TUNDU LISSU - "TUSIBABAISHANE KWAMBA MCHANGO WAKO ni MKUBWA KULIKO wa KWANGU - SIJAWAHI KULIPWA"...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 185

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад +9

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @allymlyomi9894
      @allymlyomi9894 Месяц назад +3

      Tupige kura malumbano ya Nini?

    • @emmanuelmasele9585
      @emmanuelmasele9585 Месяц назад

      We Lisu haukuwa unamsaidia Mbowe ulitumia umakamu ili kujitaftia wfuasi ili kumpindua M/Kiti wako .

  • @BarakaIsmail-p4w
    @BarakaIsmail-p4w Месяц назад +6

    Tundu lisu ni mwamba apewe nafasi anaweza.

  • @martinmtwale1242
    @martinmtwale1242 Месяц назад +9

    I totally agree 💯 with tundu lisu point of views

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi Месяц назад +8

    Viva Tundu Lisu

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Месяц назад +26

    Lissu uko sahihi sana

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 24 дня назад

    Love 💕 you tundu lisu

  • @mohamedmarijani
    @mohamedmarijani Месяц назад +2

    Asante nawafuatilia wore nitakuwa hakimu kwa ajili ya nafasi yangu.

  • @AugustineChizubo
    @AugustineChizubo Месяц назад +8

    Lisu upo sahihi kabisa

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal Месяц назад +30

    Ni hoja ya kitoto unaposhikilia kwamba kushindana na kiongozi aliye kadarakani ni kuvunja chama. Mwandishi unakazana na hoja hiyo elewa ni hoja ya kitoto. Tufike mahali tukubali challenges ktk uchaguzi kama wenzetu wa magharibi

    • @ShabaniRashid-ln3tj
      @ShabaniRashid-ln3tj Месяц назад +2

      Sahihi

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 Месяц назад +1

      History umeisahau

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад

      Kwanini uchaguzi mkuu unakuwepo? Usiwepo basi Kwa 7bu utafarakanisha taifa. Kilichopo, kuwepo chaguzi huru na haki tu.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Месяц назад

      CUF wako wangapi kwani???

    • @MasterTulo
      @MasterTulo Месяц назад +1

      Mwandishi ameeleza kulingana na historia kwahy tundu lisu anapofanya hvo pia àkumbuke historia mbaya ya hapo nyuma. Na huo ndo ukweli kugombea pia kunaweza kupasua chama kwasabb ya maslahi binafsi ya wagombea

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 27 дней назад +1

    Tundu lisu wewe una kichwa hatari sana wewe mungu aweze kutupa ukaja kuongoza ili taifa

  • @YosiaTadeo-hx4lx
    @YosiaTadeo-hx4lx 28 дней назад +2

    Uyu lisu mnauhakk sio Nyerer kweli🤔

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 24 дня назад

    Bonge la mwanasiasa uyo😂😂😂 yanga bingwa💚

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 Месяц назад +2

    Demokrasia, demokrasia, demokrasia. Lisu oyeee. Haki yako

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 Месяц назад +6

    Lisu kichwa sana anajibu maswali Kwa Hali ya juu ila Hawa waandishi ni machawa wa mbowe

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v Месяц назад

      Chadema mnataka mawazo yayofanana tu,mtu akiwa anambana mtu wako unamwita chawa, pole Sana wewe nichawa wa lisu

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад

      @@jeffkonki8279 Wala siyo chawa wa Mbowe. Lisu angewapa za uso. Lisu anajua wametoka wapi.

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад

      @@EmmanuelMlowe-u1v nani amebanwa hapo? Watu wanauliza maswali yasiyo na mashiko, wanapewa majibu sahihi wanabaki kujiumauma kwa aibu!!!?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v Месяц назад

      @ChalesLukumai Sasa najibu sahihi yanatoka wapi kwenye swalilisilo na mashiko?

  • @tariqboy2141
    @tariqboy2141 Месяц назад +2

    Tundu lisu aisee...huyu jamaa

  • @chage97
    @chage97 Месяц назад +35

    Mwarobaini wa CCM ni TUNDU LISSU

    • @greydonalds4286
      @greydonalds4286 Месяц назад

      😂Mwarobaini wa CCM ni CHADEMA, sio Lissu. Lissu ni hanithi wa kisiasa kwa sasa. Hana sera za kutia mimba akili za watanzania na kuzalisha mtazamo wa maendeleo. CCM ni wabovu kupindukia na wana madhaifu mengi kwa sasa kiasi kwamba CHADEMA wakijituliza wakaja na mikakati kabambe wanaweza kuing'oa CCM madarakani. Lakini hili la kusubiri uchaguzi mkuu unafika ndio wanaanza kupasuana wao kwa wao... kuna namna ya kukidhoofisha chama hapa. Subiri utaona majibu. Lissu anahama chama. Na nashawishika kuamini kuna mlungula unahusika hapo.

    • @lutegomakoyeluhahula361
      @lutegomakoyeluhahula361 Месяц назад

      Walikwambia,wamekudanganya.mwarobaini waCCM,Ni wanna ccm wenyewe. Na kwa migogoro hi inayoendelea ndani ya chadema,ondoa Hilo wazo kaabisa. Atabweka na kubweka Kama mbwa aliyefungwa kamba mtini.

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 Месяц назад

      Tundu Lissu ana stress hatoshi kwa nafasi ya uenyekiti kwenye chama chao

  • @emmanuelbenson6149
    @emmanuelbenson6149 Месяц назад +6

    Mwandishiiiii bado sana kwenye mambo haya

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 Месяц назад +4

    Tundu lisuuuuuuu🎉🎉🎉🎉

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 Месяц назад +7

    Swali la kwanza linaonyesha upeo mdogo wa huyo mtangazaji/msahili

  • @fadhilirijawala
    @fadhilirijawala Месяц назад

    Generous....a.lissu

  • @YosiaTadeo-hx4lx
    @YosiaTadeo-hx4lx 28 дней назад +1

    Kuna kajasho kako😂😂😂

  • @nugwiziwe7577
    @nugwiziwe7577 Месяц назад +11

    Hawo wandishi wahabari niwanafki hawana fikra na maswali yakuuliza

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 Месяц назад +10

    Tumekuelewa vizuri Uchaguzi HATUWEZI kuibomoa CHAMA ila Mitazamo ndiyo inatofautiana, Wewe Gombea Acha wajinga wasigane na Mbowe sio Mungu naye niMwanachama Pimaneni Nguvu Mwenye Mitazamo unaoendana na Wakati Achaguliwe Mwenyekiti.

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад +2

      Hawapimani nguvu; bali wanapimana hoja.

    • @Chunja-m2g
      @Chunja-m2g Месяц назад

      🤛​@@ChalesLukumai

    • @Samwel-kz4nq
      @Samwel-kz4nq Месяц назад

      Tuna imani na wewe tundulisu

  • @FutiweloMwamlima
    @FutiweloMwamlima Месяц назад +1

    Umenifraisha tundlisu waelimishe chadema kwa kugombea

  • @RichardSeverely
    @RichardSeverely Месяц назад +2

    Risu mungu wa mbingu،na akutumie maraika wakurinde maana Vita ninzito sana damu yayesu itembee nawewe

  • @nugwiziwe7577
    @nugwiziwe7577 Месяц назад +10

    Naningumu kuwafananisha na kikeke hawajifunzi kwakikeke jamani

  • @willykaovela5485
    @willykaovela5485 Месяц назад

    TL 🎉

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 27 дней назад

    Zito Kabwe, Chacha Wangwe, Cessil Mwambe, Fredrich Sumaye na sasa Tundu Lissu kugusa tu form ya uenyekiti taifa shida inaanza kuna nini katika chama cha Chadema?

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Месяц назад +1

    MBONA WEWOOOOO

  • @rugemalilalucas4533
    @rugemalilalucas4533 Месяц назад

    Utashindwa kwa kura halali na yule aliyekukimbiza Kenya uktibiwe.

  • @ismailhassanaly5420
    @ismailhassanaly5420 Месяц назад +3

    Duh...huyo mwandishi wa habari kwenye mahojiano ya moja kwa moja na hata kujenga hoja bado sana

  • @Suleiman-e6i
    @Suleiman-e6i Месяц назад +12

    Jamaa angaliwe sana na hususan waliokuwa mbele Yake mfano kama wazungu au mataifa ya nnje haya mataifa ya nnje yanayo mzamini Wana malengo gani

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад +2

      Toa matope Yako kichwani

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 Месяц назад +2

      Bado upo zama za kikoloni

    • @ahz6907
      @ahz6907 Месяц назад +1

      Mpuuzi wewe 😂

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 Месяц назад

      Mnaokataa kwani ni uongo waliomchukua juju baada ya uchaguzi ni nani?​@@minazsaid2470

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад +2

      Una akili matope. Yataje hayo mataifa ya nje yanayomfadhali.

  • @SalambaPeter
    @SalambaPeter Месяц назад +1

    Nakuunga mkono, lkn jana bazecha nina mashaka na mabalaza yamehongwa kwanamna ya matamko yao yanaashilia kumshawishi mbowe na kumtukana lisu , na ukiangalia mitandaoni watu wanaosema lusu hafai kuwa kiongozi ila mbowe ni wa ccm hivyo wanaunga na mabaraza ya chadema kauli yao ni moja ,hivyo kwa muono wangu ccm ndo hawamtaki lisu na si chadema

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад

      Kila mgombea haachi kuwa na wanaomuunga mkono. Pia hofu yako ya wasio wanachadema yaweza kuwa na mashiko.

  • @CatherineEmanuel-j1w
    @CatherineEmanuel-j1w Месяц назад

    Pia watanzania tuwe na mitazamo chanya Kwa sababu demokisia inaniambia Kila mtu anayo haki ya kugombea maadamu anajua kusoma na kuandika inakuajeleo tutishiane kwenye kugombea.

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Месяц назад +5

    TUNDU LISU AMEFANYA BLANDERS SANA
    ANALETA UADUI WA GAFLA JAZBA MAAMUZI YA HASIYO NA BUSARA
    MANENO YA KASHFA
    HAKUTUMIA BUSARANHATA KIDOGO

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад

      Maneno kama yapi

    • @ahz6907
      @ahz6907 Месяц назад

      Kama amefuata busara zaidi ya miaka 10 na akitaka kupewa nafasi anaminywa unataka afanyeje? Aendelee kuramba miguu ya mbowe ama?

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад

      Yepi maneno ya kashfa aliyotumia Lisu? Acha uchonganishi.

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад

      ​@@ahz6907na wewe umetoka sayari ipi? Lini Lisu amegombea uwenyekiti akanyimwa? Mbona yeye ndiye makamu mwenyekiti Kwa miaka hiyo(tena akichaguliwa akiwa hayupo) hajawahi lalamika?

    • @jumannejisena3117
      @jumannejisena3117 Месяц назад

      Wewe ndio sio mwelewa kuna maneno gani ya kashfa hebu kuwa neutral

  • @KananiFamily-u1c
    @KananiFamily-u1c Месяц назад

    Chaga Development Manifestation (CHADEMA)

  • @EdwardJohn-xz5oi
    @EdwardJohn-xz5oi Месяц назад +3

    Mh Lissu kuwa makini na hao waandishi machawa wametumwa maana maswali wanayokuuliza ni ya kukugombanisha na mh Mbowe. Kwahyo kuwa makini kuwajibu.🤫🫢🫢🤫🤫🤭🤭

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai Месяц назад +1

      Siyo chaguzi za kwenye vyama tu, bali hata chaguzi za kwenye serekali zisifanyike kwa 7bu taifa litapasuka?

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal Месяц назад +6

    Kugombea siyo kuvunja chama. Ingawa mnaweza kukubaliana ktk maamuzi Fulani siyo lazima ushikilie Hilo Hilo muda wote. Fikra mpya hutoka kwa wanachama.

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba Месяц назад +1

    KASONGO YEYE!! MOMOBALI NANGAI.

    • @RashidKadege
      @RashidKadege Месяц назад

      Kasongo mbona wewo songali bara yeyeyeee yeye kasongo mbona wewo mbona wewoo😅😅

  • @HijaSalimu
    @HijaSalimu Месяц назад

    Pambana Mnyiramba

  • @RichardGombanila
    @RichardGombanila Месяц назад

    Lissu, ongelea pia ajira za walimu, miaka ya kusitaafu ipunguzwe. Sauti Yako tunaitegemea baba

  • @CatherineEmanuel-j1w
    @CatherineEmanuel-j1w Месяц назад

    Tundu lisu kaza mwendo chadema sio chama Cha ukoo .

  • @MICHAELWILLIAM-p7h
    @MICHAELWILLIAM-p7h Месяц назад

    Mbowe atoke we need changes fikra za mtu mmoja miaka yote sio,Tujifunze kwa strong political part CCM wanaimarika kila siku coz wanaruhsu mabadiliko ya viongozi so chadema nanyi mjifunze.

  • @OmariNkalami-l8f
    @OmariNkalami-l8f Месяц назад +1

    Mkweri ni Mbata🎉 na mwenyekiti wake ?

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 Месяц назад +8

    Lissu ana akili sana na hashindani kwa ubaya ubwela bali anatimiza haki na wajibu wake ndani ya chama

  • @kayayaisanta3577
    @kayayaisanta3577 Месяц назад

    Lissu yuko sahihi kugombea. Mbowe muda wake umeisha pokezeanani kijiti. CCM imekuwa na wenyeviti wangapi mpaka sasa. Hilo linalopambana hapo na lissu ni wakala

  • @justinekamala9703
    @justinekamala9703 Месяц назад +1

    Hapa hakuna muandishi, ni polojo make hajui hata kuuliza maswali ila anapiga stor

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 Месяц назад

    Tatizo wabongo wana dhani kila kitu ni ushabiki wa mpira, hili li baba lenye jazba na hasira za hapa na pale na ni kibaraka wa wazungu mnadhani anaweza kuongoza nchi?

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 Месяц назад

    Anzisha Chama chako

  • @yusuphitambu3405
    @yusuphitambu3405 Месяц назад

    Demekrasia inaanzia ndani mi naona Lisu kugombea na Mbowe ni sawa anayeshinda ashinde na waendelee na kazi kama kawaida na hio ndio demokrasia ambayo inatakiwa

  • @nicholauskizenga5602
    @nicholauskizenga5602 Месяц назад

    Muuliza maswali kama nitakua nimeeleweka vizulii Hana R na L, Habali

  • @MARKWOODHEADBIGBY
    @MARKWOODHEADBIGBY Месяц назад +4

    My brother tundu unatamaa, you're not supposed kukigawa Chama, sallers

  • @hassanmaganga1544
    @hassanmaganga1544 Месяц назад

    Mmh mambo ya chama Yana mambo mengi aisee

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y Месяц назад

    lissu ndiye mwenye nguvu ya kucheza na ccm

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 Месяц назад +2

    Tundu Lissu ni mwanasiasa Mbowe ni kiongozi

    • @bakarikimea4711
      @bakarikimea4711 Месяц назад

      Hapana mbowe ndio mwanasiasa sasa huyu lisu siomwana siasa ukitaka kujua hilo pima matamshiyake hana matamshi lain hatasikumoja

  • @FidelisiKidungu
    @FidelisiKidungu Месяц назад +2

    TUNDU LISU & FREEMAN MBOWE NAWAOMBA JENGENI HOJA. KWENYE MSINGI MTAKIFANYIA NINI CDM NA TAIFA UKICHAGULIWA KUWA MWENYEKITI TAIFA. Epukeni majibu Kwa Hoja za upungufu udhaifu au kasoro zenu binafsi zinazotumiwa vibaya na waandishi wa habari wenye Nia ovu kuwachafua na kuwafitini

  • @ReubenMwanyasi-h6k
    @ReubenMwanyasi-h6k Месяц назад

    Nyinyi waandishi mna maswali ya kizushi na uchonganishi yaani nyie ni wakaanga mbuyu kuachia wenye meno watafune hivi hamjui haki ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa mbona huwa hamuendi kuhoji upande wa pili (ccm)?

  • @JosephIsrael-t6n
    @JosephIsrael-t6n Месяц назад +1

    Chama ni saccos ya mbowe baada ya kuachiwa na mkwe mzee mtei na muazini na mtunza pesa za chama ni mkewe hii ni balaa

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 Месяц назад

    Huyu mwandishi nae ni chawa, mimi nashindwa kuelewa ,hivi chama kinawezaje kupasuka kwa wanachama wengine kuwania nafasi ndani ya chama? demokrasia maana yake nini??

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 Месяц назад

    Anzisha chama chako

  • @Rajabu.dobeye-qw7fq
    @Rajabu.dobeye-qw7fq Месяц назад

    tundu lissu upo sahihi uchaguzi lazima ufanyike ili kuitekeleza katiba ya chadema

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 Месяц назад

    Mnapotezana wenyewe bana...

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 Месяц назад

    Kama kuna mtu angemshauri Mbowe amwambie asigombee ampishe tu Tundu Lissu hatuna sabab ya hawa wawili kukaa kama mafahari wawili bali kama watu wenye Utimamu na wenye kuishi kesho! Future ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ipo mikononi mwa Hekima za Mbowe asishindane na Mdogo wake Heshima yake ni kubwa sana katika Chama ampishe tu aachane naye atampunguza mdomo huyu

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 27 дней назад

    Tundu lisu anastahili kuwa kiongozi mwenyekiti wa chama.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Месяц назад

    Mboe na lisu mnapigana vita alafu juzi unatwambiya likikukuta ni ccm ama serikali ivi ni kweli mheshimiwa

  • @kassimomary216
    @kassimomary216 Месяц назад +1

    Mbowe kwenye kujenga hoja hamuwezi Lisu......ila Mbowe Mjanja mjanja Sana. Atashinda kiujanja ujanja 😂

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa Месяц назад +2

    Tunataka mdahalo live wanaogombea uwenyekiti chadema tujue nani aliye bora zaidi ya mwingine..

    • @ahz6907
      @ahz6907 Месяц назад

      Wazo safi sana hili

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 Месяц назад

    Act wamefanya hivyo kupitia mh juma duni na mh othman na wamevuka salama huu ndio utaratibu tusibabaishane ndugu mtangazaji😅😅😅

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Месяц назад

    Sijasomea😂 wandishi ila huyu Kaunda haniwezi kwa kuuliza technical

  • @f2abooksuppliers122
    @f2abooksuppliers122 Месяц назад

    Hakuna mwandishi hapo

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x Месяц назад

    Lisu utatuulia chama Kwa sababu mdomdwako hauna kaba Siri za ndani wazitoa masikani

  • @dunstangeorge3263
    @dunstangeorge3263 Месяц назад

    Mbowe hata chukua form, Lisu atakua chairman

  • @OlivaryKavishe
    @OlivaryKavishe Месяц назад

    Lisu naomba uwe makini na hiki chama tunakiamini iila angalia maslai ya chama

  • @JuliusKesanta
    @JuliusKesanta Месяц назад

    Kwa nini lissu ndio anapasua chama na sio mbowe. Kimsingi hakuna anayepasua chama ni uchaguzi kati ya magiant wawili.

  • @georgepewa9624
    @georgepewa9624 Месяц назад

    Njoo kwenye sanduku la kura ukipata kura 100 za wajumbe kweli wewe ni mwamba

  • @eliannko
    @eliannko Месяц назад

    wa handishi wa habari ni vibaraka wa ccm wote

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Месяц назад

    LiSu anataka kujichanganya wala hafai kuwa mwenyekiti,anapaswa akae ktk ngazi hiyo aliyo nayo vingenevyo anaenda kuhalibikiwa,

  • @MikaMsanii
    @MikaMsanii Месяц назад +1

    Tundu lisu na wewe ongoza tuone mwelekeo mpya kila mtu ana thamani na faida ya aina yake. Magufuli alikandamiza upinzani lakini pia alitanguliza mbele haki za wanyonge na kujieleza hadharani. Samia hataki kunieleza hadharani lakini kaja na malidhiano na mnolea ya ruzuku amnoyo mimi ni mnufaika na huo mpango. Kwa hiyo hakuna kibaya kikakosa mazuri au kizuri kikakosa ubaya. Lisu naye ajaribu hakuna cha kutumwa na wazungu wala wachina tanzania ni yetu sote

  • @yusuphmarijan3704
    @yusuphmarijan3704 Месяц назад

    Huyu mwandishi n zero bana

  • @EmanueliThomas
    @EmanueliThomas Месяц назад

    Kama uchaguzi unapasua chama kipasuke tu

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 Месяц назад +1

    Anguko la Chadema limekaribia

  • @JohannesMtung
    @JohannesMtung Месяц назад +4

    Kiufupi tundu lisu hawezi kukiongoza chama kwanza muoga ila mbowe ni jiniasi

    • @gekstamina8332
      @gekstamina8332 Месяц назад

      kwa hyo kinyume cha muoga ni jiniasi😂, hii nchi inataira wengi sana

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 Месяц назад

      Kwatulupo fikia Tanzania mbowe hawezi tena kwasababu amekuwa mamluki wa serikali harakati nyingi za kudai haki yeye ndio anazikwamisha kwa kupitia serikali hata hawo vijana wanao tekwa na kuto kupatikana majibu ni harakati za mboe kifupi ana mambo mengi ya siri na serikali hatufai akapumzike tu

    • @Chunja-m2g
      @Chunja-m2g Месяц назад

      ​@@hajikatanje5961 wanaogopa new challenges et kuhofia chama kufa mawazo ya kijinga uwez kupga hatua acha mwamba akamate kijti

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад

      mbowe aachie vijana jamani........... kwan nyie hamn viongozi mbona ccm wanaandaaa viongozi toka wakiwa vijanaaaa nyie mnakwama wapi😅

  • @angelnicholaus9248
    @angelnicholaus9248 Месяц назад +1

    Ninachohoji ni demokrasia ndani ya chama chenyewe,ina maana hiki chama ni cha Mbowe au ni chama cha kitaifa,huwezi kuwa mwenyekiti miaka na miaka halafu ukiite chama cha dwmokrasia.

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад

      hapo sasa kwanini wasitafute vijana wenye mawazo mengine mazuriiii wanafata ulajiii

    • @angelnicholaus9248
      @angelnicholaus9248 Месяц назад

      @PhimoniMwakalili utashangaa Mbowe atakachosema hiyo jumamosi "nimetafakari kwa makini na kusikiliza maoni yenu inanibidi tena nigombee nafasi ya uenyekiti"mwisho wa kunukuu,yule jamaa ni mchumia tumbo na mbinafsi aliyepitiliza.

  • @HamisBoa
    @HamisBoa Месяц назад

    Mimi nichokiona isije kutokea yapitha msigwa

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k Месяц назад

    Sasa ww kama hujawahi kulipwa mana ake Kuna watu wanakutumia na Ina mana ni kwamba Kuna watu nyuma Yako na hujawahi kukosa pesa zozote wewe utakuwa una jambo lako.

  • @WansolaLuther-tq8qm
    @WansolaLuther-tq8qm Месяц назад +1

    Tundu Lissu nakuombea ushinde nafasi unayogombea.

  • @youssefsanje8743
    @youssefsanje8743 Месяц назад

    Chama cha wachaga lisu hawezi kushinda utaishia kuunga juhud

  • @bakarikimea4711
    @bakarikimea4711 Месяц назад

    Mbowe hatak kuachia hichocheo anafanya kama maliyake huyo nimakamuwake kamakweli anamuamini kwann asingeacha mwenzake agombee😅😅😅

  • @underratedspirit
    @underratedspirit Месяц назад +18

    Wangapi wanaamini kuna chama kipya kinakuja?

  • @rehemakimungu6494
    @rehemakimungu6494 Месяц назад

    Mbowe kwani hutaki kubanduka hapo?

  • @JumaImamu-n3s
    @JumaImamu-n3s Месяц назад

    Wandishi mchwara maswar ya kindez

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 Месяц назад

    Maswal yakinafk

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 Месяц назад

    Usajili wa chama kipya lini ..muda unakimbia

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu Месяц назад

    Mshahara wa mbuge uliupataje Lisu ,haki unayo tatizo lako maneno yako hayana Hekima nhilo ndilo tatizo lilijitokeza ,chama na wanachama wamekujali wakati hujitambui umepata ubunge kupitia Chadema Mbowe na wanachama walikupiganiya na umahututi,huoneshi fadhali yeyote katika hilo,wewe bado unaona hujatendewa lolote na chadema nini maana yake kwa hali hiyo sasa unataka uipate haki yako kupitia umwenyekiti ,maana hakuna atakaye kupinga,Lisu kumbuka fadhila kama kugombea hujakataliwa kitakacho kuangusha ni matamshi yako yasiyo na Hekima,unapoteza kumbukumbu ya maneno usemayo unayasahau halafu unaleta mapya hiyo ndiyo dosari uliyonayo.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Mtu yoyote anaposema kuwa kiongozi yoyote awe wakudumu inamaana pia hawezi siasa

  • @christophersizya7326
    @christophersizya7326 Месяц назад

    Hili jamaa tangazaji jau

  • @evelina9621
    @evelina9621 Месяц назад

    Hujalipwa.heshìma.unapta.shikamo. inatosha.kupatana.jambo.jema

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 Месяц назад +5

    I think mbowe apumzike

    • @saidabdallah2649
      @saidabdallah2649 Месяц назад

      Lissu hawez kuendesha hata chama hajui ndo maana mbowe kamwambia ningewaachia ila aliona kunakuharibu leo sasa anataka kumtoa mwenzake anaona anakubalika wkt ni anajidanganya mwenyewe kujaza watu sio kukubalika ni kusikilizwa una sera gani utaifanyia nchi yko nn sasa yy kila kukicha ni antaka kuuliwa mara kutekwa mara vile ni pumba tu weka sera mezani hyo ndo siasa watu wajue utaleta mabadiliko gani jamaa huyu hana jipya ni antaka maslahi yke na tamaa ya madaraka coz hataki kushauriwa kila kitu anajua..tujaribu kufkiria sio ushabiki tu na ccm mbna wanaenda vizuri mabadiliko lazma kama hakuna maendeleo sasa hawa wengine wasokuwa na uzoefu wa uongozi na serikali mwk tu nchi nzima washauza wanajali maslahi yao hakuna mwenye machungu na ww au mm..ccm oyeeeee

    • @ahz6907
      @ahz6907 Месяц назад

      Fact!

  • @WilliumPink-up4ts
    @WilliumPink-up4ts Месяц назад

    mbn huyo mwandishi anauliza swali ambalo halina kichwa sasa yy Kwa akiri yake anahisi uchaguzi ni nn

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Месяц назад

    Mwenye macho haambiwi tazama piya akili za kuambiwa changanya na zako