LISSU ALIVYOMTANIA LEMA AKABAKI KUCHEKA - ''NJOO HAPA - MCANADA - ALISIMAMIA KURA ZANGU''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 67

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 часа назад +7

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @rebeccamaziku5070
    @rebeccamaziku5070 Час назад +1

    Hongera sana Lisu . Mungu azidi kukulinda kukupigania nackukupa hekima na maarifa zaidi na watu wanaoshirikiana nawe ktk kutenda kazi ya kulipeleka Taifa Mungu alipokusudia.

  • @DeograsiaNziku-d7q
    @DeograsiaNziku-d7q Час назад +1

    Njombeeeeeeee Mungu ametubariki tunakushukuru mwenyekiti👏

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 Час назад +3

    LISSU OOOOYEEEEE KWAKE LIKE

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 часа назад +9

    Lema hajawai feli hat jatika mavazi, Smart

  • @Stay_with_God_tv
    @Stay_with_God_tv 2 часа назад +5

    Kamata siasa safi Lisu *2 kamata.
    Kamata nchi Lisu*2 kamata.
    Huo ni wimbo niliousikia toka ulimwengu wa roho( kwenye ndoto 2015)
    Kibinadamu hatuwezi kujua Mungu amemwandalia Nini Lisu kwa ajili ya maslahi ya nchi,pamoja na jaribio la maadui wa Taifa la Tanzania la kutaka kumua Lisu,lakini hali kufanikiwa kwa mapenzi ya Mungu.
    Mwanzo 5:2. Baba yetu ni moja Adamu,usimchukie mtu kwa itikadi yake,wote ni ndugu, pendane,ya dunia tutayaacha hapa hapa.

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust Час назад

    Kwa Doctor Nshala nakupa big up.

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 37 минут назад

    Kuna MTU mmoja hapo anafuraha kuliko wote kwa lissu kuwa mwenyekiti nae ni David jumbe.👀😳

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 Час назад +1

    Njia nyeupe Kwa Lissu
    Kutawala Tanganyika

  • @TwahaAnney
    @TwahaAnney 2 часа назад +1

    Hongera mh lisu na Hence

  • @Vike333-l8o
    @Vike333-l8o 2 часа назад +2

    Lema usiku huu naona uko na furaha Tafadhali Soma Mithali 28 1-2

  • @aishaabdullah837
    @aishaabdullah837 3 часа назад +3

    Lissu oyeeeee

  • @elijahfresh5985
    @elijahfresh5985 2 часа назад +1

    Sio Dr Slaa

  • @benedictkiteji3627
    @benedictkiteji3627 43 минуты назад

    Njoo kaka yangu msigwa

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 24 минуты назад

    Rugemeleza Ali.tukana mama huyo

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 2 часа назад +2

    Lissu tabasamu labwatanzania

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati Час назад

    Lisu tumekuchagua cyo Kwa bahati mbaya ila Kwa kukutegemea yakwamba utaleta mabadiliko mengi sana

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 2 часа назад +3

    Nilisema watanzania ni wengi kuliko kabila moja sasa kwishaaaaa

    • @mmassyferguson4959
      @mmassyferguson4959 Час назад

      Hizo ni wivuu tuu😂😂

    • @CopperBelt
      @CopperBelt 39 минут назад

      @mmassyferguson4959 sio wivu sisi watanzania ni wengi kuliko kabila lako na aliemmaliza anatoka kabila lako hii ndo Tanzania

    • @mmassyferguson4959
      @mmassyferguson4959 34 минуты назад

      @ kumbe mbowe ni mgogo

    • @mmassyferguson4959
      @mmassyferguson4959 33 минуты назад

      @ wivu ni mbaya sana china ina watu bilion 1 na bado hawafanyi uchaguz

    • @mmassyferguson4959
      @mmassyferguson4959 30 минут назад

      @ uchaguz na ukabila wap na wap acha kuwaonea wivu wachagga

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb Час назад

    Watoto wadogo chadema 😅😅

  • @LinosJohn-dp9xi
    @LinosJohn-dp9xi Час назад

    Aongezwe Docter slaaaa

  • @saidchaula1947
    @saidchaula1947 Час назад

    Peter msigwa yuko wap mbona simwoni aje msigwa achukue hiyo nafasi tulimbeza sana kumbe sio

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Час назад

    Msirudie makosa ya kupokea watu wanaotumwa kuja kuwapeleleza na kuja kuwavuruga

  • @oscarmahenge999
    @oscarmahenge999 Час назад

    Trump wa Tanzania kamanda wetu

  • @DenissJulius
    @DenissJulius 2 часа назад +2

    Lema mbona umetulia sana baba

  • @tripplenlincoln6424
    @tripplenlincoln6424 Час назад

    Hpo imeachwa nafasi ya msigwa

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 Час назад +1

    Mpina

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 32 минуты назад

      Mpina haezi kuja huko!! Anasubiri chama makini...

  • @Kwarasi
    @Kwarasi 2 часа назад +2

    Hiyo nafasi ni ya msigwa

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 34 минуты назад

      Huyo msigwa akirudi tena chadema sijui tumuite nani??!!

  • @bjshio3249
    @bjshio3249 Час назад

    Badala ya kuweka vijana wapya unampa huyo kulipa fadhila.

  • @FaithMkinga
    @FaithMkinga 3 часа назад +3

    Hiyo nafasi moja ni peter msigwa anarud nyumban kumenoga

  • @bongo39
    @bongo39 3 часа назад +2

    Na hao mapadri wanafanya nini hapo wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu

  • @shimaelybryson2743
    @shimaelybryson2743 26 минут назад

    We need zitto kabwe

  • @JAFARMAULID-s8x
    @JAFARMAULID-s8x Час назад

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @JAFARMAULID-s8x
    @JAFARMAULID-s8x Час назад

    😅😅😅😅😅😅

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 3 часа назад +2

    Chadema, inamleta, Slaa, inamleta Mpina, inamleta Msigwa, inamleta Polepole, na inamsogeza karb Dungai, afu kuna fununu za mtu mkubwa sana pale juu ya uongoI ccm atakuja jiunga

    • @jadenmsafi
      @jadenmsafi Час назад

      Hata angekuja nani chadem ccm itabaki juu

    • @jadenmsafi
      @jadenmsafi Час назад

      Hata angekuja nani chadem ccm itabaki juu

    • @jadenmsafi
      @jadenmsafi Час назад

      Hata angekuja nani chadem ccm itabaki juu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Час назад

      Hatuwataki hao

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv Минуту назад

      Uzuri wa taasisi ya CCM haijawahi kutikisika kwa kutoka mtu fulani.... hapa hawa jamaa nawaelewa saana.. Wana hazina kubwa ya viongozi

  • @bongo39
    @bongo39 3 часа назад +2

    Kumbe mnajuana kuwa sii raia wa tanzania ni wakimbizi

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 3 часа назад +1

      Upuuzi tu umekuzingira kichwani.. Ila hawa watakutoa moshi wa mwenge kichwa utaanza matumizi mazuri ya akili.

    • @chumamasunga8855
      @chumamasunga8855 2 часа назад +1

      Sio kosa lako😢😢😢

    • @bockerNyarusahi
      @bockerNyarusahi 2 часа назад

      Jinga kweli

  • @bjshio3249
    @bjshio3249 Час назад +2

    Mmeanza kugawana vyeo

  • @MalamboSelijus
    @MalamboSelijus 3 часа назад

    Hao maasikofu hawana waumini

  • @BethuelofficialTz
    @BethuelofficialTz 2 часа назад

    Sugu mbona hatajwi

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 3 часа назад

    Mchukueni mpina

    • @LeahMgunda-l8c
      @LeahMgunda-l8c 2 часа назад +1

      Halafu baadae aseme anarudi nyumbani.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Час назад

      Wasirudie makosa kwani hao hutumwa kuvuruga

  • @JamalHamisi-r5f
    @JamalHamisi-r5f 2 часа назад

    lete mpina kundini

  • @PeterManda-h1w
    @PeterManda-h1w 2 часа назад +2

    Kumpa nchi huyu jamaa hapana

    • @rashidkihunga2938
      @rashidkihunga2938 Час назад

      Kakufanya nn

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Час назад

      Tutampa baba yako

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Час назад +1

      Acha chuki

    • @OsamaIsare
      @OsamaIsare Час назад +2

      Hata kama hafai kuchukua nchi yuko tayar kutetea haki za wananchi peleka usenge wenu wa ccm huko ,kama hafai ni kwako sisi anafaa chadema ndio imeonesha ukomavu wa demokrasia sio hao wengine wanakubaliana tu eti amepitaa huyo hovyo kweli

    • @AliDiamond68
      @AliDiamond68 Час назад

      Sawa maoni yako haya na una uhuru wa kuchagua