Once a leader is as pure as snow, transparent, and truthful, it becomes so easy for him or her to sail through stormy waters. Tundu Lissu detests corruption, and in that regard, he is confident of his future political course!
Kilichonifurahisha ktk uchaguzi wenu ni uwazi,ktk uchaguzi,umoja,na,mshikamano wenu hongereni sana chadema kwa ukomavu wenu m/Mungu awabariki kijengeni chama sasa anzieni ngazi ya chini kabisa.
Mnaambiwa kusimama kwa heshima ya wazee na kupiga makofi ya kupongeza, bado mtu anaendelea kukaa chini!! Adabu ya mtanzania accross the country hata bendera ikipandishwa au kushushwa au wimbo wa taifa unapigwa utashuhudia "wajinga" fulani ama wanatembea au kunong'ona ovyo!! Ni nidhamu mbovu inatakiwa kuepukwa accross
Naamini isingekuwa shinikizo la viongozi wa chama mbowe angeshinda na hizo Kura alizomzidi ndo za viongozi mi binafsi nakubali sana mbowe ni mtu mwenye weledi wa juu wa siasa
Ni kweli, lakini kumbuka na mwl Nyerere ulifika muda akatakiwa kupumzika na kuwaachia wengine mbali na kwamba alikuwa bado anatakiwa..vivyo hivyo hata Mbowe amefanya makubwa ila alitakiwa amwachie mwngine ila atabaki kama mshauri na director wa chama.
Never to forget stand up for a minute for those who lost their lives in the fight for the course.❤and always remember them during the Start and during the end.
Ww mzee ukiwa president utatunyosha ila unafaa sana una kona kona zambi ya unafki una mungu likuweka ana sababu yake tutaona mbele sababuke nini moja wapo tumeona leo
Kama sio mtu kisasi achana na mzee wetu jpm Ni kweli alikukosea lakini Yule ni kipenz Cha watanzania wengi alifanya kazi ambayo iliwashinda kwa miaka kumi mliyokua Bungeni
Tayari kasema atamtangaza katibu chadema na kurudia chaguzi walioshindwa kabla hajatuliza mawazo huu ni mhemko wa kwanza tunangoja hilo baraza lake mtauona mpasuko wa ajabu.
Lisu 💪🔥✌️💯 wanachadema Tunachukua nchi🙏
Hongere sana mheshimiwa wetu, Tundu Antipass Lisu
Conguratulations lisu🎉🎉🎉
Hongera sana kwa Chadema 😊😊😊
I salute honourable Tundu Antiphas Lissu, your a true Leader with no impurities
Hongera sana chadema kwa kukamilisha uchaguzi wenu . sasa najiunga chadema rasimi.asanteni sana wajumbe kuleta kwetu antipas lisu
.
Welcome home.
mimi pia wiki ijayo naenda kuchukua kadi ya uanachama sasa na kuilipia kabisa
Pipoooooooooz
Jambo zuri.
Hongera sana na pole pia ila tunakutuma sasa kwenye chama ututazame huku kwenye vitogoji,kata,na kwingine pleas
SASA LEO NITALALA USINGIZI❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwanini
That's lisu,the great men, brave men, hajapinda pinda
Hongera sana TUNDU LISSU!!!
We love you Tundu lissu 🔥🔥🔥
If God says yes nobody can say no ([lisu you are the chosen one])
Hongera sana wanachadema
Once a leader is as pure as snow, transparent, and truthful, it becomes so easy for him or her to sail through stormy waters. Tundu Lissu detests corruption, and in that regard, he is confident of his future political course!
Hongera lisu
Gongratulatios to you
🇹🇿🇹🇿🔊🔊🔊 we love you lissu❤
Big up kamanda Lissu nilikua nakuombea sana na kwakweli Mungu ni mwema tunamshukuru sana kwani amejibu maombi.
Kilichonifurahisha ktk uchaguzi wenu ni uwazi,ktk uchaguzi,umoja,na,mshikamano wenu hongereni sana chadema kwa ukomavu wenu m/Mungu awabariki kijengeni chama sasa anzieni ngazi ya chini kabisa.
Mungu awatunze sana
❤❤❤❤❤❤❤
KAMANDAAAA WAJUMBE WARUDI KWA AMANI TUNAWASUBIRI TUWAPE MAUA YAO!❤❤❤
Congratulations my prezo
My president ✌️✌️✌️
Safi sana
Kakataa kuunda tume ya maridhiano....kasema watu wake wameumizwa sana kwa kuenguliwa ....
Video zenu The Chanzo zinakata kata Sauti sana
NI kweli
Nimerud chadema kutoka moyoni,
Mnaambiwa kusimama kwa heshima ya wazee na kupiga makofi ya kupongeza, bado mtu anaendelea kukaa chini!! Adabu ya mtanzania accross the country hata bendera ikipandishwa au kushushwa au wimbo wa taifa unapigwa utashuhudia "wajinga" fulani ama wanatembea au kunong'ona ovyo!! Ni nidhamu mbovu inatakiwa kuepukwa accross
Hiki ndo chama sasa
Safi kabisa
Veggies wajifunze kitu
Lisu ataleta changamoto mpya ktk siasa za tz ila safari anayo kubwa kuiongoza chadema maneno hayajengi ila vitendo na kauli nzuri
good spoken
❤
Tamanio la wengi hakika leo limetimia ...ubarikiwe sana mh. MBINGU ZIKAKUTANGULIE KATKA HUONGOZI WAKO
Nakufuatilia nikiwa Capetown
Naamini isingekuwa shinikizo la viongozi wa chama mbowe angeshinda na hizo Kura alizomzidi ndo za viongozi mi binafsi nakubali sana mbowe ni mtu mwenye weledi wa juu wa siasa
Sawa Mbowe ni kiongozi mzuri lazma ikae akilini mwako kua kuna ukomo wa uongozi,miaka 21 ya Mbowe inatosha na wengine tuone mazuri yao
Wewe unatakiwa kuombewa
Demokrasia ni kupokezana uongozi kwa maamuzi ya kura
Ni kweli, lakini kumbuka na mwl Nyerere ulifika muda akatakiwa kupumzika na kuwaachia wengine mbali na kwamba alikuwa bado anatakiwa..vivyo hivyo hata Mbowe amefanya makubwa ila alitakiwa amwachie mwngine ila atabaki kama mshauri na director wa chama.
@@Tanzaniayangu-g8v Atakuwa vipi director na mshauri wakati mawazo yake yamechoka?
Mbona video zako zinakatakata, let’s see Lissu ataleta nini CHADEMA
SASA MLIOTOKA ZANZIBAR, KIBALI CJA KUPANDA BOAT KIMEPATIKANA. KILA LA KHERI UONGOZI MPYA WA CDM
🎉🎉🎉🎉
Sauti inakatakata sana aisee, hii hotuba hatukupaswa kupitwa hata na nukta ya maneno
Sasa Ni UWAJIBIKAJI Tu
Uko vzr sana mtu wa Mungu
@The Chanzo Sauti inakata kata sana
Democracy 👏👏👏
Ongera sana Wana chadema
Hongerq muheshimiwa ila fanya uache vita na jpm watu tutakupenda
Jisemee wewe tu
Never to forget stand up for a minute for those who lost their lives in the fight for the course.❤and always remember them during the Start and during the end.
Kama umeingia kwa kukosea kwakufunja katiba unategemea uje uponye kwa kufuata katiba ama kweli nyani uwa aoni kundule
Twakupokea kwa roho safi kabisa Tundu hantipas Lisu
Wee mbona saut amna tengeneza sauti bwana
Ccm ndani yachama Chao hamna uwazi kama huu igini mfano huu wa chadema people s power
NA IMAGINE NDO UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
Hii ndiyo democracy
the chanzo kopa mtaji ununue Camera zenye uwezo wakunasa sauti vizuri unaboa sana
Sauti ni shida
Sauti hamna😢
Conguratulations lisu
Ww mzee ukiwa president utatunyosha ila unafaa sana una kona kona zambi ya unafki una mungu likuweka ana sababu yake tutaona mbele sababuke nini moja wapo tumeona leo
Mkitaka tuwaelewe tengenezen sera mpya za Chama ambazo watanzania tutazielewa
CD ni nini?
Kila la heri
Nikweli
Ila uache ugomvi na vita visivyo na umuhimu
Now jenga chama
Sasa Mzee ukianza kusema mrudie Tena uchaguzi sii ndiyo fujo Sasa hizo?
Mbona sauti inakata
mbona mnakata kata sauti nyie CHANZO TV
Hon,tundu antipas,lissu,mgwahi
Matangazo yenu mabovu,sauti zinakata kila mda😢
Hamuendi mbali, fufueni makaburi
DJ vipi au unausingizi mbona sauti inamatakata?
bravo Lisu kila la kheri.
Lakini mkija na porojo makelele asiyokua na sera tutapotea jumla
Mike zenu zinazingua
Jamani hatumsikii
Kama sio mtu kisasi achana na mzee wetu jpm Ni kweli alikukosea lakini Yule ni kipenz Cha watanzania wengi alifanya kazi ambayo iliwashinda kwa miaka kumi mliyokua Bungeni
Tayari kasema atamtangaza katibu chadema na kurudia chaguzi walioshindwa kabla hajatuliza mawazo huu ni mhemko wa kwanza tunangoja hilo baraza lake mtauona mpasuko wa ajabu.
Akisiliza speech ya mbowe atafanya jambo sahihi vinginevyo atauwa chama😊😊😊
Sauti
Nko zmb sijakosa kufatirya hiiktu sana
Mpina ,makamaba, nape ,kinana,na wenzake wahamie tu CHADEMA
🙆♀️🤣
Hana shida wameshiba ndani ya CCM huko chadema bado njaa haijaisha 😂😂😂
UVIKO 19 WASAMEHEWE WARUDISHWE KUNDINI NAWAONBEA WAANDIKE BARUA WAPOKELEWE
Sauti inakatakata
NCHI INAELEKEA KWENYE UKOMBOZI WA UHURU WA KWELI KUACHA ULE UHURU WA BENDERA KWA KILA MTANZANIA
Sasa CCM wahame chama wahamie chadema tu hakuna jengine
Siyokwamba wahamie burundi
Dj sautiii
Uyo baunsa kaweka wa mbuzi 😅
Sasa ccm wajipange maana sasa nimwendo wa kujiunga na chadema tu
Chama kimepona
Huu ni mwanzo, tuendelee kumwomba Mungu awape mwendelezo mwema
a lot of words
DUNIA NCHI JIRANI CHADEMA NDIYO KIOO CHAO SASA MAANA YA DEMOKORASIA NDIYO HII UWAZI NA UKWELI
Sauti mbona mnazizima?
Tunadubiri ukomo wako itakuwa miaka mingapi
Nyie nao wajinga sauti tu inawashida kuweka sawa
Wewe nimtu w visasi tu
Magu wako ndiye aliyekuwa mlipa visasi
Too many words!
Badoo tutaelewa pole pole mabadiliko ya uongozi Ni mabadiliko ktk mengi
Acha mzaha