Back in days i was Muslim but ever since jesus came in my life he gives me peace and joy....no matter what people says about him he is still Alpha and Omega
@@herikaniugu kiasi kingi cha madini kinapatikana huku Tanzania lakini mengi yanaenda ulaya.. jiulize ww mbona huvai madini na yanachimbwa nchini mwako?
Asante sana my brother from another mother kwa hakika kupitia the story book nimejifunza mengi sana ndio maana nimehifadhi video zako zaidi ya mia tatu
Mungu kwa kujuwa mambo yatakayotokea, aliona kimbele mmoja wao akimsaliti mwanaye. Yohana 13: 20 sio kwamba Mungu alipanga iwe ivo but Aliona mapema kile kitakachotokea Kwamba kuna mmoja atamsaliti.Kwa kuwa yuda alikuwa na upendo nusu nusu kumwelekea yesu basi shetani akapa nafasi ya kuchaguwa yeye. Yohana 13:2
To the person reading this anybody trying to exchange your destiny is in a very big trouble because your success is already on the way if you believe say a big amen.
Me nilikuwa naomba muendelezo wa hii the story book ya yuda ili niweze kuelewa zaidi coz km imeishia Kati hivi na ume in deep sana kwa biblia so ungeingia na kwenye islamic tuone inamuelezea vip nabii Issa yesu na huyo yuda Yote kwa Yote nakuombea sana mungu akupe hekma busara na uvumbuzi zaidi ili tuweze kujua mengi na kuelewa zaidi katika dini zetu jazzakallah fiihi Allah akulinde jamal🙏🏻🙏🏻🙏🏻
ipo vizuri, Ila kitabu Cha yuda kinahitajika, yuda nimwanadamu muhimu Sana kwauman ya kikristo , maana Kama hakuna yuda yesu asinge uokoa ulimwengu. Hongera yuda
Ikumbukwe kwamba binadam hawezi zuia mpango wa mungu kama injil ya yuda mungu alipapnga watu wasome na kujifunza basi ingekuwepo lakn kama haipo na kwa maelezo yako bado Ina leta maswali haukuwa mpango wa mungu watu wasome hicho kitabu
Bs na mm sina tofauti na yuda mana mpka kesho siwez amni kama Yesu christo alikua mungu 😀😀😀 what i beleav He was a messenger of Allah, the man who got a power from really God and He worked on behalf of Allah to make sure that all Jews should follow the right path 🕌 mungu amuhifadh nabii wetu Issa (Yesu) ampe shufaa mpka cku atakaporud inshaallah🤲
Maandiko hayafundishi kristo ni Mungu yanafundisha ni mtume wa Mungu..wakristo wa uwongo ndo wanaoamini Yesu ni mungu kwa sababu wamepotoshwa soma Yohana 20:17
Itakuaje yuda alimsaliti yesu kwa wayahudi ilhali wayahudi walikuwa wanamjua yesu. Yesu aliishi kuhubiri katika masinagogi na hekalu la suleiman. Niko na uhakika mayahudi walikuwa wanamjua yesu vizuri sana
@@hancevalence4936 👌watu 12 walifanana kama punda wakashindwa kumtofautisha na wengine. Na alikuwa anawahubiria hadi wanamuuliza maswali kwa miaka mitatu hawakuweza kumjua. U must be kidding 😳
Keep it up my brother Jamal April we ni professor mkubwa sana Tanzania na Africa yote kwa ujumla mungu akubariki sana ♥️❤️🙏👏 I am proud of you,, gevi us all the story book,
Hongera kwa kaziNdugu Jamal, Nafuatilia sana vipind vyako, unafanya kaz nzuri. Naomba kutoa ushauri kidogo, Kuna mambo mengi hasa yanayohusu hizi dini huwa unaenda chaka sana. Tenga muda wa kujifunza kwa wanaojua kabla ya kutoa hzo story. Kuwa neutral kujifunza na uwe +ve, Utaelewa kwa udhabiti Hz dini Africa tumeletewa na tumezipokea kwa kukariri zaid kuliko kuelewa Dini ni utamaduni wa watu kumjua na kumrudia Mungu kwahyo ukishakua umemfikia Mungu huna haja sana na dini. Tatzo Africa wengi wetu ni washika dini sana lkn hatumshiki Mungu, Wengi tuna amini sana dini zetu lkn hatumuamini Mungu Ndio maana washika dini wengi bado wanaenda kwa waganga wa kienyeji Hyo inamanisha dini zao wanaziamini na kuzishika vema ila Mungu wao hamuamini yaani hawana uhakika kama Mungu anaweza kuwatimizia haja zao . Bado tunachangamoto kubwa Una platform nzuri, ukiitumia vyema utasaidia wengi.
Wenzetu mferi wapi yesu sio mungu ni nabii wamungu alitumwa kwakondoo waliopotea wanyumba ya izraeli yesu au issa ni mwislam vitabu vinazihilisha kwamjibu wa bibilia yesu alikua anasali sinagogi soma luka 4 16 nakuruani inasibitisha msomen paulo vizul
Kazi nzuri sana Jamal na inatutia moyo kusoma na kuutafuta ukweli. Marekebisho kidogo kwenye maandiko ni kitabu cha Matendo 1:18 badala ya Luka 1:18 japokuwa vitabu vyote viwili vimeandikwa na Dr. Luka. Kwa wasiomfahamu Bart D Ehrman ni mtafiti na mkosoaji mkubwa wa maandiko na historia ya Yesu Kristo. Tafiti zake hutumika na kuaminiwa na watu wengi ikiwemo wapagani. Na bw. Bart sio muumini wa imani yoyote. Well done Jamal.
kwa upande wangu mimi naona yuda hakuwa na kosa, yeye ame umbwa kwaajili ya kuja kuwa msaliti wa yesu hivyo mungu ame muumba yuda ili aje duniani kuja kuwa msaliti ndoujue kwamba Mungu anatuumba binadam wengine huku akijua huyu nnae muumba hato fika mbinguni, kwangu mimi naona ni UKATILI MKUBWA
Mathayo 27:5-8 [5]Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga. [6]Wakuu wa makuhani wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Si halali kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni kima cha damu. [7]Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. [8]Kwa hiyo konde lile huitwa konde la damu hata leo.
Luka 1:18-19 [18]Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi. [19]Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema.
Matendo ya Mitume 1:16-19 [16]Ndugu, ilipasa andiko litimizwe, alilolinena Roho Mtakatifu zamani kwa kinywa cha Daudi, katika habari za Yuda aliyewaongoza wao waliomkamata Yesu; [17]kwa sababu alikuwa amehesabiwa pamoja na sisi, akapata sehemu ya huduma hii. [18](Basi mtu huyu alinunua konde kwa ijara ya udhalimu; akaanguka kwa kasi akapasuka matumbo yake yote yakatoka. [19]Ikajulikana na watu wote wakaao Yerusalemu; hata konde lile likaitwa kwa lugha yao Akeldama, maana yake, konde la damu.)
@@emmanueljosephati3932 Mtiga ana sauti ila hana kipaji cha simulizi..ilaa huyu jamaa ana vyote sauti ya upole mtiririko mzuri na content iliyoshiba sio mtu wa kukopi...mpeni haki yake jamani
Naamini Mambo ya imani hayatafsiriwi na wasomi. Kwa wasomi ni facts kwa mungu ni imani. Imani ya mungu kwa wasomi ni kitu kisicho make sense au kidhaifu kwetu waamini udhaifu uletao wokovu
Katika elimu ya juu saana..utagundua kuwa katika kabila la yuda ndipo Yesu alikotokea..ni mafumbo yanayo pia ashiria kuwa ..watu wa kabila lake ndio waliomsaliti pia...
Yesu alijua anakufa alijua atakufa alijua talehe ya kufa na pia alijua siku ya kufa ili andiko la mwenyezi Mungu litimie . Asingekufa basi asingemteua Yuda je kwanini alimteua yuda maswali mengi sana
Kama una amini kujifunza mengi kupitia the story book gonga like apa
.kj😊
Km😊
Nki
Back in days i was Muslim but ever since jesus came in my life he gives me peace and joy....no matter what people says about him he is still Alpha and Omega
He did to me as well
Amen🙏
Keep preaching the whole world 🌍 Appreciated 😉
Even Jews are not Christians. Only 2% of people in Israel are Christians. Jiulize kwanza Yesu alitengenezwa na nani?
@@herikaniugu kiasi kingi cha madini kinapatikana huku Tanzania lakini mengi yanaenda ulaya.. jiulize ww mbona huvai madini na yanachimbwa nchini mwako?
Kwa uwezo Wa ALLAH akujalie uzidi kutukumbusha history za kali INSHAALLAH
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤
Yes, you are right! I like the way you made your conclusion, this is what we Seventh Day Adventist are taught..!!
Ongera sana kwa simulizi hii nzuri ,
Inaendelea kutujenga kiimani sisi wakristo.
Ubarikiwe sana.
Leo Kuna kitu nimechukuwa ✊🏽 Hongera Sana Professor Jamal
ruclips.net/video/b757jXUsjLs/видео.html
Kum be
Wapi likes za professor Jamal Mustafa, ❤️from🇰🇪🇰🇪
Merci professor jamal
hongera bro tunajifunza ving kupitia histor hizii
Tuko pamoja sana Mr. Jamal. Weka like hapa👍
Luka 1:18-19 inazungumzia Zacharia Mr Jamal......you are doing a great job....I am liking your work. Keep up
Upo deep sana ndo maana Mimi niliikataa shule maana ningepasuka kichwa respect yani much respect
For me you are my best narrator .I love the voice and how the pictures flow in hand with the narration
Hongera unatufungua mungu akuzidishie maarifa yakazi hiyo
Big up brooo
Asante sana my brother from another mother kwa hakika kupitia the story book nimejifunza mengi sana ndio maana nimehifadhi video zako zaidi ya mia tatu
Hongera sana
yani kiukweli kupitia the story book ,,,ina mafunzo mengi kuliko hata vile ukiwa shuleni,,,cryer mavoko from Kenya,,,much love
🙏🙏
hii ni tafsiri ya kifirmasoni sawa na ile tafasili ya kusema mungu amwumba kiumbe mwenye nguvu kuliko yeye
Tunae mkubali Jamal tujuane kwa like
Huyu jamaa mom's kweli
Tunao Akina yuda wengi sana wabishi hata Kama ukweli unaji dhihirisha.
Mimi🖐️🖐️🖐️apaa
Hizi ndizo habari zakutufanya tuwafwatilie sio habari za udaku keep it up broo nmekuelewa
Much love from Kenya
Hongera professor umegusa kwenye mshono
From Congo Brazzaville watching now
Umetisha kinoma kaka
Kazi mzuri Sana.
Nimeipenda Sana na ndipo nami umenifumbua macho.
Mungu kwa kujuwa mambo yatakayotokea, aliona kimbele mmoja wao akimsaliti mwanaye. Yohana 13: 20 sio kwamba Mungu alipanga iwe ivo but Aliona mapema kile kitakachotokea Kwamba kuna mmoja atamsaliti.Kwa kuwa yuda alikuwa na upendo nusu nusu kumwelekea yesu basi shetani akapa nafasi ya kuchaguwa yeye. Yohana 13:2
Ety Yesu alimwomba yuda afanye kutimiliza jambo hapa mie nakataa jama
Unajuah Sanah professor Jamal April GOD BLESS YOU 🙌🏿
MUNGU yupo jamni kama umenzaliwa hukumu itakkuta TU kama unamini gonga like
The king of story in the world
I love following your channel, ... Nice stories (educational). From Kenya. Keep up good job.
To the person reading this anybody trying to exchange your destiny is in a very big trouble because your success is already on the way if you believe say a big amen.
Amen
Amen
Amen🙏
excatry
Amen
Mwanadam ataenda kusulubiwa kma Mungu alivopanga kwaio Yesu anazihirsha yupo Mungu nasio yye
Umetisha san duuh nmekubali ww ni professor
Me nilikuwa naomba muendelezo wa hii the story book ya yuda ili niweze kuelewa zaidi coz km imeishia Kati hivi na ume in deep sana kwa biblia so ungeingia na kwenye islamic tuone inamuelezea vip nabii Issa yesu na huyo yuda
Yote kwa Yote nakuombea sana mungu akupe hekma busara na uvumbuzi zaidi ili tuweze kujua mengi na kuelewa zaidi katika dini zetu jazzakallah fiihi Allah akulinde jamal🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hongera kwa simlizi nzuri zenye mafundisho
ipo vizuri, Ila kitabu Cha yuda kinahitajika, yuda nimwanadamu muhimu Sana kwauman ya kikristo , maana Kama hakuna yuda yesu asinge uokoa ulimwengu. Hongera yuda
Umeleta njia nzuri ya kutujuza mengi muhimu,hasa sisi tulio wavivu kusoma vitabu,Dope.
Professor nakubali🙌
Ikumbukwe kwamba binadam hawezi zuia mpango wa mungu kama injil ya yuda mungu alipapnga watu wasome na kujifunza basi ingekuwepo lakn kama haipo na kwa maelezo yako bado Ina leta maswali haukuwa mpango wa mungu watu wasome hicho kitabu
Jamarii nakukubari kama diamond simba 💎
Yuda alikuwa na busara kuzidi Yesu napokea matusi ya aina zote🥰🥰
Asante sana nimefurahishwa namafundisho haya ❤
Bs na mm sina tofauti na yuda mana mpka kesho siwez amni kama Yesu christo alikua mungu 😀😀😀 what i beleav He was a messenger of Allah, the man who got a power from really God and He worked on behalf of Allah to make sure that all Jews should follow the right path 🕌 mungu amuhifadh nabii wetu Issa (Yesu) ampe shufaa mpka cku atakaporud inshaallah🤲
Maandiko hayafundishi kristo ni Mungu yanafundisha ni mtume wa Mungu..wakristo wa uwongo ndo wanaoamini Yesu ni mungu kwa sababu wamepotoshwa soma Yohana 20:17
Amiin
Yote sawa, sote twa Soma maandiko kwasababu ya maarifa , Cha msingi tuombe pepo ya milele ,..amen
Just believe and study, let's grace of God be upon us
Judah....a true legend
Tatizo hilo
Battery low
😅😅😅😅
Mungu AWABARIKI wote mnaoangalia the story book
Itakuaje yuda alimsaliti yesu kwa wayahudi ilhali wayahudi walikuwa wanamjua yesu. Yesu aliishi kuhubiri katika masinagogi na hekalu la suleiman. Niko na uhakika mayahudi walikuwa wanamjua yesu vizuri sana
hawakumjua coz alifanana na wanafunz
@@hancevalence4936 👌watu 12 walifanana kama punda wakashindwa kumtofautisha na wengine. Na alikuwa anawahubiria hadi wanamuuliza maswali kwa miaka mitatu hawakuweza kumjua. U must be kidding 😳
@@husseinmatekwa276wqlimjua vyema sana dear lakini ili kutimiza maandiko ya agano la kale lazima Yudah angemtambulisha kwa hao wayahudi
Wewe pekee ndio mwalimu Bora kabisa wakufunguwa miyoyo yawanadamu juu yakumjuwa munguwetu hakika uwe nauhai mrefu nafya njema👏👏👏
Keep it up my brother Jamal April we ni professor mkubwa sana Tanzania na Africa yote kwa ujumla mungu akubariki sana ♥️❤️🙏👏 I am proud of you,, gevi us all the story book,
Yesu ni mungu kwa maoni yangu mungu alijigeuza kuuva mwili wa binadamu ambae sisi tuna muita yes🙏
Ukosawa
right
Tumia herufi kubwa kwa maneno haya Mungu na Bwana unapomuongelea Yehova , Yesu
Alijigeuza ili iweje?
Professor umechambua vizuri sana makala aya ,👏
Tafadhali utuletee na stori ya mtu alieitwa sauli baadae akatokewa na Yesu na kuitwa jina jipya la Paulo
Hongera kwa kaziNdugu Jamal,
Nafuatilia sana vipind vyako, unafanya kaz nzuri.
Naomba kutoa ushauri kidogo,
Kuna mambo mengi hasa yanayohusu hizi dini huwa unaenda chaka sana.
Tenga muda wa kujifunza kwa wanaojua kabla ya kutoa hzo story.
Kuwa neutral kujifunza na uwe +ve,
Utaelewa kwa udhabiti
Hz dini Africa tumeletewa na tumezipokea kwa kukariri zaid kuliko kuelewa
Dini ni utamaduni wa watu kumjua na kumrudia Mungu kwahyo ukishakua umemfikia Mungu huna haja sana na dini.
Tatzo Africa wengi wetu ni washika dini sana lkn hatumshiki Mungu,
Wengi tuna amini sana dini zetu lkn hatumuamini Mungu
Ndio maana washika dini wengi bado wanaenda kwa waganga wa kienyeji
Hyo inamanisha dini zao wanaziamini na kuzishika vema ila Mungu wao hamuamini yaani hawana uhakika kama Mungu anaweza kuwatimizia haja zao .
Bado tunachangamoto kubwa
Una platform nzuri, ukiitumia vyema utasaidia wengi.
Yesu ndiye Mungu mkuu katika Agano la kale na agano jipya. Tito2:13, Warumi 9:5, Isaya9:6, Yohana1:1-14, Wakolosai 2:2....
We unakili kweli
Wenzetu mferi wapi yesu sio mungu ni nabii wamungu alitumwa kwakondoo waliopotea wanyumba ya izraeli yesu au issa ni mwislam vitabu vinazihilisha kwamjibu wa bibilia yesu alikua anasali sinagogi soma luka 4 16 nakuruani inasibitisha msomen paulo vizul
J'aime the story Book depuis Congo 🇨🇩
Sitaki mtu agonge like.
ili iweje?
Utajua mwenyewe
Na tukigonga utatufanya nini kwamfano😅
@@BonitatemBonitate 🤣🤣
@@BonitatemBonitate😂😂
Sawa brooda uko vzuri sana
Safi sana Jamal April, good research unanielimisha 🙏🏾 GOD BLESS YOU
ruclips.net/video/QC6ar-hJhoQ/видео.html
Xafi kabisaaa
Karibu kwenye uislam
Bibilia mikanganyiko kibao
Bwana YESU Kristo akubariki
Kazi nzuri sana Jamal na inatutia moyo kusoma na kuutafuta ukweli.
Marekebisho kidogo kwenye maandiko ni kitabu cha Matendo 1:18 badala ya Luka 1:18 japokuwa vitabu vyote viwili vimeandikwa na Dr. Luka.
Kwa wasiomfahamu Bart D Ehrman ni mtafiti na mkosoaji mkubwa wa maandiko na historia ya Yesu Kristo. Tafiti zake hutumika na kuaminiwa na watu wengi ikiwemo wapagani. Na bw. Bart sio muumini wa imani yoyote.
Well done Jamal.
sasa yeye kamtambulisha kama msomi wa dini ya kikristo ili mradi tu autie doa ukristo
Hakika unajua kutufumbua macho Mungu akubaliki
Namuelewa sana huyu jamaa profes jammal
kwa upande wangu mimi naona yuda hakuwa na kosa, yeye ame umbwa kwaajili ya kuja kuwa msaliti wa yesu hivyo mungu ame muumba yuda ili aje duniani kuja kuwa msaliti ndoujue kwamba Mungu anatuumba binadam wengine huku akijua huyu nnae muumba hato fika mbinguni, kwangu mimi naona ni UKATILI MKUBWA
Professor ni mmoja2 Tanzania 🙌🙌
Njia za Mwenyezi Mungu hazichunguziki kbs
The story book is great
Jamal April Professor men bro we ni genius kbsa ✅🤯👌🏾
It's true 😞
yeye yuda ndiye aliyejuwa kuwa yesu siyo mungu Bali nimwalimu, basi yéyé ndiye alijuwa kuwa Yuko mungu wapekeye nasiyo yesu
Asante sanaaa, and stay blessed 🙏
Nakubali sana profesa unafanya ubongo wangu uwaze kiupana zaidi
Love you Jesus
❤❤❤❤❤Jesus
Hujawahi kutuangusha mzee mwenzangu, kazi nzuri, well done!!
Your the real prof🥰👏👏👏👏
Mathayo 27:5-8
[5]Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.
[6]Wakuu wa makuhani wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Si halali kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni kima cha damu.
[7]Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
[8]Kwa hiyo konde lile huitwa konde la damu hata leo.
Luka 1:18-19
[18]Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi.
[19]Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema.
Matendo ya Mitume 1:16-19
[16]Ndugu, ilipasa andiko litimizwe, alilolinena Roho Mtakatifu zamani kwa kinywa cha Daudi, katika habari za Yuda aliyewaongoza wao waliomkamata Yesu;
[17]kwa sababu alikuwa amehesabiwa pamoja na sisi, akapata sehemu ya huduma hii.
[18](Basi mtu huyu alinunua konde kwa ijara ya udhalimu; akaanguka kwa kasi akapasuka matumbo yake yote yakatoka.
[19]Ikajulikana na watu wote wakaao Yerusalemu; hata konde lile likaitwa kwa lugha yao Akeldama, maana yake, konde la damu.)
Yuda yeye hakununua ila walionunua ni makuhani hivo aliyepasuka sijui kama ni Yuda
Jamaa anatupiga sana sema watu hawafuatilii
@@mnyopi luka 1:18-19 ni Mambo ya Zacharia.
I appreciate professor Jamal April
Kakaang nakukubali xan nakupenda mno ubalikiwe kiukwer hua unanijenga xana kiimani kwastory Zak
Uko vzr sana kk
You a the best teacher to me keep it up🙏🙏🙏🙏
Nakubali kaka ila naomba kazi namimi nkusaidie
@Njoo Studio 🎶 napataje contact
Huwa najifunza sana, unapo simulia na kufafanua najionaga kama mtt mdogo kbsa😊
I love the way u narrates the bible, so inspiring, kudos!
Good work sir God bless you
Hime kaa powa gonga like kwangu nimewai kaka
Napenda sana sahuti lako jamal
Sasa yesu ana mamayake na Ndugu zake Alf awe mungu Jmn em njooni Kwa Allah hajazaa Wala hajazaliwa🙏
Kiukwel jamal mwanzon sikukuelewa ila sasa wew ndio number one simuliz na mifano yenye uhai wew ni baba lao jamar umempoteza kabisa mtiga jaman
Unafahamu mtiga au unalopaka2😏😏
@@emmanueljosephati3932 Mtiga hana maajabu, zaidi ya lile lisauti
@@emmanueljosephati3932 Mtiga ana sauti ila hana kipaji cha simulizi..ilaa huyu jamaa ana vyote sauti ya upole mtiririko mzuri na content iliyoshiba sio mtu wa kukopi...mpeni haki yake jamani
@@emmanueljosephati3932 🤣
@@msemakweli8064 🤣
Nimecheka sana kumbe michongo ilikuwa toka zamani
Thank for this story book,coz one of my family member betrays me jst recently..my heart is very broken 💔💔 indeed 😭😭
Sorry
Dah! Pole sana.
Pole sana hayo hapo na yanaendelea kuwepo tunajifunza kupitia zama za zamani na sasa
Pole Mungu Yu nawe katika hii hali
😃😃
Mungu akupe maisha mengi ili tujuwe tusiyo yajuwa
Professor Ni Mmoja TU! 🇹🇿🤘
Naamini Mambo ya imani hayatafsiriwi na wasomi. Kwa wasomi ni facts kwa mungu ni imani. Imani ya mungu kwa wasomi ni kitu kisicho make sense au kidhaifu kwetu waamini udhaifu uletao wokovu
Da, ila professor unaukosha sana moyo wangu
Katika elimu ya juu saana..utagundua kuwa katika kabila la yuda ndipo Yesu alikotokea..ni mafumbo yanayo pia ashiria kuwa ..watu wa kabila lake ndio waliomsaliti pia...
Kwanza Yesu hakusulubiwa. " Wa maa swalabuhu wa maa qataluhu"
Andko liseme yesu hakusurubiwa
@@zaburi2386 hakusulubiwa sio hakusurubiwa🚮
Hakusurubiwa issa, YESU KRISTO wa Nazareth alisurubiwa.
Hamna Aya
@@samuelmussa4809 hakuna utofauti,yesu, ndio ISSA kwa kiarabu,
Asanteni wapendwa Mungu awabariki
Profesa Jamalii 🔥🔥🔥
Yudaa alikua na wivu kwa yesu🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
simulizi nzr sana inafundisho mno mnoo homgera bro ww ni bola katk kutuletea story hiz
proffessoer🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽unabalaa
This Yuda's story relates to Harmonize guys, why???🔥.. probably I'm dreaming buddies 😃😃😃😃😃😃
🤣🤣🤣🤣
😆😆😆😆😆
Harmonize is yuda kabisa Mazimaaa
Fruish age
ruclips.net/video/QC6ar-hJhoQ/видео.html
Yesu alijua anakufa alijua atakufa alijua talehe ya kufa na pia alijua siku ya kufa ili andiko la mwenyezi Mungu litimie . Asingekufa basi asingemteua Yuda je kwanini alimteua yuda maswali mengi sana
Professor 🙌🙌🙌🙌❤️
@@Kingtiger98 fg
Hongera umejitahdi kusimulia vzr
Here We Go
Wakwanza leo na sitaki mtu alike
Hahahaaa nimekupenda bulee
😂
Hahhhhh afadhali we ucyetaka like😂😂
Wenzako wanazitaka sana likes zetu😂
Kumbe Yuda alikuwa smart sana, alisikiliza sana motivational speech, akaona chance, ile kuitumia tu chini, hahah
Kazi Safi Sana na story nzuri umeisimulia vizuri sana👏👏👏