Hawa Hapa Wajumbe wa Kamati Kuu Lissu Aliowateua Leo Januari 2025
HTML-код
- Опубликовано: 21 янв 2025
- Chama cha CHADEMA leo Januari 21,2025, kinafanya mkutano wake mkuu katika ukumbi wa Mlimani City hapa Dar es Salaam. Moja ya jambo kubwa linalotegemewa ni uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama hicho kati ya wagombea watatu Tundu Lissu, Freeman Mbowe na Odero Odero.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Gwajima hoyee❤❤❤
Dada Rose am so happy kukuona ktk kamati kuu ya chama. Much respect to you
Sina chama Ila lisu nampenda sana kwenye nchi hii
Piga pembeni watu wote wa mbowe leta watu wapyaaa sasa kaz ianze🎉
Rose nakupenda sana dadangu wew ulionewa sasa haki imetokea ongera saaana.
Huyo dem wakuitwa Rose ni wa motooo sana
Lema mwaka huu agombee uraisi
Mmoja alyebaki hapo ni Dr Slaa
Lisu ni mkweli Sana mana mambo yote yako wazi
Congratulations mkuuu
Nafasi Iliyoachwa ni ya mgombea wa uraisi wa Tanzania kwa tiketi ya chadema,na raisi mtarajiwa wa Tanzania 2025- ,naye ni Bishop Dr Josephat Gwajima.
Mna mipango nyinyi si mchezo, huyo si ndiye yule DALALI aliyemleta Lowassa Chadema kipindi kile?
Asante kwa kututonya za ndaaani za chini ya kapeti yana ukweli hayo.
Unaota Ndoto Za Hovyo Sana. Au Umetokea Kwenye Mkesha Huko Kwa GWAJIMA?!!
Gwajima hoyeeeeee
Hongera brather Lisu kwa kushinda
Hongera lisu ila tunaomba uwasamehe akina mdee na kundi lake jengeni chama upya
Mshauli mwambukusi na Fatuma karume wajiunge na chama hiki wataongeza nguvu sana
Piga kazi lisu
Nafasi iliyo Baki ni msigwa huyo
Vp kuhusu yule mwaipaya wa mbeya mnamuacha hv hv, yule kijana kanyooka sn
Inasemekana anatoa siri za chama Online
Lema mwamba sana
Mungu atakilinda kisipasuke chadema nichamabora tumaini lamabadiliko
Mungu awe pamoja nanyi wote na muwe na upendo mmoja asante sana
Mpina
Luhaga Mpina hiyo nafasi
Nafasi iliyobaki ni ya msigwa niamini mm
Huyo ni dr slaa
Nafasi ya Mpina imetunzwa
Unalipa fazila
Fafhila ipi hapo
Kigaila tuko wapi simuoni
Huyu jamaa anaongwa kila kitu kinachokuja kichwani kwake. Ajifunze kuwa anayaacha mambo mengine ya vikao hukohuko kwemye vikao.
😂😂😂😂😂safi sanaaaaaaa lissu
Nafasi ya msigwa...
Longer san mwenyekit tundulis nirijua razim tusind namung akurind
Myamba imerejea Sugu yuko wapi jamani
Jamaa ameacha nafasi ya Mh J.L.M
Ila risu mtu nanusu
Lema alitakiwa kuwa katibu mkuu wa Chadema ili kuleta hamasa ya mabadiliko kwenye chama.
Hivi Hawa watu watakua wanalipwa mshahara 😂?
Ndio wanapesa cz kuna ruzuku toka serilalin, kuna ada za wanachama na pesa toka washirika wa nje na ndani
Mbona kama yupo kiboko ya wachaw
Lema alitegemewa ukatibu mkuu
Wameona ili kuendelea kuwa wamoja ni bora Mnyika aendelee. Angemtoa ingeonekana ameanza visas. Ila kiukweli wengi tulitarajia atuletee Mh. Lema.
Sasa mlitegemea hata agekuwa wewe ugeweza kuteua wa tofauti walikupigia kampeni nikitu ambacho usyo chepesi kiasia hicho
Lema alipaswa kuwa katibu mkuu. Mkuu
Kaikataa mwenyewe ukatibu mkuu
Nafasi moja iliyoachwa ni ya Msigwa
Huyu mdada Salma ni mtu na nusu kanona Kwa matumizi ya chama chetu
Kwani Lema ana shida gani mbona kama hana furaha?
Nadhani alitaka ukatibu mkuu
Amekataa mwenyew ukatibu@@NoelChambo
Vp huyo mlinzi wa lisu jamani?
Kuna shida, upande wa waliokua wanamuunga mkono mbowe hayupo hata mmoja.. kunampasuko mkubwa. Ila soon mtatambua umuhimu wa Mbowe
Kwendraa
Mfate mkafanye udalali
Hatuwataki weka watu wapyaa kaz iendelee🎉🎉
Piteni kule wachawi nyie
Duh mie hapo kwa Salma Kasanzu nimeukubali muziki wake aisee
Achen uchawa nyie ccm pasuken huko
Mnahela nyinyi wajinga au mnakaanga maneno chama kinakwenda kuzimu jumla .hizo.sauti zenu zitaishia hapo makao makuu au singida basi .huyu mjinga ccm tutambana mpaka akose pakujambia
Huna akili,mlitegemea mbowe ashinde ili mpenyeze mambo yenu mmefeli vibaya mno shenzi sana
Rose kanda ya nyasa inamhusu
Napendekeza aje apewe Mpina🎉
Huyu chama kitamshinda mapema
We acha wivu sisihatulud nyuma
Ahahaah Wana ccm wamefungwa mdomo
Utasubiri sana Fala we
Endelea kupiga ramli
Tunajua umeshakosa hoja
Chama kimeshapasuka hiki
Umepasua wewe
Umepasuka wewe na Bangi zako.
Fala kabisa
Kinaimalika acha wivu
Utapasuka wewe kenge we