzee wetu tumsikize lkn tusijeingia kwenye vita vya Udini NChini mwetu
Wasiwasi wako ndo ugonjwa wako
waengereza ndiyo walotumaliza duuuu
Waislamu ndio walihusika pakubwa kuipigania uhuru wa nchi hii, lakini baadae Nyerere akawageuka
Aliwageuka vipi waliotakiwa kulalamika walipaswa kuwa wakristo ambao walitaofishiwa shule na taasisi nyingine ili waislamu wapare elimu
Shida ya waislamu no kuwa na udini uliopitiliza ndiyo maana nchi karibu zote za kiislamu zima migogoro
Kweli kabisa maneno yako mzee, na walikuwa hawataki wa Islam wasome walikuwa wana wabaguwa. Hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim mpaka siku ya qiyama
Weebunaongea nini mavi wewe msikilize mzeee kenge wewe huna pimbavu
@@gabrielmdem4271 ukweli ndio huwo wengi wao ni wa Islam
Waislam walipigania uhuru wa waislam au uhuru wa watanganyika? Mbona mnaeleza kana kwamba ulikuwa unatafutwa uhuru wa waislam? Nafikiri hao wazee baadhi hawakuweza kutofautisha nchi na dini, ndo maana mnakuwa disappointed mpaka leo
Hongera sana Mohamed nakufuatilia sana
Tanzania ni Tangaa
Tanga ni Tanzaniaa
❤
Duh kwan waislam walikuwa hawasomi
story tamu sana aseee....mzee apewe muda zaidi
Mara ya mwisho Mzee Pacha na Mzee Ndugulile toka Nzega 1984 walikuwa Wajumbe Jumiiya ya Wazazi Mkoa nilikwepo na sàsa Nipo
Nyerere alikua Adui na wenziwe waengereza😢laana inamtafuna
Alikuwa ni Kibaraka Mkubwa wa Waingereza
Amiin
Mzee wetu kuna historia ya mkapa tungeomba tupewe
Asalaam aleykum.mbona kama haya mazungumzo umeyaka pakubwa?wallah huyu bwana ameleta habar kubwa sana kabisa.😂😂
Daaah, asee! Yamesadifu.
Mm na aamini mwalimu Nyerere hakuanzisha chama cha TANU kwasababu haiwezekani chama cha TAA kilizaliwa mwaka 1929 na Nyerere amezaliwa 1922 haiwezikani mtoto wa miaka sita aanzishe chama . Nyerere aliikuta TAA na mwaka 1954 Tanu ilianzishwa akibadili jina kuto taa . Nyerere alikaribishwa tuu.
Weeew piha kimy nyerere nni kakumbia kuwa ndie alinzisha taa
@@abdallahmmary8591 andika vizuri
Hijii lolote lanye ukoo cjooni sikiliza histoli kwa mzeee erim tatizo upo madrasaa haya jifunze kiarabu
Tafadhali tafadhali naomba msaada nimekitafuta sana icho kitabu cha Abduly saksi kwa ghalama yoyote nimekitafuta maktaba zote sijakipata
Kinapatikana msikiti wa manyema dares salaam kuna maduka ya vitabu
Copy ya kiingereza nafikiri na ya kiswahili
Asante sana nashukuru nitaenda kukitafuta
Shekh mwenye hii chanel tafandali tuwekee kwa ukamiliifu mwahojiano yako na huyu bwana,tafadhali sana.
Hivi vitabu navipataje Sheikh wangu?
Aseee
Ndio hapo waislamu walijikwaa kuacha kuandaa vijana wao wakamuamini mkatoliki akawanyoosha.
Mbona sasa ndiye Nyerere aliyeleta Uhuru na ilikuwaje mpaka
Kuna watu wanalishwa ujinga hapa...na wao wanafurahiii😅
Ni hivi waislam walikuwa hawana elimu wengi wao walikuwa maaa muma
Ni ungese tu
Divide and rule Mwalimu alifanikiwa😂
Endeleen kutuhabarish ukwel
Mzee huyu haandiki au kuongea kitu bila kuonyesha chuki zake juu ya Ukristo...anajua Wazi Nyerere alimshinda Urais wa TANU ABDULWAHID SYKES ...anakuwaje kuwa Muasisi wa TANU?
Uchaguzi TAA 53,TANU 54; hivyo TANU ni zao la TAA
Mpaka leo mtu Akivaa kofia tu tunamuamini.Nyoyo zetu ni safi mno.ndio udhaifu wetu Duniani kote
Hivi vizee vya pwani viongo, yaani vinajifanya vijuaji kama bila vyenyewe tusingekuwa huru
Sasa ninasubcribe inshaallah.
Uyo mzee Takadiri udini ulikuwa unamsumbua
Duuu
Haya hayasemwi kabisa, naomba viandikwe vitabu vya kutosha tena kwenye lugha yetu ya Kiswahili.
Vyann hatuna haja ya kujua story za kishamba kama hzi eti oooh huyu akipata nchi atawakumbuka wakristo tu mbn baraza lake lilikua na waislam wengi tu na nchi alimwachia mwislam tena mzanzibar
Mwalim hakuwai kupenda udini
@@fasterwalker1464Njoo na hoja kama mzee alivyofanya na sio kutuonyesha mapenzi yako...
Vitabu vinapatikanaje?
historia huwezi kuificha inakuwa sawa na moto itafukuta tu!!
Sasa huyu mzee mbona yupo sana kidini? Watu kama hawa hawafai kusikilizwa.
Mwambieni huyu Mzee anitafute kuna MTU anamfaa sana
Allah ndo hakimu, atalipwa kwa dhuluma yake iii nzito.
Tunapataje kitabu ??
Ya Do unia ya kupita tu
Mbona hiyo ni dhahiri. Nyerere aliikuta TAA. Kilikuja badilishwa nakuitwa TANU ili kukabiliana changamoto za kudai uhuru wa Tanganyika.
Nyerere Nyereeee alikua Dhalim Alikua Aduiiii tuu ... ..
Chuki tupu Maneno yake na Hapendi Waisilamu Jitu Mmoja la Porojo sa Kisiyasa ....!!
Sasa Hivyi Ananyoshewa Fimbo ya Molla Dhalim Mmoja Yuleee
Kwani Nani Yeye Asinoyoshwe Bakora ...!! Wacheni Ujinga Wenu .
Huna akili kaabisa hv mm nweusi na waambia wenzangu huyu atakumbuka ndugu zake? Kvp na wote lengo letu 1 huyo mzee alileta Udini ndomaana nyerere alilia lengo ni umoja kama mwl angeangalia udini Tz isingekua km unayoiona leo naamini hata ww kama unaweza ukawa kabila tofaut na mkeo ila kwasabab ya mwl waislam tunazika wakristo na jumuika nao kwa shughul zote za kijamii nawao hvo wanaoa waislam na kuja misiban ya waislam na kujumuika ktk shughuli zote za Kijamii bila mwl pengine hao mnaoona waasisi wasingeleta uhuru mwl ndan ya miaka 6 tu kua tanu uhuru ukapatikana vp hao waasisi tangu 1929 walileta nn nchini ogopa sana udini na Ukabila
Wengine hata saut ya risas hatujawi kuisikia ni kwasabab ya mwl aman tunayo kubwa hilo jambo ni alama kubwa sana kwa taifa
Chamwisho mwl haadhibiwi na yyt yule ajaadhibiwa dunian wala hatoadhibiwa akhera
Dhwalim mkubwa sana
Ukumbukwe. Enzi hizo waislaam hawakuwa na shule walizojenga wao. Wakristo waliku na Shule za makanisa.
Ikumbukwe ,waislaam nao hawakupenda kwenda kusoma kwenye shule za misheni.
Ikumbukwe kuwa ni Nyerere huyohuyo ndiye aliyelazimisha shule zote ziwe za umma,kusomesha wanafunzi wa dini yeyote. Hapo ndipo waislam wakaanza kuingia kwenye hizo shule kabla ya kuzigeuza hizo shule kuwa za umma. Hili nalo tuliseme hata kama halitakiwi kusemwa
Kwa hivyo waislam wakati huo walitaka kuipambania Tanganyika au kupambania waislam? Maana ni kama walitaka kupambania waislam ndani ya Tanganyika. Sidhani kama ingekuwa sawa
@@mzungu2012 Ikiwa Hujui Histotoria ya Nchii yenu Basi Huna Maana Sababu Tanganyika qabla ya Yote iliwapokea Watu Wa Maqabila Tafautti Na Mbali Ya yote Ilikua Hakuna Kabisaa Roho Chaffu la ya Uqabila dini wala Utamaduni ...Ukiwa ni mtoto wa Jana Nenda Ukanyo nyeshwe Maziwa Baba
Hujasema kwa nini Waislamu hawakuwa na elimu? Kwa sababu wakati wa ukoloni elimu ya juu, zaidi ya darasa la nne, ilibidi kwanza ubatizwe na kubadili dini.
Pia ingawaje Waislamu walikuwa wa kwanza kuwa na elimu ya kusoma na kuandika Tanzania, ila kwa herufi za Kiarabu, Mjerumani alipiga marufuku na kutohesabu elimu yoyote isiyo ya herufi za Kilatini si elimu. Ghafla Maelfu ya Waislamu wakafanywa 'illiterate!'
Unaona uonezi dhidi ya Waislamu tangu wakati huo hadi leo Tanzania, na duniani!
Ona Samia ana watendaji wengi Wakristo zaidi ya 80%, lakini yule Warioba adai kuna Udini! Kauli hii huisikii ikiwa rais ni Mkristo hata ikiwa baraza la Mawaziri 90% ni Wakristo, kama wakati wote wa enzi za Nyerere, Magufuli, nk
Nyerere alikuwa adai Waislamu hawana elim ya kidunia.Nini excuse ya Magufuli na wengine hivi sasa? Ndiyo maana kwa sababu ya woga, hata marais Waislamu wanawapendelea Wakristo katika madaraka ya juu. Rais pekee aliyekuwa haangalii mambo ya dini ni Mkapa, pekee!
Acha kushoshea chuki...Udini mbaya sanaa, Unaongea uongo bila relevant information
WAZEE WETU SIJUWI NI KITU GANI KILICHO WASAHAULISHA HATA KUMFANYA NI RAFIKI WAO HATA KUMU AMINI KWA KIASI KIKUBWA SAANA HATA KUMUWEKA PAHALA ALIPOKUWA HAAYATI YULE,,!!!
Ilibidi iwe hivyo maana Muingereza angelichukua mda mrefu kuitupa uhuru kama kiongozi wa Chama angeli kuwa Muislam
@@MrKhatibuhata hivyo uhuru uko wapi
@@SimbaHaji-jm7md uhuru upo kiongozi japo ni wakuforce sahizi kama tanganyika na zanzibar zikitaka kutengana ni mswaada unapelekwa bungeni mnajadili kwa hoja mnafikia makubaliano nahisi kwa sasa tukianza kujadili udini tutaludi nyuma sanaa
Kwahiyo maelezo yako mzee unataka tuelewe nini namasimuliziyako hayo? Mbona husemi TANU imetawalatangu uhuru mpakasasa hivi ? Kulitokea nini 1977 mpakaleo unasema CCM imetawalamiakazaidi ya 60 ? hiyomaada yako yahistoria haina mashiko kwenyetaifa ilivyopatikana TANU ndivyo ilivyopatikana CCM. TAA hakikuwa chama chasiasa wala.
Wewe paka waqrabu Wana nn tulizaaa mshonooo wewe tafta historiaa usomeeeeeee
Sasa hivi hatuongelei utanzania wala uafrika wetu tunaongelea dini zetu. Dini za kigeni. Hii ni aibu.
Waislamu ndo wa kwanza kujua kusoma na kuandika na hesabu, sasa ilikuwaje tena hawakusoma??
Sheakh takadiri aliona mbali nyerere ni kibaraka tuu
Udini tu m, kwamba mlitaka mjikute nani? Acha kuwajaza wenzio. Ujuaji ni mwingi ila huyu bwana udini na upwani unamsumbua sana. Laana
Wewe pia ni mgonjwa wa kuto utaka ukweli.
Aliyoyazungumza mwanahistoria huyu mahiri ni HAKIKA ZA KIHISTORIA (HISTORICAL FACTS), fanya utafiti ukiwa na akili huru utagundua kwamba yote hayo yamethibiti katika historia.ya nchi hii...Usihemkwe na UDINI WAKO. SOMA KITABU "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953 - 1985 CHA DR. SIVALON" na ndani yake utajua kwamba NYERERE HAKUWA MZALENDO WA NCHI BALI ALIKUWA (MMISIONARI) MZALENDO WA UKRISTO (ESP. UKATOLIKI) NA HATA UJAMAA WAKE ULITUMIKIA UKATOLIKI.....
@@angelsblackboard8008 Akili huna,umedumazwa na roho mtakavitu pimbi wewe
Ukweli upi? Je ni Nyerere aliyewazuia waislamu kwenda shule? Mbona ni Nyerere huyo huyo alietaifisha shule za sekondari za wakristo ili watoto wa kiislamu wapate elimu? Je, mbona hata baada ya utawala wa Nyerere miaka 40 iliyopita wengi wa wahitimu wa elimu ya juu ni wakristo? Kuna tofaûti ya kimtazamo kuhusu umuhimu wa shule kati ya uislamu na Ukristo. Waislamu walikataza watoto wao kwenda shule kwa hofu ya kubadilishwa dini.
@@sylvestercameo6263 waislam wana akili nyingi,walifahamu hatari ya kuwasomesha watoto wao kwa makafiri ambao hatimaye wangewaritadisha,can you imagine that today a prominent people who received the so called circular education yet they believe non sense
Kwangu mimi ninayejitambua ni bora mtoto wangu aishie std 7 kuliko kuwa kafiri
Mi naomba kufahamu zaidi, maneno ya Sheikh Takadiri yamesadifu? Kwani leo nchi imepewa watu ambao si watanzania? Au waislam walitaka kupambania Tanganyika au walitaka kupambania waislam? Kama ni kumbania Tanganyika, hofu ilikuwa nini?
Huyu n mbaguz wa iman kwann kila baada ya sentens 1 unazungumzia uislaam kwan wakat huo wa kristo walkua na sifa hzo za kupga kula
Ukabisha nini nawakati ukweli unafichwa wewe Kwanza bado dogo
Bila nyerere Zanzibar yote ingekuwa chini ya Waarabu na nyie weusi wenzangu mgekuwa wafanya kazi wa ndani katika nyumba za Waarabu
hoja za kiwendawazim hizo
Kwani sasa mmepata uhuru mnafanya kazi kwenye nyumba za nani? Si za haohao waarabu wandani ya nchi mpaka wa nje ya nchi, kwa roho zenu mbaya hata hamkijui mnachokisema na ukweli unaonekana
Nyiye hamuwezi kubadilika kwa chukki zenu kwa waarabu nikulize hakuna waswahili wanaofanya kazi kwa waswahili wenzao kazi za ndani bwge ww?
@@samiraali1632kweli kabisa maneno yako
Wanao wa saidia kwa kila kitu ni waarabu lakini uta kufa kwa ubaya wako. Hasbiya Allah wani'mal wakiil
Kwahiyo waislamu mlitakaje Yani?
Inaonesh una upungufu Ktk uelew wako
@@ramadhanimandoa716 kuelewa nini acheni kujipa umuhimu kila mahali. Dunia sio yenu
Tatizo mnapotosha ukweli, na tulinyimwa haki ya elimu, na fursa nyingi ikawa zinapewa wakristo
@@KHALIDKIRAMA-iq6enElimu mlinyimwa na mababu zenu waliojiaminisha kwamba wakiwapeleka watoto wao shule watabatizwa na kuwa wakristo. Je, miaka 40 tangu utawala wa Nyerere mbona idadi kubwa ya wahitimu wa elimu ya juu ni wakristo? Elimu kwa wakristo ni sehemu ya utamaduni wao.
Udini sasa?
Azma yako ni nini kuleta history za hivi
Huyu mzeee anahisi hii nchi na Waislamu pekee yao ana shida kidogo
Endeleen kutuhabarish ukwel