KIMEUMANA! WATUMISHI WAKATAANA MBELE YA WAZIRI MKUU, PESA ZAPOTEA - "NANI ALIWATUMA MTOE PESA?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 сен 2023
  • KIMEUMANA KIGOMA! WATUMISHI WAKATAANA MBELE YA WAZIRI MKUU, PESA ZAPOTEA "NANI ALIWATUMA MTOE PESA?"
    Waziri Mkuu amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma, Steven Mafiga afanye haraka kuwachunguza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Bi. Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Wilaya hiyo, Bw. Majjid Mabanga ili kubaini ni kwa nini miradi haiendi wakati fedha zilishatolewa kitambo.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 316

  • @EmanuelFesto-nm8fu
    @EmanuelFesto-nm8fu 2 месяца назад +3

    Waziri mkuu nakupa ongera kwa kazi nzuri pia enderea kutetea wanyoge pia nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu pia akujalie nguvu na afy

  • @user-hs3er9ed6l
    @user-hs3er9ed6l 2 месяца назад +2

    Baba, Majaliwa Mungu akulinde,unanifanya nimkumbuke MAGUFULI it ko vizuri, wewe, makonda mko vzr

  • @aminafundikira126
    @aminafundikira126 3 месяца назад +4

    Yaani hao watu hawana upendo kutoka moyoni wala hofu ya Allah hiyo ndio shida kubwa inayotokea.

  • @EricEricsaid
    @EricEricsaid 5 дней назад

    My hero Allah hakupe maisha marefu Ameen

  • @godsson5954
    @godsson5954 8 месяцев назад +4

    bravo mh Waziri mkuu your the best hongera kwa Mh dr mama Samia your the best lakini ni heri kusiwe na wateule bali nafasi za wakurugenzi na wakuu wa wilaya na mikoa ziwe nafas zinazotangazwa na watu wa apply kama kaz zingine kisha tunaomba wafanyiwe vetting wapimwe na akili vizur pamoja na shule zao na uraia wao kisha wajadiliwe bungeni then waapishwe naona ikiwa hv ndo wataheshim mali na heshima ya serikali

  • @raulnassor5761
    @raulnassor5761 8 месяцев назад +5

    Uwe raisi nakuchaguwa km magu daah!unatukumbusha mtu wetu,mungu alaze mahalo pema peponi Amin.

  • @SensaManzagata-tv7ds
    @SensaManzagata-tv7ds 5 месяцев назад +1

    Tunakuamini sana waziri mkuu wetu hakika wewe ni jembe letu ahsante Mungu akujaze daima AMEN

  • @user-tv8ym6ec6m
    @user-tv8ym6ec6m 7 месяцев назад +1

    Mhs,waziri mkuu,pole na majukumu,pia hongera kwa kazi unazo zifanya tunazojua,njoo tarime nikero tanesco hasa pale hitirafu zaumeme zinapotea jitokeza,mfano mita kutoka peleka umeme kwenye nyumba ya mtena,unaomba msaada kulekebishiwa,inakuchukua ha wiki hata mbili mteja ukiwa ngiza,sasa wateja ndio wapande kwenye nguzo kulekebisha tatazo tusaidie tarime kweli nishida

  • @SimonKitaly
    @SimonKitaly 8 месяцев назад +2

    Mkuu wangu waziri mkuu Mungu akubarii sana,siamni masikio yangu ninayoyaona na kuyasikia Mungu ameanza kujibu usiogope Mungu anakulinda

  • @jonesbrighton2874
    @jonesbrighton2874 2 месяца назад

    Ongeren sana kiongoz tfikie na kwetu Bukoba Vijjn muone

  • @user-sl3ww1vg4w
    @user-sl3ww1vg4w 8 месяцев назад +1

    Hongera sanaa waziri mkuu kwa kutetea kodi za wananchi

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 8 месяцев назад +3

    Mungu atusaidie jaman

  • @jamesyegera5918
    @jamesyegera5918 6 месяцев назад +1

    Magufuli wangu ,Majaliwa wangu raisi wangu, ❤❤❤

  • @user-el3hf1jl8g
    @user-el3hf1jl8g 6 месяцев назад +1

    Asante baba

  • @LeahAlbinus-og9by
    @LeahAlbinus-og9by 6 месяцев назад +1

    This is too hot,, Mwenyezi Mungu awasimamie viongozi wetu waaminifu, mna kazi ngumu sana

    • @nehemia397
      @nehemia397 3 месяца назад

      kazi ngumu si wamejipa wenyewe.
      mfumo wa CCM ni mbovu .

  • @hajinjuku-be7iq
    @hajinjuku-be7iq 7 месяцев назад +1

    Asanti sana waziri kwa kazi mzuri ni wachache wanaofanya hivo

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 8 месяцев назад +2

    Mh ,hata bukoba mjini
    Sehemu ya kyabitembe block A majambazi yamezidi watu wanavamiwa nakubakwa,na hawaogopilolote maana hakuna msaada wowote kuwasaidia wa wananchi

  • @KishokaMrumakishoka
    @KishokaMrumakishoka Месяц назад

    Yani viongozi kama waziri mkuu mi nawapenda sana tena sana

  • @jameskaizilege1692
    @jameskaizilege1692 8 месяцев назад +1

    Baba unastairy mh waziri mkuu na mungu akusaidie

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 5 месяцев назад +1

    Sio ukweli ni kneels tu

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 3 месяца назад

    Hongera waziri mkuu hao ndio wanaotugombanisha na wananchi na kuwapanguvu wapizani

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 3 месяца назад

    Wallah wanatia
    hasira

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 8 месяцев назад +1

    Tumbua hao sasa hivi.washenzi sana hao. Mh. Majaliwa tunakuamini.

  • @user-ys5zh8nt2e
    @user-ys5zh8nt2e 5 месяцев назад +1

    Hamnaaa kitu hapo mkuu viongozi hawa naona waka risti

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 8 месяцев назад +2

    Hawa wote ni chukota na Kusukuma Ndani. 😢😢😢 Sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanry

  • @user-lj6nv8dq6m
    @user-lj6nv8dq6m 4 месяца назад +1

    Kelele zote hizo tunataka utekelezaji wa atua wanao chelewesha acheni siasa kuwapanga watu

  • @aminafundikira126
    @aminafundikira126 3 месяца назад +1

    Wamejazana tu maofisini kaxi haxiendi hivi kweli wilaya moja wafanyakazi tele wanacho kifanya hakionekani ukweli hii ni shida kubwa mno.

  • @emanuelkatambi6902
    @emanuelkatambi6902 8 месяцев назад +9

    Huyu ndiye MAJALIWA niliyemfahamu kipindi cha Mzee MAGU ameanza kurejea tena

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 8 месяцев назад +1

      Siku hizi nimeishiwa na uwaminifu wake RIP mzee baba Magufuli hii awamu ni pacha na ile ya awamu ya 4 yaani fuulu MAJANGA lakini kwa mbali naona kama wanajilipa kiana kutokana na machungu ya msiba wa mzee baba MAGUFULI usiokuwa na maelezo ya kutosha kwa watanzania #etianaupigamwingi 🤣🤣

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 2 месяца назад

    Pesa ya Miradi inaliwa na Watendaji waliochaguliwa na Serikali yake pia Fedha ya kutoka kwa Wafadhili zinawekwa Mifukoni mwao sababu ya ukosefu wa uaminifu wa Watendaji wafanya kazi pole sana Serikali iliyoko Madarakani

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 3 месяца назад +1

    Tatizo ni mfumo wa uteuzi.kujuana,acha waibe tuu .mama anawachekea,

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 8 месяцев назад +1

    Hafai hasimamii na Wala hafuatilii huo ni uzembe

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 5 месяцев назад +1

    Mtupe sisi huku tunataka kazi tutalitumikia Taifa ipasavyo!!

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 8 месяцев назад +1

    Ndo mfumo wa ccm mliojijengea wa kuacha fedha za serikali maofisn Ili mgawane IPO ck Mungu aliyehai atawalipa tu rushwa tu

  • @user-wu7vt4wm2h
    @user-wu7vt4wm2h 8 месяцев назад

    Mlikua wp wote kumbe n wazur ivo ❤❤❤❤ majaliwa

  • @alisaidi2620
    @alisaidi2620 24 дня назад

    Shida ni nyinyi viongozi wa juu hizi pesa mukitowa munatosa kisiri bila cc kujua

  • @dicksonexavery726
    @dicksonexavery726 8 месяцев назад +1

    Ccm mmeshindwa kuendesha nchi u must go.

  • @abdillahhassan6271
    @abdillahhassan6271 8 месяцев назад +2

    Hawa munawalea sana pesa wanajikopesha wanafanyia biashara kama ukisinzia kama alivo sinzia mama wanazila

  • @roseshirima3168
    @roseshirima3168 6 месяцев назад

    Baba hongera kwa kufichua kuna uozo mwingi upo umejificha

  • @mathiasmanonga3939
    @mathiasmanonga3939 8 месяцев назад +1

    Wamejichanganya sana wangekuwa uniform wangetoboa hapo

  • @user-dp1ch6vv6z
    @user-dp1ch6vv6z 4 месяца назад +1

    Hawa watu wanapokutwa na makosa wawe wanawekwe ndani kwanza, kisha wafilisiwe,shida ya nchi yetu imekuwa ikiwahamisha na kuwapangia maeneo mengine ya kazi utafikili uko waendako hawata iba tena,suluhisho la kukomesha wizi ni kuwafilisi na kuwafunga ili wenye tabia izo wajifunze kuwa waadilifu

  • @DiorMabaril-qy6yp
    @DiorMabaril-qy6yp 2 дня назад

    Tupawote ndani wanachafua inch

  • @sylvestermitanda3502
    @sylvestermitanda3502 3 месяца назад

    Serikali yetu Tukufu ya Chama chetu cha Mapinduzi,inatekeleza ilani ya Chama sawa sawa.Na inalekeza fedha kwenye miradi mbali mbali Nchini,yenye dira ya kuleta mabadiliko ya Nchi yetu.shida ni kama hao watendaji wasio waadilifu kwenye hizo Halmashauri.Mheshiwa Waziri Mkuu wabane hao.Na Hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuwafuatilia.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 месяцев назад +1

    Kukamilika ujenzi hapo hakuna.Mhe.

  • @user-hx3mq5fg7v
    @user-hx3mq5fg7v 3 месяца назад

    Nataman mwaka mmoja uwe Rais wa nchi hii

  • @user-ly3ob4vp3c
    @user-ly3ob4vp3c 3 месяца назад

    Wetu wanailaumu serikali kumbe kuna watendaji wazembe wanaiba vibaya mno miradi haikamiliki aisee 😢hii ni hatari 😮

  • @user-ys5zh8nt2e
    @user-ys5zh8nt2e 5 месяцев назад

    Hvii huyo nikiongozi kweliii mbona mwamchosha waziri wetuuuu

  • @aminafundikira126
    @aminafundikira126 3 месяца назад

    Baba Mheshimiwa kazi unaifanya kweli

  • @williamngalla1068
    @williamngalla1068 8 месяцев назад

    Daaaah

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 8 месяцев назад +1

    Katiba mpya ni sasa

  • @georgevalilanga7412
    @georgevalilanga7412 8 месяцев назад +3

    Hongera wew ndio raisi wa ichi hii

  • @JaphalyMbena
    @JaphalyMbena Месяц назад

    Majariwa makonda mmepikwa mmeiva.. vizuri. Bado kwenye maamuzi toa uyo weka mwingine

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 8 месяцев назад

    Imeshaliwa hyo

  • @courtesyHealthservices-bg8we
    @courtesyHealthservices-bg8we 8 месяцев назад

    Kongole,Tua Mama Ndoo Kichwani.

  • @MrsmadoshiSalum-go9pe
    @MrsmadoshiSalum-go9pe 8 месяцев назад +1

    WAZIR MAJALIWA NAWEW NIMSANII MTU UNAONA KOSA ALAFU UNASEMA ACHUGUZWE NAWEWE JITASIMINI

  • @user-in1zr7vk2z
    @user-in1zr7vk2z 8 месяцев назад

    Endelea na kazi

  • @JaphalyMbena
    @JaphalyMbena Месяц назад

    Majariwa oyoooooooooooooooo lete chomboooo ayo ndo maamuzi ya kiume hapa kwa hapa

  • @FrankAngolwisye-mr1nc
    @FrankAngolwisye-mr1nc 5 месяцев назад

    KWA KAZI NZURI YA WAZIRI MKUU KAMA HII UOVU KAMA KAMA HUU UNAWEZA KUKOMA KABISA. HONGERA WAZIRI MKUU KWA KAZI NZIRI SANA!!!

  • @NdageKitahama
    @NdageKitahama 3 месяца назад

    Hao ni wezi hata maelezo hayatoshelezi kamata hao hela wameshakula hapo hakuna hela hela za umma zinaliwa tu

  • @NdageKitahama
    @NdageKitahama 3 месяца назад

    Maelezo waliotoa ni ushahidi tosha hela zimeshatafunwa jaman hivi nchi hii tutafika kweli watu hawaogopi pesa ya umma wanazitafuna Kama zao yaani ningekuwa mm waziri mkuu nikukamata tu na kuwaweka ndani Kwanza alafu maelezo badae hapo hela zimetafunwa

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 8 месяцев назад

    Majaliwa Khasim...
    Kiongozi .

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 8 месяцев назад

    Kweri mzee ukamilishaji

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 8 месяцев назад

    Kasimu anafanya kazi sana tatizo wakurugenz njaa nyingi

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 3 месяца назад

    Unajua tatizo linakuwa hawachukuliwi sheria ndiyo sababu wanafanya wanavyotaka😮

  • @geraldmaleko8390
    @geraldmaleko8390 8 месяцев назад +1

    Maigizo tuuu😢

  • @user-on6lf6kq4h
    @user-on6lf6kq4h 3 месяца назад

    Waziri mkuu njoo na huku nkasi ututembelee baba

  • @user-gx2do8ls8z
    @user-gx2do8ls8z 8 месяцев назад +1

    Huuuyuuu mzeee🙏🙏🤦🙏🙏

  • @Samweli-vw8ji
    @Samweli-vw8ji 8 месяцев назад

    Wazuri mkuu na matehemu magufuli ww jembe kama Mzee maguu bc unastahilu kuwa kiongozi Bora ndani ya nchi yetuu

  • @Ambwene
    @Ambwene 8 месяцев назад +5

    Walishaambiwa na mamaenu samiah kwamba kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake lakini asivimbiwe

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 месяца назад +1

    Wapigaji wengi Tzd kwakweli na Serekali mnawaachia tu hamuwachukulii hatua mnawalea saana tu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 месяца назад

      Sasa kama Panya road wavaa suti ni karibu darasa lote nani atamtoa mwenzie nje ya darasa ?😅

  • @saidsalum423
    @saidsalum423 8 месяцев назад

    Fukuza wote hao unasubili nini pm

  • @mchomvutv2426
    @mchomvutv2426 3 месяца назад

    Tatizo wanaogopa kupitisha madokezo kwa sababu hawaaminiani kila mtu anahisi anapigwa😢😢😂

  • @user-nn2it7le4y
    @user-nn2it7le4y 8 месяцев назад

    Kiongoz wng uliobak wa muda wte love dady

  • @user-pr7pe4lf8p
    @user-pr7pe4lf8p 8 месяцев назад

    Hii Nchii ngumu sana

  • @tabiaramadhani2348
    @tabiaramadhani2348 6 месяцев назад

    MUHESHIMIWA WAZIRI MKUU MWENYEZI MUNGU AKUFANYIE WEPESI WA KILA JAMBO LAKO LIWE JEMA AMINA FANYA KAZI NA UJE VIKAWE WILAYA KIBAHA MKOA WA PWANI KARIBU SANA KUNA MAUJENZI UYAANGALIE HUKU NAKUOMBA

  • @nicksonpontion7105
    @nicksonpontion7105 2 месяца назад

    Kupitisha Dokezo ni kikwazo yaan halmashauri wanasumbua hatari ndo maana mtu hadi unachoka ase

  • @pvkanyorota264
    @pvkanyorota264 5 месяцев назад

    Tutamkumbuka sn Magu watu wanajilia tu vya wananchi huku mishahara wanapata kubembelezana kwingi sn hamna kitu hapo Waziri mkuu komaa nao mbele hao niwapigaji

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 месяца назад

    Kuhusu Fedha za Miradi ya kujenga Shule Miradi nyingi sana Fedha hazitumiki inavyotakiwa

  • @user-vt9dm3zk6g
    @user-vt9dm3zk6g 8 месяцев назад

    Muheshimiwa waziri Mkuu piga kazi kusaidia Raia wako .Hawa watumishi ndio unao wafanya wananchi kulalamikia serikali .muheshimiwa waziri Mkuu awo usiwaonee huruma ,W aziri wapo Watanzania ni wengi sana ambao.wangeiweka serikali Katika maendeleo.Waziri Mkuu naomba wasikuzingue Watanzania ninawafahamu sana tu wanalamba tu fedha .Je muheshimiwa sentiment ziko ngapi .wangine fedha zipo wengine hazipo.Waziri nakuomba usipoteza na sauti yako muheshimiwa .piga kazi muheshimiwa nimekupongeza sana juhudi zako.ujumbe utoka nje ya Tz

  • @ZenaMwakalambile
    @ZenaMwakalambile 3 месяца назад

    Shida vikao vya ndani,hebu fanyeni kama makonda,malizana nao hapohapo waludishe hera sio mahakaman hela mliikabidhi mahakama,basi hata hela muwemnawakabidhia mahakaman.acheni kutuinyoyi.

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 3 месяца назад

    Chumaaaa ichooo baba

  • @user-tx1yb3my3m
    @user-tx1yb3my3m 8 месяцев назад +1

    Inchi imeliwa Sana watupishe tuu

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 8 месяцев назад +1

    Simuwafukuze kazi

  • @NdageKitahama
    @NdageKitahama 3 месяца назад

    Hao sio kufukuza kazi tu napesa walizoiba wazirudishe na wakamatwe wawekwe ndani

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 3 месяца назад +1

    Mlisema jpm alikuwa dikteta. Mtaendeleaje na wakurugenzi wa namna hiyo. Watu wanastahiki kufungwa maisha. Bila udikteta nchi haiendi. Angalia China hata kainchi kama Rwanda. Mambo ya haki za binaadamu na ushoga ni ugoro mtupu. Wanatunza fedha wakingoja mianya ya kuzipiga. Ongeza ukali Majaliwa tuko nyuma yako.

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 4 месяца назад +1

    Mungu azidi kukulinda baba...
    Mhshmw Majaliwa na Makonda majembe ya mama yetu Samia

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 месяцев назад +1

    Mhe.hawa watu wezi na wazembe sana jaman duh.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 месяца назад

      Tatizo wengi mpaka baadhi ya Mawaziri ni mizigo wanabebana na kulindana

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 8 месяцев назад

    Mheshima tunakuomba uchukue formu 2024 tunakuomba wewe ni Raisi wa wanyonge

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 8 месяцев назад

    Walitoa hela ya Halmashauri kwenda Shuleni alifuatilia lakini kuna shida

  • @mwihomekegod2396
    @mwihomekegod2396 8 месяцев назад

    Mmmh hii imeenda watu tuache urasimu

  • @uwesusaid5334
    @uwesusaid5334 8 месяцев назад +2

    Katika uongozi wa sasa kuna madudu San watu hawatumbuliwi kabisa watu hawana hata hofu

  • @rehemaothaman486
    @rehemaothaman486 8 месяцев назад

    Hiii dunia ina maajabu sana

  • @sawackoswald9322
    @sawackoswald9322 8 месяцев назад +1

    Mzee wanawaona wananchi ni manyani mkuu pesa za walipakodi zanaliwa tu

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 8 месяцев назад

    Huyu Mkurugenzi mmemtoa wapi ? Uzoefu wake ? Daaaaah!

  • @carolihando6271
    @carolihando6271 3 месяца назад

    Tumengoja mvua inyeshe ili tuone panapo vuja. Sasa tumepaona. Uteuzi pia uhdaifu ulikuwapo

  • @user-bv1jd6qw7z
    @user-bv1jd6qw7z 27 дней назад

    Fukuza . Mnaleana Sana

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 8 месяцев назад

    Pesa zinaliwa wekeni uchunguzi

  • @user-gx1gr6lr6x
    @user-gx1gr6lr6x 3 месяца назад

    Wezi hao wapewe kichapo

  • @user-es6gv7nu4n
    @user-es6gv7nu4n 8 месяцев назад

    Wapewe azabu lile fundisho kwa wengne,hakuna utofauti na wahujumu uchumi.

  • @lukumanisharifu
    @lukumanisharifu 8 месяцев назад

    Mzee ongera sana ila mtwara madudu mawilayani hususani masasi Mzee plz

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 8 месяцев назад

    Hií si aina bora ya uongozi. Si uongozi bora. Huu ni unanyasaji Magufuli style. Mbaya!!!!!!!!!!!