Kweli Mheshimiwa Lema leo umeongea mambo yaliyonyooka,kweli tupu.Mungu akubariki sana,kuna maisha yanatakiwa yaendelee baada ya siasa.ungana na Mungu kuliko kuuficha uovu kwa sababu kuna hukumu baada ya kifo
Ama kweli hakuna kama Mungu, Mungu ameruhusu haya mambo yawe wazi ili kuondoa imani zetu tuziondoe kwa wanadamu tumtegemee Mungu na kusimama na wale wanaoamini ktk kweli
YAAN HUYU JAMAA NAVYOMWELEWA KTK SPEECH ZAKE + CONFIDENCE HATA AKIWA ANAWASILISHA HABAR YA UONGO MIM LAZIMA NIMUELEWE TU YAAN HIKI NI KICHWA KTK VICHWA KATIKA MIAKA HII YA KARBUN
Hapo anajua kabisa akishinda lisu lazima atamteua kwenye kamato kuu ndo maana kaja kumnadi mapema na kutokuchukua form maana yake ndo hiyo ambao hamjui..kila anae simama kuong3a chochote lazima awe na malengo flani sio bure tu from no where?
Aisee kama haya ni ya kweli.... Basi Lema unastahili BIG RESPECT.
Kweli Mheshimiwa Lema leo umeongea mambo yaliyonyooka,kweli tupu.Mungu akubariki sana,kuna maisha yanatakiwa yaendelee baada ya siasa.ungana na Mungu kuliko kuuficha uovu kwa sababu kuna hukumu baada ya kifo
Big brother lema mungu atakubariki sana kwa ukweli wako
Big respect brother, wewe ni mkweli na msuluhishi!
Salute kwa Lema, amefunguka bila hofu
Kama hadi Lema rafiki wa Mbowe kaona mbowe hafai basi hafai kweli
What a heartrending news! Thank you Lema for opening our eyes.
Hongera Lema kwa maelezo yako!
Ama kweli hakuna kama Mungu,
Mungu ameruhusu haya mambo yawe wazi ili kuondoa imani zetu tuziondoe kwa wanadamu tumtegemee Mungu na kusimama na wale wanaoamini ktk kweli
Lema uko vizuri unasimamia haki
Aisee kama ni kweli basi Lema ni kiongozi mzuri, jasiri na mwenye kujiamini na mkweli. Na huwezi amini jinsi anafunguka kumhusu kaka yake😢
Mchungaji Godfrey Lema, maneno yako nimeyakubali ingawa ungekuwa umeyaongea haya muda mrefu
YAAN HUYU JAMAA NAVYOMWELEWA KTK SPEECH ZAKE + CONFIDENCE HATA AKIWA ANAWASILISHA HABAR YA UONGO MIM LAZIMA NIMUELEWE TU YAAN HIKI NI KICHWA KTK VICHWA KATIKA MIAKA HII YA KARBUN
Wajumbe wapiga kura hamuhitaji ushahidi zaidi ya huu
BRAVO KOMREDI LEMA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
Dahhhh hela ni ibilisi Mbowemuseven kawazunguka wenzake ili wasiwagasi watawala fisiemu
Brilliant
Mbowe mbaya sana.
Si mtu mzuri kabisa. Alitaka kuua upinzani kabisa
Huyu Mwamba akiongea namuelewa sana, lkn najaribu kufikiria Chadema itakuwa salama kweli kuanzia sasa
Pole sana lema mlikua mnaishi msaliti,
Mbowe ni nyoka usoni ni uso wa kajala m/kit lissu na makamu heche na katibu lema chama kitapona milele
MBOWE ameamua kuzamisha jahazi 🤣🤣🤣👀👀
Daaaah mbowe ni Gangsta sana
Ndo maana nilikua naona Kuna ugumu wakuwaondoa Wale wabunge wa viti maalumu kumbe Kuna kampango
Daaaaah mpka hapo wajumbe wanapaswa kikuokoa chama
Poleni sana chadema
Kiufupi Mbowe ni...........Daaaah!😢😢😢
Yaani wananchi mbowe asipoachia kiti tumuachie mbowe kampunii yake
Lema hapa anamwaga ugali na mboga kabisaaaa dah😅
Lisu mungu amjari adi kuwa lais
Msema kweli ni mpenzi wà mungu. Leo Lema umeongea ukweli
Real man never fear!!
Duuh.. Mwaga mwagaa ungaa na mboga kwenye mchanga babaaa😅😅😅😅
Harafu utamsikia yule aliekuwa meya wa ubungo anasifia upuuzi wa anaofanya mbowe.
Jamani jamani mbowe kumbe Huna Nia nzuri kaka😂😂😂😂
Ndo maana kingaila alishika tama lissu aliporudisha form hahahahahahahahahahaaaaa
Afu mbowe hata angekuwa mbayaa lakin ameshindwaaa kuwa hata pro active kabisa
Niliwaza kuanza kuipa kura Ccm maana Mbowe haeleweki.
Na akipita Mbowe sitaipa CHADEMA kula.
Haya matangazo ya mikopo yanakera aise
Chadema kwishaaaaa ila mbowe anashinda na chama kinaifia mikonono mwake
❤❤❤❤❤❤
Lisu ana sifa Zote za kuwa mwenyekiti
Mbowe sio yule, anachukua chukua sana hela ya ccm yule
Siasa tamu sana 😂
Aa halo leo ndo tunajua mengi sana lema pambaneni tuko pamoja na lema na lisu heche
Chadema kirudiii kwenye mikono ya wananchi asalii imeingia chadema
Dah! Ni hatari
Kwa ilikuwa lazima mgombee?Uongozi wa vijana uliomaliza muda wao ndio wangechukua uongozi wote mkapumzika
Kama rema anayoyasema nikweri pumuzika mzee
Nasapoti mkuu kweli mbowe nampenda naunga mkono wayeye kupumzika
Duuuu kumbe chama kilaza kuuzwa lissu njoo uokoe chama chetu
Naumia sana kuona Chadema inavurugwa
Hizi press conferencees,interviews za nn,
Tunaanika matatizo yetu hadharan hiv,?
N kwel CHADEMA tupo matured enough kuchukua nchi
??
Mbowe ni shida
M/kiti alichemsha mlishindwa kuweka mambo sawa mkaruhusu wapinzani wenu kushika hatamu ndani ya chama chenu
Mbowe ame-compromise na CCM hivyo anapanga watu watakaokuwa wanyenyekevu kwake Mbowe na CCM.
Dah leo nimeyajua mengi ya ovyo ovyo ya Mbowe kibaraka huyu wa ccm
Mbowe ana mambo!
Baba wataifa alishasema kiongozi anayepata uongozi kwa rushwa,atajilipa TU. Ameupata wapi??
Machaga maizi ndomaana magufuli alikuwa ataki kuwasikia
Tunaomba no yako
Ila wanasiasa 😅😅😅
Lemaaaaaaaaa jembeeee
Hapo anajua kabisa akishinda lisu lazima atamteua kwenye kamato kuu ndo maana kaja kumnadi mapema na kutokuchukua form maana yake ndo hiyo ambao hamjui..kila anae simama kuong3a chochote lazima awe na malengo flani sio bure tu from no where?
Dah!!!😂😂 !!
Lema umenyooka....
Hivi kweli mke wa kigaila ni mubunge mke wa salumu ni mubunge kumbe viti maalubu nila kuwa na mume hupewi
Wapiiiii suguuu
Yupo wapi kweli???
Hii ni hatar kwa chama komaa lema
Mbona unasema sana mambo ya chama hadharani?
Ulitaka asemeee chumbani
Muda wake
Mmmh mbowe shetani yaan anaongea kama mtoto wa yesu hivi kumbe daaah
Kama mwananchi wakawaida umenifunza Nini kuhusu Hawa VIONGOZI ? Kumbe wanagawana madaraka wao Kwa wao duh
😂😂
Mbowe ni nyoka jamani
Hiki chama bado hakijawa na uwezo wakupewa mamlaka ya kuongoza nchi kubwa kama Tanzania
Uwezo ndo huu ukweli , utu na hekima , maadili waliyonayo wakizingitia demokrasia na haki. Na si pesa. Hongera sana ndugu Lema, Lisu, Heche,.
@TM-zs3rm bado sanaaa
Kupishana kisiasa siyouadui
Mbowe hana shida ya hela bado anatumia za Babuu yake bado acaunt baba yake ajagusa mjue
Hizo hela zilikuwa ngapi? Maana hata leo tajiri mkubwa duniani Eron Musk bado anajiweka karibu na Trump kupata hela.
Wewe zinakusaidiaj aje ?
Rema akili kubwa San we jamaa
Lssu ni nizaidi ya nyerere nimekukubari
Kua na heshima bwegeee ww
Mm naunga mkono Tundu Lisu kwa sababu ya namna chama kinavyoendeshwa vibaya na Mbowe huyu chawa wa ccm
Hawa jamaa mbali na yote pia walikuwa wakizani wao ni wakubwa zaidi kuliko wenzao ndani ya chadema...
Du
Hapana hapo lemaa umeongea hovyo