HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 735

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 5 лет назад +211

    Anastahili views milioni mm Mkwawa nmemuelewa leo tangu nimalize form 4 😂😂😂😂

  • @annahjoxhua1953
    @annahjoxhua1953 4 года назад +28

    Wahehe naomba like zenu me mbena

  • @MustafaMohamed-v9c
    @MustafaMohamed-v9c Месяц назад +2

    Jomba mkali wa historia zenye kukumbusha,kuelimisha na kukupa uelewa wenye kunufaisha hakika nihakiyake kusikiliza nakuumpa mauwa yke mungu ampe afya njema nabaraka tele .

  • @shabanikamsawa424
    @shabanikamsawa424 5 лет назад +38

    Jamaa bora awe mwalimu wa history anae kubaliana na mm .gonga like hapa tujuane

    • @AliMasudi-mc2sj
      @AliMasudi-mc2sj 9 месяцев назад

      Maamyuzi.unajizima.data.hata Mimi nimeipenda.hiyo

  • @andrewshustle1331
    @andrewshustle1331 Год назад +3

    2024 Niko hapa tena kurudia kuiskiliza hii historia adhimu ya CHIEF MKWAWA.🎖️👑

  • @dralhajijbmatatala4580
    @dralhajijbmatatala4580 3 года назад +13

    ""Najivunia Kuwa MHEHE,""

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 3 года назад +4

    Afrika mashariki muhehe ndio kabila lakwaza kuvaa nguo. 🤣😄😃😀😆👍👍👍👏👏👏 Asantee Sana kutujuza kaka pamoja sana🤝

  • @victorsimfukwe5309
    @victorsimfukwe5309 4 года назад +3

    Tunashukuru kwa taarifa zenu nzuli hakika tunaelimika na kufahamu histor mbali mbali

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 5 лет назад +65

    Wahehe hoyee!!!!!!! Fantastic

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 года назад +1

    Naskia raha sana, historia kutolewa kwa kiswahili....hongera kutoka Kenya...

  • @djatm1319
    @djatm1319 5 лет назад +139

    Napenda sana vile huyu jamaa husoma historia..... Nikiwa hapa Nairobi/Kenya

    • @musasaid964
      @musasaid964 4 года назад +2

      Mtafute mtiga abdalla utaewa kuliko huyu

  • @owinochris9886
    @owinochris9886 3 года назад +1

    Mpagaze & edga mubarikiwe sana kwaku elemisha ulimwengu nawapenda sana,

  • @kindoleenock6708
    @kindoleenock6708 4 года назад +12

    Kama ww ni mhehe gongaa like

  • @joshualwelu7302
    @joshualwelu7302 4 года назад +3

    Wazungu kazi walionyeshwa. Big up kwa wazawa wetu waliokuwa na msimamo.

  • @solanzakalolo2782
    @solanzakalolo2782 2 года назад +1

    Hongela mkwawa my friend

  • @abdallahhamad4499
    @abdallahhamad4499 5 лет назад +21

    Kama ungependa hii story waifanyie movie
    Kama mimi ninavyotamani gonga like 💗

  • @FamSalome
    @FamSalome 5 лет назад +28

    Global tv kuna historia kadhaa natamani mgeziweka tukazisikia, historia ya Mwalimu Nyerere, Kenyatta, Joseph Kony, mauji ya Kimbari Rwanda. Waiyaki wa Hinga kutoka Kenya na zingine ambazo nitazitaja tukisonga. itakuwa bora kama Ananias Edigar atakuwa msimulizi kama kawaida. long live global tv long live Ananias Edigar.

    • @slyvesterngusa2972
      @slyvesterngusa2972 4 года назад

      Sanaaa

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 года назад

      Mauaji ya kimbari ipo mbona story ya nyerere nayo ipo na ya kenyatta ipo zitafute utaziona

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 года назад +3

    Ananias unavyosimulia utadhani alikuwepo 😂😂😂hongera sana aisee. Apo kwa wapelelezi kula nyama ya mbwa.

  • @marymichelle6280
    @marymichelle6280 5 лет назад +40

    Hongera sana mtoa historia, napenda sana vile unasoma historia. Unafundisha na kueleweka. Safi

    • @unamimlay7619
      @unamimlay7619 4 года назад

      Nimependa story yako iko poa sana inafundisha

  • @ngenzisaid4958
    @ngenzisaid4958 5 лет назад +14

    nyama ya mbwa dah ngoja nitafute hiyo nyama na dawa yake ninuse watu this is iringa brother waheh tupige like

    • @adcutey9112
      @adcutey9112 5 лет назад

      Nakuelewa wa iringa unaishi wap

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂 nyama kangi

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 4 года назад +2

    Story nzuri nimependa.

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 5 лет назад +4

    we Jamaa Nakupenda Sana Wewe, hd sauti yako. tuletee watemi na machifu wa singida

  • @josej9888
    @josej9888 5 лет назад +3

    Shukrani sana Anania Ediga.

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 5 лет назад +21

    Hapo inaonyesha Uhehe ulitokana na mchanganyiko wa uzao wa Mswimi toka Uaveshi na wazawa waliowakuta, hivyo hizo koo zaidi 100 za mchanganyiko huo ndiyo Uhehe wenyewe, ni Genius, wahehe wote, na Mkwawa ni Mhehe, waache wivu,

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 5 лет назад +4

    Brother mi ni muhehe na ninaijua vizuri historia yetu ila nmeirudia kuiskiliza Kwa sababu ya usimuliaji wako mzuri, big up! MUNGU AKUINUE katika kazi zako

  • @jimmyandrew3883
    @jimmyandrew3883 5 лет назад +27

    im proud to be hehe na mama yangu ni semduda uzao uleeee

  • @maijayahaya3770
    @maijayahaya3770 5 лет назад +40

    kusoma kwangu koote adi form 4 leo ndio nimeelewa hii story, hongera bro 👏👏

    • @daudijuma9093
      @daudijuma9093 5 лет назад

      Hhhh mwaija

    • @maijayahaya3770
      @maijayahaya3770 5 лет назад

      daudi Juma 😂😂 beee!!

    • @evanamyinga1512
      @evanamyinga1512 4 года назад

      Polee

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 года назад

      Shule akuna mwalimu anaweza kukufundisha hv zaidi ya kuambiwa tafuta kitabu utapata story yote ila hapa unaelewa zaidi ya shulen

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Месяц назад

      Hata mim ni WA Iringa ila sikuwah kujua story ya mkwawa kiundan nimukuja kujua nishamaliza 4m 4hakuna mwalimu anajua hii story hata

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 5 лет назад +3

    Yesu anaweza yote. Uko vizuri kaka, huu ndo muda wetu Tanzania

  • @saidmosh2695
    @saidmosh2695 5 лет назад +1

    Hongera sana mjomba unatupa chakula cha ubongo cc tucyeyajua haya

  • @BaboTzani
    @BaboTzani Месяц назад

    Habari zuri Sana.....vizuri ukitoa tarifa za talfa letu....la .. tanganyika.....kutokana tarifa nyingi za talfa letu hazipatikani....watu wamepoteza muelekeo

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 4 года назад +1

    Kumbeeee brooh upo vizuriiiiiiiiii cana aseehhhh

  • @bonifacechengula6117
    @bonifacechengula6117 2 года назад +5

    Brilliant narrator, you are so eloquent that I love listening to your story.

  • @zawadigwimile2637
    @zawadigwimile2637 5 лет назад +12

    Daaa leo nimeelewa asili ya waburishi wa rujewa asante mkuu

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 5 лет назад +3

      Na hata asili hasa ya Uhehe ni nini? Ni mchanganyiko wa uzao wa Mhaveshi na wazawa waliowakuta hapo, uzao wa koo hizo ndiyo Uhehe wenyewe, hapo mwanzo ilikuwa wabena tu, ambao nao inasemekana walitokea Ghana

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 лет назад +1

      @@lilianluhasi311 dooh, wabena nao kumbe iletwe ya kwao hapa

    • @lilianluhasi7685
      @lilianluhasi7685 5 лет назад

      @@mnzavachris5423 wabena walitokea Ghana mababu wanasema

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 лет назад

      Lilian Luhasi asee!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 лет назад

      Lilian Luhasi asee.,yaonesha iringa ni nyumbani

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 4 года назад +1

    Dah naomba mzee baba utoe cdii yaniitakua poasana

  • @mukikibati3519
    @mukikibati3519 4 года назад

    Simulizi kali sana muhimu kusikiliza asante

  • @saimonbenard1569
    @saimonbenard1569 4 года назад +1

    Asante kwa history ya chief mkwawa

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 5 лет назад +329

    anayemuelewa mkwawa agonge like hapa

  • @denismugendi1034
    @denismugendi1034 5 лет назад +4

    Kaka uko sawa tena makini sana , historia ya afrrika inaniingia zaidi ya kipindi kile nikiwa shule, nashukuru.

  • @donaldmwita4227
    @donaldmwita4227 4 года назад +1

    Help kwa historian nzuri

  • @mpogoletv.5966
    @mpogoletv.5966 5 лет назад +3

    NAMKUBALI SANA MKWAWA NA UWA SICHOKI KUTEMBELEA FUVU NA MAKAZI YAKE KULE KARENGA

  • @charo.mukarebugo5778
    @charo.mukarebugo5778 2 года назад +1

    Napenda historia zenu

  • @tinawilliam4961
    @tinawilliam4961 5 лет назад +5

    Asante kaka nilikua sielewi chochote kuhusu mkwawa👏👏

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 4 года назад

      Umeelewa kwa kweli shukrani zimefika

  • @AnnaBoniphace-dw7py
    @AnnaBoniphace-dw7py Год назад

    Mkwawa ni moto mkali jmn🔥🔥🤝🤝🤝

  • @adcutey9112
    @adcutey9112 5 лет назад +5

    Nisidangany mm now had simuamin mungu najali miungu yangu ya kikabila maana God kaletwa na mzungu yaaani mm sinahamu nao mm nawapenda miungu wangu wa kihehe na Leo nimeenda makumbusho kwao

  • @kenyfrancis2946
    @kenyfrancis2946 4 года назад

    Iko vizuri kaka.....ni Mwambambe...

  • @innocentmmbando5484
    @innocentmmbando5484 5 лет назад +51

    Kaka hongera kwa simuliz maridhawa..
    Naomba siku moja utupe simulizi ya mangi wa wachaga!!

  • @saddybrezzy9777
    @saddybrezzy9777 Год назад

    Ananias Edgar ni best historical ever🙌

  • @fineskilatu5432
    @fineskilatu5432 5 лет назад +1

    Napenda saut yako mtangazaj yaan mtu unajikuta unataman uendelee kusikiliza💪👏👏👏👏

  • @godfreymhumba6163
    @godfreymhumba6163 4 года назад +1

    Daah bro unajua sana kusimulia

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 лет назад +6

    Hawa ndio wangetakiwa kuongoza nchi kwa kuihangaikia sana nchi hii

  • @benjaminphilip7408
    @benjaminphilip7408 5 лет назад +21

    it hurts ukisikiliza baadhi ya vitu , ni kweli huyo mjusi (dinosaur) inasemekana walichukua skeleton yake wakapeleka kwenye museum huko German, nowadays they are making a lot of money kupitia hcho walichotuibia, bado utackia mtanzania anasema wazungu ni watu wazuri.

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 5 лет назад

      Wewe uki google utapata historia yote ya huyo mjusi. Dinosaur. Sio mpka usikilize ndio huujue ukweli. Muwe wepesi wa kusoma yote wameyandika kwenye vitabu. Na wamerahisisha kwenye Gooogle.kila kitu

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 лет назад

      @@monicahovda5890 hmmm

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 лет назад

      @@monicahovda5890 tena gugo huko ndo wamechuja mpaaka, vema maktaba zetu wenyewe ndo zipatikane na hizi hadithi/vitabu

  • @belzylucas7275
    @belzylucas7275 2 года назад

    Musimuliaji nimechoka sana🌞🌞😁😁💙

  • @سالمهالرقادي
    @سالمهالرقادي 3 года назад

    Nice one mkwawa

  • @estheresther5789
    @estheresther5789 2 года назад +1

    Hiyo ni kali mwanaume

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 лет назад +7

    Kama unamkubali huyu msimuliaji like hapa,,,

  • @nyavaelly5450
    @nyavaelly5450 5 лет назад +1

    Historia nzur sana msoma historia upo vzr

  • @xaverysunday1886
    @xaverysunday1886 5 лет назад +21

    TOKA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN HAKIKA MKWAWA WETU ALIKUWA NI CHUMA KAMA WW NI WA KWETU GONGA LIKE TWENDE SAUWA

  • @duniacafe
    @duniacafe 4 года назад +6

    Kamwene! Ndimno fuela. Kaka, nakushukuru sana---umenielimisha ziada ya niliyofundishwa shule ya msingi Forodhani. Naomba uendelee na utafiti wako na kuandika kitabu cha historia ya watemi wote. Itapendeza pia ukifanya video ya Mangi Meli, Isiki, Rumanyika wa Karagwe, Mirambo, nk. Na methali zako---eee---hizo zilinoga kweli

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 лет назад +2

    Asante san histolia nzuri san

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 5 лет назад +1

    Noma sanaaa big up kwako kaka

  • @JohnKitime2015
    @JohnKitime2015 2 года назад

    Chumvi nyingi mno...wasiojua watafurahia sana

  • @starwayafricatv5017
    @starwayafricatv5017 5 лет назад

    Asante sana glob tv...maana mkotupeleka sipabaya kbs..hendeleni kutujuza kbs..asanteni sana.

  • @ismailmangare547
    @ismailmangare547 5 лет назад +3

    Safi sana nakupata mkuu uko vizur

  • @abdillahnyembeya1433
    @abdillahnyembeya1433 3 года назад

    Alikuwa jasiri sana uyu jamaa mungu amuhifaz mahala pema

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 лет назад +16

    Resistance Against The Imposition Of Colonial Rule
    Small Scale Resistance# Mtwa Mkwawa

  • @masaulihassan2463
    @masaulihassan2463 5 лет назад +1

    najivunia kupata historia kwa simulizi baada ya ile ya shule ya kusoma.najivunia glabal tv

  • @amanimichael2047
    @amanimichael2047 4 года назад +1

    Hata wahehe wengine hatujui historia yake vizuri unajua sana simulizi kwa kweli pongezi kwako

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад

    simulizi nzuri sana inazidikuwa tamu kwa ajili ya sauti ya Edgar mpangaze kazi safi

  • @isackhassan6551
    @isackhassan6551 5 лет назад +7

    Elimu ya wazungu kwa wa-Afrika is a system of misseducation us as Afrikan, wanajua historia yetu kuliko tunavoijua

  • @sheldonmbakaya
    @sheldonmbakaya 5 лет назад +4

    Nikiwa shuleni historia haikunishika, sasa hivi nashika historia na kuielewa vyema kwa lugha mufti ya kiswahili na Global TV
    Nakushukuru Ananias Mpagaze

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 4 года назад +3

    Mizimu yote ya africa ikagonga cheers

  • @mrsmile6649
    @mrsmile6649 2 года назад +2

    Big story 💯🏃💥

  • @rizikisamwel9904
    @rizikisamwel9904 5 лет назад +5

    Asante sana

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 лет назад +11

    Asante kutupatia kitu kizuri kama hiki

  • @moonlight-tz5985
    @moonlight-tz5985 5 лет назад +3

    Nimeipenda sana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 года назад

    Aisee ww ni Mwalimu wangu wa history Unasimulia hadi raha Edgar

  • @jacklinejonas5096
    @jacklinejonas5096 4 года назад +1

    Asanteee kaka...... 🙏

  • @johnsahani1325
    @johnsahani1325 5 лет назад +11

    Somo zuri ubarikiwe

    • @siliviamyinga1400
      @siliviamyinga1400 4 года назад

      Siliviamyinga
      Nashukuru sana kumbebabu mkwawa ametoka alichanganyika kabila mbili, nashukuru kujua historia

  • @givenngoko4528
    @givenngoko4528 5 лет назад +4

    Nzuri sanaa🙏🙏🙏🙏👏👏👏...#Elimu hii

  • @muinjiristimgimbe6678
    @muinjiristimgimbe6678 5 лет назад +8

    Napenda sana kamwene vayangu

  • @jamesmwangi5176
    @jamesmwangi5176 6 месяцев назад +1

    good work

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 5 лет назад +16

    Sikuzi cjuui kwann hawazaliwi vijana jasir Kama wa zamani aise,
    Mkwawa namuelewa saana. Huyu jama ni hatariii.

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 лет назад

      Sio kwamba hawazaliwi, wapo ila wanaogopa kufa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 лет назад

      @@mohamedothman9769 ndo hawapo tena au wana mapungufu kama yote

  • @ahmadkafashe7427
    @ahmadkafashe7427 5 лет назад +31

    Bro unaipenda kwel kaz yako.. Mungu akuongoze kwa kila jambo la hery. Unafanunua kwel na kama ungekuw mwalim wng bas ningekuw wa kufaulu maan nakuelewa vzr

  • @stevenkapugi4209
    @stevenkapugi4209 3 года назад +1

    Msimulizi noma sana

  • @christophersoty101
    @christophersoty101 5 лет назад +16

    wakala visivyoliwa kabla ya Ndoa binti akapata ujauzito kijana akala kona kuogopa Mikono ya cheaf
    akakutana na mbogo msituni akalestiishwa in peace Aaaaamin 😂😂😂😂😂
    huyu bro anajua mpaka homa aisee Duh!!!

    • @upstar4951
      @upstar4951 5 лет назад

      Christopher Soty saf

    • @jeyadam833
      @jeyadam833 4 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂 kile kipande katishaaaa😂😂😂😂😂

  • @queenhusna5322
    @queenhusna5322 4 года назад

    Napenda sana unavyosimulia

  • @kaizamgawa5573
    @kaizamgawa5573 5 лет назад

    Ananias edigar ni noma Sana nmejkuta nimejisahau hadi kazi saf sana kaka

  • @joshymalinyo6057
    @joshymalinyo6057 3 года назад

    Umeeleza vizuri asee

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 4 года назад

    Hongerasama msimulisjii

  • @chriskarani7179
    @chriskarani7179 4 года назад

    Maze Anianas na shukuru kazi yako Mungu akupe nguvu bro# Kenya

  • @georgenagabona203
    @georgenagabona203 5 лет назад +14

    upo vizuri nipe story ya lucky dube kwa ndani zaidi

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 4 года назад +1

    Ananias edgas umetishaaaa cnaaaaaa

  • @givaantv2417
    @givaantv2417 5 лет назад

    Nakukubali saana brother kwa usimulizi wako

  • @ditrickmotto2448
    @ditrickmotto2448 5 лет назад

    Hapa kweli history nilisoma kama ngonjera bila ata kujuaa... Shukrani mtaalamu kwa kazi zako nzurii... Andaa ktk majarida au CD ili ata wenzetu wasio na cm kubwa waweze kupata utamu huu

  • @davidntemo5028
    @davidntemo5028 4 года назад

    Uko vizuri kaka

  • @vincentoulo1262
    @vincentoulo1262 5 лет назад

    Great kaka kazi mzuri

  • @marcelmlacha8596
    @marcelmlacha8596 5 лет назад +3

    Umeisimilia vizuri
    Endelea na kazi

  • @ibrazahabu1199
    @ibrazahabu1199 5 лет назад

    Wasafi mmetishasana

  • @justinjohn3785
    @justinjohn3785 5 лет назад

    Napenda sana kazi yako

  • @asherinashoni4526
    @asherinashoni4526 5 лет назад +2

    Inapendeza Sana