Maafisa watatu wa trafiki wakamatwa wakila hongo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @shirleykanani9046
    @shirleykanani9046 3 года назад +65

    Anasakata densi kwa furaha😂😂😂

  • @tigerwoodsabu2393
    @tigerwoodsabu2393 3 года назад +8

    Good work
    But it's happening almost on every road in Kenya. Alot of work still to be done

  • @josephinemuringo2453
    @josephinemuringo2453 4 года назад +32

    Kudos guys, now spread your wings across the country, otherwise this is just a drop in the ocean.

    • @jumabahati9355
      @jumabahati9355 3 года назад +2

      I wonder naskia matiangi ni wazir mchapakaz wakat kila mahali watumishi wake(Kenya ) wanaongoza kwa hongo

    • @dancanngugigitonga9393
      @dancanngugigitonga9393 2 года назад +1

      Hey

    • @sanka2569
      @sanka2569 2 года назад

      @@jumabahati9355 66666666666666

    • @zachariamutua
      @zachariamutua Год назад

      ​@@jumabahati9355trrtt5trryr g to to t😮

  • @mokhalidisak8672
    @mokhalidisak8672 5 лет назад +17

    Kenya without corruption isn't Kenya

    • @prophetprophesy7415
      @prophetprophesy7415 3 года назад

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name

  • @lucygichuki7547
    @lucygichuki7547 6 лет назад +11

    Wamelaaniwa na kizazi chao..wauza damu za watu pesa... Mungu awaona 😎

  • @kennethobizi2998
    @kennethobizi2998 2 года назад +1

    Hufisadi.hahimalizwi na kushika wadogo ufisadi.inamalinzwa.kutokajuu muwache.kudanganya kwa kwa kushika wadogo anza juu

  • @salimnangawe6984
    @salimnangawe6984 3 года назад +1

    Hii ikitokea Tz si maafisa wote watapelekwa Cotini

  • @rumpelstiltskn5574
    @rumpelstiltskn5574 6 лет назад +15

    ...hawa wasee kweli wanapenda kazi! Those smiles tell all 😂😂😂😂

  • @rahingulami8390
    @rahingulami8390 4 года назад +7

    I posed at 1:28.. I want to show my kids what a dancing pig looks like.

  • @chalzsamtv
    @chalzsamtv 2 года назад +1

    Good work citizentv

  • @barasaelly1384
    @barasaelly1384 3 года назад

    EACC wameona hapa siwatembelee Barbara Kama vile ya Lwakhakha,Cheptais, Sirisia, Chesikaki, Chwele. Shida si kubeba ama jinsi ya kubeba. Bora 50/-

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 года назад

    Kazi nzuri kukomesha Wala rushwa ndio kukomesha rushwa halisi

  • @maslahmohamed9648
    @maslahmohamed9648 6 лет назад +2

    EACC doing gud job in this country countiue like that we are supporting you those are disturbing the poor citizenship

    • @ishmailnganga4425
      @ishmailnganga4425 4 года назад

      Let eacc put the same efforts or more to nab the big fish too but unfortunately we only celebrate when a cop who's has received petty bribe whilst millions are milked everyday. Nevertheless, no small or big thieve is right

  • @Maina_lenny
    @Maina_lenny 2 года назад +2

    Well done

  • @martinlango174
    @martinlango174 2 года назад

    This good work

  • @ogutumose
    @ogutumose 3 года назад

    Njoo hapa Mombasa aswa lights kongowea, bamburi mwisho kuna askari jina Joseph mnene based bamburi police huyu jamaa ni mlafi

  • @Wagana-m9w
    @Wagana-m9w 23 дня назад

    Nice.But this is only a drop in the sea of corruption in Kenya

  • @olidershitawa9822
    @olidershitawa9822 3 года назад +2

    Nimekwama hapo pa kusakata densi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwimikimwele4390
    @mwimikimwele4390 2 года назад +1

    Twataka maafisa wa Eacc watembee kwa masoko ya mwingi .kiui North wajionee maajabu vile polisi wanaokota pesa bila aibu

  • @IsaacNdunguNdegwa
    @IsaacNdunguNdegwa 7 месяцев назад

    pole sana kwao wote

  • @alexsbrian570
    @alexsbrian570 2 года назад +1

    If eacc can extend this to government ministries i think kenya can be a good country

  • @khaminwasamwellichina2686
    @khaminwasamwellichina2686 3 года назад

    Good work 👍

  • @spottemgottem5781
    @spottemgottem5781 Год назад +1

    Sakata densii kwa furahaa🤣🤣

  • @galary8688
    @galary8688 3 года назад

    Kazi nzur sana

  • @davidkiplagat30
    @davidkiplagat30 2 года назад +1

    This is correct & it is happening every where in Kenya , stop this bad behavior

  • @lucasngae9929
    @lucasngae9929 3 месяца назад

    Hapa kenya wezi Ndio wanatu maliza ✨👑🎩👑🎩👑🎩✨
    🎶😁😁😁😁😁😁🎶
    👏👗👕👗👕👗👕👏
    🎤🎶🎺🎶🎵📢🎶🎸
    Party Time!

  • @fahadtimimi9335
    @fahadtimimi9335 5 лет назад +1

    Kazi nzuri

  • @mbaroukabdi4907
    @mbaroukabdi4907 5 лет назад +2

    Good very good

  • @zippyjepps2750
    @zippyjepps2750 4 года назад +10

    But surely this is only at one point, but it happens all over the country. These guys are really finishing poor Kenyans for if you don't comply they write a lot of untrue mistakes to you. The Courts also listen to them, Citizens are suffering. Traffic police are just enriching themselves, they really have no business being on our roads.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Год назад

    USUMBUFU NI MKUBWA NA KUCHELEWESHA MAGARI SAFARINI !!

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 4 года назад +5

    Anachukua anaweka waaahh😂😂

  • @francisdaudisibuti1882
    @francisdaudisibuti1882 6 лет назад

    Hongera Kenya kwa teknologia hiyo

    • @wazirikiogwe1836
      @wazirikiogwe1836 5 лет назад

      Hatahuku arusha baadhi yao ndohivo takukuru wafanye kaziyao watakatwa wengi.

  • @risperwangeci586
    @risperwangeci586 3 года назад

    Good job

  • @mercychambon4450
    @mercychambon4450 6 лет назад +20

    this is correct for Matiangi ,its part of serving kenyan citizens

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 лет назад +1

      Mercy Chambon, that's very correct what they are doing, good Job!!

    • @sammymusau1447
      @sammymusau1447 6 лет назад +1

      Wanashika samaki wadogo kwa nn

    • @zippyjepps2750
      @zippyjepps2750 4 года назад +1

      This is where Matiagi need to really work on. "TRAFFIC POLICE SECTOR" THIEVES.😜😜

    • @Harmuthkuthanapalithi
      @Harmuthkuthanapalithi 2 года назад +1

      Lol all are hand in hand

  • @rodgersboyi7294
    @rodgersboyi7294 2 года назад

    Very smart

  • @leonardlangat8517
    @leonardlangat8517 2 года назад

    Hope ministries would dv

  • @ishmailnganga4425
    @ishmailnganga4425 4 года назад +9

    The hunter becomes the hunted🤣🤣

  • @khaminwasamwellichina2686
    @khaminwasamwellichina2686 3 года назад +1

    Kindly detectives check out on traffic officers manning Manyanja Rd from Donholm to Bee Center near Harris Tervan

  • @geraldkamaunjunge1814
    @geraldkamaunjunge1814 6 лет назад +1

    Nice job mulika mwizi

  • @billaanyango8208
    @billaanyango8208 4 года назад +7

    Heri ukutane na simba kuliko police wa kenya

  • @lawrenceshena9867
    @lawrenceshena9867 2 года назад

    You guys you should came back to kajiado

  • @charleskibiro9159
    @charleskibiro9159 6 лет назад

    mshahara wa MP ni sh 800,0000 na zaidi.
    Mshahara wa Dr ni sh40,000.
    mshahara wa police ni sh15,000.
    Daktari ataweka private clinic na police ataokota rushwa na kukondesha bunduki ikaibe. ukiweka mbwa kwako na uinyime chakula, itakula chakula yako nakama haifikii chakula yako itakukula wewe mwenyewe. lipa Mp sh150,000, Daktari sh 200, 000 na police 100,000. rushwa itaisha.

    • @DNC55-v2j
      @DNC55-v2j 5 лет назад

      Idiotic policymakers my brother.Thats what we have.

  • @TeacherNyoks5258
    @TeacherNyoks5258 6 лет назад +3

    Mbona hawaendangi pale jogoo road ukipita kort la makandara kidogo tu kuelekea donholm ucku saa tatu ivi...tufifty ndoo tunasemanga Apo kwa matatu za kubeba abiria...

  • @AnthonyMusau-rn2jw
    @AnthonyMusau-rn2jw 2 месяца назад

    Kujeni Kayole area ya Nyando, Kioi,Mugendi na step one areas.
    Wanaume wawili na mwanamuke moja.

  • @daudiminde8596
    @daudiminde8596 4 года назад +3

    doh anasakata dence tena 😂😂😂

  • @patrickmwangi9483
    @patrickmwangi9483 2 года назад

    Kwa nini hawa maafisa wa EACC wasifanye uchunguzi kamau huu Kenya zima ? Haki ya watu wa matatu ipatikane

  • @kennedymwangi604
    @kennedymwangi604 2 года назад

    Hii Tabia Bado Iko haijaisha I say ........plzz waendee na huo msako coz ata uku twetu wako...

  • @piusmuendo4738
    @piusmuendo4738 3 года назад

    Huyo wa kusakata densi Wacha tu..🤣🤣🤣😂😂

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 4 года назад

    Ingefanyika na huku siku moja tupate raha maana wapo tunawaona na maisha yao yako vzr na jeuri wanayo

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 2 года назад

    Hehehehehe.....balaa Kenya yetu...

  • @ProjestusRwechungura
    @ProjestusRwechungura 7 дней назад

    Tanzania wote kabisa wataishia jela , bahati nzuri wanalindwa jamii inazidi kuteseka

  • @sylviamombo815
    @sylviamombo815 4 года назад

    Safi sana

  • @mumranjuskaranja8216
    @mumranjuskaranja8216 4 года назад

    Soo gready. Na juzi tu walishika mama

  • @christophermlaponi534
    @christophermlaponi534 4 года назад +1

    Rushwa upofusha macho,
    Hata muungrumo wa gari watosha kuusakatia rumba !!

  • @alfredkim6001
    @alfredkim6001 3 года назад +1

    Hawa watu wametuzoea sana na hizi hongo...siku hizi wanakula 100 si 50😂

  • @phoenixnetworks2863
    @phoenixnetworks2863 3 года назад

    Hi,this is correct to matiang'i,,,,,but wakuje machakos junction makutano off mombasa road,,,,,traffic police officers there are taking money as if t
    hey have debts wth matatu driver ad lorries,,,,kindly matiangi,do something to that area please

  • @jcsoliste
    @jcsoliste 3 года назад

    Aibu sana

  • @thuracyprian5243
    @thuracyprian5243 2 года назад

    Pay them well

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 6 лет назад

    Daaa polesana africa

  • @geraldmaingi509
    @geraldmaingi509 2 года назад

    Kip ZACHARY, WHAT A SAME FROM THOSE VOPS?. ADHARANI JAMANI.

  • @stefanokileo1294
    @stefanokileo1294 3 года назад

    Kenya sio pazuriy

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 3 года назад

    Na ss raiaa ndo wavunja sheria na watoa rushwa namba moja sababu kama upo na gari yako binafsi au ya kibiashara kihalali na muda halali na biashara halali rushwa utatoa ya nini ! na watoaji wakamatwe pia!

  • @clevymats97
    @clevymats97 6 лет назад +1

    Wamezoea sana Good job

  • @hemedially9162
    @hemedially9162 2 года назад

    Not only in Kenya even in Tanzania

  • @abdirizakmohamud6591
    @abdirizakmohamud6591 4 года назад +8

    Cheki hio dance punda yeye 😂😂

  • @johnmbugua8815
    @johnmbugua8815 3 года назад

    nice

  • @queenqueen9378
    @queenqueen9378 4 года назад +22

    Haha I remember this day they were almost getting bribe from me Kwanza uyu afisa mnene mwanaume mshenzi Sana🤔

    • @rashidrashidi1528
      @rashidrashidi1528 4 года назад

      Hhvtfcc }:‑)}:‑)}:‑)}:‑):-P8-)}:‑):-P:-P:-P:-P:-P:-P:-P:-P:-P:-P:-P

  • @grasgrass464
    @grasgrass464 4 года назад +2

    hawa wanajiita mapolice na ndio wezi sugu nduniani wauwanji

  • @kenonchombamusicchannel9720
    @kenonchombamusicchannel9720 3 года назад

    hii tabia iko embu county hospital road block wamlikwe pia

  • @abdelhakeemtoroo8133
    @abdelhakeemtoroo8133 6 лет назад

    Dr Matiang’i Angalia jkia plz

    • @paulmbugua4046
      @paulmbugua4046 6 лет назад

      Kujeni. Barabara. Kati. Ya. Kamandura. Na. Maimahiu. Tr
      affk. Kutoka. Lari. Polc. Stn. Wako. Pale. Saa. 4. 00. Asubuhi.

  • @thomasbuseka5144
    @thomasbuseka5144 2 года назад

    Hm kakamega kweli polisi hasira

  • @georgeochieng8897
    @georgeochieng8897 2 года назад

    Nimbaya sana

  • @akapellakabaya2437
    @akapellakabaya2437 5 лет назад +18

    Uyo mwenye anadance 😂😂😂😂

    • @curtwizz
      @curtwizz 4 года назад

      😂 😂 😂 😂 😂 Bruh Kenya is crazy OMG niggas making money

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 2 года назад

    Wamezidi haki Yani matatau kutoka Nairobi mpka kwetu hakuna kuangaliwa kila tukikutana nao nipesa tunapita hawana hata kujua nini Kiko ndani this is to much ndio wanasomea kwani

  • @safetytelevisionnetwork7331
    @safetytelevisionnetwork7331 4 года назад +1

    Doesn't this happen anymore? Jut wondering,cause he last time I saw a police officer being caught with taking bribe was such a while back

  • @transworldhua6897
    @transworldhua6897 Год назад

    Matiang'i did the best

  • @salumhongo3955
    @salumhongo3955 4 года назад

    Daaah! Pole yao

  • @khalidalow-sn9iw
    @khalidalow-sn9iw Год назад

    yes

  • @samsamsam8425
    @samsamsam8425 6 лет назад +3

    It's so sad for our police force this department of traffic should not be from security department because like today we have this lady from Italian vivan Romano it's almost 2 months now and the force have not traced by now. How comes you went to college together with somebody one pushed to traffic department while the other is spending the nights at boni forest trying hard to recover the kidnapped Italian lady

    • @msojordan6811
      @msojordan6811 6 лет назад

      Deals from the the top I think % sharing from the top

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 4 года назад

    Who recorded this .

  • @marymwai4072
    @marymwai4072 2 года назад

    Why only these, all are like that

  • @bilhaagutu9788
    @bilhaagutu9788 3 года назад

    Hahaha 😂😂😂😂 huyu wakucheza hehe

  • @shizzomanizo1502
    @shizzomanizo1502 4 года назад +2

    Hahaha the one dancing😀😀😀

  • @anyirinkwaya
    @anyirinkwaya 6 лет назад +2

    Hatari kweri hapa kwetu rwanda akuna manbo hayo

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 5 лет назад

      This kenya keep off your comments. Ongea za kwenu Rwanda (genocides)

  • @florencenuru4687
    @florencenuru4687 3 года назад

    Hawa sijui wataambia Mungu nni bure kabisa

  • @gladysmunyiri4555
    @gladysmunyiri4555 Год назад

    Why can't the government do it the American way? There should be tickets given to drivers who has defective cars on the road, and you pay your fine in the next 24hrs, failure to which u can't drive that car, and you go to garage right away. If it's over speeding, you get a ticket and pay it within the next 1 hr, en of u overspeed again, u get another ticket of Abt 300ksh. In this case, every driver gona be very careful, and no bribes at all cost. Kenyans we encourage these police to take bribes from us. To the traffic officers who get bribes, sack them, or demote them . May take though

  • @ruttokiplagat9548
    @ruttokiplagat9548 4 года назад

    Hao Walikula Evidence... Hio Pesa Haiezi Ekwa Kama Exhibit

  • @usiniletee
    @usiniletee 3 года назад

    Matiang'i fika kakamega, kusumu road, bodaboda wanaumia

  • @moses.muchemi
    @moses.muchemi 6 лет назад +7

    the same system will release them..ushai skia hata mmoja amefungwa??

  • @Fombese
    @Fombese 2 года назад

    Mimi nimebaki hapo densi 😂😂😂

  • @gladyskendi4282
    @gladyskendi4282 4 года назад

    Mungu haonaye sirini hamewanika

  • @victorayieko2194
    @victorayieko2194 4 года назад +3

    I like how they practice themselves,live band

  • @aminaabubakar4383
    @aminaabubakar4383 6 лет назад +1

    Mkuje pia moi international airport mujioneee tukishuka na ndege unasachiwa tena kilakitu inafunguliwa na wakiona ata dress moja ya mtoi wanakusumbua sana paka last time kunamama alichukua 100 riyal yangu hio ni salary yangu ya three days wakati hio iliniuma sanaa na nilipo muuliza akanijibu tunakulia hapa tusaidieni pia

  • @isaiahbundi7207
    @isaiahbundi7207 6 лет назад +2

    jameni..waongezwe mshahara kama wenye wanapokea ni kidogo ..inaeza komesha iyo tabia ya KK

  • @salimsaid8688
    @salimsaid8688 5 лет назад +12

    Chama moto kabisa.waizi hao

  • @mohanoor153
    @mohanoor153 4 года назад

    Kenya ni pesa

  • @sarahmaina8898
    @sarahmaina8898 4 года назад +1

    Haiya ii

  • @broomi4738
    @broomi4738 4 года назад

    ile dance ya matumizi mabaya ya madaraka ndio hii sasa kwenye 1:28

  • @masumbukoclement4582
    @masumbukoclement4582 Год назад

    Wapolice Wa Kenya Wanapenda Rushwa Sana Wananyanyasa Wageni kirasiku🥲😭

  • @nkweratv3726
    @nkweratv3726 4 года назад

    Kenya noma