John heche great. Head in Tanzania politics way John heche answering questions from locel Tanzania janalist it show John heche is the leader on high level and has the righty to fight on vice charman in chadema political party l love that way has answering all questions from local Tanzania janalist
@@jafarimsigwa277 kwann yatokee machafuko nani wa kuyaleta machafuko? Bila Shaka wanaojiona wao ndio wenye hii nchi ndio wataleta machafuko kwa sababu ya kutokubali maslai ya wananchi kwa miaka hii yote wanayoongoza
Unaongea point sana mkuu naamini mwenyez mungu atakujaali na utashinda tu mkuu sioni mpinzani wako kma ana anaweza kuongea chochote ukimuuliza kwann unagombea zaidi wanataka kuendeleza upigaji tu
Huyu jamaa ni kiboko sana chadema huyu ndio kiongozi anjua kujibu maswali na kushawishi watu kweli mbowe anastahili ajitoe kabla ya uchaguzi ili alinde heshima
The soldier is going to join the hustler Tundu Antipas Lissu Tunataka serious politician kama hawa gilba za SISIEM zinapaswa kufika mwisho We are tired of the stupid politics za Freeman Mbowe na porojo zake
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano kila mkoa. Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi. Utaona ccm ndio wanapendelea aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.
Heche ni muhasibu Lissu Mwanasheria tukiwaweka pale magogoni Week sisi ni matajiri tunaweza kuishi bila kufanya kazi miaka 5 tukala tukanywa na tukazurura duniani guys. Tuacheni uzembe wa kufikiri. Tz sio masikini kama sisi tuliozaliwa hapa,ebo!
Hiki chama cha demokrasia na maendeleo ili kiwe salama na kiendelee kustawi zaidi wapiga kura wote mpigieni Lisu na Heche na katibu mkuu mh, God bless Lema. Mkifanya hivyo mtaona chama kinavyo stawi na kuamusha upya mioyo ya wananchi.sasa ivi watu wamekata tamaa wanachotaka wananchi wanataka kuona mfumo wa uchaguzi umebadilika yaani tume ya uchaguzi isiyoingiliwa na mtawala yeyote kiwe chombo huru ndipo mtawaona wananchi hawa watakavyojitokeza kupiga kura kwa wingi.
Nilimsikiliza sana Juzi Ntobi na Yericko Wakati wa mdahalo,walisema wapiga kura ni Elfu moja miambili,na karibu Team Lissu wengi hawapo Kwa kuwa walishindwa kwene chaguzi za kanda ,Kwa mtindo huu,hatakama sisi wengine Tunamtaka Lissu na Heche hamwoni kuwa chama kinakwenda kujichaguliwa watu ambao kimsingi siyo chaguo la Watanzania?Mungu Ongoza Uchaguzi huu Haki itendeke
Big up mh. Heche. Umeongea kukubwa sana. Ila kwa ushauri kiongozi anaekufaa kua juu yako ni Mbowe maana na msikivu. Lisu anapenda kukinukisha mwepesi wa jaziba
Nadhani Sasa mabadiliko ndani ya Chadema yataonekana,Lissu na Heche ni viongozi sahihi kwa nyakati hizi ndani ya Chadema, Mbowe apewe heshima yake kwa kazi nzuri aliyofanya abaki na legacy yake, nashauri Mbowe ajitoe ktk hii kinyang'anyiro abaki kuwa mshauri wa chama.
Mbowe,Boni na Wenje walimchukia Lissu alipokataa ile hela ya Abdul,hakuna Abdul nchi hii sio tegemezi ya wazazi na ni mbinafsi kishenzi alafu hana elimu ya ujuzi ni mtumia mbinu za wazazi wake always
Waandishi wote wa habari wote ni pro ccm. Kwa sasa Ccm ndio wanamtaka Mbowe eendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema ambaye ni Liberal. Wanamwogopa Lisu maana ni radical mwenye kutaka mabadiliko ya kweli.
Nyanda hajui kuuliza maswali kwani hata kwenye kipindi chake cha medani za siasa muda mwingi huwa anajuwa muongeaji na si mdodosaji. Pia anapenda ujibu anavyotaka yeye.
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano kila mkoa. Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi. Utaona ccm ndio wanapendelea aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.😂
Kinachonishangaza ni kwamba, baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanadai makamo wa mwenyekiti kuwa hafai kuwa mwenyekiti wa chama. Ataweza vipi kuongoza nchi iwapo ninyi mnadai hawezi tu kuongoza chama?
Mmm. Hivi ni keki Gani hiyo inayozungumziwaga na wanasiasa 😂😂.Mbona mi naona watanzania wapi huru jamani wanafanya biashara bila kuzuiliwa, wanalipwa mishahara Yao Tena Kwa wakati, Wanafunzi mikopo wanapewa Tena Kwa wakati. Wafugaji wafuga hawana shida. Hizo shida mnazosema CCM wanazo ni zipi. Mmm!!!! Nimeuliza Kwa uzuri tu.😊😊😊😊
Umeeleza mengi ndugu, lakini jaribu basi kufiri japo kidogo vip kuhusu waliotekwa, kuuawa, kupotezwa, kupigwa risasi, mishahara duni, halingumu za wananchi, wizi wa kura, ufisadi naoibua CAG kila mm mwaka n.k. unataka tuongozwe kama mbuzi kwa kuswagwa au kama binadamu wenye akili na utashi. Tafakar ndugu haya mambo itakusaidia kujenga hoja vizur
John heche great. Head in Tanzania politics way John heche answering questions from locel Tanzania janalist it show John heche is the leader on high level and has the righty to fight on vice charman in chadema political party l love that way has answering all questions from local Tanzania janalist
Thank you, Heche!
Tuna kwenda na lisu pamoja na John heche
❤❤Heche unatisha nasunami uko vizuri mbowe apishe hawezi upepo wa tsunami akaekando
Tunahitaji siasa ngumu kama hizi kwenye nchi kama hii💪💪💪💪
Yakitokea machafuko utakimbilia wapi?
@@jafarimsigwa277bora yatokee
@@jafarimsigwa277 kwann yatokee machafuko nani wa kuyaleta machafuko? Bila Shaka wanaojiona wao ndio wenye hii nchi ndio wataleta machafuko kwa sababu ya kutokubali maslai ya wananchi kwa miaka hii yote wanayoongoza
Kabisa..✊🏿✊🏿
@@jafarimsigwa277Nchi yetu hakuna matukio Wala machafuko yatakayotokea Imani yetu itazidi kudumu
Asante Muheshimiwa Hecheee
Upo vizuri sana heche
Ushari wangu kwa Mboe na wenjewakalime mvua zimeishaanza siasa zimewashinda wasiseme sijawaambia.
Sipati picha CHADEMA inaongozwa na Mwenyekiti:Lisu, Makamu Mwenyekiti:Heche, alaf Katibu: Lema, wote n wabishi na misimamo mbele
😂😂atari sana
Eti muwape nchi😢
Kitawaka aisee
Wanastahu Sana, hao unaowadhani ni wapole umewafaidi nini zaidi ya dhuluma kwa miaka mingi.
hao Unao dhani Ni Wastarabu Umefaidika Na nin Mbwaa weww 😂😂😂@@agnettakamugisha4984
Good speech!
Heche kitambo namkubali, huyu Jamaa Ni mkrya kweli
Heri Taifa Ambalo Bwana ni Mungu wao wataitwa wana wa upendo
Dini ikimeza akili ni ugonjwa wa afya ya akili 😢
Ongera sana heche kwa misimamo yako
Unaongea point sana mkuu naamini mwenyez mungu atakujaali na utashinda tu mkuu sioni mpinzani wako kma ana anaweza kuongea chochote ukimuuliza kwann unagombea zaidi wanataka kuendeleza upigaji tu
Asante kwakutuewa
Uyu mwamba ni kichwa sana nawapeenda sana
Ninafurahi sana kuona chadema inatengamaa hivi
Huyu kama Malema.
Ahsante sana baba Heche.
HECHE, LISSU, LEMA ✅✅✅
@@robbyman6213 akiongezeka Mwabukusi
Huyu jamaa ni kiboko sana chadema huyu ndio kiongozi anjua kujibu maswali na kushawishi watu kweli mbowe anastahili ajitoe kabla ya uchaguzi ili alinde heshima
Hakika Heche unafurahisha!
Heche uko vizurii unaoja nzuri 😅😅😅😅😅
Let's goooo Soldiers!!@✊🏿✊🏿 🔥
Lissu na heche, 100
The soldier is going to join the hustler Tundu Antipas Lissu
Tunataka serious politician kama hawa gilba za SISIEM zinapaswa kufika mwisho
We are tired of the stupid politics za Freeman Mbowe na porojo zake
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano kila mkoa.
Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi.
Utaona ccm ndio wanapendelea aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.
Lisu & heche
Mwandishi muuliza maswali toka Jambo rudi darasani.
upo vzr
Muheshimiwa Heche ninakuelewa sana.
Heche ni muhasibu Lissu Mwanasheria tukiwaweka pale magogoni Week sisi ni matajiri tunaweza kuishi bila kufanya kazi miaka 5 tukala tukanywa na tukazurura duniani guys. Tuacheni uzembe wa kufikiri. Tz sio masikini kama sisi tuliozaliwa hapa,ebo!
Chadema mpyaaaaaaaaa!!!
Kambi yumo na mwalimu wangu Chifu Adronicus Kalumuna. Hii ni balaa
Smart brain
Hili ndo limashine
MUNGU Kwanza siasa zifuate. Imeandikwa Utafuteni Kwanza Ufalme Wa Mbinguni na Mengine yote mtazidishiwa.
Uyu Sasa ndo heche naye mjua chuma wajumbe chonde chonde ni lisu na heche
Jamaa amekomaa kisiasa
Hiki chama cha demokrasia na maendeleo ili kiwe salama na kiendelee kustawi zaidi wapiga kura wote mpigieni Lisu na Heche na katibu mkuu mh, God bless Lema. Mkifanya hivyo mtaona chama kinavyo stawi na kuamusha upya mioyo ya wananchi.sasa ivi watu wamekata tamaa wanachotaka wananchi wanataka kuona mfumo wa uchaguzi umebadilika yaani tume ya uchaguzi isiyoingiliwa na mtawala yeyote kiwe chombo huru ndipo mtawaona wananchi hawa watakavyojitokeza kupiga kura kwa wingi.
Ila machadema majinga sana,mnamuunga mkono mgombea shoga? Hatari sana,
Lissu Heche Chadema Iko imala zaidi ya Jana
Heche kumbe wewe ni mtu bwana unastahili kuwa na lisu
LISUMANIA
Mwenyekiti kaisha muachia Risu kwani hata kujinadi hataki
Mwandishi kaumbuka kumbe watakaopiga kura wapo humohumo😂
Hiyo ni kweri kuhusu mafuta niliona wiliya moja
Kaka hechee uko vizuli sana
Jamani ingekuwa vizuri mkajibu maswali mnayoulizwa Kwa ufasaha ili tuelewe kulikoni kuweka maelezo mengi yasiyohusika.
Mengine nima k
LISSU HECHE LEMA
LISSU HECHE LEMA
LISSU HECHE LEMA
LICHELEMA 😊
Heche kama Heche nakukubali sana 😂😂 eti ni kweli Mbowe katujenga sasa alitujenga ili iweje 😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Idani jinga jinga
Nilimsikiliza sana Juzi Ntobi na Yericko Wakati wa mdahalo,walisema wapiga kura ni Elfu moja miambili,na karibu Team Lissu wengi hawapo Kwa kuwa walishindwa kwene chaguzi za kanda ,Kwa mtindo huu,hatakama sisi wengine Tunamtaka Lissu na Heche hamwoni kuwa chama kinakwenda kujichaguliwa watu ambao kimsingi siyo chaguo la Watanzania?Mungu Ongoza Uchaguzi huu Haki itendeke
Big up mh. Heche. Umeongea kukubwa sana. Ila kwa ushauri kiongozi anaekufaa kua juu yako ni Mbowe maana na msikivu. Lisu anapenda kukinukisha mwepesi wa jaziba
Haya tuache saduku ifanye kazi
au aongezewe miaka 30 😂😂😂mpaka mwanangu aweze kuwa mwenyekiti ajaye
Lisu hajawahi kukurupuka kwa lolote
Akiondoka Mbowe,anayefaa kwa vigezo vyote kuwa Mwenyekiti wa Chadema ni HECHE.
natamani sana chadema mtuoneshe maana halisi ya uchaguzi wa haki ambao siku zote tunatamani kuuona katika taifa letu , jitahidini sana kutuonesha hilo
nyanda jamani maswali gani hayo?umetumwa?
Salute
Safi mura heche
Power
Nadhani Sasa mabadiliko ndani ya Chadema yataonekana,Lissu na Heche ni viongozi sahihi kwa nyakati hizi ndani ya Chadema, Mbowe apewe heshima yake kwa kazi nzuri aliyofanya abaki na legacy yake, nashauri Mbowe ajitoe ktk hii kinyang'anyiro abaki kuwa mshauri wa chama.
Kama ccm inajielewa isingekuwa mwizi wa kura ,Wala isingetumia Dola ingekuwa hoja kwa hoja
Mbowe,Boni na Wenje walimchukia Lissu alipokataa ile hela ya Abdul,hakuna Abdul nchi hii sio tegemezi ya wazazi na ni mbinafsi kishenzi alafu hana elimu ya ujuzi ni mtumia mbinu za wazazi wake always
Siasa za ivi ndo nazitaka
Yaan mtu anaongea mpaka unasema hii nchi ingipata viongozi kama Hawa tungefika mbali tuu
Kabisa yan point to point
Kabsa yan tukija kupata uongozi wa upinzani Kama hawa mambo ya kipuuzi hayatapita
Kabisa.. 🔥🔥
Tnakwenda na lisu na hecho
Hii Kichwa bwana ni hatari sana, Cheki anavyopanguo hoja na kujibu Maswali.
Kijana mwenyewe Nondo kweli kweli ni huyu hapa achana na hawa kina ntobi , yerico na lemburs washenzi kabisa
Waandishi wote wa habari wote ni pro ccm. Kwa sasa Ccm ndio wanamtaka Mbowe eendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema ambaye ni Liberal. Wanamwogopa Lisu maana ni radical mwenye kutaka mabadiliko ya kweli.
😂😂😂😂Kaka angu heche 1 nilimx sauti yako 2 umejiwa kunifurahisha na kimbunga na sunami wewe & lissu kula 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wajumbe mkifanya kosa mtaumiza miyo ya watanzania
CCM wanajielewa kwa woga wakutimia mapolisi na wakurugenzi wa halmashauri kuona haki za wanyonge?
Unaweza kuita Tundu Anti-corruption Lissu
Kabisa..😂😂😂🔥
Hawa waandishi huwaga hawatangaxi habari za chadema ila huwaga wakwanza kuuliza maswali sijui taarifa huwaga wanapeleka wapi au ni walewale
Waandishi uchwara, wachonganishi😂😂😂
Mwamba sana
Ndiomana ccm hawataki watu kama hawa waingie bungeni wanajuwa miswada mingi ya serikali itahojiwa sana
Peoples!!!!
Nyanda hajui kuuliza maswali kwani hata kwenye kipindi chake cha medani za siasa muda mwingi huwa anajuwa muongeaji na si mdodosaji. Pia anapenda ujibu anavyotaka yeye.
Mashine tata hiiiii
Heche hakika ww unapaswa kiongoz
Mbowe ziiiii
Heche PLEAAE UTATUUA NA PRESSURE.
USITAJE HAYO MAPESA WANAYOVUNA WABUNGE WALIOCHAGULIWA NA WSNANCHI. ROHO ZINAUMA UUUWIIIII.
Subirini uchaguzi ufanyike mbona mnawasiwasi team Lisu ?
Ushindi wa kimagufuli magufuli 99.9%
Hilarious 😂😂😂✊🏿
Nimeipenda hiyo ya walimu bu shit 😂😂😂😂😂.
Waandishi wa habari wote wanafki hao
Kwa nini?
Safi Sana Heche.
Sjawah kuwa na mashtaka na heche
Mbowe alionekana hayupo makini pale alipoitisha maandamano yale ya kupinga maauji na utekeji wa watu katika jiji la dar es salaam pekee badala ya kuitisha maandamano kila mkoa.
Hii ilikuwa kuna ajenda fiche ili kuipunguzia serikali (ccm) stress za kukabiliana nayo. Na ndio maana yalizimwa kirahisi.
Utaona ccm ndio wanapendelea aendelee kuwa kiongozi wa chadema kwa kipindi kijacho hususani wakati huu wa uchaguzi mkuu.😂
Mwamba hakiamungu weweheche umepitakuwa makamu wamwenyekiti lisu nimekuombea kwamungu
Kinachonishangaza ni kwamba, baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanadai makamo wa mwenyekiti kuwa hafai kuwa mwenyekiti wa chama. Ataweza vipi kuongoza nchi iwapo ninyi mnadai hawezi tu kuongoza chama?
Mbowe anabomoa hiki chama alichokijenga nusu ya maisha yake yote
Mbwe tunampenda lakini kwa sasa apunzike
Mmm. Hivi ni keki Gani hiyo inayozungumziwaga na wanasiasa 😂😂.Mbona mi naona watanzania wapi huru jamani wanafanya biashara bila kuzuiliwa, wanalipwa mishahara Yao Tena Kwa wakati, Wanafunzi mikopo wanapewa Tena Kwa wakati. Wafugaji wafuga hawana shida. Hizo shida mnazosema CCM wanazo ni zipi. Mmm!!!! Nimeuliza Kwa uzuri tu.😊😊😊😊
Umeeleza mengi ndugu, lakini jaribu basi kufiri japo kidogo vip kuhusu waliotekwa, kuuawa, kupotezwa, kupigwa risasi, mishahara duni, halingumu za wananchi, wizi wa kura, ufisadi naoibua CAG kila mm mwaka n.k. unataka tuongozwe kama mbuzi kwa kuswagwa au kama binadamu wenye akili na utashi. Tafakar ndugu haya mambo itakusaidia kujenga hoja vizur
Tutolee ujinga wako hapa.maneno mengi uvundo mtupu.
@@njanjimlwalehongera sana.umemjibu vizuri sana.
Mbowe achia vijana wafanye kazi
Chuma hicho naogopa wiz mkishinda nakuja kujiunga
Hatutaki mzunguko wa Hela bila kua na uzalishaji
Kweli kabisa..✊🏿✊🏿🔥
Heche akili kubwa
Kiongozi haswa
Baba.mnatufaa.wewe heche.pamoja narisu.mberekwa.bere
God have mercy upon us.
Mbowe tunakupenda sana, ila please kaa pembeni kwa maslahi mapana ya chama, usiabuse upendo wetu kwako kwa kutaka taasisi ya chama iende down na wewe.
Heche na lissu wanatosha
Hehe, julius 14:32 malema wa Tz.
Akika mbowe akiachia chama chadema ndo kwisha kwake yote ni mbinu ya kukiuwa chama
Upo sawa heche kwani uongozi ni mbowe