Ahsante sana Global TV kwa makala za ki historia. ila kama mdau wenu nawaomba mtuchambulie pia historia za maisha ya Viongozi hawa wa Marekani na Iran. Hatujui Confidence zao zilianzia wapi ila Tunaona tuu vitisho na vikwazo vya kisiasa. Otherwise mi nawapongeza mana mko sahihi katika makala zenu
Ahsante sana global tv kwa kutuletea habari za ki histolia sasa tunaomba simulizi na histolia ya saddam hussein aliyekua rais wa iraq kuzaliwa mpaka kunyongwa ahsante
Jamani kuna watu wana akili saana hapa duniani wengine tupo tu. Kupanga big operation kama hii in few days salute to them. Mkiona watu wanapata mishahara mikubwa mnalalamika anafanya kazi gani. Hii ilitakiwa ipelekwe Hollywood ni bonge la movies na akili nyingi zilizumika . Kudos.
From Kenya. Guys I watch every video that you post. Not only do u research well,but you also have a good way of.presenting...kiswahili kizuri sana. Update us more on African issues... Thumbs up guys you are the best. 9/10
Wafrika waliamua kumuunza mwafrika mwezao wafrika sisi ni watu wa ajabu sana tuko tayali kumunza ndugu yetu kwasababu ya mzungu wazungu sisi awatukubali kabisa wanajiona wao ni Bora than sisi
Ningeulizwa au ningepewa nafasi yakutoa tuzo kwa msomaji bora wa makala za kusisimua hakika nisingemuacha kijana Ananias Edger.Unajua nimesoma creative writing. Hivyo Pamoja na umri wangu kuzidi nusu karne lkn huwa nafuatilia sana makala hizi,
This is what they should teach in schools to avoid mistakes of our former leaders but governments don't put it in curriculum. That's the accountability of the tax payers money we'll spent💯🤔by Idd Amin and Mwalimu Nyerere.
huyu jamaa anafaa sana kutangaza TBC TV na TBC radio, ana sauti nzuri sana. Laikini mambo mengine kama za kina Lumumba, ''mabeberu'' na maadui wa afrika miaka ya 1960s, naona hajafanya research ya kina kirefu sana na mapana sana. anapapasa macho juu juu tu. Haya mambo yanahitaji udadisi wa hali ya juu sana, siyo tu lawama za hapa na pale, hazisaidii kitu.
Hongera sana global news TV kwa habari nzuri sana za kihistoria, Mungu awabariki sana maana ni historia inayo tukumbusha ya kale yalio pita na ya sasa yanayo tokea
dada never agreed with white people to be a coconut so their had to framing him dont tell us lies, same as 9/11 please stop feeding us white man lies sad telling lies written by white man...shame on you
Unakosea sana ukisema idd amin field martial sababu cheo hicho hawez pata sifa ya kwanza ya cheo hicho ni uongoze vita na ushinde sasa yeye kapigwa na mwl nyerere kwahiyo hawezi kuwa field martial ,hongera kwa kutupa historia makini bro🙌
Amin alijiita Field Martial co kwamba alishinda vita tatu hapana alijiita hivo kwa sifa zake tu ili aonekane yeye ni mwamba maana cheo cha field Martial kule Uingereza anapewa yule mwanajeshi aliyeshinda vita tatu mfululizo
Jambo la muhimu katika mkasa huu ni kwamba uwanja wa ndege wa uganda ulijengwa na waisrael na ramani ya jengo zima na walikuwa wanazo.... hiki kiliwasaidia zaidi.
Angelina Simchimba swali nzuri hata Iddi Amin mwenyewe aliwai ulinzwa swali Kama Hilo BBC jibu alilotoa kuwa Lile nitaifa la mungu wakianza pingana Vita vyao aviishi kwahyo aliona nibora asitumie Jeshi kuwazuia Maana awachok kupinga
jamaa waliweza kutua entebe kwasababu rada za uwanja wande za entebe hazikuweza kutambua kuwa kunandege zimeshuka kwa mdaule na taa za uwanja mzima zilikua zimezimwa
Mungu banah fundi sana hakupi kila kitu huyu jamaa anajuaaaaa sana kuhadithia youtube excellent bro!! ila sasa muulize kama anajua mbembeleza dem wake 😂😂😂😂😂😂 utashangaa sana
Ahsante sana Global TV kwa makala za ki historia. ila kama mdau wenu nawaomba mtuchambulie pia historia za maisha ya Viongozi hawa wa Marekani na Iran. Hatujui Confidence zao zilianzia wapi ila Tunaona tuu vitisho na vikwazo vya kisiasa. Otherwise mi nawapongeza mana mko sahihi katika makala zenu
Ahsante sana global tv kwa kutuletea habari za ki histolia sasa tunaomba simulizi na histolia ya saddam hussein aliyekua rais wa iraq kuzaliwa mpaka kunyongwa ahsante
@@joelnchimani4185 ekis
Ekisa
2.
Ap
Leo hii 12/8/2024 nimerudi kusikia historia,zijawahi pewa like zenu jamani
Hapa tunarud daily....
Unajua saaaana we jamaa.👍 kama unamkubali huyu msimuliaji gonga like hapa ilitwende sawa.
Ni mwamba huu
Mnooo
Israel the blessed nation, be blessed more and more
Yessssss
Jamani kuna watu wana akili saana hapa duniani wengine tupo tu. Kupanga big operation kama hii in few days salute to them. Mkiona watu wanapata mishahara mikubwa mnalalamika anafanya kazi gani. Hii ilitakiwa ipelekwe Hollywood ni bonge la movies na akili nyingi zilizumika . Kudos.
Walio soma Uganda 🇺🇬 ndani ya topic ya Operation Entebbe kwenye soma la SST from P5 to P6 tugonge like 👍 kwa pamoja!
😢
❤❤❤❤❤❤
Unasikiliza makala, unaielewa hadi unapitiliza kuielewa unatamani ukawaeleweshe watu.. kazi nzuri sana.
Umeona eeh!!
Yan ww ndo kama mimi
Ansgar:Nipo ZNZ lkn jamaa anatisha,,kajaliwa mpk sound.
Kwel kbs
Ansgar part two iko wap jmn
Adi kuwaelewesha watu
Nani ambaye anairudia tena hii kwa mwaka huu 2020 gonga like hapa
Like inasaidia nini? Mnaboa sana mnaosena gonga like. Nikishagonga ndio kuelewa kinachozungumzwa????
Me
@@jacoblaiser7634 just kuinjoy but ailet maana
Nadhani like inamaana yake kwa mwenye story pamoja na RUclips lazima kunafaida anapata
@@maomacatta9770 mawazo potofu
Huyu anania Eriger nampenda kwa .historia na sauti yenye mvuto hongera sana mwamba sauti yako haichoshi kusikiliza
Mwenye kuelewa simulizi hizi agonge likes apa, mwenye kumuelewa pia msimuliaji apa twende wote sawah apa likes
From Kenya. Guys I watch every video that you post. Not only do u research well,but you also have a good way of.presenting...kiswahili kizuri sana.
Update us more on African issues...
Thumbs up guys you are the best. 9/10
Mambo
86
Yeap at least kiswahili simple sio ile ya mashairi
😊0
Yaaan nkisikia Ananias napata raha kama baraka mpenja tu, , , , , hata ukisimulia habar ya nyani ntapenda tu.
Broh uko vzur sana.
Uchambuzi Murwa sana historia kama hii inakupa Mda kufwatilia
Uchambuzi Wako Anannias heko💥💜🤞💥
Mambo kama haya tuliyamiss sana kwenye lugha ya kiswahili...salute kwenu global online
Big up
Do u have what's up account?
Noma Sana mzee baba wauwe
Nakupa big up we no fundi unenifundisha Sana 👏👏👍
Dah sauti makini Sana mwandishi makini nakukubali Sana Annanias Edgar's mungu akuogoze utuletee Zaid
Jamaa unakipaji Sana wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hadharani
Mmh hii ya moto 🔥🔥🔥 sana
Wafrika waliamua kumuunza mwafrika mwezao wafrika sisi ni watu wa ajabu sana tuko tayali kumunza ndugu yetu kwasababu ya mzungu wazungu sisi awatukubali kabisa wanajiona wao ni Bora than sisi
Huyu jamaa asee anajua sana kusimulia! Keep it up bro
annanias edger kazi nzuri endelea hivo hivo
Mimi nimewapa 10/10 ni vigumu kupata habari zote za kihistoria. Pongezi
Ningeulizwa au ningepewa nafasi yakutoa tuzo kwa msomaji bora wa makala za kusisimua hakika nisingemuacha kijana Ananias Edger.Unajua nimesoma creative writing. Hivyo Pamoja na umri wangu kuzidi nusu karne lkn huwa nafuatilia sana makala hizi,
Napenda Sana hzi history
Good goody
Anania my best history presenter
This is what they should teach in schools to avoid mistakes of our former leaders but governments don't put it in curriculum. That's the accountability of the tax payers money we'll spent💯🤔by Idd Amin and Mwalimu Nyerere.
Ananias edgar una sauti nzuri kama mayayi kwakweli Mungu amekujalia sauti nzuri sana Hongera
Kazi iendelee
Historia ya kwel kabisa hii
Hongera bro unacmuliya kwa makini na upole sauti tisho nzuri xana from saudi Arabia
Baba 0658515267 baba niunge
Kwema ndugu
@@paulinapaulina911 sawa
good morning
huyu jamaa anafaa sana kutangaza TBC TV na TBC radio, ana sauti nzuri sana. Laikini mambo mengine kama za kina Lumumba, ''mabeberu'' na maadui wa afrika miaka ya 1960s, naona hajafanya research ya kina kirefu sana na mapana sana. anapapasa macho juu juu tu. Haya mambo yanahitaji udadisi wa hali ya juu sana, siyo tu lawama za hapa na pale, hazisaidii kitu.
Nimeipenda sana hii story, nimempenda pia msimuliaji, nimependa sauti yake. Hongera Sana kaka
I can't get enough of this already watching the 5th time in Sept2022
An incredible event the world has ever seen!
Hii naipenda sana heko Taifa la Mungu
We love you anania unachambua vizuri sana
Kama unakubali hii ilitakiwa iwe movie kabisa gonga like twende sawa
Isiigizwe na wabongo lakini
Napenda kujua historia kama hizi
Asante sana ndugu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
Kazi swafi kutuharisha..
Wapi sehemu ya pili plz bro i salute u Bro Big up from saudi Arabia
kama hujaipata hii hapa: ruclips.net/video/ojziCWOqYrQ/видео.html
Nawapongeza kwa stori nzuri
Strong kabisa🎉🎉
Unavyo simulia kama naona vile bro salut kwako
Hongera sana global news TV kwa habari nzuri sana za kihistoria, Mungu awabariki sana maana ni historia inayo tukumbusha ya kale yalio pita na ya sasa yanayo tokea
Watching & rewatching
Sawa sana waisreal Mungu anawapenda
Naipenda hii
Global tv mpo vizuri
Dunia imepita watu aisee duh 🙌🙌
Ananiasi Edgar wewe tunakuaminia Sana we need more from you
Duh! Kumbe East Africa kumewah kuwa na mambo makubwa namna hii
Idd Amin Dada was the true hero of this story
Sure
@@nahiyahamdan5281 hey dear mambo vipi?
Asante sana
Simulizi kali sana Tafadhali ilete sehemu ya pili.
Good
Kazi nzuri mpangilio mzuri
Daah kaka unajua nakukubaligi sana hongera unajua unachokifanya
Upo vzuri sana
Mungu amsaidie EDI amino Dada na hakua mkatili EDI amino dàdà
huyu jamaa anasimulia sawa kama wazungu walivyodanganya ukweli hajasema huyu ni "BIAS" kama wazungu towards people their hate.
dada never agreed with white people to be a coconut so their had to framing him dont tell us lies, same as 9/11 please stop feeding us white man lies sad telling lies written by white man...shame on you
Kila binadamu ni sawa na mwingine na Mungu anaukumu kila mtu bila kujali rangi,kabila,dini, umri,
Uko vizuri kaka
Fantastic
Kama unamkubali gonga like twendee kaxz
nasikiliza xtory kama vile nipo ktk operation yenyewe yaan daaah saut imetulia hatar ya msimuliaji! big up bro
Daa kaka mm nakumini sana napenda san stori zako nakupa bgp sana kaka
Safi
History nzur mtangazaji nae yuko vzr sana had naelewa
Wewe ni mtangazaji mzuli sana Na auna papala unapotupasha habari nakukubali sana mzee
Bonge la story aisee, kazi nzuri kwa msimulizi
Ooh God the version i read was different but now i have heard thanks for the update
Nakubaliiiiiii sanaaaaa
Hongera sana, leo hujaweka chumvi na yale maneno yako mengi nje ya story yenyewe.
I must say you have done your research very well
Well organised operations
Huyu jamaa anavyoeleza sauti yake inafanania na sauti ya millad Ayo mungu awalinde watangazaji wetu
Very nice
Wajina umesimulia vizuri sana hongera
asante kaz nzur
Aseeee jamaaa uko.vizr mno Tena Sana Sana
Naoma part two
Ebanaaa bonge la movie
Hataleee
Nakubariii sanah
Maitafuta sehemu ya pili siioni tafadhali!! Makala nzuri sana
baba uko vizur sichoki kusikiliza
ongeza njonjo na vineno vya ucheshi
penda sana stor zenu....
Unakosea sana ukisema idd amin field martial sababu cheo hicho hawez pata sifa ya kwanza ya cheo hicho ni uongoze vita na ushinde sasa yeye kapigwa na mwl nyerere kwahiyo hawezi kuwa field martial ,hongera kwa kutupa historia makini bro🙌
Sio kushinda tu bali ushinde mara tatu
Amin alijiita Field Martial co kwamba alishinda vita tatu hapana alijiita hivo kwa sifa zake tu ili aonekane yeye ni mwamba maana cheo cha field Martial kule Uingereza anapewa yule mwanajeshi aliyeshinda vita tatu mfululizo
I was looking for this history.... thank you.
Noma sana
Mashaallah..Huchoki kusikiliza.. sauti yako ni nzuri sana. Kwa ukweli.
Kazi nzuri
Jambo la muhimu katika mkasa huu ni kwamba uwanja wa ndege wa uganda ulijengwa na waisrael na ramani ya jengo zima na walikuwa wanazo.... hiki kiliwasaidia zaidi.
Historia nzuri sana party two please
Very good narration of the operation. ❤
You are really doing a very good job, I love the voice and the language as well
Safi sana, nimependa haya masimulizi
Umezingua mzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Swali,walituaje entebe bila kukamatwa au kuonekana na jeshi la IDD amin
Angelina Simchimba swali nzuri hata Iddi Amin mwenyewe aliwai ulinzwa swali Kama Hilo BBC jibu alilotoa kuwa Lile nitaifa la mungu wakianza pingana Vita vyao aviishi kwahyo aliona nibora asitumie Jeshi kuwazuia Maana awachok kupinga
jamaa waliweza kutua entebe kwasababu rada za uwanja wande za entebe hazikuweza kutambua kuwa kunandege zimeshuka kwa mdaule na taa za uwanja mzima zilikua zimezimwa
Dah
We nasimchimba lehaga welele@Israel noma
Miss informed lads...check the entire documented vid for clear information
Saf Sana Kaka historia nzur sanaa
Amin was abeast
Mungu banah fundi sana hakupi kila kitu huyu jamaa anajuaaaaa sana kuhadithia youtube excellent bro!! ila sasa muulize kama anajua mbembeleza dem wake 😂😂😂😂😂😂 utashangaa sana
😒😒😁😁
Hahahaha
Hongera kwa kazi nzuri
upo vizur mzee baba
Your very talented brother keep it up we praying for you