TUNDU LISSU: Wanataka Kunidhuru Wamsingizie Mbowe | Mimi Nataka Haki Kwa Wananchi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 468

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 3 дня назад +18

    Tupo pamoja, Mh. Lissu. Mungu aliyeanzisha nia hiyo ndani yako na akaikamilishe yeye mwenyewe. Amina.

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 дня назад +3

      Utakuwa nae akiuwawa?😂

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 4 дня назад +48

    Hayo matamanio ya Lisu ni mazuri lakini watu wa aina yake ni wachache sana waovu ndio wengi na ndio wako kwenye madaraka.

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 4 дня назад +3

      Ndiomana wanauzia asifanikiwe ili asaidie wengi, wao wakose pakula

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 4 дня назад

      @@albertinamichael6123 lisu nikibaraka chawazungu wezi wamakinikia, ndio maana aliwatetea wezi wamakinikia halafu et mnasema mzuri,hafai kabisa Ila kwakuwa hamanaakili hamtajua,mtu amehamisha mke nawatoto unadhani anataka kufanya nini akigombea akashindwa?

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 4 дня назад

      Malalamiko Fc anaependa usaidike ni mungu pekee hao wote ni walwale kasoro majina​@@vaskosamweli3556

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 дня назад +1

      Kama walivyokuwa wanamchukia jpm...kwa bahati mbaya watu wenye msimamo ktk jamii yetu ya tz huwa wanachukiwa

  • @thadeovitus3435
    @thadeovitus3435 4 дня назад +27

    WEKA ulinzi mkali,mheshimiwa Wala usipuuzie!!

  • @michaelelia7058
    @michaelelia7058 3 дня назад +13

    Huyu jamaaa MUNGU ana mpenda sana sana sana sana sana aiseee

    • @AllyAmir-e9c
      @AllyAmir-e9c 2 дня назад +1

      Usijisahau wewe ndio Mungu anakupenda zaidi maana haujawahi kupigwa hata na Manati

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 День назад +2

    Hakuna kitu baba yangu sio kweli funga muombe mungu akuoneshe adui yako utamjua tu

  • @AzizMasenga
    @AzizMasenga 4 дня назад +34

    Anae penda nchi inyoke vizuri,Kura kwa Tundulisu 2025.

    • @HamisAlly-g6m
      @HamisAlly-g6m 4 дня назад

      Uongo lkn mnafanana na mpendwa wako

    • @hassanmuhidin871
      @hassanmuhidin871 4 дня назад

      Sahau😂😂😂😂

    • @ErickyKatunzi
      @ErickyKatunzi 4 дня назад +3

      ​@@hassanmuhidin871we unayesena sahau, hii nchi Niyababa yako.😅😅

    • @AmanLaizer-rb5rt
      @AmanLaizer-rb5rt 4 дня назад

      ​Shoga ni shoga tu@@hassanmuhidin871

    • @robertmhikwa8174
      @robertmhikwa8174 3 дня назад +1

      😂😂😂 huyo anawakilisha wajinga wenzie brother Erick ​@@ErickyKatunzi

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 4 дня назад +25

    Allah akuhifadhi akulinde na shari zote zinazopangwa juu yako mheshimiwa lisu wakumbuke kuwa dunia tunapita na kwa Mungu hakuna cheo wa tajiri Mungu ataangali matendo

  • @benedictkiteji3627
    @benedictkiteji3627 4 дня назад +33

    Watanzania tuacheni uzuzu tujaribu chama kingine kwanza. ccm wapumzike uyutundu nikiongozimzuri.

    • @hassanmuhidin871
      @hassanmuhidin871 4 дня назад +3

      Huyo mjinga tu jana lolote kibaraka cha wazungu☹️

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 4 дня назад +2

      Lisu mpuuzi hana lolote anatafuta kiki kwa watanzania hiyo ni siasa

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 4 дня назад +2

      Ndo kinachosubiriwa sana ni muda tu utaamua.

    • @isayakihongile4921
      @isayakihongile4921 4 дня назад +3

      Vibaraka ni wale waliouza rasilimali zetu zote kwa wazungu na waarabu

    • @rajabally3964
      @rajabally3964 3 дня назад

      Pppp😊pp

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 3 дня назад +5

    Uyu jamaa anahakiri sana. Uyu jamaa anaweza kuiweka chama kwenye Revo kubwa sana.

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 3 дня назад +9

    Asante MH kikwete

    • @NgacheMark
      @NgacheMark 3 дня назад

      Kwamba ni ule mzee wetu wa msoga sio

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 дня назад +16

    Tundu Lissu yupo sahihi tuna mijambazi ndani ya system inajifanya kondoo huku........

  • @lonsman
    @lonsman 21 час назад +1

    Mungu azidi kukulinda

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 4 дня назад +17

    Mungu akulinde Mh Lisu baadhi ytu tunakutegemea ktk taifa hili

  • @godwinbenetson6033
    @godwinbenetson6033 3 дня назад +4

    Kwenye siasa wanaweza kukudhuru wakamsingizia Mbowe kama wanavyofanya kwa wengine nakuisingizia Serikali.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 дня назад +15

    Pole sana kwa habari mbaya ya kutaka.kuuawa. Najua hapendi au hujazoea kutamka Mungu lakini naamini kama Mungu amekulinda kote huko bado atakulinda salama. Usihofu. Not wenye matunda ndio urushiwao kawe usijali.
    Zinatuumiza sana kusikia hivyo. Hii ni nchi yetu sote jamani

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 4 дня назад +8

    Mama Abdull akisubutu kukuua ndio situation ataondoka ikulu kwa nguvu ya umaa atakwenda kwao znz

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 4 дня назад

      Uyu mxee wa kuxusha

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 4 дня назад

      Kumbuka aliona dalili za kufuatiliwa kabla hajapigwa risasi huko makao makuu,tena mchana wa jua kali.. ​@@ajiaally3269

    • @huyu1993
      @huyu1993 4 дня назад

      Nawewe utarudi kwenu Burundi

    • @iddyekanda6456
      @iddyekanda6456 4 дня назад +3

      Hahahaha lisu bana mjanja Sana anataka kuwachezesha wanachadema wamuone yeye ndio tishio kwenye uenyekiti kuliko mbowe kumaanisha akiwa mwenyekiti anaweza kuiondoa CCM mbowe Hana madhara ndani ya CCM

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 4 дня назад +2

      Wewe mpuuzi mmoja tu,kifo ni kwamba kila mwanadamu ataonja umauti ikiwemo sisi sote na wewe hivyo usiwe mpumbavu kumnyooshea kidole mama kuhusu kifo kana kwamba wewe utaishi milele.

  • @amanmwalyambi1416
    @amanmwalyambi1416 4 дня назад +24

    Mkimdhuru Tundu Lisu this time hatutavumilia

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 4 дня назад +1

      "Unatishia ushuzi hali unaharisha"-mwandishi nguli

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 дня назад

      Wanaotishiwa wawe wawazi kutuambia wanatishiwa na nani.

    • @hassanmuhidin871
      @hassanmuhidin871 4 дня назад

      😂😂😂😂 huna lolote😂😂😂

    • @optatusduqangw1071
      @optatusduqangw1071 4 дня назад

      Kabisa sahivi kutaamka hawatakuja kuamini hii nchi haitakalika tena tena na tena ,,hata Hawa viongozi kukaa tz itawashinda

    • @ErickyKatunzi
      @ErickyKatunzi 4 дня назад

      We mwenye lolote unamzidi nini.? ​@@hassanmuhidin871

  • @SEMBULILyimo
    @SEMBULILyimo 3 дня назад +4

    Brooo masud ni fund mwanahabari mwenye akili ya hal ya juu sana

  • @AndrewMtendemboga
    @AndrewMtendemboga 4 дня назад +4

    Asanteni CMG mmerudi nawapata via FM

  • @robbysartproductioncompany5306
    @robbysartproductioncompany5306 День назад +1

    Kwa jinsi technology ilivyokuwa kubwa sasa hiv wataalamu wakitaka kujua huyo mtu mkubwa ambaye hajatajwa jina na jopo lake zima aliyepiga simu kwa lisu ni nani it's very simple..and for simple analysis ni kwamba na wao pia wako hatarini kwakuwa walisaliti makubaliano ya kikao chao cha siri...umeona mchezo unavyozidi kuwa mtamu.? Kwahiyo hata kwa upande wa pili pia itawapa picha nzuri zaidi ni nani wabaya na tactics zipi mpya zitumike tena kukamilisha adhima yao... Na tukirudi Kwa Mh.Lisu tena DATA imempa alerts za kutosha dhidi ya upande wa pili..😁what i wanted to inform is that don't you UNDERESTIMATE THE POWER OF DATA in this world of versatile technology 😂😂

    • @OsenMwampamba
      @OsenMwampamba День назад

      Kwahiyo unamanisha nini wauwawe wazazi wako ndo utafurahi

    • @robbysartproductioncompany5306
      @robbysartproductioncompany5306 День назад +1

      @OsenMwampamba sema nikueleweshe nimemaanisha Nini maake umeshindwa kuelewa ndo maana umeuliza. Sasa kabla hujajibiwa ushakimbilia kujijibu ndo adabu gani hiyo sasa.?

    • @robbysartproductioncompany5306
      @robbysartproductioncompany5306 День назад

      @OsenMwampamba unaelewa maana ya neno DATA?..na unaelewa maana ya DATA ANALYSIS? Unaelewa maana ya RESULTS? kama unavijua hivi vyote hiki ndicho Mimi nimecomment hapo. Ila kama lugha imekupashida Kidogo na hivi vyote 3 huvijui pia bas sawa kazi iendelee🙃

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 дня назад +2

    Waliomjua huyo Mzee Mkubwa na mwenyewe heshima sana ktk Nchi hii, gonga like twende sawa.

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 2 дня назад +1

    Tatizo brother ww ni mkweli sana sasa Tanzania hataki watu wakweli

  • @Saitot0624
    @Saitot0624 4 дня назад +2

    😅mungu akulinde mh lissu

  • @danielsamwel4432
    @danielsamwel4432 День назад +2

    Tatizo ni wapumbavu hawataki ukwel , wanaamini Risasi

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 18 часов назад

    Hao watu wa humo ndani nani anawashughulikia hao?🤔🤔🤔

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 4 дня назад +9

    Mungu atakulinda mh lisu

  • @Werema3760
    @Werema3760 4 дня назад +10

    “Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.

    - Zaburi 68:20
    ■MUNGU YUPO TANZANIA 🇹🇿 SI MDA WATAELEWA WATAWALA.🙏🙏

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 2 дня назад

    Kwa maelezo haya na matukio yaliyopita likiwemo lako ambalo umesema alihusiswa Mh. Mbowe jambo ambalo nafikiri hata wewe huamini hivyo badala ya kuongeza Walinzi kuvaa fulana inayozia risasi NI KUACHANA NA SIASA TU kwa misimamo na mitazamo yako bado upo kwenye HATARI hata kama Mh. Mbowe atakuachia hii nafasi Tuliumia pamoja Tulikuombea mara kwa mara kwe dhiki yako !! Mungu alisikia upo mpaka sasa HAKUNA UKOMBOZI MWINGINE JUU YA TZ tulisha kuwa huru mengine ni ya kurekebisha tu RUDI CCM jifunze kwa Mh. Professor Kitila .Mh.Mtatilo wazee wetu Mh. Sumaye Na Hayati Lowasa walirudi wametulia Mwenyezi Mungu akusaidia kuepuka tatizo hilo unalosema ACHANA NA SIASA jali afya familia nk

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 4 дня назад +2

    Taasisi ya ulinzi ya Lissu iko chini,simu mpaka apokee yeye.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 дня назад +4

    Dunia imekuwaje? Mbona tunapata hii dunia kheri umasikini wenye furaha, kuliko utajiri wenye damu mikononi

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 4 дня назад +1

    Ivi we mwandishi ujuwi kuwa uyo nimukombozi wa tanzania ndoo maana anatafutwa uyo nikiongozi muwazi ndomana ana windwa lisu usiofu mungu aliye kutetea mala ya kwanza na sasa atakutetea baba yetu kiongozi

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 4 дня назад +3

    Mmmm inaumiza sana sana,Lisu jilinde na kumuomba mungu milele yote.Hata hivyo unatakiwa kuwa makini zaidi,ikibidi rudi uliko kuwa usalama na uhai wako ni faida kubwa kwa familiya yako na taifa kwa wanaothamini utu wako.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 3 дня назад

      Lisu hawezi kujilinda mwenywe zaidi ya ulinzi wa Mungu Baba . Achukue tahadhli na kumwomba sana Mungu. Sina maana usiwepo ulinzi

  • @MsifuniMahenge
    @MsifuniMahenge 4 дня назад +1

    Mmmh Mungu atusaidie atupe mwenyekiti mtiifu mwelewa mpenda chama

  • @SadickMuswadiko-mr9df
    @SadickMuswadiko-mr9df 4 дня назад +5

    POLENI SANA MR.LISU.LAKINI DHULMA HAITOSHINDA KAMWE,MUNGU YUPO ATAKULINDA,NASI TUTAKUOM BEA MUNGU ALIYE KUEPUSHA NA TUKIO LA AWALI NDIYE ATAKAE KUEPUSHA NA JANGA HILI.

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 4 дня назад +8

    MUNGU mlinde huyu mkombozi wa Tanzania ❤

  • @RichardKanza-cl5jf
    @RichardKanza-cl5jf 3 дня назад +2

    Mungu anakila sababu ya kumuacha tundulisu Mungu anakusudi naye hadihilo kusudi kutimie Musa na safari ya wana Israel

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 4 дня назад +15

    Tundu lissu yuko sahihi sana,anataka haki.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 4 дня назад +6

    Ukinzi wa Mungu ni muhimu sana wanaomuazia mabaya wafe kabla hawaja mfikia kwa lolote

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 3 дня назад

      Sahihi ulinzi wa MUNGUBABA Pekee ñdiye muhimu zaidi. Ila kuchukua tahadhali ni muhimu

  • @habilkikaya1796
    @habilkikaya1796 3 дня назад +1

    Tundu ndio ataokoa Tanzania lakini mkumbuke Tanzania ni inchi tajiri ila wamelalia ccm lakini uyo kwamba akiondoka jamani shida

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 3 дня назад +2

    Huyu baba mungu kamtunza kwa sababu maalum lisasi zaidi ya 30 kapona kusudio la mungu alijakamilika

  • @SamweliMango
    @SamweliMango 4 дня назад +1

    Akili hii ni nyingi sana.....nenda ulaya uishi huko tuache sisi na akili zetu ndogo.

  • @Nassmihambo
    @Nassmihambo День назад

    Ni ukweli wanataka kukuua lakini mungu akulide na njama zao

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 4 дня назад +2

    Clouds Chanel Kubwa Kweli Bado Mko Kwenye Kushikilia Maiki Kama Mnaubili Injili Makanisani

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 дня назад +2

    Future president ❤may God bless him huyu jamaa ataibadirisha Tanzania ni mtu mkweli asiyeyumbishwa

  • @njemamehuna9821
    @njemamehuna9821 4 дня назад +1

    Atakuwa Kinana tu huyo😅😅😅

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 3 дня назад

      umewaza mbali .hiyo ni kwel

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 дня назад

      Kinana kafanyaje?

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 18 часов назад

      "Kiongozi Mkubwa wa Kidini" = Kinana..
      Kinana ni mzushi na mtu wa propaganda...hawezi kumsanua Lissu🤔🤔🤔

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 4 дня назад +10

    Lisu usimuamini pia huyo yawezekana hana nia njema pia

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 4 дня назад +2

    Wandishi muwe mnamwacha mtu kwanza aongee usimuingilie akiwa anaongea

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 4 дня назад

      Waandishi wetu wanapenda waongee wao kwa wanayoyatarajia..

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 3 дня назад +2

    Mweshimiwa lissu unaona mbali

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 3 дня назад

    Mungu awalinde na kuwa teteya Ili kushinda jalibu Hilo fanyen KAZI yenu wewe pamoja na Mbowe bila hivyo mahalamia watawamaliza Kwa halaka Mungu Ibalik Tanzania Mungu Ibalik Aflika

  • @hepsonmboka6776
    @hepsonmboka6776 4 дня назад

    Halafu baadaye mje kusema wasiojulikana kumbe hua mnawajua mapema. Sasa mbona hamuwapeleki kwenye vyombo vya sheria mapema kabla hayajatokea hayoo?

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 дня назад +4

    We understand your words and your steps. Tunaamini utafika pazuri, tukiamini kuwa umaanisha toka moyoni na mifano utatuonesha ili tukuamini. Wanasema 'it's easy said than done' Tutataka proof.
    Ni.kwa faida yako wewe

  • @KitengeKikali
    @KitengeKikali 2 дня назад +1

    Padre kitima huyo aliekwambia

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 3 дня назад

    M.mungu akulinde na akusimamie kwa kweli Tanzania ni mbaya sana na ni wauwaji kweli

  • @salehemimbi1895
    @salehemimbi1895 4 дня назад +10

    Jamaa huyu bwana,wakuue kwa lipi sasa,
    Mungu akulinde kama ni kweli

    • @juniorsteve7582
      @juniorsteve7582 4 дня назад +8

      zile risasi alizopigwa kipindi kile walitaka kumuua kwaajiri gani 😂😂 au kipindi hiko ulikuwa hujapata bado smartphone hukujua yanaoendelea Tz

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 4 дня назад +4

      We unafikiri huyo ni wewe mjomba hizo risasi alizopigwa kwanini wasingekupiga wewe mjomba

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 4 дня назад +3

      Kwani wanaouliwa wanauliwa kwa Lipi

    • @oliviaseth4652
      @oliviaseth4652 4 дня назад +5

      Hivi wewe unasema wakuue kwa lipi, risasi alizo nazo ni mapambo?

    • @GiliadLuziro
      @GiliadLuziro 4 дня назад +3

      Mijitu mingine inakera mpaka mtu unakosa ulijibu vp,hauna akil ww kwamba risasi alizopigwa ni mapambo au

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 4 дня назад +2

    Simba la masimba Lisu hata Samia analijua hilo🎉🎉😂😂😂

  • @SalumJuma-r8p
    @SalumJuma-r8p 3 дня назад +1

    Mh lisu hakuna ukwel ambawo haumi ipo siku watanzaniya watakuelewa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 4 дня назад +2

    Daaa angalia wasifatilie kwa sim waje wamuue huyo kiongozi mwadilifu alie kustua

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 4 дня назад

      Lisu siyo mtu mzuri kwann amehamisha familia yake iko nje? Pia yeye ananuraia pacha huyu Hana Nia nzuri anataka kuleta machafuko kabisa

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 4 дня назад +1

      @EmmanuelMlowe-u1v ndugu unaweza ongea kwasababu hayajakukuta ya lisu ingekua ni wewe nahisi hata nchini usinge rudi

    • @GiliadLuziro
      @GiliadLuziro 4 дня назад +1

      ​@@EmmanuelMlowe-u1vKm ww ndo mzuri pewa nchi sasa

  • @GeophleyMwandanji
    @GeophleyMwandanji 4 дня назад +4

    Watanzania wenzangu tujalibu chama kingine lasivyo mm nko paleeeee

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 дня назад +3

    Huyu jamaa, kwa. Wenye kufikilia mbali kwa roho ya hofu, na kwa yaliyo mtokea na kukutana nayo na kuishi nayo, inapaswa watu wajifunze kumwogopa Mungu kuwa Mungu yupo na anaweza, kila jambo lipo chini yake risasi 16 kwa binadamu si mchezo.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 3 дня назад

      Hakika. Si rahisi risasi 16 si mchezo. Tuzidi kuombeana kwa nguvu zetu hatuwezo

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 4 дня назад +1

    Pole sana mkui😢😢😢

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 4 дня назад

    Huku mtaani mambo sio Lele. Sasa sisi wananchi hatuwezi kuwa wenyeviti kwa mara Moja.
    Nadhani ifike pahala mtununulie bundles

  • @JumaKitutu-t4s
    @JumaKitutu-t4s 3 дня назад

    Mungu pekee ndio anajua wapi na vipi unatakiwa kuwa.
    Bc bila lidhaa yake hawawezi kukuzurumu nafsi yako

  • @Joyce-k9c2m
    @Joyce-k9c2m 4 дня назад +1

    Sasa hivi Mbowe sio tishio kwa serikali wako tayari kuruhusu Mbowe awe Mwenyekiti wa milele wa Chadema

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 4 дня назад

    Kama kuna ukweli juu ya ugaidi wa Mbowe na Mnyika , vyombo vinavyohusika vinasubiri nini kuwachukulia hatua ?

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 2 часа назад

    Kasema kiongozi wa kidini

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 3 дня назад

    Huyu jamaa kwa kiki sasa muda wote huo wa siku 4 si ingekiwa washakudhuru sasa si uende police

  • @innocentmlacky
    @innocentmlacky 3 дня назад

    Mungu awe ngao yako hata risasi haziwezi kuingia tena mkuuu . Mtu wa haki huyu

  • @AsadKissensi
    @AsadKissensi 3 дня назад

    Je ukiwa mwenyekiti chadema utaluhusu ushoga na huo ushoga utaanzia humo humo kwenye chama cha chadema?.

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 3 дня назад

    Na ni kwa nini watu waovu ndio waliopo kwenye nafasi zenye nguvu tu?

  • @brownjvmtakimwa5586
    @brownjvmtakimwa5586 3 дня назад

    Tuponae hayupo pekeake Tunamwombea aendelee kufanya kazi maana ndiye amesubutu kuwakosowa wezi

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 4 дня назад +7

    HOFU NI KWAMBA LISU AKISHIKA UONGOZI WA CHADEMA WANAHISI UPINZANI UTAKUA MKALI SANA

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 3 дня назад +1

    Tanzania ..bado tuko nyuma. Wengi hatujitambui...itakuwa ngumu kueleweka

  • @kaundavyoseena6514
    @kaundavyoseena6514 4 дня назад

    Lakini TAL vingine usiviseme hadharani unless vina pre empty mambo.

  • @hassanmuhidin871
    @hassanmuhidin871 4 дня назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe mwenyewe mchafu unataka kuleta ushoga 😅😅

    • @Linsha1993-hw9kl
      @Linsha1993-hw9kl 4 дня назад

      Watoto wake wote wako marekan na ni raia wa huko sasa kwann asiende marekan

    • @mayj1952
      @mayj1952 4 дня назад +4

      Na unajichekesha kabisa mtoto wa kiume.. ulishawahi kua shoga ukaambiwa yeye ndiyo kakuletea?

    • @RamadhanAthuman-d4c
      @RamadhanAthuman-d4c 4 дня назад +2

      Wewe unatumika sio bure

    • @NiazonBukoke
      @NiazonBukoke 4 дня назад +2

      Acha kucheka ovyo pumbu wewe

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 3 дня назад +2

      Taila mmoja wewe tena baba Yako auliwe ndiyo utajua

  • @ElikakiJoshua-cb6vs
    @ElikakiJoshua-cb6vs 4 дня назад +5

    Mh, lisu ukizungumzia watu kuwa matajiri Sana, unanifanya kumkumbuka marehemu magufuli, inauma Sana kusikia watu wanatajirika kupitia pesa zetu za Kodi,

  • @annakapolondo7771
    @annakapolondo7771 4 дня назад +1

    Mungu ibariki Tanzania

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 4 дня назад +6

    Proof that you wanna turn proud our economy. Speak out with confidence that our country is very rich. Give us assurance.
    We don't deserve to be beggers. Speak it out loud woth confidence so we can hear you.
    We absolutely wanna hear that from your own mouth....that's it you believe so.

    • @Chemba67
      @Chemba67 3 дня назад

      You will never ever hear those words from any of opposition leader in Tanzania ,that's sad truth .......They waste lots of time in their meetings for just disgracing and dissing each other rather than speaking about serious matters of the country.

  • @AdiaMwinyi
    @AdiaMwinyi 4 дня назад +4

    Kunawatu kazi zenu kukebei matatzó ya wenziweni taarifa híí ni sahii kabsa kila cku watu wanauwawa lengo kuu wabaki madalakani ila tambuweni yatakuja kutokea machafuko kila atatafta pakuingilia

  • @evansmtalo9406
    @evansmtalo9406 3 дня назад +1

    MUFTI😂

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 дня назад

    Wewe Sasa unataka kuulizwa,inasema kabisa wanataka kumsingizia mbowe kwahiyo unampa nafasi mbowe Kama anaweza au?

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 4 дня назад

    Mungu atwageuzia kila hila zao wanalopanga washindwe

  • @deussamson-q1t
    @deussamson-q1t 4 дня назад +1

    sasa nani amuuwe baada ya kutangaza kugombea uwenyekiti jiongezeni sasa hapo?

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 3 дня назад +1

    Lissu kwa chadema watakuwa wamepata mwenyekiti

  • @ogossygassayachacha6988
    @ogossygassayachacha6988 День назад +4

    Big Brain

  • @AlsonMoses
    @AlsonMoses 4 дня назад

    Mungu akulinde na madui wasio na maono,wanatumia nguvu kubwa kutunyonya

  • @protusbishanje872
    @protusbishanje872 3 дня назад

    Mungu akulinde baba

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 4 дня назад

    Mzee wa Drama 😅😅 oyeeeee

    • @NkwabiMasanja
      @NkwabiMasanja 4 дня назад +2

      We hujui ty ndomaan waogeq ivo

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 4 дня назад

      Kama ni drama basi jaribu kuvaa viatu vyake..
      Kama hujui kufa, chungulia kaburi.

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 3 дня назад

      @@richardnganya2311 drama hiyo, siasa isikusumbue, Kwanini anatishiwa uhai asiende sehemu husika kuweka wazi ili wananchi tujue

  • @KhalifaMshana
    @KhalifaMshana 3 дня назад

    Watakufa wao kina kama alivyo kufa yule mwenzao
    Mungu hachezewi

  • @yozayaperudi9072
    @yozayaperudi9072 3 дня назад +1

    Together as one

  • @mtukwao3195
    @mtukwao3195 3 дня назад

    Kwa hizi tantalila utapelekea usipate taarifa nyeti. Media sio sehemu salama.kabisa ya kumaliza.matatizo yanayokukabili. Hususani masuala ya kiinterijensia. Mheahimiwa huu sio wakati muafaka wa kuzingumiza kilakitu kwenye public mambo mengine usiyasovu kwa kuonge a but ungechukua tahadhari tu kama mleta taarifa kwako alivyo kutaka ufanye. Hapo ushasababisha mleta taarifa asikuletee tena.

  • @ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
    @ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 2 дня назад

    Jamaa kasomea pro huyu anacheza na mihemko yawatu hahaha anajiwekea Gadi ya hatari Sana na watu wameingia kwenye mfumo wake tayar.

    • @zamberimturi5593
      @zamberimturi5593 2 дня назад

      Acha uchizi ww huyu jamaa huwa anaongea vitu vilivyopimwa vikapimika

    • @richardcarol2579
      @richardcarol2579 2 дня назад

      Na wewe kasomee. Kama unaweza. Saidia kwanza life lako 😂

  • @allysalahange8836
    @allysalahange8836 День назад

    kweli kuwa makin

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 3 дня назад

    MUNGU AKULINDE KAKA CCM SIKU ZAO ZINAHESABIKA

  • @-vw9yz
    @-vw9yz 4 дня назад +1

    Usimtoe katika reli,msikilize na umuelewe

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 дня назад

    Kama lisu Hana mchezo flan wakutengeneza tukio alipoambiwa awe makini asingalisema. Huyu anataka ulinzi au anataka ajifanyie tukio flan

    • @b.truthful
      @b.truthful День назад

      Huna usemalalo tukio la nini na tayari yashamkuta hakuna mzaha hapo maisha ni muhimu

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 4 дня назад

    Ccm wanajua Mama hawezi kushindana na lisu uchaguzi mkuu lisu lazima atoboe huo ndiyo wasi wasi wao

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 4 дня назад +8

    Tunakupenda Lissu MUNGU akulinde kaka

  • @godsson5954
    @godsson5954 3 дня назад +1

    Wahandish wengne ni machawa tu kpnd kile kabla hajapgwa risas aliongea na akapigwankwl risas nyie wahandsh wanafk mlisaidiania nn hamkupazanhata saut machwa nyie washenz

  • @ConradMwajeka-r3e
    @ConradMwajeka-r3e 4 дня назад

    Mmmh tundulisu watakaokudhulu ni wa ccm ama chadema????

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 3 дня назад

    Bwana Mungu awe pamoja nawe.