HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 393

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 6 лет назад +4

    Tangu miaka mingi nasikia sauti yako. Cjawahi kukuona lakini you are one of my best commentators ever.
    Hongera sana, simulizi zako daima ni za ustadi mkubwa.

  • @geoffrey256
    @geoffrey256 6 лет назад +2

    Asante sana kwa usimulizi safi kabisa. Tafadhalini chapiseni video vingi zaidi kuhusu historia ya Afrika.

  • @janeyoj8228
    @janeyoj8228 4 года назад +5

    Mhhhhh hii kali 😢😢😢😢
    Ukisikiliza story kama hizi unamshukuru Mungu kwa amani ya Tz loooh eeeh Mungu utuepushie mbali.

  • @ididmsangi8216
    @ididmsangi8216 3 года назад +2

    Mr you have quality voice bro may god. Bless it

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 6 лет назад +12

    Duh! Yaani unavyosimulia historia hadi raha. Shukran. Mola awabariki 😘

  • @gasperkanje8930
    @gasperkanje8930 5 лет назад +1

    Ni noma,uko vizuri msimuliaji,nilikuwa naangalia pia makala ya idd amini

  • @rosekan8865
    @rosekan8865 6 лет назад +7

    Mtangazaji amenifanya kutazama video nzima. Upo vizuri kaka. Big love bro

  • @joshuaodongo6268
    @joshuaodongo6268 4 года назад +5

    Great work,God bless you

  • @Kubaaaa947
    @Kubaaaa947 4 года назад +1

    mtangazaji 🙌🙌🙌amenifanya nisiseme najua Kiswahili

  • @cheupestefano5424
    @cheupestefano5424 6 лет назад +7

    Msomaji wa habari you are the best of the best hongera very good pronunciation this is the swahili that is NO MORE

  • @AsumaniMAtanga
    @AsumaniMAtanga 6 месяцев назад +2

    Good 🎉🎉

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 6 лет назад +1

    Story ni yakahuzunisha sana aisee, watu wanaroho mbaya sana hapa chini ya jua.

  • @agnessmwasanga6263
    @agnessmwasanga6263 6 лет назад +3

    hongera dir denis mpagazi from ajuco

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 лет назад +1

    Asante san kwa kutupatia historia mzuri

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 6 лет назад +5

    habari nzuri nakala nzuri sana mpagaze

  • @samasob8233
    @samasob8233 6 лет назад +4

    Again, thank you for the memories, but research.... hakunchinjwa, alivyokatwa sikio usiku, aliwekwa mahabusu ili auwawe, lakini alikuwa proud sana, kisha akaamua kujiua kwa kujigonga kichwa kwenye ncha/kona ya sink, hivyo vitu alikatwa baada ya kukutwa amekufa tayari, mahasira ya huyo mtesaji akaamua kukata kata huo mwili, kwa sababu mteswaji alijua akikutwa hai asubuhi hayo yangemkuta!!!! well played

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 6 лет назад +1

    Hatari sana nimekupenda.bure kweli unaweza

  • @nebrowntz9154
    @nebrowntz9154 6 лет назад +251

    Daa Kaka unajua EMBU like hapa kama umemkubal mtangazajiii

  • @tonywilliams8819
    @tonywilliams8819 6 лет назад +7

    Wewe ni mtangazaji professional kweli!!
    Nimependa sana simulizi zako...............

  • @knamics
    @knamics 6 лет назад +5

    umetangaza vizuri sana

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 7 месяцев назад +1

    Unajua kutowa istoria 💪💪🇨🇩💪💪

  • @maombitv4118
    @maombitv4118 6 лет назад +4

    so nice narration mkuu

  • @dachjunior4766
    @dachjunior4766 6 лет назад +24

    "UKISIKIA WATU WANASEMA TUKO NYUMA YAKO KUWA MAKINI SANA MAANA WAWEZA GEUKA NYUMA NA USIWAKUTE" ..... Nimeipenda sana hiyo ... Hongera

  • @saidymtenda9777
    @saidymtenda9777 6 лет назад +2

    Namkubali sana huyu mkubwa Historia nzuri, Anajua kutusimulia kama Alikuwepo haya twendeni kifikla sote

  • @CoachYusuphMagige
    @CoachYusuphMagige 6 лет назад

    Hongera Sana unajua kuchambua habari vizuri

  • @dannyrapha6661
    @dannyrapha6661 6 лет назад +5

    Big up bro uko vizuri

  • @yazidu_tz
    @yazidu_tz 6 лет назад +6

    🙌🙌😂😂 anhaaa pepo la kuua Mamae gonga like

  • @georgechombo3672
    @georgechombo3672 6 лет назад +6

    Your voice is excellent very excellenty

  • @abdilahijumanne1415
    @abdilahijumanne1415 3 года назад

    asante nakubali stor

  • @walivyojuma7095
    @walivyojuma7095 5 лет назад

    Ananies ediga nakukubali ww ni🔥🔥🔥🔥🔥jikite saana kwenye istoria achana na habr za udaku tumechoka udaku tunataka habar zakiistoria kuhusu nchi zetu za kiafrka na nk wadau tuko wengi tutakuwa pamoja pia ikiwezekana tengeneza gruop la kiafrka na laikistoria zaid zamwezn na nk tutalipia kwabei yoyot irdi stor ziwe zinaendn na ukwl napenda saana stri zake

  • @hawanjenga7025
    @hawanjenga7025 6 лет назад +2

    Historia nzuri sana

  • @josephzakaria4462
    @josephzakaria4462 6 лет назад +1

    Unajua sana kaka Hongera mno

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 6 лет назад +6

    Salute Mr.Journalist I appreciate the way you present!!!

  • @nexakadeus7855
    @nexakadeus7855 6 лет назад +12

    duh story nzuriii na inafunzaaa ety

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 6 лет назад +8

    Emmanuel..........GOD with us.

  • @francolazaro8646
    @francolazaro8646 4 года назад +1

    Jamaa anafanana na waziri wa tamisemi @seleman Jafo wa tz 🤗🤗😁😁😁

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 6 лет назад

    Mtangazaji bora sana, hongera.

  • @fredyaddy5695
    @fredyaddy5695 3 года назад +1

    Dah inaumiza sana, africa kuna mambo ya ajabu kweli

  • @dianamosha8099
    @dianamosha8099 6 лет назад +3

    Hii ndiyo story pia uko vizuri kaka

  • @michaellusingu578
    @michaellusingu578 6 лет назад +1

    nice story wengi tunapenda kusikiliza kuliko kupata mafunzo ndy maan tupo vilevile kila cku

  • @alimojaqueen7343
    @alimojaqueen7343 3 года назад

    Nice

  • @jofreymwangomale715
    @jofreymwangomale715 6 лет назад +1

    Mtangazaji bigup sanaaa

  • @cathbertmbacho6457
    @cathbertmbacho6457 5 лет назад

    Broo uko vizuri sana

  • @HASASON
    @HASASON 6 лет назад +1

    Dah unaweza

  • @hemedissa7675
    @hemedissa7675 5 лет назад

    Nakukubali brother

  • @Adumah77
    @Adumah77 3 года назад +3

    God bless those who stood for Africa and it's people, lumumba,Mandela,nkrumah,nyerere etc 🙏

  • @nginapatitabeatrice3960
    @nginapatitabeatrice3960 4 года назад

    Interesting

  • @mosesmwakalinga4312
    @mosesmwakalinga4312 3 года назад +2

    Ningependa Nani kuweka story hapa tz

  • @saidizungu2115
    @saidizungu2115 5 лет назад +7

    Twend sawa wazee w 2020

  • @yusuphoalfredo5798
    @yusuphoalfredo5798 6 лет назад

    Kwakweli uko vizuri kwa suala la kusimulia,nimesubiri kwa hamu simulizi nyingiñe ya hawa watu wànaojifanya miungu watu.

  • @msigwaonestv9353
    @msigwaonestv9353 4 года назад

    Nakuelewaga sana

  • @apollobupolo9884
    @apollobupolo9884 6 лет назад +2

    Safi sana

  • @aboubacarfitbae1661
    @aboubacarfitbae1661 6 лет назад

    Kaz nzuri sana global tv

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 6 лет назад +5

    Shetani akizeeka anakuwa malaika ahsante kwa historia nzuri na pia ni fundisho

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 года назад +1

    Tutafsirie na ya kipenzi chetu MAALIM SEIF SHARIF HAMAD 😭😭😭 , nimependa sana unavosimulia.

  • @suleshmwakz8329
    @suleshmwakz8329 6 лет назад +2

    Uko vizuri mtangazaji ila kwa Spesho Kabwanga hujafika

  • @stanlaurent5121
    @stanlaurent5121 20 дней назад

    Ashukuriwe Julius K. Nyerere, mpaka leo Tanzania bado tuna amani aliyoijenga yeye.

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Год назад

    Edga anajuwa sanaaa

  • @franknewland4662
    @franknewland4662 6 лет назад

    Big up

  • @babyscosh5459
    @babyscosh5459 3 года назад

    Nzr sana

  • @paxbukeyeneza2093
    @paxbukeyeneza2093 5 лет назад

    nashukuru

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 лет назад +8

    Unajua sana mtangazaji

  • @wlkmwlkm8486
    @wlkmwlkm8486 6 лет назад +4

    Huyo ndio MTANGAZAJI PEKEE TANZANIA ANAE JUA KUTANGAZA HABARI. WENGINE WOTE NI PEREPERE WASIO ELEWEKA. CONGRATS BRO

  • @luomusicchannelfromtanzani5650
    @luomusicchannelfromtanzani5650 6 лет назад

    Story nzuri sana

  • @goodmorningafrica6409
    @goodmorningafrica6409 4 года назад +1

    Nzuri

  • @rozinahamisi84
    @rozinahamisi84 6 лет назад +3

    Dah hii istoria imepata mwenyewe kuisoma hadi rahaa hongera mtangazaji

  • @ricksonmackimillan383
    @ricksonmackimillan383 6 лет назад

    Nimekukubali pia

  • @rechaelmkumbwa7509
    @rechaelmkumbwa7509 6 лет назад

    Makala inavutia na inafundisha pia. Lakini kuwa makini na kauli ambazo zinagusa imani za watu. ukirekebisha hayo, you will be the best

  • @williamalex4792
    @williamalex4792 6 лет назад +2

    Niliisubiria sana hii story bora leo mmeileta

  • @pililanimrambia8752
    @pililanimrambia8752 6 лет назад

    asante baba t b Joshua

  • @ashab2537
    @ashab2537 6 лет назад +2

    Daaaah aiseee, mwili wangu wote umekuwa na ganzi

  • @alphoncenestorybishirangon1836
    @alphoncenestorybishirangon1836 6 лет назад +2

    Makala nzuri sana

  • @alexchea7150
    @alexchea7150 3 года назад

    Happy bday to our first indigenous president MASTER SERGEANT SAMUEL K. DOE.

  • @norbertnchemwa5131
    @norbertnchemwa5131 6 лет назад

    Simulizi nzuri sana

  • @makariouscharamba5371
    @makariouscharamba5371 2 года назад +1

    Elezea story vzur Maana Samwel doe aliondoa ufreemason ulikuw ukithri sanahuku Liberia nchin Liberia ilikuw ishakuw ya kifalaun hyo nchi wa marekan Weus na ufremanson wao walkuw wanatesea wenzao na wanapendeleana

  • @jackmafwimbo7919
    @jackmafwimbo7919 5 лет назад

    Duuh amazing story aiseeh

  • @dennismuhozamuhoza2391
    @dennismuhozamuhoza2391 5 лет назад

    Nice sanaaaa

  • @thabitpilymo9869
    @thabitpilymo9869 6 лет назад +2

    Kwenye mke hapo nomaaa

  • @cestlaviecestlavie4606
    @cestlaviecestlavie4606 6 лет назад +26

    😂😂😂, mtangazaji nimekupenda bureeee, ikiuwa kwa kisu, uta iwawa kwa kisu...

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 года назад

      Amenipunga sana 🤣🤣🤣asema wajuwa nyumba za madebe ww kamulize babu yako 🤣

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 6 лет назад +1

    Pongezi kwako mtangazaji maana unaweza sana

  • @festoottosimkwayi5597
    @festoottosimkwayi5597 3 года назад

    Hii inasikitisha sana.

  • @nelsonnyangile6871
    @nelsonnyangile6871 5 лет назад

    Hakika nampa hongera

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 5 лет назад

    Ebana we noma sana

  • @suhel5209
    @suhel5209 3 года назад

    Safii sanaa hii

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 6 лет назад +6

    Eti ata shetani utamwita malaka asante sana nzuri

  • @dihigokombo5055
    @dihigokombo5055 5 лет назад +1

    Nitafurahi ukisimulia historia ya PABLO ESCOBAR. ALIYRKUWAY MFALME WA MADAWA YA KULEVYA DUNIANI

  • @saidymtenda9777
    @saidymtenda9777 6 лет назад

    Wallah watu wote walaamia huku Global Tv Amini hizi ni mada za kusiliza

  • @bakarilingame9648
    @bakarilingame9648 6 лет назад +11

    Mmmh kwakweli iyo kali

  • @congoleseyouthnetworkc.y.n1803
    @congoleseyouthnetworkc.y.n1803 3 года назад +2

    This is music to the ear
    He said “old wise man, but not all men who are old are wise because even the foolish age”
    “It doesn’t matter how many times the teeth bite the tongue, they still live together.”

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 6 лет назад +53

    Story. Ni poa saaana,,,istoshe,,mtangazaji,,,yuko vizur

  • @niwabisaikombe6068
    @niwabisaikombe6068 5 лет назад +30

    Gonga like apa kama unamuelewa jamaa

  • @hightec-blend8880
    @hightec-blend8880 6 лет назад +8

    La! Laiberia ina historia nzitoooo!!

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 6 лет назад +1

    Hahahaha matako👌🏻😁😁😁...muandishi mmekupendraaa

  • @kelvincharles5952
    @kelvincharles5952 6 лет назад +1

    Aise kitu kama hiii ndo inafaa kupostiwa sio umbea.....bro upo vzuri

  • @jiki4065
    @jiki4065 6 лет назад +2

    Ni vizuri kusameheana na kujua vile tumetumiwa/ tunatumiwa na nchi zingine wakimalizana nasi wanatuacha , Waafrica tufungue macho na tupendane , Mungu atumbariki

  • @txraphaellaphael2155
    @txraphaellaphael2155 6 лет назад

    Mzee baba pamoja na ufanis wote wautangazaji safi ila unajisahau yes halinganishwi kwa chchot hap dunian usjisahau broo

  • @premicessondirya275
    @premicessondirya275 4 года назад

    Mungu baba ukumbuke vyongozi wa afrika

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 6 лет назад

    mtangaz yuko vzr sana

  • @focustz4408
    @focustz4408 6 лет назад +118

    Hizi ndio makala za kupost sio mambo ya wambeya tu

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 6 лет назад +2

    Nakubal xana hiz mambo