Your legacy will always remain forever.kiongozi wa kuigwa mwenye busara na hekima zake, hotuba yako inainspire sana.mungu akulinde siku zote comred wetu.
Hingereni sana. Wale waandishi wa habari waliokuwa wanaenda kufanya vipindi vya asb kudodosa ya kupeleka upande wa pili sasa ifike mwisho. Mbona hamkuenda kule kwa wale wa fomu moja.
Mbowe you are a great leader, And You have make a very an history and you have done alot now it's the time for you to go home to rest but remember that you and your vision will remain in the position of leadership
Heshima kubwa iliyotukuka kwako kiongozi wetu, ingekua anayeshindwa uchaguzi anakufa tungeumia sana, Iakini upo hair bad unanafasi kubwa kushauri kuamua na kupambania democratic. Umefanya Tanzania kuwa mfano wa kuigwa. Ukutangulie mungu katika maisha ya kawaida na ya siasa.
Kila jambo lina kheri na wewe uongozi kazi pumzika angalau uwe karibu na familia yako kuna mambo yalikuwa yanakubana kwa ajili ya uongozi umejitahidi sanaaaaa kupumzika kwako utahisi kama umesmchelewa hayo ndio maisha au harakati moja au nyengine❤❤❤❤❤❤❤❤
Mzee mbowe,wewe ni mfano wa kuigwa,hongera sana,kwangu lilinisumbua sana,ungeshinda chama chako kingekatika vipande 2,ni bora ameshinda huyo ili wewe uwe mtetezi na mpatanishi wa wote,unastahili pongezi sana,Mungu akutunze
hongera sana kamanda mbowe hakika umeonyesha democracy na moyo wa ushindani pia pongezi sana kwa kuiongoza chadema kwa zaidi ya mika 30 haika haikuwa kazi raisi umepitia mengi mnoo ila hukukata tamaa asee mungu azidi kukupa afya njema tunakupenda kamanda mbowe ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Amesema sahihi. Huyu Mbowe hakuwa na nia njema na Lissu,Heche,Msigwa na Lema. Alikuwa anataka kuwafyekelea mbali ili aweke watu wasio challenge katika maamuzi yake hata kama ni mabovu
MH .MBOWE, TUNAOMBA MSHIKAMANO WENU PAMOJA NA WALIOKUWA WAFUASI WAKO, UWE WA HALI YA JUU SANA KULIKO ILIVYOKUWA HUKO NYUMA ILI CHAMA KIWE NA NGUVU KULIKO AWALI. SAHAUNI YALIYOPITA MGANGE YAJAYO. KWA MAANA NYINGINE, MSAMEHEANE.
Kwa kweli, yangelikuwa ni mapenzi yangu Binafsi ningesema Mbowe aendelee kuwa M/Kiti .....lakini tunampa pongezi sana, ni mtu aliyestarabika kwa viwango vya juu, mvumilivu, na mwenye Busara na Hekima nyingi.
Hongera kamanda Mbowe kwakua muungwana
Salute kwako Mr Mbowe. You are such a great leader.
Hutuba yako ni njema sana mungu akupe maisha marefu
Your legacy will always remain forever.kiongozi wa kuigwa mwenye busara na hekima zake, hotuba yako inainspire sana.mungu akulinde siku zote comred wetu.
Super spearch🎉🎉🎉
A history is written after such a long time ... Democracy is hard and beautiful
Hongereni Sana kwa hili 🎉
Asante sana baba Mbowe.Mmeonyesha weledi,UCHAGUZI huu ni zaidi ya UCHAGUZI WA marekani.
Asante kiongozi mwenyekiti wetu mpya mheshimiwaa tundulissu mungu akulinde katika majukumu mema 🇹🇿🤝 yakujenga chadema na taifa letu la Tanzania 🎉🎉🎉🎉🎉
Hekima ya Mbowe yatosha.ni chama chenye maono, na upendo sana.shukrani sana Mr. Mbowe.
Wewe ndo mwalimu Nyerere pekee uliyebakia. Naipenda sana siasa yako mzee wangu.
Your a great leader of our time. You have made history in the world!
Hingereni sana.
Wale waandishi wa habari waliokuwa wanaenda kufanya vipindi vya asb kudodosa ya kupeleka upande wa pili sasa ifike mwisho.
Mbona hamkuenda kule kwa wale wa fomu moja.
Hongera sana Tundu Lissu na Jonh Heche majembe ya chama sasa uwoga basiiiiii
Hongera Sana, kwa ukomavu na uweledi wasiasa
Mbowe you are a great leader,
And
You have make a very an history and you have done alot now it's the time for you to go home to rest but remember that you and your vision will remain in the position of leadership
Mf favorite leader ever..
Ni bonge la muago, ni points tupuuu! Asante mkuu kapate supu babaaa.
Safi sana Kwa kutuletea Kiongoz hodari
Heshima kubwa iliyotukuka kwako kiongozi wetu, ingekua anayeshindwa uchaguzi anakufa tungeumia sana, Iakini upo hair bad unanafasi kubwa kushauri kuamua na kupambania democratic. Umefanya Tanzania kuwa mfano wa kuigwa. Ukutangulie mungu katika maisha ya kawaida na ya siasa.
Asante kwa kukubaliana na matokeo ubariwe
Big up Muheshimiwa umeonyesha ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu
Hongera sana mheshimiwa Mbowe.....Wewe ni kiongozi mahiri...Uzidi kubarikiwa
Nakupenda sn mbowe
Saf sana mbowe you are so good reader
You are a man of wisdom. God bless you mr. Freeman Mbowe. Mercy,favour and grace of our God be upon you!!
Mbowe una hekima sana . Mungu akutunze akupe umri mrefu
Asante sana mwekiti mbowe tunakupongeza sana wewe ni wa tofaoauti sana uko na mwenyezi mungu bado chama kinakuitaji peoples😂
Kila jambo lina kheri na wewe uongozi kazi pumzika angalau uwe karibu na familia yako kuna mambo yalikuwa yanakubana kwa ajili ya uongozi umejitahidi sanaaaaa kupumzika kwako utahisi kama umesmchelewa hayo ndio maisha au harakati moja au nyengine❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana mmeonyesha ukomavu wa kisiasa
Hongereni Sana mlio shinda mbowe hakika umesema vizuri Sana juu ya chama
Mwenyekiti Mbowe hongera Sana umeruka viunzi vingi, sasa tunahitaji Hekima yako ili Chadema kizidi kuimarika zaidi na zaidi.
Hongera mbowe wew ni kiongozi wa kuigwa
Mungu akubaliki baba wewe ni mfano wa kuigwa
Mpo vizuri sana kwenye uchunguzi wenu
Awa ccm wajifunze kwakua nafasi ya mwenyekiti au nafasi ya urais wanapeana tuu bila kufanya uchahuzi
Mzee mbowe,wewe ni mfano wa kuigwa,hongera sana,kwangu lilinisumbua sana,ungeshinda chama chako kingekatika vipande 2,ni bora ameshinda huyo ili wewe uwe mtetezi na mpatanishi wa wote,unastahili pongezi sana,Mungu akutunze
Brooo upo vzr,ukweli mbowe angeshinda hiki chama kingekufa Leo,huyu mnyaturu mwenzetu angeharibu mazingir ya chama,
Mhe Mbowe umedhihirisha ukomavu wa kisiasa. Hongera sana.
Hongera sana mr mbowe
Hongera sana Mbowee kwa kuikuza chadema
Aiseee umenitoa mchoz wa furaha Baba wa Chama kwa Demokrasia zuri
Hongera sana chadema nimefurahi sana
Mbowe Asante baba ww umeongesha kingozi Bora anapaswa kuaje.🙏🙏💕
Sasa Nitakuheshim Na Nitakupenda MBOWE Kwa Kua Umejitahidi Kuruhusu Uwazi Kwenye Huu Uchaguzi Muhimu.
MBOWE hoyeeeeeeee 👏👏👏
LISSU juuuuuuuuuuu💪💪💪
Mboe akili kubwa
Umeongea kwa hekima kubwa saana mpaka machozi yamenitoka hawezi tokea kwenye chama chochote mwenyewe hekima kama mh mbowe
M/Kiti mpya Tundu Lissu tunakutaka ukaendeleze yale yote mazuri aliyoacha Baba wa Chama, Mzee Mbowe.
Hongereni kwa uchaguzi wa huru na haki na hongera mwkt mstaafu kwa kukijenga chama.
Wanaume hamkulala mpaka kimeeleweka.Pipozzzzzz power
Hongera sana Mh. Mbowe umeonesha ukomavu wa siasa na demokrasia. Hakika wewe ni mfano.
Asante baba kwa uongozi uliotukuka
Mbowe ni wakuheshimiwa sana 🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
Hapo sawa umeweka heshima
Hongera mkuu kwa kumaliza hili lwa amani
Mungu akubariki sana Mbowe, umeonyesha hekima, tangu kampeni mpaka sasa hivi. Waliyotukana wameiona hekima zako.
Kumbe na kwetu inawezekana kupeana kijiti bila mtutu.Hongera Mh mbowe.
Hiyo mitutu mnayo?
Always you will remain my Leader
Hongera sana mh mbowe,
Duh.uko vizuri kiongozi
Hongera sana mh mbowe kwa kuwa na democracy uliyo kuwa nayo
Mungu akutie nguvu sana BABA WA CHAMA
I SALUT YOU MR ELIKAELI MBOWE , WEWE KWELI NI MWANASIASA.
Mbowe barikiwa,umeongea vizuri mnoo
Safi sana.hii ndiyo demokrasia halisi ccm wajifunze mema ya chadema
hongera sana kamanda mbowe hakika umeonyesha democracy na moyo wa ushindani pia pongezi sana kwa kuiongoza chadema kwa zaidi ya mika 30 haika haikuwa kazi raisi umepitia mengi mnoo ila hukukata tamaa asee mungu azidi kukupa afya njema tunakupenda kamanda mbowe ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
I thank you honourable. Mbowe for your democracy I love you very much may our God guide you and bless you
Fact mbowe umekiheshimisha chadema
Hongera Lissu zaidi. Haikuwa rahisi kwako. Maneno haya mazuri yanakuja Kwa sababu tu
Amesema sahihi. Huyu Mbowe hakuwa na nia njema na Lissu,Heche,Msigwa na Lema. Alikuwa anataka kuwafyekelea mbali ili aweke watu wasio challenge katika maamuzi yake hata kama ni mabovu
👏👏👏
Mr Mbowe. You are Gentleman baba. Khutba nzito, yenye maadili na mafundisho makubwa. Kumjaza Mmungu kwa hali zote. Mmungu ni mkubwa
Umeongea vizuri sana mh.mbowe asie kuelewa atakuwa ana kinyesi kichwani
😂😂😅😅😅
Asante lisuu karbu karia kitu chako Asante mbowe Kwan maongozi yako kwaheri baba majukum memaaa
Mwenyekiti wetu mbowe ni mtu mwema wa busara nyingi namkubali sana ahsante kwa nasaha zako
Utabaki kuitwa baba wa chama hongela sana kwa he hekima uliyo 2onyesha
Mkenya Lakini hua na-follow sana siasa za TZ. Haswa Tundu na CHADEMA. I pray and sympathize with the broken hearts.
Safi sana
Kilichokuondoa ni Muda mrefu tu..kinyume na hilo ulipaswa uendelee tu
Hongera sana mboe kwa ukovu wa siasa
Aisee hadi raha 🙏🏼
Ni mwamba aliye kubali kushindwa ❤❤❤❤
MH .MBOWE, TUNAOMBA MSHIKAMANO WENU PAMOJA NA WALIOKUWA WAFUASI WAKO, UWE WA HALI YA JUU SANA KULIKO ILIVYOKUWA HUKO NYUMA ILI CHAMA KIWE NA NGUVU KULIKO AWALI. SAHAUNI YALIYOPITA MGANGE YAJAYO. KWA MAANA NYINGINE, MSAMEHEANE.
Uling'ang'ania sana ngoja upate moto.
Mimi siyo mwanasiasa lakini nimewaelewa sana ninyi jamaaa yaani mbowe umekubali 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe sana Mbowe
Mimi watu wa chadema bawaelewa sana
What a democratic leader,, the one of his own,, one in a million
Sasa naelewa kwa nini tunajiita Makamanda 💪🏽💪🏽🙌🏾
Umepikwa ukapikikwa we were utabaki kuwa mshindi daima
Kwa kweli, yangelikuwa ni mapenzi yangu Binafsi ningesema Mbowe aendelee kuwa M/Kiti .....lakini tunampa pongezi sana, ni mtu aliyestarabika kwa viwango vya juu, mvumilivu, na mwenye Busara na Hekima nyingi.
Kiukweli nimeumia sana Mbowe kutokuwa mwenyekiti wa chadema,Mbowe nakupenda sana!
HONGEREN SANAAA.
Tulisikia mambo ya kumvua nguo mwenyekiti huyo ambae yeye hakukubali hata kufik kwenye mjadala sasa sifa hizo vipi!!!
Hii ndio demokrasia ya kweli mbowe umekomaa Santa kisiasa
welcome back
U big up Mr, Mbowe
HOTUBA YA MBOWE INAONYESHA AMEONDOLEWA NA KURA ILA MOYO WAKE HAUKURDHKA
Kamwandikie ya kusema.
@@simonnjovu586hajaridhika vipi ulitaka asemaje
Aisee
Ungemwandikia mapema akaongee nini mkutanoni kama haukutaka aliyoyasema.
Great democracy
❤❤❤❤
Huyu anapaswa kuwa mshauri Mkuu wa chama,maana amepambana na viunzi vingi sana nje ya chama
Ongera mboye
Ebana eee, mitano tena imekwama !. Xaxa ni mitano kwanza !.
Heshima kwako Mzee Mbowe. Kwakweli umeonesha mfano. Mungu akubariki sana.
Mimi nataka muweke ofisi nasisi tuwe wanachama hai tupate vitambulisho n.k na wapenda sana
Hana hekima maji yalikuwa shingoni,matamshi mangapi alitoa kwani kwa kusema ataingia vitani,aingie vitani sasa
Kiukweli unaondoka wakati bado tunakupenda na tunakuhitaji