Nadiliki kutamka kwamba Chadema ya Mbowe ni chadema ya kihistoria ambayo ilikuwa kwa sababu ya utumishi wa Freeman uliotukuka, na sasa naipokea Chadema ya Lissu ambayo naiita Chadema mpya ya tumaini jipya, nikimaanisha Chedema chini ya mbowe na Chadema chini ya Lissu ni Chadema moja yenye tofauti ya mihula lakini malengo sawa kwa mstakabali wa taifa letu
kaka yangu mnyika nadhani omba kupumzika kidogo , kwani unayo nafasi ya kuayeyote na bado Ni kijana, uongozi huu utakupa wakati mgumu kimfumo. fikiri vyema.
Love you mnyika❤❤❤
I love you Mnyika ❤️❤️ Mungu akulinde na akuongoze kuifanya kazi yako kikamilifu.
Hongera sana mnyika umeonyesha uaminifu kwa kutoegemea upande wowote kati ya timu lissu na timu mbowe,
The Chanzo, is the best online media for coverage big up keep it up you deserve credits and congratulations
Ahsante Mh TL kwa kumrudisha John kuendelea kuwa Katibu Mkuu.
The Chanzo na Jambo Tv mmetisha sana kwenye hii coverage
hiki sasa ni kikosi kazi yaani moyo ❤️ wangu imetulia tuli kwani kazi ipo mbele
Mnyika nakukubali sana bigp
Nakuamini sana John tangu ulipo kua mbunge wangu wa Jimbo la ubungo na ukawa mbunge wa kibamba hongera sana mnyika kwa ukovu wa siasa kamanda john
Pamoja❤🎉
Karibu tena😅❤
John mnyika🎉🎉🎉🎉🎉
Nimemuona mwenyekiti wangu wa wilaya seth chessam vegula
Hongera sana
Nadiliki kutamka kwamba Chadema ya Mbowe ni chadema ya kihistoria ambayo ilikuwa kwa sababu ya utumishi wa Freeman uliotukuka, na sasa naipokea Chadema ya Lissu ambayo naiita Chadema mpya ya tumaini jipya, nikimaanisha Chedema chini ya mbowe na Chadema chini ya Lissu ni Chadema moja yenye tofauti ya mihula lakini malengo sawa kwa mstakabali wa taifa letu
LISSU Amefikiri Kwa Umakini Na Busara Sana Kumrudisha Au Kumuacha MNYIKA Kuendelea Na UKATIBU MKUU.
Wewe Mnyika ni padri uliye kamilika ukweli tumeuona leo kwenye uchaguzi wenu mlio fanya jana umeonyesha uwezo wako. Umeelezewa vyema
Hakuna katibu mkuiu amepitia wakati ngumu kama mnyika
Hogeleni makamanda
Huyu alisomea upadre
Poleni viongozii huo ndio ukomavu wa uongoz
Sahau ya nyuma kiongozi tunakuitaji katika nguvu mpya na hali mpya
🙌🙌
kaka yangu mnyika nadhani omba kupumzika kidogo , kwani unayo nafasi ya kuayeyote na bado Ni kijana, uongozi huu utakupa wakati mgumu kimfumo. fikiri vyema.
Jj mwamba na robo
Philosophical oblongata