Jaribu kutengeneza uongo mwingine wenye ushawishi unaoendana na ukweli huu ni uongo mkubwa lbd km ni majini na mapepo ya warabu yanaweza kufanya hivo pengine ni uchawi wa zamani
Mbona hii story umeigeuza last year ilkua hio mdege ilirudi na watu wakiwa hai na abiria walirudi wakiwa vile walienda ,Leo ni walirudi wakiwa wafu ,sasa mtu amekufa ataendesha aje ndege
😂 vip ikiwa hajarud n record ya nyuma wameamua kukuwekea tena kuhusianisha na story iliyopita😂😂😂😂 Acha mbwembwe wote wanajua na kila mtu anaupekee wake
Lakini zile mbwembwe kuigiza kwa jamali profesa huyu ndy mwalimu wake isipo kuwa huyu aliondolewa wasafi na mtiga abdala ndy muanzilishi wa stori book ya wasafi
@@valvederraymond6125 wewe unauhakika gan kama huyo ni mtiga huenda mtu kachukua clip za mtiga kaamua kufungua channel yake kwa kutumia logo ya wasafi alaf ww unakuja kumsema MTIGA direct
Historia ya kubuni haina mashiko walijuaje maongez ya abiria ndan ya ndege na hapakuwa na mawasiliano yeyote ya kuwaatahadhirish abiria kufunga mikanda? history za wazungu nying hazina ukwel ata kusema mtu wa kwanza alitokana na nyani
Maashaalla 👏🙌👏😢
story nzur xana
good job
Brooo mtiga Kalibu kwetu vkg kitambo sana umetukimbia mdog wako hapa nakufatilia sana brooo
Niambie
Mtiga is the best of the best
Acha kukufuru Mungu hafananishwi na chochote
Mtiga ana Pepo yake katika Dunia hiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
naku bali baba wewe ni wangu tupe izo izo zama history ya kale🥇🥇🎉🎊🏆
Aaaah mtiga pamoja sana nakqbal👊🏻👊🏻👊👊👊👊👊👊👊👊👊
Asante Sana mtiga
Welkam back we miss u,from kenya
Okay
Contact me
Umerudi broo
😢nimeipenda sana😊
Mtiabdalah karudiii oyeee
Nakubali sana mtiga
Nakubalii brother🔥🔥💯💯✅✅
Fresh 🎉
unajua sana
Nakukubali sana
Ila wew broo samtime ni mwongo flani maana nikifikiria kwa akili zangu nan alikuwa anaiendesha na km ilikuwa mifupa haiji akilini
😂,😂😂
Mmeona mtudanganye sasa khaa
We miss yoou broo🎉
Karibu tena
Atal Sanaa kak
Daah kka sauti yako haichoshi
Jamal niwakwanza
Fresh sana
Big up
Stor zulikaka sema umezinguwa biti lefu sana ilo
Hkika, we we mtiga
Allahu Akbar
Nakukubali san bro @mtiga_abdallah✌️
Eaza bro...
Samwel deo
where did you. go please we miss you so much
where do you live
jamaa alipotea sana
una weza
Sijaisiki habali ya enoko mtumishi wamungu
Br umeua
We jamaa nakufananisha na mungu hukosei kabisaa
Unamfananisha na Mungu?? Acha kuropoka usiyoyajua wewe
😢😢😢duu
We jamaa tubia Kwa mola wako huwezi mfananisha Mola wako na kiumbe chake...
Mungu so wakufanishwa na mtu wala miungu tengenez hiyo kaul yako👍
Mtoga is the yin the world
Mpo wa 3 mnaoweza wengine shida2
Nakubal
Inawezekena ,maana ata Sasa bado tunasubiri kurejea kwa air malasiya
Wew unapoteza wakati kama hujui RUclips wame update kids coppa sasa hizi sauti unazobeba na kupachika kwako utakuja kujiraumu kupoteza wakati bure😂😂
kids kopa maana yake nini kaka
Kuna Repetitions za baadhi ya sehem
Achana nazo hizo REPETITIONS. Just concentrate on the Main story Dear. ITAPENDEZA🤣🤣🤣🤣
Jaribu kutengeneza uongo mwingine wenye ushawishi unaoendana na ukweli huu ni uongo mkubwa lbd km ni majini na mapepo ya warabu yanaweza kufanya hivo pengine ni uchawi wa zamani
Ww umejuaj Ni uongo nikuulize n ww. 😂😂😂
Historia ya mchawi wa soka
Ronaldnyo
Mnatuchanganya....na ile iliyopotea na kutua na watu wakiwa hai ambao wako hawajazeeka ni ipi? #wasafi #mtigaabdala
Apo tu Ata mm sielew yan
Streich Creek
Doh
Mbona hii story umeigeuza last year ilkua hio mdege ilirudi na watu wakiwa hai na abiria walirudi wakiwa vile walienda ,Leo ni walirudi wakiwa wafu ,sasa mtu amekufa ataendesha aje ndege
Ee na mm nashangaa
uongo tu😅
Vizury
❤❤❤
Ongeza ubunifu
Oy jamaa mnatutisha ad siy pw sema nakubal
Nikweli inawezekan
🙏
Parker Motorway
Walikua wanakula nini miaka yote io
Pepo inakuhusu
Fanya urudi kwenye tathnia basi. Wenzako tuliachaga kufatiliaga tena hizi mambo. Sasa tunarudi tena
😂 vip ikiwa hajarud n record ya nyuma wameamua kukuwekea tena kuhusianisha na story iliyopita😂😂😂😂 Acha mbwembwe wote wanajua na kila mtu anaupekee wake
@@ZeraGeofrey au siooooo
Huna haja ya kutumia jina na logo ya mwanaume mwenzio kuwa mbunifuu una kipaji na unawezaa MTIGA
Lakini zile mbwembwe kuigiza kwa jamali profesa huyu ndy mwalimu wake isipo kuwa huyu aliondolewa wasafi na mtiga abdala ndy muanzilishi wa stori book ya wasafi
Wewe umejiajir au umeajiriwa😂😂😂 au unamsema tu mtiga
Kuendelea kutumia logo ya wasafi sio ubunifu sasa sijui maswala ya kuajiriwa yanakujaje hapo
@@valvederraymond6125 wewe unauhakika gan kama huyo ni mtiga huenda mtu kachukua clip za mtiga kaamua kufungua channel yake kwa kutumia logo ya wasafi alaf ww unakuja kumsema MTIGA direct
@@msimbazijr7725 huna unachojua, Bora ufanye utafiti kwanza au ukishindwa basi uliza maana kukuliza sio ujinga
Oya history ya wahehe na wangoni kifupi makabila yetu Tanzania mbona utoyi
Wahehe awawezi kutusahau wangoni😂😂😂😂
Wahehe awawezi kutusahau wangoni😂😂😂😂
😮😮😮😮
Hakika unafunzamengi
Lakini katika maswali yote hawajataka kujua imekujaje na nani kaileta?
Uwe unatupa ndef ndef sas jmn mbn taaaaaam
Make it a video
Uliendaga wp mtiga
aliendag wap
Give of hritik roshan
Ww umeyatoa wap
Unaongea nini reimond acha unoko
Historia ya kubuni haina mashiko walijuaje maongez ya abiria ndan ya ndege na hapakuwa na mawasiliano yeyote ya kuwaatahadhirish abiria kufunga mikanda? history za wazungu nying hazina ukwel ata kusema mtu wa kwanza alitokana na nyani
Kuna chombo kinaitwa black box ambayo huwa inarecord chochote kinachoendelea ndan ya ndege
Na nani aliileta kwa huo uwanja
Umetisha bro
Burnaboy are songs
Na kama walikua wamekufa nani aliiendesha hio ndege
🤝🤝🤝
Mjomba ameridi WCB
Huo ni uongo
Ajabu
Alafu amini usiamini mtiga ywajuwa kuliko jamal kama huamini bisha bashi
😂me natak ta jonh
Nakubali sana mtiga
❤❤❤❤