So now Magufuli had tojust leave us with tears. I hate to question my God, but God are we so cursed not to deserve such blessings of people like these ones? Kuna kipi tunaweza kifanya ee Mungu ili sasa adhabu yetu ifike tamat nasi pia tufurahie uongozi kama huu. Asante sana Tanzania kwa kutupa huyu ambaye Kenya na Afrika nzima tunamenzi sana.
Wasemaji wote mbele ya Rais Magufuli aliyetuondokea nimepatwa na Uchungu wa Machozi Rais wa Wanyonge pumzika kwa Amani Wananchi babo wanakukumbuka kwa wema wako
Kwakweli ila mm kinachoniuma ni baadhi ya ndugu zetu mapolisi wanavyojichukulia.mamlaka mikononi wanajisahau sana 😢😢😢😢 ikumbukwe anaeuwa kwa upanga vivyohivyo na atauawa MUNGU ATUSAMEHE KWAKWELI DUUH
Sasa mtu amekamatwa Kwa ishu ya mafuta, halafu anapewa kesi ya mauaji...hii imekaaje ndugu zangu watanzania!? Tutampata wapi mtu kama huyu, ambaye Mungu alikaa ndani yake?
Tunakushukuru ee mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana kwa maisha ya john magufuli umsamehe uovu wake na umpumzishe kwa amani..R .I .P
Wakuu kazi nzuri, hizi title za video ingependea kama zingekuwa zinaakisi tukio husika ile iwe rahisi kuzitatuta kwenye mtandao, kuliko kuziita "Ikulu Tanzania Mubashara"
Hakika Magufuli umetuachia majonzi makubwa. We really miss you. Tutakukumbuka daima. Haya mazuri hayazungumzwi ila wanatoa kasoro tu wamesahau kwamba hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu tu. RIP Magu.
Am still shedding tears 😭😭😭😭 missing you my mentor, nobody else will ever fill the big gap you left continue resting in peace 🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️ Baba la Africa 🌍
Kazi uliifanya namungu akuangalie na akulinde popote ulipo naimani ombihili mungu umeliona nakuomba msahidie baba wawanyonge na umpunguzie adhabu zake emungu uliejuu jinalako lishukuliwe ameni🙏😭
MHESHIWA MM NINA OMBI ..WAFUNGWA WAFANYE KAZI NA PIA WALIPWE MISHAHARA KAMA WANAOFANYA KAZI URAIANI, WASAIDIE FAMILIA ZAO NJE ..MAANA KUFUNGWA NI KUNYWIMA UHURU TU ,LKN TUKIENDELEA NA MATESO JERA TUNAPOTEZA NGUVU KAZI.
Ila huyu raisi alijitoa sana wala hakuogopa kua angeweza hata kudhuriwa na hawa watu,, Magufuli endelea kupumzika kwa aman😭😭😭ndo Nyerere wa pil
Amina ♥️♥️♥️
Leo nimemkumbuka Sana mheshimiwa mpaka machozi yamenilenga mungu amlazemahalipema peponi
Amina
Amina
Laaa! Ahsante Mungu kwa Zawadi ya Maisha yako! Upumnzike kwa amani
Yuko wap uyu rafiki yangu what a lovely president 😭
Alikuwa mwenzetu, mungu amemkuchua, tunaomba mungu type mwingine mbora zaidi atimize kazi Yako,
Anakuja Amin tu
Mwenzetu😢😢😢
makonda
By after by XD XD XD XD
BBlog😊oikk😊😅@@jacksonkabaata6011
Pp@@jacksonkabaata6011
Mungu ailaze roho ya marehem magufuli mahalipema pepon
So now Magufuli had tojust leave us with tears. I hate to question my God, but God are we so cursed not to deserve such blessings of people like these ones? Kuna kipi tunaweza kifanya ee Mungu ili sasa adhabu yetu ifike tamat nasi pia tufurahie uongozi kama huu. Asante sana Tanzania kwa kutupa huyu ambaye Kenya na Afrika nzima tunamenzi sana.
Mlio mkumbuk magufuri 😢😢😢 tujuane
Nimemkumbuka pia🎉
Mungu akueke mahali pema na naomba kizazi chako kiwe na muongozo kama wako
Mungu amlaze marehemu JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI mahali pema peponi amina
Amina kubwa 🙏🙏🙏❤❤❤
Tunapenda kizazi Chalo kikurithi na kifanye Kama unachokifanya RIP my 😂🤣😭❤️❣️💘💛💚 President
Huyu rais nilimpenda xan i wish angekuwa rais wa kenya was a man of God kabisa alichaguliwa na mungu
Muheshimiwa Raisi ameongea kwa hekima kubwa sana aiseeh. Mungu amuongoze vyema.
T
😊
Amina 🙏🙏🙏
Hakika mungu hajawah kuwaacha walio wake mungu nimwaminifu anatenda Kwa wakat tusio udhan.
Kweli tulimpoteza mutu muhimu katika taifa letu Mungu Amulaze mahali pema 🙏🙏🙏🙏
Yan huyu mzee hyu ni1kwa1 pepon kabisayan❤❤❤❤jonh
🎉
@@mkandalasbudete2620aaaqi😅
Rest in peace mkuu....Mungu Baba naomba utupe Raisi kama huyu wa Tanzania.....Aamiin
haitakuja kutokea tena
MUNGU akubaliki
Tumtoe wapi raisi kama huyu kwetu Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 😭😭😭
Aitoke wapi uku kwetu 🇨🇩😭🇨🇩
Raisi wangu umelala chato,kwa sasa tunaishi kama wakimbizi kwenye nchi yetu
Pole baba makonda anakuja Tena huyu mwingine tangu aingie madarakan nikuzurura tu makonda anakuja baba kuwa na aman
😢😢😢 daah kaka wewe acha tuu yaaan nataman afufuke leo aje aendelee alipoishia
Hii inatufundisha mengi lakini kikubwa tuamini kuwa kiongozi sio kazi ndogo...Respect to you my President
Wasemaji wote mbele ya Rais Magufuli aliyetuondokea nimepatwa na Uchungu wa Machozi Rais wa Wanyonge pumzika kwa Amani Wananchi babo wanakukumbuka kwa wema wako
Mwenyezi mungu akupe pumziko la milele Amina 🙏🙏🙏
Magufuli mungu amulinde kweli. Gereza za hapa Kenya zaidi ya asilimia 50% ya wafungwa ni kusingiziwa au kutopata lawyers wa kuwatetea vilivyo.
So sad alinyakuliwa malema mno
Mungu akusamehe makosa yako kutoka ndani ya moyo wangu na akupe pepo unayo stahili kiongozi wa Africa
Amina
Km mmungu angetukubalia,amrehemu Rais wetu😢
@@Theloopmenusana😢
Jaman namkumbuka babayetu wa taifa rais john pombe magufuli tunakukumbuka sana laiti ungekuepo leo
Mungu aendelee kukutia nguvu baba wa baba la Taifa na uzao wako ukabarikiwe
Jamani hakuna Rais ambaye atavunja record ya huyu mwamba.Mungu ampumzishe kwa amani.Amepigana vita mwendo kaumaliza.Apumzike kwa amani.Amen
I have no question to ask you God you had a reason to take Magufuli ,am kenyan but this was the best African president continue resting in peace 🎉
Kukosa ajira ndoo kulifanya nione ww mbaya lakini ilikuwa ni maslahi ya kwangu na ya Kijinga ,,, hakika ulikuwa bora basiiii leo nmetoa machozi
🤔🤔
Nimejikuta naliatu kiukweli
😭😭😭
We will never forget you
Nothing to say ila tamkumbuka sana mzee magu mungu ampunguzie makosa🙏🙏💯💯
African we need people like this one
MAGUFUL ULIKUWA MWANAUME WA SHOKA
Mungu ailaze roho ya marehemu peponi amen
Mweshimiwa rais makufuli mwenyezi mungu akulinde mahali pema peponi
Afande Kaufyata Mkia Hahahaaaa Chezea Magu Wewe
😅
😂😂
mimi ni mkongomani ila tuta kukumbuka daima.
Umemuuliza swali la kiufundi huyu mfungwa wa Mwisho. Kama mguu wa tatu unafanya kazi.
Pumzika Kwa amani Mzee wetu
Wewe ni rais bora wa muda wote nchini Tanzania.
Achen tu kwakweli huyu baba Mungu ampe pumziko la milele
Umenigusa sana Rais JPM.
Umejibainisha kuwa wewe ni Rais wa wanyonge na mtetezi wao.
Barikiwe sana Rais wetu
No one like you baba😢😢
Laiti wangekuwa wanarudi ningeomba huyu arudi jaman, ila yote sawa mungu ampe maisha ya raha
Huyu ndie Rais siyo sasa Raisi hajui hata watu wake wanaamka vip
Inaumiza sana
Kwakweli ila mm kinachoniuma ni baadhi ya ndugu zetu mapolisi wanavyojichukulia.mamlaka mikononi wanajisahau sana 😢😢😢😢 ikumbukwe anaeuwa kwa upanga vivyohivyo na atauawa MUNGU ATUSAMEHE KWAKWELI DUUH
Jaman tulio angalia 2024 target 15 tujuane
God Bless Him ,Tanzania and Africa as a whole is mourning him
Ilikuwa raha sana wakati upo rais wangu mpenwa❤❤❤❤❤
wema awana maisha cku zote
Kweli 😢😢😢
Ivikweri baba ameenda kuskojurikana rest in peace babanimekukumbuka duuuh 😭😭😭
HE WAS A GOOD 👍 PRESIDENT
Huyo jamaa alieomba ni hatari sijawaah sikia,nasema sijawahi sikia.❤
A long night!!! 😭😭😭 knowing that this can never be replaced!!! Its gone and its gone Glory to God!!!😭😭😭
😢😢😢😢 kwa kweli tutakukumbuka daima
Tunakukumbuka Baba Makufuli
Rest in peace kiongozi wetyu
True leader,chosen by God him self...
Mungu akuzidishie pumziko la milele
Tunakukumbuka magufuli raisi wa wanyonge mungu akulaze nahala pema
Sasa mtu amekamatwa Kwa ishu ya mafuta, halafu anapewa kesi ya mauaji...hii imekaaje ndugu zangu watanzania!? Tutampata wapi mtu kama huyu, ambaye Mungu alikaa ndani yake?
Mungu akulinde huko uliko baba. Pumzika kwa amani
Jamaa anamuangalia vibaya sana mfungwa..
Natumaini kazi aliyoacha Rais Magufuli wakati wa Uhai wake inaendelea kufanyika kama aliyosema alipokuwa hai
Ulikuwa na uzalendo Baba Rip no one can replace you
Mama samia are you watching this😢 please wacha kuzurura huko nchi za nje hangaika na watu wako like this
Rest in power comrade rais John Pombe Magufuli. You were a blessing to us.
Lllllllllllllllll
Magufuli if you're seeing this just know that you're a legend. No one can replace your gap Sir.
Keep resting in eternal peace
Tunakushukuru ee mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana kwa maisha ya john magufuli umsamehe uovu wake na umpumzishe kwa amani..R .I .P
MUNGU tusaidie tupate kiongoz kama huy anaye sikiliz kero za watu masikin
Tutakukumbuka daimaa milele IPO siku mi na ww tutaonana tena mtetezi wetu%
Wakuu kazi nzuri, hizi title za video ingependea kama zingekuwa zinaakisi tukio husika ile iwe rahisi kuzitatuta kwenye mtandao, kuliko kuziita "Ikulu Tanzania Mubashara"
😭😭😭mungu ailase mahali pema Peponi mbado nakupenda sana ❤❤
2022 November 😭 Rip my father John
''Hata sisi tuliopo hapa, ni wafungwa au mahabusu wa baadaye''. Ni ombi langu kila siku, siku moja ikiwezekana niwe Magufuli wa pili hapa duniani!!
Una mawazo kama yangu kaka angu
Rip ntakapo fika mbinguni nimkose makufuli ntajua nmekosea jia ya mbinguni love from Kenya
Leo tareh 5/10/2024
Hakika Magufuli umetuachia majonzi makubwa. We really miss you. Tutakukumbuka daima. Haya mazuri hayazungumzwi ila wanatoa kasoro tu wamesahau kwamba hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu tu. RIP Magu.
Kuja kwangu hapa Ili wewe UINULIWE hahahahaha ila magufuli jaman😭😭
Dah ila.Magu asee Mungu amsamehe makosa roho ailaze mahali pema
Mungu wajalie wote
Mungu akuweke vyema baba yetu😭😭😭😭😭
Z
Am still shedding tears 😭😭😭😭 missing you my mentor, nobody else will ever fill the big gap you left continue resting in peace 🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️ Baba la Africa 🌍
099
Isitoria ya Vita vya Uganda
I'm
Guitar 😂😂
This was a man of God
R I P MAGUFULI 1/ 12/2024😭😭
Tunakukumbuka sana,chema hakidumu
CONTINUE RESTING IN PEACE MHESHIMIWA MAGUFULI. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 MUCH LOVE FROM KISUMU - KENYA
Si tivi
Rest in peace magufuli
Kwel nimeamin kizur hakidumu 😭
Kweli kizuri hakidumu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kenya iko poa
RIP from kenya we loved uuuuu
DAAAH HUYU MWAMBA NIMEMKUMBUKA SANA, ALIKUA MWANA WA WANA. MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA HUKO ALIPO🙏🙏🙏
This was a gospel God nionyeshe Mungu
Huyu ndiye Rais halisi
Mimi katika maisha yangu sijawahi kumpenda rais kwa kiwango kkubwa kama Magufuli
Wewe ni mimi kabisa😢
Hat mimi
Rest easy John pombe magufuli
Mungu saidiya afrika utupe viongozi kama Magufuli
Mpaka machoz yananitoka Magufuli mtetez mwee pumzka babaangu kipenz!tumebaki yatima😭😭😭
Kazi uliifanya namungu akuangalie na akulinde popote ulipo naimani ombihili mungu umeliona nakuomba msahidie baba wawanyonge na umpunguzie adhabu zake emungu uliejuu jinalako lishukuliwe ameni🙏😭
Mungu wetu tunashukl sana kwa rais john pia tunaomba utujalie rais mweny hofu ya mungu
MHESHIWA MM NINA OMBI ..WAFUNGWA WAFANYE KAZI NA PIA WALIPWE MISHAHARA KAMA WANAOFANYA KAZI URAIANI, WASAIDIE FAMILIA ZAO NJE ..MAANA KUFUNGWA NI KUNYWIMA UHURU TU ,LKN TUKIENDELEA NA MATESO JERA TUNAPOTEZA NGUVU KAZI.
Tatizo wakilipwa mishahara wafungwa wataongezeka
Point
Lazima uyu king ako heaven