Tundu Lissu, Zitto Kabwe Wagusa Panapouma | Washusha Hoja Nzito Mabadiliko Tume ya Taifa Uchaguzi..
HTML-код
- Опубликовано: 11 апр 2024
- Taarifa ya kubadilisha jina la 'Tume ya Taifa ya Uchaguzi' kuwa 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi", imepenya kila kona na kila mdau amekuwa na mtazamo wake kwenye mabvadiliko hayo.
Kwenye #powerbreakfast April 12,2024, Huyu hapa Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA na Zitto Kabwe Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT.
Hotuba za Tundu Lissu(The Law giver) zitakuja sikilizwa na vizazi na vizazi.
We are taking for granted ya huyu kiumbe .
He is very exceptional
Tundu lissu super brother
Na ieleweke wazi kuwa Raisi huyuhuyu ni kiongozi wa chama na ni mgombea uraisi. Conflict of interests. Hakuna uhuru hapa. Ni uhuru bandia au karatasi tu, haukupi nguvu yoyote kama Mtanzania. Inaipa CCM nguvu zote na haki zote. Ni upendeleo na ubinafsi bila kujali haki wala sheria Za chama vingi. Ni dictatorship inayobarikiwa na wana CCM na kuwadharau sana wananchi. Wananchi wanadai katiba mpya ili iondoe huu uchafu. Ndipo Tume huru itathaminika na hawa wana CCM.
Tundu Lisu, uko sahihi kabisa kisheria.
Kwa maelezo yako tatizo sio Katiba ni UKATIBA. Ni kweli 99% Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi (SIO TUME) wanaipendelea CCM lakini sio Kikatiba. Katiba yetu ipo vizuri sana tatizo HAIHESHIMIWI na wakati mwingi HAITEKELEZWI. Sasa hii KATIBA MPYA bila Watanzania kuwa na UKATIBA ni bure.
FACT
Katiba natume ya uchagu wajumbe vyote watokane na vyama vyote vyenye nia ya kugombea na siyo chama kimoja kinachoona che kinataka kiendelee kutawala hasa sisi wana CCM tumeshajenga ubinafsi tume waajiriwe na vyama vyote vyenye wawakilishi katika serikali na nafasi mbalimbali kuitlpia vyama vyao na siyo wateule wa RAIS hakuna mwajiriwa anaekaidi maagizo ya aliyemteua haitatokea kama ni usaili uusaili ufanywe na wajumbe wa vyana vyote ili kuwapata watumishi watumishi wa na bungebajelbaji na isiingiliwe ipitishe tume😅 wataheshimu watu na siyo MTU mmoja amba ni rais ambae ambae amechachaguliwa na wanachi kama wagombea wengine amambao wamechaguliwa na wananchi wananchi waendelee kuajili tume kupitia wananchi kupitia wajumbe kutokana nao
Be blessed my Excellency honourable tundu lisu the great thinker.
Wengine hatukuelewi Tangazeni Lugha yetu ya Taifa kiswahili .tuwatendee haki wananchi wetu waliowengi.tunafahamiana .
Hakika Mungu akuzidishie maisha na afya njema mh. Tundu
Napenda hoja zenu waandishi wawe hata vijijini kwetu yako mambo mengi yana tuumiza kama hayo Mmsera Kati
Ndomaana lisu Hatakiwi Kuishi Yani Nizaidi Ya mwalilimu Ata Mbumbu Anaerewa Nondo za Lisu
daaaaa jamaa anajua
@@scolarymahenge9867 atr
MUNGU anakusudi lake Kwanza lissu
Respect brother tundu lissu
Mwamba lissu💪
Yaan to be honest napenda sana kumsikiliza lissu wallah, yaan anajua sana kuongelea huyo jamaa kweli ni mwanasheria namba moja tanzania hakuna ubishi
Mungu akupe umri mrefu Lissu
Huyu tundu lisu nizaid yamkombozi wa nchi hii tumuunge mkono kwakila mwenye akili timamu,na mzalendo wa kweli
Hakika ndugu umeongea ukweli, kila mtu mwenye akili timamu atamuunga mkono Tundulissu. Lakini kama mtu hana uelewa au ni chawa mnufaika na mfumo wa kifisadi wa ccm hawezi kumkubali huyu mwamba. Ni jambo la wananchi tuamke tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na tumkatae shetani ccm na wafuasi wake wote uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, madiwani, wabunge na Rais.
Baba w taifa lisu
Lisu hakili nyingi
Changamoto ya Zitto ni undumilakuwili. Hivi kweli kuna mpinzani yeyote aliyewahi kutangazwa kirahisi rahisi? labda yeye peke yake. Inabidi tukubaliane kwa upamoja, tuna changamoto kubwa sana kwenye Tume yetu na kuirekebisha ni jukumu letu sote. Tusilete usanii usanii.
Tunapokuwa na mamalka ya uteuzi na usimamiaji wa uchaguzi iliyo fair na HURU, inapelekea kuwa na viongozi sahihi ambao jamii husika inawahitaji, na ndio chanzo muhimu cha maendeleo kwa jamii husika.
Huwezi ukapandikiza viongozi kwenye jamii ukategemea kutakuwa na harmony kati ya jamii na huyo/ hao kiongozi. Inakuwa kama kujenga Mnara wa babeli na ndio moja ya vyonzo vya kutokuwa na maendeleo katika jamii zetu.
Jamani, Tanzania ni yetu sote, Tunapokuwa na Tume imara na iliyo HURU kweli, ni faida kwa Watanzania wote. Sio Watawala sio wapinzani, ni watanzania wote.
Lissu ni Mtu moja safi tuu ila kwakuwa ni Yuko upande wa pili ndio maana watu wanajilazimisha kutomwelewa lakini wakikaa chemba wanajisemea yule bwana ni Mtu.
Lissu anajitaidi kutuamsha
Huyu ndugu yetu nakuelewa sana . Kifupi yuko vizuri sana.
Kilichobadilika hapo Ni jina
Chama pekee Cha upinzani ni chadema tu
Hivi vyama vingine hakuna kitu
Unakuaje chama chama Cha upinzani halafu unaenda sawa na chama tawala
Chama Cha upinzani nikupinga serikali kwa hoja
N mbadala wa baba wa taiga tundulisu,
Hongera Mh Tundu, nampongeza mh. Zito pia maana Leo ndio kidogooo namuona Kabwe yuleee wa miaka Ile. Kipindi kizuri. Big up
Hakika Huyu ndie mh zito alie Nishawihi kuielewa Chadema❤
Kwa kawaida mwizi hapendi ukweli ni mtu wa Giza daima hakuna tume huru hapo ni maigizo tu
Hongela lissu poti
Katiba mpya ni ya lazima CCM waache Longolongo
Zito nimekuelewa na pia lisu limekuelewa zaidi
Zito kabwe ni afadhali ukimwi ndumila kuwili
Hii ni zaidi ya shule big up Lisu nikuelewa sir kubadilisha jina siyo kutatua tatizo bali naona changamoto iko pale pale sijaelewa nini maana ya kubadili jina la tume
Tundulisu.kiboko
Lissu viva❤
Ahsanteni ACT na Mwami upo vizuri sanaaaaaaaa
Kushiriki chaguzi zijazo kwa sheria hii ni kuikanyaga KATIBA
Nchi hii inatakiwa iongezwe na Rais mwenye akili kama Lissu
Nchi inaongozwa kwa utaratibu maalum sio akili za mtu fulani.
Mwamba Tundu Lisu🙏✌👊
Jamani tume ili iwe huru wajumbe wagombee nafasi watume cv zao endapo rais anateua nasi itakuwa jina tu limebadilika bali bado tume itakuwa nado iko chini ya milki ya ccm
nasi =bali
@@hajihassan5433xawa lakin mtu mwenyeakili ndio anakubali kuweka utaratib unauzungumzia kaka haji
Watanzania thanks jaman
Waliounga juhudi (wabunge,madiwani) waliharibu sana ari ya wananchi kuwaamini wanasiasa kuwa niwachumia tumbo badala ya mageuzi.
KATIBA MPYA NI SASA
Kipanya ukimyumbisha Lisu hatayumba!, wewe sikiliza nondo,ukifikia swali jingine uliza atakujibu katika hazina yake ya hekima....
Nimeipenda hii inatuonyesha jinsigani wanasiasa wanavyo pambana Kufanya yao Sema sisi wananchi baado hatuja elewa na kusimama Kama wananchi
Watanzania tumechukuliwa misukule,hata tufanyeje,hatuelewi na hatutaelewa.hapa ni kuomba nusura ya Mungu.
Kiukweli VIONGOZ mliepewa kibali Cha kutusemea tunawaombea mikakati ya katiba mzidishe uzito usifanyike uchaguzi kabla ya katiba mpya maana kama nchi Iko salama uchaguzi tutafanya hatakama itakuwa ni 2027 kikubwa uchaguzi ufanyike ndani ya katiba mpya✅ 👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Watanzania tumezoea kudanganya lakini hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho
Nch ya machawa na majambaz wapo tayar kuuwa ili waendelee kutawala milele
Hiyo tume siyo huru, jina tu ndo imebadilika, ingebaki tu kuitwa tume ya Taifa uchaguzi, muundo wake bado ni ule ule,watumishi wa wa tume wasitokane na watumishi umma!.
Kazi kweli kweli
Zito, anafanya kazi ya ccm
kaamka saa 9 mwenzenu anawasubri
Mungu akulinde Tundu Lissu na wote wenye lengo baya juu ya usalama wako watatangulia kufa wao, mkono wa Mungu uwe juu yako.
Ameen!
Tanzania ya Leo sio ya 1977, watawala wasijisahau kabisa 😳😳😳
Good lissu💪💯💪
Uchaguzi ni jambo mhimu ni msingi wa mambo yote unayotaka tufanye sisi chadema tunataka tume huru siyo tume ya kubadirisha jina tu,
Mwaka huu mbona katiba mpya itapatikana tu,watu wataandamana hamtaamin kitakacho tokea hii nchi. (Prophecy).
ACT hawaaminiki!
Yaani ni uchaguzi waRAISi sio ushaguzi WA nchi akiona hashindi anaweza kufuta uchaguzi huo au akabadili Katiba na akiungwa mkono na watu wake ambao aliwapa ulaji na ndio wote walio serikalini wanaufanyia sheria
👊✌👍.
Tumehu ifanyiwe marekebisho bd hawaja fanya mambo yanayo takiwa ilitume iwe huru
Uliofanyika kwenye TUME ya UCHAGUZI NI USANII.
Wanafikiria kuweka neno HURU ndiyo Tume imekuwa huru
Duuh!! Mambo bado yataendelea kama ndio hivi! Kuendelea ni ngumu!!
God bless Tundu Lissu
Tunahitaji tume huru iliyo huru. Sio kubadili jina la tume.
Tume iliyopo imepitwa na muda wake ni lazima ibadilishwe kuendana na mahitaji ya sasa,,,VIVA CHADEMA.
Hawa watangazaji upeo wao ni ndogo sana Clouds wangetafuta watangazaji wenye upeo hawaulizi maswali ya maana
Zitto mtu wa ajabu sana aise!!
Kivipi
Public coments
Mhe.Ole ngurumwa uko sahihi,ni kiasi tu cha kurekebisha vifungu husika vya katiba iliyopo,ili tupate tume huru halisi ya uchaguzi; lakini ccm hawatataka ni ng'ang'anizi kama Nyerere,na wao wanaamini katika ujamaa wa ushindi milele!
Badoo! Hata TL mmemkatiza!
Hapa makonda anasema tuonane 2025 ana uhakika kuwa wizi utatumika tume ya uwongo lisu mungu akubariki tanzania poleni na ujinga huo
Huyo Zito kiukweli amepoteza sifa za kuitwa kiongozi wa upinzanj Ni kirusi au tipical Ni ccm B,
Hafai kuaminiwa hata chembe
Huo ndiyo ukweli kwa huyu Yuda iskarioti wa Taifa,huyo mtu siyo wa kutegemea hata kidogo kuleta ukombozi kwa Taifa hili.
Sahihi!
Nice from tz
Baba.umesema.kweli.tume.iko.mikononi.ccm
... Eye opening
Akina Lissu bwana, hongereni sana. Ila dada mtangazaji anataja namba ya simu ya kuchangia harakaharaka kwa spidi ambayo nadhani wengi kama si wote si rahisi kuinukuu! Hivyo nadhani wachangiaji sasa watakuwa haba kama si hakuna!
Iissu akiongea unaona kbsa tunaongozwa na watu wenye uwezo mdogo
Jamaa hawa wanafanyia pesa zetu ufisadi kwa tume sisizo na maana yoyote wala matokeo ya maana
Yes
👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
TATIZO SIO UPANDE TATIZO NI SHERIA
Mama katuchezea tunataka time huru katiba mpya
Huyu ni zito kweli kumbe hafai kabisa au ndugu yake zito
Long the way to go Tanzania people to no mind down for ever one 😅
Yaani kabwe kwa alipotufikisha anapaswa kupigwa mawe hadi kufa na asipokufa apigwe tena hadi afe.yaani kweli huyu kabadirika haoni ujinga unaoitafuna nchi.asiaminike tena labda huko kwenye chama chake.amepoteza mwelekeo
Kwa kweli kwa bunge hilii ???
Elimu yangu ndogo mara elfu 20 ya Zitto kabwe lakini mawazo na akili za Zitto hata mtoto wa chekechea hawez kubaliana nae 😂Zitto zaman sijui kunamtu alikuwa akimwandikia vya kuongea bungeni mbona siku hiz amekuwa kama poyoyo flan hiv
Akili yake ilibakia chadema
Lissu mwamba
Fisi akivishwa ngozi ya kondoo na hatakama utamwita wewe ni kondoo fisi atabakia kuwa fisi tu japo kafishwa ngozi ya kondoo kamwe hawezi kula majani yeye ni nyama na mifupa .... Kubadilisha jina pekee haliwezi kuleta kitu kipya....
Yaani craus mbalikiwe sana kumleta mheshimiwa lisu.
Usipokubali ukweli na kuutetea mazingira halisi yatakulazimisha upite njia ya kweli.
Ngoma ya katiba haitakesha nawaambia m fisi em.tutamwaga maji kweli Mwaka wa uchaguzi na hakuna atakaekuwa salama si familia za polisiiiiis wala wake zao
Tatizo ni uelewa wa jambo miongoni mwa wananchi wengi. Elimu yetu ni shida.na ile white paper ilionesha 80% ya watanzania bado hawakuona haja ya mageuzi..!!
Tundulissu yuko sahihi sana na hii ndio watanzania tunataka jamani
tunakuamini lissu
Lissu ni akili kubwa
Mama anajua sanà ku(bye time)nà pesa kutumika vibaya kuunda tume zisizo na majibu.
Hao wamekukwepa swali lako.binadamu kama binadamu hayupo muadilifu asilimia mia .Leo hao hawajawa madarakani kesho wakiwa madarakani nao watateua na watataka maoni Yao yakubaliwe.ili wengine hawatakubaliana nao.
Wala msifikiri hawajui hata muongee hoja au lugha gani.wameamua.kuna siku watajutia maamuzi yao na nashuri wapinzani msije kubadiri katiba ili kuwanyosha
Online
Hiyo ni tume ya ccm na samia
Very though
Kumbe tunajisumbua tu kwenda kupiga kura tume nzima boss wao rais😅
Kulimlinganisha Lisu and Zitto ni tusi msimtafutie umaarufu Zitto kwa mgongo wa Lisu.
Hata huyu mama anatufanya wtz ni wajinga ama vp? Yeye ndio mwenyekiti wa ccm taifa ,inakuwaje ateue makamishina,mwenyekiti wa tume ,pia hapo hapo yeye ni mgombea urais ,hiyo tume huru inakuja vpi hapo?
Sheria inapingana na Katiba! Itatumikaje??
Mnaojadili mnatambua kuwa Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Ambapo Rais wa Tanzania anaweza kuchaguliwa bila kupigiwa kura yoyote Zanzibar, je hiyo ni sawa?
Binafsi Mh Lissu ndio amenifungua macho na akili juu ya siasa yetu Tz na jinsi viongozi wanapatikana na majukumu yao kama viongozi, wajibu wangu kama mpiga mkura ,haki nk,jamaa anajua sana sana..my next president..