Yesu mwana wa mungu ni mkuu ndani ya maisha yetu imeandikwa tusiwe watu wa kujaribu mungu kwa vitendo vyetu jina la mwokozi litazidi kuinuliwa Ameeeeeeen
Magdanella,umesahau ile nyimbo,kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe siku ikifika,yesu alikua Hana dhambi atateseka vipi,hakuna kumpa mzigo yesu ,wakiristo wanafanya dhambi kisha mnambandika yesu,nikuulize Magdalena mtoto wako akifanya makosa ,atakae shikwa au kushtakiwa ni wewe au mtoto wako
🎉 Amen milele yote nawatuote wakakujuwe kuwa wewe ndiwe Mungu wakipekee namwenye utukufu nanguvu naheshima na Baraka zote Zina wewe Milele na milele Amina kwa watuote wamchao
YESU KRISTO ahsantee Kwa kunipenda, kukubali kunikomboa na kunisamehe. Kazi ya kalivari na shukuru. Nashukuru Baba pia na Roho Mtakatifu. Ahsantee pia waliohubiri na kupanda mbegu kwangu. Nawapenda mbarikiwe zaidi
Mwana Wa Mungu Kijana wangu anaugua ugojwa Wa Vigo nakuoba umponye na umsamehe makosa Yake mfungulie Milango yanjera Kama Ulivyo fungulia Paul Na Sila Nakwamini Mwana Wa Mungu Amen 🙏🙏
Nakushukuru mungu kwakulinda siku zangu zote za maisha yangu endelea kunitendea wwma katika maisha yangu pamoja na ndugu zangu marafiki,majirani,nawengine wote aminaaaaaaaa
Mungu wangu ulie juu nakushukuru sana ju wewe ndie unaeweza kunisaidia nahukuna mwengine anae weza mbele yako mungu wangu najina lako libarikiwe nakupewa sifa amen.
Yesu wewe ndiwe ngao yangu simama nami Katina maisha yangu usimame unisaidie mikononi mwa adui zangu uniokoe we yesu wangu wewe ndiwe njia na uzima wa milele Amina
YESu christo mwamba wangu Kaa nami bwana katika maisha yangu familia zetu ziko mikononi mwako huta tuacha wala kutupungukia nkupa sifa na heshima baabaa uketie mahali pa juu❤❤🙏🙏🙏
MUNGU ndiye mwokozi wa maisha yangu na ni mlango wa mafanikio yangu naomb unisamehe Mimi mwenye dhambi na kuzifuta dhambi zangu katik kitabu Cha hukumu na kuyaandika mema yangu katika kitabu Cha uzima wa milele Amen. 🙏🙏🙏
Yesu asante sana🎉yesu asante kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo🙏🙏🙏asante yesu kwa kunifia msalabani aki😢😢😢😢😢😢😢upendo wa ajabu yesu wangu🙏🙏🙏🙏
Ee Mwenyezi Mungu Nitie Nguvu Nikinge Na Maadui Niokoe Katika Majaribu Yangu, Ee Mwenyezi Mungu Nilinde Kila Niingiapo Kwenye Majaribu, Naimani Wewe Ndiye Mwokozi Wa Maisha Yangu Ee Yesu:
Yesu kristo mwokozi wa maisha yangu niyokowe kwenye dhabi mimi nimtenda dhabi usiweke kwenye dhabi nisafishe kwenye dhabi niweke kwenye ufalume wa mungu amen
Ooh my God, i love you Jesus christ, i put my heart in ur hands protect me , my family, friends and the whole world in Jesus name i pray Amen 🙏. Thank u heavenly Father, for loving us unconditional ❤️ 🙏🙏🙏🙏
Nimetenda dhambi nyingi sana na Kwa bahati mbaya nimekua nikitenda dhambi nyingi nikijua ni natenda dhambi ,,bila kujali nimeendelea kufanya ivo, hata Leo nimefanya dhambi za kusudi kabisa na moyo wangu haukutaka kufanya ivo, eeeh mungu nisamehe dhambi zangu maana hakuna neno lolote nitasema ili kukushawishi unionee huluma , Bali ww uliniumba na unajua mapungufu yangu hivyo naomba baba isiniache
Oh lord my God I repent all my sins and declare that I will serve you wherever I go all the days of my life,to reach out, Renew my salvation and use me according to your will..in Jesus name I thank and pray.Amen
AMEN MUNGU WETU UNATUPENDA SANA SISI TU WAKOSAJI KWAKO UENDELEE KUWA NASI BABA🙏
Yesu mwana wa mungu ni mkuu ndani ya maisha yetu imeandikwa tusiwe watu wa kujaribu mungu kwa vitendo vyetu jina la mwokozi litazidi kuinuliwa Ameeeeeeen
Amenn
Amen
Mungu ni wewe tu mungu wangu nautabaki kua mungu tukatika maishani mwangu pamoja na usao wgu na usao wetu
🙏🙏🙏 nakupenda sana yesu wangu unikumbuke sikuyangu ya mwisho mbinguni tukafurahie sote kwa baba
Emungu,wangu nakushukuru kwa
Kumutoa mwano kujakutuokoa.
Yesu kristu 🙏 nakupenda Sana
Asante Mungu kwa kumtoa Yesu kwa ajili yetu
Yesu kristo ndiye mwamba wangu imara sitaogopa katika magumu yote yeye ni msaada tele.
Yesu kristo wewe ndio mwokozi wa maisha yangu , mwenye Dhambi naomba uniokoe hadi siku źangu za maisha yangu yote
Mungu azidi kunilinda na kuniokoa mimi na familia yangu siku zote za maisha yetu na tuikiri Imani siku zote na tuione pepo Amen.
Were ndehe baba wangu tu na Sema Asante sana kwa Kazimierz yako
Amen 🙏
Uco wapi Uco binguni
Lakini huyu sio YESU KRISTO ni muigizaji tu
Eeh yesu wangu untiaye nguvu unipaye ujasiri nkupenda sana Baba yngu stakuacha had sku z maisha
Bwana Yesu uliteseka Kwa Ajili ya dhambi thanks God for everything ❤❤❤❤
Magdanella,umesahau ile nyimbo,kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe siku ikifika,yesu alikua Hana dhambi atateseka vipi,hakuna kumpa mzigo yesu ,wakiristo wanafanya dhambi kisha mnambandika yesu,nikuulize Magdalena mtoto wako akifanya makosa ,atakae shikwa au kushtakiwa ni wewe au mtoto wako
Mtoto ni Mtoto kuna upendo Kati ya mwana damu na upendo wa Mungu kwetu
Poa🎉
Le Français manque de temps en temps
🧐🧐🧐hum hum
Asante YESU kwa kuniokoa na kunisamehe na kunifanya moja ya wtoto uliokwenda kutuandalia makao mapya MBINGUNI HALELUYA
Amen
Amen yesu ndiye kimbilio langu
SALOME niombee maisha yangu na kemboi ni mume wangu wa maisha
Mungu naomba maisha yangu uniongoze wewe pamoj n familia yangu tuokoe tuhurumie n utuokoe
🙏🙏🙏amen
Eeee mungu sisikii vizuri nahitaji uzima na kila maumivu ninayo sikia yatoeke kwa jina lako
Kwa kweli Yesu ndio ufufuo na uzima. Asanti mungu kwa kumtuma mwanao afe kwa ajili ya dhambi zetu .amen 🙏🙏🙏🙏
🎉 Amen milele yote nawatuote wakakujuwe kuwa wewe ndiwe Mungu wakipekee namwenye utukufu nanguvu naheshima na Baraka zote Zina wewe Milele na milele Amina kwa watuote wamchao
Ameen ubarikiwe sana yesu yani mpaka chozi limetoka
Thank you god ww ndie jia yetu utusamee tambii zetu mungu
Thank you Jesus for sustaining me and my family.
YESU KRISTO ahsantee Kwa kunipenda, kukubali kunikomboa na kunisamehe. Kazi ya kalivari na shukuru. Nashukuru Baba pia na Roho Mtakatifu. Ahsantee pia waliohubiri na kupanda mbegu kwangu. Nawapenda mbarikiwe zaidi
Yesu asante kwa zawadi ya uhai unao nipa mimi na watoto wangu amen❤❤❤
Mwana Wa Mungu Kijana wangu anaugua ugojwa Wa Vigo nakuoba umponye na umsamehe makosa Yake mfungulie Milango yanjera Kama Ulivyo fungulia Paul Na Sila
Nakwamini Mwana Wa Mungu
Amen 🙏🙏
Nakushukuru mungu kwakulinda siku zangu zote za maisha yangu endelea kunitendea wwma katika maisha yangu pamoja na ndugu zangu marafiki,majirani,nawengine wote aminaaaaaaaa
Mungu wangu ulie juu nakushukuru sana ju wewe ndie unaeweza kunisaidia nahukuna mwengine anae weza mbele yako mungu wangu najina lako libarikiwe nakupewa sifa amen.
Ee Mwenyezi Mungu niokoe nifike MBINGUNI AMEN 🙏 Nitakuabu BWANA MUNGU WANGU . NIOKOE MIMIMWANAO 🙏
Yesu wewe ndiwe ngao yangu simama nami Katina maisha yangu usimame unisaidie mikononi mwa adui zangu uniokoe we yesu wangu wewe ndiwe njia na uzima wa milele Amina
Yesu nimuchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ❤❤❤❤❤❤ l love Jesus Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏➕
Nimetenda dhambi eeh mungu unioshe dhambi zangu kwakupigwa kwako eeh yesu unihurumie mimi na dhambi zangu kwakumwaga damu yako unitakase niwe mweupe kwama theruji
YESu christo mwamba wangu Kaa nami bwana katika maisha yangu familia zetu ziko mikononi mwako huta tuacha wala kutupungukia nkupa sifa na heshima baabaa uketie mahali pa juu❤❤🙏🙏🙏
Eee Yesu mwema,unisamehe mimi mwenye dhambi,univue vazi la aibu,univike vazi la heshima,niondolee majivuno,unipe unyenyekevu wako mkuu.Unipe amani yako ipitayo akili zote,inihifadhi moyo na akili zangu.Uende mbele yangu unionekaniye daima.
Big Amen
MUNGU ndiye mwokozi wa maisha yangu na ni mlango wa mafanikio yangu naomb unisamehe Mimi mwenye dhambi na kuzifuta dhambi zangu katik kitabu Cha hukumu na kuyaandika mema yangu katika kitabu Cha uzima wa milele Amen. 🙏🙏🙏
Uniongoze eebwana kwakila siku ya maishani mwangu duniani popote niendapo.
Aaamen !!
Napenda sana haya mafundsho ni zaid ya chuo chochote ulimwenguni
Yesu ndiye yule jana na hat millele tumwamini yy by babu jonathani j lusinde ubarikiwe na akulinde
Zz
Mungu baba yetu aliye juu n hata dunia mfalme wa falme akuwe pamoja nasi milele n milele amen 🙏💖😍
Amen
SALOME Thanks jesus for protect me and my family I lov u jeses❤❤❤❤❤
Yesu asante sana🎉yesu asante kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo🙏🙏🙏asante yesu kwa kunifia msalabani aki😢😢😢😢😢😢😢upendo wa ajabu yesu wangu🙏🙏🙏🙏
amen...nitamtumikia Mungu siku zote hadi atakapo kuja tuishi pamoja maisha ya milele mbinguni
YESU utakudja chukua kanisa usinipite na uzale wangu sote na familia yangu bila kusahahu majirani na marafiki Amen❤
Mugu Atukuzwe , I ❤❤❤❤❤ you Jesus ,Atukuzwe mwana wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🇩🇪🇪🇺
Ee Mwenyezi Mungu Nitie Nguvu Nikinge Na Maadui Niokoe Katika Majaribu Yangu, Ee Mwenyezi Mungu Nilinde Kila Niingiapo Kwenye Majaribu, Naimani Wewe Ndiye Mwokozi Wa Maisha Yangu Ee Yesu:
Asiahili
Buli kimu kisoboka bwokiriza kristo yesu mukama waffe❤❤❤❤❤
Yesu nikumbuke mimi nauzao wangu watoto wenzangu wazazi wangu mke wangu eee Bwana wangu kwaniaba yao nabisha mlango wako tufungulie 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kama unaangalia hii movie baada ya ijumaa kuu 2024 weka like hapa❤
Pamoja
Ni mafundisho mazuri Sana. Tumfuatekristu tuache dhambi
,
Mungu akuurumie😢😢😢
Amen🙏🙏🙏
Naku penda yesu wangu,uni odoleye majivuno na magonjwa yote yalio katika mwili wangu ambayo maaduyi wanani takia. Naku omba ku pitia jina lako Amen.
Amen thanks God love you with only my heart Jesus Christ protect me and my family and everyone that need you lord🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yesu kristo mwokozi wa maisha yangu niyokowe kwenye dhabi mimi nimtenda dhabi usiweke kwenye dhabi nisafishe kwenye dhabi niweke kwenye ufalume wa mungu amen
Ooh my God, i love you Jesus christ, i put my heart in ur hands protect me , my family, friends and the whole world in Jesus name i pray Amen 🙏.
Thank u heavenly Father, for loving us unconditional ❤️ 🙏🙏🙏🙏
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau watoto wangu wapokee nyota ya masomo kwa jina la yesu kristo amen
tuji funzeni hapa kwani dunia imefikia pabaya yesu anasuli vizazi vyetu 🙏AMENI
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau watoto wangu wakombolewe kwa jina la yesu kristo amen
Asante mungu kwa kuniokoa kwa mikono ya hibilisi na watu wabaya
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau yeyote aliye chukuwa kiatu ya kirwa apingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo amen
Ameen nakupenda yesu wangu karibu kwenye moyo wangu.
❤❤❤❤❤Mungu ainuliwe sikuzote ❤❤❤
Am preparing myself and know more about Easter celebration and understand more of Jesus in my life.
Yesu kristo ipokee moyo wangu niepushe na dhambi maana nimekua msaliti nmekusaliti kwa dhambi sana ,niokoe 😢 🙏
Bwanayesu asifiwe kilawakati yy ndiye mwenyeuponyaji Na mwenye mamlaka emeen 🙏
Thank you Lord for your eternal love..Glory be to Jesus Amen
namchukuru mungu kwa sasa mn yesu ameniokowa.tena namwomba mungu aiyokowa familia yangu.
Yesu ndiye mwana Wa Mungu aliye Hai nampenda yesu
Jinalako lisifiwa wewebwana
Kwa ajili ya mateso makali ya yesu utuhurumie Sisi na dunia nzima .Ee yesu uturehemu siku zetu za ufufuko
Rita yesu unikumbuke kwa hii nyumba unifunike na mapawa yako kwa jina la yesu kristo amen
Ni naomba filme
Rédigeze
Yesu Kristo Bwana wangu na Mwokozi wangu naomba neema ya kutumika na kuyafanya mapenzi yako
Yesu ni mchungaji wangu sitopungukiwa na chochote
Ameni asante kwa fundisho kwa sinema ya maisha ya Yesu nimebarikiwa
Those who will be watching These 2080 just know we watched it 1990 ikiwa hivi..
Nipeeeni likes kidogo..
Surely let's tell them it's the same nothing changes
Niliona 1920
Yesu kristo, ndiye njia ya uzima. Najivunia kua mmoja wa mfuazi wake. Ju yeye ameniokoa
Nimetenda dhambi nyingi sana na Kwa bahati mbaya nimekua nikitenda dhambi nyingi nikijua ni natenda dhambi ,,bila kujali nimeendelea kufanya ivo, hata Leo nimefanya dhambi za kusudi kabisa na moyo wangu haukutaka kufanya ivo, eeeh mungu nisamehe dhambi zangu maana hakuna neno lolote nitasema ili kukushawishi unionee huluma , Bali ww uliniumba na unajua mapungufu yangu hivyo naomba baba isiniache
Amen God bless you
Nakupenda Yesu Kristo nakupenda Yesu waku kaanami
sasa jamaha yesu anazalika mungu mwenye nalimuomba mama yake na yesu alikuwa nani nauliza wacrito wote😂😅
Amen
Mwombe Yesu msamaha atakusamehe
Asifiwe bwana wetu yesu kristo kwa kazi alifanya musalabani ,kwakupingwa kwake tumeokolewa.
AMEN, YESU NDIYE NJIA NA UZIMA WA MILELE
Yesu ni mwokozi
Bwana wangu na Mungu wangu Yesu kristu.nisaidie nishinde vishawishi vya dunia hii.
Asante yesu
Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa kitu❤
Nitasimama mlangoni na nibishe kwa yule atakae fungua nitaingia maneno yake yesu ❤❤❤
Ooh LORD protect my entire family with your blood AMEN 🙏
Emungu unioneye huruma miye nimwenyethambi naomba uniyokowe na uniongoze siku zote za maishayangu thanks God bless me
Yesu ndie mulinzi wetu sote namupenda sana
Mungu wangu nakushukuru sana umbali umenitoa umbali unanipeleka wajua ww mbali mm sina budi kukushukuru
Asante mungu wewe ndio tumaini langu sitaogopa amina
Amina
Amina
Asante yesu
Tusamehe dhambi zetuuu heri umefufuka pasaka ya 2024 nafurahi kuitazama
Mungu tunaomba utusamehe dhambi zetu eeeh Baba 😢😢😢
Yesu ni muokosi wetu
Asante yesu kukubali kujitoa sadaka kwa ajili yangu mimi.
JESUS AM YOUR SON PROTECT ME AND MY FAMILY FROM ENEMIES AROUND US,ALL DEMON'S TO PASS AWAY AS I USE YOUR NAME 🔥
Asante Mungu kwa kutupenda ata ukamtoa mwanao wa pekee kwa akili yetu👋🙏🙏🙏nisaidie Mimi na wanangu tuone ufalme wa mbinguni
ASante mungu kwa kumtoa mwanao ili ateswe kwajili yetu
Asa ww unaabudu Nan mtoto wa mungu au mungu mwenyewe 😅😅😅
Yesu ni mwana wa mungu,tena ni mungu
😂😂😂Duh Mwana wa mungu halafu Mungu tena
😂😂@@binseif2216
Mungu wangu,,unasitahili kuabudiwa milele❤
Ninakupenda sana yesu mwana wa mungu emen.
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau kirwa arudi nyumbani kwa jina la yesu kristo amen
Bless me lord🎉❤
sifa,nguvu na utukufu ni zako Yesu Christo.Amen
Oh lord my God I repent all my sins and declare that I will serve you wherever I go all the days of my life,to reach out, Renew my salvation and use me according to your will..in Jesus name I thank and pray.Amen
Asante Mungu kwa kumtoa mwanao wa pekee ili afe kwa ajili ya dhambi zangu Amen 🙏🙏🙏
Yesu ndiye mchungaji wangu siku zote za maisha yangu Amen
And you too🇹🇿
E mwokozi wa Maisha yangu Nakuomba uzidi kupigania Maisha yangu, Amen Shallom 🙏
Yesu nipe ndoa yangu Baba
Rita yesu unitetee kwa mikono ya maadui kwa jina la yesu kristo amen
Tujuane ambao bado tunaagalia huu mkanda wa yes 2023
Rita yesu unikumbuke pamoja na familia yetu kwa jina la yesu kristo amen