Congratulations my brother Goodluck.. Umefanya jambo la ushujaa yaani umewapiga mshono... Yaani cheki wanavyotapatapa... Wanasumbuka haswa 😂woi.. Goodluck umeweza umeweza tena... Damu ya Yesu ikufunike...
Goodluck Upo kwenye vita kubwa sana Nakuombea sana Mngu wa mbinguni akulinde na hawa wanaokuja kuihalibu Dini yetu na Hongera kwa maamuzi uliyo yachukua na ndiyomana huyu nabii anatiwa moyo na miongoni mwa makundi yake na siyo watumishi wa kweli.
Lakini bado tulio upande wa Gooluck tuko wengi zaidi, Damu ya Yesu iendelee kumtetea, ujumbe umefika vyema kwa dunia kutoka kwa kijana mdogo in a very strong way.
Goodluck amepiga kwwnye mshono aisee naona jamaa hana furaha anailazimisha kwakweli,Goodluck nakuombea maisha marefu umeona mbali Huyo nabii mkuu sijui nani sijawahi elewa anahubiri injili gani maana naona anagawa magari tu na maonyesho kwa wenye tamaa ya maisha rahisi rahisi tu
🤣🤣🤣GOODLUCK AMEWAPIGA KWENYE MSHONO ONA WANAVYOHAHA.. YAANI HAO WOTE WATUMA SALAMU NI WA UPANDE FULANI...... CONGRATULATIONS KAKA Goodluck endelea kumuaibisha shetani
Kabisa,Hana furaha analazimisha tu na anachoongea hapo heti anampongeza mh Rais yaan sura imejaa aibu tupu anajitutumua tu,alitaka ampoteze kijana wa watu
@@frankchipasura1814hakuna Mungu ambae anarusu matusi so wewe nawe utakuwa wale wa miujiza tu,Mungu aliye hai anasema watakuja wengi kwa jina langu ,lakin siku ikifika ata yeye atawakataa sio wake
Mm nipo upande wa goodkuck huyu nabii simwamin kabisa yan mungu msaidie goodluck naomba umtie nguvu na umvushe salama kwenye hiki kipindi kigum anachopitia🙏
Good luck Mungu ukupe nuru hongera gizan umetoka,ukweli Geo devil's cio mtumish wa Mungu,yaani lnapoongea tu unajua kuwa hili halipo sawa tena bora waganga wa kienyeji
Nao watakuja kwa jina langu nawatatoa pepo kw jina langu mkiona hivyo changamkeni maana mwenye haki wngu ataishi kwa Imani big up Gozbet simama na Imani yko tu
Mungu wa mbinguni anawajua waliowake tangu kuwekwa kwa misingi ya dunia Godluck Mshike sana Mungu uliyenaye Linda roho yako isisongwe na mambo ya dunia ukajisahau maana hapo ndipo utakapopigwa kipigo kizuuri so by this time umepass machoni pa watu katika macho mwilini sas vita vyako kwa mwenyewe uliyemwaibisha vinahamia kwenye ulimwengu wake mara ngapi nani ajuaye hkuna unaushindi au ushindani nani ajuaye pia hakuna ungepata kuzisoma koment zoote watu tuko upande wako 80+% so amka bro amka usilale tena kunapambazuka hvo ni alfajiri sana hii usisinzie tena kazi nzuri umefnya hadhrani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Blood of Jesus cover Good luck.hakuna nguvu za giza sitakazo mfuata.love his songs but the moment he was gifted the car,i knew something was wrong.thank Lord for opening Good luck eyes.Kenyans we love you and your songs
Nimesikiliza interview ya goodluck part 1 and part 2…. Yule ni mtumishi wa Mungu na Mwenyezi Mungu anamtumia kulifanya kusudi lake juu ya gooluck litimizwe apa duniani… uyu nabii mmmh sijui sitak ku judge and i hope huo utajir au pesa zake hazitoki mahala pengine bali kwa Mungu Baba.
Nasadiki kwa kanisa moja takatifu Katoliki la mitume naungama na ubatizo mmoja kwa maondoleo y dhambi naungojea na ufufuko wa wafu na uzima wa milele ujao Amina🙏wakatoliki wamenielewa🙌Mimi Mkatoliki mpaka kufa !
Nasadika kwa kanisa moja TAKATIFU KATOLIKI LA MTUME.naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi naungojea na ufufuko wa wafu na uzima wa milele ujao amina!MIMI NI MKATOLIKI DAMU DAMU
We Mpumbavu sana ujue wala hujapona dhidi ya moto wa jehanum. Hakika kweli kama ulivyosema Kufa utakufa na ukatoliki wako na katika ufufuo utafufuliwa na kuhukumiwa KIFO cha milele usipoacha kuheshimu sanamu, kusujudia masanamu, kuomba marehemu akina mtakatifu ana ,Antony maria n.k (omba Mungu we mwemyewe Kwa jina la Yesu Yoh 16:23 ) mara kuombea marehemu , kuungama kwa padre, kupunguza amri za Mungu kaangalie Ile amri ya USITAMANI imejirudia kwanini katika kateksimu yenu? Ilivunjwa mara mbili ili zitimie 10 maana Ile amri ya kuchonga na kusujudia sanamu mliiondoa. Ww mjinga! Amka Toka kaburi la Kikatoloki.
Kanisa la Kristo liko macho.... uongo umevuliwa nguo....uko uchi... na bado.... Yesu hashindwi....kukufur kumeshindwa kwa jina la Yesu. Goodluck analindwa na uwepo wa Mungu
UHUSIANO wa mtu na Mungu wake anajua mhusika na huyo Mungu wake brother Goodluck msikilize Mungu wako na kama ni Mungu ninayemuabudu mimi basi usiteteleke bro
Naombq kuuliza hivi kamagodlack kweli ni mtumishi wa mungu hiyo gari amekaanayo mdagan na je mungu alimwambia achome na Kwa Nini amnyoshee mtumishi wamungu mungu kidole huyo godlqck qtqpi
Siasa tupu...Roho wa Mungu yupo kazini...kitambo kidogo...ghadhabu ya Mungu inashuka...vicheko vita geuka kuwa kilio....subili tu... Yesu hadhihakiwi...wengi wameshapata dhawabu zao....kumekuchaa
Hawa wote ni wasaniii tuu maana hakuna kinachoeleweka. Hajawahi kulalamika hata maramoja lakini anakuja kuonekana anachoma gari. Lakini pia kulikuwa na sababu gani ya kulichoma gari Hilo kwanini asingemrudishia
Nyie watu Mungu atawahukumu.... Sikilizeni vizuri interview ya Goodluck. Ameongea wazi kuwa Nabii mkuu hana kosa na inawezekana hata hajui kinachoendelea. Amesema wazi ya kua shetani alitaka kuwatumia watu ili gari anayo tumia imuue na kisha wangerudi kumsema vibaya mtumishi iliye mpatia hio gari. Sikilizeni vizuri vitu kabla hamjachafua nafsi zenu.... Mtumishi hana tatizo na wala Goodluck hana shida naye na amemuongelea vizuri sana. Mungu anasababu kwa wote wawili.
Goodluck kama lilivyo jina lako Mungu akuwekee ulinzi wa tofauti maana kwa Sasa ndio umeingia kwenye vita kubwa na SI vita ya kimwili bali ni ya kiroho jitahidi tafuta watumishi waombolezaji uingie katika maombi ya nguvu na uombe Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri zaidi ya yote akupe maisha marefu na mafanikio ya kweli ya kutoka kwake, usikate tamaa Wala kurudi nyuma, keep it up bro!!! u done well
Hivi ni rahisi kweli mtu apewe zawadi na baadaye aichome mimi naona inawezekana kwa sababu huyu Gozbert anaongozwa na roho ya Mungu ipo siku ukweli utajulikana,na mtakumbuka hii comment
Hongera kaka ila hiyo vita ungepigana kiroho pia .maana vita vyetu si vya mwili na nyama ....hapo kaka kidogo umemwaibisha kristo...ila hongera kwa ujasiri
@@mwigarleysaid5406 unataka abatize kwani kafungua kanisa, Yeye ni mwalimu wa neno la Mungu na wanaoshiriki ni waumini waliobatizwa katika madhehebu yao
Nilikuwa nategemea busara ya huyu nabii wao, kama kweli Goodluck amefanya na kusema uongo, angekaa kimya tu. Haya yanayoendelea yanalazimisha watu waone kweli Kuna sintofahamu katika huduma yake. Haya hayatoshi kujibu alichokifanya Goodluck. Mungu atusaidie 🙏
Gooluck ni kijana mdogo sana asingekusumbua kama hili jambo halijakutetelesha lakini amekuweza katika ulimwengu wa roho ndio maana umevurugwa hata ongea yako inaonyesha unajikaza tu
Mlioupande wa nabii wa uongo Tubuni maana Ufalme wa Mungu umekaribia Tulio upande wa Goodluk Tuzidi kumwombea Sana Yaani hili jambo limetikisa kuzimu Ila MUNGU Yuko upande wa Godluk
Goodluck MUNGU WA KWELI HATISHIWI Na yoyte. Wanamwabudu yeye na siyo mungu tena. Tunao mtegemea mungu wa kweli gonga like.
Hiyo ni miungu hakuna mungu inayo andikwa kwa heluf ndogo tunaemjua sisi ni MUNGU
@@BraytonyMwaluko mbona kaandika apo juu kwa herufi kubwa labda hapo chini
@EsterNdaru ahaaa sawa sister
Nipo upande wa Goodluck kama upo upande wake ebu like mpendwa, Tumuombee Mungu asimuingize huko tena.
@@dorcaskidoti249 aliye upande wetu ni mkuu kuliko miungubahari
@@dorcaskidoti249 aliye upande wetu ni mkuu kuliko miungu za bahari
Mbona hamumwoneshi sura ya huyu mwanamke
True
Tuko pamoja,, Gozbert yuko sahihi kabisa
Congratulations my brother Goodluck.. Umefanya jambo la ushujaa yaani umewapiga mshono... Yaani cheki wanavyotapatapa... Wanasumbuka haswa 😂woi.. Goodluck umeweza umeweza tena... Damu ya Yesu ikufunike...
Heli good luck kwa kitendo kizuri sana hakika mimi niko upande wa Goodluck milele🎉
Goodluck endelea kuchoma mashetan yote, nimecheka sana Asante Mungu. Acha walamba miguu ya mashetan waendelee kupiga midomo
Goodluck Upo kwenye vita kubwa sana Nakuombea sana Mngu wa mbinguni akulinde na hawa wanaokuja kuihalibu Dini yetu na Hongera kwa maamuzi uliyo yachukua na ndiyomana huyu nabii anatiwa moyo na miongoni mwa makundi yake na siyo watumishi wa kweli.
Bndo mko kw udini jamani
Kama unamkubali Goodluck gorzbert ministry like hapa ..jamaa kapigwa penyewe😂😂😂😂😂😂
Lakini bado tulio upande wa Gooluck tuko wengi zaidi, Damu ya Yesu iendelee kumtetea, ujumbe umefika vyema kwa dunia kutoka kwa kijana mdogo in a very strong way.
Maandiko hayako ivo goodluck anamakosa
Type maandiko kuonyesha good luck mkosefu@@ndamila_studio1315
Kwendraaaaaah makosa yake nini unataka aendelee kutumia kifaa ambacho kinataka kumchukulia uhai wake@@ndamila_studio1315
Sema hayo maandiko@@ndamila_studio1315
Gozbert i love you umefanya jambo la kiume God protect you Godluck❤🎉❤
Goodluck amepiga kwwnye mshono aisee naona jamaa hana furaha anailazimisha kwakweli,Goodluck nakuombea maisha marefu umeona mbali Huyo nabii mkuu sijui nani sijawahi elewa anahubiri injili gani maana naona anagawa magari tu na maonyesho kwa wenye tamaa ya maisha rahisi rahisi tu
Bless sana hii yani wanalazimisha kudundisha yai
🤣🤣🤣GOODLUCK AMEWAPIGA KWENYE MSHONO ONA WANAVYOHAHA.. YAANI HAO WOTE WATUMA SALAMU NI WA UPANDE FULANI......
CONGRATULATIONS KAKA Goodluck endelea kumuaibisha shetani
Kabisa,Hana furaha analazimisha tu na anachoongea hapo heti anampongeza mh Rais yaan sura imejaa aibu tupu anajitutumua tu,alitaka ampoteze kijana wa watu
Gozbert Jeshi lililo upande wako ni kubwa kuliko hao unaowaona. Mungu hajawahi shindwa
Usimujaze Ujinga huyu ni chizi
Ww ndio chizi mungu mkubwa mungu ndio anajua ukwel
@@JeremiahMosishetani ww. Atuwez kuchukua kibali cha mungu kumpa shetani tena
@@JeremiahMosi pole,
Safi sana good luck xozibert umejua kutufurahisha tunakuombeaaa ona wanavyochanganyikiwaaa 😮😮😮
Kama unampenda GOODLUCK unaweza like hapo tijuana au vipy wazee like usiogope 👍👍👍👍
Gozbert dam dam
Gozbert dam dam
@PeterMumo-w3f kama Mimi vile ♥️♥️♥️
Wajinga ndio waliwao
@@SulePonda una manisha nn ukusema ivyo wee sulepondo
Naomba kuwajua walio upande wa Gozbert na cyo nabii huyu😅
Comment Mungu amlinde Gozbert
@@peter_paulofficialy sisi hapa tuko na gozbert ni dazen ya watu....
@@mangashajunior242tupo
MUNGU mlinde GOZBERT
Kumbe Wewe Nae Akili Huna Kwan Pesa Inahusiana Nn Na Vitu Vya Giza Si Bora Angeuza
Yaan baba baba😂😂😂😂😂 aiseee umeshakua mtumwa wa baba na usituchafulie mtandao kwa Salam za kinafiki mwache gozbert asonge mbele
Baba baba wapi wanatengeneza maunafiki
Sasa wanaokpgia smu hawana mungu m watu wanaofany sanaa za Dunia godluck damu ya yesu ikuzungke
Tunao sema Uyu nabii pasaka achinjwa gonga like 😅
Nimegundua watu wengi wanapenda miujiza kuliko kumjua Mungu ,,,Mungu atusaidie macho ya rohoni
we msenge kweli, Mungu ni Mungu wa miujiza, mkristo fala ww
Wewe ndio gala ujielewi@@frankchipasura1814
@@frankchipasura1814hakuna Mungu ambae anarusu matusi so wewe nawe utakuwa wale wa miujiza tu,Mungu aliye hai anasema watakuja wengi kwa jina langu ,lakin siku ikifika ata yeye atawakataa sio wake
2Wakorintho 4;20 Ufalme wa Mungu haupo kwenye maneno tuu Bali ni katika Nguvu ,Watu wanapenda miujiza Kwa sababu ndio udhihirisho wa Nguvu za Mungu
Mm nipo upande wa goodkuck huyu nabii simwamin kabisa yan mungu msaidie goodluck naomba umtie nguvu na umvushe salama kwenye hiki kipindi kigum anachopitia🙏
Amina
Amenj
Huyu nabii ni tapel wa live yaaan😭😭😭ni mwendo wa kuchoma na kuteketeza
Gozbert MUNGU wa kweli akupiganie haujakiosea
Good luck Mungu ukupe nuru hongera gizan umetoka,ukweli Geo devil's cio mtumish wa Mungu,yaani lnapoongea tu unajua kuwa hili halipo sawa tena bora waganga wa kienyeji
Good luck Tuko pamoja haya Mambo ya roho yanaitaji watu walioko rohoni kuelewa ❤❤❤
Uko pamoja ww
Sana mungu naomba ajibu kwa kila kitu
Mungu awe ndugu Goodluck katka kipindi hiki unachopitia
Goodluck ashawavuruga wanabwabwaja tu...
No More content than that one of Goodluck... 📌
Goodluck una mungu ndan yako na vita uliyo nayo nikubwa, songa mbele Mungu yupo
Goodluck Yuko sawa tena abarikiwe ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Goodluck asante sana kwakuona mbari ...MUNGU akubariki Mtumishi wa Mungu kurejea nyumbani mwa Bwana wetu aliyotuumba
Goodluck amefanya jambo lamana sana yani❤🎉🎉🎉❤❤❤
jambo Gani la maana kafanya?? Kuchoma gari moto?? au wewe ndio wale wale, alienda kulipokea la nn??
@@IsaackKileoumaskini unakusumbua uwezi kumuelewa gooluck sababu wewe maskini unaona gari nikitu chaajabu unajuwa alichokuwa napitia kuusu hilo gari?
Nao watakuja kwa jina langu nawatatoa pepo kw jina langu mkiona hivyo changamkeni maana mwenye haki wngu ataishi kwa Imani big up Gozbet simama na Imani yko tu
Kabisa
Kweli mwenye macho na aone. Mwenye masikio asikie.
Kwa kweli huyu ni mfuasi wa shetani kabisa kwan huyu dada hana baba wa kumzaa mchungaji sio dady yeye ni mchungaji t
Daaa
Kaka goodluck wasikuvoofishe songa MBELE kwa injiri ya YESU
Mungu wa mbinguni anawajua waliowake tangu kuwekwa kwa misingi ya dunia Godluck Mshike sana Mungu uliyenaye Linda roho yako isisongwe na mambo ya dunia ukajisahau maana hapo ndipo utakapopigwa kipigo kizuuri so by this time umepass machoni pa watu katika macho mwilini sas vita vyako kwa mwenyewe uliyemwaibisha vinahamia kwenye ulimwengu wake mara ngapi nani ajuaye hkuna unaushindi au ushindani nani ajuaye pia hakuna ungepata kuzisoma koment zoote watu tuko upande wako 80+% so amka bro amka usilale tena kunapambazuka hvo ni alfajiri sana hii usisinzie tena kazi nzuri umefnya hadhrani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wewe nabii mrudie mungu acha janja janja utaingua kuzimu ,mda wa kutubu maovu ni sasa ,,
ila mwamposa mnamkbal
@@DavalsonMarlony 😁kwa kula keki za upako na futa la upako😁😁😁
😅😅😅😅😅😅😅@@JoahnesNovart
@@modestajamada3496 🙌🙌🙌😁😁😁😁😁😁😁😁na dongo la upako leso za upako😁😁😁😁😁
Nipo upande WA good luck from kenya 🇰🇪 tuko pamoja
Goodluck mkono wa mungu uwe juu yako asante mungu sitakuja tamani cha mtu pesa Zinasiri kubwa sana
Kufka mbinguni tutafika tumechoka Kama ndo ivi
Miaka mingapi Toka kapokea
Hawa nimanabii wauong
@@AgnesJohn-f1rhata shetani aliwamiliki watu kwa mda mrefu, na wengine wakafumbuka, na wakamkimbia, we ulitaka aendelee kumwabudu nabii mkuu?
@@BenjaNetanyahu kwa hiyo hapo kazinduka na wimbo mpya kaendesha gari la jamaa mpaka kachoka ndo kaamua kuzinduka 😂😂😂 angerudisha siyo kuchoma
Sisi tupo na good luck mpaka wakuue
Yan naogopa wasimpoteze
Blood of Jesus cover Good luck.hakuna nguvu za giza sitakazo mfuata.love his songs but the moment he was gifted the car,i knew something was wrong.thank Lord for opening Good luck eyes.Kenyans we love you and your songs
hongera sana Goodluck.
Mungu wa mbinguni asikupungukie
Nataka niwaambie mtukuzeni mungu na sio kuwatukuza wanadamu
More than A
Kweli
Unapo andika ama kumtaja muumba wako anza na herufi kubwa yani Mungu
@@elishangoma8235 ila si umeelewa acha ujuaji wako hata kwa herufi ndogo umeelewa alichokisema
Unaonae baba baba ndo nachoka
Asante YESU KRISTO kwa kuwafichua na wapambe wao, tumewatambua kw matunda yao
Gozbet 100 jodevi SIFURIII
Nimesikiliza interview ya goodluck part 1 and part 2…. Yule ni mtumishi wa Mungu na Mwenyezi Mungu anamtumia kulifanya kusudi lake juu ya gooluck litimizwe apa duniani… uyu nabii mmmh sijui sitak ku judge and i hope huo utajir au pesa zake hazitoki mahala pengine bali kwa Mungu Baba.
Gozbert supporters likes
Tulio kimbilia kwenye comment kabla video haija isha tujuane hapa lwa like za kutosha
😅😅😅😅😅😅
😅😅😅😅@@DEMUREVIVIAN
Tupo
Mimi ndio nimeweka pause kabisa ili nisome comment kwanza😂
😅😅
Dunia inasiri kubwa sana. Sijui Goodluck au huyu nabii ninani mkweli. Ila Ukweli Mwenyezi Mungu Anajua
Ni kweli kabisa....mwenyezi MUNGU ndo anajua kila kitu
Kati ya replies zote, wewe unaaakili
Good luck yupo sahihi mSIJIFANYE HAMUIJUI KWELI NA MBAYA MUOGOPENI MUNGU NYIE
Kabisa mungu pekee juu tunaeza ogea mengi kumbe wanajuana weee ulimwengu huu ni wa mambo mengi unaeza amini mmoja wao kumbe wanajua wanacho kifanya .
Mkweli ni nani kati ya nabii na Goodluck
Nasadiki kwa kanisa moja takatifu Katoliki la mitume naungama na ubatizo mmoja kwa maondoleo y dhambi naungojea na ufufuko wa wafu na uzima wa milele ujao Amina🙏wakatoliki wamenielewa🙌Mimi Mkatoliki mpaka kufa !
Kanisa lako na Huyu nabii Ni kopo na mfuniko. Kwasababu Hata Yesu mmemfanya Sanamu na maandiko hayataki kuabdu Sanamu
Nasadika kwa kanisa moja TAKATIFU KATOLIKI LA MTUME.naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi naungojea na ufufuko wa wafu na uzima wa milele ujao amina!MIMI NI MKATOLIKI DAMU DAMU
Catholic nao ni wale wale kwa jina mnaitwa wakristo
We Mpumbavu sana ujue wala hujapona dhidi ya moto wa jehanum. Hakika kweli kama ulivyosema Kufa utakufa na ukatoliki wako na katika ufufuo utafufuliwa na kuhukumiwa KIFO cha milele usipoacha kuheshimu sanamu, kusujudia masanamu, kuomba marehemu akina mtakatifu ana ,Antony maria n.k (omba Mungu we mwemyewe Kwa jina la Yesu Yoh 16:23 ) mara kuombea marehemu , kuungama kwa padre, kupunguza amri za Mungu kaangalie Ile amri ya USITAMANI imejirudia kwanini katika kateksimu yenu? Ilivunjwa mara mbili ili zitimie 10 maana Ile amri ya kuchonga na kusujudia sanamu mliiondoa. Ww mjinga! Amka Toka kaburi la Kikatoloki.
wewe upo usingizini...amka
Good luck strong don't ever worship any other gods be strong young man
Kanisa la Kristo liko macho.... uongo umevuliwa nguo....uko uchi... na bado.... Yesu hashindwi....kukufur kumeshindwa kwa jina la Yesu. Goodluck analindwa na uwepo wa Mungu
Golduck God protect you love from Zambia
❤❤
Nimemsililiza Goodluck mpka mwisho nimemuekewa sana ni mungu anamuongoza sana na anamaono ya mbali
Gozbert mungu bado yuko na wewe amini na ume washtua wengine
Kweli
Kwa kweli
Kwel kbc kw nn huyu nabii hajib km hn bay
Kwakweli mungu amlinde goodluck Kwa sababu Kila mtu anamnyoshea
kidole, lakini ukwelli anajua yeye na mungu wake ,na mungu yupo nae 🙏🙏
Goodluck heri umejielewa huyu nabii msoma ramani Hana jipya kawakamata waumini wake hawajielewi
UHUSIANO wa mtu na Mungu wake anajua mhusika na huyo Mungu wake brother Goodluck msikilize Mungu wako na kama ni Mungu ninayemuabudu mimi basi usiteteleke bro
Naombq kuuliza hivi kamagodlack kweli ni mtumishi wa mungu hiyo gari amekaanayo mdagan na je mungu alimwambia achome na Kwa Nini amnyoshee mtumishi wamungu mungu kidole huyo godlqck qtqpi
Atapigwa namungu asione ushabiki tu aangalie mungu anataka nini
Uyu nabii ukimsikiliza vizuri utagundua Goodluck upo sahihi uyu kwanini ajisifie hiv na huyo mama kapangwa😂😂😊
Kbsa akuna ukweli hapa #ni mashetani tupu
Good luck amefwata sauti ya mungu nataenda mbali kwa uweza wa ROHO mtakatifu wa mungu 🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu nabii kwa sifa hajambooo😂😂ukimsifia tu unapewa gari😂😂
Hahahaha kwakweliu
Huyu amechizika ashukuriwe Mungu Nabii mkuu yupo. Ushauri wangu ndugu wa karibu wampeleke haraka kwa Nabii Mkuu
Uongo tu gozbart yupo sawa
Hamtutishi sababu hao mitumi na tunawajua vizuri, GOODLUCK baba keep Going, ameni
Hili siyo kanisa ni genge la wahuni. Ndiyo maana kagame ameyapiga marufuku
Kuna hadi wi-fi kanisani 😂
Siasa tupu...Roho wa Mungu yupo kazini...kitambo kidogo...ghadhabu ya Mungu inashuka...vicheko vita geuka kuwa kilio....subili tu... Yesu hadhihakiwi...wengi wameshapata dhawabu zao....kumekuchaa
Acheni maneno.mimi sio muamini wa Geordavi lakin.msipende sana kuwa washadadiaji wa mambo mtajiponza hakuna anaejua chochote wote mnanena tu.
Hawa wote ni wasaniii tuu maana hakuna kinachoeleweka. Hajawahi kulalamika hata maramoja lakini anakuja kuonekana anachoma gari.
Lakini pia kulikuwa na sababu gani ya kulichoma gari Hilo kwanini asingemrudishia
Goodluck Mungu ako pamoja na wewe usikate tamaa ila abudu Mungu wa kweli 🙏🙏🙏
Mmeungana kumuangusha na sisi tunasimama kumtetea
WALIO UPANDE WA GOODLUCK GONGA LIKE TUJUANEE😂😂
Goodluck Gozbert Well Done bro Mungu aendelee kukutunza
Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia,bali si mwepesi wa kusema wala kukasirika
(Yakobo 1:19b
Amen
Dunia imechafuka ila Godluck uko na Mungu na Mungu yuko na wewe Nakupenda na nimependa ulichokiongea nakuelewa yote ni mapito bado
Pole weww dada na nyie mnaoshangilia, Baba yupo Mbinguni,hao baba, nabii,mitume nk mtawatambua too late
Acheni kujisafisha mmeshaumbuka mnajificha kwenye kivuli Cha kanisa mwenyezi Mungu anawaona
Watanzania wapo upande wa Good luck
Hawezi kumjibu mtoto wa Mungu goodluck God is good
Nyie watu Mungu atawahukumu.... Sikilizeni vizuri interview ya Goodluck. Ameongea wazi kuwa Nabii mkuu hana kosa na inawezekana hata hajui kinachoendelea.
Amesema wazi ya kua shetani alitaka kuwatumia watu ili gari anayo tumia imuue na kisha wangerudi kumsema vibaya mtumishi iliye mpatia hio gari.
Sikilizeni vizuri vitu kabla hamjachafua nafsi zenu.... Mtumishi hana tatizo na wala Goodluck hana shida naye na amemuongelea vizuri sana.
Mungu anasababu kwa wote wawili.
Kuchoma gari ni uchizi
Nabii mpenda sifaa😂😂😂😂😂😂 yaan ukimsifia anajisahau kabisaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wakristo sijui tunashida gan, hiv sis ni vipofuuu
Yesu-kristo ndiye Nabii Mkuu na Ndiye Baba pekeyake, izi zote ni majina yote ya Mungu pekeyake!
Mbona mnalazimisha kuliosha Hilo Shetan 😂😂😂😂😂😂 Kwan hao wakituma hizo salamu ndo inakuwaje Sasa shindwa kwa jina la Yesu 😅😅😅
Shetani ushindwe Kwa Jina la Yesu Kristo.
Goodluck songa mbele upo sahihi 💯 kumbuka hata yesu alikataliwa ila akasonga mbele pia utambue watu wa kidunia ni wengi kuliko watu wa kiroo,!!!?
Huyu hamna kazi unaacha kupeleka utukufu kwa Yesu,lakini muda mwingi unajipa utukufu ,na angiko lako halipo mbali mr nabii
Hvi ndo mwanzo asubiri lin tena
Big up Goodluck Shetani ameangukia pua😂😂😂
Yesu anarudi tengenezeni njia zenu
Goodluck kama lilivyo jina lako Mungu akuwekee ulinzi wa tofauti maana kwa Sasa ndio umeingia kwenye vita kubwa na SI vita ya kimwili bali ni ya kiroho jitahidi tafuta watumishi waombolezaji uingie katika maombi ya nguvu na uombe Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri zaidi ya yote akupe maisha marefu na mafanikio ya kweli ya kutoka kwake, usikate tamaa Wala kurudi nyuma, keep it up bro!!! u done well
Eti alitumiajina lako kutambulika hakakamama kafuasi ka shetani na aliowataja mshindwe kwa jina la yesu
KaChawa😊
Huyu Mama NI apostle wa Mungu balozi Sekela, anamjua Na kumpenda Yesu
Hivi ni rahisi kweli mtu apewe zawadi na baadaye aichome mimi naona inawezekana kwa sababu huyu Gozbert anaongozwa na roho ya Mungu ipo siku ukweli utajulikana,na mtakumbuka hii comment
Yaani huyu mama anaongea kichawa kabisa, dah😅😅😅
Dah...inascrach
Hongera kaka ila hiyo vita ungepigana kiroho pia .maana vita vyetu si vya mwili na nyama ....hapo kaka kidogo umemwaibisha kristo...ila hongera kwa ujasiri
Brother good luck mungu awe pamoja nawe tunakupenda Sana mungu akuinue tena adui wako ataibika tu kwajina la yesu
Wenyetaamaa watakua pamoj najoe dv manabii washapt jaman nguv zagz ndo zimetawal well done good ruck
Goodluck Mungu akutetee baba hukujua wala sio kosa lako kupokea
Huwezi sikia hata siku moja Mwl Mwakasege anajibu hoja..yeye ni injili ya Mungu...Mungu anajipigania mwenyewe
Mwakasege Ni mfanya biashara wa Neno la Mungu 😢😢 Hafundishi. Habari za Ufalme ukiomba vizuri utaelewa kitu kwanza Hana Imani na ubatizo
@mwigarleysaid5406 kwhyo hyu nabii mkuu ndo mwalimu?
Hakika
Yani Acha tu kaka tangu naaza kwenda kwa mwakasege, sijawahi kusikia najii nabii😂 yeye ni mwalimu anafundisha neno la Mungu.
@@mwigarleysaid5406 unataka abatize kwani kafungua kanisa, Yeye ni mwalimu wa neno la Mungu na wanaoshiriki ni waumini waliobatizwa katika madhehebu yao
Unajichekesha na story za samia. Story ambazo zipo unazikimbia
GOZBERT MUNGU AKUSIMAMIE MA KUKUSAIDIA.UKWELI UMEONYESHA NIA YA KUMRUDIA MUNGU
Mungu wa fomla wa kupuliza maombi ya kupuliza kila nabii anapuliza anapo omba Roho mtakatifu hawagi wa mazoea
Nilikuwa nategemea busara ya huyu nabii wao, kama kweli Goodluck amefanya na kusema uongo, angekaa kimya tu. Haya yanayoendelea yanalazimisha watu waone kweli Kuna sintofahamu katika huduma yake. Haya hayatoshi kujibu alichokifanya Goodluck. Mungu atusaidie 🙏
Hajajibu kitua ameshukuru tu
😮Hana moyo huo wauvumilivu,uvumilivu anauweza matha mwaipaja peke yake.
Kbs wat wng wenye iman hukaa kimya
Kuachwa kwako hakuko mbali, mwenyewe umekiri, na unajitambua unayoyafanya yanakinzana na MUNGU wetu Muumbaji.
Shetani kaaibika Mungu anajitosholeza shetani anatafuta kampani
Always Giza haliwezi kushinda Nuru,MUNGU anakwenda kudhihirisha lipi Giza na lipi Nuru 🎉 perfectly GOOD LUCK keep on praying
Gooluck ni kijana mdogo sana asingekusumbua kama hili jambo halijakutetelesha lakini amekuweza katika ulimwengu wa roho ndio maana umevurugwa hata ongea yako inaonyesha unajikaza tu
Mlioupande wa nabii wa uongo Tubuni maana Ufalme wa Mungu umekaribia
Tulio upande wa Goodluk Tuzidi kumwombea Sana Yaani hili jambo limetikisa kuzimu Ila MUNGU Yuko upande wa Godluk