Uchaguzi wa 2019/2020 Chenge Akubali Alaumiwe Kuhusika 'Lakini Bado Muda Tunao'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 май 2024
  • #ijuesheria #democracy #election
    Amesema hayo Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu Andrew Chenge kwenye Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025 ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania tarehe 9 Mei 2024.

Комментарии • 85

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Месяц назад +9

    Tume ya Uchaguzi ndio inawachzgulia wananchi kiongozi , sio wananchi waliochaguwa.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Месяц назад +17

    Ni Uwongo Mamlaka sio ya Wananchi, Mamlaka ni ya CCM , Wananchi hawana HAKI ya kumchaguwa kiongozi wanayemtaka.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад +9

    Vijana ndiyo wameharibiwa na kufanywa watumwa wa CCM kwa sababu ya udanganyifu kama huo. Ninyi hao hao uliisha kaa kwenye CCM inayona wanainchi watumwa wao wanatutesa kuliko ambavyo ukoloni ungetunya leo. Kwa sababu Nyerere alipowaendea walielewa kuwa kuna ukoloni lakini katika unafiki wa CCM ukiwaeleza ukweli wanaona tutaharibu amani ya Inchi. Kwani wakati wa ukoloni kulikuwa uonevu kuliko sasa? Waliosoma Shule za ukoloni walichangishwa kiasi kama cha leo. Watoto wote walisoma shule hizo leo kuna hospital na shule za masikini na watawala wabapelekawa inje ya Inchi kwa huduma hizo zote mbili. Wakoloni waliuza sehemu ya Inchi kwa warabu? Hapana. They protected us. Lakini Inchi inauzwa kwa warabu na watetezi ni wanainchi ambayo wameharibiwa akili na wanaccm kwa kudanganya kwa kificho cha amani.

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 Месяц назад +6

    Hakuna hata MTU Mmoja wa CCM asemaye ukweli. Wote waongo

  • @mzeekidevu9688
    @mzeekidevu9688 Месяц назад +4

    Uwe mzuri kuliko chaguzi zote za tanzania kwakuwa zote zilikuwa za kihuni

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd Месяц назад +4

    UKIMSIKILIZA, KAMA KWELI ANAZUNGUMZIA MANUFAA YA NCHI, KUUUMBE.....!!!

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v Месяц назад +6

    Vipi rasimu ya katiba ya Jaji Warioba na hatimaye kuwa katiba pendekezwa?, kweli watu watakuwa na Imani juu yenu?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад +5

    Hao kila siku wanatuuza kila wakati wote.Kanunu hizi hazijaleta tofauti kwa kweli hakuna kipya. Kwa nini wanakataa KATIBA. HATA TUME HURU YA UCHAGUZI NI KWA AJILI YA CCM TU. TUNAKA KATIBA KWA SABABU NI TUME HIYO HIYO WALIO VURUGA UCHAGUZI 2015 NA 2020. SERIKALI HII CCM wanatuona wanainchi watumwa wao.

    • @MayalakusekwaNkwabi
      @MayalakusekwaNkwabi Месяц назад

      Vijana pindueni MEZA Wazee wengi hawataki Ukweli usemwe CCM ni MADALALI wa Rasilimali zetu biashara ya Uchaguzi ni Kwa faida yao Viongozi wakubwa wa CCM Mwenyekiti wao ni Mungu mtu

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Месяц назад +5

    Tapeli huyoooo

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j Месяц назад +1

    Isaidie HAKI itande, itapakae Kila upande. (Quran 4:135)

  • @edwardelibahat8012
    @edwardelibahat8012 Месяц назад +3

    Utapeli tu

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Месяц назад +1

    Bora hata uchaguzi usogezwe katiba na tume huru ipatikane ccm chenga tupu hana lolote la maana zaidi kupoteza muda

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 29 дней назад

    Kweli Mungu anahuruma chenge upo hai Kwa ufisadi wako??? Kwa maneno urioongea usamehewe umemekiri zambi Mungu akurinde kwa ukweli wako

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 Месяц назад

    .......huyu chenge huyu,chenge....aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali(attorney general)

  • @ruwaichijoseph5946
    @ruwaichijoseph5946 Месяц назад +2

    Mwogope
    Mungu kinywa chako kitakihukumu wewe na tamaa zako za madaraka

  • @user-bv1jd6qw7z
    @user-bv1jd6qw7z Месяц назад +1

    Kinachawezekana Kifanyike Leo

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Месяц назад +2

    Warsha,makongamano,vikao vingi vyote hivi ni upuuzi tuu.
    Jambo ambalo lilihitaji busara na hekima kulimaliza ccm inacheza na akili zetu.
    Rasimi ya warioba ipo kwanini tusianzie hapo?
    Binafsi tususie chaguzi zote tutafute nije nyingine ya kudai haki.
    Inasikitisha na inachosha akili

  • @RutinikiGosbert
    @RutinikiGosbert Месяц назад +1

    Yaani ccm ni kama manyani sasa hivi yapo yanasubiri kuiba kura tu hayana jipya alafu maswaswa hayaona hayo

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 Месяц назад +2

    CHENGE NISHIDA KWENYE HII NCHI NA KABUDI PIA

  • @peleziyohana4806
    @peleziyohana4806 22 дня назад

    Wazee Matapeli wa Tanganyika.

  • @TambikoLetu
    @TambikoLetu 13 дней назад

    Kila mwaka nihayo hayo tu.mda hautoshi kivipi?

  • @batulemwamwaja6524
    @batulemwamwaja6524 Месяц назад +1

    Wakimaliza hapo wanapewa posho wakatafune ambayo Ni Kodi za wananchi

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Месяц назад

    Wananchi hatuna haki msitudanganye wenyewe ndo mnachaguana sisi tunaenda tu kupanga foleni tupigwe na juwa mvua lakini siri ya viongozi mnazijuwa wenyewe iko siku tutakataa kabisa kushiriki uchaguzi mteuane wenyewe CCM na serikali yenu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Месяц назад

    👍👊✌️.

  • @ezekielkiduge8730
    @ezekielkiduge8730 Месяц назад

    Hueleweki hata kidogo kile unachosema una mlengo wa ki CCM tuuuu

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 Месяц назад

    Hivi huyu mtanzania wawapi. Msitafu. Skae nyumbani kwake hata haoni tena Kila kitu kina mwisho yetu mmeuza waongo watupu

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 Месяц назад

    Dilology zilishafanyika sana ,mzee chenge ndio maana wewe wenyewe ni mhanga wa sheria za Uchaguzi.
    We had enough time to do reforms of these law and by law elections including the National reform Constitution that had been coherently perfect to adopt the new emarging environment. Katiba ya Warioba ndio msingi wa katiba bora. Kwa nini waache kama na wewe uwe nia njema na nchi?
    Maana wananchi wanafuatilia kwa makini na kuona nani mwenye nia njema na Nchi na akina nani wenye nia ovu ya kusaliti wananchi.
    In short ,want is needed is new Constitution

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya Месяц назад

    Hivi Hawa CCM, wanataka mpaka nchi iingie kwenye vurugu, ndipo watambue kuwa wananchi wamechoka na udanganyifu wao? Nchi hii siyo ya Wana CCM peke yao.

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael Месяц назад

    Tagu lini ccm ikafata mamlaka yetu sisi wananchi

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Месяц назад

    Ccm.wote ni waogo kuliko hata shetani

  • @BonaventureJohn-mk6xh
    @BonaventureJohn-mk6xh 25 дней назад

    Viongozi walewale tume Ile Ile, hapana hatuna Imani. Mechi ya Simba na yanga refa Mo dewji, washika kibendera marehemu Hans pop na Mangungu kamisaa Try Again, hata ingerudiwa mara mia yanga hatapata ushindi Wala droo hapo

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael Месяц назад

    Nyie ccm natamani kile kiama kije kiwasombe nyote tubaki sisi wenye mapenzi mema na nchi yetu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku Месяц назад

    Haaaaaaaaaaaaaa nani huyo Chenge,matendo yake kama sio msomi,rudisha ulizovicha mmetupiga nchi hii kama sio watanzania.

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j Месяц назад

    Stand up with justice being witnesses for GOD. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 Месяц назад

    ......wekeni tume huru,mtashinda tuuu,mnaogopa nn???....

  • @sewandomkuchu9267
    @sewandomkuchu9267 Месяц назад +1

    Hati ya udharula ni ngumu pale CCM haitaki..???

  • @marckmasaidia7997
    @marckmasaidia7997 Месяц назад +1

    Si mkubali sasa kuwa wakati wa kufanya marekebisho na kuwa na tume huru ya uchaguzi ni sasa.

  • @knight6757
    @knight6757 Месяц назад

    🤔🤔

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Месяц назад

    Hawa ndo wanafaidika na wizi na wanakula kodi zetu huyu mzee wamekula mpaka pesa za epa atatusaidia nini?

  • @ericknganzi398
    @ericknganzi398 Месяц назад

    Hili jambazi Mungu alilijalia akili nyingi ila lilizitumia vibaya jizi hili Mungu alikemee.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад

    Nyoka mwenye makengeza amaongea owongo wake wamejipanga hao watakatifu wa owongo

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 Месяц назад +1

    tuliko toka kuhusiana na uchaguzi ni kuzuri zaidi kuliko tunakokwwnda Chenge anapata wapi credibility ya kuzungumzia integrity wkt yeye ni fisadi mkubwa !!

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn Месяц назад

      Kwa kweli tanzania tuna mizimu lukuki inatutafuna! Hivi Chenge si ndie kundi la enzi za akina Tibaijuka, Kikwete, Shukuru Kawambwa na shs milioni 10 hela ya mboga tu! Leo, Chenge naye anapewa jukwaa ka kuongea na serikali na halafu waliokongamana wanamsikiliza kwa makini na matumaini! Watanzania wamemsahau na sasa anarudi taratibu kujitakatisa katika jamii yetu na kiupofu tunampokea! Ndo mzimu wenyewe unaotutafuna! Ndo maana mi nina orodha ya wapinga mapinduzi (mafisadi, machawa, wasiojitambua nk.) duniani, tanzania ikiwa ni kanda orodha ikiongozwa na mzee Wasira. Nia ni ili kushinda mzimu huu wa kusahau. Chenge ana bahati, nilikuwa sijamuorodhesha katika orodha wapingamapinduzi.

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 Месяц назад

    Mzee Chenge Miaka 30 Katiba Tunaidai.Leo Ni Yale Yale.2019,2020 Kwani Nani Waliokuwepo???? Ni Nyie Nyie,Hamuoni Aibu????

  • @dicksonlusinde2830
    @dicksonlusinde2830 Месяц назад

    wapigaji wet hawa

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 Месяц назад

    Zee change hizo ni blabla zakutudanganya Watanzania, ni miaka minha pi Leo Tangu tul8poanza Kudai? Tumechoka kudanganywa kama watoto. Hatutaki Tena uwomgo wenu

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 26 дней назад

    Vijana mnaambiwa nchi ni yenu lakini lini mtapata Rais kijana? Makamu Kijana, Spika kijana, jaji mkuu kijana? Kijana mwisho miaka mingapi? Fursa za vijana ktk kugawana keki ya taifa hili ikoje? Kijana anaachiwa wazee ambao hawakumtengenezea fursa awatunze uzeeni hiyo imekaaje?

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 Месяц назад

    Vijana niwaambie ukweli;Akili iliyotengeneza tatizo kamwe Akili hiyohiyo haiwezi kutumika kulitatua au kuliondoa hilo tatizo.Mkiendelea kuwatumia kina Chenge na Hawa Ghasia na akina Kinana eti watatue matatizo yetu ya mfumo wa chaguzi zetu,vijana mtakuwa mnapotea sana,Kinana aliwaaminisha ACT WAZALENDO kwenye Mkutano wao Mkuu kuwa chaguzi zitakuwa Huru na Haki,lkn kilichotokea kwenye chaguzi ndogo Bwana Zito Kabwe na ACT WAZALENDO wenzake wamebaki wanalia tu.Leo hapo Chenge anawadanganya kuwa asamehewe kwa yaliyopita kwa sababu alihusika kuyatengeneza na sasa anasema mambo mazuri hayataki haraka.Kazi kwenu Vijana Je,muendelee kumwamini yeye na CCM yake?Kumbukeni huyu ni mzee wa Vijisenti.

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 Месяц назад +1

    Watanzania tunategemea wazee na wastaafu kama hawa kutusaidia kupata Katiba mpya.Badala yake wanaisapoti CCM ili iendelee kuwa madarakani kwa kutumia njia haramu.Wanangoja watu wachoke na kufanya fujo.Sikilizeni na fanyeni wanavyopenda wananchi.WENYE NCHI WAPENI WANALOPENDA.

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur Месяц назад +1

    Mbona unajikanyaga kanyaga kwanini mnauogopa tume huru huru?

  • @user-uo9tq8cc7q
    @user-uo9tq8cc7q Месяц назад +1

    Maneno hayo chenge ungeyasema ulipokuwa mwanasheria mkuu wa serikari enzi ya mkapa na pia ndio kipindi ungetumia nafasi yako kuisaidia nchi magufuli alivyokudiliti kwenye kugombea ubunge Sasa unajifanya mwema kwa wananchi *tunataka utujibu Ile luga ya vijisenti

    • @jacobemmanuel5262
      @jacobemmanuel5262 Месяц назад

      Huyu mwongo anaomba kitu... amechelewa kuongea anajulikana kitambo

  • @deomuganda4840
    @deomuganda4840 Месяц назад

    Mheshimiwa Chenge yuko vizuri

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Месяц назад

    ACT WAZALENDO NDIO CHANA PEKEE KITACHOWAKOMBOWA WA TANZANIA KISIASA NA KIUCHUMI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ❤❤❤ ✅✅✅ ! . . .

    • @JosephuSwai
      @JosephuSwai Месяц назад

      Nyooo

    • @albinusmkono5887
      @albinusmkono5887 Месяц назад

      Act ni ccm B

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd Месяц назад

      UDINI UNAKUSUMBUA UKUMBUKA UDINI NI DHAMBI ITAKAYO ANGAMIZA WATU WENGI KTK JEHANUMU YA MILELE!!! (NI KWA KUKOSA MAARIFA TU!!!)

  • @user-fn4ro8vx5r
    @user-fn4ro8vx5r Месяц назад +1

    Huo ndiyo weledi, maoni safi kabisa mzee Chenge.

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry Месяц назад

    Kama hoja ni muda, ni bora ku ahirisha uchaguzi kwa mwaka mmoja ili tutengeneze vizuri, miaka 5 ya kunaribu, tena HAPANA, HAPANA.!!!!

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Месяц назад

    Chenge uzeeke vizur, acha uzandiki, mliuona udhaifu wa sheria toka awali, ulipaswa kuishuri serikali yako mapema, malalamiko juu ya uchafu wa sheria ulilalamikiwa mapema. Ulitegemea mbwa wa bunge la Yuccm, wangepinga wakati dhahiri sheria hiyo ina mwelekeo wa kuwa fursa ya kuendelea kuvimbiwa?

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Месяц назад

    Lini R.I.P

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 Месяц назад

    Unajua viongozi wa ccm wanatambua fika wanawakosea wananchi kwahiyo wanachokifanya ni mwendo wa ushauri mwingi kuwatia matumaini ila hakuna hatua za dhati zinazochukuliwa kwaajii ya matakwa yao.
    Ni sawa na kuwa na watoto nyumbani wana uhitaji wa chakula ukirudi unawaletea maneno mazuri kwamba wanangu nimetoka kazini ila sijalipwa kwahiyo vumilieni hela naitegemea kesho, kesho ikifika inakuwa hadithi hiyohiyo inafika hatua wale ambao ni wajanja wanaanza kujiongeza kujitafutia maana wanakuwa washamuelewa baba yao alivyo ila baadhi wanaoendelea kuamini maneno ya baba yao wanabaki wamesubiria mpaka wanakufa njaa.

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c Месяц назад

    Yani kumbe mnajua 2019 kulikuwa na madhila ya uchafunzi kwenye uchaguz yan nyie wazee wa ccm nyie we chenge na kabud nyie yani nyie mnanikera mana mnajua kila kitu ila basi tu mko kwenye chungu kinachoitwa ccm

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 Месяц назад

    Huyu mzee amechanganyikiwa mpuuzi huyu kila lipofika jambo muhimu hawana muda ikifika mwishoni utasikia muda hautoshi wahuni hawa wapuuzi! Eti Nchi ya vijana! Vijana wakati wao ndio wamiliki wa Nchi tutakutana mbele huko

  • @user-rn2dl8cf4t
    @user-rn2dl8cf4t Месяц назад

    ACHA hatii ya dharura kuiwezesha DPW iawezekana.Ya kuweka Time hi huru ya uchaguzi on ni ngumu sana ni woga TU kwa manufaa ya I'm ccm.

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Месяц назад

    Chenge na yule muhongo sospeter ndio wanaotumia shule walionayo kutupoteza

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Месяц назад

    Tangia mumeongoza inchi ni miaka mingapi imepita wanaocherewesha ni ninyi ccm muache chenga chenga siyo tume TU na katiba haya mawili ni lazima

  • @gulalakitinya7615
    @gulalakitinya7615 Месяц назад

    Mbona huyu anajichanganya sana? Haongei kama mwanasheria mbobezi bali ni uchawa tupu.

  • @sewandomkuchu9267
    @sewandomkuchu9267 Месяц назад

    Kila siku wanasema muda umeisha..mwaka huu muda umeisha ili wasiochaguliwa waibe kura...

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Месяц назад

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂badala ya kuwachiw uhuru pia tumewachiwa na wajinga wengi 😂😂😂😂😂😂

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 Месяц назад

    WAZEE WASOMI HARAFU MATAHIRA MNATUMIA VIBAYA USOMI ZENU NYIE WAZEE MMESHAKUA VICHWA HASARA KABISA TENA MRANIWE

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 Месяц назад

    Huyu dingi vip ni mwanashelia kweli!!!!??

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 Месяц назад

      Ni mwanasheria mzuri tu lkn yuko CCM na Taaluma yake nzuri ameamua kuificha mfukoni ili waendelee kuiibia nchi hii kupitia CCM.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Месяц назад

    Inchi ni ya vijana ila pesa na vyeo ni vya wazee

  • @gulalakitinya7615
    @gulalakitinya7615 Месяц назад

    A big fool. Mwizi mkubwa.

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 Месяц назад

    Ujinga kabisa yaani wizi wote Ile mtu hata anadiliki hata kusema

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s Месяц назад

    Chenge usituone watanzania niwajinga mliharibu chaguzi mnaacha kutubu mnakuja na ujinga