shabiki shakiki wa the story book, kutoka Mombasa Kenya...hongera bwana professor jamal...hakika nafuatialia makala haya punde tu zinapotokea.....nawapenda wa Tanzania..
Proffesore Kuna kitu huwa kinanikanganya kuhusu njozi, Kuna mda nishawahi kuota sehemu ambayo sijawahi fika katika maisha ya kawaida, Kisha siku moja nikawa nasafiri nikaiona sehemu kama ile ile niliyoina ndotoni na ndio mara ya kwanza kufika... #bravo bro Jamal much love from 🇰🇪
Huku +254 tunasema profesa ni mjammo' kazi nzuri kwa kweli.Umenielimisha na kujibu baadhi ya maswali nliokua nikijiuliza kwa miaka sasa, From 254 Mombasa ninakunauwo sana.one love
Natanguliza shukurani kwa kazi nzuri unaumiza kichwaa kupata kitu kizuri ili sisi tushibe kwa somo unalo litowa muumba azidi kukupa malifa na upeo wa juu kutafakali vitu vya msingi nalidia kusema Asante tuko utuletee masomo mazuri ya kumbusha mwanadamu ili kumjua mungu.🍉🍇🥑🍍🍓🥦🥦🥛🍽️☕
Ndoto ni mawanzo ambayo ya liyo mzunguka mwaadamu kila siku ktk maisha yk,maana nyengine ujumbe untokana Allah ktk umbe wake ili umelewe kwa hakuna anaye weza kukupa usingiz na kuletea mazingira tofauti ktk mazingira yk,mfano huwez kutoa ndoto ya jambo ambayo hujaliona au kukuzunguka ktk maisha yk ,ndoto ni Mtanzo ambao unakujulisha vitu ambayo vinatokea au vitokea kulingana na Cheo chako alicho kujalia Allah
Leo ume tuweza kweli waoga imagine na hii time 02:25 sija lala nika ona notification story book nika sema acha ni fungue kabla sija lala mwanzo tu nime stuka naku washa mata sehemu zote silali leo acha nikae macho ila bongezi kwa story
Walah ndoto ni ujumbe unaotoka kwa mwenyez mungu... Hii imenidhihirishia Mara kadhaa kwenye ndoto zangu... Kila ninapoota na kuikumbuka ndoto niliyoota hua ni yakweli yanatokea..
kwenye swala la ndoto siwezi kumwamini mwana sayansi nitazidi kumwamini Mungu, mfano mtu unaweza kuota kitu afu baada ya miaka au miezi kinatokea vilevile ulivyooto, sasa hapo sayansi inatumikaje
Bro Jamal Asante . Ila na swali napenda nijue utafauti gani upo kati ya Dream ama" ndoto" na vision ama "maono " ... Tupe majibu ndugu.. Asante. Mwenyezi Mungu awabariki
Professor me napenda vile uko creative😅, Much respect bruh
Kama unamkubali jamali LIKE
I I love I I I just
Una IQ kubwa san
Jama iko creative ana IQ for me is better than mtiga kbsa respect kwake kbsa🙌🏾
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
Jamal ntakuombea uishi miaka mingi
shabiki shakiki wa the story book, kutoka Mombasa Kenya...hongera bwana professor jamal...hakika nafuatialia makala haya punde tu zinapotokea.....nawapenda wa Tanzania..
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
Ahsante Sana bro kwa mapenzi yako kwetu, nasi twakupenda pia 🥰🥰🥰
@@asmawastaramushi996 Shukran
@@sharafikuliyocha3853 asante sana
Tunakupenda pia
Proffesore Kuna kitu huwa kinanikanganya kuhusu njozi, Kuna mda nishawahi kuota sehemu ambayo sijawahi fika katika maisha ya kawaida, Kisha siku moja nikawa nasafiri nikaiona sehemu kama ile ile niliyoina ndotoni na ndio mara ya kwanza kufika...
#bravo bro Jamal much love from 🇰🇪
I know kuna wengi sana wamerudia more than 2 times ka mimi representing 254. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪much love
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
Nakupenda sana kwa sababu una zungumzia sana sayansi 🎉🎉🎉na mm piya na penda❤sana syansi👨💻👨💻
Nakubal jamal na mm na ndoto ya kuwa kama wewe na nimeandika story book nane had sasa👍👏👏👏
😘
Jamal April. Nipo Pande Za Africa kusini . We apriciated fo yor massages. Unatufariji saana. Tunapenda saana.
Big up saana bro.
My all time professor I really like your story jamal much love from +254.
Good work Jamal mwenyezi mungu akujalie na kukupa neema zake kwa hiyo kazi am Snoopy from 254
Leo nimekua wa kumi na nane kucoment nipeni ata like tatu nifarijike na mie
Za nn sasa
@@japhetgeorge315 hiyo ndo mila na destur ya mtandaon mzee usiulize za mini😂😂
Utairaaa uoooo
Kwani izo like mnalipwa
Acha ushoga
Huku +254 tunasema profesa ni mjammo' kazi nzuri kwa kweli.Umenielimisha na kujibu baadhi ya maswali nliokua nikijiuliza kwa miaka sasa, From 254 Mombasa ninakunauwo sana.one love
Much appreciation from 254. Thanks for the comprehensive research on dreams. May God empower you with more wisdom professor.
Professor ni mmoja tu🙏🙏
Hatimae Leo nmekuwa wa1 kavmview profesr 🔥
Kaka Jamal shikamo nakutakia kazi njema💯💯
Jamal your the best,there is no reason to compare you with mtiga again🔥🔥🔥🔥
Nliota paka anataka kunirukia,rafiki yangu akamrushia ubani akayeyuka ,niliota pia aunt yangu ambae nimarehrmu ananikimbiza.Subhanna Allah
Professor u very intelligent in explanation nice
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
Bro Jamal..... Letaa simulizi ya Thomas Sankara Isidore.
Request by one of your biggest followers from Kenya.
I love your work every time. One love from Kenya.
Aiseee unajitahid kweli kutafut kitu ambacho mtu akiskiliza ina mkonga moyon congraturation my brother
Tunaomba the story book iwekwe kwenye wasafi fm tunaipenda sana na tunaelimika kwakweli 👍👍👍👍👍🙏🙏🙏
Hongera Sanaa prof. Jamal napenda Sana kucikiliza Asante kwa kutupatia maarifa
Mim ndio naiona leo baada ya miaka miwili😂😂😂😂🤗
Prof nakufagilia sana
King of the story Africa professor Jamal
Ningetaka kujua mbona mtu anaotaa naabaadaee akamka nakutembea ..ama kufanya kazi akiwa ndotonii ....
Good job Jamal 💓💕
Daaaah very creative professor, congrats sana mkuu
Natanguliza shukurani kwa kazi nzuri unaumiza kichwaa kupata kitu kizuri ili sisi tushibe kwa somo unalo litowa muumba azidi kukupa malifa na upeo wa juu kutafakali vitu vya msingi nalidia kusema Asante tuko utuletee masomo mazuri ya kumbusha mwanadamu ili kumjua mungu.🍉🍇🥑🍍🍓🥦🥦🥛🍽️☕
Unapenda sana kwenda na uwalisia sana napenda sana asee
Ndoto ni mawanzo ambayo ya liyo mzunguka mwaadamu kila siku ktk maisha yk,maana nyengine ujumbe untokana Allah ktk umbe wake ili umelewe kwa hakuna anaye weza kukupa usingiz na kuletea mazingira tofauti ktk mazingira yk,mfano huwez kutoa ndoto ya jambo ambayo hujaliona au kukuzunguka ktk maisha yk ,ndoto ni Mtanzo ambao unakujulisha vitu ambayo vinatokea au vitokea kulingana na Cheo chako alicho kujalia Allah
Jamali mbona siku hizi The story auitoi mara kwa Ijumaa saa 3? Mana mimi ni mfatiliaji maarufu wa the stories zako!!! Like it soo much
Bro jamal umenifanya nikose usingizi this is the best one AND GREAT TIMING BRO
@@saint8129 😅😅😅
Mm niliangalia tyyu trela lkn nkakosa ucngz cjui saiv qmbavo naiangaliabyote itakuwaje...🥺🥺🥺
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
ruclips.net/channel/UCn41aCO8X8jgHkQBUxjvuwA
😂😂😂😂🏹🔥
Wish one day to be like you professor Jamal
RISPECT my brother uko makini xana kama unampenda PROFESSOR JAMAL LIKE
Waaauh,,makala iko sawa, napeda kutoka apa 254 (Kenya)
Mashallah professor Jamal God bless you 🙏🙏 🙏 and see you
I like the extensive research, detailed information, the presentation, etc.....
Mkuuu alhhh akupe maisha malefuu tupate kujuwa tusio yajua
Creativity at highest level love u jamal from kenya
Leo ume tuweza kweli waoga imagine na hii time 02:25 sija lala nika ona notification story book nika sema acha ni fungue kabla sija lala mwanzo tu nime stuka naku washa mata sehemu zote silali leo acha nikae macho ila bongezi kwa story
Appreciate your super creativity 🌎
Respectful profes professional jamar👏🔥🌟🌟
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
Hongera Sana kazi zuri 👍👍👍👍👍👍👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamal professor king of the king ✊
Je ukiota unafukuzwa na mbwa mana yake ni Nini?
Uko na ma followers wengi in kenya than in Tanzania,
Respect,
Uko yuu
wapi wewe angali to coment mwache Jamal wetu tz tunampenda au mnataka kusema ni mkenya hamshindwi🤣🤣🙌
Safi sana broe yani unajua kudadavua mambo,,sauti nzur Sana pia na ni mbunifu zaidi wa videos na makalia zako
Professional ,kwanza Asante kwa kuelimisha sisi jamiii , naomba ufanya story book kuhusu astroproject ,big up sana
Dah mwishon nmeogopa ila professor🙌👏👏
Watu walio Kufa nime waota wengi kudadeki...mbaka 2pac
😀😀😀😀
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
@@asmawastaramushi996 kunan huko madam
It's like you're watching a horror story....I was really sacred while watching..hope I will sleep well
Leo nimekuwa mtu wa 704 nipeni like zangu
Leo nime wahi na me like ziwenyingi jamni naomba
😂 nakubalii
Chukua hizoo
Ndoto ni ujumbe, ndoto ni mawazo, ndoto ni yajayo na ndoto ni mambo yakale.... kwa kina zaidi naona ufafanuzi wangu utakua mrefu sana
tunakuku barisana jamari apir 💪💪❤❤🔥🔥🙏🙏
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
U're xo genious bro, congratulations ✌️✌️✌️
najivunia sana kuwa mwislam ❤️
Jamal the brain 🧠
And you the body builder
@@saint8129 yes
Yes
Brow jamal...tuleteee kuhusuu ukweli au uwongo wa swalaa laa kusemekana kwa kuwepo duniaa nyengine kabalaa yetuu
Naqubal Sana Professa Jamal April ✌️✌️✌️
Jamal April n inspirational kubwa kw vjana wengi san
Walah ndoto ni ujumbe unaotoka kwa mwenyez mungu... Hii imenidhihirishia Mara kadhaa kwenye ndoto zangu... Kila ninapoota na kuikumbuka ndoto niliyoota hua ni yakweli yanatokea..
Sitaki likes maana hazina hela ..Ila Jamal ni mwamba
Acha Mungu akupaa maarifa zaidi🙏
Nothing but much respect brother 💪💪💪💪💪💪💪
Napenda hii ujunguzi wako uwa natasama every time nikiwa na time thanks am from kenya
Professor jamani like za jamali hata 100 tu kwa leo
Leo nimetaman hii story iendelee hata kwa saa nzima 💥💥
Upo pamoja fundi wangu
Congrats my brother jamal 👏🏽
Hii story ya Leo ishanitia wenge na usiku huu hakulalik kwa aman
😂😂😂
TAZAMA FULL SHOW YA HARMONIZE AKIMSHIRIKISHA IBRAH MAREKANI NI ZAIDI YA MONDI 🔥🔥👇ruclips.net/video/obPggjKPDQI/видео.html
😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana, napenda ujuzi wako🇰🇪
Na mupenda my journalist
Mm naota ndoto mbaya sana Allah niepushe nazo
Bro nakubali sana the story book , big up sana professor
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
Haya sasa Nipeni like leo nimekuwa wa kwanza... Kukoment
Kazi poa congratulations
Good job professor I like your work every day
Mungu akubariki sanaa Jamal
Congratulations 👏👏
kwenye swala la ndoto siwezi kumwamini mwana sayansi nitazidi kumwamini Mungu, mfano mtu unaweza kuota kitu afu baada ya miaka au miezi kinatokea vilevile ulivyooto, sasa hapo sayansi inatumikaje
My all time professor #Jamal
Wow! so impressive professor simulizi zako zavuti na kufundisha God bless you pia uendelee kutufumbua fahamu zetu Kudos👏🙏🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kivuli kinauzito iko....mpaka godoro limebonyea😂😂😂😂😂 24:36
🙏 BONYEZA HAPA 👇
ruclips.net/video/m7FXfhJotT0/видео.html
😂😂😂😂😂😂😂😂
Jazakallah khayran
Nakupenda san jamali p na penda historia zako 😊😊😊😊😊😊
Aisee professor una bongee mojaa la cretivee big up
I love ur gud research,,,, continue with the spirit and may God bless u and bless the work of your hands say a big Amen professor Jamal
Daa nakukubali xan professor jamal
Ndoto nyengine bhana......we acha2
Dah!!! Baba we ni zaidi ya mwalim yan makala zako ni kwere mkuu
Professor i don't like dream Bec i very time i dream it night mare i hate it thanks for your story . Legend respect 🙌
Professor n mmoja tu Africa
Good research and presentation professor. Umetaja aina kumi za ndoto ambazo binadamu akiota basi asipuuze,, swali ni afanye nn??
I love the I love the editing but you guys you are good
Professor Jamal we are still waiting the Story Book about Internet as you promised us.
Uvoanza tu🙌diamond mpe gari jamal April.professor
Uyu ndo anayekabizi magari yenyewe
Leo nimekukubali boss wangu Jamal mustafa , jamal April professor wewe ni big upp
Duniani Jamali ni mmoja tu .
Bro Jamal Asante . Ila na swali napenda nijue utafauti gani upo kati ya Dream ama" ndoto" na vision ama "maono " ...
Tupe majibu ndugu..
Asante. Mwenyezi Mungu awabariki
Kenya ❤❤2024😘😘
I love so much THE STORY BOOK
Asante Sanaa mtaaramu nakukubari Sanaa bg up
Katika vipindi vyenye views wengi pale kweny media ya wasafi ni vipindi vya huyu jamaa respect sana brodah