KARUME DAY: MKE WA KARUME ASIMULIA MUMEWE ALIVYOUAWA KIKATILI - "NILIKUWA NATOKA SHAMBA"
HTML-код
- Опубликовано: 16 окт 2024
- KARUME DAY: MKE WA KARUME ASIMULIA MUMEWE ALIVYOUAWA, "NILIKUWA NATOKA SHAMBA"
LEO Aprili 07, 2021 Tanzania inaadhimisha siku ya Mashujaa (Karume Day) , ambapo maadhimisho hayo yameongozwa na Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Marais wa Tanzania bara na visiwani, Samia Suluhu Hassan na Dkt Hussein Mwinyi.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
At her age...I just love how she explains the story...wow
i guess it is kinda off topic but do anyone know a good site to watch newly released tv shows online?
@Franklin Alonzo lately I have been using FlixZone. Just google for it =)
Pole sana ma fatuma karume mwenyezi Mungu akupe umri mrefu bibi yetu kipenzi tunakupenda sana mwenyezi Mungu akupe umri said
Apumzike kwa Amani Mzee Karume
Dahh huyu mama ana mwili mzurii🙌na anakumbuka kila kitu
mashalaaa ! mama anazeeka nauzur wake
Sio video ya leo..ni ya zamani
Dah pole sana mama mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema
Allah atampa Rehema ktk makazi yake ya milele. Ametufanyia mengi mema kwa wazanzibari. Daima tunakumbuka mema yake. Mzee Karume RIP Alhamdulillah.
Kumbe kuuwawa. Viongozi bora hakujaanzaa Leo. Mungu dhihirisha watu waovu wanao katili ndoto za wanyonge kutimia
Aamin
Allah akutiye nguvu mama yangu,kweli inauma sana,
Mwenyezi Mungu ampokee kwenye Nuru ya uso wake
Maneno mazito hayo mwenyezi Mungu akupe
Maisha marefu
Pole mama yetu mungu azid kukupigania amina
Bibiyangu kumbe bado unakumbukumnbu mwenyezimngu akupe maisha malefu
Allah Amrehemu, Pole Mama.
Nae aliuwa watu walikuwa hawana hatia pia kisa mapinduzi. Kwa hio malipo pia ni hapa.hapa duniani ivo ivo kwa waliowauwa
Muwe na ustaarabu kwenye mitandao sio kuropoka mambo mazito kama hayo na ikiwa huna ushahidi ...tambua hizo comment zinasomwa na watu wengi..hata kama ni kweli jifunze kunyamaza mambo mengine
Tunyamaze kwavike waliouliwa sio wazee wako Ndiomana sisi mpaka saiv tuna majonzi kwa mauaji waliyofanyiwa mababu zetu Na mabibi zetu Na haitofutika daima Allah atatulipia kwa hilo
Labda nayeye ni katika hao wauwaji. tunyamaze na wakati wazee wetu waliuliwa bila ya kosa.
Kumbe aliuliwa!
Inaa lillah waina illayih rajioni
Pole San Bibi etu
Pole sana Mama! R.I.P Mzee Karume
Walimzuia first lady!!
Oooh mom pole 😭😭😭😭
Mimi. Ni. Daudi. Khatibu. Nimependa. Ssnna. Hii. Habarii. Mulikuwa. Sijaifahamu
Pole mamaangu
R.I.P Our president
Pôle sanaaa mama Fatma
Inasikitisha kweli
Mama bado yupp na kumbukumbu kama kazaliwa mwaka 70 vile mie leo nina 24 lakin mambo mengi sikumbuki
Inawezakanabhii video ya miaka iliopita sio leo
Mungu atawalipa tu .kwani nao watakufa tu
Pole mama
Huyu mama Mungu ampe faraja
Poleni sana mama
Alomtengenezea mauti hakujua mbele yake ni nyuma yakee yuko wapi sasa atamlipa nafsi yake huko aliko vipi atamlipa mungu ndo anajua muhimu ni dua tuu
Kaua na yy kauliwa watalipana mbele ya safari huko.
@@alhamdulillah5796 mhmm
Mkosha Ukoshwa vipi wale alokua akiwapeleka Kuchunga Ng’ombe alafu hajawarejesha tena na wao waliwacha Familia zao
Video ya Muda mrefu
Nakumbuka tulikuwa wadogo mchana dhuhur tumekaa kula chakula cha mchana ikatangaziwa kwenye radio....
Mashallah
Innalillah wainnaillahi rajuuun kull nafsi zakalltu mauti mbele yake nyuma yetu
🎩🙏🏾
maneno hayo sasa
Dah kifo hiki kisikie tu maana kikifika kwa mtu wa karibu utaona Kama umeonewa
Aliaca watoto wangapi ?
Hutu bibi kazaa 2 laminitis Mzee Karume alpaca wajane 4 Katie ya has watatu wamezaa kill mmoja motor mmoja mmoja wa Mike laminitis historia imewafuta hawajulikani.
Mzee Karume kazaa 2 na huyu bibi. Lakini alikua na wake wengine kati ya hao 3 walizaa kila mmoja mtoto mmoja mmoja wa kike wote. Lakini ndio hawajulikani historia imewafuta. Kuna Ahad, Asha na Aksa hao wa kike.
duu hatari sana!!.
Maneno mazito mungu akupe afya njema na mwisho mwema
Huyu mama anatema cheche
Kumbe huyu Bibi ni mjanja sana
Unafanana na mwanao Fatma mwanasheria
Sio mwanae ni mjukuu wake.
Kuwa naadabu mama wawatu unamwita maraya kwanini
Anaongea Kama mjukuu wake fatma
Mazito kama dhulma mtu kaifanya kesho atajibu
Mkosha Ukoshwa wote walikua Sawa Sawa tu
Watalipana na nyererehuko
Ina maana tangu mumewe afariki hakuolewa tena 🤔
😂😂😂😂Kwan mke wa nyerere kaolewa
@@beautyibrahim8428 sasa huyu mume wake alikufa tangu miaka ya 70 huko
Fatma karume mtupu
Jamani huyu Bibi Bado yupogo2 kwanini wanawake hawafi halaka?
Hahahaa tykifa haraka watoto nan atalea sada mungu mkali bhn wanaume mnamambo mengi ndio maana mungu nae anawaondoa haraka anatuacha tuendeleee kulea watoto
@@beautyibrahim8428 sawa bana wewe unapatikana wapi
We mjinga..video ya zamani..yawezekana kaolewa mdogo
Kwa sbb tunakosha kosha vyombo
Mbona hawezi kujistiri kichwa na network bado anayo,hii ni kiburi kwa dini
Jistiri mjuavo hata ubaki macho tu ila Ukiwa mchafu wa matendo ni bure
Matendo tumuachie mhukumu, Mwenyezi Mungu ila utaratibu wa dini ya uislaamu lazima ufuatwe
@@imranndal9493 matendo umwachie Mungu? Haya sawa.
Acha uduanzi wewe
Kiburi ulimpa wewe
Walimuuwa ili watutawale
Wallah washenz wakubwa leo wana2buruza wazanzibar mungu atawalaan washenz hawa
Mlimu wona muwarabu mbaya sasa wahadimu wenyewe kwa wejewe
Dah? Maelezo mazuri but mafupi.
Afadhari wema hawangalipo. Maana huishia kuuawa tu na wawakilishi wa shetani!!!
😕😕😣😕😕
Nashangaa sana marais wanakufa lakini mademu zao mpaka Leo wapo sijui kuna siri gani hapa aisee 😬😬😬
Mipango ya mungu
🙏🙏👍
Wape HESHIMA zao
Hao sio MADEMU ni MAMA zetu
Kitoto kukiolewa na mzee unataraj nin ww ingawa mauti hayachagui lkn uivao ndo uvunwao
Wanaume wanakufa ovyo ovyo juu Wana majukumu mingi ya kutafuta dunia yao
Uyu inaonekana kwwnye ubinti wake alikuwa malaya sana.. !!!!!!!!
Wewe jama nan unaesema kama yaonesha alikuwa malaya
Muulize mama yako alibeba vipi mimba yako
Mtukane mama yako halafu ndio umtukane mama wa mwenzako
Maana woote ni mama
Kweli huna adabu unawezaje kumtukana mama wa mwenzio hata aweje na ni dhambi kubwa kumdhania asio kua nayo astaghfirullah l adhiim
Muogope mungu ndio atakae hukum sio wewe kwa maneno mabaya
@@shamzone388 nastaajabu Kwa hii kauli,omba msamaha haraka,dah!
Muogopeni allah usiseme tu unaushahidi
HUYU BIBI YAKE FATUMA KARUME HAJUI KUJISITIRI KAMA MJUKUU WAKE VINYWELE CHWEEE
Acha wivu
Kamfunikeee
Mwacheni mama wawatu kwanza hangalia humri wake bado yupo smati mzuri mashaa Allah mungu azidi kukupa afya njema
Huyo ni mtu mzima na pia isitoshe alijiona kuwa yupo ndani kwake
@@mariamufungo9619 kweli kbc usemalo