MBOWE YAMSHINDA AMPINGA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 198

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 22 дня назад +12

    Great man,,,,,hapo kaongea MTU na nusu,,,,unaona MTU aliyejiandaa na anayejua,,,,,,
    Hope message sent and delivered,

  • @lukasmnyeti3016
    @lukasmnyeti3016 24 дня назад +40

    Ukiona mtu yuko ccm hata kama ni baba YAKO jua huyo mtu ni shetani alievaa sura ya binadamu wataenda kujibu Mbele za Mungu

    • @OmarJuma-og4kd
      @OmarJuma-og4kd 24 дня назад +4

      Hakika kabisa ulichoongea ni shetani tu wanaojali maslahi Yao

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 23 дня назад

      Siyo kweli magufuri / polepole kina makonda/ mpina nawengine wengi wako pouwa ata samia yuko sawa biteko/jafo/majariwa/mpango yani wapo wengi kishimba na MIMI 😅😅😅😅

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 23 дня назад +2

      Wote wale wale kuanzia huyo maguful na hao wengine

    • @thaddeojude7511
      @thaddeojude7511 22 дня назад

      Nafikiri hata wew mwenyew ni mmojawapo wa hao mashetani maana umezaliwa mule mule...na umekulia mule mule....

    • @thaddeojude7511
      @thaddeojude7511 22 дня назад

      Daima kumbuka siasa ni sayansi..hakuna mwanasiasa mzuri ..anayetumia maneno mataamu leo ..kesho yake anakunyonga...kwaiyo hakuna wa kumtetea awe chadema au popote

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 24 дня назад +27

    Mbowe mungu akupe neema ya maisha marefu inaongea maono makubwa kwenye taifa

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 23 дня назад +7

    Umeongea vizuri mno. Sipendi siasa, siamini katika kiongozi mweusi sababu ya roho mbaya na ubinafsi uliopitika mpaka. Lakini umeongea kwa mpangilio mzuri na points hata Lipumba nimeona ameshika note book na pen ana note points.

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 24 дня назад +17

    Hali ya ccm nisawa na mchawi anae Kula nyama ya mtoto wake ccm awafai kabisa kubasa wanauza asilimali zetu bila lizaa ya watanzania atuna bunge Wala viongozi wenye huruma na inchii ccm fekeni kabisa Tena ccm nikichefuchefu safari hii tunazaa na nyiye

    • @IbrahimTabu-qh9il
      @IbrahimTabu-qh9il 24 дня назад +2

      Haki haiombwi ukijua nihaki yako chukua safalihii hakuna kucheka nao

    • @CarlMagi
      @CarlMagi 21 день назад

      Kwa muujiza gani ndugu maana ccm wana uhakika wa kushinda kupitia goli la mkono

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda 20 дней назад +4

    Mr president,,, mbowe wewe ni mtu muhimu sana ktk taifa letu I sure one day utakamata kijiti Tz🇹🇿✌️✌️✌️

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 24 дня назад +14

    Ndiomana maccm wanatamani leo kesho Mbowe aachie uwenyekiti Chadema ili wafanye yao waishushe Chadema kama walivyoishusha CUF lkn wasubiri kwanza ataachia tu mbona wao walitaka Raisi wa awamu flan awe wa milele wakae kwakutulia tu huyu bado yupo sana tu Mbowe Mungu akuongoze akulinde akubariki uhai mlefu na afya njema✌️👏👏

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 23 дня назад

      Hata yeye hataishi milele boss. Hata kama uwe mzuri kiasi gani, muda wako utaisha tu.

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 23 дня назад +1

      @@TM.Sullusi Hakuna anaekataa hilo wote tunapita ila Mbowe atakuwa kioo kwa wengine kwa miaka hiyo atakayotumikia atakaekuja atakuwa mkakamavu asitishwe na kufungwa jera asitishwe na kupigwa adi kuumizwa miguu ajue uongozi hautofautiani na uongozi wa nyumbani kwake ataumia akiwa kazini atasemwa akiwa kazini atanyanyaswa akiwa kazini atafitinishwa ili kuonekana mbaya kazini lkn hatorudi nyuma akijua nyuma nina familia huku akimuona Mungu amvushe salama kwenye majaribu mbali lkn sio kuiuza familia yake au kuikimbia familia yake nadhani kama mwepesi kuelewa maana yangu kuu utakuwa umeielewa vyema kbs

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 19 дней назад +1

      @@TM.Sullusi Nalijua hilo kbs hakuna atakae ishi milele sijakataa hilo kbs ila maana yangu kwa mapitio anayopitia Mbowe kuna cha kujifunza kwa watakaochukua kijiti chake cha uwenyekiti sio mtu wa tamaa ya hela wala uoga hatakiwi kwenye kiti cha uwenyekiti hapo Mbowe iwe shule kwa wale wanaotaka kuwania huko mbeleni nadhani umenielewa maana yangu sasa

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 24 дня назад +14

    Mhe Mbowe umegusia mambo muhimu sana ingawaje kwa kifupi lakini ndiyo moyo wa demokrasia na Maendeleo ya nchi yetu. Hongera sana. Kubadili jina la Tume ya uchaguzi bila kugusa composition yake ni ubatili. Daftari la wapiga kura ni muhimu. Mabadiriko ya katiba ilingane na marekebisho yaliyofanywa ni muhimu. Nimesikitika kumuona Mhe Kinana haoni na kuyabeza madai ya CDM kwamba si muhimu ingawaje body language yake ktk kikao Cha Juzi inaonesha kujua ukweli. Tunahitaji tujenge nchi hii kwa ajili ya vizazi vijavyo. Let us be serious and use the present period positively. Mungu fungua macho na mioyo yetu.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 24 дня назад +12

    HONGERA SANA MBOWE

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 24 дня назад +22

    Mbowe you are my future president

    • @kombidin..2583
      @kombidin..2583 24 дня назад

      That idiot isn't a presidential material

    • @Jal210
      @Jal210 15 дней назад

      Mnaota Urais

  • @amosjoseph7241
    @amosjoseph7241 22 дня назад +5

    Alafu kujadili na shetani Mambo ya ufalme WA mungu ni kupoteza muda. Ma CCM ni mashetani ya Taifa hili

  • @titusrobert5890
    @titusrobert5890 24 дня назад +18

    Mbowe mungu aendelee kukupa afya njema,mungu amekupa busara kubwa santa

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 20 дней назад +4

    Kaka mbowe uko sahihi wenye akili timamu watakuelewa hii ni sauti ya mtu aliaye nyikani

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 18 дней назад +2

    mpangilio wa mawazo yako unazidi hadi watu ambao wajiita maproffessa hongera sana Mbowe MUNGU akulinde uzidii kuisemea Tanganyika

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey 24 дня назад +10

    Kiongozi wa viongozi Tanzania hongera sana mbowe wenye akili tunakuelewa lakini mazuzu yatakuelewa siku hauko na sisi tena tunakuombea Mungu akuweke

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 20 дней назад +3

    Mbowe mungu akulinde unalipigania taifa sana sanakwafaida yetu tusio jua haki zetu tunakuombea kwa mungu akulinde naakipe maisha marefu uwepo wako nifahari kwataifa letu wanyonge

  • @MussaSimeon
    @MussaSimeon 24 дня назад +11

    Mungu akubaliki sana

  • @ndingolivin-qy6xk
    @ndingolivin-qy6xk 24 дня назад +11

    Baba mbowe Mungu akupe maisha marefu

  • @user-wh3tb9ve8x
    @user-wh3tb9ve8x 24 дня назад +11

    Tujifunze kupitia Kenya,Inaongozwa na upinzani,pia tujifunze kupitia marekani Inaongozwa na upinzani sisi tunawazidi Nini hao

    • @fidelismwakanyamale6787
      @fidelismwakanyamale6787 22 дня назад

      Kenya aiongozwi na mpinzani Ruto ndiye alikuwa mwenyekiti wa vijana KANU mpinzani ni Raila ondiga tu. Na atabaki hivyo ni mpinzani siku zote

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 20 дней назад

      Upinzani wa Bongo una upinzani ndani Ya upinzani kabla hata hawaja pambana na chama tawala.
      Mbowe maneno yake ni mazuri sana ila yeye matendo mengine

  • @daniellyimo9547
    @daniellyimo9547 19 дней назад +3

    Ukweli mtupu..."cosmetic changes" badala ya kubadilisha composition ya tume unabadilisha jina la tume....!

  • @RutinikiGosbert
    @RutinikiGosbert 21 день назад +3

    Ukweli na uhakika Freeman god bless you my future president 25

  • @BonaventureJohn-mk6xh
    @BonaventureJohn-mk6xh 18 дней назад +2

    One of the big brains in the nation

  • @bmdele5816
    @bmdele5816 24 дня назад +12

    Mbowe ni Legendary 🔥🔥🔥

  • @ignacekiwale7281
    @ignacekiwale7281 24 дня назад +16

    Ongea Mbowe.unaeleweka

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 21 день назад +2

    Pole sana,wengine tulishakata tamaa,hatuoni CCM ikiondoka.kwa amani,tunachohofia watu wakichoka itakuaje je watatuwac 14:05 14:05 ha na vita au wataondoka nchi ikiwa imeungana kama nchi zilizoendelea,i hope watakubali katiba mpya yenye kuruhusu uchaguzi huru na haki,na sisi wananchi tuweze juiwajibisha chama kama haitatekeleza ahadi,kama nilivyo sema mwanzo nimekata tamaa na naomba mungu awape CCM maono ya kuelewa Tanzania ni ya wananchi na wanamaamuzi ya kuchagua wamtakae.

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n 24 дня назад +12

    Ukiona mtu Yuko CCM kama ni baba Yako au mama Yako ni sawa Yuko kwenye tanuru la moto ya jehenam

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 24 дня назад +13

    Mbowe ana kuaga kiongozi kbs

  • @user-tb4gh1sm9k
    @user-tb4gh1sm9k 24 дня назад +4

    Mbowe safiiii sana sarurt mzee

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 24 дня назад +5

    Safi sana mwamba

  • @gaitanikazikidogo1556
    @gaitanikazikidogo1556 14 дней назад +1

    mboe nikichwa sana huyu jamaa yani

  • @zimboj5278
    @zimboj5278 19 дней назад +2

    Genius man

  • @EstermsuyaMsuya
    @EstermsuyaMsuya 23 дня назад +8

    Big up Mbowe

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 18 дней назад +1

    Ww baba mm ingekuwa uwezo wangu ningekupeleka peponi yani unaakili mpaka manyanga'u wanakuogopa

  • @prothodommy
    @prothodommy 15 дней назад

    Huyu jamaa smart sana, Big up Mbowe

  • @mnanze
    @mnanze 14 дней назад

    Well said,We need leaders of this kind Blessings Mbowe.

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 18 дней назад +2

    Bigger up 👏👏👏

  • @paldonjonas9489
    @paldonjonas9489 9 дней назад

    Mungu ibarik tz

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 17 дней назад

    Asnt mbowe mungu akulinde ipo ck tutashinda kwa jina la yesu

  • @RawsonNkini
    @RawsonNkini 13 дней назад

    Mungu akulinde san

  • @user-kp2jf5jc2i
    @user-kp2jf5jc2i 19 дней назад +1

    HII TUNAITA NI, PRECISE AT A POINT!

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 7 дней назад

    Ushauri wangu chadema wote ingien ccm mlaluane humohumo alafu mtengeneze makundi mmpitishe mmoja mnaemwamini kw tket hiyo ya ccm akiingia ikuru ajenda ya kwanza kwake iwe KATIBA MPYA

  • @edwardmwingira7096
    @edwardmwingira7096 6 дней назад

    Safi Mbowe

  • @kasiankillo6949
    @kasiankillo6949 16 дней назад

    Daaa awa ccm aise mbowe uko vizuri kama ccm wanayofanya wako Sawa mbona wanaigopa kuacha uchaguzi uwe huru

  • @user-px3bz4vq9i
    @user-px3bz4vq9i 14 дней назад

    Kwan chadema wanataka nn mbona imekuwa chama Cha kulalamika ,lawama Kila wakati mara tunaumiswa,mara katiba ibadilishwe mara iboreshwe kupiga kura mpaka lini?

  • @user-hl9xu4vo1q
    @user-hl9xu4vo1q 20 дней назад +2

    Akili ndogo inaongoza akili kubwa

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 20 дней назад +2

    Mbowe hongera San

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 24 дня назад +3

    Kwa maoni yangu, na nilivyofuatilia mijadala mbali mbali ya namna hii, Uchaguzi Uahirishwe kwa mwaka mmoja na Nusu, ili kwanza ama katiba hasa ile ya TUME ya WARIOBA, au ma badiliko makubwa yafanywe kwenye katiba hii ya 1977,ingawa kwangu ni kupoteza fedha kurepea katiba. RASIMU YA KATIBA YA TUME YA WARIOBA NDIYO IFANYIWE MA ONGEZEKO KIDOGO. NA KISHA TUIPITISHE KUWA KATIBA MPYA.

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 13 дней назад

    Wewe ni Kiongozi hakika

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 14 дней назад

    Mr president

  • @AlexMetwi
    @AlexMetwi 24 дня назад +9

    Kweli mzee

  • @user-kp2jf5jc2i
    @user-kp2jf5jc2i 19 дней назад +2

    Sweet recommendations, uko vzr!

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 10 дней назад

    Ikiwa vyama vya upinzani havitajiunga na kuwa chama kimoja, yaani vibaki Ukawa na ccm tu wapambane, hata iwe miaka 1000 ijayo wapinzani hawatakaaa kamwe wakaipindua ccm. Wamlaaumu aliyevunja ukawa.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 дней назад

    Marefa wanaolipwa kutokana na idadi ya magoli watapiga penalti nyingi nyingi hata makosa ya katikati ya uwanja yatakuwa penalti

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 24 дня назад +4

    Huyu mzee kabudi tangu aliposema katolewa jalalani basi hana kitu tena cha kusaidia Taifa,hata kwenye midahalo asialikwe tena,hata mzee chenge nae hamna kitu ni ubabe tu,mbowe anajua mambo ndo maana hababaiki,katulia sana big up comrade mbowe

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 24 дня назад +3

    Mwl Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huachi CCM walikula nyama ya mtu 2019/20 hawawezi acha 2024/25 itakuwa ni upuuuzi wa kiwango cha juu kwaamini kuwa watabadilika

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 дней назад

    Kwa nini kila kitu chetu tunapenda kushirikisha wazungu wakati wao sio kila jambo lao hutushirikisha? Waafrika tujihoji sana tu. Sio ufahari Afrika tujihoji .

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 24 дня назад +4

    Mbowe busara kubwa sana huyu jamaa

  • @boscomfundo7953
    @boscomfundo7953 15 дней назад

    Mheshimiwa Mbowe ni akili kubwa. Anaeleweka na pia ana uwezo wa kujenga hoja

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 24 дня назад +6

    Unaye taka Lisu aongee kama Mbowe unakosea, yapo mambo Mbowe anaweza kuyaongelea na kuna mambo Lissu anaweza kuyaongelea, ni bahati kwamba chadema ina hazina hizo muhimu kwa taifa.

  • @leonardabenego4600
    @leonardabenego4600 17 дней назад

    Hivi wasomiwetu elimuyao inafaidagani kwataifahili? Kabudi chenge nawenginewote walisoma kwaajiliya matumboyao tuu?

  • @BalakaMbughi
    @BalakaMbughi 20 дней назад +1

    Laisi wetu mtarajiwa huyo

  • @user-fe8tx5bo2f
    @user-fe8tx5bo2f 23 дня назад

    Na kuku Bali sana kiongoz wangu mbowe mungu akupe maisha malefu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 7 дней назад

    Ccm haijawahi kuwa na chaguzi huru, na mwanadamu usimuamini

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo 15 дней назад

    Mbowe si professor km kabudi lakini yuko wima zaidi.

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd 23 дня назад

    Umeonge mambo ya maana sana mzee wangu ni ukweli mtupu

  • @stanleyamlima2085
    @stanleyamlima2085 15 дней назад

    Ameongea kwa hisia sanaaa

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 24 дня назад +2

    Kichwa kabisa huyu jamaa,nAAMINI KABISa akipewa nchi tuka safety hakika

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 21 день назад

    Professor kabudi ukweli anajua ila sababu ya chama lazima ageuke elimi yake anaweka pembeni kujifanya mjinga alafu historia Leo atuitaki tunataka hoja ya katiba mpya Ili kuondoka migogoro iliyopo

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi 8 дней назад

    Ukweli mtupu

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 24 дня назад +4

    Change si mwizi huyo

  • @teddymuganda3158
    @teddymuganda3158 23 дня назад

    Nashauri kuwepo na tume maalum ya ajira inayohusu sera na utawala Bora na uchumi enelevu wa maaedeleo na siasa huru ndani ya taifa,ambapo mfumo huu utajitegemea bila kuingiliwa Na selikali au utashi wa chama chochote,watatumia miongozo na katiba ya wananchi ya nchi husika Kwa kuweka sera za uchaguzi zitakazopitishwa na wananchi Kwa kupima wagombea kulingana na dira ya taifa ya maendeleo ktk sekta zote,ambapo mgombea atatakiwa kupitishwa kulingana na uwezo wake wa kuongoza nchi pili atimize vipaumbele vya wanachi bila visingizio tatu awe tayari kufungiwa mfumo kiintelijensiamwilini mwake amba o utakuwa unatoa taarifa zake zote nzuri mbaya na hata uwezo wake ukishuka ahiari kuachia nafasi Kwa kiongozi mwingine kuendelea hata kama miaka mitano haijaisha nne acngatuke madarakani asipoweza kukidhi haja za wananchi,achie ngazi kama watumishi wengine wanavyochukuliwa hatua,tano tume ya ajira ya siasa nchini itakuwa ndo yenye wajibu wa kumchukulia hatua za kinidhamu na kumwajibisha pindi anapokiuka sera kanuni miongozo sheria na katiba za nchi husika au taifa,pindi ameshika hatamu,mifumo ya kiitelijensia itafunguliwa Siri zake zitatoa majibu yote naye atastaafu kama mtaafu mwingine,hii itasaidia Sana bara la afrika viongozi kulewa na madaraka na kushindwa kuchukuliwa hatua naye atapimwa na tume ya ajira yasiasa na kuchukuliwa hatua za kinidhamu pale inapotokea kakiuka taratibu za nchi,tume ya siasa ya taifa itakuwa ndo inawajibu wa kuwapima viongozi wa vyama vya siasa work performance appraisal report,ambayo itasimamiwa na viongozi wabobezi ktk ufanyaji wa tathimini ngazi za kimataifa na kitaifa wataunda ,monitoring and evaluation (,national and international )guideline,standard,appraisal statistics on economic ,living standardandnational sustainability,team work,on good policy govenance ,katiba itakuwa sehemu ya nyongeza ,mfano huu nimeshauri Kwa sababu nchi imetoka analogy to digital watendaji na viongozi wapo analogy kiakili, na matendo kidijitali hapa vinakinzana,afungiwe booster imdaidie kutenda smart,

  • @HarunaSaidi-lb8oe
    @HarunaSaidi-lb8oe 19 дней назад

    Mbowe nademokrasi wapi na wapi!

  • @fadhilisawe434
    @fadhilisawe434 21 день назад

    Ila mnakula Bata asee hiyo sofa baba lazima uongee point

  • @RaphaelMachinda-ih5we
    @RaphaelMachinda-ih5we 24 дня назад +3

    Huku wanaoenda kuhakiki ni maccm

  • @muhsinissa7081
    @muhsinissa7081 24 дня назад

    Hongera mbowe umesema sahihi

  • @henrymntangi7783
    @henrymntangi7783 23 дня назад

    na ndio maana ccm na watu wake ipo siku watalia, kama sio wao watoto, wajukuu au vitukuu vyao. Na tunawajua

  • @user-zr1wl5zk4i
    @user-zr1wl5zk4i 16 дней назад

    Ccm hoi mmemsikia mwamba hyu achani janjajanja mpakanyie

  • @natusmaganyiro442
    @natusmaganyiro442 15 дней назад

    Mnaweka video mtandao zisizo kamili mnakuwa na maana gani?
    Kwann mnakatakata maneno?
    Huo ni upuuzi!!!!
    Weka hotuba yake yote

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango 21 день назад

    Neno.moja tu haha ccm ninani kama siwezi tafsiri ingine haipo

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 13 дней назад

    Nani angekuchagua tuweke picha ya Magufuli na wewe tuandalie nani atashinda

  • @kabaly18
    @kabaly18 24 дня назад +6

    huyu jamaa ni kiongozi kweli kweli

  • @ERNESTSuleiman
    @ERNESTSuleiman 24 дня назад +5

    Nina kuelewa kamanda,hawa watu wana mioyo migumu sana

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 17 дней назад

    Ccm ni wabaya sana

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 24 дня назад +1

    Madam president tunataka kuona Tanzania iliyo bora na katiba mpya

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 20 дней назад

    Wewe bado unangangania uwe mbele tu wape wengine wakae wewe umechoka

  • @fanuelnary4579
    @fanuelnary4579 24 дня назад

    Ambaye hakuelewi kamandaa huyo kukataaa

  • @JosephatMnyawi
    @JosephatMnyawi 24 дня назад

    Kwel haki ni zro ccm ndo tanzania dola ccm serikali ccm mgambo ccm baloz ccm mwekiti ccm mkuu wa willya ccm mkuu wa mkoa ccm je mwanaichi mnyonge anakua nann kama sekta zote zmekamatwa ccm

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 24 дня назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @josephngowoambroce418
    @josephngowoambroce418 21 день назад

    Nakuheshimu baba mbowe

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 24 дня назад

    Na kwa taarifa yenu nyie wadau wa mjadala huo uchaguzi mwaka huu na wa mwakani wapiga kura watakuwa wachache sana na sababu ya msingi ni hii 90% ya watanzania wanaamini rais lazima atoke ccm sasa ccm imeshajinadi kuwa mgombea wao ni mtu anaitwa samia suluhu hasan ambaye watu wote ambao hawapo kwenye uongozi na utawala either wa serikali au wa kisiasa hasa ccm hawamtaki samia

  • @driss4957
    @driss4957 24 дня назад +1

    MACCM HAYAYCHAGULIKI,KAMWE HAYATAKI MIFUMO HURU YA UCHAGUZI, HAPO MBOWE UNAPOTEZA MUDA TU..

  • @RahmaJohn-yu3ni
    @RahmaJohn-yu3ni 23 дня назад

    Chadema

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s 23 дня назад

    Good 👍kamanda

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 24 дня назад +1

    Bigup💪💪✌🇹🇿❤📿

  • @fadhilimsafiri216
    @fadhilimsafiri216 23 дня назад

    Mwamba wa Tanzania huyu.

  • @willykomba8376
    @willykomba8376 21 день назад

    Well Said gentleman keep it up ❤

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 21 день назад

    True Mbowe

  • @user-cq8lq7mb1k
    @user-cq8lq7mb1k 24 дня назад +4

    Mbowe unafaa kuwa raisi mwamba wa wabusara

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango 21 день назад

    Kwani MUNGU wa manabiii hapa tanganyika hata kazi.yeyote juu ya malalamiko haya tuungane kupiga hii babironi ili rugha yao iyendelee kuchafuliwa atokee mtu katikati. yao awapige kama magufuri alivyo wachafua roho za wenye haki na uwepo wa. wenye nia mbaya ndani ya nchi hii ninyi mitume mana bii wachungaji mashekhe watu wa haki mlio wekwa ndani ya hili taifa mko wapi je? hamuoni huu ushenzi wizi raghai uwongo kiburi zarau jeuri mauwaji utesaji bila woga ninyi hamuoni hii inchi imeibiwa na iko mikononi mwa watu ambao sio salama na damu zao MUNGU atazidai mikononi mwenu asomae na afahamu

  • @mmassfashion963
    @mmassfashion963 24 дня назад +2

    Mongela anaskiliza kwa umakini kwel kwel