MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 май 2019
  • MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana!
    Tangu Libya ipate uhuru ile 24 Desemba, 1951 wenyeji walibakia kuchunga mbuzi na ngamia huku wageni wakichimba mafuta na kwenda kujenga Ulaya na Marekani.
    Kuzaliwa kwa Gaddafi katika mwaka na mwezi usiojulikana ilikuwa ni ukombozi wa Libya na watu wake. Huyu bwana alizaliwa katika kabila la watu wasiojua kusoma na kuandika hadi kushindwa kurekodi kumbukumbu zake.
    MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana!
    MUAMMAR GADDAFI: Rais Aliyeuawa Kama Kuku / Kazikwa Kusikojulikana!
    #LIBYA #HISTORIAYAGADDAFI
    #MUAMMARGADDAFI
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Комментарии • 507

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 лет назад +89

    Wazungu wamekuwa vikwazo vikubwa vya maendeleo ya nchi za kiafrika na mbaya zaidi wakitumia njia nyingi kama kutoa elimu bure,misaada ya afya, dini nk,kumbe wana malengo ya kuwanyonya waafrika..wananchi walidanganywa kwamba watakua na maisha mazur baada ya kumpindua Gadafi..sasa leo Libya ina maisha magumu kuliko walivyotarajia....Libya laana mtazipata kwa kumuua aliye wakomboa kutoka kwenye mateso na ubaguz uliokithir kwa kuwatesa waafrika

    • @matopaulo622
      @matopaulo622 5 лет назад +3

      Mungu akulaze mahali pema gadafi kwa mema yote uliyofanyia wananchi wa libya

    • @didassadik8075
      @didassadik8075 5 лет назад +2

      Africa hovyo kabisa

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 5 лет назад +3

      @@didassadik8075 ..ni kweli,tuna viongoz waongo, wanatulaghai na kusaliti sheria kwa ajili ya kulinda kura ndani ya nchi zao,nnje ya nchi za kiafrika hakuna umoja, na kila nchi ina utaratibu wake wa kupambana na matatizo..hata km adui ni mmoja anaepiga nchi fln zile nyngne zitaangalia tu..hata gadafi asingeuwawa ila udhaifu wa wapenda madaraka ya afrika walikaa kimya na kutizama tu..hata leo akapigwa mwingne atatixamwa tu

    • @isayaublikiwefeliciansan1514
      @isayaublikiwefeliciansan1514 5 лет назад +3

      Jamani Yesu anaokoa nawokovu ni hapa Duniani ndio maana wokovu wa libia hauku dum

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 5 лет назад +2

      @@isayaublikiwefeliciansan1514 Anaekuletea habar hiyo anacheza mikanda ya x na huku akikuzuga tu,huoni makanisa mengi na miziki mikubwa huku ulimwengu ukizid kupata majanga makubwa ! Mwisho mtatawaliwa baada ya kupumbazwa na hizo kauli

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 5 лет назад +35

    Woow what a voice you have sweet voice brother. History iko poa sana

  • @tematema3101
    @tematema3101 5 лет назад +42

    Napenda maneno unayo pitisha kati big up

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 лет назад +29

    Duh ! Mashallah Allah amrehem ampe makaz mema alipo !

  • @b.truthful
    @b.truthful 5 лет назад +13

    Kaka Hongera kwa kazi bora kwa hakika Africa lazima tujiulize je tumekosea wapi maana kumpoteza Gadafi ilikuwa pigo kubwa sana kwetu

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 5 лет назад +26

    Hii ni zaidi ya Black Panther kwa utamu kumbe history ukipata mwalimu mzuri hv raha sana

  • @isaacnewkaboy9132
    @isaacnewkaboy9132 5 лет назад +141

    Watu tuko live na maisha... Kama naww ulikua unaisubili kwa ham gonga like

    • @lusajomwankusye602
      @lusajomwankusye602 5 лет назад

      Mtalia mpaka chozi la damu mtamkumbuka raisi Gaddafi

    • @frankrobson9829
      @frankrobson9829 5 лет назад

      Mungu alitoa Mungu ametwaa jina la Bwana libarikiwe

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +21

    historia nzuri sana ya Gaddafi tuletee z ingine zaidi hongera kazi nzuri

  • @mohamedabu3268
    @mohamedabu3268 5 лет назад +5

    Wow. Amazing Gadafi. mungu amlaze pema. Na mungu amemhifadhi Gadafi. Kisa cha ajabu ya Gadafi

  • @chavalabrandtv5315
    @chavalabrandtv5315 5 лет назад +7

    Nakukubali sana kwa historia zako nzuri

  • @ngenzisaid7344
    @ngenzisaid7344 5 лет назад +34

    Gaddafi Nick name yang hii scl dah nilikua namwelewa sanaa mzee huyu

  • @maintenancews4200
    @maintenancews4200 5 лет назад +7

    UJUMBE na VIBWAGIZO ni BURUDANI tosha,hongera sana MTANGAZAJI.

  • @zulfajuma9897
    @zulfajuma9897 5 лет назад +18

    daaah napenda sana history, unasimulia vizuri mpk raha , ubarikiwe

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 лет назад +7

    Safi sana mwamba, tunaipenda huduma yako.

  • @allyramadhani9664
    @allyramadhani9664 5 лет назад +8

    thanks brother for good information.
    Gaddafi rest in peace.

  • @munirayakoub3682
    @munirayakoub3682 5 лет назад +23

    Pumzika kwa amani baba na ramadhani hii sisi tuna kuombeya:wata tafuna karanga sasa:wema wako umefika mbinguni

  • @youngmreno9931
    @youngmreno9931 5 лет назад +1

    Dah! Nimeenjoy sana kwa historia, hongera nyingi kwenu Muandaaji na Msimulizi

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад +23

    Mpagaze barikiwa
    Ananias barikiwa
    Sitamani hata iishe
    Yaani Wa Libya
    Watapata tabu sanaa
    Kwa kumkosa Gaddafi

  • @andurubuchite7497
    @andurubuchite7497 5 лет назад +4

    Aise upo vizuri mwamba

  • @frolamrema3683
    @frolamrema3683 5 лет назад +2

    Mtangazaji nimekupenda maana unatuletea habari nzur! Love u!

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 5 лет назад +7

    Kweli histori ya Kadhafi inaskitisha Sanaa mungu anamlipia sikuzote nawanajuta walibia kila siku

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 года назад +2

    Wee kaka mashallah mtangazaji mpaka rahaaa

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 5 лет назад

    Jazakhallau hkeri, sheikh muamar gaddafi

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 5 лет назад +10

    Dah inauma saana, kila nikisikia historia yake bac machoz yananilenga. Mwenyez Mungu ambarik na amrehemu

  • @georgewilliam1999
    @georgewilliam1999 5 лет назад +7

    Shukulani sana bro nice history

  • @Prince-hf7zr
    @Prince-hf7zr 5 лет назад +3

    Gaddafi atabaki moyoni mwangu milele,,, Raisi aliyejali masilahi na maisha ya watu wake .... Rest in Peace Gaddafi Allah is with you ever

  • @DFIGHTBOY
    @DFIGHTBOY 29 дней назад +1

    In Africa, we live in unity❤❤❤❤

  • @benardbwekeriab9817
    @benardbwekeriab9817 2 года назад +1

    Daima mimi Muafrika🇰🇪. Nilizaliwa afrika na ntazikwa Afrika. Mungu ibariki Afrika bara langu 🌹

  • @bigirimanadieudonne5747
    @bigirimanadieudonne5747 5 лет назад +28

    ya allah jalia uislam utawale ulimwenguni wote. allahum amin

    • @doforlovetv7391
      @doforlovetv7391 5 лет назад

      Magaidi 😂😂😂😂😜😜😜

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 лет назад +2

      Ili muue adi kuku wetu😂😂😂😂😂😂😂😂aiji kutokea iyoo atae tawala soon ni shetani tuuu ndipo yesu atakapo shuka kuja kuhukumu ulimwengu na wakristo wataishi miaka 1000 bila magonjwa wala vita ila uislam kutawala dunia iyo aipoooo tena saau mimi namuomba mungu uislam uishe kbs ata apa Tanzania waislam wafukuzwe kama Ile nchi ingine wamekataza uislam kbs maana nyinyi watu ni magaidi alafu mnafuga majini amfai kbs apa duniani

    • @abubakaromarkhan1398
      @abubakaromarkhan1398 5 лет назад

      Ameen

    • @williamignas9909
      @williamignas9909 5 лет назад

      Mtu mweuc na akili nyeuc!!!din zililetwa hiz

    • @seifmassoud2686
      @seifmassoud2686 5 лет назад

      Francis loan soma utoke ujinga utajua dini gani itakujakusimama nakuongoza tena dunia kama ilivyokuwa huko nyuma tunakotokea

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад +5

    Nilikuwa nasubiria sana hii story ya Gaddafi asante ananisedgar

  • @amonfelix625
    @amonfelix625 5 лет назад +67

    Haya ndio tuliyokuwa tunasubiri sio km wengine kutuandkia umbea tu.. Safi mpagaze pmoja na edger

  • @tatuyussuf7574
    @tatuyussuf7574 5 лет назад +3

    Unasimulia vzr kabisa mpaka nilikua natamani isiishe.. ubarikiwe broh...

  • @geographyteacher.2961
    @geographyteacher.2961 5 лет назад +22

    bonge la funzo kwa waelewa. Kazana bro

    • @divasonmoke8009
      @divasonmoke8009 5 лет назад

      haya ndo mambo ninayoyataka humu sio vitu vya ajabuajabu

  • @igobekomagessa5463
    @igobekomagessa5463 5 лет назад +4

    Kwa Mara ya kwanza kutoa comment kwenye mitandoa...safiii bro endelea kutuelimisha

  • @kingsaid5984
    @kingsaid5984 5 лет назад

    Shukrani

  • @richardalex9013
    @richardalex9013 5 лет назад +18

    Tunasubiri Moto wa Mpagaze na Ananias Edgar!!!!

  • @paulinesengasu5779
    @paulinesengasu5779 5 лет назад +2

    Jamani mtangazaji nakupenda beautiful

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 5 лет назад

    Ahsante ni nzuri sana kuisikiliza

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 5 лет назад +1

    Shukrani kwa Elimu

  • @christophersoty101
    @christophersoty101 5 лет назад +2

    Makofi yasiyo na idadi kwa brother EDGA 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 we jamaa unajua mpaka homa

  • @fotunatuskisunga229
    @fotunatuskisunga229 5 лет назад +44

    tuleteee historia ya osama bin laden

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 5 лет назад +17

    SAIZ WANAISOMA NAMBA MANINA ZAOOOO...WAZUNGU SIO WATU

  • @zenamilanzi1471
    @zenamilanzi1471 5 лет назад +2

    Mwenyezi mungu a laze Kahala pena amini

  • @mohamedothman9769
    @mohamedothman9769 5 лет назад +3

    Hongera kaka. Ila kuna umuhimu wa watu kusoma vitabu. Vipo maktaba

  • @rogatiusscarion726
    @rogatiusscarion726 5 лет назад +11

    Kwa sisi wadogo tunaokua tutaenzi na kendeleza Kila liliokuwa wazo lake juu ya Africa na nchi zetu kiujumla
    Mungu ailaze maala pema roho ya shujaa huyu

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 5 лет назад +7

    We kaka nakukubali kwa Utangazaji wako Unavutia sana.kama unamkubali Ananias Edga kama mim Nipe like

  • @jumampayage9355
    @jumampayage9355 5 лет назад

    Dah asante tunashukuru sana kwaisitoriya

  • @DIweni
    @DIweni 5 лет назад +10

    Ananias Edgar linapokuja swala la simulizi huna mpinzan kwa sasa,ila Libya naomba waendelee kuisoma had warudi kwenye nyakat za mfalme Idrisa nchi ibaki jangwa

  • @noelsilaa66
    @noelsilaa66 5 лет назад +33

    Mtangazaji anaweka point alafu kwenye maelezo anachamba kwanza😂😂😂

  • @inocentmarandu3323
    @inocentmarandu3323 5 лет назад

    Upo vizuri sana

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 лет назад +10

    Wazungu Sio Vikwazo Vikwazo Viko Kwa Waafrika Wenyewe Mi Waribya Hata Wakiuwana Sawa Tu Kiukweli Walitenda Kosa Kubwa Sana Wacha Wapungue Tu Kosa Kubwa Sana Kuua Raisi Anaejenga Miundombinu Ya Kuwasaidia

  • @KonshaziKonshazi
    @KonshaziKonshazi 5 лет назад +2

    👏👏👏👏story inafundisha

  • @jumajinonda3350
    @jumajinonda3350 5 лет назад +3

    U r so smart broo! Respect to u

  • @nisilesanga3602
    @nisilesanga3602 4 года назад +1

    Safi sana bro

  • @meritinakashaba968
    @meritinakashaba968 5 лет назад

    nafurahi sana kwa story mnazotupa kwani tunapata kujua historia mbalimbali Shukran sana

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 5 лет назад +4

    Inallillah waiynalillah rajiuin

  • @martinmedard4424
    @martinmedard4424 5 лет назад

    Asante kwa makala

  • @asktv382
    @asktv382 5 лет назад

    hongera sana fundi wa kuturetea story tamu abazo hatukuzijua

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 лет назад +1

    Allah akuhifdh colonel

  • @johnmajiranga5937
    @johnmajiranga5937 5 лет назад

    Asante kaka, ngoja niitafute

  • @sarahmackenga1191
    @sarahmackenga1191 5 лет назад +1

    Am speechless , nice story

  • @maimunakankaa9119
    @maimunakankaa9119 5 лет назад +1

    Nilikuwa namkubali sana allah ampe rehma pumzika kwa amani

  • @bennympatanishi8341
    @bennympatanishi8341 5 лет назад +8

    Uko vzr sana, hakika unavutia kufuatilia simulizi zako.
    Big up

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 5 лет назад +1

    Daaahh roho inaumaa sanaa

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 5 лет назад

    Hongera nimeipenda

  • @ochutzboy5631
    @ochutzboy5631 5 лет назад

    Hii nzuri

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 4 года назад +1

    mungu akupumzishe kwa amani baba kwa raha ulizowapa.wananchi wako. lakujifunza hapa ni kumsaport magufuli anafata nyayo za gadafi kuleta miradi mikubwa kukomboa tanznia tusikubali chokochoko kama za walibya tuwepamoja na jpm atukomboe wa tanzania we must support mzalendo mh raisi magufuli mda si mrefu tutaona manufaa ya uzalendo kwa utajiri wa nchi yetu kama elimu bure huko mbele hata umeme maji sio ngumu kua bure pia mh.raisi tuko nyuma yako baba wanao vijana wa nchi hii tunakusapport

  • @burkardkayombo5271
    @burkardkayombo5271 5 лет назад +33

    Rais Muamal Gadaff alikuwa jembe, siku zote chema hakipendi.

    • @semanasitv8303
      @semanasitv8303 5 лет назад

      gadafi alichangia uganda kutupiga

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 лет назад

      @@semanasitv8303 soma historia ya dola ya Afrka mashariki utajua ni kwa namna gani Ghadaf alimsaidia Idd amin kuipiga Tanganyika, pengine usingekuwa na maisha mabovu km yaliyopo TZ leo

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 лет назад

      Tatizo ni lile moja tu, kusoma. Watu wametosheka na historia tulizolishwa shuleni za matango pori ambazo hata waliotutawala hawazisomi hizo. Jamani kusoma vitabu mbalimbali ndio kutakakotutoa ktk huu ufungwa wa kifikra. Tusome

    • @josephatkimbavala4343
      @josephatkimbavala4343 5 лет назад

      libiya sasa ivi umekuwa uwanja wa mapambano

  • @fanuelmasano5751
    @fanuelmasano5751 5 лет назад +4

    Ni kweli kabisa bro, ukipigania haki hapa tz unaitwa mchochezi, na marufuku nyingi ni hofu kwa serikali isiyojiamini !

  • @hamiswilson2455
    @hamiswilson2455 5 лет назад

    Daaah!! Vizuri sana annias kwa simulizi nzuri.R.I.P Gadaffi . Walibya watajuta sana

    • @SM-fu1yv
      @SM-fu1yv 9 месяцев назад

      Gaddafi kai rani Libya iti zame leo hii

  • @isayaublikiwefeliciansan1514
    @isayaublikiwefeliciansan1514 5 лет назад +6

    Kama kwaoalio walisha kadafi wamsu tu nihaki lakini wokovu wa kweli ni kwa YESU walio mpokea hawajuti wakifa zao peponi wanao mwamini kadafi sasa angalia nimajuto tu wakuaminiwa ni YESU

  • @emmanuelsamwel2865
    @emmanuelsamwel2865 5 лет назад +2

    Nakutumia vocha aki ya mungu

  • @sagatekhojr7068
    @sagatekhojr7068 5 лет назад +4

    brother !!!mungu akubaliki!!snaa!!una kipaji kikubwa sna!!!nafulahi!!najifunza!!na elimika!!piah

    • @sagatekhojr7068
      @sagatekhojr7068 5 лет назад

      nimejiunga!!!na club ya global!!tv mimi nikuwa naomba kukutanishwa na eric shigongo!!ama!!member yoyote!!!mwenye dream kam!!mimi!!hasa motivation spker

    • @globaltv_online
      @globaltv_online  5 лет назад

      Asante sana

  • @barakalangia5703
    @barakalangia5703 5 лет назад +7

    R.I.P Gadafi kweli Waafrika tunajitafuna wenyewe pasipo kujielewa, tunagombanishwa na Wazungu ili kuendelea kuishusha chini Africa

    • @veilakimei8677
      @veilakimei8677 5 лет назад

      Hongera sn Gadaphi Mungu akupe pumziko LA kweli

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 5 лет назад +30

    Hivi Libya nini tena mlitaka jaman mkamsaliti Rais wenu? Raha zote hizo jmn bado mkamfanyia unyama mkubwa huo😢😢 kweli penye miti hapana wajenzi

  • @congoswahilitv6465
    @congoswahilitv6465 5 лет назад +3

    una juwa kuhongea sana from USA 🇺🇸

    • @ipyanamwambona2638
      @ipyanamwambona2638 4 года назад

      Ndio vile hip ni Bongo, Dar er Salaam, Tanzania, East Africa, ni Hatariiii!!!!.

  • @hajjiqasim5977
    @hajjiqasim5977 5 лет назад +1

    Kubari sana mtangazaji upo nice sana

  • @nicksonbedaus6449
    @nicksonbedaus6449 5 лет назад +15

    Libya awatompataga mtu kama Gaddafi wanajuta kwa nn walimsaliti

  • @peterjohn2854
    @peterjohn2854 5 лет назад

    Umetisha kwa makala hii

  • @eliyahsakaika8641
    @eliyahsakaika8641 5 лет назад

    Safi sanaaaa

  • @buzaonlinetv2486
    @buzaonlinetv2486 5 лет назад

    Very nice this story

  • @liberatuthandrew6257
    @liberatuthandrew6257 5 лет назад

    Uko juu

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 лет назад

    asantee broooo

  • @sumeiya-519
    @sumeiya-519 5 лет назад

    I salute ur job... Rada yako iko sawa kbsa

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 лет назад +3

    Kama Kuna Mtu Unausika Kutoa Uduma Bola Mungu Akuchukue Wewe Ufai Kua Ulimwenguni Mungu Atupendi Watu Wasiofuata Shelia Za Kazi Zao Mungu Wavune Watu Wanaojiita Miungu Watu

  • @mzakiruhamisi8809
    @mzakiruhamisi8809 5 лет назад +1

    mungu aKurazimaari pma

  • @kubomaalim6495
    @kubomaalim6495 3 года назад

    Mungu amzidishie kutokana na wemaweke

  • @daviskinuthia6494
    @daviskinuthia6494 4 года назад

    I like how yu narrates

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 лет назад

    Allah akuhifadhi Gaddafi akulipe kila jema

  • @aristidearistidemutatuzi7801
    @aristidearistidemutatuzi7801 5 лет назад

    Mouamar Gaddafi mungu akulaze mahali pema

  • @jacksonmgaya5625
    @jacksonmgaya5625 5 лет назад +6

    Dah mkuu hizi makala ndo dawa yangu asante sana

  • @sagatekhojr7068
    @sagatekhojr7068 5 лет назад

    nakubali sna!!kka

  • @kiotakibovudaresalaam3632
    @kiotakibovudaresalaam3632 5 лет назад +2

    Tipatie story za mengi Mzee wetu mungu amrehemu

  • @danielyolengweku2216
    @danielyolengweku2216 5 лет назад

    daaah nimeipenda sana

  • @lutundujafau6020
    @lutundujafau6020 5 лет назад +14

    Waafrican bado hatujajielewa hilo tu,,,,🤔🤔🤔

  • @isadivanny
    @isadivanny 5 лет назад +31

    Like zenu waungwana

  • @michaeljoseph9903
    @michaeljoseph9903 5 лет назад +6

    Muamali gadafi alikuwa anacheza nao kwa hakili MUNGU akulaze mahali pema pepperoni AMEN

  • @goldenboytiger799
    @goldenboytiger799 4 года назад

    Wow goldenboy msafi kutoka Kenya shabiki yako saana salute mkuu

  • @juouannaingabire4426
    @juouannaingabire4426 3 года назад

    your voice kills me🙈🙈♥️, courage vraiment

  • @s.simponda138
    @s.simponda138 5 лет назад +11

    😂😂😂😂napenda saana unavyosimulia brother!