SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 ноя 2019
  • SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    ruclips.net/user/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    ruclips.net/user/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:
    ruclips.net/user/playlist?list...

Комментарии • 619

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 4 года назад +80

    Kweli yesu ndio haki ya dunia unaona hawapingi quruan lakin biblia ni moto.

    • @nadhrakhamis7675
      @nadhrakhamis7675 4 года назад +54

      Waanzaje kwa mfano kupinga kitabu cha Allah wameamua kuipinga bibilia sababu sio kitabu cha haki

    • @wilsonuhenge894
      @wilsonuhenge894 4 года назад +7

      @@nadhrakhamis7675 haki inapatikana mahakamani baada ya ushahidi kutolewa, uwe wa ukweli au uwongo yote sawa

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад +6

      Wanapinga zote hakuna cha ukristo wala uislam huko. Sikiliza vizuri mpaka mwisho

    • @nadhrakhamis7675
      @nadhrakhamis7675 4 года назад +7

      @@edwardsichilengwe2330 nimewaelewa lkm nimemjibu uyo alisema yesu ndo haki ya dunia

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 года назад +12

      @@nadhrakhamis7675 sawa my dea, mi mkristo ila kila dini ni njema machoni pa mtu. Mungu haangalii we na Yesu wako wala mohamad ispokuwa matendo yako. Mimi kwangu dini zote ni bora kwa mwny dini, wazazi wng wangekuwa waislam ningekuwa muislam so swala la dini ni swala la kiimani sana

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 года назад +5

    Asante mungu kwa kuzaliwa tanzania

  • @solomonimkwere498
    @solomonimkwere498 4 года назад +194

    wasioo weza kuishi Korea kasikazini tutuane

  • @muhameeimamu677
    @muhameeimamu677 4 года назад +11

    Mm nmeipenda iyo ya kutembe na demu wako respect sana

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 4 года назад +97

    Ambao wangeweza kuishi Korea ya kaskazini kama mim, gonga like hapa tujuane.

  • @robsonwisdom4025
    @robsonwisdom4025 4 года назад +6

    Nashukulu mungu kwa kuzaliwa Tanzania mana yajayo

  • @iddynyaihere5424
    @iddynyaihere5424 4 года назад +9

    Nawapenda sana global tv mko vizr

  • @pendomvungi6538
    @pendomvungi6538 4 года назад +5

    Nmeipenda hyo sheria ya kuvuta bangi sana

  • @marympemba2878
    @marympemba2878 3 года назад +1

    Mtangazaji kazi yako nzuri na unaijua kweli kweli

  • @nassoromussa4440
    @nassoromussa4440 5 дней назад

    Hebu jaribu kufikiria Yale maisha tuliyoishi vjjni zamani hakuna shda chakula, hakuna magonjwa tuliyoletewa na wazngu, no stress ila ulivyoingia utandawazi wa wazungu ndoa hazieleweki, ushoga, usagaji, kujinyonga watu kupitia movie kwaiyo Korea kaskazn waliyajua na msichokijua wao ndo wanaishi vzr kuliko sisi tunaosema hatutamani maisha yao. Mfano wao waliamn Corona ni shetan aliyetengenezw na wazngu hvyo ukiingia umetumwa utakufa ni sawa na sisi tulivyoletewa na wazngu Sukari, Ukimwi, magonjwa mengi ya zinaa, cjui UTI yametoka wapi mbona zaman kulikuwa hamna .

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 2 дня назад

    Asante maana nilikuwa bize kutafuta passport yakwenda Korea🇰🇷2026 sasa nageukia upande mwingine Mungu Akubariki ❤❤

  • @mohamedkassimu8789
    @mohamedkassimu8789 4 года назад +5

    Endeleeni kuchimbua asili ya Nchi mbali mbali hongereni global tv

  • @omaryjuma4668
    @omaryjuma4668 4 года назад +6

    bless sauti ya ghetto.... darboi

  • @Rojo_Rojo
    @Rojo_Rojo 4 года назад +28

    Simulizi yako nzuri sahuti nzuri pia bigup kaka

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 года назад +19

    Waliojikuta hawatamani kwenda hata bure tujuane hapa

  • @prosperswai490
    @prosperswai490 4 года назад +6

    Uyu rais ni noma sana ndo maana corona haijagusa nchi yake na alitangaza kuwa mtu atakae kutwa na corona hana haki yake ni chuma tu

    • @EmmanuelLupoja
      @EmmanuelLupoja Месяц назад

      😂

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv 2 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 4 года назад +12

    Kwako zuri kijitengemea safi sanaa,nimependa sana

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 года назад +29

    Kumbe ndo maana marekani alitaka kuchokoza vita akashindwa 🤣🤣

    • @japhetpaul8132
      @japhetpaul8132 4 года назад

      Salim Mohamed Salim Raivan

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 3 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😉

    • @tiktokboy6791
      @tiktokboy6791 3 года назад

      Dah asante sana kaka nashkuru bora nishindwe kaburini kuna sheria zake lakini sio Korea

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 года назад

      🤣😂😂😂😂😂 hatr na nusu yake

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv 2 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @kilimanjaro_media
    @kilimanjaro_media 4 года назад +8

    Anayesema kuwa hii story ingesimuliwa na Ananias Edgar ndo ingenoga zaid Fanya kugonga like kama zote

    • @zulfahhussein505
      @zulfahhussein505 4 года назад

      Kabisaa ingelinoga sanaa
      Sijuwi kwanini hawakumpa hii story

  • @boazambokile7060
    @boazambokile7060 4 года назад

    Upo vizuri boss

  • @sultansaidisaid-ft6yv
    @sultansaidisaid-ft6yv 21 день назад

    may almight lord give you long life his excelence

  • @sofiaasukuku8238
    @sofiaasukuku8238 4 года назад +17

    Izo ndosheria za Musa Sasa ,,watanzania wengi wanaweza kuhishi Korea sababu ya bangi tu

  • @arunamwaholi1351
    @arunamwaholi1351 4 года назад +3

    Jamaa nomaa sana kungozana na mpenzi wako barabarani azabu yake huiwezi kuihimili hata kidogo daa hatari sana

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 года назад +9

    Mungu mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa ni Allah na Muhammad nimtume wake na Issa yaan Yesu ni mjumbe wake pia Hivo tulielewe vyema stay safe and your family Corona is Dangerous virus From Tanzania🇹🇿🇹🇿

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 года назад +3

      Allah ni Mungu wa Waarabu, Muhammad ni Mtume wa Waarabu acha kujivuruga

    • @happinessmillanga982
      @happinessmillanga982 4 года назад

      Nani anarudi mara ya pili ni Muhammad au YESU?

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 года назад

      @@happinessmillanga982 Anarudi anaenda Wapi Africa ama Israel kwao??? Izo ni story za alinacha hakuna Yesu anarudi.

    • @jouzemussa5505
      @jouzemussa5505 4 года назад +2

      Amin unachokiamin kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyew

    • @michaelsiweya6500
      @michaelsiweya6500 4 года назад +1

      Achaneni naye huyo.. Hayupo tofauti na sheria za korea kaskazini maana wao wanaamini katika mambo ya kihuni tu

  • @beliusdaud4866
    @beliusdaud4866 4 года назад

    Daaah that is very crucial to know

  • @arunamwaholi1351
    @arunamwaholi1351 4 года назад +14

    Kwenye sili hapo ndo marekani wameshindwa had leo jamaa hawaingiliki kabsa japo wavuta bangi wako makini na kutunza sili zao

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv 2 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 года назад +8

    Number 4 💪

  • @aishamustapha7381
    @aishamustapha7381 3 года назад

    Mmmh!!kweli noma sana

  • @robertmrosso2901
    @robertmrosso2901 3 года назад

    Mtangazaji uko vizuri

  • @saidiyusuph964
    @saidiyusuph964 4 года назад

    Hongera,sana! Ila nawachukia wanaobeza wakati hawajui chochote!

  • @ablysonco8850
    @ablysonco8850 4 года назад +45

    KWELI HAWA WOTE N WAVUTA BANGE MAANA SHERIA ZAO TUU ZIMEKAA KBANGE BANGE TUU MWANZO MWISHO....

  • @kevinmasinde6699
    @kevinmasinde6699 4 года назад

    Cheers kim

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 4 года назад +13

    Ebu fikiria ingekuwa umepigwa marufuku kuingia Dar hii ingekuwa noma sana.

  • @sele2507
    @sele2507 4 года назад +23

    Kila mtu anataka like hamtoi hamtoi mawazo

  • @philomenasjohn9083
    @philomenasjohn9083 4 года назад +12

    Hii ni hatare sana

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 4 года назад +44

    NI KOSA KUINGIA MJINI BILA YA KIBALI HII NOMA SANA .

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 4 года назад +3

    Mm Katina yoote nimependa vitu viwili
    1.Kukataa haya madini ya kuletewa.
    2.Kuruhusu bangi.

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 4 года назад +30

    😂😂😂😂😂nasemaje asant Mungu kwa kuzaliwa tz tz ni laha tuu afrika nzima tanzania laha tuu nasema mataifa ya kitajili mengi ayana amani bola sisi masikin tunakula lahaa atali Mungu ametubalik fraha na kila kitu asante Mungu

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 года назад

      Kwel

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 4 года назад +1

      Jifunze tofauti basi ya R na L huenda kwenye kuongea kwako ukawa una tatizo hilo ila ni la kimaumbile na ni ngumu kulirekebisha🙏🙏ila kwenye kuandika unaweza kabisa kulirekebisha.Laha(Raha) utajili(utajiri) bola(bora)baliki(bariki)

    • @pilatoonlinetv9660
      @pilatoonlinetv9660 3 года назад

      We mjinga kabisa unajua nch ngapi hapa afrika?
      Ulizia maisha ya Botswana, uliza Maurtius uliza cychelas .!!

    • @chamblainreuben7431
      @chamblainreuben7431 2 года назад +1

      Asante YESU kwa kuw mtz

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql Месяц назад

      ​@@Pedeshee01😢😢😢😢😢 acha bwan mwenzio ajiskie amni😮

  • @amanhassan7460
    @amanhassan7460 4 года назад

    hyo number 7 sheria ni nzuri

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 4 года назад +29

    Kama unamtaka/umemiss Ananias Edgar tujuane 😎😎😎

    • @kissomundende3696
      @kissomundende3696 4 года назад

      Mambo uko pouwa mage.... naomba unicheki number zangu hizo 0719619494

    • @titomhagama5545
      @titomhagama5545 3 года назад

      Najiskia upwekee kutosikia Edgar voice

  • @reubendick4033
    @reubendick4033 4 года назад +7

    Nashukuru kuzaliwa tanzania

  • @taucymadebe7133
    @taucymadebe7133 4 года назад +2

    Duuuuuh, nchi nzima ni wavuta bangi😃😃😃😃😃😃😃

  • @obagoabhiathan3565
    @obagoabhiathan3565 4 года назад +14

    Jamani wale ambao wanaamini kuwa wanaweza kutoboa maisha ya KOREA KASKAZINI mpaka mwisho... Tujuane kwa like

  • @ismailmbogo3408
    @ismailmbogo3408 4 года назад +9

    Uyo jama ni jini

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 Год назад

    Hiyo safii, Ila kwa wavutabangi wamewaweza wavute mpaka waoge zingine kichwani,pangekuwa ha tz duuuuh,sijui tuuu🙉🙉🙉🙉🙉

  • @aokinsindi6948
    @aokinsindi6948 3 года назад +1

    Kwani Bado inatawaliwa na makaburu??haijapata Uhuru Wake duu!!ni shiida ndani ya shida 😁😋😁🤒🇹🇿🙏🙏

  • @saidimwishehekienda933
    @saidimwishehekienda933 4 года назад +6

    Asilimia 100 ya taarifa yako umekopi toka ktk media zinazoendeshwa na wamarekani au watu wa magharibi zimejaa majungu na propaganda na siasa chafu. Fanya tafiti ili uandike mwenyewe ulichokishuhudia. Hakuna ukweli wowote ktk mengi uliyoyasema........tulikua huko last summer .........

  • @user-go3bk6wr8u
    @user-go3bk6wr8u Месяц назад

    Usisahau na za kwenu tanzania uchaguzi unasimamiwa na wakurugenzi wa serikali husika
    Tume ya isiyohuru na matokeo kumiywa.

  • @saidydoe9260
    @saidydoe9260 4 года назад +2

    Hii sio nchi ya kuishi kabisa

  • @hhusseinsherally8554
    @hhusseinsherally8554 4 года назад +1

    Safi sana
    Lakini mbona unarudiarudia dini umesema zaidi ya mara mbili pia unasema hii ya mwisho lakini bado unaendelea bro acha kuchanganya kuchanganya

  • @kingafrojr6970
    @kingafrojr6970 4 года назад +4

    I see hatareeeeeeeeeeeeee yani motoooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @mustafamchucha4199
      @mustafamchucha4199 3 года назад

      northen Korea wananchi wafungwa kiongozi ckyama motoniwako

  • @salumnangomwa2000
    @salumnangomwa2000 4 года назад

    Asante

  • @kauresand8181
    @kauresand8181 4 года назад +9

    Looo bora nilivyo zaliwa Tanzania maaana😕😕

    • @saidathumani913
      @saidathumani913 4 года назад

      kaure sand duh!!

    • @Urgrlnut18
      @Urgrlnut18 3 года назад

      Tanzania sihami😂😂😂😂😂
      Korea noma😅😅😅

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 года назад +3

    Weeeee ivi ni kweli au

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 года назад +17

    Usiri wa nchi yao ndio maana Wamarekani wamewashindwa. Raisi wao mwenyewe nalingana nae😂😂😂😂

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 4 года назад +1

    Safi Sana, na sisi Tz tungekuwa na misimamo ya mila na desturi zetu.

  • @Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
    @Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq 6 месяцев назад

    asanti Sana kwa kutuelimiza

  • @taucymadebe7133
    @taucymadebe7133 4 года назад +1

    Hahahahahaaa, no kubusu no ku'hag daah!! Ingekuwa bongo mbona ingekuwa ni noumaa

  • @robertmbisse8485
    @robertmbisse8485 4 года назад

    uko vzr kaka simulizi kali hizo

  • @mbanguluzito5496
    @mbanguluzito5496 4 года назад +22

    Upo sawa ila ananias edgars is the best

  • @ryobajohn7177
    @ryobajohn7177 4 года назад +1

    Ediga wapi

  • @rizikiruta4676
    @rizikiruta4676 4 года назад +8

    Tulete na Korea kusini

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 4 года назад +8

    Haki za vyombo vya habari mbona hawaendi huko wakakione cha moto, wanatuparamia tu afrika maana walishatuona sisi hatunazazo,

  • @kefaphilipo8060
    @kefaphilipo8060 3 года назад

    Sauti yako ni nzuli Sana Yaani na iipenda Sana

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Год назад

    Asante studios

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 года назад +2

    Siyo kweli kuhusu biblia,korea kaskazini kuna makanisa,mambo mengi unayosema hapa ni copy and paste toka kwenye propaganda za marekani

  • @bama9271
    @bama9271 4 года назад

    Hatari kweli

  • @mhthesamemh7303
    @mhthesamemh7303 4 года назад +2

    Wapo sahihi mm naheshimu sheria zao

  • @zkiduku4068
    @zkiduku4068 4 года назад +1

    Daah bora nilivo zaliwa Tanzania

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 года назад

    Corea ya kaskazini safi sana wallah raha sana kuishi

  • @wilsondomisian8680
    @wilsondomisian8680 4 года назад +2

    Iv mbona nchi nyingi mwafirka wamo kibao vip huko korea wapo

  • @swahilinationfilms8494
    @swahilinationfilms8494 4 года назад

    sawa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 года назад

    Sheria nyingn Safi mpk Marekan mwenyew mjuaji kashindwa

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 4 года назад +25

    NIMEZIKUBALI PIA NIMEKUA WA KWANZA COMENT
    LIKE TO ME PLS

  • @zuukhayrah6621
    @zuukhayrah6621 2 года назад

    Mm nimependa kua hakuna ukristoo mana si dini hta km uislam haupo nao ila ukiristoo umekanwa wazi wazi noma kweliiiiiii

  • @nyotaolomwene9005
    @nyotaolomwene9005 3 года назад +1

    So how they live? i can't live in that life did they happy to living there?

  • @hahmadhabibu2076
    @hahmadhabibu2076 4 года назад +4

    Hata CANADA bangi ni legal..watu wanavuta bangi wazi kbs

  • @rashidbakari4882
    @rashidbakari4882 4 года назад +2

    Natamani izo Shelia ziwepo Tanzania hasa uhuru wa Kuvuta Bangi

  • @rosemosha4121
    @rosemosha4121 Год назад +1

    Kiboko hiii ,🔒🔒🔒🔒

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 4 дня назад

    Hii nchi umbea hakuna ,uzinzi ,hakuna ubakaji ,hakuna ushoga ,hakuna ulawiti hakuna na mengi tu hapo ,bangi sio lazima uvute , shida tu wakristo hatutaweza kuishi

  • @franktimothkisimbo5354
    @franktimothkisimbo5354 4 года назад +8

    Hii ya kutoroka jela aadhibiwe hadi mjukuu

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 4 года назад

    Hiyo nchi ndio Wana enjoy maisha kwasababu wanajipangia wao safi

  • @magembemartinimartinimagem5269
    @magembemartinimartinimagem5269 3 года назад +1

    Nice

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 года назад +1

    Dahhhhh hii nchi ni ya kipumbavu

  • @dearmama7865
    @dearmama7865 4 года назад +15

    Sheria hizo zikiletwa tz watakaoish town Ni 20%

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 года назад

    Twamasiku mpoki nguponiya🤗

  • @yohanacharles5758
    @yohanacharles5758 3 года назад +5

    Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 3 года назад +1

    Nampenda huyu rais

  • @chescomwakipese3422
    @chescomwakipese3422 4 года назад +8

    Wapuuz tu

  • @tresorkingombe6230
    @tresorkingombe6230 2 года назад

    Napenda ih yocheriya yakutokuwa nadini wamefanya vizuri madininiya uongo Awa watu awataki danganyiwa nawazungu awataki

  • @swaggagamingtv6841
    @swaggagamingtv6841 4 года назад +11

    kim jong-un anamiaka 35

  • @benmushi6335
    @benmushi6335 4 года назад +3

    Dah sasa kuna RAIA wa nchi zingine kweli huko asee

  • @khalidali1130
    @khalidali1130 4 года назад +1

    Mimi nchi ingenishnda ..hata ile ck moja nsingeweza kuushi kabisa bora uwe mfungwa wa Tanzania

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 4 года назад

    Ha ha ha ha ha ha ha ha kweli kazi ipo vyote vizuri ila tatizo Mambo ya Mungu wamenyimwa haki

  • @user-qi8ct9zk2h
    @user-qi8ct9zk2h Месяц назад

    Wish was born there❤

  • @user-kh1me7py6y
    @user-kh1me7py6y 4 дня назад

    Watanzania wenzangu tuendelee kuilinda Amani ya nchi yetu Tanzania

  • @lauedwardwilliam8582
    @lauedwardwilliam8582 4 года назад +2

    Kwenye TV ya serikali noma sana😂😂😂😂

  • @madilisindato7994
    @madilisindato7994 4 года назад +3

    🍺

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 года назад +1

    Kweli kuishi kwingi kuona mengi nime chukia kila kitu ata nipewe bure siwezi chukua ati bibilia kumiliki nikosa wa ipo siku yata pita.2

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 2 года назад

    Mbona ni noma.sana.