UJERUMANI MPAKA LEO HAWANA TUME YA UCHAGUZI/MWAKA 1958 HATUKUWA NA TUME YA UCHAGUZI..PROF KABUDI..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 96

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda 21 день назад +7

    Kabudi geuka nyuma broo angalia wa Tz 🇹🇿 wanavyo teseka ifike mahala mkubali tu mmechemka kuongoza hii nchi acha history za kipuuzi saidia taifa kwa katiba na tume huru watu🇹🇿 tumechoka ....✌️✍️

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi 21 день назад +11

    Mtu ni proff but anaongea pumba tupu Kuna shida kubwa

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 21 день назад +7

    Kumbe kuna watu wanaishi ili kuleta hasara kwa wengine

  • @user-mb7vu9ri3z
    @user-mb7vu9ri3z 21 день назад +6

    Mungu atusaidie watanzania kwa kuwa na viongozi wasiojali ,wasiomcha mungu

  • @ezekielemanuel2910
    @ezekielemanuel2910 21 день назад +7

    Kutetea unga wa ndere ni ngumu sana, Professor Kabudi kuna mahali point zinavepa kabisa anabaki kubwabwaja😅😅

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 21 день назад +9

    Hivi hamna body za ma Prof ambazo zinasimamia ubora wa hawa ma Prof jmn kwa sababu ktk nchi yetu wamekuwa hawana mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi yetu! Tunawaheshimu kweli maana wakiamka tunasisimkwa kwa hisia tukijua mbegu bora inaenda kupandwa kwny ardhi yenye rutuba lkn mwisho wake wana tukwaza na kufanya uharibifu mkubwa sana kwa jamii na nchi kwa ujumla!

  • @OmanIbri-hj8ss
    @OmanIbri-hj8ss 21 день назад +4

    profesa uchwaraaaaaaaa

  • @helenakamenya8680
    @helenakamenya8680 21 день назад +6

    Wewe professor uchwara ukimaliza kuongea angalia coments

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 21 день назад +3

    Profesa ni kweli umetumwa na chama chako kukisemea wala sio kuutetea uma kwa yaliyomo ambayo ufumbuzi wake ni kuikosoa serikali ya chama chako!Ukitupa mifano ya nchi zingine maana yake madai ya wadau hayafai yatupwe! Nini maana ya mijadala kama hatuji pamoja?! Muda mfupi kwa madai ya miaka yote 30!, lakini mwaka mzima hautoshi kufikia 4Rs kisa muda mchache,mpaka 2030! Serikali haiko serious...

  • @bensonphilip9673
    @bensonphilip9673 21 день назад +1

    Aseee hatuitaji historia bhana there is are lot of literature mzee we need what you have mbele ya taifa hili acha story twende na point

  • @user-bm4dt6vx5l
    @user-bm4dt6vx5l 21 день назад +5

    Kwani hapa ni ujerumani CCM haitaki tume huru kwa sababu wanataka waendelee kuiba kura

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 21 день назад +5

    Ukweli me sijamuelewa asaa huyu ni mtetea ugali tu

  • @joshuarose6756
    @joshuarose6756 21 час назад

    Wadau Mim simuelew sijui Ndio Professor hapan hapo

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 21 день назад +1

    Kabudi niprofesa mzuri sana ...lakini shida tusimlaumu kwasababu Toka zamani ukiisema ccm vibaya unatengwa nakufukuzwa ccm

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 14 дней назад

    Nyie ndoo mmeliangusha taifa kwa maamuzi hasi na mnasimamia matumbo yenu tu sio masilahi ya watanzania ila kumbukeni mwisho wa siku mungu anawasubiri kwa kuwasababishia watu wake kuishi maisha magumu.

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 21 день назад +3

    We mzee unajua kabisa mfumo wa Tz wasimamizi ni makada wa chama cha mapinduzi, na wewe ni mnufaika wa mfumo feki wa kupita bila kupigwa

  • @user-hl9xu4vo1q
    @user-hl9xu4vo1q 14 дней назад +1

    Huyu mzee nimemsikiliza mpaka mwisho lkn sijaelewa kaongea nini!!

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 21 день назад +2

    Viongozi wa sasa ni shida wamekosa ubunifu ndo maama wanakuja na mambo ya kale hawana jjipya wanaangalia maslahi Yao tu ili waendelee kukaa madarakani watanzania kuweni makini wanazungumza mambo ya kale tu na hoja ambazo hazina mashiko hadithi zimekuwa nyingi kuliko mambo ya msingi

  • @charlesmkisi8052
    @charlesmkisi8052 9 часов назад

    Comrade

  • @BLESSblessing1
    @BLESSblessing1 14 дней назад

    Kutoka Burundi, kuna watu ninawowapenda sisiemu haswa speech ya kabudi na vituko vya kagi rugora kipindi hicho