Kinachonishtua zaidi ni vile mzee yuko very proud na kumtaja taja Mke wangu hivi mie wangu vile. Utu uzima dawa kwakweli..😅 Laiti ningehojiwa mimi nisinge thubutu hata kutaja jina mke wangu i swear, Wish tupate kumsikia Mke wa mjeshi nae..
Ooooiye pole sana baba. Mungu akufariji na watoto wako ndugu yangu. Akusaidie maishani na ulee watoto kwa njia ile mzuri na ni asante umesamehe bibi yako. Mungu naye atakubariki.
Thamani ya binadam ni kubwa kuliko maumivu ya mke.kwahiyo hatakama amehusika na mauaji haimsaidii kitu Bali inamuongezea maadui wakiwepo wa toto wake mwenyewe
Endapo Watu wataendelea kumkataa Mungu na kuendelea kumuabudu kinafiki,. Mambo mengi sana mabaya yatawatokea wanadamu.Anlmini nawaambia ni Mungu tu ndiye anayeweza kumtuliza mwanadamu dhidi ya mahangaiko na masumbufu yoote ya dunia hii. Narudia tena kama tutaendelea kumkataa Mungu na kuendelea kutenda mabaya, hakika hakutakuwa na amani kabisa duniani. Mungu atusamehe kwasababu tunaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Pole sana Mzee Mungu akutie faraja wakati huu mgumu, kama mtanzania mwenzangu nimeguzwa na nina imani kila mtanzania ameguzwa na hili. Jamani Wanawake na wana ndoa kwa ujumla tujitafakari.
Hakuna maombi yeyote yatafanya chochote baada ya mtu kufariki, hakuna maombi yanaweza kubadilisha chochote hata akuombee nani baada ya mtu kufa. Ndiyo maana tunapaswa kumjua Mungu tukiwa hai na tuokoke hapo ndipo tunapopata usalama.
kwenye maisha yaliyokukuta ni mambo ya kawaida kabisa. huna haja ya kulia. usaliti katika ndoa kwa dunia ya leo si jambo la ajabu. Baltasar Ebang Engonga kala wake za watu wapatao 400 na kawarecord. Binadam ni wanyama Mungu katupa maarifa tu tofauti na wanyama wengine. Pole sana
Haya mambo ni michezo ya wanandoa wenyewe wanafanyiana michezo ya kishirikina akiona mwenzie sio mwaminifu. Hatujawahi kusikia wanandoa wamenasana..Kuna watu wawili hapa wanajua ukweli huyu Mume wa marehemu au mke wa marehemu Hawa wanajua ishu nzima.
Mimi sielewi makanisa eti kenda kuolewa kwengine kivipi utaolewa na mwengine wakati unandoaa huyo amechepuka tu ila mume ni huyu wamzike kwa taratibu zote hukumu wamuachiye mungu basi lakini duu shida ila poleni Allah atupe husunul hatima inshallah
Huyu mzee anaweza akawa anajuwa kitu kwenye hili, inasemekana alisha wakanya mda mlefu, huyu ni mtu mzima inawezekana alifanya ya kiutu uzima, syo bule.
Kifo gani kibaya walichokipata tena cha kudhalilisha na mwisho gani mbaya walioupata ewe Mola wetu tupe mwisho mwema. 🙏
Huyu ndo mwanaume kweli kweli pole sana mzee wetu 😭😭😭
Dhaaa inauma sana katika maisha kama Mungu kaamua kuonyesha kitu iwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake .
Namba ya huyu mzee ni muhimu sana kwa sis wanakamati
Pole
Mzee muombee sana mzazi mwenzio kifo cha aobu sana
Pole baba pole sana Allha akupe subra
Mitihan seehem ya maisha
pole sana mzee nimesikiliza had mwisho wanao sema unahusika na kifo hicho pia mungu Awasamehe😢😢
Wanasema kwasababu ya mihemuko na wengi ni wanawake wachepukaji wanataka kuhalalisha haibu ya mwenzao kupitia mgongo huo.
Huyu mwanamme maskini ni mtu mzuri sana 😢😢😢😢😢
@@fatmasalim8293 muzuri kwa kua mwanajeshi ama unamanisha uzuri upi
Allah tupe mwisho mwema mama wawajuku Allah akbar
Pole sana. Usijiraumu. Kama siku imefika imefika tuu hata ungelikuwepo angeenda tuu. Tayari kifo kiliisha pangwa.
Pole an kaka pia nakusifu sn Kwa busara zako zenye weredi Mungu akupe nguvu uweze kuwalea hao watt wako
Pole sana baba,usilie ni mipango ya Mungu, umeongea kwa huruma sana ,pole muombe Mungu.
Mzee kahusika KBS,yaani alikuwa anampenda mke wk,sm tu ajari kazini, pia barikiwa kwa msamaha
😂
@@chomasongidion6047 alimpenda mke wake lakini mwanajeshi akamubokonya mama
Pole sana baba. MUNGU wetu akubariki kwa moyo wa msamaha.
Kinachonishtua zaidi ni vile mzee yuko very proud na kumtaja taja Mke wangu hivi mie wangu vile.
Utu uzima dawa kwakweli..😅
Laiti ningehojiwa mimi nisinge thubutu hata kutaja jina mke wangu i swear,
Wish tupate kumsikia Mke wa mjeshi nae..
Hao jamaa Huwa Wana wake wengine sio kama ww
Muamn mwenyez Mungu yoke yanawezekana kwake tu
Ooooiye pole sana baba. Mungu akufariji na watoto wako ndugu yangu. Akusaidie maishani na ulee watoto kwa njia ile mzuri na ni asante umesamehe bibi yako. Mungu naye atakubariki.
Huyu mzee ni mwanaume kwelikweli, Mungu ampe amani na naamni mke wake amesamehewa makosa kutokana na chozi lake moja tu.
Mwanaume Kwasababu Yakumfungulia Marehemu Club Ya Pombe Au.
Masikini huyu Mzee. Pole sana Mzee, na hii taratibu ya kutozikwa mbaya sana. Iangsliwe upya.
Kweli kwanini wamuhukum wao wakati muhukum mkuu ni mungu sio sawa
Mungu tupe mwisho mwema maana Kuna vifo vingine vya aibu kwenye familia zetu😢😢😢
Pole baba angu.....WANAWAKE ujificha mambo yao maovu kwa kutuonyesha machozi yao bandia....MUNGU akutie nguvu ,Ndio mfaliji mkuu
Sasa amekufa pamoja na mwanamke awu mwanaume?sio mke tu sio mme tu,dhambi ni dhambi
miaka 30 ya kuzini na mwaka mmoja wa ndoa leo unaenda kuwa marehemu tena kwa kufanya zinaa Rabby tusitri 😢😢
Pole sana baba mungu atupe mwisho mwema kwa kweli
Mume huyu ni mwema sana hongera baba
@@angelanaftael7965 wewe usiongeze jiko makaa
Mungu ailaze roho yake mahali pema.
Watekaji sasa kuogopa kuteka. Asante
Pole bro ime nigusa mungu ata simama na wewe 🙏
Mmmmmmmmmmmm! Tego ilooooo wewe baba mungu anakuona
Watt 7
Unahangaika na mume wa mtu 🙌Yesu tusaidie
Acha Yan niaibu na zambi kubwa sana mungu ampe wepesi uyu baba maskin
Huenda watoto wengine ni wa mstaafu
@@BhaiMwadidu nalo neno hilo nimecheka
Sijaoa ila najua mke anauma 😢😢big respect mzee wangu umeonesha uanaume
Thamani ya binadam ni kubwa kuliko maumivu ya mke.kwahiyo hatakama amehusika na mauaji haimsaidii kitu Bali inamuongezea maadui wakiwepo wa toto wake mwenyewe
Mzeee anajiaminiiii safiiiiii sana,njia za asiliii zipo
Pole sana Baba Mungu akupe faraja 😭
Pole sana kaka ni majaribu tu yatapita tu muamini Mungu tu.
Pole babaa kwa kufiwa na mkeo jamanii inauma sana tumwachie Mungu
Huyo father wa pembeni alieshika kichwa, lazima atakua ni "Mzee wa busara"😂
😂😂😂😂
Pole sna kakaangu ni tamaa tu za Dunia jipe Moyo Utajapata Mke sahihi.
Ni vema jamii kujifunza kupitia tukio hili na pia kuachana na vitendo viovu pia kurudi kwa mungu
Pombe so mzuri kwani hakuna biashara zingine jamani kwenye pombe Kuna vishawishi vingi vya kishetwani😢😢
Hata huko sehemu za ibada ndiko ushenzi mkubwa unafanyi hata kuzidi sehemu za kinywqji!
@@IsayaSosolo-nx8zkshetani amekutawala na amekufanya mateka wala haumo Ulimwengu huu
Sijazungumzia habar ya Ibadan nimezungumzia biashara mbona unachanganya agenda au na wewe upo Tungi nini mbona umekuja Kwa kupaniki veeep 😆😆😆
@@AminaLibisa😂😂😂
@@AmirMbuyu Anazingua Sanaa 😆😆😆
Huyu atakuwa amemuwekea mtego mke wake😢😢may be
Pole Sana baba MKE wako ni tamaa za mwili tu muombee Apmzike Kwa Amani
Endapo Watu wataendelea kumkataa Mungu na kuendelea kumuabudu kinafiki,. Mambo mengi sana mabaya yatawatokea wanadamu.Anlmini nawaambia ni Mungu tu ndiye anayeweza kumtuliza mwanadamu dhidi ya mahangaiko na masumbufu yoote ya dunia hii. Narudia tena kama tutaendelea kumkataa Mungu na kuendelea kutenda mabaya, hakika hakutakuwa na amani kabisa duniani. Mungu atusamehe kwasababu tunaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Daaa pole Sana faza.dunia uwanja wa fujo.
Jamani hii zambi ya mwili Mungu atusaidie Yani kwenye ndoa miaka 30 na watoto 7 na ujukuu bado nje anatoka
Mungu mzee akupe maisha marefu sana
Huyu Baba ana hekima anazungumza vizuri kama vile mke huyu hajakosa pole Baba naweMunguatakusamehe
Pole sana baba shetan i anamajaribu sana
Kama walikuwa na jiko ndani ujue Carbon Monoxide imefupisha maisha yao
Nami nahisi hivyo, ata kama huyo jamaa alikuwa anatunzia mkaa ndani, wakafunga madirisha wasipate hewa kupita
Padri mfupi mjanjamjanja ndo alifungisha ndoa.🎉
😂😂
😂😂
@@selemanimasatu2421 😂😂😂😍
Allah akiamua kukudharirisha hashindwi wallah tumuogopeni Allah
Pole sana Mzee Mungu akutie faraja wakati huu mgumu, kama mtanzania mwenzangu nimeguzwa na nina imani kila mtanzania ameguzwa na hili. Jamani Wanawake na wana ndoa kwa ujumla tujitafakari.
Mzee wangu polesana wewe muombee tu mungu ndoajuae kilakitu,
Hakuna maombi yeyote yatafanya chochote baada ya mtu kufariki, hakuna maombi yanaweza kubadilisha chochote hata akuombee nani baada ya mtu kufa.
Ndiyo maana tunapaswa kumjua Mungu tukiwa hai na tuokoke hapo ndipo tunapopata usalama.
kwenye maisha yaliyokukuta ni mambo ya kawaida kabisa. huna haja ya kulia. usaliti katika ndoa kwa dunia ya leo si jambo la ajabu. Baltasar Ebang Engonga kala wake za watu wapatao 400 na kawarecord. Binadam ni wanyama Mungu katupa maarifa tu tofauti na wanyama wengine. Pole sana
Wee mzee km umehusika,,Mungu anakuona, km.umehusika wapewe sumu, itabainika
Mungu anahusikaje amwwah ruhus uzinzi mpka amhukum
Pole baba Wanawake vibaka. Muno
Kamtengenezea msiba mzuri kachinja ng'ombe mchele jeneza kwa kumfariji mkewe
Pole sana MUNGU kaonyesha hasira Asante kwa kumusamehe
Wenzetu mambele wangetafiti sana! Huenda alibakwa pia
Kama kweli umemsamehe toka moyo tunamuomba Mungu akuone nawe na kukusamehe katika taabu zako.
Mzee alikuwa anajua anapigiwa sema akawa anamuogopa jeshi mstaafu,, akamuendea Urambo kwa mtaalam,
Kabisaa
We baba Mungu akutunzeuna hekima Sana😢
Mke wa huyo mwanajeshi ametega uganga chumbani.. MMMM inaumiza sana sana
Pole baba mungu akutienguvu
Kumfungulia mwanamke bar n sawa na kumuuza kwa bei nafuu
@@msafirisaimoni9561 ukweli kabisa kufungulia mke biashara ya baa umempa kipali ya umalaya na usilie
Pole sans Mungu akupe subira na amsamehe amueke pepon marehemu 🙏
Peponi ipi ya uzinzi na ww acha hizo mungu sio muhuni bhana waende kunako wastahili
@@josephandrew3444 wewe ni msafi sana
Hongera
Usije kumzihaki mungu ndugu, mungu Alisha weka sharia zake uchague ww motoni au peponi baasii Hana unafiki kama ww .
Ukute huyu @@josephandrew3444 ndo yule padil mfupi mjanja mjanja
Mwenyezimungu nijaliemwisho mwema nisife kifochaaibu
Aamin ya Rabbil aalamiin
Mungu hashawishiwi na Mtu , mshahara wa dhambi ni mauti baada ya kifo hukumu, we baba mwamini Yesu uokoke
KAOE MKE WA MJESHI, MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
Pole sasa kaka.mungu akupe subira. Kikubwa kaowe mke wa mjeda mrithishane mambo yaishe.
Wewe ni mpumbavu!
Haya mambo ni michezo ya wanandoa wenyewe wanafanyiana michezo ya kishirikina akiona mwenzie sio mwaminifu. Hatujawahi kusikia wanandoa wamenasana..Kuna watu wawili hapa wanajua ukweli huyu Mume wa marehemu au mke wa marehemu Hawa wanajua ishu nzima.
Pole sana Mungu ampumzishe kw amani
Huko alikokuwa ameenda panatufaa sana sisi wanaume tulonawanawake micharuko
Pole sana Mzee Bora umemsamehe kwa Mungu pia amesamehewa
Na anaongea vizur kuusu mke wake maskin😭
Dah uyu baba mungu ampe nguvu jamani
Mungu mwenyezi ajua yote......
Pole mzee
Mzee achikuwe tu huyo mke wa mwanajeshi maisha yaendelee
ila pole sana baba wanawake ndio walivyo yani daaa
Jaman yaan wote wafe kwa kukosa pumnzi au mie ndo sijaelewa mana na aliyekuwa naye c amefarik
Mungu atutengenezee mwisho mwema, inshaallah. Mzee angea vyema.
Jamani huyu mzee hajafanya kitu..nimesikiliza hadi mwisho hapana .
Mimi sielewi makanisa eti kenda kuolewa kwengine kivipi utaolewa na mwengine wakati unandoaa huyo amechepuka tu ila mume ni huyu wamzike kwa taratibu zote hukumu wamuachiye mungu basi lakini duu shida ila poleni Allah atupe husunul hatima inshallah
Mnamshambulia tu Mzee kuwa anajua kifo mbna hamumzungumzii mke wa mjeshi aliyeachwa na mumewe
@@linahtairo1859 Hajaachwa yeye alivyoona mume wake mapenzi yamekolea kwa mwanamke wa nje akaondoka majirani walihojiwa wakasema hivyo
@JennyMdaki ssa we unafikiria hicho kitu kidogo my dear? Mwingine anaondoka lkn roho inamuuma moyoni hajaachilia kulipa kisasi hashindwi
@linahtairo1859 kweli kabisaa my yaani hili swala ukiliangalia kiundani ni kisasi kabisaa mimi nawaza pengine hata uchawi umetumika
Nimemtengenezea msiba mzuri😄😃😄
Poleni sana ndugu wamalehemwote
Wanawake hawana tofauti gazeti
pole mzee
Kazi alishamaliza kabla hajafika homu!!!!
Safi sana mzee simba mpole ndo mlanyama
Mtego uliwekwa, walimwengu wanaelewa. Wapo mtakao bisha
Mungu Amfichi mmnafiki. Siku ya kuumbuka na kuazibiwa imefika
Mmmm jaman haya makubwa ya mwaka
Duu yaani mpaka nimelia mungu akutie nguvu baba angu😢
Mzee alienda kwa mganga urambo akawapiga kitu
👀
Aiseee mume anaumia mnoooo..,na anampenda Sana mkewe
Huyu dingi aliweka mtego😂
Pole mzee
Huyu mzee anaweza akawa anajuwa kitu kwenye hili, inasemekana alisha wakanya mda mlefu, huyu ni mtu mzima inawezekana alifanya ya kiutu uzima, syo bule.
Kitugani kwamfano
Uchawi upo ,Yesu nisaidie. Asante Yesu
Uyo mke wa mwanajeshi mstaafu ndio amefanya yote hayo.
Subhannallah Allah Utusamehe makosa YETU ya Siri na dhahiri subhannallah
Ameen
Huyu nashukuru mungu to basi maana ajuwae peke n mungu
Nimelia sana jamani, maelezo ya huyu baba walianza mbali jamani walipaswa kutulia wale na kunywa
Tabora naijua vzr....uyo kuna kitu alipfanyiwa so bure
Mwenyezi Mungu, atupe mwisho mwema ili vifo vyetu visio vikwazo Kwa wengine inauma sana.