Wale mko hapa, Baadaya ya kifo chake nipee nilekes za JPM. He was the best president in the whole african continent. HAUKUWA RAISI WANGU, ILA SIKU ZOTE NTAKUKUMBUKA JPM. To our sister and brothers in Tanzania tutasimama nanyi siku zote! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Vizuri sana Mhe. Rais wangu kazi yako ni nzuri sana ndiyo maana tulikuchagua wewe, kiongozi wa nchi ni sawa na baba mwenyumba mwenye kutaka kujua kiasi cha akiba ya chakula na matumizi yake nyumbani ili kuwa na heshima ya kukitumia vizuri. Big up wewe ni baba wa nyumba yetu Tanzania.
R Mungu akupe afya njema Raisi wetu JP MAGUFULI. Wewe ndiye yule wanyonge wote Tanzania walikuwa wanakusubiria.Endelea kufunga mianya yote ya Mafisadi. Milard Ayo thanx for habari hii nzito. Keep it up Men👍☝👍👍👍👍.
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
Hongera Mh. Rais kwa juhudi zako! sisi wengine tulipokuwa katika mchakato wa kura za maoni kuomba ridhaa ya kuwatumikia wananchi tulikuwa na nia kama hii lakini bahati mbaya watu hawajui kilichomo ndani ya nyoyo za watu! Mungu akupe maisha marefu mzee wetu!!!!!!!!!
Mh raisi hogera kwa kazi nzuri unayoifanya inapendeza kweli kwann ulichelewa kua raisi ingekua raisi awamu zilizopita tungekua mbali kimaendeleo hongera Mh Raisi wetu Mungu akuweke uzidi kututetea Ss watanzania ccm oyeeee karibu Pemba tena tunahamu uje Na Ss tunakero zetu Mh Raisi
natoka kenya watanzania muombeeni mungu sana john magufuli is the right man I like him much and I will always proud of him hio bahati uchukueni ifadhini ili iwafae kesho na kizazi chenu
asante sana Raisi, tunaomba pia kwenye bunge pia turushiwe live coverage ya mambo ya bnajeti za mwaka ili wananchi kuona na kuelewa yazungumzwayo. tunataka siasa za ukweli na siyo fekifeki.Hongera raisi kwa kupigana na mambo ya rushwa yaliyojaa hapo Tanzania ambayo yanasababishwa na viongozi wezi na FekiCheki kwenye mabenki.
Haya yote mkapa, kikwete, mwinyi hawajawahi kufatilia hii nchi imeibiwa sana, naona saivi ndio tumekua na Raisi.. Mungu akujalie maisha marefu tupo nyuma yako.
Asante sana Raisi Magufuli. Tumengojea muda mrefu sana kupata kiongozi kama wewe. Ni mzalendo kama Mwalimu Nyerere. Wachunguzwe zaidi. Wapelekwe mahakamani kufuatana na ushahidi uliopatikana. Wahukumiwe, wafungwe, mali yako kutokana na wizi irudishwe kwa wananchi. Pongezi pia kwa Waziri Mkuu Majaliwa. Mungu awalinde. Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Sawa sawa mheshimiwa, na pia naomba ufute zero Moja TU ktk peze zetu za kitzn. Tutajataririka. Allah akupe imani,akuendeleze Kati nchi mpaka mwisho wapumzi zako amin
Tough! man this deserves a Nobel prize! perhaps even the BEST PRESIDENT IN THE WORLD! he is certainly the price of Africa. he is not perfect, but he is sacrificing a lot to promote his noble agenda which is to serve the people who elected him... he has stayed in touch! which few leaders can manage.
Mzee wamezoea kula nguvu zetu hao wanajiona kama pesa zao na kutuona sisi tulowapa wadhifa mabwege hawajazoea kutuwa mikono hao wamezoea kujiongezea mazero ila mwisho wao upo allah anawona na mungu akubariki sana Rais wetu atakulipa kwa huruma yko juu ya watanzania
This man is a powerful and straight forward person, i wish him the best in future, can he come in Kenya and be our President for just 5 years. Wa Tanzania please give us your President for a loan.
Wanaomuita dicteta ni wale waliokuwa wakila bata wakiwa serikalini matumisi ya hovyo ya pesa za walipakodi yaani wananchi wanyonge, na sasa magufuri kazipiga marufuku.what do you expect? Let them speak bad upon him, but magufuri is 1st best presedent we ever had b4 or experienced!
Christopher Mutisya sio udectater ndio ginsi ilivyo uli uongoze wezi na wadhulumati pia wala rushwa na poraji sababu akiwabembeleza hawatomuishimu nivizuri kuwa force ili kila kitu kiwe saw na ndio kazi alio ahidi waraia kipindi chakuchaguliwa kama hatimizi basi yey katili
History inaonyesha mtu yeyote aliyewahi kufanya mageuzi ya kiuchumi taifa lolote hakuwahi kuwa na historia nzuri kuhusu kile kinachoitwa haki za binadamu. Fanya utafiti
Natamani President wa Kenya awe kama Mh Magufuli' Maana kule kenya Corruption ni nyingi mno na hakuna wa kuwatetea wanyonge kule' kule hakuna haki kabsaaa na ndomana uizi umezidi sana' ma police wanapenda hongo kwa wanyonge' President Magufuli nakuombea Umri mrefu Baba na niko very proud na wewe yaani nakupenda sana.. Naona ata nitabadilisha Uraiya wa Kenya niombe kuwa raia wa Tz.😍😚
mungu akulinde..akujaalie afya na umri mrefu ili Tanzania ijue thamani yake na inufaike. na kotekomeza unynyasaji wa wanyonge..ASANTE SANA ndugu yetu mzee wetu. na kiongozi wetu..
Amakweri inchi imepata mmiliki najivunia kua mtanzania nikiwa chini ya Raisi Magufuri nakuombea kwa M/ Mungu uishi miaka mingi yenye mafanikio na uendelee kutetea wanyonge. Ahsante
Wale mko hapa, Baadaya ya kifo chake nipee nilekes za JPM. He was the best president in the whole african continent. HAUKUWA RAISI WANGU, ILA SIKU ZOTE NTAKUKUMBUKA JPM. To our sister and brothers in Tanzania tutasimama nanyi siku zote! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Vp mandela
Hivi wazazi wako walikosa jina ingine?. Rip magufuli
xmsm
Pýou0mp
Tanzanian will d
Some of them will discover letter the reality
Rais bora kabisa afrika kama unakubali piga like
Yesiii
Nani apinge kwa mfanoo
Pole sana hayupo tena Raisi wetu
The best president of our time,
Nonsense
Tulikuhitaji sana baba yetu sema Mungu ndo ana madaraka juu ya uhai wetu pumzika kwa aman.
Such a true leader ,pan African and a son of the soil
We appreciate all you did for Tanzanians and Africa ,rest well sir.
Our hearts are heavy
He was not a Pan-African
This was a true leader my people!! continue resting in piece Mr President 🤦👏👏👏👏🙏🙏
The new King of Africa is there Mr Magufuli....
God bless this president of Tanzania with more protection.
Legend never die
They lives in people's heart
watanzania 2muombee du@ rais we2 magufur mungu amuweke mahali pema pepon kwa sote 2seme amin
Tuliyekua tunamtafuta tumempata ....God Bless Him
Na sasa katutoka sasa
😢😢😢😢
Nakupenda bure my president. Mungu akulinde na kukubariki!!!
Jaman tumkumbushe raisi wetu magufuli atembelee navijijini maana kumejaa wazembe mpk mafisadi
Jackline Muhanika hy.mh
Jackline MUHANIKA nakupenda SANA naomba NAMBA yako
Eti wampenda raisi bure?? Wacha wongo wewe
MUKULU akipitiah koment yako ATAKUPA mkoa fulan UUSIMAMIE kwa SABAB Kuwa Mkuu Wa MKOA lazima Uwe ni MZALENDO Fulani iv kama Jackline Muhanika Ahahaa
Kuondoka kwake...ni pengo kubwa sana kwa Tanzania na Watanzania 😢💔. RIP mzee wetu
Hakuna pengo lolote aliloacha hapa nchi iko imara kuliko alivyokuwa yy nchi ilikuwa inaingia shimoni ..!
@@hassanmfaume4522unahuwaki au unaropoka tu😬😬😬
@@hassanmfaume4522nyie ndo vyeti feki watumishi hewa navibalaka wa mabebelu always hamuwezi kumpenda huyu mzee
Kweli kabisaaa unachosema hao ndio weny vyet fek hawawez kumkubali kwa sabb aliwafagia
I will forever live to remember your Good deeds to your people..Kenya will miss you too as well as mama Africa.😢😢
Vizuri sana Mhe. Rais wangu kazi yako ni nzuri sana ndiyo maana tulikuchagua wewe, kiongozi wa nchi ni sawa na baba mwenyumba mwenye kutaka kujua kiasi cha akiba ya chakula na matumizi yake nyumbani ili kuwa na heshima ya kukitumia vizuri. Big up wewe ni baba wa nyumba yetu Tanzania.
R
Mungu akupe afya njema Raisi wetu JP MAGUFULI. Wewe ndiye yule wanyonge wote Tanzania walikuwa wanakusubiria.Endelea kufunga mianya yote ya Mafisadi.
Milard Ayo thanx for habari hii nzito. Keep it up Men👍☝👍👍👍👍.
Rosena Milia ameen
U r Joshua to take Tanzanian to the land of promise b blessed JP
Hatatokea rais kama huyu Tanzania... Rest in peace
Mungu ni mwema atatuvusha hapa alipoishia Jemedari wetu, Mungu ampe pumziko la Amani
Haitotokea Tena kwa Tanzania kupata Chuma au Mfalme Kama JPM
Amen
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
The real definition of a leader.
I really believed in this man🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jembe letu limeenda.....mwanga wa milele umuangazie eenh baba apumzike kwa amani #unforgetablepresident
Wale tunaokumbuka stori hii gonga like
Hongera Mh. Rais kwa juhudi zako! sisi wengine tulipokuwa katika mchakato wa kura za maoni kuomba ridhaa ya kuwatumikia wananchi tulikuwa na nia kama hii lakini bahati mbaya watu hawajui kilichomo ndani ya nyoyo za watu! Mungu akupe maisha marefu mzee wetu!!!!!!!!!
Mh raisi hogera kwa kazi nzuri unayoifanya inapendeza kweli kwann ulichelewa kua raisi ingekua raisi awamu zilizopita tungekua mbali kimaendeleo hongera Mh Raisi wetu Mungu akuweke uzidi kututetea Ss watanzania ccm oyeeee karibu Pemba tena tunahamu uje Na Ss tunakero zetu Mh Raisi
safi sana mtu wangu millad kwa kutusogezea mastory. mungu akupe afya nyema na ueledi zaid
This is why I keep shedding tears for this man
If they follow his way of leadership, they will succeed but if they don't, they will go with him!
natoka kenya watanzania muombeeni mungu sana john magufuli is the right man I like him much and I will always proud of him hio bahati uchukueni ifadhini ili iwafae kesho na kizazi chenu
Tomlee Abdulkadir ameen ameen thumma ameen
Good, speech
Tunashukuru sana ndugu na sasa hatunae tena
Tisha sana #MyPresident nimeipenda
Pia Big Up Kwa #AyoTV na crew nzima kwa Ujumla kwa Taarifa.
God Bless Tanzania
God Bless Africa.
This guy is the best. Kenya needs this kind of leadership.
TanzanianS we Ethiopians are jealous of ur president, I don't even speak the language but I just love ur president from what I hear
Our president is a good man who loves his country and all the people in it. And that is what makes the difference.
Am Ethiopian but I was born in Tanzanian
I
Hongera Raisi wangu👍
Be blessed ,us also we are so proud of him.
Tumempoteza mtetezi wa wanyonge. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi. AMINA.
Magufuli may God bless you tremendously. We wish our Kenyan president was atleast half ur style
My role model. Rest in power ✊🏾
asante sana Raisi, tunaomba pia kwenye bunge pia turushiwe live coverage ya mambo ya bnajeti za mwaka ili wananchi kuona na kuelewa yazungumzwayo. tunataka siasa za ukweli na siyo fekifeki.Hongera raisi kwa kupigana na mambo ya rushwa yaliyojaa hapo Tanzania ambayo yanasababishwa na viongozi wezi na FekiCheki kwenye mabenki.
Ni huzuni kubwa sana kumpoteza rais wetu magufuli
Iam a kenyan but this is a man i so much loved and adored a pure pan Africanist.
Haya yote mkapa, kikwete, mwinyi hawajawahi kufatilia hii nchi imeibiwa sana, naona saivi ndio tumekua na Raisi.. Mungu akujalie maisha marefu tupo nyuma yako.
Asante sana Raisi Magufuli. Tumengojea muda mrefu sana kupata kiongozi kama wewe. Ni mzalendo kama Mwalimu Nyerere. Wachunguzwe zaidi. Wapelekwe mahakamani kufuatana na ushahidi uliopatikana. Wahukumiwe, wafungwe, mali yako kutokana na wizi irudishwe kwa wananchi. Pongezi pia kwa Waziri Mkuu Majaliwa. Mungu awalinde. Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
in
May Allah The beneficent the merciful protect and guide Rais Magufuli. This president loves his people!
Magufuli forever 😢 . We will always keep your soul in our hearts♥️♥️♥️♥️
Tutakukumbuka daima Mh. Rais wetu JPM. Mungu ailaze roho yako mahali pema mapeponi
Sawa sawa mheshimiwa, na pia naomba ufute zero Moja TU ktk peze zetu za kitzn. Tutajataririka. Allah akupe imani,akuendeleze Kati nchi mpaka mwisho wapumzi zako amin
Ur number 1 President in the world mwenye hataki uongo na mchezo kazini GOD bless you.
Magufuli is real OG ,, statistically he's the best E.African President viva magufuli !!!!!!!!
Gorilla Ezra Amen trying to end corruption
Manshallah makufuli uko sawa sana
👍
This man never die.He still lives on.
Tough! man this deserves a Nobel prize! perhaps even the BEST PRESIDENT IN THE WORLD! he is certainly the price of Africa. he is not perfect, but he is sacrificing a lot to promote his noble agenda which is to serve the people who elected him... he has stayed in touch! which few leaders can manage.
RAIS wetu MUNGU akuweke sehemu sarama urikuwa unatufurahisha sana wanainchiturikupenda sana,
Mzee wamezoea kula nguvu zetu hao wanajiona kama pesa zao na kutuona sisi tulowapa wadhifa mabwege hawajazoea kutuwa mikono hao wamezoea kujiongezea mazero ila mwisho wao upo allah anawona na mungu akubariki sana Rais wetu atakulipa kwa huruma yko juu ya watanzania
mungu akubariki rais wetu mpendwa kwa kupenda wanyonge fanya kazi tupo nyuma yako inshaalah.
The best E.African president.. Commenting from Kenya
Magufuli was atrue reflection of areal leader you will forever be remembered legend RIP.
good leadership.salute mheshimiwa rais.
Huyu jamaa alikua wapi siku zote hizi? Duh, inabidi Watanzania tumuombee sana huyu jamaa. Hadi nahisi kuiona Tanzania ya miaka kumi ijayo...
zari
Basilius Giligwa ameen
mwanzo mwisho babaaa
q
hapa kazi 2 wabishi kufa
Daaaa, Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania
May the blood of our Lord Jesus Christ protect you from left and right, front and back, above and below! You are a walking angel.
Ongeera Raisi Maufuli, how can other African Presidents and leaders learn.
I envy Dr. Magufuli God bless this Man.
Marete JK
Am a Kenyan..i wish Magufuli was a Kenyan leader...our country is full of ghost workers and corruption,,,,,may God bless Tanzania
God bless you my friend your my near l love you so much am from+255
Ameen
Mdaki mosses ✊✊
Absolutely ... we would be far interms of development
haaaaa
DR, KUYA kweetu, UGANDA, tunataaka wantu kama wewe, our east african president, keep the spirit
HIKI KILIKUA NI KICHWA 💪💪💪
nandomaana nakupenda unafanya kazi kwauhakikaa nakwaumakinii munguu akulinde
Mungu azidi kukuongoza Rais wetu.
How I wish all the African Presidents were like Dr. John Pombe Magufuli
#admiration
Magufuri I love youuuuuu......uwiiiiii yemweeeeee! walahi nilikungoja mimi.
Watu wamenuuuuuna,utafkiri izo sura zao zilizokunjika zinamzuia Dr kuongea ukwel.
Mungu mpe uhai mrefu raisi wetu.
Norah Goodluck M ameen
Norah Goodluck M wamenyamaza cheeee!
Wezi wote hao, ona sura zao!!?? wapo kwa taharuki, na nyodo zilizokua mjini’ kumbe wezi watupu.
Magu dua kwa sana kwake wallah’
Hahahaa acha mzee wetu achape kaz
@@azizayassin3623 mali instead of biwa
R.i.p. pumuzika kwa Amani raisi wetu
Hongera baba ondoa ufisadi Tanzania kabisa tukimaliza ufisadi Tanzania ni tajiri mno
Mr. President, so far so good. Keep it up.👍👍
My most favorite President in Africa, love him so much.he's so real and ready to make Africa great again
Tulikuwa Tunakupenda sana Yaan JPM, Chuma cha Africa, Africa lmelia
Kaz nzur mheshimiwa ,Mungu akupe afya njema uzd kutupigania tz
RIP bahanaa...! Tunamkubuka sana... Dr Magufuli. tutakukumbuka daima. 2022
if congo had such a president it'll be one of the powerful country in the world
Exactly
I think Congo is the richest country in Africa and the world at large.
True
@@nampijjanazifah6358 it’s but poor leadership has destroyed it. Congo needs its true son a patriotic leader not a puppet
@@davidkokomushagalusa6566 true most African countries luck patriotic leaders
This man is a powerful and straight forward person, i wish him the best in future, can he come in Kenya and be our President for just 5 years. Wa Tanzania please give us your President for a loan.
With him Pdt Magufuli, Africa must follow his style of ruling for a better and developed Africa. Viva Tanzania....
Usimamizi na uwajibikaji uliotukuka nauona kwa Rais wangu Allah ibariki Tanzania
This is a tough president. its what we need in Kenya.
nyinyi watu wa reggae na bbi
Proud of You Mr President, restoring sanity galore..
😭😭👏👏mungu akusaidie kwenye kaz yako mze Joseph pombe magufuli 🙏
Rip
Japo kuna tetesi za udikteta, nampenda huyu raisi. Mimi ni Mkenya lakini tunahitaji viongozi kama hawa Africa.
Wanaomuita dicteta ni wale waliokuwa wakila bata wakiwa serikalini matumisi ya hovyo ya pesa za walipakodi yaani wananchi wanyonge, na sasa magufuri kazipiga marufuku.what do you expect? Let them speak bad upon him, but magufuri is 1st best presedent we ever had b4 or experienced!
Safi
Wanao sema dicter ni mafisad
Christopher Mutisya sio udectater ndio ginsi ilivyo uli uongoze wezi na wadhulumati pia wala rushwa na poraji sababu akiwabembeleza hawatomuishimu nivizuri kuwa force ili kila kitu kiwe saw na ndio kazi alio ahidi waraia kipindi chakuchaguliwa kama hatimizi basi yey katili
History inaonyesha mtu yeyote aliyewahi kufanya mageuzi ya kiuchumi taifa lolote hakuwahi kuwa na historia nzuri kuhusu kile kinachoitwa haki za binadamu. Fanya utafiti
Natamani President wa Kenya awe kama Mh Magufuli' Maana kule kenya Corruption ni nyingi mno na hakuna wa kuwatetea wanyonge kule' kule hakuna haki kabsaaa na ndomana uizi umezidi sana' ma police wanapenda hongo kwa wanyonge' President Magufuli nakuombea Umri mrefu Baba na niko very proud na wewe yaani nakupenda sana.. Naona ata nitabadilisha Uraiya wa Kenya niombe kuwa raia wa Tz.😍😚
Mungu mbariki Rais wetu. Mlinde Eee Bwana
Pumzika kwa amani baba mwana harakati ambaye umetutetea sana tinshukuru mungu kwa ulivyo tutendea.
Mungu ni mwema kwa Rais wetu Jpm
Pumzika kwa Amani Baba kazi uliyoifanya inaonekana tumekumiss sana Rais wetu
Pumzika kwa AMANI shujaa Wetu wa Africa 😭😭😭😭
Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi
@@ShSh-my8cw Ameeen yarrab 🙏
My president you have all qualities of a leader so very exllent
Utuba yajafali alubaii
Watanyoka tuu warizani kama zamani kupiga mahesabu hewq
Karibu orkesumet baba
mungu akulinde..akujaalie afya na umri mrefu ili Tanzania ijue thamani yake na inufaike. na kotekomeza unynyasaji wa wanyonge..ASANTE SANA ndugu yetu mzee wetu. na kiongozi wetu..
Like baba wa taifa akili mingi sana 🔥🔥🔥
Wha,samahani ametuacha
Humu kuna maswali mbanano Mungu akupumzishe Hayati Mh. Rais
Kibeg! Issaya apa mungu ametoa na mungu amechukua baba magufuri kalale mahali pema pepon amin na kumbuka watanzania kila nafc itaonja umaut
You are the best president Mr Magufuli, keep it up
Ramadhan Mgonja mm mm mahujajl
Amakweri inchi imepata mmiliki najivunia kua mtanzania nikiwa chini ya Raisi Magufuri nakuombea kwa M/ Mungu uishi miaka mingi yenye mafanikio na uendelee kutetea wanyonge. Ahsante
Sakayonsa Kihunga hahahahahaaaaa
Duuuh kwael jamani
Baba yetu
Mwenyez Mungu awe pamoja na Muheshimwa Rais mama Samia Suruh awe na upeo zaid wa huu Marehem 😭other wise tutaibiwa san
Amna kitu. Tumepigwa
Jembe limenda jamani poleni Tz 😭😭😭
Mungu alikuleta kwa kazi maalumu.. Res in Paradise Mr. President
Nakukubali Raisi wetu
Japokuwa mimi ni Murundi namupend san laisi Magufuli ❤️❤️❤️❤️
Rais Magufili we ni Kichwa. Mungu akulinde daima. Kama kuna watenda kazi 10 kama wewe nyuma yako Tz itakuwa Paradise.
UKO JUU DKT JOHN POMBE.....JOHNS # HAWAPENDAGI UJINGA
Magufuli, Pombe Magufuli juu tena juu sana
...mtwa mkwawa was strong....magu ,magu,magu, magufuli, brother pumzika brother...
You deserve better John, Good job!
be blessed our dear President
Daah mungu akulaze mahali pema peponi