Mweshimiwa mbowe hakutaka kuendelea kuwa mwenyekiti.Alijua lisu atashinda tu alichokifanya mwenyekit mbowe nikukifundisha chama namnagani ya kiongozi anatakiwa kuwa.Akaweka aina ya uchaguzi unavyo takiwa kuwa.nakufundisha vyama vingine wajifunze hilo lilikua ndio lengo lake.naule ndio uchaguzi yaani mbowe ametoa elimu ktk vyama si kwa tanzania tu bali kwa Afrika nzima mbowe awe mfano kwa viongozi.mungu ibariki ccm mungu ibariki chadema mungu ibariki Afrika.
Mh LEMA WEWE NI MTU MUHIMU SANA KTK HII NCHI UNAJUA NINI KINAFAA WAKATI GANI NA MUDA UPI !! YAANI NAKUKUBALI SANAAA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 MUNGU AKUPIGANIE KAMA AMBAVYO UNAPIGANIA JUSTICE " haki"
Kiukweli makananda wa chadema ninawasifu mnauwezo mkubwa sana wa kujieleza. Mnaweza kushika nafasi zozote ktk nchi hii. Hongera sana kamanda Lema. Ninakushauri ugombee nafasi za uongozi wa nchi hii. Kuwa imara na mungu atakusimamia kwa hekima na busara yako. Teteeni wanyonge na haki
I admire Lema not only because he is a man of principles and values but also because he is a great fighter with a wolf spirit . We need strong opposition parties that will Re awaken, Reinvent and Revolutionize the ruling party's policies and ideologies which currently has been skewed in favour of few filthy rich business elites than the toiling masses of workers and peasants of this county. Zetu duuua
Mheshimiwa Lema Ni Mtumishi Wa Mungu. Tena Ni Mwafrika Wa Kwanza Afrika, Mzarendo Wa Kweli ,Mimi Sio CHADEMA Ila Kiuhalisia Mtu Anaeweza Kusimama Katika Mzingira Ya Haki Ya Watu Wengi ,Asilinde Usiano Katika Afrika Ni Watu Wachache Sana.
Kudos Mwamba Lema ulifanya maamuzi ya busara sana kuamua kuonesha upande wako bila chembe ya unafiki, umenikumbusha Napoleon Bonaparte aliwahi kusema "The World suffers a lot not because of the violence of bad people but because of the silence of good people".
Hapo umesema kweli kuwa mkweli unanusuru jambo jema. Hata kwenye chama Dola kwa sass kuna watu wakweli ila ni waoga kusemaa. Kukosoa sio kosa na kusemaa ukweli sio kosa inasadia kuweka mambo sawa na haki inaweza kuwepo . Hongera sana Godless Lema na jina Lako linashuhudia kuwa una mungu ndani yako
Lema unatakiwa kuwa mbunge wetu arusha kabisaaah kwa jinsi ulivyo komaa kisiasa unafaa hekima ,busara na utashi ulio kuwa nao safi sana❤❤❤ arusha inakuitaji
Hongera Sana LEMA. Wewe Umefanya Kazi Nzuri Kulinda Kura Za LISSU. Wewe Ulikua Goalkeeper Mzuri Kulinda Goli La LISSU Mabao Yasiingie. Asante Sana Kwa Kazi Yako Nzuri 🙏🙏
Lema hakika wewe ni mkweli ndani na nje ya moyo wako Hakika ukweli utakuweka huru wewe ni kiongozi na watu kama wewe yanahitajika sana katika nchi yetu kwa sasa
Mh. Tundu A Lissu ; John Heche ; Godbless Lema watabaki kuwa hazina kubwa kwa TAASISI hii kubwa nchini CHADEMA lkn TAIFA hili pia. Hawa watu watalifikisha TAIFA mbali sn na Imani yng watatufikisha NCHI ya AHADI Yes nchi ya asali na maziwa soon
Mbowe.alikuwa.alikuwa.imani.kushinda.hiyo.ndio.kweli Mengine.mnapamba.tu.lisu.amejianda.kweli.kutumikia.wanawanchi.watu.wanampenda.kama.nyerere Lisu Tunakupendawazeevijanatukulindejilinde.epuka.uovupende.wabayazuia.maovu.omba.moyosafi.hekima Toka Kwa Mungu Hivyo Unavyo.akuzidishie.mara Ndufu
Kiukweli Chadema mmeonesha demokrasia ya kuigwa katika nchi yetu. Sema mashaka ya Wananchi ni kuona chama kikiwa na mgawanyiko na kupelekea udumavu wa siasa na mapambano ya haki za kiraia. Godfrey Ngaiza nikiwa Bukoba
LEMA PAMOJA NA MBOWE MMETUMIA BUSARA SANA KUKIOKOA CHAMA MMEONDOA ZILE HISIA KWAMBA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA LEO MMEDHIHIRISHA HIKI NI CHAMA CHA WOTE MMENIVUTA CHADEMA HATA MIMI NI CHADEMA RASMI
Lema huenda yupo sahihi kidogo Ukweli ni kuwa uchaguzi haukuwa huru japo ilikuwa wazi ila ulikosa uhuru Kwa kuwa figusi na uongo ulitawala kampeni hivyo kuharibu uhalali wa uchaguzi Hakuna jinsi unaweza kumpaka matope mshindani then kuwapotoosha wapiga kura useme kulikuwa na uchaguzi huru hapana Kapimeni muone Pili hata lisu haukuwa na jipya la kuvutia wapiga kura zaidi ya kashfa za uongo ambazo nyingi zilimhusu yeye mwenyewe kuhusika Moja Kwa moja
Mbowe ni lulu yetu tumeweka kwa matumizi ya ulazima baadaye Mungu akitupa uhai mda utasema tu nampenda sana Mbowe kwa ubunifu wake wa ajabu ingawa chama ni kama kilikuwa 50/50
Naomba wanasiasa husususani viongozi wanvama, muerewe wazi kuwa wanainchi wengi huwa sowawazi watakwambia wanakuitaji nawako nyuma yako ikifika wakati wakura hutowaona wote waliokuwa wakikusifu, na mwenyekiti mstaafu mbowe amefanya kinachostahili, make wapigakura hawawezi kukuaminisha kuwa wanaimani nawewe tu wewe ukasema apana nimechoka
Imani yng Mh. Dr. Slaa ; Mh. Msigwa watarudi ndani ya TAASISI hii kubwa nchini CHADEMA kwani ni muda sahihi muda wa mabadiliko chini ya Mh Tundu A Lissu
Mh. Lema Mungu hakika anakutumia hongera kwa ujasiri ulio pewa na Mungu.
Kwangu nadhani hapa ni sehemu sahihi kumpongeza ndugu lema mungu ampe afya njema
Kwa lipi sasa kwa mnafiki kama huyu?
Nice
Nnapo msikiliza Mh. Lema huyu Jamaa ni AKILI KUBWA SANA.
LEMA ni miongoni mwa
Hazina kubwa ndani ya CHADEMA lkn ndani ya TAIFA hili 🇹🇿❤️💪🏾🔥🔥💪🏾
Mweshimiwa mbowe hakutaka kuendelea kuwa mwenyekiti.Alijua lisu atashinda tu alichokifanya mwenyekit mbowe nikukifundisha chama namnagani ya kiongozi anatakiwa kuwa.Akaweka aina ya uchaguzi unavyo takiwa kuwa.nakufundisha vyama vingine wajifunze hilo lilikua ndio lengo lake.naule ndio uchaguzi yaani mbowe ametoa elimu ktk vyama si kwa tanzania tu bali kwa Afrika nzima mbowe awe mfano kwa viongozi.mungu ibariki ccm mungu ibariki chadema mungu ibariki Afrika.
Absolutely
@@marieconnect6389
Mungu aibariki ccm ipi??
True
😢@@ProsperMsemwa-g8n
Umenena kwa uhakika. Huyu Mbowe ana karama za aina yake.
Hongera sana mtumishi naamini ulikuwa kwenye maombi ya kufunga Mungu akubariki ktk hili Mungu atakukumbuka tu na uzao wako.
Mh LEMA WEWE NI MTU MUHIMU SANA KTK HII NCHI UNAJUA NINI KINAFAA WAKATI GANI NA MUDA UPI !! YAANI NAKUKUBALI SANAAA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 MUNGU AKUPIGANIE KAMA AMBAVYO UNAPIGANIA JUSTICE " haki"
Namuita Nabii Lema, anajua alama za nyakati,
Ndugu yangu lema nakufatilia kutoka Uganda kweli wewe sio mbinafisi good work.
Kweye kampeni zako Lema zilishawishi umma sana, kumsaport Lisu, hongera kwa kuwa Mkweli, muwazi na kutokuwa mnafiki.VIVA Lema🎉🎉🎉🎉
@@Lubango-gj3ud lema aliboa kwa kampeni za matusi
Asante sana kwa waandishi wabobezi kama ninyi habari nzuri saanq
Kiukweli makananda wa chadema ninawasifu mnauwezo mkubwa sana wa kujieleza. Mnaweza kushika nafasi zozote ktk nchi hii. Hongera sana kamanda Lema. Ninakushauri ugombee nafasi za uongozi wa nchi hii. Kuwa imara na mungu atakusimamia kwa hekima na busara yako. Teteeni wanyonge na haki
I admire Lema not only because he is a man of principles and values but also because he is a great fighter with a wolf spirit .
We need strong opposition parties that will Re awaken, Reinvent and Revolutionize the ruling party's policies and ideologies which currently has been skewed in favour of few filthy rich business elites than the toiling masses of workers and peasants of this county.
Zetu duuua
Lema umejijengea heshima kubwa sana. Tumeamini wewe na Lisu ni wazalendo km Magufuli tu. Hongera sana
Mheshimiwa Lema Ni Mtumishi Wa Mungu. Tena Ni Mwafrika Wa Kwanza Afrika, Mzarendo Wa Kweli ,Mimi Sio CHADEMA Ila Kiuhalisia Mtu Anaeweza Kusimama Katika Mzingira Ya Haki Ya Watu Wengi ,Asilinde Usiano Katika Afrika Ni Watu Wachache Sana.
Kudos Mwamba Lema ulifanya maamuzi ya busara sana kuamua kuonesha upande wako bila chembe ya unafiki, umenikumbusha Napoleon Bonaparte aliwahi kusema "The World suffers a lot not because of the violence of bad people but because of the silence of good people".
Lemaaa, umetisha sana🎉
Hongerani Sana CHADEMA kwa kufanya Mabadiliko ndani ya Chama pia Mumedhihilisha kuwa Kuna Kitu Mnakitafta katika Nchi yetu pendwa Tanzania.
Mh Lema wewe ni mtu mkweli katika kusimama kweli mungu kuongoze katika kuongoza umma watanzania kufikia malengo ya mabadiliko.
Hapo umesema kweli kuwa mkweli unanusuru jambo jema. Hata kwenye chama Dola kwa sass kuna watu wakweli ila ni waoga kusemaa. Kukosoa sio kosa na kusemaa ukweli sio kosa inasadia kuweka mambo sawa na haki inaweza kuwepo . Hongera sana Godless Lema na jina Lako linashuhudia kuwa una mungu ndani yako
Mh. Godbless Lema WATANZANIA TUNAKUPENDA SANA.
LEMA NI HAZINA YA TAIFA HILI
Kwa kweli
Nimeupenda sana uchaguzi mm ni ccm meme towa elimu
Hongera sana Lema umeonesha uzalendo mkubwa sana binafsi nilikuwa sikuelewi ila sasa nakuelewa Big up ....
Lema unatakiwa kuwa mbunge wetu arusha kabisaaah kwa jinsi ulivyo komaa kisiasa unafaa hekima ,busara na utashi ulio kuwa nao safi sana❤❤❤ arusha inakuitaji
Acha umaku
Akigombe Arusha watampambanisha na Makonda sijui itakuwaje hapo😅😅
Kweli ila anakuja
@snetiengineering_hubmatusi ya nn ww
@@BarakaKusalulaZaidi ya dhulma kuna kingine anachokiweza huyo jamaa?
Uko Makini Sana God bless Lema Mungu Akutangulie na Inshaallah Utafanya Comeback na Kushinda Tena Ubunge Arusha Mjini
Hakuna kitu lema amevalia njuga kishindikane halafu siyo mnafiki yaani huyu ndiye Mutumishi wa Mungu origina
Hilo ni jembe la arusha akutatokea mwingine big up mkuuu nakukubali sana nabii wa ukweli achana na hawa wamaslai
Hongera Sana LEMA. Wewe Umefanya Kazi Nzuri Kulinda Kura Za LISSU. Wewe Ulikua Goalkeeper Mzuri Kulinda Goli La LISSU Mabao Yasiingie. Asante Sana Kwa Kazi Yako Nzuri 🙏🙏
Hongera sana Lema.
Mungu azidi kukuinua, na kuiinua chadema.
Lema tunakuamini sana Mungu azidi kukusimamia🎉🎉🎉
Hongera saaaana Lema Mungu akubariki 🙏🙏
Lema wee mtu na 😮nusu big up sana love you ❤
Lema ni mtumishi wa Mungu, unauona moyo wake kabisa ni mkweli akiongea.❤❤❤
Kabisaaa my brother James
Makamanda wazalendo wa kweli wa Tanzania 🇹🇿
Lema mungu Akulipe kwa kaz kubwa uliyofanya🙏🙏🙏
Lema on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Lema hakika wewe ni mkweli ndani na nje ya moyo wako Hakika ukweli utakuweka huru wewe ni kiongozi na watu kama wewe yanahitajika sana katika nchi yetu kwa sasa
Hongera sana kwa mjumbe wa baraza
Mh. Tundu A Lissu ; John Heche ; Godbless Lema watabaki kuwa hazina kubwa kwa TAASISI hii kubwa nchini CHADEMA lkn TAIFA hili pia.
Hawa watu watalifikisha TAIFA mbali sn na Imani yng watatufikisha NCHI ya AHADI Yes nchi ya asali na maziwa soon
Rema mungu akubariki
Lema wewe ni Gentleman, nadhani unapaswa kuwa kielelezo katika maamuzi ya busara maamuzi magumu
Hongera Lema unastahili pongezi,pia hongera kwa kukiri kwamba lilikuwa kosa kumshawishi Mbowe kujitoa kwenye kinyang'anyiro
Daaah we jamaaa mungu akutangulie coz msema kweli mpenzi wa mungu
Genius n prophet
Mwamba hayumbishwi,, watu wahivi huwa Kila ukoo hutokea Mmoja, anaekuwa kanyoosha Nyeupe atakwambia Nyeupe, Nyeusi atakwambia Nyeusi
Lema mpk kesho nitaendelea kukuamini kwenye siasa za Mageuzi ww ni mwumini wa ukweli🎉🎉🎉🎉🎉
Daah!❤ Hakika nimepitia coment nyingi nimejifunza mambo mengi hakika wewe ni mtu mwenye maono.
Lema sio mchezo ni changuo la mungu
ASANTE SANA DR. SIZA
Viva Lema vivaaa
Apewe hongera mbowe alichofanya kimempa heshima zaid na kujenga chama
Lema uko vzr sana nakukubali mno.
Upo makini sana unasitahili kua mtibuaji,mfitinishaji mzuri sana ktk chama umekua kama Nabiii. Hongera kwa mafanikio😂❤
Lema usilewe na blblaa za kusifiwa naona siasa za kipumbavu sana ni upuuzi nikifafanua mara mia naona upuuzi mkuba sana
Mbowe.alikuwa.alikuwa.imani.kushinda.hiyo.ndio.kweli
Mengine.mnapamba.tu.lisu.amejianda.kweli.kutumikia.wanawanchi.watu.wanampenda.kama.nyerere
Lisu
Tunakupendawazeevijanatukulindejilinde.epuka.uovupende.wabayazuia.maovu.omba.moyosafi.hekima
Toka
Kwa
Mungu
Hivyo
Unavyo.akuzidishie.mara
Ndufu
TUNAKUSHUKURU SANA MH.LEMA KWA JINSI ULIVYOPAMBANA MMEKIFANYA CHAMA KIWE KIPYA
Lema mwamba kweli kweli
Good mh.lema
Lema nitakutafuta 🎉🎉🎉
I always admire your ways. You are authentic . God bless you.
Tunashukuru sana lema
Hongera sana lema
Clouds Shinyanga radio haipatikani karibia Mwezi. Nini Shida.
LEMA NI MTU MUHIMU SANAA SASA UMETUHESHIMISHA SANA TULIO WENGI KTKA CHADEMA NA NJE YA CHADEMA!!
Lema ukovizuri sana ktk watu tz we ni mtu wa haki unafaa sana
Naubarikiwe
Man of the mech
Match
People's Power
Kiukweli Chadema mmeonesha demokrasia ya kuigwa katika nchi yetu. Sema mashaka ya Wananchi ni kuona chama kikiwa na mgawanyiko na kupelekea udumavu wa siasa na mapambano ya haki za kiraia. Godfrey Ngaiza nikiwa Bukoba
Apongezwe kwa kuonesha uungwana
Hongera sana kwa chadema
Safi
LEMA PAMOJA NA MBOWE MMETUMIA BUSARA SANA KUKIOKOA CHAMA MMEONDOA ZILE HISIA KWAMBA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA LEO MMEDHIHIRISHA HIKI NI CHAMA CHA WOTE MMENIVUTA CHADEMA HATA MIMI NI CHADEMA RASMI
Hongera kukiunga chama pendwa kwa WATANZANIA WAZALENDO"CHADEMA".
Kiukweli Lema you are the hero, yani umeongeza thamani yako 100%
Imani yangu na chadema imerudi upya kabisa
Cza anajua sana
Lema is man of the match tuseme ukweli lema amecheza kama mesi na bila lema kumuunga mkono lissu angepata shida sana
Be blessed Lema. Ww ni Shujaa!!
Lema huenda yupo sahihi kidogo
Ukweli ni kuwa uchaguzi haukuwa huru japo ilikuwa wazi ila ulikosa uhuru Kwa kuwa figusi na uongo ulitawala kampeni hivyo kuharibu uhalali wa uchaguzi
Hakuna jinsi unaweza kumpaka matope mshindani then kuwapotoosha wapiga kura useme kulikuwa na uchaguzi huru hapana
Kapimeni muone
Pili hata lisu haukuwa na jipya la kuvutia wapiga kura zaidi ya kashfa za uongo ambazo nyingi zilimhusu yeye mwenyewe kuhusika Moja Kwa moja
Wanao kubali kuwa chadema imeheshimika.Gonga like kama zote.
Mbowe,ni mtu mwenye busara sana,Mbowe angeshida hawa Lissu Heche wasingekubali wangeleta vurugu sana.
Acha uganga hizo vurugu ulizionaje?Mbowe kashindwa tu
Ongera lema ongera sana
Lema mtu na nusu... 💯💯
Ukweli moyo wangu umekasawaaa kwahili na mshukulu MUNGU
Mbowe ni lulu yetu tumeweka kwa matumizi ya ulazima baadaye Mungu akitupa uhai mda utasema tu nampenda sana Mbowe kwa ubunifu wake wa ajabu ingawa chama ni kama kilikuwa 50/50
Kabisa
Tuwape pongezi watangazaji ,wana uwezo mkubwa kuhoji wanasiasa .Wamejiandaa
Maombi yangu Lema awe mgombea urais mwaka huu, asubuhi na mapema anashinda
Hapana awe mbunge kwa sasa
kwenye kushinda hapo ni uongo
Sio kwa Tanzania ccm wateka akili ya watanzania
Serikali iache ubinafsi....imchague Mbowe kuwa mlezi au msajili wa vyama
Namkubali xana huyoo mwamba baada ya lisu ni yeye noma sana
Lema bwana!! Mmesha mpiga chini bwana mkubwa Mboe sasahivi ndo mnaongea kiungwana, na lema ndo amechangia kumpiga chini mwamba yule, hongereni sana.
😂
Lema ni kama nabii
Naomba wanasiasa husususani viongozi wanvama, muerewe wazi kuwa wanainchi wengi huwa sowawazi watakwambia wanakuitaji nawako nyuma yako ikifika wakati wakura hutowaona wote waliokuwa wakikusifu, na mwenyekiti mstaafu mbowe amefanya kinachostahili, make wapigakura hawawezi kukuaminisha kuwa wanaimani nawewe tu wewe ukasema apana nimechoka
Akili kubwa sana iliyotumika hapa kwenye maongezi
Ni ukomavu wa hali ya juu mno!
Mhe lema tunakufuatilia tukiwa arusha!
Haya yote yametokea Ili kusudi la Mungu litimie.
Akinywa hayo maji, nimekaa pale.
Umewaza kama mimi😁.
Lema una akili nyingi maanaake ulimsapoti lisuu kwa kuogopa kukigawa chama kweli wewe ni mzalendo wa kweli
✌️
Imani yng Mh. Dr. Slaa ; Mh. Msigwa watarudi ndani ya TAASISI hii kubwa nchini CHADEMA kwani ni muda sahihi muda wa mabadiliko chini ya Mh Tundu A Lissu
Hongera lema
Lema hazina yetu