MBUNGE ATINGA NA POMBE BUNGENI, K.VANT, KONYAGI, AZIPANGA MEZANI - "KWANINI MNAZUIA GONGO?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 434

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi Год назад +2

    Asante sana mh mbunge samahani je umeolewa au ujaolewa nimekupendasana unahojamzuriww aisee

  • @daudmbwile352
    @daudmbwile352 Год назад +7

    Nakushukuru Sana mbunge kwa hoja nzuri, Cha msingi gongo ihararishwe na isiuzwe kwa kificho ili wananchi wajiajiri. Wasambaa wa lushoto wanatengeneza pombe ya miua ambayo haina utofauti na gongo.

  • @ManeMsenegal
    @ManeMsenegal 8 месяцев назад +5

    Umeongea pointment madam salute

  • @anthonysulula766
    @anthonysulula766 Год назад +5

    Waheshimiwa wabunge,,,hongera kwa kazi nzuri ya kutetea maslahi ya watanzania.tuko nyuma yenu,msichoke kusema juu ya utawala wa mazoea,,kwenye taaluma huku tumeingiliwa na ma bodi ya taaluma yanayojifanya kuwa yapo kwa maslahi ya mtaalam kama vile bodi ya pharmacy, maabara,engineering zote,n.k.badala yake zmeweka mashariti magumu kwa wataalam mwenyewe katika kujiajili na kunufaika na taaluma zako.anae pewa kipaumbele ni mtumishi wa serikali tu.sio mtaalam ktk sekta binafsi.

  • @VeronicaBango
    @VeronicaBango Год назад +2

    Huyu mbunge jamani apewe maua yake anaujua ukweli , pia ni jasiri na hodari ,hongera sana

  • @nasibukambona2586
    @nasibukambona2586 Год назад +1

    Big up kwa spika wetu kwelii yuko vizuri na msikivu saanaaa

  • @EliakimMoikan
    @EliakimMoikan Месяц назад

    Uko vizuri sana dada yangu. Mungu akulinde zaidi

  • @LivinoMwacha
    @LivinoMwacha 6 месяцев назад +1

    Upo vzr dada hatuoni umuhimu wa vitu vyetu big up sana

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 Год назад +31

    Ana Hoja Kweli Aiseee ❤ Ajengewe Sanamu pale dodoma

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 Год назад +6

    Hongera dada japo mimi natambua pombe ni dhambi

  • @BarakaMsigwa-sc5zn
    @BarakaMsigwa-sc5zn 10 месяцев назад +2

    Point sana kiongoz

  • @TheKaswahili
    @TheKaswahili Год назад +1

    Mbunge huyu amenikuna sana 👍👍👍👍👍👍

  • @KevineKataka
    @KevineKataka Месяц назад

    Yaniii mtoto anaohogeya jambo la haki kwa Tanzani alafu watu wazimaaa Wana kuwa na ujigah awo wazeee diyo wenye mbombe my sister 🌹🇰🇪God be with you amina

  • @vailethkivuyo620
    @vailethkivuyo620 Год назад +1

    Huyu mbunge anajielewa sana apewe maua yake♥️

  • @Maichampiongirl
    @Maichampiongirl 7 месяцев назад

    #mbunge❤❤❤❤ pokea maua yako mmy ❤❤❤❤❤❤ champion girl 💪 l love you so much we nibonge la kiongozi

  • @amanimakury-cv5lw
    @amanimakury-cv5lw Год назад +10

    Huyuu anaongea point kubwa

  • @AmoceMnyanyi
    @AmoceMnyanyi Год назад +2

    Mungu akupe maisha malefu kwa kujua ukweli

  • @DavidChristopher-r4i
    @DavidChristopher-r4i 4 месяца назад

    ❤mungu akulinde dada yangu kwa kuwatetea mama zetu na bibi zetu wanaotafutaliziki kwa kupika na kuuza pombe ❤❤

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 10 месяцев назад +3

    Huyo anayesema kanuni imevunjwa. Yeye na familia yake wanashiba KWa mshahara mkubwa. Hajui mama mhangaikaji anayeuza gongo anakula nini. Yaani bungeni kuna watu humo wanasinzia tu. Badala ya kusikiliza Hoja anapanga namba kupinga Hoja.😂😂😂😂

  • @mertus.nestory.bishirangon4624
    @mertus.nestory.bishirangon4624 Год назад +3

    Hata.mimi.nimesomeswa.nagongo

  • @HappynessHilonga
    @HappynessHilonga Месяц назад

    Your a champion 🏆 🎉 keep it up

  • @babudingi-gd7pz
    @babudingi-gd7pz Год назад +1

    Dada uko powa njoo uku ✌️✌️

  • @KatunzLibelitus
    @KatunzLibelitus 7 месяцев назад

    Pongeziiii sanaaaaa dadaaguuu mauaaaa kwakoooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 7 месяцев назад +3

    Tanzania mko vizuri. 🇰🇪

  • @gastonsonnymwaselela4580
    @gastonsonnymwaselela4580 Год назад +2

    Ajengewe Mnara pale Jamanitini 💪

  • @ErickstarGabriel
    @ErickstarGabriel Месяц назад +1

    Safi aise

  • @loycenzuki7940
    @loycenzuki7940 8 месяцев назад +1

    Daaah uyi dada noma❤

  • @Faridahabibu-n5u
    @Faridahabibu-n5u 21 день назад

    Safi dada ❤

  • @benjaminmwenda7976
    @benjaminmwenda7976 Год назад +3

    Hoja imejengwa vizuri..!!

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 Год назад +4

    HUYU DADA MBUNGE ANASTAHILI KUWA WAZIRI WA VIWANDA!

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 8 месяцев назад +10

    Ili bunge la vp mbona wazungumzia kunywa tembo tu kwani sdhida nini ili sio la walevi tungumzuni mengine walev wacheni watajib kwa Mungu midhambi hiyo

  • @ThaisonMsuya
    @ThaisonMsuya Год назад

    Samaha ni no sana wahedhimiwa mnasema pom ebe pombe na wengine mnajisifia pombe dada Mimi nasema mungu aingilie kt wan

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 Год назад +5

    Umelazimisha ni dhambi kwa mjibu wa dini lakini Mungu hana dini na serikali yetu haina dini

  • @ahmesaofficial9611
    @ahmesaofficial9611 7 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉 upo vizur mama

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Год назад +7

    Watu wako busy na ushoga, ila tz Kuna vijana wengi wanavipaji

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Год назад

    huyu mbunge atafika mbali anasemea creativity ya watanzania inadharauliwa, hii ni kweli kabisa.

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 Год назад +20

    Tanzania nchi ya ajabu sana khaaa 😢😢😢😢😢vitu vya nje vina thamn kubwa kulko vya kwetu tunajidharau

  • @genarahaswile2990
    @genarahaswile2990 Год назад

    Munguuu akuzidishie maisha uzid kutetea

  • @SelaSimbeye
    @SelaSimbeye Месяц назад

    Sema dada ❤❤❤❤❤

  • @meshackwilson325
    @meshackwilson325 Год назад +2

    Fact

  • @NasiriAcramYusra-rf8dl
    @NasiriAcramYusra-rf8dl Год назад +2

    Huyu MWANAMKE nimempenda sana

  • @VailethSanga-r1j
    @VailethSanga-r1j 3 месяца назад +1

    Duuuu wanawake kweliiiii mnawezaa jaman uuu mfumo upo sahh sanaa zinga la hoja pambana sanaaaa

  • @PaskaziaEmanuel-zt6ev
    @PaskaziaEmanuel-zt6ev Год назад

    Mungu akutunze Dada mzurii

  • @ZuhuraAdinan-t1r
    @ZuhuraAdinan-t1r Месяц назад

    Saii tanzania kilakitu kinawezekezanaa lkn viongozi wetu wanazalau nchi yetu

  • @petergaudensiajohn
    @petergaudensiajohn Месяц назад

    dada umeonge vzr sana na una sauti nzuri kama spika wetu

  • @EmmaSerubhibhi
    @EmmaSerubhibhi 12 дней назад

    Muheshimiwa uko vzr sana

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Год назад +10

    Muheshmiwa hujui tu unatia watu kiu😂😂
    Halafu cku nyingine uje na kopo la ulanzi kwa kutambua uwepo wa wahehe kwenye sekta ya viwnda

  • @DenisHassan-b5x
    @DenisHassan-b5x 11 месяцев назад +2

    Huyu mwanamke kweli anawakilisha wananchi

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Год назад

    Msukuma ni mjinga kupindukia. Ni mjinga hastahili kuwa Bungeni na Atolewe. Hajaelewa nia ya huyu dada. Usomi wa Msukuma ni za kuungaunga.Anajionyesha kuwa Ana uwezo wa wa kununua. Huyu mwenye kukodisha ni mdini na kakuripuka sababu uarabu umetajwa naye ni mwislamu. Ndo udini huo tunaoukataa. Hongera dada. Elimu tunazozitafuta ndio hizi.

  • @NeemaJosephat-gv4ni
    @NeemaJosephat-gv4ni Год назад

    ❤❤❤❤ umeongea point

  • @AlfaniMajidi-g4h
    @AlfaniMajidi-g4h Месяц назад

    Mubunge upo vizuri

  • @TheresiaJoseph-wl1dy
    @TheresiaJoseph-wl1dy 7 месяцев назад +2

    👍👍😍

  • @StevenRichard-b6w
    @StevenRichard-b6w 4 месяца назад

    Mama uko vizuri sana

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 7 месяцев назад +2

    safi snaa sister

  • @BenyJapheth
    @BenyJapheth 11 месяцев назад

    Wazo zurisaana dada angu big up

  • @amaniHaji
    @amaniHaji Год назад

    Mungu akupe maisha marefu

  • @MashakaSichalwe
    @MashakaSichalwe Месяц назад

    Good dada angu

  • @chepeemcee2990
    @chepeemcee2990 26 дней назад

    Umetishaaaaaaaaa

  • @victorbura2369
    @victorbura2369 Месяц назад +1

    HONGERA KWA HUYU MAMA HAKIKA KAONGEA POINT KUBWA SANA.NAAMINI SIKUMOJA TUTAFIKIA HUKOOK

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 8 месяцев назад +1

    Dah!!

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 4 месяца назад

    Kidunia yupo sahihi.

  • @duncankanu8815
    @duncankanu8815 3 месяца назад

    Congratulations ❤❤

  • @KalomoBulugu
    @KalomoBulugu Год назад +2

    Wapo viongoz wanaopnda maendeleo nchini hongera sana muheshimiwa MUNGU akujaarie

  • @stamalamkulungwa8708
    @stamalamkulungwa8708 Год назад +4

    Kiupande frani ameongea point sana

  • @JosephinaLyimo
    @JosephinaLyimo Год назад

    Smart girl❤

  • @tiffanyakramJr814
    @tiffanyakramJr814 Год назад +3

    Brand iyo unaitangaza bule🤗 tena NCHI NZIMA ipo apo bungeni

  • @SebaJohn-w5s
    @SebaJohn-w5s Месяц назад

    Champion

  • @WitnessKayange-ml1zq
    @WitnessKayange-ml1zq 10 месяцев назад

    Safi sana kiongozi

  • @RosemaryShilla-dr6kp
    @RosemaryShilla-dr6kp 23 дня назад +1

    We unaesema amevunja kanuni. Kwani amekuja akiwa amelewa? Uyo ni mwanamke na nusu ongea mama.

  • @petermwaghania2882
    @petermwaghania2882 9 месяцев назад +1

    Mheshimiwa pongezi kutoka kenya

  • @sangudiamayenga871
    @sangudiamayenga871 10 месяцев назад

    Mbunge huyu 👍👍👍

  • @Bihomebuja
    @Bihomebuja 7 месяцев назад +1

    Huyu mama ni Kichwa.

  • @MSHUTIMEDIA
    @MSHUTIMEDIA Год назад

    Fact kubwa ❤

  • @JoshuaNgosi-f5v
    @JoshuaNgosi-f5v Месяц назад

    Umeibua hoja ya kisomi hongera sana

  • @JovinaAlfred-m4x
    @JovinaAlfred-m4x Месяц назад +1

    Wewe dada unastahili kupewa uwaziri wa sekta ya viwanda
    Tunahitaji watendaji aina hii kuleta maendeleo kizalendo
    Natamani ugombee kwenye Jimbo langu

  • @WilsonJuma-nl7js
    @WilsonJuma-nl7js 6 месяцев назад

    Iko sawa sana

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 8 месяцев назад +1

    Congratulations

  • @richcompanyfilmtv823
    @richcompanyfilmtv823 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥 point

  • @KAMTUPE
    @KAMTUPE Год назад +1

    Fact..

  • @KevineKataka
    @KevineKataka Месяц назад

    🇰🇪🤣🌽👍🙏Hallelujah that' is true Tanzanian buge ❤️

  • @BiyegePascal
    @BiyegePascal Месяц назад

    Very nice

  • @BarakaShayo-f2r
    @BarakaShayo-f2r 3 месяца назад

    Hongera saaan mm

  • @SadickSued
    @SadickSued 10 месяцев назад

    Ongera sana dada

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Месяц назад +1

    HIZO TAARIFA MBONA HAZINA UHUSIANO NA KINACHOZUNGUMZWA ? AU WABUNGE WASIOKUWA NA HOJA NDIO WANAJIFICHAGA HUMO KWENYE TAARIFA😅😅😅😅

  • @Pizzomc-wo1qw
    @Pizzomc-wo1qw 7 месяцев назад

    Ongere

  • @SamsonKena
    @SamsonKena 9 месяцев назад +1

    Dar anajua.

  • @nasibukambona2586
    @nasibukambona2586 Год назад +1

    Mmbunge ameongea kweliii,,,tuzingatie vya kwetu ndo vitutoe

  • @eddyclassicfunture
    @eddyclassicfunture Год назад +15

    Kiumweli Tanzania tunafeli sana halalisheni gongo iuzwe madukani shida yetu nini badala muiboreshe mnaipiga vita mna kubali mpaka pombe zinazotoka mpaka Uganda hacheni izo bwana

  • @DawaKilulu
    @DawaKilulu 3 месяца назад +1

    Hangera

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 Год назад +6

    huyu ndo kaupiga mwingi sio hao mnao wasujudu🙏

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Месяц назад +1

    Anahoja ...asikilizwe 😅😅😅

  • @elishasulle8664
    @elishasulle8664 Месяц назад +1

    You know l in no mood

  • @thomasorembo9830
    @thomasorembo9830 9 месяцев назад +1

    Hata konyange inapatikana hapa kenya, business dada

  • @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA
    @TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA 2 месяца назад

    Taarifa ndugu mhe spika mbunge anaongopa gongo inaua ini na ukinywa sana mwishowe unaaga dunia kwa maini kufa

  • @Emmanuelkeya-mv3mz
    @Emmanuelkeya-mv3mz 9 месяцев назад +1

    Mhm!!!

  • @KuntukumuSadam
    @KuntukumuSadam Год назад +2

    Sioh gongo tu mamaaa kila kitu kikibuniwa na watamzania serikali inakuwa ya kwanza kupinga Hiii nchi ni ya ajabu sana

  • @Obadiah-v6y
    @Obadiah-v6y Год назад +1

    Piga kazi mama

  • @TedyChiguru-sm1nr
    @TedyChiguru-sm1nr 9 месяцев назад

    Hongera muheshimiwa

  • @Steven-y8h5g
    @Steven-y8h5g 7 месяцев назад +1

    Mungu awabadilishe pombe ni dhambi achen kuwadanganya watu

    • @KatunzLibelitus
      @KatunzLibelitus 7 месяцев назад

      Wewe ujasikilizaaa vzl ludiaa kusikilizaa tenaa uwelewee

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 Год назад

    Umeongea vizuri sana