Huyu mbabe wa dunia aliyesimamia nywele za wazungu bila maji akazawadiwa kifo ndio rais pekee aliyenifanya nihifadhi hotuba zake zaidi ya mia NNE nikajifunza yakwamba "kiongozi mwenye msimamo duniani asipokuwa mzungu ni dikteta"
Tunaomba kujua huyu mama kama yupo hai..hii siku alijiskiaje...half hapa bado walikuwa hawajamjua vizuri mwendazake...shenzi sana hawa....na uskute hii hali imejirudia sasa hv...huyu baba mungu amuhifadhi huko aliko...kilikuwa chumaaaa
Mungu bado yupo nasi tutapata tu rais mwengine atakuwa kama wew baba ila kwa sasa atuna kiongoz wa kuendesha kazi zako ila yupo aliyekalia kiti tu na kula kuku na mrija
Kwa Nini tusiendelee kukumbuka Kazi ya Magu yatupasa, Ukiwa mwizi hata majibu yako nayo yatakuwa Ni ya wizi tu, Majibu yamekuwa sifuri kabisa pumbavu zao!
Kweli baba, nchi yetu na wananchi wetu tunaibiwa, hivi kwann watanzania dhambi yetu ni kubwa? Hali ni mbaya Tanzania yetu. Pumzika kwa amani. Mungu akuondolee adhabu ya mauti.
Ifikie hatua sehemu nyeti zijulikanike pia na wakuu wa mikoa kumsaidia rais, kama isingekuwa kusafiri na ndege maana yake hiyo ingekuwa njia ya panya...Tanzania tuamke hadi viongozi wa chini sio mpaka mawaziri au wakuu wa mikoa...na ni vyema kuthibitisha kwa uhakiki...mpaka rais afanye haya...lol...inaweza kuchukua muda mrefu kukua kiuchumi kwa mwenendo wa kumtegemea rais, viva rais na uwe na afya njema siku zote za uongozi wako...
Duuh huyu mwamba huyu!RIP.Tunapoongoza watu lazima kuwashirikisha staff wote kuanzia ngazi ya chini.Sasa hivi Domestic pia wanakagua Daresalaam wakati wa kufika
4:16 mhudumu wa uwanja 'Ni arrivals'...4:19 Rais maghufuli 'Arrival!kwa hivyo unataka kusema staffs wote huwa ni arrival'?😆😂😅,..Rais maghufuli ulikuwa kiongozi wa pekee sana,endelea kupumzika kwa amani 😢🙏🙏
Shida ya African ni wa africa tu ! 😢😢😢 RIP BAba najia uchungu kila siku , na misi mutanzania so sad 😢
Huyu mbabe wa dunia aliyesimamia nywele za wazungu bila maji akazawadiwa kifo ndio rais pekee aliyenifanya nihifadhi hotuba zake zaidi ya mia NNE nikajifunza yakwamba "kiongozi mwenye msimamo duniani asipokuwa mzungu ni dikteta"
Umesema kweli baba
Trueeee
Uyu wazungu na wasaliti baina yetu, walimmaliza...
Hakika kaka
Lala salama mjomba magu yote maisha tu tumeshindwa kukutumia mungu ameamua kukubeba lala salama
Taarifa za habari zilikuwa za moto sanaaa; Rais alikuwa mchapakazi..
Tunaomba kujua huyu mama kama yupo hai..hii siku alijiskiaje...half hapa bado walikuwa hawajamjua vizuri mwendazake...shenzi sana hawa....na uskute hii hali imejirudia sasa hv...huyu baba mungu amuhifadhi huko aliko...kilikuwa chumaaaa
Ameshafariki alikua anakaa tabata mke wa jjjj marangu
@@majumbatv1116 mungu amlaze mahali pema na tunamuombea kwa mungu amsamahe dhambi zake... Mungu amrehem.
Alifàriki kwa kuumwa? Au kwa kihoro cha tukio hili?
Naasikiliza 3/2024 kama angekuwa hai huyu mtu hadi leo tz ingekuwa mbali sana
Mungu akupe pumziko la Amani
Duh magu mungu akulaze maali pema
Lala pema peponi kamanda,
Ni mafisadi tu wanaweza kutuambia kuwa huyu alfuwa hafai kabisa.
Jaman Kuna wanawake Wana adabu mkono tu na goti kuchuchumia daah l wish all now days girls be like these mamas
Mungu bado yupo nasi tutapata tu rais mwengine atakuwa kama wew baba ila kwa sasa atuna kiongoz wa kuendesha kazi zako ila yupo aliyekalia kiti tu na kula kuku na mrija
Poleni kumpoteza jembe huyo
Hona ukaguzi wake sehemu nyeti
Akitokea rais mwenye kujua vitu kama magu mniite mbwa niko lape👉 nimekaa
Haha, yani wewe
Siwezi kumlaumu MUNGU ila kila jambo linamakusudi yake lakini tunaumia sana
Allah akuhifadhi mzeh wetu
Endelea kupumzika kwa amani mwamba na shujaa wa Afrika
Huge Loss of a true Hero..😔🤨😪
Mrrtþtttþ¾eedèŕrŕŕrŕe
genious
My President forever R.I.P Baba
Huyu alikuwa rais mfuatiliaji!! Hakika amepita sijui kwamiaka yaribuni kama atapatikana mtu kama huyu muadilifu na mzalendo
Atotokea Kwa kizazi hiki
Mungu hutoa kwa namna inavyompendeza tusubiri Maamuzi ya Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema
Huyu mwamba alikuwa chuma
chuma hasaa
Daaa uyu jaaaaa niatareee sana pumzika kwa amani jembe
Rais Wa Dunia JPM pumzika kwa Amani
Mpaka sasa bado ningali na maumivu ninapo tizama kazi zako baba pumzika kwa amani,mwenyezi mungu tukumbuke tena tunakuomba ameeen
Musa shegh dar
Great Loss, Mungu utulinde.
bba ahsante kwa kazi
Hivi ndivyo mambo ya nchi yetu yalivyo.
Inasikitisha mno.
Hakuna anayesema ukweli, taaluma haitumiki na haku dhana ya uwajibikaji kabisa
Kwa Nini tusiendelee kukumbuka Kazi ya Magu yatupasa, Ukiwa mwizi hata majibu yako nayo yatakuwa Ni ya wizi tu, Majibu yamekuwa sifuri kabisa pumbavu zao!
R I P DADY.. you’ll always be in our hearts..
RIP JPM we really miss you. Mambo haya unaweza kuta yamerudi tena!!!
Huyu rais ana akili sana,yaani arrival and departure passengers wanaweza tumia scanning machine moja
R.i.p jpm🙏🙏
Kweli baba, nchi yetu na wananchi wetu tunaibiwa, hivi kwann watanzania dhambi yetu ni kubwa? Hali ni mbaya Tanzania yetu. Pumzika kwa amani. Mungu akuondolee adhabu ya mauti.
Mungu acha aitwe Mungu
daah, RIP JPM
Tutakukumbuka babaetu,Pumzika kwa AMANI baba.
Pumzika kwa Amani Baba. Umetimiza wajibu wako. RIP. 😭
Ahsante Jpm hata maisha yangu yamebadilika kwa misimamo yangu niliyo copy kutoka kwako
Nimerudia mara mbili mbili, kila nikimuangalia mama dah n aibu
Hilo lizee la nyuma mbona kama museveni wa uganda
Ahahaha mwenyewe nikajua museven
Good job
Sema ukweli 😂😂😂😂👍👍👍
Nnani anaepitia magufuli 2024 ❤❤❤
Nakukumbuka sana magu 😢
Ulinidanganya sindio
That's management indeed.everyone must be accountable for his docket
Rest in peace
One in a million..Rest easy Buldoza
😭😭😭R.I.P
Magufuli rip 😭😭 ulikuwa rais Wa nguvu
Kama drama vile.. Sema ukweli
Baba umejitaidi Sana ila mungu kakupenda said
😢😢 r.i.p Jpm
Mising you so much my przdt😭
Mungu amrehemu jpm, ndio maana walimmaliza kwa kutenda ukweli jamani
Tumepoteza chapakazi na mfuatiliaji mzuri
Tutakukumbuka milele😭😭😭😭
You went too soon ,Much love from Rwanda
Dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
We miss u baba
Kasim atafanya kazi badae
Kazi safi sana makofuli
😢Rest well ....Your Excellency Dr John makufuli ,u were a no nonsense leader,
Kwani hyo mwanamke ni WA Nini? Kuna watanzania smart kuliko huyo Muongo
Tutakukumbuka baba
Dah
Magufuli 🙏
ni yeyeeeeeeeeeee
Huyu mwamba dah
r i p magu mis you
Ifikie hatua sehemu nyeti zijulikanike pia na wakuu wa mikoa kumsaidia rais, kama isingekuwa kusafiri na ndege maana yake hiyo ingekuwa njia ya panya...Tanzania tuamke hadi viongozi wa chini sio mpaka mawaziri au wakuu wa mikoa...na ni vyema kuthibitisha kwa uhakiki...mpaka rais afanye haya...lol...inaweza kuchukua muda mrefu kukua kiuchumi kwa mwenendo wa kumtegemea rais, viva rais na uwe na afya njema siku zote za uongozi wako...
RIP Baba daah
RIP baba
Baba 🇹🇿🙏
I.will always remember you
Rip
😭😭😭 Daaaaah!!rest in peace.
Tumekumiss sana dah😭😭😭😭
Kuna mambo unapo angalia naona kama na angalia tamthilia hapa
Ndomana madawa yalikua mengi sana nchi
Mwaka mmoja bado ni mgeni 😂😂😂😂😂😂😂 7:00
Kweli tulipoteza
Huyu mama Muongo da watanzania kwel tubadilikeni
Kweli mjomba huyu alikuwa na maswali kama tacknic
Basi Mungu anajua...lkn huyu baba aliondoka mapema sana
Sijaona kweli😅...Congo 🇨🇩 tumpate wapii?
Duuh huyu mwamba huyu!RIP.Tunapoongoza watu lazima kuwashirikisha staff wote kuanzia ngazi ya chini.Sasa hivi Domestic pia wanakagua Daresalaam wakati wa kufika
Kwa kweli Kuna watu mungu aliwapa hakili ya kuhongoza lchi na kufatilia kweli kweli, pumzika kwa Amani aliekuwa Rais mkamilifu mwenye busara ndefu,
Kila siku nikiona video ya ayati mangufuli huwa na humiaka kwenye rohoo Sana ,
Duh.... yaani ni watendaji wa serikali ni Mtihani sana, sehemu kama hii ulinzi wa kitoto namna hiyo..!..duh
I miss you
😭😭😭
Kashajichanganya tayari kusema anauhakika, waite wote wajibu, mi najua walizi off kwa magusudi ili wapitishe madudu yao
Chuma hicho tutakukumbuka baba yetu
R.I.P dady😭😭😭😭😭😭😭
BABA HAKUNA KAMA WW 😭
Ulikuwa n uozo Ila!!!
Huwa sichoki kumuangalia JPM alkuwa zaidi ya Rais jmn
Mpaka arepot pot kweli inchi hii ndomana masikini hatufanikiwa wiz mtupu
4:16 mhudumu wa uwanja 'Ni arrivals'...4:19 Rais maghufuli 'Arrival!kwa hivyo unataka kusema staffs wote huwa ni arrival'?😆😂😅,..Rais maghufuli ulikuwa kiongozi wa pekee sana,endelea kupumzika kwa amani 😢🙏🙏
Tu me kumic baba ❤❤❤❤❤❤
Kweli jamani kizuri hakidumu😭😭😭