WEZI WATANO WA BAJAJI NJOMBE WAKAMATWA,WANANCHI WAZINGIRA GARI, RC MTAKA AFIKA "BAJAJI ILIFUNGWA GPS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 103

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 4 месяца назад +25

    millard ayo mko vizur mashallah
    hongerebni sana.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 4 месяца назад +6

      Ni kweli watu wamekua wakati sasa serekali ifanye nini haina uwezo wa kuchunga kila mtu kila mwananchi awajibike anapo ishi

    • @MandoliiMoshi
      @MandoliiMoshi 4 месяца назад

      @@Allybinamour asante et mana nkikumbukaga yani ndo nazodigi kumuamini mungu kuwa hakika ananilinda

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 4 месяца назад +6

    asee hawa wezi wanarudisha nyuma sana mm waliwahi kuniteka na kunipiga adi nikapoteza fahamu kiukweli n mungu aliniokoa na bajaji walichukua

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 4 месяца назад +6

    Hao wezi wachomwe moto fasta iwe fundisho

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 месяца назад +1

    Umeongea point sana jamani wezi hawajui matatizo ya watu wao wanajiwazia ujinga wao tuu mtu kapambana ana madeni hawajui hao watu 😭😭

  • @samwelmwinyi1893
    @samwelmwinyi1893 4 месяца назад +2

    Ko RC karuhusu PYUUUUUU😂
    Sio kesho Aaaaah Eeeeh!
    Hongera kwa hekma. Huna baya Boss Mtaka A

  • @JamesMassawe-wx4tc
    @JamesMassawe-wx4tc 4 месяца назад +5

    Wauwaw hao wez Kwa kuchomwa mot ili wasiruditen

  • @EdnaJohn-c5x
    @EdnaJohn-c5x 4 месяца назад +5

    Maa ndiko ya uyu baba jamani kweli mtu ukiwa na asila😂😂😂

    • @jabirihanthu
      @jabirihanthu 4 месяца назад

      Hahahaha 😄😄😄😄😄

  • @aronmilinga7303
    @aronmilinga7303 4 месяца назад +1

    Zama za kukamata wezi zimepitwa jmn, dawa hamuijui? Sas mnatak RC aruhusu muue mwiz ? Wakomeshen hao watakoma ten wataend kulima , au petrol imeisha njombe jmn?????❤❤❤❤

  • @SabinaMichael-k5b
    @SabinaMichael-k5b 4 месяца назад +3

    Tunazika mifupaaa😢😢

  • @NinaMon-b1y
    @NinaMon-b1y 4 месяца назад +5

    Hiyo nzuri mh mtaka

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 месяца назад +3

    Mwizi humchukia mwizi mwenzake. Hapo vijana wengine ni wezi ambao wamejificha nyuma ya mgongo wa raia wema

    • @ALFAN-m4o
      @ALFAN-m4o 4 месяца назад

      Unauhakika na unachokisema na unaushaidi na maneno yako ???

    • @barakapaul6685
      @barakapaul6685 4 месяца назад

      Usikute na wewe ni mwizi maana hamkawii kupatwa hasira​@@ALFAN-m4o

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 4 месяца назад +2

    Waueni wezi maana wakikuwahi wakuua na wao wakikamatwa tuwadedishe tu wakipelekwa jera wanatoka wazima

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 4 месяца назад +1

    MUNGU asimame nasi Tanzanian 🇹🇿♥️🫶🙏

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 4 месяца назад +6

    Kila sehem wasiojulika Mungu tusaidie kupigana NAO.

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 4 месяца назад +1

      Mungu hasaidii viumbe bali viumbe wao ndo wanatakiwa kusaidiana. Ukishindwa kusaidia mwenzako kwakua una akili hakuna Mungu ambae atawasaidia

  • @zaveriamduda
    @zaveriamduda 4 месяца назад +6

    SERIKALI haiwezi kulinda mioyo Ya Watu! Ni UKATILI Wa Watu wa Siku Hizi.

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 4 месяца назад

    Tatizo la awandugu zangu boda boda nisawa wanauwawa lakini pia nawao wanamakundi ya ualifu sasa sijui itakuwaje Mungu atusaidie 😢😢

  • @NasibuSongoro-km3pj
    @NasibuSongoro-km3pj 4 месяца назад

    Nimeipenda hiyo chakushukuru kijana alipatikana mzima

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 4 месяца назад +3

    Taarifa mnatoa kwa kuchelewa sana

  • @decruzz6792
    @decruzz6792 4 месяца назад +5

    Walitakiwa wapigwe kiberiti tu hao😐😐

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 Месяц назад

    Wako vizuri lkn bado wanalegalega .Yani huogoni SEMA wako vzr SEMA hawako competent

  • @SamwelAlly-k5n
    @SamwelAlly-k5n Месяц назад +1

    Jp mangu

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 4 месяца назад +5

    Polis polis mbona kwa magufuri mlikaza inakuwaje kwa mama mnamsaliti.

  • @chazp6436
    @chazp6436 4 месяца назад +2

    Mwizi ukishika uwa kbs hafai kuishi

  • @masagabulemela3228
    @masagabulemela3228 3 месяца назад +1

    Ajira hakuna unadhani nini watafanya

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p Месяц назад

    Hii nchi inahitaji mwenyewe

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 4 месяца назад +2

    Kwani nchi hii imekosa mkubwa mwenye kauli kuu kuliko zote angalau hata haya matukio makubwa ya kutisha yaishe jamani?

  • @athumaniamani9905
    @athumaniamani9905 4 месяца назад +7

    Wengi wao waliopo hapo ni wezi pia.....

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 4 месяца назад +4

    Haki ya m2 haipotei ndio maana. Wanachomwa moto

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 4 месяца назад +2

    MWIZI ANAVYO INGIA NYUMBANI KWAKO TAMBUA AMEFUATA VITU VITATU KUIBA, KUUA, KUUAWA.

  • @KassimAlly-w4y
    @KassimAlly-w4y 4 месяца назад +1

    Uwa kbs hao mbwa wenyewe wameua wng sn

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 4 месяца назад +1

    Sasa kwakuwa wamemfunga mikono na miguu wakamtupa tukio linaloendana na Lile na dogo wa morogoro ambae baadae alichangiwa na kujengewa nyumba apewe hiyo mali ,na gari zao zitaifishwe wapewe wahanga Yao ili imsaidie ktk maisha yake au muhanga YEYOTE anaefanana na huyo dogo

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 месяца назад

    Hayo nimadai halali kabisa ,yakuyashuulikia nawakubali ,majambazi nijanga kubwa

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 4 месяца назад

    Njooni Arusha

  • @wariobakaira5292
    @wariobakaira5292 4 месяца назад +2

    Wezi munawachelesha sana musilaumu police

  • @LaitonKasitu-z4q
    @LaitonKasitu-z4q 3 месяца назад +1

    Tufanye kazi kwa bidii ili kuepukana na vitendo vibaya

  • @msafirially7849
    @msafirially7849 Месяц назад

    Imefanywa kwa weledi

  • @IsraeliLotha
    @IsraeliLotha 2 месяца назад

    Ajali moshi

  • @MaxmillianKulwa-l1f
    @MaxmillianKulwa-l1f 3 месяца назад

    Hao miaka 100 jela wasikose

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 4 месяца назад +1

    Wananchializaneni na hao wezi hapo hapo

  • @ayubunato-lg7yy
    @ayubunato-lg7yy 4 месяца назад +2

    Yaani mwizi analindwa kwelii???

  • @AbubakaryMizora
    @AbubakaryMizora 4 месяца назад

    Serikali ndio. inayo walinda Hawa wezi wanauwa lakini wao wanalindwa wasiuliwe

  • @hamisipande7253
    @hamisipande7253 24 дня назад

    😊

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 4 месяца назад +1

    Wizi mara nyingi hutokana na vijana wengi kutopenda kujishughulisha na njia halali za kujipatia kipato. Kuwapeleka magereza ni kutumia vibaya rasilimali zetu ,cha kufanya wezi wote wawekwe kwenye kambi maalumu wazalishe mali kwa miaka kumi hatimaye watakachozalisha kwa kipindi hicho wapewe mtaji wakuanzisha maisha

  • @RucyMakapa
    @RucyMakapa 2 месяца назад

    Wauwawe tu kama wanavyouwa watu

  • @WilliamIbrahim-dt5nb
    @WilliamIbrahim-dt5nb 4 месяца назад +2

    Huyo mkuu wa mkoa huwa namuelewa sana

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 4 месяца назад +1

    Nchi imeoza inamaana Rais ameshindwa kuongoza Tz kwa sababu hajawahi tokea matukio mabaya kama kipindi chake na hayatatuliwi ndo shida wanayachukulia poa

    • @salimusalim3610
      @salimusalim3610 4 месяца назад

      Kwaiyo unataka hata ukienda chooni rais afatilie kuna watendaji wake acha chuki

    • @ALLGAMES24HRS
      @ALLGAMES24HRS 4 месяца назад

      Maguful Alikuwa anakufata Chooni? Uzembe umekithiri Kwa Sasa Kwa Baadhi ya Watendaji ​@@salimusalim3610

  • @AlphoncePotel
    @AlphoncePotel 4 месяца назад +5

    Hao wangewapiga wawataje wenzao

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 4 месяца назад +3

    Watoeni wsonekane

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 месяца назад +1

    kumpeleka mwiz polis ni udhaifu wa nguv za kiume ,
    MALİZENİ NAYE NİNYİ KAMA NİNYİ , POLİS WAJE KUCHUKUA MWILI TU!

  • @LeonardChacha-it2pb
    @LeonardChacha-it2pb 4 месяца назад

    Mm kinachonishangaza mkuu wa mkoa anacheka,

  • @omaryjudasymwanga7172
    @omaryjudasymwanga7172 3 месяца назад

    Kudadeki hao maboya walikua niwakuokotea hapo hapo kwenye pickup ya police kumalizana nao kama wao waliuwa wao wanabaki kama wakina nani jinga sana hao

  • @SamwelAlly-k5n
    @SamwelAlly-k5n Месяц назад

    Mangufuri

  • @MalikiIsmail-r4e
    @MalikiIsmail-r4e 4 месяца назад

    Rpc unakulaga rushwa😅😅😅😅

  • @RamaMwika
    @RamaMwika 4 месяца назад

    Ni Kweli Bora Mwizi Akikamatwa Achomwe Moto Maana Hata Mimi Waliniibia Samsung Galaxy Yenye Thamani Ya Sh, 480,000 Yaani Walinirudisha Sana Nyuma Jamani Inaumiza Aisee

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 2 месяца назад

    Njombe iko wapi?!

  • @JumaALLY-u6n
    @JumaALLY-u6n 2 месяца назад

    wangeuawa wale wez

  • @JosephEdisoni
    @JosephEdisoni 4 месяца назад

    Waiz wanaludisha maendeleo nyuma wauwawr

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo Месяц назад

    AJIRA HAKUNA NDIO UIBE WEWE UPIMWE AKILI

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 месяца назад +3

    Kila mahali matukio, mata mtu amefukuliwa kwa mganga, utafkr nchi imeshindikana.

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel Месяц назад

    hao watolewe wachezee kichapo wasipelekwe polisi lazima watapewa dhamana

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 месяца назад

    Mkuu wamkoa kawa raisi😂😂😂bongo kisingeli

  • @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj
    @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj Месяц назад

    0:38

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 4 месяца назад +1

    CHUKUENI SHERIA MKONONI

  • @LovenessElias-v5j
    @LovenessElias-v5j 3 месяца назад

    Wezi wamezidi wakikamatwa wachomwe moto ndo dawa yao

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 4 месяца назад

    Mwizi yupo eti mwizi ushahid ukamilike

  • @Mpembalizu
    @Mpembalizu 2 месяца назад

    Nimeona

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 4 месяца назад

    Pigeni moto nyie mapolic acheni kutetea majambazi

  • @eliambowe2576
    @eliambowe2576 4 месяца назад

    yani ananiuwa mimi alafu wanataka ushahidi

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 Месяц назад

    hiyo gps inaweza fungwa kwa mtu

  • @thobiasshigela9046
    @thobiasshigela9046 4 месяца назад

    Dahhhhhh

  • @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj
    @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj Месяц назад

    Mwambigija

  • @MaulidiGyunda-f5n
    @MaulidiGyunda-f5n 2 месяца назад

    Zenga ajari

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 4 месяца назад

    Porisi mtihani

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel Месяц назад

    mchomoeni humo achezee kipigo

  • @ChristinaNgailo-j2i
    @ChristinaNgailo-j2i 4 месяца назад

    Gana

  • @musamkembela1395
    @musamkembela1395 4 месяца назад

    Kwahiyo sikuiz hapo njombe viberti havipo?

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 4 месяца назад

    Muniya na ccm yenu

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 4 месяца назад

    Njombe mh pagum jamn

  • @NurathMuhamed-x5m
    @NurathMuhamed-x5m 10 дней назад

    Mjwau

  • @SaimoniMsigwa
    @SaimoniMsigwa 4 месяца назад

    Waka matwe

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 4 месяца назад +3

    😂

  • @mohdhussein4548
    @mohdhussein4548 4 месяца назад

    😅😅😅😅

  • @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj
    @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj Месяц назад

    Mwambigija

  • @Angelsaruni
    @Angelsaruni 4 месяца назад

    😂

  • @ErastoLembris
    @ErastoLembris 2 месяца назад

    😂