Mlandizi Queens 0-11 Simba Queens | Magoli | Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania - 22/01/2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 72

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 часа назад +15

    Aliye mwona Semaji la CAF anipe like hapa 😂😂😂

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 часа назад +1

    Ubaya Ubwela Hadi huku 🦁🦁🦁🙌🙌🔥👏👏

  • @VenanceJohn-v4g
    @VenanceJohn-v4g 3 часа назад +1

    ❤❤

  • @KenethLukali-jl2qr
    @KenethLukali-jl2qr 3 часа назад +1

    Sawa hongereni

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 31 минуту назад

    ❤❤❤🎉🎉

  • @DaliaFedtuc
    @DaliaFedtuc 2 часа назад

    Hongereni Simba Qunne

  • @giftmeela6250
    @giftmeela6250 2 часа назад

    Precious i very talented asee🔥🔥

  • @BenKiba04
    @BenKiba04 49 минут назад

    🦁🦁🦁

  • @DanielabdulAmido-u8c
    @DanielabdulAmido-u8c 3 часа назад +1

    Good 👍👍🎉🎉🎉😂

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 3 часа назад

    ❤❤❤hii ni hatari

  • @raphaelheneriko8117
    @raphaelheneriko8117 3 часа назад

    Ubayaa ubwelaaa mpka kwa dada zetu❤️❤️❤️

  • @FikiriFanuel
    @FikiriFanuel 2 часа назад

    🎉🎉🎉🎉 waojua wanajua tu

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 3 часа назад +6

    Sasa mpira ulivyo na matokeo ya ajabu usishangae hawa mlandizi wakakutana na yanga princess wakawafunga😂

    • @kudrathmohammed
      @kudrathmohammed Час назад

      Hawa mlandizi amna team, toka mechi zianze awajashinda mechi yoyt ile, laundi 10 sasa kila team wanayo kutana nayo wanakula 7:0

  • @kiptoogideon2020
    @kiptoogideon2020 Час назад

    Precious hiyo left footy naipenda

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 2 часа назад +3

    Hawa wapo kazin na wanalipwa, mlamagoli Queens

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c Час назад +1

    Hii ni zaidi ya rede😊

  • @MamaDiana-t6g
    @MamaDiana-t6g 3 часа назад

    Ubaya ubwela❤❤

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 часа назад

    Ametumia Akili sana

  • @KhamisiMustapha-s2b
    @KhamisiMustapha-s2b 3 часа назад +1

    Atali na nusu

  • @FikiriFanuel
    @FikiriFanuel 2 часа назад +1

    Sio kwa kipigo hicho

  • @TheresiaKisovia
    @TheresiaKisovia 3 часа назад +1

    Si wamtoe goalkeeper

  • @ezramaxawe3817
    @ezramaxawe3817 3 часа назад +1

    Ila mpira wa wanawake bhana😂😂😂😂

  • @official_mr_bery
    @official_mr_bery 3 часа назад +2

    Najiuliza kwa nn isiwee tuu.Dazanii 12.Jamaniii😂😂😂

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q 2 часа назад

      😅😅 kwa bahat mbaya mpra ukaisha sjui ingekuejer

  • @JacksonMaphie-j9v
    @JacksonMaphie-j9v Час назад

    Goli kipa kajitahidi hila hana timu dah pole ester hongeren simba

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 46 минут назад

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys, First Eleven Wanagawana kila mmoja moja moja😂😂😂 ila Golikipa kama yuko vzr vile duh anyway Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM

  • @RogersRugumisa
    @RogersRugumisa 3 часа назад +1

    Simba queeeens wamekula ndizi na maganda 😂

  • @akwinobenarddy
    @akwinobenarddy 2 часа назад +2

    Precious ndo mchezaji ambae anaamua kila kitu kwenye kikosi hiki ni balaa

  • @jamilplatnumz
    @jamilplatnumz 3 часа назад

    😂😂😂😂Kimeumana leo

  • @drancko
    @drancko Час назад +1

    Kuna siku hizi 11 watapingwa dar young African ya wanaumee Yani matokeo yatakua ivii Simba 11: 0 yanga

  • @rodgersdavid9506
    @rodgersdavid9506 3 часа назад

    Tobi tobi 😂🎉

  • @RogersRugumisa
    @RogersRugumisa 2 часа назад

    Mnyama Simba ananguruma kila Kona 😂😂😂😂😂

  • @MirriamChiti-sk3cv
    @MirriamChiti-sk3cv 2 часа назад +2

    ila mlandizi ni vibonde

  • @20topbestintheworld91
    @20topbestintheworld91 55 минут назад +1

    Kila mchezaj na goli lake😅

  • @HemedBoy-n3d
    @HemedBoy-n3d 2 часа назад +1

    Jaman na mim naomba nije nijiunge na Ubaya Ubwela napenda sanna kucheza mpira nahusudu kweli yaan wanawake wenzangu,nitafurah nikipata nafac ya kucheza

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 3 часа назад

    Ubaya ubwela😂😂🔥🔥🔥🦁💪

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 3 часа назад

    😂😂😂😂😂😂Huu mpira wameucheza wenyewe simba queens

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 2 часа назад +1

    Wamawasira wenzao

  • @HussainMaula-l1s
    @HussainMaula-l1s 2 часа назад +1

    Hii ni futuhi

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 Час назад

    Ila refa naye mkatil timu imefungwa migori 100 anatoa nyekundu kwa timu iliyofungwa

  • @MustafaRashidi-x1m
    @MustafaRashidi-x1m Час назад +1

    Jamani nauliza kwani mpira wa wa awake hakuna ofsaidi mbona wachezaji wa simba wanaeda wawili2 wawili2?

    • @samtomkilao6447
      @samtomkilao6447 Час назад +3

      Kwa hyo kila wachezaj wakienda wawil ndo offside? Zero ftbal knowldge😂

    • @Simutalk255
      @Simutalk255 24 минуты назад

      😅😅angalia tu mechi ,hata offside hujui

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 2 часа назад

    Inamana kila mchezaji kazawadiwa goli lake

  • @MCHOPO
    @MCHOPO 3 часа назад

    Hii mechi imechezwa lini na mwaka. Gani

  • @Khizer-00p
    @Khizer-00p 3 часа назад

    Kwan Fetty dancer alipokonywa captain??

  • @Simutalk255
    @Simutalk255 22 минуты назад

    Muwe mnaenda kuangalia mechi jamn na wenyewe wanataka mashabiki

  • @HADIJAKASSIM-d8q
    @HADIJAKASSIM-d8q Час назад

    Ubaya ubwela 😂😂😂😂

  • @AmadeusJoseph
    @AmadeusJoseph 3 часа назад

    Ubaya ubwelaaa

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 44 минуты назад

    Ndio maana mpira WA mademu hauna taste nzur sio hapa Tu duniani kote hauvutii

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 часа назад

    Magori yote hayo walikuwa wanacheza au wamesimama tu .. lokhoooo net bot sasa hiyo

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 часа назад +1

    😂😂 huku ni kuvamia mtumbwi wa vibwengo😂

  • @limymasele21
    @limymasele21 3 часа назад

    Sasa Hawa wanakipa kwelk

  • @michaelnsingija
    @michaelnsingija 3 часа назад

    da mbona kichekesho

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 2 часа назад

    Masikhara nyie mlandizi au mpo kwenye mazoezi hayo magor vip😂😂

  • @JumaNassoro-q2p
    @JumaNassoro-q2p 19 минут назад

    Huyu aliyefunga bao la tatu mbona kafanana na kibu au dada yake

  • @KiddBoss-mz1nm
    @KiddBoss-mz1nm 2 часа назад +1

    Kwan offside haoni huyu referee

  • @NaivaetNai
    @NaivaetNai Час назад

    Uwo mpira au mazoezi Ata hauchangamki Simba hmna tem wamepata vibonde 2 tem kwel asa icheze hawana uwezo wa kupta magoli ayo Simba awo wapinzani mtu unafunga goli upo pekeako na kipa kweli ah wamepata vibonge 2 awo na Wala msijitambe

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 Час назад

      Leta timu yako.

    • @sixytntongambele3038
      @sixytntongambele3038 Час назад +1

      Peleka timu lako nyuma mwiko hajafungwa anayeleta changamoto ni JKT tu wengine ni juice ya miwa sukar kibao

  • @AbdallaKhamis-m6i
    @AbdallaKhamis-m6i 3 часа назад +2

    Ulikuwa ni mpira wa kikapu au

  • @MKUBWAKILONGOMKUBWAKILONGO
    @MKUBWAKILONGOMKUBWAKILONGO 3 часа назад +1

    ❤❤