KUHUSU KATIBA KABUDI AFUNGUKA MBELE YA LIPUMBA KUVUNJA KATIBA NI NENO ZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 май 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
    Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema jina la tume huru halivunji katiba, akidai kuwa neno kuvunja katiba ni neno zito, linatumiwa pale tu linapofifisha haki sio linapo tajirisha haki.
    Amesema hayo leo Mei 09,2024 katika mkutano wa siku mbili wa kitaifa wa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu 2025.

Комментарии • 120

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 Месяц назад +7

    kabudi ni mtaalam sana wa sheria ila kwa ccm hata aje malaika atageuka shetani na kupindisha haki

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 Месяц назад

    ...... professor endeleeni kulisaidia taifaaa, Asante

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 Месяц назад +1

    ...... professor endeleeni kulisaidia taifaaa

  • @peterdoisso2414
    @peterdoisso2414 15 дней назад

    Hakika huyu ni Profesa kweli.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +4

    Wallah najikuta kama mpuuzi kuendelea kumsikiliza huyu mzee napoteza mda tu

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 Месяц назад +11

    Kuna kitu ww msomi hujaelewa. Wanacholalamika neno huru limewekwa kama kupaka mafuta tu. Tume hiyo haina uhuru wowote.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 Месяц назад +2

    Prof. Kabudi has a rare intelligence. I wish tungekuwa na wasomi wengi kama yeye tungepiga hatua kielimu.

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 Месяц назад

      To be a Professor you must be Professional too,

    • @Mapenzi2635
      @Mapenzi2635 Месяц назад

      @@jacksonsilaa415, we have a bunch of idiots with big titles and small brains too.

    • @danielshauri6390
      @danielshauri6390 Месяц назад

      Hakika

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 Месяц назад

      Hapo usomi wake umekusaidia nini?

    • @Mapenzi2635
      @Mapenzi2635 Месяц назад

      @@Expedito2512, bila usomi wake tungekuwa na wajinga wengi zaidi. Ujinga ndiyo tatizo kubwa nchi hii.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Месяц назад +9

    Sisi siyo watu wa India sisi pia tunautamaduni wetu

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael Месяц назад +1

    Maproffesa wa namna hiii bora muwe mnakufa tunawazika tuuu amna maana

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Месяц назад +9

    JIPUMBAVU KUBWA HILI KABUDI

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Месяц назад +27

    Prof. huyu ni miongoni mwa wasomi ambao badala ya kuwa tunu kwa taifa kinyume chake anaonyesha kipaji kwa kucheza na maneno pasipo kulisaidia taifa!

    • @kinkybanjukome217
      @kinkybanjukome217 Месяц назад +4

      Hili profesa pumbavu

    • @jacksonsilaa415
      @jacksonsilaa415 Месяц назад +2

      Prof wa majalalani

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Месяц назад

      Dhubitisha kwa hoja.

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 Месяц назад

      Chawa, alipokuwa kwenye Tume ya Warioba alionekana msaada lakini baada ya kuonjeshwa posho za vikao vya kinafiki akabadilika na kusema "..niliibuliwa kutoka jaani na kuketishwa katika vikao na wakuu.." hivyo akarambishwa asali! Bogus and shame to him and his familly

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Месяц назад +1

      Yaaani wewe unahitajika upewe pongezi hawa ndioo wanao tufumba maskio wakati macho yanaona halafu pia hawa wanahitaji kupewa nafasi fulani za juu zaidi

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 Месяц назад +8

    SITAMANI KUSIKILIZA TENA HUU UPUMBAVU

  • @leonardmaganja4627
    @leonardmaganja4627 Месяц назад +1

    UNAHITAJI KUWA MTUPU KABISA KICHWANI KWA KUSHINDWA KUMUELEWA PROF. KABUDI.

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda Месяц назад +1

    Yani wewe mzee natamani sana uzinduke ulipo usingizini ugeuke upande wapili uungane na 🇹🇿 Tz wanyonge but ipo siku utakula fimbo nyingi sana huko mbinguni kwa kutoka saidia kusimama kwenye haki zawa Tz maana mungu amekupa uwezo mkubwa sana ,,,,, one love Tz one love ✌️✌️✌️.

  • @shemasimkuu
    @shemasimkuu Месяц назад +5

    Kwa mahakama vipi mzee, hi ambayo inapewa maagizo kutoka juu au?

  • @EliaHiluka-uz3ty
    @EliaHiluka-uz3ty Месяц назад

    Hayo no maandishi tu vinywa ndivyo vinatumika vibaya

  • @willygwaikana
    @willygwaikana Месяц назад

    Kuibadilisha katiba inayowanufaisha CCM ni sawa na kutunga katiba ya kuondoa mamlaka ya wakoloni wakati wakoloni hao hao ndio wanaotalawala mihimili yote ya dola kama bunge, jeshi, mahakama n.k.

  • @EliaHiluka-uz3ty
    @EliaHiluka-uz3ty Месяц назад

    Mzee mbona unatulazimisha kuamini kitu ambacho watanzania hatutaki

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Месяц назад

    Yuda huyoo

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Месяц назад +1

    Mwamba wa magufuli

  • @EliaHiluka-uz3ty
    @EliaHiluka-uz3ty Месяц назад

    Kwahiyo unamaanisha wengine mawazo yao yalikuwa feki na isipokuwa ya kibamba

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 Месяц назад

    Katiba ya inchi ni scared law nasio canon law. Kwenye katiba za kidini Kuna canon law

  • @odilokilamlya4232
    @odilokilamlya4232 Месяц назад

    Miyeyusho huyu jamaaa tupilia mbali liongo sanaaa

  • @odilokilamlya4232
    @odilokilamlya4232 Месяц назад

    Mzee uongo hiyo katiba imeandikwa directly sio lugha ya thelogy

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 Месяц назад

    Huyu mzee huwa anaongea kile mabosi wake wanachotaka kwa wakati huo. Mabosi wake wakigeuka naye anageuka. Kwa hiyo usomi wake hauna maana maana hakai kwenye misingi bali matakwa ya wanaomtuma au wale anaowatumikia

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Месяц назад +1

    Uhuru jina siyo kimuundo na uhalisia

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd Месяц назад +11

    Huyu ni kati ya wasomi ambao nje ya chuo kikuuu, usomi wake haujawahi kulinufahisha taifa hili arudi akafundishe chuoni huko tutamfaidi lakini huku hapana.

    • @user-fr7jj1bo7y
      @user-fr7jj1bo7y Месяц назад +1

      ameacha chuo kikuu na ubongo wake akauacha huko siku hizi anafikiri kwa kutumia tumbo lake kubwa

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Месяц назад

      ​@@user-fr7jj1bo7yTumbo kama pipa hamna kitu huyu anafagilia ugali wake tu

  • @ThomasMselle-rw5ej
    @ThomasMselle-rw5ej Месяц назад +4

    Hivi hii katiba imeandikwa kwaajili ya wasomi wenye shahada na siyo kwaajili ya wananchi wote! Siamini hivyo!!

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Месяц назад +6

    Kabudi hautaweza kitu

  • @LindersonMoshi
    @LindersonMoshi Месяц назад

    Tanzania bara kisheria imekaaje

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 Месяц назад

    Prof Kabudi wa Tume ya Jaji Warioba siyo Kabudi wa sasa. Huyu mzee anaona ni haki mambo yaende yalivyo. Kwa akili ya wakaida katiba ya chama kimoja haiwezi kubarika kwa vyama vingi.period.

  • @PrinceMgambwa
    @PrinceMgambwa Месяц назад +1

    Profesa mjinga kuwahi kutokea afrika hii na dunia kwa ujumla

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l Месяц назад

    Tume huru ni namna inavyopatikana
    Je hii tume imeundwa kidemocracy??
    Wewe kabudi muongo sana

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 Месяц назад

    Walio tunga hizo sheria miongoni mwao ni wazee wa viji sent. Walipiga hela za nchi halafu hawagusiki, profesa acha kugeuza maneno sio iwe ndio, rekebisheni katiba kuna mapungufu yamo hiyo katiba yarekebishwe

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Месяц назад +1

    One on lissu and kabudi about katiba

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 Месяц назад

    BORA KUWA NA DARASA LA SABA KULIKO MAPROFESA KM HAWA WANATUTIA HASARA KM TAIFA..IT'S SHAMEFUL KISA MATUMBO AKILI ZOTE NI ZERO...WE CAN'T MOVE

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 Месяц назад +9

    swali Prof. ni kwamba Tume kweli ni huru haswa? Watu wengi wanakutegemea kusema ukweli bila eoga wala ushabiki wa Chama.Katiba yetu ina matatizo makubwa, na tunategemea Maprof. kama wewe kutusaidia.Lkn naona unazungumza mambo ya darasani ukikwepa mjadala wenyeee. Prof....blablabla hizo zinakushushia hadhi.

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 Месяц назад

      Hata mbinguni hakuna tume huru kati ya shetani na Mungu. Marekani kelele za nini wakati ndo number 1 kua na tume huru?

  • @spendjulius-qz9mt
    @spendjulius-qz9mt Месяц назад +5

    HIVI HII ELIMU YA MJOMBA KABUDI INATUSAIDIA NINI WATANZANIA 🤯

    • @williamsenkoro2210
      @williamsenkoro2210 Месяц назад

      Huyu anataka kurudi kwenye uwaziri. Anaanza kupiga kelelee Sasa hivi utaona teuzi.

  • @samwelclement8108
    @samwelclement8108 Месяц назад +1

    Huyu Mzee alisemaga. Mungu magufuli au sio huyuuuuuuuj,

  • @lgf7297
    @lgf7297 Месяц назад +1

    Amesahau Liverpool

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 Месяц назад +2

    Proffesa anazidiwa mpangilio wa mawazo na mtu mwenye degree na diploma hii ndo nchi yetu Tanganyika wasomii walio soma tunategemea watutoe matongoto ndo wanakua machawa wa serikali ya ovyoo

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Месяц назад

    Nyie matapeli tuu..haki mnaijuwa nyie..pumbavuu..

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 Месяц назад +1

    Mzee iyo katiba haikutungwa na wananchi wa Tanzania ilitungwa na watawala wakikopi mambo ya nje ya nchi ndomaana watanzania tunataka Ile ya jaji warioba ambayo tumetoa maoni yetu wewe unaitetea iyo kwakua wewe ni mnufaika unakula unashiba kwauo ujinga unaoomba tukusamehe kwani shibe ni mwana malevya

    • @danielshauri6390
      @danielshauri6390 Месяц назад

      Amejibu kwamba katiba ilibadilishwa mwaka 1982

  • @PaulKabungo
    @PaulKabungo Месяц назад

    Tupeni katika mpya

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha Месяц назад +3

    Profedheha Kabundi kwa kukariri sina hamu. Laiti angekuwa anajitahidi kutafuta maana na maanawia badala ya kukaririkariri. Sasa hizo Latin maxims zinawasaidia nini wasikilizaji na watangazaji. Huyu si ndiye alimuita mwendazake Mungu?

  • @BonaventureJohn-mk6xh
    @BonaventureJohn-mk6xh 25 дней назад

    Tatizo ni pale watu wenye platform za kuongelea kama Hawa wanapochukulia kuwa watu wa kawaida ni kama mbuzi kwao na wanatakiwa kufungwa kamba na kuburuzwa tu. Haihitaji elimu ya rocket science kujua kuwa mifumo yetu ya uchaguzi Ina shida kubwa na kama hatua serious zisipochukuliwa kuisahihisha Kuna siku italigharimu taifa na lawama ni Kwa walio madarakani.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +1

    Kiingereza cha nini hapa kabudi ndio mama hakumtaka tena ktk swafu ya mawaziri

  • @user-cu3cl4yy5s
    @user-cu3cl4yy5s Месяц назад +1

    Waaaaaah mbona tuna watu wanafaa kwa nchi kabsa kwanini asigombee kua Raisi tuu daaaah

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 Месяц назад +3

    Kwa nni zisiitwe mahakama za tanganyika nni mnaliogopa neno tanganyika ikiwa tanganyika ipo na ckuku ya uhuru wa 9 December kila mwaka. Yani hata wwe msomi mkubwa kabisa mzee kabuni unaliogopa neno tanganyika

  • @charlesstanslaus371
    @charlesstanslaus371 26 дней назад

    Kuwa mkweli wewe mtaalamu wa sheria; Kweli tume yetu ya Uchaguzi haiingiliwi na DORA??

  • @jonathaneliabu2298
    @jonathaneliabu2298 Месяц назад

    Prof:Your so beyond dakika ya 7:30 ila ninachokiona nabii hakubaliki nyumbani, huyo mzee anajenga hoja na sisi watanzania hatuna tamaduni za mijadala nadhani sisi ma layman wa haya maswala ya kisheria ni vizuri kusikiliza zaidi kuliko kujitia ujuaji.

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff Месяц назад

    Kwa mujibu wa huyu bwana,katiba isivunjwe Kwa kuwa inasimamia haki au nimemwelewa vibaya? Haki iliyopo katika katiba inanufaisha kundi flan la jamii akiwemo yeye..ule uchaguzi wa 2020 ni mfano tu... Kuhusu ardhi je...vipi ule muungano na kero zake na mengine kadha wa kadha...ni Kwa kiasi gani haki inatiririshwa na katiba hii wadau...taaluma ya kabudi ni taaluma kweli lakini haki za wamasai na maeneo yao ziko wapi kikatiba na taaluma yake...

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +2

    Huyu kabudi ni professor wa nini mbona kila akizungumza anatoa mifano na nchi nyengine kama haeleweki ivi

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Месяц назад +1

    Mhe Proffesor Kabudi Sisi wenye Katiba(Wananchi)tunashukuru kw Ufafanuzi ambao umetoa Elimu kwetu.Ila Katiba yetu ya sasa Bado mapungufu ni makubwa ambayo inaificha Tanganyika kuwa kwenye kivuli cha Serikali ya Muungano wa Tanzania Tunahitaji sana katiba ya Tume ya Mhe Mpendwa Wetu Jaji Warioba. Zanzibar Mbona ina katiba yake ambayo inasimamia Raslimali zake wakati Tanganyika haina.

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc Месяц назад +1

    Kabudi hana kitu huyo atajibiwa na fundi wa kumjibu hoja. Na huyu ndio aliyemuita Magufuli mungu kamtos jalalani , na hapo anajipendekeza kwa mungu mwanamke Samia.

    • @AbrahamSekuza
      @AbrahamSekuza Месяц назад

      Shida ni katiba na tume huru wewe ni mtetezi wa upande fulani na ndio mana hukuhusishwa kwenye mikataba ya bandari

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 Месяц назад +1

    Hiyo Sheria inayodhibiti mtekelezaji wa Sheria hiyo kutumia vibaya madaraka yake?
    Kwa. Dhuluma vitisho ubaguzi na upendeleo?

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 Месяц назад +1

    Prof majalalani 😂😂😂 hovyo wewe hukifa leo kwa Mungu huta sema nini?wewe ni mongo hulisha potosha sana hatuna himani na CCM...mapoyoyo

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 Месяц назад +1

    Haki ya kuchaguliwa ipo.
    Hiyo Sheria kumlinda
    Mtu anapodhulumiwa haki ya kuchaguliwa kwa matashi ya watu walioshika mpini?

  • @user-df7um4mc5n
    @user-df7um4mc5n Месяц назад

    Ni nani ambaye anataka Prof.Kabudi asiwepo tukose hazina uliyonayo? Jibu ni hakuna .Tunakuomba utayarishe kitabu autobiography,machapisho mbalimbali ya kisheria fafanuzi na historia ya Tanzania tulipotoka tulipo na pengine mwongozo wa tutakapokwenda kwa usalama kama mapendekezo yake binafsi tu.Unaweza shirikisha wanataaluma wenzako kama utaona inafaa ,Ila kwa maoni yangu binafsi kumwacha aende hivi tutachekwa na man Jirani 😅zetu wote,Africa yote na Dunia.Tulikuwa na BABA Taifa Mwalimi Nyerere tumemu enzi tunashukuru Mungu alikuwa mfano mzuri na mwema kwetu sisi hasa maskini alibainisha maadui zetu enzi hizo ambao Ujinga , umaskini na maradhi Prof.Kabudi yeye kazi aliyona ni kutuelimisha namna na jinsi ya kujinasua katika mduara huo.Tafadhali usikatishwe tamaa tupo tunao kupa moyo hima endelea na Mungu akutangulie katika yote

  • @kigomamaranathagospelchoir2642
    @kigomamaranathagospelchoir2642 Месяц назад

    Anatetea maslahi

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 Месяц назад +3

    Siku hizi nawe porojo tu, moja subiri uone kizungumkuti cha CCM, eti huru huru, sasa mbona hao vyama hawa kufanya mikutano ya siasa mpaka mama alipowaonea huruma kwani katiba hiyo hukuwanayo kabatini kwako ukawasomea, eti prof!!!! Ungemwbia Magufuli wa haki kufanya mikutano angekurudisha kilosa. Katiba katiba hiyo mbovu. Znz siku 2, uchaguzi eti wapo wengi sana.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Месяц назад

      Kuna tofauti kubwa kati ya Katiba yenyewe na kudharauliwa. Tatizo letu ni uadilifu na uaminifu hivyo hata mpya haitasaidi.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Месяц назад

    Mmoja ya wasomi mizigo na hasara tupu kwa taifa letu

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah Месяц назад +1

    Kabudi🚮

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Месяц назад +1

    Profesa, tunataka ujipambanue kwa kuchambua umuhimu na udhaifu wa katibu iliyopo. Wasomi na wanasiasa wametubainishia udhaifu mkubwa wa contents za katiba.

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc Месяц назад

    Kabudi anadhani watanzania wataendelea kuwa mazuzu. Utamaduni wa watanzania sio kudhilumiwa daima hapana, Sasa tumechoka liwalo na liwe

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct Месяц назад

    MUNGU ANAWAONA

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Месяц назад

    Anatumia usomi wake kuwadanganya watanzania

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Месяц назад +1

    Ccm always goes Rong darection why tokativiv into politics is not leadership professor kabudi has capacity answer tundundulisu but not in darect because under ccm leadership you can't be straight on right point this is the problem he can trying but not deafit tundundulisu explanation the are big challenge crush tundundulisu pin point

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 Месяц назад +1

    Wewe babu usitupumbaze acha ujinga tunataka katiba mpya na tumehuru ya uchaguzi acha ubabaifu

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 Месяц назад

    Kwa hali hii nchi lazima ipigwe

  • @EmanuelMdoe
    @EmanuelMdoe Месяц назад

    Wasitubabaishe hawa wameshindwa kuongoza nchi miaka sitini 60 iliyopita hawajadili kondoa umasikini kwa watanzania wanajadili

  • @samwelclement8108
    @samwelclement8108 Месяц назад

    SI ndio huyu alisemaga. Magufuli. Mungu

  • @LazaroELucas
    @LazaroELucas Месяц назад

    Actually wasomi wetu ni wa mchongo maana wanafundisha vitu ukivi-apply vinakuwa ni invalid

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 Месяц назад

    Akili huna kama jina lako kwenye hili taifa wanauvunja katiba ni macm

  • @denistamaro666
    @denistamaro666 Месяц назад

    anayejua kwanini ameitaja Kenya hivo anieleze, maana sikupata hicho kiseemu

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 Месяц назад

    Kufananisha India na Tanzania ni sawa na kushindanisha Bito na ndege ya Boeng,,,,,hapa hapahitajiki kuongea kingereza na kuekimisha watu,,,,katiba ni ya wananchi, kinachotakiwa ni katiba ya wananchi,,,,katiba iliyoshiba njaa za wananchi

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc Месяц назад

    Kwa munaojua na. Ya Mh. Lisu Mrushien clip hii ili Amjidu aone aibu huyu kabudi ingawa ali kuwa ni Mwalimu wake

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl Месяц назад

    Professorial rubbish

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Месяц назад

    Kabudi umelewa gongo la mavi kakojoe ulale sisi tunataka tume iwe huru musiibe kura tena

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl Месяц назад

    Tushimu ujinga anasema kabudi

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 Месяц назад

    KABUDI NI KICHWA SANA

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes Месяц назад

    Atutaki katiba iliyo uwa Tanganyika yetu atudanganyiki tena tunaitaji katiba mpya tunaitaji Tanganyika yetu irudi atutaki tena kutawaliwa na Mzanzibar ndgu zetu wanateseka kwa kukosa ardhi.

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 Месяц назад

    Mwamba huyu hapa

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k Месяц назад

    Uyooo vipi kazi kutaja majina ya watu tuuuu hao anao wataja wananafasi gani zidi ya haki za watu

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 Месяц назад

    Mahakama ya Rufaa hivi Sasa haiaki kutoa neno kuhusu katiba.
    Mimi Nina Kesi ya katiba Ina miaka kumi haijatolewa hukumu.

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc Месяц назад

    Leonard Maganja wewe pumbavu kabisa unashabikia ujinga kama mpumbavu mwenzako Kabudi

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 Месяц назад

    Katiba tulionayo inatokana na itikadi ideology ya kijamaa/ideology which major means of productions such as mines and industries owns by the majority/public wanaotaka kubadili katiba wanataka kutupatia ya itikadi gani? ubepari/in which major means of productions such as mines and industries and lands should be owned by the minority oligarchs and their representatives? Ardhi to ka kigoma hadi dodoma ishikwe na matajiri wa ulaya na vibaraka wao kina lisu na mawaziri wa serikali halafu waweke mashine toka kulima kupanda kupalia mpaka kuvuna na kusaga kwa kutegemea kupewa kazi ipi mashine itasimama nafasi ya watu wangapi ?mtaletewa vyakula bei rahisi madukani kwa kazi mliofanya wapi ndio hapo matajiri walipokuja na depopulation agenda ya kupunguza idadi ya watu wapinzani wametumwa kutuvuruga ili kupanua njia ya kutorosha rasilimali kwenda kwa mabwana zao

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u Месяц назад

    We kabudi unalinda ulaji wako usitudanganye si sio watoto

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k Месяц назад

    Nikweli huyu hana chamaana anacho kiongea wala anachowasaidia raiaa na ndio maana hao raiaa hawatambui nini anasema

  • @user-td1mk2tk6h
    @user-td1mk2tk6h Месяц назад

    Acha upumbavu tu

  • @bonifacekalima5273
    @bonifacekalima5273 Месяц назад

    NATAMAÑI KUENDELEA KUMWITA MHESHIMIWA AU PROFESA KABUDI,,LAKINI SHIDA NI MOJA KAMEEZWA NA NJAA,,MZEE AMEKUWA PINDUA PINDUA AMEJINYIMA MPAKA SIFA ZA KUWA PROFESA,NILIKUWA NAMPENDA HUYU MZEE NAKUMSIKLIZA SAANA,LAKINI KWA SASA KAPOTEZA SIFA ZA KUWA KIONGOZI KISERIKALI LABDA KICHAMA

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky Месяц назад +1

    Kabudi jembe

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Месяц назад

    Nyie matapeli tuu..haki mnaijuwa nyie..pumbavuu..