Historia nzuri na yenye mafunzo kwa watawala wa sasa. Dunia hii imetawaliwa na watawala wenye ukatili wa kila aina ila leo hawapo. Walikusanya mali za kila aina lakin walikufa wameziacha. Tuishi kwa upendo na kusaidia wengine
Kwamda sasa nimekua nikifuatilia simrizi zako hakika umekua wakipekee sana ktk industry hii natamanisana kukutana na ww japo nikupongeze kwauhodari wakusimria hadithi namatukio kwauhodari wakipekee nauliotukuka mungu nimwaminifu iko sku nitapata nafasi yakukueleza ukweli uliko ndan yamoyo wangu kuhusu uwezo wako naamini utafika mbali kuyafikia Marengo yako
Alisahau jambo moja tu, bata kuku umaharufu na vyote ni vya muda mchache sana hapa duniani. Hakukumbuka kama siku moja ataondoka kama alivyozaliwa na kuacha kila kitu. Hakutengeneza maisha yake na Mungu akajiona yeye ndyo yeye kiburi cha uzima kikaingilia kati. Aliyoyakuta huko anatamani arudi duniani ahanze tena upya majuto kilio na kusaga meno!
Mmefanya kazi nzuri. Ila marekebisho. Sio kwamba 'historia hii imeandikwa' bali 'kutayarishwa. Kuandikwa ilishaandikwa sehemu mbalimbali kilichofanyika ni kutayarisha. Pongezi GlobalTv
We are happy to know what's going on in this world, the mind of people and leaders, the stories that inspire and discourage. It's well to be informed to be able to inform and live....God bless
Pamoja nakumkejeli Lakini Kongo bado haijapata Kama Mobutu na Leo wanamkumbuka kimoyo moyo.Mobutu na mabaya yake alikuwa jembe ..Pamoja nakusema aliuua sana je vifo vimeisha kongo.Niwakati Sasa Wakongomani au Wazairwa waanze kumkumbuka Mobutu kwa Mazuri yake ...
Ubarikiwe Sana Annanias Edgar
Asante global tv pamoja na Edgar & mpangaze kwa kutujulisha historia yenye kutuelimisha
Uko vizuri brother
Ananias Edgar bro salute kwako
Broo umeweza sana
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥☔🇪🇹 twaikubali sauti yako sana
Ahsante kwa huduma pia hongera kwa kazi ngumu mungu akusaidie upate elimu zaidi ya hii
Thank you
I love this.
Hatari sana
Hizi ndio story za maana kama na ww unakubali acha like na comments yako
Hakika
Unajiua broo
Namkubr sana huyu jamaa
Wakwako. Bona huwasimi unasima yawezio na. Kwako kwaporomaka. Bona. Ya huko kwenu. Bukoba Bona huwasemi.
Nice brother
Historia nzuri na yenye mafunzo kwa watawala wa sasa.
Dunia hii imetawaliwa na watawala wenye ukatili wa kila aina ila leo hawapo.
Walikusanya mali za kila aina lakin walikufa wameziacha.
Tuishi kwa upendo na kusaidia wengine
Nakushukuru Edgar kwa simulizi nzuri
Hadhi nzuri sana
Great work
Voice over 👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwakweli nimeipenda sana hii story natamani muendlee kutuletea mambo mazuri
Nataman sana nikuone brother nakupenda mno kwa story zako hongera sana kwa kipaji Mwenyez Mungu akujaalie uishi miaka mingi uendereze kipaji chako
Shukran kaka
Hadihti nzuri zana
Asante
Haya ndo yanatufundisha historia kwa tuliofel somo hilo japo ni maisha halisi ya rais uyu ., alitsha sana
All the best
Safi bro sitory yako nzuri sana
Heeeee Jmn uko alikooo cjui anahali gan jmn.....Mungu mrehemu mwanao😘😘
Hahaha hahaha raha za ulimwengu huu jmn zimemmaliza mbabe!! Pole sana!!
Best narrative
Good broo
Hatari hii
Dah alitisha sana
Hii ni kazi nzuri ,Bw.Ananias Edgar ,zidi kutuelimisha ,
safi sana bro mm ushauri wangu kwann usiandike vitabu alafu vikawa vinaonyeshwa mashuleni big up bro 💤
Hizi ndo documentary za kifanya. Mkitupa documentaries kama hizi mtakuwa mtajenga sana. Thank you kwa waandaaji wote
Hatari
Ama kweli, dunia ina mambo😯😯🤔🤔🤔
Kainjoi sana
Kwamda sasa nimekua nikifuatilia simrizi zako hakika umekua wakipekee sana ktk industry hii natamanisana kukutana na ww japo nikupongeze kwauhodari wakusimria hadithi namatukio kwauhodari wakipekee nauliotukuka mungu nimwaminifu iko sku nitapata nafasi yakukueleza ukweli uliko ndan yamoyo wangu kuhusu uwezo wako naamini utafika mbali kuyafikia Marengo yako
Ameen, asante sana Robiny.Karibu.
robiny clement
mpo vizuri kwa kweli!!!
I Love ur voice
Alisahau jambo moja tu, bata kuku umaharufu na vyote ni vya muda mchache sana hapa duniani. Hakukumbuka kama siku moja ataondoka kama alivyozaliwa na kuacha kila kitu. Hakutengeneza maisha yake na Mungu akajiona yeye ndyo yeye kiburi cha uzima kikaingilia kati. Aliyoyakuta huko anatamani arudi duniani ahanze tena upya majuto kilio na kusaga meno!
Acha Bata aitwe Bata
Good storys
Ohooh sasaiv tunaye huku kwetu anakula misele hatari
kipaji brother 💪
Huyu ndo aliyeiaribu Congo na kuwafanya wacongo wateseke mpaka Leo kwa Kumuua Patrice Lumumba!!
Huyo ameharibu sana huyo jama
Duh uyu father alikula bata kinoma noma
Unanikosha Sana Aiseee
Nimeipenda hii story. Mumeiandaa vema...
Hatuta kusahau Mobutu pamoja na Magufuli 🙏🙏🙏
Pongezi wee bwana kazi yako nzuri
Mmefanya kazi nzuri. Ila marekebisho. Sio kwamba 'historia hii imeandikwa' bali 'kutayarishwa. Kuandikwa ilishaandikwa sehemu mbalimbali kilichofanyika ni kutayarisha. Pongezi GlobalTv
Asante sana Edwin, kazi njema.
Edwin Ndaki Asante😍
umesema vyema sana brother umerekebisha vyema saana na kwa busara kazi nzuriii
Huyo jamaa ni noma
Great work bro.
Kazi nzuri bro... Ananias Edgar
...Allah akujaaLie one day utimize yo dreams
Asante sana Danii,kazi njema.
Hongera unajua kuhistoria
Lakini huo wimbo wa Candidat na Biso ni wimbo mkali hadi wa leo..it was so sweet
EDGAR,, WALLAIH NAKUOMBA UANDAE KINA EDGAR WENGINE WENGI UKISTAAFU WASHIKILIE DORIA.........MAANA HII SAUTI NI NOMA YAANI 2NAIKUBALI SANAA 😃
Good job
Goood
Napenda unavyosimulia, tafadhali toa documentary mzima kwa kiswahili
aisee
kama unamkubali Ananias Edgar acha link yako apa twende sawa
Yuko vizuri
Nc
Mungu amlipe Kwa matokeo yake
well researched . Pongezi
Anania nakupenda
Amani ya kweli inatoka kwa Yesu tu hapa duniani ndomana anaitwa mfalme wa amani
I
AMEN
Yani brwoo ww unjwa kusimulia goood
😢😢😢😢
Nikweli
Oh Kukungwendu wazabanga mwana ya zaïre R.I.P 😘😘😘
Aibu ya Viongozi wa Africa !
duuh !!hataree
Huyu jamaa yupo vizuri kwa simulizi
Saf sana
Kweli wa Africa siwazuli raisi wetu mobdu kwendahuko urifanya Congo ikakuwa masikini sana
Denis mhadhiri nakukubali
Aisee mobutu seseko n noma anatisha
Mobutu alikuwa umbwa coco, mupenda raha,nakutesa wandugu zake ,new generation We wll change africa for better future
Mimi ni mcongo ila simfahamu vizuri mobutu kama ananias edgar huyu jamaa nakukubali wewe nibabalao 💪.
Kaka ww noma unatafsili balaaaa
😃😃atali
We are happy to know what's going on in this world, the mind of people and leaders, the stories that inspire and discourage. It's well to be informed to be able to inform and live....God bless
Hi
Ajala Bata kama john, wewe ujui tu
Dar kweli brother ww ninakukubali sana Kwenye hizi story mtu wangu
Tupe historia ya salmin wa Zanzibar
Alikula kweli
We appreciate the history ❤❤🙏🙏🙏
hiii story nikahisi ni mwendazake naye alikuwa dikteta ivo ivo
Duh
Big up broo
Hivi huyu mtu alikuwa mtu wa namna gani?? Hivi unajua wakati mwingine nacheka afu nalia kidogo, kwa kumshangaa huyu mtu dahhhh kweli nashangaa sanaaa
Saf bro mpagaze
Ananiasedega bro vipi can I get that music I love it ntapataje
Yaani kukusanya waganga wooote hao afuu unabamizwa 9!!!😂😂😂😂😂😂
Men the only thing I love from Tanzania is wasafi and king kiba,you guys yani mbona RUclips videos zenyu huudhi hivi gooosh
@@georgephilip8220 nigaah You guys think this is a radio or what,always talking and sliding images...take of primitivity
Duh hy People alikuw mbwa hapa duniani
oh ! seko mobutu
Huyu msomaji kiboko......he has a style
Msimulizi amesimulia poa sana
Pamoja nakumkejeli Lakini Kongo bado haijapata Kama Mobutu na Leo wanamkumbuka kimoyo moyo.Mobutu na mabaya yake alikuwa jembe ..Pamoja nakusema aliuua sana je vifo vimeisha kongo.Niwakati Sasa Wakongomani au Wazairwa waanze kumkumbuka Mobutu kwa Mazuri yake ...
Sasa yupo wapi?