HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
HTML-код
- Опубликовано: 2 фев 2019
- HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
IDD AMIN DADA OUME wa Uganda ni mwafrika pekee aliyebebwa kichwani na wazungu kama wao walivyotufanyia enzi za utumwa.
Dunia ikashangaa, Afrika ikaduwaa,Waganda wakashangilia wasijue baada ya wenzao ni wao! Kweli alipowamaliza wageni alihamia kwa waganda waliofikiri tofauti nay eye.
#HISTORIAYAAMIN
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
DAAAAAH HII KTU SAFII MLIYOANZISHA NAPATA KUJIFUNZA NA KUJUA MENGI HONGERENI SANAAA GLOBAL ENDELEENI KUPATA ELIMU HII YA HISTORIA MUNGU AWABARIKI SANAA.
Ahsante sana kwa story yani daaah inatisha kwakweli
Nzuri
Peter Michael
Hongera sana msimuliaji kwa history mbalimbali nzuri zenye kufunza sana Mungu akusaidie sana
Haya sio historia sahihi....mbovu na usiokuwa na hakika
Idd Amin was a Legend.... story mbaya zipo kumhusu story nzuri kumhusu zipo...... nasimama kwenye positivity he was a Legend
Big Zhumbe ;kabisaa brooo he was a man
😥😥
Mimi nampenda sana *Idi* *Amin* sisi waafrika tusiwe watu wa kuambiwa kila kitu. Wazungu wanatuambia historia bandia ya kuwachukia viongozi wetu. Ni vipi *Amin* alikuwa mzuri wakati wazungu wanamtumia kuwaua watu waliohusika na Mau Mau nchini Kenya. Akapelekwa north eastern Kenya kupambana na wasomali na bado mzuri. *Milton* *Obote* akawa hana faida kwa wazungu sababu aliwafungia *interests* zao wakamtumia *Amin* tena kupindua serikali yake akahamia Tanzania kwa nyerere. Amin kuingia uongozini akawa Pan-Africanist, hafanyi vile wazungu wanataka. Akaapa kuitumikia Uganda na wananchi akawa mbaya wakaandika historia mbaya kumhusu. Tukawa brainwashed, tukawaamini wazungu. Sisemi alikuwa mzuri, kuuwa aliuwa watu na si wengi wasemavyo wazungu. Hata Kenya, kenyatta aliuwa wengi, aliyemfuata, ni rais Moi akauwa na kuwafunga wengi, wazungu kimya sababu wanakula kwa meza moja. Waafrika tuamke twatumiwa vibaya. Umefika wakati tuwatambue viongozi wetu sis wenyewe. Mimi nampenda sana
H.E, Field Marshal, President for Life, Maj. Gen. Al Hadji Doctor, VC DSO MC, BC, CiC, Father of twins, Lord of all the clans in the land, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas, the cook with all the firewood, the queen termite, Conqueror of the British Empire(CBE) in Africa in General and Uganda in Particular. Speaker of truth, Pan-Africanist, Maj. Gen. President *Idi* *Amin* *Dada*
hivi jaman au basi iddi amin dada pepon
Historia shwari mno! Asante Kaka Edgar kwa simulizi bomba sana!!
Ikiwa unakubali kaz ya uyu mtangazaji weka like yako
Uyujamaa hanae simulia.. Hanatakiwa hapewe mshahara Mara tatu hanao lipwa kwel hanafanya kz vema nimemfatilia Sana yupo vizur Kk mungu hakubariki!
Ndugu kiswahili fasaha anae simulia
Anatakiwa apewe. Anaolipwa
Emma Lyanga true kz nzur
Wewe Baraka Unatumia ha badala ya A .Jifunze kiswahili
Baraka Chami ujue unaboa kiswahi gani hicho au hujui kusoma
We unaongea madudu gani
najisikia murua sana mashaalah👏 ninaposikiliza simulizi za historia zako usichoke kutusimulia daily🙏
Asante kwa hii historia Nzuri na sauti yako ya kuvutia
Paka raha jamn hanavyo tafasir
@@keziaayubu8614 sanaa
Una itwa nan instgrm
@@ashifighter8159 omwanajuma-Tz-255
Mwanajuma O Mahundumla et hii ina itwa kuondoa kero kwa kutumia kero hahaaaa atari xana broooooooooooo "
Huwa nakufwatilia sana kutoka hapa Nairobi, kazi nzuri ndugu yangu
Wow asante
Unastahili tuzo ya thamani Sanaa.Big up Ananias
I can't stop watching your stories, proud to be Tanzanian
Napenda kusikiza histolia ya Global TV....nikiwa hapa Kenya.... Tuko pamoja
Asanteni sana
Story imepangwa vizur sana
Haruna Kayega
Broo Honestly speaking una Sauti nzuri asee!!
Mimi safari
Nilikua nasubiria muapload kwa hamu👍👍👍👍👍
Waooo respect brother
Hii ni nzuri Sana... Keep on
Mtangazaji upo safiii umeeleweka
Much Respect 🤔
Asante kwa kazi nzuri na kutupatiya historia nzuri Mungu akubariki kwa kazi yako
Una itwa nan isntgrm?
Fidjok fiston
Fiston Kyuing kweli
I Appreciate ur voice
MtangaZaji/Msimuliaji yupo Tofauti saaaana.......
Gud Job.... MAMBO SWADAKTA
Msimuliaji yupo vizuri sanaaaa
Asante sana kwa historia hiyo muhimu sana, Ndio maana Mungu wa Israeli mwenye mamlaka atailinda Kenya na kuitetea kwa ukarimu wa kuruhusu jeshi la Mungu wa Majeshi kujaza mafuta hapa kwetu Kenya...BABA wa mbinguni kusije kukawa na mkatili kama huyo tena UGANDA. UILINDE UGANDA NA AFRICA YOTE.
Ameen
Nakuku bali sn mzeebaba uko vzr sn
Kaka mungu akupe maisha mema hakika unavutia sana utangazaji wako Ni zaidi ya grobal tv
Amina
Very informative and educative!Kudos Edgar!
This is just information intended in a hidden way...Neither is it educative nor imformative
am happy to be in this class learning has no end
Daaah shukran global kwa kunifunua akili na kunipa faida zaidi ya kuijua Africa na utawala wa kikoloni kwa sasa ni (watalii/wawekezaji) mmh Africa bado tuko utumwani
tnx for enlighten
Nakupenda ,unasema kweli
Asante sana bro
Duh! Asnten kwa kutujuza ya kale global tv mpo vzr sana hongereni ila msikae kimya muwe mnatuwekea mambo ya kale tuyajue vzr
O
Msimuliaje congratulations....🙏
i loovw your information
Naomba aongezewe mshahara huyu muandaaji na msimuliaji...yaani ana manjonjo uyo..
Dah noma sana
Nice for good story
thanks so much mr denis and ananias keep it up
Hatar sana huyo Id amin
Hongereni sana Global tv
Hongera sana kaka
W muongo 2
@@muchijp3266 Hatuwezi kutoa taarifa za uongo kiuwepesi hivyo.
unatangaza vizuri sana
Allah akurehem Iddi Amini Akujaalie Jannat Firdausi ulikuwa kidume kweli kweli
Kazi nzuri sana msimulizi upo vizuri
nimependa sana bro jinsi unavyo simulia vizur sana
Idd Amn dada
Iko pow sana
Huyu mhariri ndio anafaa kupewa utangazaji dunia nzima maanake yuafaham kazi yake vilivyo,pewa kinywaji mzee kwa bill yangu
Nnachoshangaaa mimi story za Iddi Amin ambaz n mbaya n hku Tanzania i huk kwao Uganda wanamuelewa kam Shujaa wa Nchi yao. Hzo xtory za msingi il ukikua unajifunza unajua ukwel. Ndiio maaana hta ile triangle trade kule sekondari ni Hovyo t il ukixom unajua
Iddi amini alikuwa ni mwema Sana sema kachafuliwa kwa chuki binafsi ya nyelele kwa ajili ya dini nyelele mkirsto Iddi ni muislam na Iddi alipenda Uganda iwe ni nchi ya kiislam
Mm naomba unisimulie history ya Eid amin
@@hashimutambala7730 huo ndo ukweli mkuu me sisemi tena kitu sema tu nyerere alitupandikiza chuki lakn idiamini nimtu poa sana
Hueleweki ulichosema
@@hashimutambala7730 kwani nyie mnapenda wakristo? Tumia ubongo kufikiri mkuu...
Mtanqazaji uko vzr sana na sauti inaskika vzr sana
Kazi nzuli asante kwa elimu
Vzuri sana
Naipenda sauti yako hiko poa
Asante kaka
Mungu Amrehemu Iddi Amini amlaze mahali pema peponi. Nyerere Mungu amlaani kwa udini aliokua akileta na ambao unaendelea mpaka sasa Mungu amchome tu...........
Aamin 🤲
simuulizi nzuri
Uko vizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii xanaaaaaaaa xafiiiiiiiii
Edgar Unajua sana unasauti nzur sana na maneno mazur sana
Safiiiiiii sana Ananis Ediger kazi nzuri
Navutiwa sana na utangazaji wako very impressive
Thanks.
@@globaltv_online kaka upo vizur sanaa hongera sana instar unatumia nani
@@beatricekamengekamenge5543 Ananiasedgar_tz
@@globaltv_online poa kaka
Point
Kizazi sana kamanda
nzuri sana
Dah huyu Jamaa kuna maneno mengi sana ya uhongo
Ningependa Kuviona vizazi vya Iddi Amin
Hongera waelezea vyema sana
Nakukubali sana mkuu bigup sana
Umetisha San bro mungu akutangulie
Niko kenya uko juu bosss👍
Nakubal sana kaka kwa kazi zako
Jamn nyerere baba amefanya kazi kubwa na naamini magufuli mungu amemleta kwa niaba yake
U r great bro
Kaka uko vizur mpka raha big up sana
Bro you are the best bro.. Nimenyoosha mikono
Uko vizuri sn sijutii MB zangu
Nakukubali mzeeee
I like the way you express the story & your voice so audible 😍
Da unaelezea ka ulikwepo vile, safi sana
Safini sana
Nice
Kaka mpaganzi upo vzr sana tena sana..never seen
Gud
Komaa kaka uko vzr
Sio powaaaaaaaa
Muwe mnajitahidi kupata taarifa sahihi.amini alipenda na waganda
🔥🔥🔥🔥
Kashmir shujaa wa mfano mwenyeakili ,mcha Mungu ,jasiri wa kuigwa...
Nyerere mkatolik na iddi Amini muislamu anaejua haki hakuwez kuwa na salama apo.
Umeanza udin naww
TANZANIA ya enzi zile iliyokuwa na umoja siyo 'UPINGAJI' kila jambo ndo maana umoja uliiwezesha kushinda vita ingekuwa leo hii tungepigwa saana maana IDD AMINI angekuwa anapewa siri za nchi na watanzania.
Gghuza migyango
Pale tatizo linapo ingia nyumbani wenyeji huja wakatafuta suluhisho hata kama kuna utengano. Hivyo basi Tanzania ya sasa ina uwezo katika kila jambo litakalo kabili Taifa
Haahahaha sijui umewaza nn,siku hizi bongo kuna watoboa siri wengi sana
Hiii history sio rafiki kabisa maana uongo nimwingi kuliko ukweli,, pumbavu sanaa
Naumia sana kwa nn nilipata D ya history o level.. unajua sana I feel you
Adui wa mzazi wangu ni adui yangu huwezi kuwachukia wazazi wetu ukanipenda mim mimi namchukia uyo amini hadi leo
Mku uwezo wako mkubwa sana kusimulia. Napenda sana
STORY NZURI SANAAA
Da saf sanaaaa
Historia ya Idi Amini Imepotoshwa wala hakua hivyo Mnavyoisimulia he was a Good man
If he was a good man please tell us a good history of iddi amin.we hope that you know much better about IDD amin.
Wapumbavu kama ninyi ndio mnaamini he was a good man....imagine the whole world to hate you...why then?
Nime enjoy sana Thanks! Tuekeeni storia Kama izi mbona mtafraia maisha WENYEW na WATAKAO follow account wataongezeka Amini nawaambia
Hatari
mwanangu unajua sana
Dah kaka uko vzr cn