MBOWE MTOTO WA TAJIRI, ALILELEWA NA NYERERE KIROHO, KUSALITIWA, URAIS, MAJUMBA ULAYA, HASARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии •

  • @andrewmushi8274
    @andrewmushi8274 2 месяца назад +25

    Watu kama Hawa kuwaongelea vibaya hata nafasi zetu zitusute hakuna mtu atakaye weza kujitoa na kupoteza muda na malizake kwaajili ya taifa hili kama Freeman Mbowe huyu mzee anauchungu na hii nchi Tumuombee sanaa watanzania wote Tuna den juu ya huyu mwamba aiseee ❤❤❤

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 2 месяца назад +2

      Hakika

    • @AbubakariMohamedi-ks9wm
      @AbubakariMohamedi-ks9wm День назад

      Deni kwa nani we izo mali zake umepewa mgao au kuna siku umeenda hospital ukatibiwa Bure ebu acheni ushabiki na unafiki wakati mwingine

  • @georgebalilemwa3305
    @georgebalilemwa3305 Месяц назад +3

    Hongera sana Mbowe. Umefanya kazi iliyotumika,mpinzani wa kweli.

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel 3 месяца назад +66

    Mtangazaji hongera kwa Habari mzuri

  • @matrugnawangaeli4815
    @matrugnawangaeli4815 3 месяца назад +16

    Safi sana inatutia moyo kusika habari za Ndungu zetu walioendelea hivi. Waendelee kuchapa kazi naMungu awalinde na kuwapigania.

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 3 месяца назад +19

    Mungu ampatie kibali zaidi kuimaliza kazi ngumu aliyo nayo na alinde na mabaya yote Amen

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 месяца назад +60

    HATA YESU ALIACHA UFALME WA BABA YAKE AKAJA DUNIANI KUTUKOMBOA. HONGERA FREEMAN AIKAELI MBOWE 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

    • @HamisMussa-j5k
      @HamisMussa-j5k 3 месяца назад +4

      Yesu hawezi fanana na mbowe acha uchafu

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 3 месяца назад +1

      @@HamisMussa-j5k NILITOA MFANO TUU SIJASEMA YEYE NI YESU.

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 3 месяца назад +3

      Siyo aliacha aliezaliwa na mariamu alitumwa na Allah awe mtume kwa wana wa Israel ati aliacha alikaa lini mbinguni 😅

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 3 месяца назад

      @@Kabeya410 🤣🤣🤣🤣

    • @djoe8266
      @djoe8266 3 месяца назад

      Kwaiyo maria ndio mungu mwanamke au

  • @mdl6463
    @mdl6463 3 месяца назад +29

    Daaaah ndo nimejua leo baba wa ubatizo kumbe jk nyerere basi sina mengi zaidi ya hapo 😊😊😊😊 hajaachwa vibaya huyu jamaa sasa respect kwake tusherekew siku yake ya kuzaliwa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 3 месяца назад +3

    ❤❤❤❤hii story imependeza nae atajivunia sana kabla hajafa imekaa powa sana 🎉🎉ishi sana mbowe Rais wetu✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 3 месяца назад +50

    Mzee Mbowe alikuwa tajiri wa heshima ndugu zetu wachaga wanaakili za maendeleo sana

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 2 месяца назад

      @@samwelingasa1638 SURE 👏🏼👏🏼👏🏼

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 3 месяца назад +23

    Mbowe chukua maua yako we ni fighter mzee😂😂🎉🎉🎉

  • @julianaedward4190
    @julianaedward4190 Месяц назад

    Mzee Aikaeli Mbowe Mzee wetu pendwa sana alimpenda Mungu sana na alijitahidi sana enzi zake kumjengea Mungu kabisa...namkumbuka sana kipindi hicho nikiwa mtoto anaejitambua zamani hizo harusi za watoto wa Aikaeli Mbowe zilikuwa pambe😂😂😂Kijiji kizima tulikuwa tunaalikwa kwenda kula....❤❤❤

  • @zaitunialli1223
    @zaitunialli1223 6 дней назад

    Duh hongera san baba yetu mbowe Mungu akulinde Mungu akupe k8bar kuwa Rais wa Tanzania

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 3 месяца назад +12

    Very inspiring story, Mungu amlinde

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 2 месяца назад +9

    Ni yeye anae stahili ku rithi urais 2025... mahana mahadili yake nia Nyerere, kuongea kwake na madili yake nia Kinyerere.... Nice mtu nimpendae sana na JOHN Mnyika.

  • @kamalabuberwa2001
    @kamalabuberwa2001 3 месяца назад +30

    Viva mbowe chombo ya hari ya juu sana kama chombo ya NASA mwamba mungu akupe maisha marefu

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 2 месяца назад +1

      Hii story ni uwongo mtupu. Wanatumia jina la Nyerere vibays

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 3 месяца назад +7

    Mh Aikaeli Freeman Mbowe Mungu akutunze mzee wetu.

  • @aminiayubu4199
    @aminiayubu4199 3 месяца назад +6

    Chadema for life,
    Respect mzee wetu mbowe🙏

  • @victoreleonardmdee9158
    @victoreleonardmdee9158 3 месяца назад +25

    Uthubutu wa kuacha kazi na kujiajiri nimependa hilo siku moja na mm ntafanya hivyo Mungu anisaidie

  • @msabilaiddymsabilamsabilaiddym
    @msabilaiddymsabilamsabilaiddym 3 дня назад

    Binadamu hawana shukurani wanaommbeza tamaa zinawasumbua binafsi ❤

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 месяца назад +2

    Nimeipenda sana historia ya huyu mheshimiwa Mbowe.Mungu na azidi kumbariki,kumlinda na kumpa maisha marefu sana.kumbe kwenye siasa hakufuata pesa na wala hakuwa na njaa bali alifuata kuwapigania na kuwakomboa watanzania na kumbe utajiri wake aliupata kabla ya uhuru.sasa wale watu akiwemo Msigwa mjinga anayesema Chadema ni saccos ya Mbowe kumbe anamkosea sana Mh.Mbowe.

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 2 месяца назад

      Usikubali yote kwenye story hii. Ina uongo mwingi sana. Watu wanalitumia jina la Nyerere vibaya

    • @fumotv7914
      @fumotv7914 2 месяца назад +1

      ​@@gracemima5234ww utakua malaya si bure

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 2 месяца назад +2

    Mungu Baba Mwenyezi Akutunze kijana wetu na Akuongezee hekima, busara na maarifa. Endelea kuutafuta uso wa Mungu kwa bidii. Amina

    • @NixonJohnson-zn8nk
      @NixonJohnson-zn8nk 2 месяца назад

      Jamani Leo anaitwa gaidi na mazuzu tu

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 2 месяца назад

      @@NixonJohnson-zn8nkkaeli Mbowe ni gaidi. Si ajsbu hats mauwaji ya sasa anahusika

  • @tompatel849
    @tompatel849 3 месяца назад +1

    Mungu azidi kumbariki sana hon. Mbowe hakika ana historia kubwa katika nchi hii

  • @goodlackriwa6728
    @goodlackriwa6728 2 месяца назад +2

    Big up Freeman.Wewe ni mtu mpenda haki kama Jina lako 🎉

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад +3

    Hongera makamanda wetu has Mbowe unatetea wanyonge mungu akupe maisha marefu yenye baraka

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 3 месяца назад +16

    Hongra saana mhe mbowe

  • @ezekielmapunda2751
    @ezekielmapunda2751 3 месяца назад +2

    Huyu ni mtaji mkubwa kwa nchi kama atakuwa na fursa ya kutimiza ndoto zake.....Hongera sana Mbowe

  • @gloryharold8022
    @gloryharold8022 3 месяца назад +10

    Mungu azidi kukuweka mzee Mbowe

  • @gililwise
    @gililwise 3 месяца назад +64

    Baba yake alimsaidia sana mwl Nyerere kudai uhuru wa Tanganyika

  • @jacksonjudicate9388
    @jacksonjudicate9388 3 месяца назад +17

    A TRUE MEANING OF A LEADER. 💪💪💪💪👑👑👑👑👑👑👑 MANGI

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 месяца назад +1

    DUHHHH SI MCHEZO ❤❤❤❤ NDIO MAANA HUWA NAMUELEWA SANA.

  • @FaisalAdam-it7hr
    @FaisalAdam-it7hr 2 месяца назад

    Kazi nzuri sana 🎉
    Mtangazaji leo umenifrahisha sana ❤❤❤

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 месяца назад +19

    Duh kumbe mzee Mbowe alikiwa na maokoto

    • @giztony2009
      @giztony2009 3 месяца назад +3

      Baba yke ndo alimnunuliaga nyerere gari kipindi nyerere anatafuta uhuru ndo maana baada ya uhuru baba yke mbowe alipewa maeneo mengi posta

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 3 месяца назад +1

    AISEE HAPA Leo nimejifunza Kitu kikubwa sana sijawahi kujifunza aisee mbowe sio mtu wa kawaida ni MTU WA KUIGWA sanaaa lazima NITAKUA kama YEYE!!🙏🙏🙏

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 месяца назад +8

    Sio mchezo
    Mungu akubariki

  • @husseinathuman7532
    @husseinathuman7532 2 месяца назад

    Freeman mbowe,wew ni kwamba kweli kweli,Mungu akutunze

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 21 день назад

    Kamanda wa hanga Free Man Mbowe

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 3 месяца назад +2

    DAAAH!! NIMEJIFUNZA KITU KIKUBWA SANA kutoka Kwa FREEMAN mbowe aisee

  • @LeahLyimo-h1d
    @LeahLyimo-h1d 3 месяца назад +9

    Mungu amlinde namabay atimize lengo lake

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 3 месяца назад +3

    YANI HUYU JAMAA ANGEKUA CCM ALAFU AKATUMIA NAFASI YAKE HIYO YA baba Ake UbatiZo KUwa Nyerere angekuwa Amefika Mbali sanaaa duuuh!!

  • @AnnaMushi-o2w
    @AnnaMushi-o2w 3 дня назад

    Ongera sana bro

  • @andrewmushi8274
    @andrewmushi8274 2 месяца назад +1

    Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda na kumtunza zaidi 🎉🎉🎉

  • @CalvinUiso
    @CalvinUiso 2 месяца назад +2

    Naiona historia ikisomwa zaidi 2025 baada ya uchaguzi mkuu❤❤❤

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 6 дней назад

    Bravo Mbowe

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 месяца назад +21

    Mnaemsikiliza mchungia tumbo mmeyasikia hayoo!! Familia ya Mbowe inamchango mkubwa tuu ya Uhuru wa hili Taifa.

  • @NeemaMushi-wj1zn
    @NeemaMushi-wj1zn 3 месяца назад +14

    Hongera mboye🎉🎉🎉🎉

  • @geoffreykayombo6524
    @geoffreykayombo6524 3 месяца назад +9

    Mwamba huyu 😊

  • @Davidthestardavidthestar
    @Davidthestardavidthestar 3 месяца назад +33

    Kumbe mzee wetu mboe anamchango mkubwa katika taifa letu 🎉🎉

    • @AhmedHassan-vl5zf
      @AhmedHassan-vl5zf 3 месяца назад

      Mchango upi zaidi ya kujilimbikizia Mali na Nyerere kumtupa pembeni

    • @jacobjb4515
      @jacobjb4515 3 месяца назад +2

      Acha wivu wewe choko

    • @victoriajoachim7271
      @victoriajoachim7271 3 месяца назад +1

      ​@@AhmedHassan-vl5zfna wewe si ukajilimbikizie mali kama unaweza fala wewe acha wivu alibarikiwa kabarikiwa acha wivu mjinga wewe.

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 3 месяца назад

      Jasiri wa kutukana​@@victoriajoachim7271

    • @admirabisikiduduye1516
      @admirabisikiduduye1516 3 месяца назад +2

      Akina mbowe walikuwa na pesa hata kabla ya uhuru, nauli ya kwenda UN kudai uhuru Nyerere alikuwa anachangiwa na akina Mbowe

  • @paritsaruni5019
    @paritsaruni5019 2 месяца назад

    Historia nzuri ya mzalendo FM. Happy birthday to you.

  • @AlexcpetroCpetro
    @AlexcpetroCpetro 3 месяца назад +2

    Hongera muandishi mzuri 🎉🎉🎉❤❤

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 3 месяца назад

    Yaani namkumbuka kipindi akiwa, ni kijana kabisa, mrefu mwembamba, (handsome) baba yake alikua na benzi ( watu wa mwanzomwanzo kumiliki benzi) kama nakumbuka ilikua nyeusi, ni familia moja ya kitajiri na iliyoheshimika sana moshi mjini,japo waliishi Machame.
    Mungu azidi kumtunza, ninachojua hakuingia ktk siasa kwa njaa bali lbd aliipenda siasa.

  • @isayachawinga1005
    @isayachawinga1005 3 месяца назад +5

    Hongeraaa kamandaaaaa Mbowe

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 3 дня назад

    Ishi maisha marefu mh: mbowe

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 3 месяца назад +1

    Very interesting story 🎉🎉, keep on moving mbowe

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 2 месяца назад

      Do not believe. Full of lies

  • @Alphakadege-m2j
    @Alphakadege-m2j 10 дней назад

    You deserve to be a president

  • @NelsonagustinoSwai
    @NelsonagustinoSwai 6 дней назад

    Mbowe mungu akulinde sana

  • @richardswai5206
    @richardswai5206 3 месяца назад +7

    Kwa mali alizokuwa nazo kapambana sana kuzipata na hajala hela za serekali ni jasho lake🎉

  • @bernardboniphace1380
    @bernardboniphace1380 3 месяца назад +11

    Kwanzia sasa nimekueshimu mbowe nilizani Nakuelewa sana kumbe bado

  • @richardrobert5505
    @richardrobert5505 3 месяца назад +9

    Mbowe mtu makini sana hekima busara zilizozidi

  • @filyakusimsigwa5006
    @filyakusimsigwa5006 2 месяца назад +2

    Mwandishi uko vizuri

  • @EzekielLesion-ht8nu
    @EzekielLesion-ht8nu 6 дней назад

    Mungu akija uzma

  • @lucasmganga2811
    @lucasmganga2811 3 месяца назад +19

    Harafu hapa kuna Zezeta tu katoka kushiba viazi hivi utalisikia mbowe ananjaa na hera2 za ruzuku huwa anauza kura, 😂😂😂😂

    • @MoEd-k8w
      @MoEd-k8w 3 месяца назад +1

      Sahihi, et chama ni saccos yake, wakat Mbowe hana njaa

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 месяца назад +5

      Kwa sababu wamezoea CCM huwa wanaenda kwa ajili ya kufuata ulaji

    • @aickatesha4542
      @aickatesha4542 2 месяца назад

      😅😅

    • @salummnguruta4518
      @salummnguruta4518 Месяц назад

      Viazi na maharage 😂

  • @J约瑟夫·阿德森
    @J约瑟夫·阿德森 2 месяца назад +2

    Umetishhaa sana Millard ayo

  • @damianae6207
    @damianae6207 2 месяца назад

    nawakumbusha tu! 2011, Arusha .chadema Mungu ailinde idumu

  • @bwetungegodfrey4131
    @bwetungegodfrey4131 2 месяца назад

    Mtu kazi! Hongera Mbowe!

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 3 месяца назад +6

    Nice story🙏

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 дня назад

    Hakulelewa na Nyerere ila Baba yake ndiyo alikuwa rafiki wa Nyerere na hayo yote unayoongea ilikuwa biashara Ote zilikuwa za Baba yake acha kuongopa sisi ndiyo tulikuwa tunawajua vizuri sanaaaa

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate 3 месяца назад +14

    Mbowe MUNGU akutunzeeee

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 месяца назад +4

    Duh baba wa wengi kwenye siasa jmn!
    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

  • @mnamamnama2732
    @mnamamnama2732 3 месяца назад +15

    Baba ake alikua very smart..... akiongea watu wote walikua wanamsikiliza....
    Mikutano ya KNCU

  • @shabantelack5716
    @shabantelack5716 3 месяца назад +12

    Hii imekaa pouwa Sana , hata kama Kuna uongo popote nmeukubali

  • @jovinageorge-s2o
    @jovinageorge-s2o 2 месяца назад

    Nakupenda Millard nitafte please ❤ me pia legend

  • @gilgalmissioncenter
    @gilgalmissioncenter 2 месяца назад +2

    Mungu azidi kukulinda kamanda mbowe

  • @edithajoseph7675
    @edithajoseph7675 3 месяца назад +16

    Mungu akupe maisha marefu mpendwa

  • @sadiqrifay5448
    @sadiqrifay5448 3 месяца назад +4

    Ahsante san pasco mwakyoma

  • @mosessekione
    @mosessekione 3 месяца назад +12

    Salute free man

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 2 месяца назад +1

      Mbowe is not what is told here more than a political con man

    • @mosessekione
      @mosessekione 2 месяца назад

      @@gracemima5234 salute

  • @sethmdj
    @sethmdj 2 месяца назад

    Kuna siku hao wanaomtukana watakiri hadharani mchango wake kwao. Huenda muda huo watakuwa wazee sana au afya imedhoofu, pindi fahari ya dunia na hamu ya madaraka au nguvu ya mamlaka itakapokuwa imepoteza thamani kwao.
    Hongera kwa Freeman

  • @pendaelmollel1847
    @pendaelmollel1847 3 месяца назад +9

    Very nice story

  • @islam-w1n
    @islam-w1n 2 месяца назад

    Kuanzia Sasa niiteni Free Man

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 месяца назад +2

    Hongera sana mwamba

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 2 месяца назад

    Hongera Sana mh mbowe tuko pamoja

  • @calvinelisha3505
    @calvinelisha3505 2 месяца назад

    Mungu bariki wapiga nia haki wote tz

  • @jackkobra582
    @jackkobra582 2 месяца назад +1

    Genius mbowe

  • @jonasizack6712
    @jonasizack6712 2 месяца назад +1

    SINA HARAKA SANA MWENYEZI MUNGU NIANGALIE 🙏🏾🙏🏾

  • @peteremanuel2367
    @peteremanuel2367 2 месяца назад

    Nyerere angekuwa hai angejilaumu sana.

  • @jobharry9009
    @jobharry9009 3 месяца назад +30

    Ayo tv leo mmjikaza sana kulete habari hii

  • @AtanacJacobo
    @AtanacJacobo 3 месяца назад +14

    Nimependa kusikiliza stor hii inamafundisho flan

  • @NeemaElisante-zd2dt
    @NeemaElisante-zd2dt 3 месяца назад +2

    Eeh mwenyenzi Mungu nakuomba usimame ukajitukuze na wote wanaoshiriki uovu dhidi ya wapenda haki Mbowe Mungu w ambinguni akulinde na AKUTUNZE machawa wakishashiba utumbo na mkabde wanakoment mavi mavi

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 3 месяца назад +3

    Huu ndio uzalendo Ayo sasa umekomaa kwenye tasnia hii Mungu akulinde ufike mbali zaidi.

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 3 месяца назад +46

    Kwa maelezo haya huyu mwamba ,,,angekuwa na tamaa ya cheo angekuwa na cheo kikubwa sana serikalini

    • @aminamasera
      @aminamasera 2 месяца назад

      Tr u e

    • @BasilEMongi
      @BasilEMongi 2 месяца назад

      Angekuwa CCM sijui nani angekuwa kama yeye kwa utajiri hadi ss hivi kama sio figisu figisu tu hizi bado hakuna anae mkuta kwa utajiri wa mali kutoka CCM

  • @chrissameri465
    @chrissameri465 2 месяца назад +1

    Makala mazuri

  • @jamesbenjamin1454
    @jamesbenjamin1454 3 месяца назад +1

    Nasubili hii story siku itaunganishwa kuwa ni kiongoz mkubwa wa nchi na sio tu chadema ,success is process

  • @ZakayoMgaya2580
    @ZakayoMgaya2580 3 месяца назад +9

    Msimuliaji umeupiga mwingi

  • @elizabethsaibo3658
    @elizabethsaibo3658 3 месяца назад +7

    Viva mboe viva

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 3 месяца назад +5

    Chademaaa😢

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 2 месяца назад

    Mwenye AKILI timamu pekee ndo anaweza tambua mchango wa mbowe ktk siasa na maisha kwa ujumla!

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 2 месяца назад +1

    Maashallah honger sana

  • @neemamwangi4323
    @neemamwangi4323 3 месяца назад +9

    Hakika stori hiii imevutia sana

  • @muhayakizibaTV
    @muhayakizibaTV 3 месяца назад +5

    bowe noma kweli kanifudisha kujitoa

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 3 месяца назад +3

    Dah mwamba ni Genius sn

  • @JohnVenance-b1n
    @JohnVenance-b1n 2 месяца назад +1

    Hongera mr