Profesa Safari aelezea sababu ya kujitenga na siasa, asema "Siwezi kuwa chawa, najitoa kafala"
HTML-код
- Опубликовано: 6 май 2024
- Dar es Salaam. Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi (CUF), anasema akijitosa katika siasa hivi sasa atajitoa kafala, ndio maana amejiondoa huko akidai hakuna watu makini.
Mwanazuoni huyo ameeleza hayo wakati wa mahojiano wa maalum na Mwananchi Digital lililotaka kujua masuala mbalimbali yanayomhusu katika nyanja za siasa, taaluma ya sheria na uandishi wa vitabu.
Asante sana Prof. Prof wa kweli sio maprof Chawa akina Kitila Mkumbo, maprof. Njaa!!
Nimevutiwa sana na interview hii, sana, sana, Professa Safari nampenda sana, ana madini mengi mno kichwani kwa sababu anasoma sana vitabu, kila ninapoona mahojiano yake lazima nimsikilize, sasa naomba kitabu chake cha Safari ya Uwakili kikitoka mtujulishe jamani, wa kwanza kukinunua ni mimi
Umewaambia ukweli
Professor nakukubali unazungumza kweli mungu atawalani ccm
Allah akupe mwisho mwema profesa, safari nakuelewa sana, haya masomi ya siku hizi yamesoma lakini hayajaelimika, ni mafisadi, waoga , waongo , wafia tumbo, misomi mingi ya kileo haijitambui, hata hao watenda haki wa zama hizi wameoza, wanatoa haki kwa wenye Hela.
Prof nakukubali sana na nadhani napenda niishi maisha kama yako
Daa umeongea fact sana
Asante Professor Safari
Mwalimu ukijitenga na wala rushwa kwa kukaa kimya inamanisha nini?
Kwa kweli profesor Safari wewe mtu mwenye Madini sana sijui watawala hawakuonii wewe mtu mhim sana katika Nchi hii kweli mkweli hahitajiki sijui kwa nini
Profesa Safari inabidi ujitokeze ulisaidie Taifa, wewe ni mkweli sana ulivyokuwa mwanasiasa nilikufuatilia ‘you are unique’ hata nafasi ya urais inakufaa🙏🏾
Safi sana shekh uamuzi mzuri sana
You inspired me Prof
Allah anakupenda siasa mchezo mchafu
Well said Prof 👏
Ingependeza kama mamlaka zingekuweka kwenye kamati ya Kumshauri Raisi katika masuala ya kisheria na mikataba naimani ungetufaa zaidi
Kwani kamati ya " halmashauzi" kuu ya Chawa aliyokuwa nayo haimtoshi?
Naogopa kusema nchi hii haijawahi kupata Raisi wa sisi wachawi " mvaa" barakashia/ mtandio ambae SI "mdebwedo"!!
Mamlaka ipi wakati Rais ndio mamlaka yenyewe?
@@benedictmrisho1800 , ndio maana tunataka katiba mpya. Ni nchi zetu silizojaa wajinga na wabumbavu ambazo zimempa mamlaka mtumishi wao!!
Asante professa
Mafanikio ya nchi..tazama wanaohusika kutoa haki!
Nikiwaangalia Majaji hawa wa sasa hv!
Majaji stadi
Luis makame, khawa Lugakingira, Barnabas Samata.
Sheria itatakiwa itekeleze haki..kanuni zisizuie haki kutendeka!
Polisi na Mahakama vinara wa rushwa!
Sijivunii majaji..wanafunzi wangu! Wameniangusha! Mawakili wako sawa!
Prof kama prof
Kwa kweli uko bomba
Mhe. Tukushukuru kwa kutumia Kipawa chako Mungu alichokujalia Kuandika Vitabu kusaidia Kada ya Elimu na hasa ngazi za chini
Laiti katiba ingeruhusu ugombea binafsi,naamini kungekuwa na uhuru zaidi wa mawazo,,huu ugombea hadi kutumia mwamvuli wa vyama ndio chanzo cha kufinya uhuru wa mawazo na mitazamo,maana unaongea kwa "handbreak" unawaza wenzangu watanifikiriaje au chama changu hakitaki kabisa kusikia aina hii ya mawazo,Binafsi nimekuwa kwenye fikira hizo miaka mingi nyuma....Kunta...Kinte.
Wewe ni tatizo prof
FUNCTIONALIST Prof. Safari umewaambia. Mmbunge alipwe m18 na Medical Dr alipwe 3 m. Haiwezekani
Lakini tuseme ukweli hapo kwenye watu wenye mvuto wa kuwa convinced watu
Si uanzishe chsko nawanao au wataingia kwa kufuata itikadi zako usitudanganye mtawala yeyote lzm jpite ktk vitisho hapo umefeli Prof kaa kimyaaaaaaa
Heshima kwako Prof.
Napenda anavyozungumza yaani ana relax
Tuokoe
Baba.safari.jina.zuri.binafsi.nakupenda.uwe.kiongozi.wetu.karama.yako.itumie.watu.wwafurahi
Kafala ndio mdudu gani?
Ukiipenda dini hutakua muongo utakukalia mbali sana ndio maana watu wachamungu sana hawataki siasa
Lafudhi adhimu ya kiswahili toka kwa Prof Safari
Malalamiko na malaumu na references kibao za wakoloni kutoka kichwani kwa prof.🤣🤣
Magazeti yanaandika mambo yasiyo na ukweli mf kusifu sifu bila ukweli na habari zisizotafitiwa vizuri ( investigative journalism). Mwandishi anaandika mtuhumiwa wa kulawiti mtoto akamatwa afikishwa mahakamani. Story inaishia hapo haendi kufuatilia mwenendo wa kesi hadi mwisho.
Sasa kyoma unatua haje elimu ulio nayo unaacha nini kwa vizazi vijavyo
You can't bring revolution in single handed...tafakari...
Critics nyingi hapa ni kwa kuwa kavaa kanzu and smart hakuna reasons za msingi hasa za critics za wachangiaji. Angevaa suti na tai huyu angeshangiliwa 😂
Acha udini ww, Prof Safari tunamkubali kabla hatujajua dini yake
prof, uo ni uoga akina Maalim seif wamepambna mpka wamekufa hawakujali chochote mpka wamekufa
Sasahivi magazeti free kwenye train na buses😂
Paza sauti tujue ukweli unaodhani ndo ukweli kujifungia ni ubinafsi
Wewe unataka mtelemko suka chama chaji tulione onesha msimamo wako watu tukuunge mkono
Hakika wewe ni Mkweli, nikikumbuka swali la Ukabila na Ukanda ulivyo wauliza CDM wkt wanakutaka ujiunge nao, swali hilo kuwauliza watu wanaojinasibu na hiyo sifa ilikua kama umeanzisha vita.
Bado.tunakuhitaji.uongoze.tanzania.uwezo.unao.usiogope.mungu.atakulinda
Msomigani unakua muoga
Ndio maana wabunge wa darasa la 7 ,hawaishi kuwakashifu maProfessaa ,jeuri ya pesa ! Mbunge 18 m , professor na Doctor na wahandisi 3m .
Tatizo la kukabizi nchi wanasiasa waliochoka maisha ya taaluma kuiongoza nchi. Mtu ni daktari wa binadamu anaacha anaenda kuwa msihasa kwa sababu tu siasa inalipa.
Hongera Prof umechaguz fungu bora.
Sheikh hayupo siriaz huyo wasomi wetu wanazingua
VITU DUNIANI
AMBAVYO VINASABABISHA MTU UWE MBAGUZI NA KUDHINDWA KUTEKELEZA UTAALAMU WAKO KUISAIDIA JAMII NI DINI NA SIASA.
AMINI MANENO YANGU KAMA HUUAMINI FANYA UTAFITI
Mzee wa legallize majani
madini tupu aisee 😂
Ukiendelea kukaa pembeni, utafaidi matunda ya wajinga siku ya iddi tuu😂
Kweli anazingua. Atajitoa kafara gani? Uoga tu.
Nimemkubari huwezi ukaingia sehemu unaona kabisa watu hawataki mabadiliko sahihi
Muoga kweli kweli wewe prof., basi wewe ni chawa tu wa Ma-CCM, Ukiona mtu Prof. Anasema eti hana chama au mwana dini mwenye umaarufu anasema hana Chama huyo huyo kajificha tu ni CHAWA WA SIRI WA ÇCM na anahofu ya maisha yake kushambuliwa na manyang'au Ma-CCM... yaan wanafiki wa namna hii wasubiri moto tu siku ya KIHAMA.
Sijakuelewa kikweli.... yaani professor kwako kuna mambo mawili tu... ukweli na ugomvi??? Kwanini unadhani ni bora ubaki na ukweli wako kuliko kuueleza na kujitoa kafara? Basi ukweli wako una faida gani kwa watanzania?? To me you are weak and very selfish
😂😂😂😂hivi umeelewa kweli wewe ....
Aiseee mbali watuuu kujua kusoma tanzania ila ujinga upo pale pale
@@--------GEO_SPORT_EARTH_EA kama ww umeelewa na bado ukasema mm ndio sijaelewa basi nisingependa kuwa kama ww. Nakubali nina ujinga wangu lakini bora hivyo kuliko niwe na werevu wako
Umekosea kaka,yule alikuwa CHE GUAVARA!!
Binafsi sijaelewa hii ya Karl Marx!!!
Kakosea nini sasa
Nimefuatilia vizuri, kauli yake ya ameirekebisha kwa kumtaja Che Guevara badava ya Karl Marx, umeenda haraka...
Wewe ndio umekosea sio CHE GUAVARA ni Che Guevara!😂
@@kanoleausi4204 ndio nini sasa
Sema Hawa Hawa Maprof. Wakiafrika uwa wana kakiburi Fulani sanaa afu mafanikio zero
Uwezi soma gazeti au kitabu, Barabara zenyewe Mbovu, mashimo Kila sehemu, ni kula Mshindi tu na kuchimba dawa
😂😂😂😂😂 na kutafuna miwa.
Kwa maana wewe hutaki kutetea haki.wewe nimbinafsi
Yaani wwe umesoma kweli
Mwoga professional kama tu, askofu mkuu kkt.
Huyo mtu ana akili sana, akiwa CUF alimsumbua sana Lipumba hana hamu naye.
Alihamia CHADEMA ikiwa serious wakati ule kabla chama hakijashikiliwa na madalali rasmi.
Walipoanza ukigeugeu akaamua kukaa zake kando na siasa.
Sema Hawa Hawa Maprof. Wakiafrika uwa wana kakiburi Fulani sanaa afu mafanikio zero
Amesema ukwel nan yuko serious kupeleka taifa mbele tume staki hatumove kabisa hatutaki ukwel