Hongela sana Mzee kwa kuongea fact, na Wala ujamsifia mtu km wengne sikuhz wanavyo fanya, ww umeongea kizee na. Kizalendo zaid naiyona CCM ikipata tabu kupitisha jina la mgombea URAIS 2025
Daah !hii nchi ya kifalme kweli wao kwa wao tu,hata kama hawajiwezi tena basi wanalazimishina tu,sasa hawa watoto wa kitanzania masikini wao watapata lini nafasi?
HONGERA SANA MZEE WASIRA KWA KUCHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA.....MZEE WASIRA WEKA MBELE HAKI ILI NCHI YETU IWE YA AMANI....AMANI YA KWELI....ILI UKUMBUKWE KWA MEMA NA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU.
Ndio ujue hii nchi ya ajabu sana ebu angalia hivi huyu akili imeshaganda atakuja kuleta mawazo gani ya kuifanya nchi yetu iwe ya asali na maziwa. Yaani ni ujinga mtupu
Huyu Mzee sindio alikua analala tu bungeni anahamka wakati wenzie wakipiga makofi sindio ndio huyu Wasira alafu today wanampa uongozi hivi kweli Kuna malengo yakuiboresha hii nchi ikwa kama wenzetu nchi za Ulaya kweli?.
@@abbasmungia266 kwa faida yake hiyo nafasi nikumba mno ina inaitaji experience yakutosha hapo mwenyekit mwenyew atachukua madini ya kutosha hawajakurubuka mzee ana deserve
Maridhiano Waume zetu hawajapewa mseleko huku kwetu mseleleko umefanyika kwa ubaguzi huku kigoma kwa kujuana hatuna amani mama mh. Rais wetu wamechoka kulilia maofisini hawana ndugu
Baba karbu uone sokola kimataifa. Uanzie Karikoo. Hakuna Amani Barbara zimefungwa mafuriko ya mavi Barbara za matilio ini tumeweka vijana wetu njoo Makamu Wetu wa CCM uwapange Mzee Wasira karibu Sana tunasubiri wafanya biashara njoo utajiudhuru hicho cheo tukupe Kura notes
@ Siku maanisha umuhimu wake, nilimaanisha kuielewa na kuitumia. Sio kitu cha kusema watu wa umri na elimu kama ya Wasira ku-freak out. Jaribu kuelewa context ya comment kabla ya ku-take action bro.
Jamii ya wananchi wengi wanatarajia mabadiliko katika hali za maisha yao na kuwa bora kwa Chama kitakachokuwa na programu inayofaa mahitaji yao.Pili,wimbo wa Katiba Mpya ufike muda uwe na utimilifu,umeimbwa miaka zaidi ya 30.Tatu,muungano usio na kero ni bora kuliko huu ulio na kero kwa muda miaka karibia 61.
Wenye ''nguvu'' watakuwa kama majani makavu, matendo yao yatakuwa kama cheche za moto. Watateketea pamoja na matendo yao, wala hapatakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Jamani hivi nikweli chama hiki hakina viongozi vijana hadi wazee wamiaka zaidi ya sabini kusimama kugombea tena sasa hapa kuna haja gani kuwa navijana wa UVC au kuwa mwenyekiti lazima uwe mzee?
Kwa hali ya mwaka huu na kipindi hiki, huyu mzee atalivusha taifa salaama. Kuna wakati busara inatakiwa hasa kwa mwaka huu ambapo wanachama wengi wa ccm wanataka kugombea uraisi. Mtu kama Wasira anafaa kuchezesha hiki kipindi
Hivi hata wazee kabisa hawajui kuwa Zanzibar siyo dola jamani! Tunaweza kuwa tunaongozwa na watu hawajui hata maelezo sahihi ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Kila nabii na zama zake rika pia Ina nafasi yake kwangu Mimi Kuna shida, tunataka vijana wenye mawazo mapya so for Me Wasira No! We needed new face with new vision n New mission.
Tatizo ccm mmeifanya hii nchi Kama NI ya kwenu peke yenu.mmeng'ang'ania mazee Sasa huyo washira cjui wa Nini mzee miaka.80.vijana wapo wa kufanya kazi Wana nguvu .huyo ameitumikia sisiemu tangu ujana wake akae nyumbani kwake apumzike vijana wapo mpaka kuzuungumza Ana kosea wa ninisasa.weka vijana akina makonda wapo hapo Hilo zee la ninisasa.
Baba akiwa darasa la pili wsr amekwenda shuleni kwao akiwa mkuu wa mkoa, Ameenda hadi chuo kikuu kamaliza amefanya kazi amestaafu ,mie sasa Nina wajukuu vitukuu kwa baba ,wsr yupo.nazani 😂😂😂
Pumzika mzeee waachieni vijana kazi hizooo! Makonda yupo ... Na vijana wengi.... Mshakula tayariiii...mnapesa haziwatoshiiiiii.... Pumzikeniiio
Hongera mzee Wasira,wewe unabusara na hekima, Mama kapata msaidizi mwenye ujuzi wa hali ya juu
Kwa mama Samia tena mzee Wasira amebaki YUPO in Makongoro Nyerere voice😂😂😂
Hongera sana mzee Wasira, wakati wa Mungu ni wakati sahihi siku zote. Age is just a number, go baba, go CCM.
Yupoooooooo hongera sana Mzee wetu👊
Hongera sana Mhe. Wasira
Kuchanguliwa kwako Mheshimiwa Wasira kumenifurahisha sana 🙏🙏
Hongera sana mkongwe Mzee wetu.
Hongera Mama Samia kutupatia kiongozi imara
❤❤❤❤Hongera kwa Mwenyekiti wa CCM taifa Rais Samia, hongera kwa mzee Wasira. Mungu ibariki Tanzania.
Nimetiwa matumaini kuwa mzee ana miaka 80 but clear mind 🎉
Hongela sana Mzee kwa kuongea fact, na Wala ujamsifia mtu km wengne sikuhz wanavyo fanya, ww umeongea kizee na. Kizalendo zaid naiyona CCM ikipata tabu kupitisha jina la mgombea URAIS 2025
Kweli kabisa,,, unajua siasa.
Daah !hii nchi ya kifalme kweli wao kwa wao tu,hata kama hawajiwezi tena basi wanalazimishina tu,sasa hawa watoto wa kitanzania masikini wao watapata lini nafasi?
Dah hii nafasi ni tofauti bro inahitaji uzoefu mkubwa sana
@@abbasmungia266 hi nafasi sio mchezo chief niuzoefu wa kutosha hapo kwa uyo jembe samia wenyew anachukua madini yakutosha ..
Usalama wetu wote watz nipale kiongozi mkuu anapopata watu mashuhuri na imara wengi safi sanaa
Maneno ya hekima kubwa sana mzee ubarikiwe
HONGERA SANA MZEE WASIRA KWA KUCHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA.....MZEE WASIRA WEKA MBELE HAKI ILI NCHI YETU IWE YA AMANI....AMANI YA KWELI....ILI UKUMBUKWE KWA MEMA NA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU.
Busara yako kubwasana .mzeee.mungu atie muhuri.ubarikiwe .baba
Uzee ni daawa. Hongera mzee Wassira!
Aisee
@@kakanicodemus3632ana deserve
Safari bila wazee haiendi
Kumbe hakuna uchaguzi ni kuteuana sjajua hilo
Yupo Yupo huyu jamaa si kachoka sana, CCM kweli ni chama cha Mazoba
Ndio ujue hii nchi ya ajabu sana ebu angalia hivi huyu akili imeshaganda atakuja kuleta mawazo gani ya kuifanya nchi yetu iwe ya asali na maziwa. Yaani ni ujinga mtupu
Huyu Mzee sindio alikua analala tu bungeni anahamka wakati wenzie wakipiga makofi sindio ndio huyu Wasira alafu today wanampa uongozi hivi kweli Kuna malengo yakuiboresha hii nchi ikwa kama wenzetu nchi za Ulaya kweli?.
Hongera Mzee wetu umeongea vizuri.
Yaani ccm wanawekana wao kwa wao kana kwamba hakuna wengine, chadema wanachagua damu moto Moto ninyi mnachagua wale waliotufikisha hapa
Kwaio Mbowe ameachia?
Nchi bila wazee ni uhuni, lazima wazee wawepo hizo ni kamati za ufundi.
@@jjjohn3988 kabisa, huyu anadhani elimu tu inatosha , experience ni kitu kingine kabisa
@@abbasmungia266 kwa faida yake hiyo nafasi nikumba mno ina inaitaji experience yakutosha hapo mwenyekit mwenyew atachukua madini ya kutosha hawajakurubuka mzee ana deserve
@@husseinpatel2956 sana sana mama atachota madini haswa , akikua atajua saiz hajui hahaa
Hongera mzee
Vijana endeleni na upumbavu wa kushangili hao kuluna wenye suti, lichama lina wenyewe hilo majizi mazee mpaka yafie kwenye vyeo
Chama kikubwa hiki ninyi. ❤❤
Mzee Kinana anavyo angalia nikama anasema ' hii ni maajabu"😅
Kwa mama,Mzee wasira Tena yupo✅✅✅
Yupo makongoro alisema yupo
Big up makamu
Mzee wasira hongera sana ccm hoyeeee
Mm mwenyewe nakukubali mzee wetu. Wanaojua siasa wanakuelewa ulivyo
Mzee Wasira nakukubari hongera sana
Nakukubali siyo nakukubari😅😅
Hongera
MZEE WASIRA BADO YUPO🎉🎉
Najua shetani wa tz yupo kazini, lkn Mungu atamteketeza
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaa
Hongera baba YETU
I really like him 😂
Ccm mmechoka Sasa huyu Mzee alikuwa anasizia tu bungeni Leo anakuwa makam
Maridhiano Waume zetu hawajapewa mseleko huku kwetu mseleleko umefanyika kwa ubaguzi huku kigoma kwa kujuana hatuna amani mama mh. Rais wetu wamechoka kulilia maofisini hawana ndugu
Baba karbu uone sokola kimataifa. Uanzie Karikoo. Hakuna Amani Barbara zimefungwa mafuriko ya mavi Barbara za matilio ini tumeweka vijana wetu njoo Makamu Wetu wa CCM uwapange Mzee Wasira karibu Sana tunasubiri wafanya biashara njoo utajiudhuru hicho cheo tukupe Kura notes
Mzee umenifurahisha sana kwa ujumla ccm oyeeeeeee
Hata mimi kanifurahisha!
Hongera sana mheshimiwa makamu mwenyekiti kuchaguliwa, lakini itumie nafasi yako vizuri watanzani wote bila kujali dini Wala kabila
Uogo huo mzee
Mzee ana jambo la kutufunza vijana tunaotamani kuwa viongozi.
Bado kijana kabisaaaa,😂😂😂😂
Imagine mzee alikua kwenye uongozi kabla internet haijafika Tanzania leo anategemewa kuwaongoza gen Z kupambana na Dunia kwenye 4IR. 😂
Kama umesoma internet ni kitu kidogo sana
@@kiatuinternet ni kitu kidogo? ww unaishi wapi? yan kila siku watu wanapambana kuboresha net unasema ni kitu kidogo net ni evyrting now
@ Siku maanisha umuhimu wake, nilimaanisha kuielewa na kuitumia. Sio kitu cha kusema watu wa umri na elimu kama ya Wasira ku-freak out. Jaribu kuelewa context ya comment kabla ya ku-take action bro.
Mh wasira hongera sana ila juudi za chama chetu unaweza
Yupo.....yupo......yupo
Hongera mzee yupoo
Good mzee
Jamii ya wananchi wengi wanatarajia mabadiliko katika hali za maisha yao na kuwa bora kwa Chama kitakachokuwa na programu inayofaa mahitaji yao.Pili,wimbo wa Katiba Mpya ufike muda uwe na utimilifu,umeimbwa miaka zaidi ya 30.Tatu,muungano usio na kero ni bora kuliko huu ulio na kero kwa muda miaka karibia 61.
yupo
Mmechemka apo kumuweka huyo mzee
Safi sana
Unanimalizia mb zangu mafisadi nyinyi
Nakukubaliiiii asietaka maridhiano aame.tzna
Alisimama sana kwenye mkataba wa bandari zawadi ila hawa wazee wametumikia sana ccm fikila mpya hazipo
Wenye ''nguvu'' watakuwa kama majani makavu, matendo yao yatakuwa kama cheche za moto. Watateketea pamoja na matendo yao, wala hapatakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Hongera mz wasira katumie busara zako kumshaur mwenykit
Hotuba ilio Shiba ilio imara na yenye matumaini ya ushindi kwetu sisi wanaccm wamlete lissu au mwamba sisi ni Ganda la ndizi tu
@@songolomgallah4017kwauyo mwamba wasila ndoo sina shaka kabisa roho safi ana deserve hiyo nafas, mwenykiti atachukua madini yakutosha hapo..
Nukuu neno "watu wote huwa wananunulika" (dkk ya 6:50)
Hapo hakuna msabato unaaibisha Ukristo
Jamani hivi nikweli chama hiki hakina viongozi vijana hadi wazee wamiaka zaidi ya sabini kusimama kugombea tena sasa hapa kuna haja gani kuwa navijana wa UVC au kuwa mwenyekiti lazima uwe mzee?
Ccm ina hazina kubwa sana na moja ya hazina mojawapo ni huyu mzee wasira .
Yupo
Kwel ccm ya wazee
Huyu mzee yuko toka enzi ya Nyerere duuu hatari
Nimependa cheo kakipokea kwa moyo mmoja
Kwa hali ya mwaka huu na kipindi hiki, huyu mzee atalivusha taifa salaama. Kuna wakati busara inatakiwa hasa kwa mwaka huu ambapo wanachama wengi wa ccm wanataka kugombea uraisi. Mtu kama Wasira anafaa kuchezesha hiki kipindi
Yupo😂😂😂
Mmzee wasira leo sabato ulitakiwa uende sabato
Huyu ni msabato jina kwa niijuavyo imani ya usabato huyu alishaondolewa kanisani
Nasikia eti CCM itamteua Samia Suluhu Hassan kugombea Urais mwaka huu? Sijui akichaguliwa atamaliza lini Urais wake😂😂😂.CCM bhana wazee wengi, wasomi wengi ila ujingajinga mwingii😂😂😂
Sasa mbona unacheka kama shoga
Hivi hata wazee kabisa hawajui kuwa Zanzibar siyo dola jamani! Tunaweza kuwa tunaongozwa na watu hawajui hata maelezo sahihi ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Hili li zee la ajabu sana bado halijastaaafu
😢 Usiseme lizee, Ni Mzee wako huyo. Kipindi Baba yako anawinda kwa manati, huyo alikazana na shule. Punguza chuki
Ye yupogo tu
Hao ndio wazee na uzee uliokomaa
Kila nabii na zama zake rika pia Ina nafasi yake kwangu Mimi Kuna shida, tunataka vijana wenye mawazo mapya so for Me Wasira No! We needed new face with new vision n New mission.
Munafeli sana,sikilizeni tu mazungumzo yake,na nyinyi wenyewe mbona kama mnajishanga.
Daaaaaaaa huyu mzeee mungu ampe maisha marefu!
Na kweli ana Imani na mambo unayofanya CCM😂😂
Hongera kinana
Na kwa Samia mzee wa Wasira bado kabaki yupoo
Mama ni mama popote ulipo tupo❤❤❤
Miaka 90 kama 50 vile. Wewe ni hazina ya taifa mzee wetu
Yaani hapo ni nyumbu zoteeh zinakimbizwa na simba 1😂😂
Kila siku kauli mbiu ni vijana taifa la kesho,Wasila wewe bado ni kijana ila ccm@ Mungu anawaona ipo siku
Wassira --YUPO!!!!
Hongera sana wasira🎉🎉🎉🎉
Amani haipatijkani bila ya HAKI
Man knows to talking. Congrats CCM.
Kama ni kwenye mechezo tungesema Mo amerudi nimesikiliza hotuba yote nimependa sehemu zote ila zaidi ibara ya 5 hii nimeipenda zaidi
Akifa akaushwe ili iwe kivutio Kwa watalii pale makumbusho
Mzee amechoka sana taaabaani halbani ccm bwana watanzania tusipoungana tutapigwa sana na hawa jamaa
Kazi njema kwa huyo mzee
Am proudly kua CCM 2025...
KIBURI CHA UZIMA NI KIBAYA SANA
Mbona selemani kakasirikia nn 😅
Wote hapo ukumbini ni wezi wanaofaidika na rasilimali za nchii hii hawana uchungu wa kizazi kijacho
Ni kawaida kwakuwa ipo kwenu
Tatizo ccm mmeifanya hii nchi Kama NI ya kwenu peke yenu.mmeng'ang'ania mazee Sasa huyo washira cjui wa Nini mzee miaka.80.vijana wapo wa kufanya kazi Wana nguvu .huyo ameitumikia sisiemu tangu ujana wake akae nyumbani kwake apumzike vijana wapo mpaka kuzuungumza Ana kosea wa ninisasa.weka vijana akina makonda wapo hapo Hilo zee la ninisasa.
Mzee yupo
YUPO BRAVO SANA
Thanks wasirra
Baba akiwa darasa la pili wsr amekwenda shuleni kwao akiwa mkuu wa mkoa,
Ameenda hadi chuo kikuu kamaliza amefanya kazi amestaafu ,mie sasa Nina wajukuu vitukuu kwa baba ,wsr yupo.nazani 😂😂😂
Wazira ninamkubari sana.
Ina maana CCM haina vijana?
Hiyo hoja ya wasira waacha tumuache makongororo nyere
Toka mwalimu yupo ally hassan mwinyi yupo mkapa yupo kikwete yupo makufuli yupo president samia wasira yupo tuu
Makongoro nyerere sio mm ktk coment