Ni ukwel usio pingika sasa Rwanda ipo vizuri.. Mwanaharakat Rais P kagame kaweka usawa na kuzimisha ukabila sasa tunajiita wanyarwanda.. blessed Kagame Jah protect your.. Amani na upendo vidumu milele Mungu ibarki Afrika ❤️💛💚
Nampenda Sana Rais Paul Kagame,Kwa kuleta Amani Rwanda hakika, Sasa hivi watu wanaishi pamoja,Kuna mashule mazuri,Nchi safi..Amani hainunuliwi jamani hongera,hongera sana Kagame.Mungu aendelee kukupigania
@Kungfu Panda but he saved his country from being ruled by white pple ,,,can u try to compare Rwanda wth other African countries there is a big different
The people of Rwanda truly knows what they need. Iñ Africa you cannot make a mistake of replacing such a president with another just for democratic change. This is a rare asset in Africa and Rwandase should give him more years in Office.
As Burundian, I salute what President Kagame has done, how can Africans unite, if we cant even treat our neighbors fairly, still have tribalism and clan revelry. The rule of law in Rwanda is credible and impressive, I have never felt safer in any other African country before.
Hongera sana kijana kwa kipaji cha pekee ulichonacho. Pia tunashukuru kwa stori za mafundisho kwa rika zote, sifa kwake kagame. Sasa kama anafanya vizuri kwanini aondoke madarakani, maana wakimpa mwingine ataharibu na mtajuta milele
Namushkuru sana huu mtangazaji, yaan umejitahid kusoma magazeti, vitabu na ku watch documentaries kuhusu history ya Rwanda, hongera sana kaka. Ila kuna tu tofauti tudogo tu. So tembelea Rwanda sasa uoni machini mwako kinachoendelea on the ground. Ukija uni check tuzungmuze na tupeane mambo bhana. Ahsante
Hii kali. Asanteni sana Global kwa makala aina hii yanayoendelea kutufunza sisi wanafunzi wa kizazi cha leo kuhusu historia mbalimbali ya Uongozi,viongozi, mataifa, sera na kadhalika. Najifunza mengi kwa sababu yenu.
Hongera sana kaka. Mafunzo mazuri. Tusipo jifunza historia yetu tutabaki kuwa wajinga na kurudia makosa ya waliotutangulia. Naomba utuletee simulizi ya Pik Botha na Fredereick De Klerk wa Afrika Kusini , John Garang wa Sudan Kusini , Jomo Kenyatta wa Kenya , King Mswati wa Swazi Land.
Wa africa wengi niwajinga kwani wanahesabu miaka viongizi wanaongozi nchi kuriko kuona vitendo vizuli vyao. Gdafi aliuawa nawazungu kurokana nakutoshilikiana kwa wa Africa eti ana mariza myaka mingi sana sasahivi tunajuta
Masha Allah, ndugu Mpagaze ni professional kabisaa; Ananias sauti yako huniosha moyo. Ahsanteni kwa kutupeperushia ukweli halisi kuhusu historia ya Rwanda pasipo na upendeleo. Hakika Mheshimiwa Paul Kagama ni Mzalendo pia Shuja kwa Africa na ulimwengu kwa ujumla. Ndugu Ananias au Mpagaze tafadhali wasilianeni nami kwenye: mzalendo3@gmail.com au whatsApp: +1 587-437-4419
Hapo bro umekosea sana,kagame ndiye aliyeiingiza Rwanda machinjoni kwa kumuuwa Raisi AVYARIMANA mhutu na ndipo Wahutu wakakasirika.Wangekuwia baba ungefanyaje kwa wale waliokuuwia?
Lofisi Karunga Wewe fara kabisa. Ati Havyarimana ni baba wa Wahutu ? Uko mjinga saana. Raisi ye yote yule sio baba wa kabila fulani, bali Raisi ni baba wa INCHI.
Karungu endelea kuongea usico kijua njo Rwanda kwetu hakuna ubaguzi kama wewe unavyo waza nani kakudanganya eti kagame eti arisababisha kifo cya habyarimana?au na wewe ulishiriki kwenye mauwaji ya kimbali yariyo fanyiwa watusi eti
Asante baba,chapa tuu wala usijali malipo,tiyari umekua mwalimu,hata kama hu lipwi lakini atakuja mtu mwenye kuelewa na ata kupa zawadi ndio Africa yetu ha tuesabu mema, ni mabaya tuuu mimi badoo ni kijana mdogo lakini kuna yale ambayo nifaidika kutoka kwako na kushukuru sana,basi nakama hupati comnts usijala maana ni wachache wanao jali hathisi za akili....pole kwetu wa Afrika yaani weusi....
A good Leader is a leader who create another leader who can create a leader but if he don't then he is not a good leader. Think about if he perished right now whom do you think can leader the country? Think big, Think twice! Good day
Kangema ni rais mzuri sana wacheni awerais ama mwataka Wale wa corruption ndio mtasema afadhali kagame binadamu tuna mashinda mara hii mara ile ambayo tunaiita Mary go round
kama huyu mtangazaji unamkubali na unakubali kazi yake gonga like
Namkubal tena sna
Namkubali mshikaji kinoma
Yasini Masimba kabisa
Raisi kagame nimwanaume mwanaueme shupavu kaipigania nchi yakeh hatakae mpinga hanahakili mungu hambariki
@@hassanwanje7373 n..
Kagame ni baba wa Taifa hilo. Mungu ambariki sana.
Edgad Asante kwa kazi nzuli , Kigali Rwanda tunawapenda
Ni ukwel usio pingika sasa Rwanda ipo vizuri.. Mwanaharakat Rais P kagame kaweka usawa na kuzimisha ukabila sasa tunajiita wanyarwanda.. blessed Kagame Jah protect your.. Amani na upendo vidumu milele Mungu ibarki Afrika ❤️💛💚
haaa kweri Kaka unatisha
Nampenda Sana Rais Paul Kagame,Kwa kuleta Amani Rwanda hakika, Sasa hivi watu wanaishi pamoja,Kuna mashule mazuri,Nchi safi..Amani hainunuliwi jamani hongera,hongera sana Kagame.Mungu aendelee kukupigania
Vailet Mduda ...amina
Respect Mr President Kagame,tunakupenda sane
@Kungfu Panda but he saved his country from being ruled by white pple ,,,can u try to compare Rwanda wth other African countries there is a big different
_kama unamkubali jamaa tupia like_
p1 kaka kwakusimria historia ya Rwanda mungu akubariki
Mimi nimefatilia Historia vile unaelezea Bro,Hadi mke wangu ananitetesha juu Hukataa kula chakula cha usiku kwa ajili Ya Hadithi Zako Big up bro🤣🤣🤗
The people of Rwanda truly knows what they need. Iñ Africa you cannot make a mistake of replacing such a president with another just for democratic change. This is a rare asset in Africa and Rwandase should give him more years in Office.
Kama we mnyarwanda unamuamin kagame gonga like
Safi sana kagame
Sio kweri
Mtangazaji uko vizuri Sana wanangu eeeeeee! Tugonge like hapa
Iyo nimeierewa BBB gapu sana
Iyo nimeierewa BBB gapu sana
Kaka Safi sana
Mtangazaji Mami napenda niwe Kama wewe
@@justinenvimbe8617 umetisha
As Burundian, I salute what President Kagame has done, how can Africans unite, if we cant even treat our neighbors fairly, still have tribalism and clan revelry. The rule of law in Rwanda is credible and impressive, I have never felt safer in any other African country before.
Asante kaka kwa story .. hongera kaka zidisha bidiii 100%
Asante ndugu,kwa kuongelea story yetuu.ubarikiwe
Hongera sana kijana kwa kipaji cha pekee ulichonacho. Pia tunashukuru kwa stori za mafundisho kwa rika zote, sifa kwake kagame. Sasa kama anafanya vizuri kwanini aondoke madarakani, maana wakimpa mwingine ataharibu na mtajuta milele
Asante san ndugu kwa histolia zako nzuri mwenyez MUNGU akuzidishie ubunifu mkubwa zaidi
Nimekukubali kwa historia
Wangapi tunapomsikiliza Ananias Ediga unasisimkwa kwa utangazaji wake! Gonga like
Liv
Please
000
Liv
To
If
Namushkuru sana huu mtangazaji, yaan umejitahid kusoma magazeti, vitabu na ku watch documentaries kuhusu history ya Rwanda, hongera sana kaka. Ila kuna tu tofauti tudogo tu. So tembelea Rwanda sasa uoni machini mwako kinachoendelea on the ground. Ukija uni check tuzungmuze na tupeane mambo bhana. Ahsante
Hii kali. Asanteni sana Global kwa makala aina hii yanayoendelea kutufunza sisi wanafunzi wa kizazi cha leo kuhusu historia mbalimbali ya Uongozi,viongozi, mataifa, sera na kadhalika. Najifunza mengi kwa sababu yenu.
Asante sana brother paul kagame Angali nafanye kazi mingi tena nzuri kbs
Wanangu wa Tabara boyz like mingi.
Edgar wewe nimtaraam kabisa unaereza historia kuzidi mwenyeji. Big up ! Imeni motivate kukufuata kira mara ujitowa Habari. 6/5 Big up!
Itawasaidia Wa Afrika kujitambua kuto kutumiwa na wazungu.
Kazi sana Kakangu. 🇰🇪 tunasikiliza simulizi zako.
mayanga bukelebe that is the new constitution befor rwanda and african country between nyerere and poul kagame in 1992 up 1964
Nakukubali sana bro na simulizi zako.
simulizi zako nzuri sana Naomba utupe historia ya dola ya Amerka ( asante)
Nami naisubir sana sana
Kweli kabisa
Ananias Edgar,,,,,, unafanya kazi nzuri bro
Excellent narrator keep up
jamaani kilamtu anakipaji chakee kama nawewe unakipaji gonga like nioner
I
Napenda Sana stor zako zinanikumbusha mbali japo sijaviona ninapochoka nasikiliza nakunifariji
Hongera sana kaka. Mafunzo mazuri. Tusipo jifunza historia yetu tutabaki kuwa wajinga na kurudia makosa ya waliotutangulia. Naomba utuletee simulizi ya Pik Botha na Fredereick De Klerk wa Afrika Kusini , John Garang wa Sudan Kusini , Jomo Kenyatta wa Kenya , King Mswati wa Swazi Land.
Zanzibar yetu
Kagame nibabu kubwa
Félicitations à la personne qui nous rappelle l'histoire de notre pays, bravo 👊piga chance
Nice my president 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
'
Si kazi rahisi nakuomba bro sukuma gurudumu ili tusonge mbele kuhusu historian yet ya Africa mungu atakusaidia kwa hili aamin %
Kagame ni Rais wa kweli kabisa HONGERA NA MUNGU AKUBARIKI
Uko sawa kaka! Huna longolongo, una-hit points tu.
I
@@aminajamali9930 8
Hongera kwa sauti nzuri
Mungu akubariki sana Rais wa Rwanda Poul Kagame,Imana uguwe umjisha c'ane
chosi LA kimari.
Belly James six
Waooo
Amena
Hi
Asante Kwa story nzuri.. Nilizaliwa huko🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Aaa, huko ndo kwetu
Rwanda to the world!
Ivugangingo Tv rayivavi
Raivani
Asnte sana kagame ni shujaa kbs
Hongera sana uko vizuri sana Nitafutie historia full ya Rwanda
Bakari bakari gambagamba Rwanda
Mr Edgar thx alot bro tunakufatiria na tutazidi maana ulivyo fafanua hii story ya Rwanda Na operation ya Entebe uko Poa kabisa Big up Bro
documentary ya historian nzuri, hongera baba, mungu akulinde kagame, mungu alinde inchii yetu
Wa africa wengi niwajinga kwani wanahesabu miaka viongizi wanaongozi nchi kuriko kuona vitendo vizuli vyao. Gdafi aliuawa nawazungu kurokana nakutoshilikiana kwa wa Africa eti ana mariza myaka mingi sana sasahivi tunajuta
G
@@irasubizajoseph7020 k
Asante kwa history ya Rwanda an Burundi
Napenda vile unasimulia hizi historia bana! Endelea vivyo hivyo. Hongera
Thanks your works are really great
Msimuliaji bora kabisa, songa mbele zaidi. Kagame yupo vizuri sana! Mungu ibariki Africa,
Ameni!
Yani uyuko smart sana kagame ameerimika pia ninjanja mwenye amenyoosha inchi imekuwa imezoofika arakini kwasasa ivi iko on Top
Masha Allah, ndugu Mpagaze ni professional kabisaa; Ananias sauti yako huniosha moyo. Ahsanteni kwa kutupeperushia ukweli halisi kuhusu historia ya Rwanda pasipo na upendeleo.
Hakika Mheshimiwa Paul Kagama ni Mzalendo pia Shuja kwa Africa na ulimwengu kwa ujumla. Ndugu Ananias au Mpagaze tafadhali wasilianeni nami kwenye: mzalendo3@gmail.com au whatsApp: +1 587-437-4419
Kitabu nataka
ahsante sana kwa hiyi story ya kwetu..Gd bless u
Dahh! ! Bro nakukubal sana kwa hiz story zako hongera sana brother
Hongera sana kaka. Kwa historia hii. Naomba utuandalie ya Jonas Savimbi
Tunamupenda sana General Kagame
Storry nzri kbs mbn kwet hakun ukabila jmn
Hapo kwenye 'Good for Nothing' umenifanya nifikirie zaidi. Ila ahsante kwa historia Denis pamoja na Ananius.
Stori nzuri na unani inspire sana nakutakia maisha bora na marefu
make a documentation in Portuguese
Hapo bro umekosea sana,kagame ndiye aliyeiingiza Rwanda machinjoni kwa kumuuwa Raisi AVYARIMANA mhutu na ndipo Wahutu wakakasirika.Wangekuwia baba ungefanyaje kwa wale waliokuuwia?
Lofisi Karunga
Wewe fara kabisa.
Ati Havyarimana ni baba wa Wahutu ? Uko mjinga saana. Raisi ye yote yule sio baba wa kabila fulani, bali Raisi ni baba wa INCHI.
Karungu endelea kuongea usico kijua njo Rwanda kwetu hakuna ubaguzi kama wewe unavyo waza nani kakudanganya eti kagame eti arisababisha kifo cya habyarimana?au na wewe ulishiriki kwenye mauwaji ya kimbali yariyo fanyiwa watusi eti
unaweza sana naomba story ya kina juu ya vita ya pili ya dunia
Do one on chuck. The billionaire who wasn't
Chuck feeney
Story nzuri asante kaka kutupa kumbukumbu
Upo vizuriii xanaa kaakaaa, endelea kutoa hixtoria naxi tuzidii kuptaa yaliyomooo hongeraa xanaa kaakaaa.
Nakupenda sana kijana
sijawai kuacha kusikiliza story zako😉😉
Ukopoa sanaaaa
Mpanazi,umejitaidi kujaribu kueleza histori ya Kagame,lakini acha unafiki wa kuficha ukweli,eleza watu wajue nani alidungua ndege ya Rais Havyarimana.
itakuwa makala nayo atufanyie
Kagame ndo alitungua tena kabla haijashuka uwanja wa dsm hapo
Kagame ndo alitungua tena kabla haijashuka uwanja wa dsm hapo
Ndugu zangu mnacyo kisema amkijui nendeni Rwanda kunawarinzi wa raisi habyarimaa watakuelezea nani Alie lipua ndenge ya raisi habyarimana utajua vizuli Alie lipua ndenge ya habyarimana,nawaomba msiwe mnasikia maneno tuu
Asante baba,chapa tuu wala usijali malipo,tiyari umekua mwalimu,hata kama hu lipwi lakini atakuja mtu mwenye kuelewa na ata kupa zawadi ndio Africa yetu ha tuesabu mema, ni mabaya tuuu mimi badoo ni kijana mdogo lakini kuna yale ambayo nifaidika kutoka kwako na kushukuru sana,basi nakama hupati comnts usijala maana ni wachache wanao jali hathisi za akili....pole kwetu wa Afrika yaani weusi....
Ahsante kwa kuitumia sauti yako nzuri kutujuza mengi na kuelimisha jamii. Ubarikiwe sana.
Napenda sana historia za Ananias Edger
Ukabila hauna nafasi katika nchi yetu maana ni chanzo cha mgawanyiko asante mungu asante nyerere
Nzuri sana hiyo history
Piga kazi Kagame 💪🏾
mtangazi uko vizur saana historia inaenda powa zaid
Kaka upo powa mpaka sio powa wengi tunapata mengi kupitia ww
Bro hii storia andika kitabu kwa kiswahili alfu nikutaftie support ya ku multiplie .
Uko vzr napenda story zako, MUNGU akujalie kheri
Kagame ataendelea kubaki juu viva rwanda long life kagame;ila ukitaka kujua asiili ya watutsi ingia Google ndio utapata ukweli
Joe mashariah
Wewe una kichaa
Hongera sana mkuu hakika saut ya dhahabu Mungu alikupa kipawa kitumie vyema baba
Pamoja xana, nimekukubali yan
Hongera Sana bro kwa nice historia
Edgar. ..msimulizi hodari. .sauti nzuri yenye mvuto
hivi huyo mtangaz anaitw nan
Duuu kagamee
mwiti munene
mwiti munene
Haujui historia ya Rwanda kaka
historia nzuri endelea kunipa kutuletea
Daaha!! Ukabila, Ahsante sana mwl.Nyerere kwa kutuepusha na ukabira, Rest in pease.
Nyarwanda wote pendaneni acheni ushenzi wenu wa kubaguana kuweni wamoja
Kagame safi
Well done kagame
Nani kakwambia nyerere aliondowa ukabilaa!!
Hiyo ni rest in peace Au rest in please ......dooo kwel tamaduni zisizotuhusu nouma sana
Nakubali kaka
Og baba ako chachaa boy from chuga apa... aseee we ni kwere laana unapiga kazi. Jah akusaidie sana.
Msimulizi unajua kunikosha aisee unajua kuchambua mambo na usimulizi wako unaeleweka thanx hongera
Hapo sawa maana nirikua sijasikiriza kabisa Nice stor
Do one on Tom Mboya please
Hiko vzr lkn ujaingia ndani.......Habib Anga Ameandika Deep Chozi la Kimbary
Andika yako kama ulijua iko deep mbona hujaandika?
Acha ndugu yangu jamaa simba mzuri mno sio kazi nyepesi
Kazi nzuri Sana Kaka 👏👏
Very nice brother
Make one for uganda since M7
Nakupenda kishenzi yaani simulizi zako we acha tu
A good Leader is a leader who create another leader who can create a leader but if he don't then he is not a good leader. Think about if he perished right now whom do you think can leader the country? Think big, Think twice! Good day
So do you think mr kagame has no replacement in future? Meehn wait and see
Moses Samwel
You don't know what you're talking about.
unafaa kua msemaji wa sarikali wewe uko vizuri
Mmmmh serikali gan
Niko sawa
Nakubari kazi zako bro tunaomba history ya Burundi plz
Kangema ni rais mzuri sana wacheni awerais ama mwataka Wale wa corruption ndio mtasema afadhali kagame binadamu tuna mashinda mara hii mara ile ambayo tunaiita Mary go round
Asante Mwl, wangu Mpagaze
ROBERT MASATU niteacher?
Hasante kwa faseha ya kiswahili
Kaka umetishaaa napenda sana hisitoria za Africa
Viva kagame
Let us learn from the example of President Kagame. A hero of RWANDA. An example of how good leaders follow.
Nice job
Uko vizuri braza asiekubali uwezo wako atakua na chuki zake binafsi