MFAHAMU Rais GADDAFI_Ananias Edgar & Denis Mpagaze

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 72

  • @richkinji2583
    @richkinji2583 Год назад +12

    Historia ya Gaddafi inanikumbusha kwa mzalendo wetu JPM Mungu akufanyie wepesi huko uliko Mkuu wetu

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Год назад

      Kwa kipi hasa alikuongeza ww mshahara jinga sana ww

    • @tatujuma8781
      @tatujuma8781 Год назад

      ​@@kisangageorgethomasi2830jinga ni babako

    • @GeraldMpangile
      @GeraldMpangile 5 месяцев назад

      Mbona kama una hasira hivi ​@@kisangageorgethomasi2830

    • @GodloveKileo-yd2rj
      @GodloveKileo-yd2rj 2 месяца назад

      ​Mbona unachuki una cheti feki nini? @@kisangageorgethomasi2830

    • @JacoboJacques
      @JacoboJacques 2 дня назад

      Kaddafi nikama mufalme rwagasore wa Burundi

  • @godmbise-gj9ug
    @godmbise-gj9ug 12 дней назад

    Alikuwa Patriotic leader

  • @johnmaduka1098
    @johnmaduka1098 Год назад +2

    2024 still I’m listening

  • @bakhitangocih2480
    @bakhitangocih2480 Год назад

    Despite everything Gadaffi reaiiy cared for his people. This s more than leadership. Better to have a dictator who helps his people

  • @BoykaFrancis
    @BoykaFrancis 2 месяца назад

    Afrika itakukumbuka sana walibya wanajuta mpaka kesho❤

  • @magamboguje8152
    @magamboguje8152 День назад

    Still watching 2025 January 🎉 7:26 7:28

  • @BarakaMpinge
    @BarakaMpinge Год назад

    Gadaf tutakuenzi daima

  • @TitusMutiso-se2bt
    @TitusMutiso-se2bt Год назад +1

    i think also you people of Tanzania you were so lucky Maghufuli was another Gadafi ,, RIP you Excellency nice for the story

  • @jonathanmwanzia138
    @jonathanmwanzia138 2 года назад +5

    Shukurani. Africans tukifuata Gaddafi roots tutatokomeza umasikini

  • @EmanuelSamwelMollel
    @EmanuelSamwelMollel Год назад

    Jamaa nihatari sana munqu ampumzishe kwaamani

  • @SalaahmbaroukSeif
    @SalaahmbaroukSeif 13 дней назад

    Kweli huyu alikuwa kiongozi anaewapenda raia wake

  • @DaudiLaurence-tc4td
    @DaudiLaurence-tc4td Год назад

    Gaddafi the Africa baba

  • @ArafatEmperor-iz4rf
    @ArafatEmperor-iz4rf Год назад +1

    17:54 🔱ARAFAT NIKO HAPA💪💪 TEGEMEENI MAKUBWA WA AFRICA ❤

  • @WilehardChinguku
    @WilehardChinguku 24 дня назад

    LOUD AND CLEAR Over sir

  • @TYSONFABIAN-f8k
    @TYSONFABIAN-f8k Год назад

    Apumzike Kwa Amani shujaa wa afrika

  • @rwegizajeni
    @rwegizajeni Год назад +1

    Rip Magu wetu😭😭

  • @JaphetCaptain-tq2dv
    @JaphetCaptain-tq2dv Год назад

    Yes thank you bro. Good blessed him. Na alale salama rest in peace 🙏

  • @salehbskar6033
    @salehbskar6033 Год назад +1

    Da mtihan kwel

  • @MussaYohana-u8t
    @MussaYohana-u8t Год назад +2

    Tena sana ukimtaja tu magufuri roho inauma sana

  • @AlmasiMajaliwa
    @AlmasiMajaliwa Год назад +3

    Pumzika Kwa Amani Gadaffi

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Год назад

    Allah Amuraze mahalapema Amupe pepo ya flidaus😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @saidbabu5824
    @saidbabu5824 7 дней назад

    Hawa ndiyo wazalendo wa kweli Africa .Mali yetu tule wenyewe siyo iende magharibi na marekani

  • @ndiranguarapkiraita9385
    @ndiranguarapkiraita9385 Год назад +3

    Mr mpagaze, are you able to read through your books and then sell the audio version. I would be faster buying. Otherwise reading is giving me challenges.

  • @StephenNjuguna-dx8sh
    @StephenNjuguna-dx8sh Год назад +1

    Kwa kweli huyu ndiye angeiokoa Africa kutokana na utumwa

  • @LaizerRokoine-hs9xx
    @LaizerRokoine-hs9xx Год назад +4

    Utakumbukwa kwa mema uliwalipa mmbaka mishahara bado wakakuuwa mungu akutuzee

    • @danielmgomo717
      @danielmgomo717 Год назад

      Aliuawa kwa ujinga wake, aliua wapinzani na kuwazika kaburi moja, alikuwa na dharau zilizouudhi viongozi wote duniani eg alisafiri na vyakula vyake ,mahema yake eti vya huko anakoenda ni najisi, alimsaidia Idd Amin kwa kumpa zana za kuiangamiza Tanzania kwenye vita ya Kagera, aliwapokea na kuwapongeza vijana watatu wa Libya waliolipua ndege ya Amerika ya Pana Anam Airway na kuua abiria wote kule Lockbie London na hapo ndipo ukawa mwanzo wake kupalilia kifo chake.Gaddaf alikuwa mtu mwema sana kwa raia wake lakini upande wa pili wa shilingi huyu hakuwa na tofauti na shetani na kifo chake alistahili kufa.

  • @InnocentOlasy
    @InnocentOlasy 6 месяцев назад +1

    Mungu awe nawe kqzi ako aina makosa

  • @DANIELMACHARIA-d5y
    @DANIELMACHARIA-d5y Год назад +4

    United States of Africa,must unite to succeed

  • @OhongoihondeIhondeohongoihonde
    @OhongoihondeIhondeohongoihonde Год назад +1

    Uyu nikama magufuri miamba ya afirika

  • @SigwaMkinga
    @SigwaMkinga 3 месяца назад

    Rest in peace gadafi ❤

  • @MariamPesambilimtumaarufu-u1y
    @MariamPesambilimtumaarufu-u1y 6 месяцев назад

    Nitajifungua mtoto wa kiume nimuite edger

  • @MCHELENGOKOLO
    @MCHELENGOKOLO 2 месяца назад

    Mashujaa waafilika

  • @byamdedelcano6054
    @byamdedelcano6054 10 месяцев назад

    The pan African Viva African

  • @jamesnderi9210
    @jamesnderi9210 7 месяцев назад

    Eager is the key to sucession

  • @Guccimoney-mr8rj
    @Guccimoney-mr8rj 8 месяцев назад

    Walishiba hawa Libya

  • @rwegizajeni
    @rwegizajeni Год назад +1

    Rip Gaddafi😭😭

  • @jimmygiliad6222
    @jimmygiliad6222 4 года назад +6

    Kwakweli hii ndo hii Libya

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 4 года назад +2

      MUNGU AENDELEEE KUWAADHIBU WALIBYA KWA KILE WALICHOMFANYIA GADAFI,HATA KAMA ALIKIWA NA MAKOSA LAKINI HAWAKUPASWA KUMSALITI ILI OBAMA AMUUWE KWA FAIDA YA WAMAREKANI.

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 4 года назад +1

      NI KWELIII VYAMA VYA SIASA VINALETA UTENGANO ILI KUWANUFAISHA WAZUNGU.
      WAZUNGU HAWATAKI WAAFRIKA TUISHI KWA UMOJA

  • @jamesnderi9210
    @jamesnderi9210 7 месяцев назад +1

    Mpangaze can one get your old Library books on cash

  • @FatnaAlly-hm1xc
    @FatnaAlly-hm1xc Год назад

    Maashaallah

  • @JoanesBenegula
    @JoanesBenegula Год назад

    Cku zote chema hakidum

  • @richardbernard2716
    @richardbernard2716 Год назад +1

    Sijui wa Afrivca tunarogwa na nini kwanza tunajisaliti, then tukipewa suit tunalamba miguu ya wahuni

  • @daudimusoma3337
    @daudimusoma3337 Год назад

    Kweli waafrika tumelogwa. Watu wa aina hii tunawaua basi TU. Jpm tunakukimbuka

  • @ZefaniaBoniface-id2ry
    @ZefaniaBoniface-id2ry Год назад

    Inauma

  • @ShabanAbdulrahman-b6r
    @ShabanAbdulrahman-b6r Год назад +2

    Hivi libiya ndo iraq ya Sasa au

    • @ummyremmy-pc9cy
      @ummyremmy-pc9cy 10 месяцев назад

      Libya ni nyingine na Iraq ni nyingine si inchi moja Libya bado iko wanasota mbaya wanajuta majuto ya firauni

  • @richkinji2583
    @richkinji2583 Год назад +4

    Aligoma kujifunza kiingereza wakati sisi kama hujui lugha ya kishetani unaonekana hujasoma hakika bado tunautumwa wa kifikra sana

  • @abrazakkimonje5656
    @abrazakkimonje5656 Год назад +1

    mwamba wa affrica huo

  • @jamesnderi9210
    @jamesnderi9210 7 месяцев назад

    The white aims never fails

  • @jumannegeorge5594
    @jumannegeorge5594 Год назад

    Africa unity

  • @StevenNyirabu
    @StevenNyirabu Год назад +1

    Natani kuandikamengi yakuumiza kuhusu upumbavu uliotujaa watu wa afirika ila naombatu mungu awekaribu nakuwatianguvu wa afirika wenye akili zakuitete afirika Gadafi tutakuombea upuzikaji mwema 😂

  • @MwanzalimaLeonard
    @MwanzalimaLeonard 5 месяцев назад +1

    Tuwakumbuke viongoz mashujaa wa afrika waliotambua madhara ya ukoloni mamboleo!

  • @aniakomba8626
    @aniakomba8626 Год назад +2

    Nikajua waagize kwa bili yako

  • @BarakaMpinge
    @BarakaMpinge Год назад

    Lala salama usihof tupo tunakuja

  • @bonheurNimbeshaho-qy7sy
    @bonheurNimbeshaho-qy7sy Год назад

    Shuja huooo

  • @sociallylifestyle2023
    @sociallylifestyle2023 2 года назад +4

    Historia ya Fidel Castro

  • @WaziriMkuu-c9m
    @WaziriMkuu-c9m Год назад

    Good in huh

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo 2 месяца назад

    Walio muua Gadafi sasa wanamkumbuka kiboko wameisha kipata na hawatamuona kama GADAFI hata wafanye nini

  • @mugishaemmanuel7592
    @mugishaemmanuel7592 Год назад +2

    0