RC Makonda Ampa Makavu Mchungaji, Ambana Mkuu wa Wilaya "Kwanini Umefungia Kanisa?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 446

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 7 месяцев назад +91

    Dc,usitishwe na.makelele ya watu,siku zote ukweli unauma,simamia ukweli wako,tenda haki,haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote,kanisa ni chombo cha.neema,mchungaji acha kulilia haki isiyokuhusu,ni dhamji. Na unasababisha mlinzi wa usalama ngazi ya wilaya anazomewa na washirika wako mungu hapendi. AMEN

  • @Johnsonkayila
    @Johnsonkayila 7 месяцев назад +31

    Makonda na Bwana Yesu Akufunike kwa Ulinzi wa Damu yake maana ni wazi unafanya kazi ya Mungu.
    Hivyo kwa kuwa umekuwa mwaminifu kwa haya machache Mungu na Akupe kutawala juu ya mengi na makubwa kwa Utukufu wake.

  • @LadislausOdilo
    @LadislausOdilo 7 месяцев назад +26

    Makonda kwa hekima uliyo nayo naamini wapo watu wanaokesha kukuombea usimame kama ulivyo nami nakuombea ulinzi wa damu tukufu ya Yesu Kristo ikuzunguke hii kesi haikuwa nyepesi ila kwa uwezo wa Mungu aliye hai unaimaliza kirahiiisiii!!! Ulindwe sana mtumishi wa Bwana

    • @mwanawamfalmetz
      @mwanawamfalmetz 7 месяцев назад +2

      Kabisa namuona Magufuri ndani yake

  • @JohnPeterMayau
    @JohnPeterMayau Месяц назад

    Watu Hawa ni wasumbufu Sanaa,,wanatuonesha Nini ,,tuwaamini kipi kama watumishi wenye uchu wa MTAZAMO wao na sio wa kiroho,, Asante MKUU WA mkoa Kwa kuling,,'amua hili na pole Kwa kazi,,Mungu pekee akuongoze

  • @RakeshKurji
    @RakeshKurji 7 месяцев назад +4

    Makonda mwenyezi mungu akuweke. Nimekuwa napenda kuona mikutano yako kutokana na weledi wa kazi yako.

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 5 месяцев назад +4

    Pole kwa kazi kaka ala inaakili sana kama una chaji halikushindi jambo

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 7 месяцев назад +54

    Kama nawe Makonda ulikua humuelewi ila saiv Unamuombea kwa Mungu awe mlinzi wa maisha yake yake Ngonga like. Asante sana Mheshimiwa Raisi kwa kidogo alichokupa Mungu kumrudisha huyu Jemedali hii ndio CCM . UTU MBELE

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 7 месяцев назад +1

      Ongera Kwa kuliona hilo

    • @COMPASSIONMEDIA
      @COMPASSIONMEDIA 7 месяцев назад

      MUNGU kamtuma huyu. Utaona baadaye atakuwa mtu mkubwa sana

  • @reginakatele8829
    @reginakatele8829 7 месяцев назад +11

    Nakupenda sana baba yangu makonda mungu akubariki

  • @benlaizer9936
    @benlaizer9936 7 месяцев назад +2

    Hii ni fedheha migogoro ya kanisa kufikia hatua ya kufikishana mahakamani na mpaka kufikia hatua ya kuingiliwa kati na viongozi wetu wa kitaifa!! Hekima ya makonda kama Seleiman!! Mungu akulinde Mh. Makonda

    • @chedielimrutu6955
      @chedielimrutu6955 Месяц назад

      Yaani wanadhalilisha Kanisa. Huyu Mchungaji alishahama kanisa anataka ahame na mali duuh.

  • @athumanikazembe1554
    @athumanikazembe1554 7 месяцев назад +11

    Hongera RC Makonda kwa uungwana wa kumsikiliza baba mchungaji kwa umakini zaida.

    • @alfredymalata269
      @alfredymalata269 7 месяцев назад +1

      MCHUNGAJI KAJA BILA GADI 😂😂😊

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 7 месяцев назад +4

    Aiseh bro Makonda, safi sana huhuuuu

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 7 месяцев назад +20

    Jamani wananchi Mungu kawapa MAKONDA,TUMUOMBEE SNA🙏🙏🙏🙏hii vita hapgani mwenyewe jamaniiii, Mungu amcmamie ARUSHA ikabadilike na wanyonge wakapate haki yao🙏🙏🙏

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 7 месяцев назад +2

      Huyo mbona mtaenjoy Sema tu huko hakuna matukio yale ya sherehe ila ingekua kama dar yaani mnge enjoy mno
      Huyo mzungu kabisaa japo Ana mambo yake madogo madogo tu

  • @AnnaMbanga
    @AnnaMbanga 7 месяцев назад

    Looh! Pole sana P.Makonda ,kazi ni ngumu sana ila Mungu amekuamini ndio maana uki hapo sali sana kadiri uwezavyo mungu akuongezee maarifa na hekima. AMINA.

  • @EliasDaniel-mi4xs
    @EliasDaniel-mi4xs 7 месяцев назад +2

    Some time natoa machozi jinsi navyo ona makonda anapambana big up sana

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 7 месяцев назад +21

    Makonda is next president

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 7 месяцев назад +12

    Hajambana mkuu wa wilaya, amemuomba aelezee, huko siyo kubanwa. Uliyeandika kichwa cha habari ni mpuuzi

  • @rafaelikimati4276
    @rafaelikimati4276 7 месяцев назад +2

    Mkuu Mungu wa Mbinguni akulinde sana Uendelee kupambania haki za wanyonge safi sana sana

  • @francofrederick972
    @francofrederick972 7 месяцев назад +23

    Mw. Makonda unayo kazi kubwa, Damu ya Yesu ikufunike, hutashindwa kwa lolote

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 7 месяцев назад +2

      Nchi hii Ina viongozi wengi lakini hakuna wanachokifanya kijana huyu mungu amlinde sana anayo kazi ngumu

  • @JoelHuge-kl2df
    @JoelHuge-kl2df 7 месяцев назад +9

    Yesu naomba safari yangu iwe salama mpaka nikuone... heeee 😢😢😢😢

  • @AsajileMbukwa
    @AsajileMbukwa 6 дней назад

    Amina mtumishi mbalikiwa nakumbuka ujumbe wako juu ya makanisa

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 6 месяцев назад

    Makonda respect❤❤❤❤

  • @scolarjapheth3249
    @scolarjapheth3249 7 месяцев назад

    Good leader know the way🙏🙏🙏

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 7 месяцев назад +12

    Dc.Yupo right kabisa

  • @GeofreyBalyo
    @GeofreyBalyo 7 месяцев назад +17

    sema makonda yuko makini bwana sikuwahi kujuaga ..safi sana

  • @MankaMeck
    @MankaMeck 6 месяцев назад

    Makonda mungu akutunze kwaajil yetu watanzania wanyonge tunakukubali san

  • @mathiasmsemo3164
    @mathiasmsemo3164 7 месяцев назад +3

    Hii ni aibu! Tunamuabisha Kristo!

  • @rwechungurajohn3592
    @rwechungurajohn3592 7 месяцев назад +1

    Mheshimiwa liangalie vizuri,zamani watu walikuwa wanakaa chini ya vivuli vya sehemu nyingine

  • @JansonSengiyumva
    @JansonSengiyumva 7 месяцев назад

    Nakukubar sana mzeee mung akulinde mpenda maendeleo

  • @reminamkunda6474
    @reminamkunda6474 7 месяцев назад +1

    Jamani Acheni Kufunga Nyumba Za Ibada Mtalaaniwa Na Mungu Atawaona

  • @anorderick7162
    @anorderick7162 7 месяцев назад

    Kaka una hekima ya Hali ya Juu ... hakika Roho mtakatifu anakuongoza....❤

  • @VeronicaFumbo
    @VeronicaFumbo 7 месяцев назад

    You are the best makonda ❤

  • @volcanokitomary8941
    @volcanokitomary8941 7 месяцев назад +1

    Mungu awapiganie mwalimu wangu mwalimu Lema

  • @josephmwinuka3982
    @josephmwinuka3982 6 месяцев назад

    Makonda duuuh uchanganuzi huu makini sana

  • @EmanuelIsack-gb5jy
    @EmanuelIsack-gb5jy 7 месяцев назад +2

    Mungu awe na we makonda upitapo

  • @wankenanyakigaga8494
    @wankenanyakigaga8494 7 месяцев назад +2

    Baba makonda unaonekana tu hata ukiwa mjumbe wa nyumba kumi ubarikiwe sana ingawa nipo mkoa wa pwani nakuona mtandaoni unapiga kazi wewe ni kiraka unafaa

  • @ZawadiMwaipopo
    @ZawadiMwaipopo 7 месяцев назад

    Safi makonda

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 7 месяцев назад +2

    Nimesikiliza vizuri sana Mkuu wa mwilaya amesema alinunua kiwanja piya akaanzisha kanisa badae akatolewa mbona mwanzo alikua mwenyewe kwenyekununua

    • @emanuelmaya4667
      @emanuelmaya4667 7 месяцев назад

      so baadae ikawa mali ya kanisa na sio ya mchungaji tena.

  • @kingelieshabani7235
    @kingelieshabani7235 5 месяцев назад

    Mweshimiwa MAKONDA tenda haki

  • @davidnyamo6110
    @davidnyamo6110 7 месяцев назад +7

    Makonda ni kiongozi tosha anaesimamia haki wakati wote. Endelea hivyo mkuu Tanzania inahitaji watu wanao simamia haki. Na ikimpendeza Mungu akuinuwe kwa ngazi zingine kubwa za uongozi

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 7 месяцев назад +1

    Makonda anaakili sana

  • @crisis5201
    @crisis5201 7 месяцев назад

    Tunataman ungekuwa mkuu wa mkuu wa daa yan ungetatua kero zilizojaa honger a sana makonda piga kaz magufuli kakuachia viatu ila mungu akulinde

  • @RichardKilepo-xj1sy
    @RichardKilepo-xj1sy 5 месяцев назад

    Sawa pastor useme kweli

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 7 месяцев назад +13

    UBALIKIWE SAAAANA MKUU WA WILAYA KWA KUFUNGA KANISA ULIFANYA JAMBO JEMA MNOOO UMEPITISHA AMANI KUUBWA MNOO .🙏🙏 BALIKIWA

  • @VeronicaFumbo
    @VeronicaFumbo 7 месяцев назад

    Mungu akuzingile na nguzo za moto adui asikupate haijalishi utawekwa nafasi gan

  • @biasharabaridi6477
    @biasharabaridi6477 7 месяцев назад

    Inaonyesha namna gan mifumo, na miundo inachangamoto kubwa sana ktk kuendesha mambo yake ktk ngazi za chini na kati

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 7 месяцев назад +7

    Hapa mkuu wa mkoa, kinachoedelea ni uasi. Hii ni issue ya uasi. Mchungaji anatakiwa kuustaafu kwa mujibu wa kanuni zao, ila inaonekana ameshawishi baadhi ya waumini kuanzisha kitu kingine kutumia mali za huduma nyingi. Hii inaitwa hatua ya kisiasa . Msaidieni huyu baba. Uasi sio mzuri . Mwisho wake unakuwaga mbaya sana . Mf. Yuda, Absalomu Yoabu.

    • @rukiambaga
      @rukiambaga 7 месяцев назад

      Apo sio akili yako ni MUNGU alioko ndani yako umeongea poit: ubarukiwe sana taamaa ya uchu na nadaraka: inaionesha Mzee hatak kustaaf jamani safari ya mbinguni ni ngumu😢😢😢😢😢😢

  • @agathasungura5047
    @agathasungura5047 7 месяцев назад +15

    MAKONDA UNAAKILI SANA HEKIMA YA WAZEE WETU KINA NABII IBRAHIMU

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 7 месяцев назад +1

    Mkuu wa wilaya yupo vizuri👏👏

  • @samwelmosi6068
    @samwelmosi6068 7 месяцев назад +1

    Mkuu wa wilaya ameongea UONGO anasema tulikua na chama kimoja ambacho ni chama Cha mapinduzi huo ni uongo mtupu,, tulikua na TANU nadhani😂😂😂😂😂

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 7 месяцев назад

    Mmh ndugu zangu hii ni aibu sana kwakanisa tena walokole, haya ndiyo Bwana Yesu alisema kuwa nikosa kubwa na aibu kupeleka mashauri yetu kwawatu wadunia watuamulie akati sisi ndiyo tunapaswa kuwa washauri wao

  • @MahijaMohamedy
    @MahijaMohamedy 7 месяцев назад +2

    Bora mb zangu ziishe hapa

  • @evodiusndibalema4364
    @evodiusndibalema4364 7 месяцев назад

    Mafarisayo walipo muona Yesu watu wanamfuta walitafuta njia ya kumuua makonda Mungu akusimamie

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 7 месяцев назад +12

    Mungu baba uliye mbinguni kama itakupendeza mfanye huyu Mwamba aje kua zaidi ya alivyo sasa kwenye hii nchi

  • @isaacorengo1404
    @isaacorengo1404 7 месяцев назад +3

    Dahh ❤❤❤ nakukubali Baba makondaaaaa akili KUBWA

  • @yesayaambayuu2240
    @yesayaambayuu2240 7 месяцев назад +11

    Mch Yonna Sumary nilikuheshimu sana na natamani niendelee kukuheshimu. Cha kusikitisha unataka kumaliza vibaya. Kwa nini unaeleza uongo kabisa ukikataa ukweli. Pole sana Mch hebu tafakari na utubu dhambi hii

    • @Emmaa-Joshu11
      @Emmaa-Joshu11 7 месяцев назад +2

      Mbn askofu Yona Hana shida mkuuu

    • @pastormoses8411
      @pastormoses8411 7 месяцев назад +2

      Wewe acha kumnyoshea Mtumishi Yona kidole

    • @gideonstanley2155
      @gideonstanley2155 7 месяцев назад +3

      Huyo mchungaji aache ubabaishaji amehama akapambane na hali yake huko aanze upya

    • @gideonstanley2155
      @gideonstanley2155 7 месяцев назад

      @@pastormoses8411sasa uoni kama anataka kufanya utapeli na lipo waz😅

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 7 месяцев назад +1

      ​@@Emmaa-Joshu11Amehama Kijanja walioondoka Wote Kwenda sehemu wakamkabidhi mwingine unarudi kudai nini??

  • @ofreyking5975
    @ofreyking5975 7 месяцев назад +21

    Makonda anaakili sana asee sio kwaaelezo ya mchungaji miwenyewe msikilizaji amenichanganya ila makonda kaelewa?

    • @emanuelmusa1419
      @emanuelmusa1419 7 месяцев назад

      Hahaha me mwenyewe mechanganyikiwa haha daah mkuu makonda anaakili snaa

  • @highonebalo8289
    @highonebalo8289 7 месяцев назад +1

    Yaani iko hivi; ninyi mnaompiga kwa maneno Nabii wa Mungu kuhani na Mch Yona, kuna kitu hamkijui. Mimi niwahakikishie na muitunze sana hii comment. "MMEUPANDIA MLIMA HATARI; MTAPIGWA KWA MAWE MSIYOYAONA"

    • @highonebalo8289
      @highonebalo8289 7 месяцев назад +1

      Mnasema eti akabidhi mali kwa kanisa halali!! Mnalijua???
      Ni utukufu wa mfalme kuchunguza jambo.
      Eti anawachanganya watu😲
      Kama wanadaka mambo mtaani na hawana muda wa kuchunguza zaidi ya kubwatuka? Mshahara wa kukurupuka kwao ni kuchanganyikiwa na aibu juu.

    • @highonebalo8289
      @highonebalo8289 7 месяцев назад +1

      Eti awekwe ndani akazekee huko😠; hamjui anayetakiwa kuwekwa ndani. Ila majira yakifika mtang'amua.
      Wakati huo Masihi wa Mungu Yona akiwa anawika juu ya kilele cha mlima mrefu na macho yenu yakimtazama kwa mbali na kwa aibu.
      Ndipo mtajua ya kuwa Mungu ana kifaa cha kiwango cha PHD+ duniani.
      "Usimdharau usiyemjua"

    • @highonebalo8289
      @highonebalo8289 7 месяцев назад +1

      Eti amechanganyikiwa.
      Hili vazi LA kuchanganyikiwa lina mwenyewe na bado hamumjui.
      Ila Masihi wa Mungu Yona atatoboa miaka yake yote na akili njema tulivu akiwa timamu maeneo yote hadi unyakuo.
      Wekeni lijamu kwenye ndimi zenu.
      Msilolijua litawagarimu.

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 7 месяцев назад +9

    Mfano huu wa makonda ungeigwa na sehemu nyingine.

  • @MathewMchome
    @MathewMchome 7 месяцев назад

    Mungu akuongoze mkuu wamkoa unafanyakazi ndugu

  • @LindaUrassa
    @LindaUrassa 7 месяцев назад

    Jman uuuuwww makonda nmempenda buree jman anatk anene kwa lugha kwanza ili waelewana😂😂😂😂

  • @bishopanastarsonlinetv7948
    @bishopanastarsonlinetv7948 7 месяцев назад

    Makonda Safi Sana.Ebu neno kwa Lugha kwanza ili sipana ikae vizuri.

  • @johnsaid2654
    @johnsaid2654 7 месяцев назад +1

    Mm nasema kwani wakuu wa mikowa wengine hawaoni makonda anacho fanya nawao waikomboe jamani

  • @NeemaMlongwa
    @NeemaMlongwa 7 месяцев назад

    Asee makonda noma sana, inafaa kuwa raisi wa hii nchi.

  • @nashonkibayayu3776
    @nashonkibayayu3776 7 месяцев назад +19

    Mh.mkuu wa wilaya, Yuko sahihi! Kama mchungaji alihama na kuanzisha kanisa linguine, hatakiwi kuchukua chochote. No wagombe cheo.

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 7 месяцев назад +2

    Hon king makondz the great

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 7 месяцев назад

    Kweli mkuu wa wilaya umenena kwel,

  • @neemamollel6057
    @neemamollel6057 7 месяцев назад +2

    Hee makubwa shangazi yangu you mama lekisongo .sijamuona miaka😂😂😂

  • @FrankSospeter-o3q
    @FrankSospeter-o3q 2 дня назад

    Makonda piga kazi,mm naona mchungaji Hana chake

  • @MalelaHaule
    @MalelaHaule 7 месяцев назад

    Makonda unajua mengi na umejifunza mengi kwa makosa uliyofanya au kufanyiwa na sasa chapa kazi kwa yale ulioyaona hayafai na endeleza yale unayoyaona yanafaaa huku ukimuomba mungu kwa sana na usiogope kufa maana heri kufa na amani kilko kufa na hofu au mawazo

  • @isaacorengo1404
    @isaacorengo1404 7 месяцев назад +8

    Dahh Makonda unaakili sana wewe ni Suleiman wa kizazi hiikiiii

  • @herbertbavuma7228
    @herbertbavuma7228 7 месяцев назад +3

    Kweli kanisa inafingwa inakuwaje stori, kama hakuna kafaida fln,mnasali popote tu chamsingi Mungu tu jmn.

  • @EstomihMamuya
    @EstomihMamuya 7 месяцев назад

    Ee Mungu tunusuru na haya mambo. Tulianza ktk Roho sasa tunamalizia wapj?

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 4 дня назад

    Na alaaaniwe aliefunga kanisa hilo anashindana na Mungu

  • @gideonstanley2155
    @gideonstanley2155 7 месяцев назад +7

    Mchungaji analeta janja janja😂😂😂

  • @MzunguNike
    @MzunguNike 7 месяцев назад +1

    Huyu Mchungaji yuko sahihi kabisaa

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 7 месяцев назад +3

    MH makonda una hekima ya na bii suleimani Hongera sana

  • @diegocosta2988
    @diegocosta2988 7 месяцев назад

    Kuna Fala mmoja ana sema wapige spanaa mdaa wote 😂😂

  • @fanuelmtuga692
    @fanuelmtuga692 7 месяцев назад +1

    Patamu hapo❤

  • @jacksonkipuyo441
    @jacksonkipuyo441 7 месяцев назад +17

    Baba Yangu wa kiroho ni tangu lini umekuwa hivyo jamani nasikia usuni sana maana sijatarajia kuwa unawesa kukana ukweli

    • @leygeorge3479
      @leygeorge3479 7 месяцев назад

      ni mchungaji Yona Sumari au namfananisha

  • @georgeshetui252
    @georgeshetui252 7 месяцев назад

    Huyo Mchungaji akubali kuwa kapoteza.

  • @chihiro5828
    @chihiro5828 7 месяцев назад +2

    ardhi na nani ananunua na kulipia. Swali ni: Nani alinunua ardhi? Nani alijenga Kanisa? Dk.Makonda naomba Mchungaji Godson na kundi lake walete mkataba wa ununuzi wa ardhi kwa jina lao na risiti za vifaa vya ujenzi wa Kanisa kwa jina lao, mwenye hati za kuthibitisha kuwa walinunua na kujenga na mwenye nyumba awe na hekima kama Solomon.

    • @lomaolais4155
      @lomaolais4155 7 месяцев назад

      Mbona kanisa nimali yawana Baraa?kwamaelezo ya Pastor Yona?ww unataka hao wakupe risiti zann?kama kuna aliyejenga alikuwa msimamizi tu.

  • @paulomwambanga7119
    @paulomwambanga7119 7 месяцев назад +1

    Yani viongozi wengine nimateso kwa Wachungaji utafikiri Mashatani

  • @rukiambaga
    @rukiambaga 7 месяцев назад +1

    Mbna wanachi kama hawakubaliani nalo😢

  • @sesiliasalleko2013
    @sesiliasalleko2013 7 месяцев назад +1

    Aibu huyu mkuu wa wilaya kilaza sana

  • @WilliamLukumay-um4gd
    @WilliamLukumay-um4gd 7 месяцев назад +1

    Makonda wewe nia magufuli mmetoka tumbo Moja nitamwomba mungu akupe Miaka mingi uwendelee kuwaokowa kondoo wa bwana barikiwa zaidi mtu wa mungu

  • @yothamandrew6881
    @yothamandrew6881 7 месяцев назад +4

    Unahekima sana broo

  • @apostledanielmwendajuu7200
    @apostledanielmwendajuu7200 7 месяцев назад +1

    Mimi binafasi Huyo Mchungaji nimemuelewa saaana, Umpt sio kanisa Ni umoja , wakati fpct wanatoka wao ndo walitakiwa waache Mali za Umpt , sababu wao Ndio walioanzisha kutoka ,Baada ya Umpt ilizaliwa m.m.p.t, Huyo Mzee Ana haki saana

  • @NuruMwasomola-r6v
    @NuruMwasomola-r6v 4 месяца назад

    😊😊

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 7 месяцев назад +2

    🇹🇿Serikali unganisheni wizara ya ujenzi na usafirishaji kisha apewe paul makonda asimamie barabara na reli zitajengwa haraka sana na Tanzania itapaa kiuchumi.china leo iko vizuri walianza na kujenga miundombinu mizuri kwanza.Hivo huyu makonda apewe wizara ya ujenzi kuokoa uchumi wa Tanzania.Huyu jamaa ni rasilimali nzuri ya Tanzania anauwezo binafsi kwa maendeleo ya Tanzania.🇹🇿

  • @herryignasy8711
    @herryignasy8711 7 месяцев назад +11

    Makonda ni Nabii

  • @charlesmbise2344
    @charlesmbise2344 7 месяцев назад +1

    Mzee wa supana anapiga supana mpaka kieleweke🎉🎉🎉

  • @kazikazicompany-yl6sd
    @kazikazicompany-yl6sd 7 дней назад

    😮😮😮😮

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 7 месяцев назад +1

    Jani Mbona Munatufindisha kwamba tusihukumiane na sasa Muna hukumiana Hapa hakuna MUNGU kuna 4:10 Miungu Jifunzeni kwa wapagani Wao Hawa gombani kwenye Madhabao zao

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 7 месяцев назад +19

    Mkuu wa wilaya ulifanya kitu kizuuri Sana kufunga kanisa maana ungekosa kufunga kanisa wangeanzisha fujo kubwa za kupigana na uvunjaji mkuubwa wa amani ONGELA MKUU WA WILAYA ULIFANYA VZURI KUFUNGA KANISA PANDE ZOOTE MBILI .

    • @UpendoAdari
      @UpendoAdari 7 месяцев назад

      Imekaa vizuri sana wamemzomea tu lakn yupo sawa kabsa

  • @DaimonLackson
    @DaimonLackson 7 месяцев назад +1

    Mkuu wawiraya unafeli wap Mambo yadini na siasa wap na wap ww

  • @BrunoRufurenge
    @BrunoRufurenge Месяц назад

    Mbona kama kuu wa wilaya anamawenge

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 7 месяцев назад +2

    Nashauri Mhe.RC mtafute Askofu wa FPCT Jimbo hilo Bishop Ayubu Muna kimahama hapo. Maelezo ya DC ni sahihi na tatizo hapo itakuwa ni kanisa mpya kwenye kanisa la awali na hao Viongozi wa serikali hawakubeba mgogoro huo na kulitatua haraka

  • @joycemshana4028
    @joycemshana4028 7 месяцев назад

    Maajabu

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 7 месяцев назад +1

    mh haya mambo ebu wakutane pande zote mbili jaman

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 7 месяцев назад +2

    Kama nawe Makonda ulikua humuelewi ila saiv Unamuombea kwa Mungu awe mlinzi wa maisha yake yake Ngonga like. Asante sana Mheshimiwa Raisi kwa kidogo alichokupa Mungu kumrudisha huyu Jemedali hii ndio CCM . UTU MBELE